Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

ความคิดเห็น • 591

  • @ARAFATSALUMABDULLA
    @ARAFATSALUMABDULLA 29 วันที่ผ่านมา +4

    Nimempenda bwana AFANDE anazungumza Kama mwandishi wahabari❤❤

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +5

    Poleni jeshi la polic kwa kazi ngumu, pia pole kwa Familia, na watanzania sote tuwe pole maana hivi vifo vinatuliza kila itwayo Leo.

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 2 ปีที่แล้ว +21

    Shikamooo kamanda kwa kazi nzr. Ila wewe ni zaidi ya police 🤣🤣🤣 .Ila unafaa kuigiza pia

    • @jestinabenedict4620
      @jestinabenedict4620 2 ปีที่แล้ว +1

      Punguza fujo

    • @theresiakisoviated.4886
      @theresiakisoviated.4886 2 ปีที่แล้ว

      Hivi si wamsagesage huyo aliyemuua mwenzake jamani auawe na yeye hivohivo

    • @khalidmasudi2649
      @khalidmasudi2649 6 หลายเดือนก่อน

      S2S2​@jestinabenedict4620​@@jestinabenedict4620

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 10 หลายเดือนก่อน

    Duuh inatisha Sana hongera kama kwa kuifanya hii kazi kwa wered wa Hali ya juu Sana mpaka mtuhumiwa amepatikana

  • @innocentbugobola2234
    @innocentbugobola2234 2 ปีที่แล้ว +9

    Et Chuma !!akamuongezea chuma kingne mh hii Nchi yetu jmn kila sehem Mauaji ya kutisha eeh Mungu tuokoea Watanzania tuwe na Hofu ya Mungu..

  • @jacklineandrew5909
    @jacklineandrew5909 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu naomba niepushie hiyo roho chafu🙏Mungu akiamua kukuabisha hufiki mbali

  • @jaz9974
    @jaz9974 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana police kwa kazi nzur mlizozifanya

  • @rajabually8659
    @rajabually8659 2 ปีที่แล้ว +8

    Pole sana afande naona waongea kwa hisia sana hili tukio sio la kawaida katika jamii yetu ya watanzania huyo muuji apate adhabu kali sana ikiwezekana nayeye auwawe

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini yy ameua hlf yy isiwezekane kuuawa. Yàani anyongwe hadi kufa.

  • @mzeeomary5780
    @mzeeomary5780 2 ปีที่แล้ว +7

    Serikeli iweke sheria uki uwa basi na ww upigwe risasi adharani uone kama mauwaji haya taisha ila mtu anauwa anajuwa anakwenda jela kula nakulala bure

  • @reginapiusi6750
    @reginapiusi6750 2 ปีที่แล้ว +14

    Jaman hii nchi imekuwa ngumu sana 😭😭😭😭

  • @zainabmohammed6700
    @zainabmohammed6700 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah jamn kamuuw mwenziwe namn hii huyu s bnadamu alomuuwa mwenziwe anyongwe kabisaa asiwekwe ndan dahh😭😭😭

  • @sagilododomamedelipeter1893
    @sagilododomamedelipeter1893 2 ปีที่แล้ว +3

    We ni comedy au kamanda🤭🤭😱😱

  • @jacklinepaul105
    @jacklinepaul105 ปีที่แล้ว +1

    Uwiii Mungu tunusuru na haya majanga uyo muuaji sio wa kubaki jamani serikali iingilie kati😥😭😭

  • @florencemanasseh9949
    @florencemanasseh9949 2 ปีที่แล้ว +4

    Surely a church leader si mwatuharibia hata kuja kanisani. This is soo sad indeed 😭😭😭

  • @frolamazimba465
    @frolamazimba465 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tunaelekea Wapi sisi wanadamu mungu tujalie mwisho mwema

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว +5

    Afande unaongeaga vizur tunahuzuni Lakini unatusabayi ongea Yako napendaga hatar

  • @pakapakatuondoke6785
    @pakapakatuondoke6785 2 ปีที่แล้ว +1

    Huwezi kumwaga damu ya mtu halafu ukasalimika soma kisa cha kaini alipo muua habiri mwanzo 4:1-n.k

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s หลายเดือนก่อน

    Hakika wanadamu tumepoteza hofu ya Mungu mioyoni mwetu Mungu tunakuomba utusikie vilio vyetu,uwiiiiiiiiiiiii lnatisha saaaaaanaaaa

  • @KaburaaronManyasa
    @KaburaaronManyasa 9 หลายเดือนก่อน

    Eeeeeeee mwenyezi mungu tusaidie nautuepishe nahizi roho 😭😭😭😭😭😭

  • @TheresiaDaniel-z4h
    @TheresiaDaniel-z4h 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu aliyeuwa ni mtumishi kwel anamjua mungu kwel

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 2 ปีที่แล้ว +2

    Subhana llah

  • @witnessmbuya7908
    @witnessmbuya7908 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba utusaidie ya dunia mengi

  • @rosejordan5391
    @rosejordan5391 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani kunawatu ni wanyama,, alijipanga kabisa 😭😭😭😭😭😭na mifuko kabisa Mungu iokoe nchi yako kilasiku matukio

  • @barakangombe3095
    @barakangombe3095 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana nduguzetu

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ingilia Kati hii roho ya mauti iliyoivaa inchi yetu mungu tusaidieeee😭😭😭

  • @gloryulomi-ii1yx
    @gloryulomi-ii1yx ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidie

  • @NellvanceJuckses-yd7bq
    @NellvanceJuckses-yd7bq 5 หลายเดือนก่อน

    Tamaah kasyan

  • @estherjoseph4344
    @estherjoseph4344 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman jamna jaman 😭😭😭😭😭

  • @Sabinasotola
    @Sabinasotola ปีที่แล้ว

    Yes u angu

  • @Gaudensiamuganga
    @Gaudensiamuganga 2 หลายเดือนก่อน

    Duuuuh Ama Dunia haina huruma na binadamu wanajipenda wenyewe sjuh kesho kwa Mungu tutasema nn wanadamu kwa matendo mabaya.
    Apumzike kwa Amani.
    Afande Uyu Yuko makini kuelezea alfu jambo ili limemuumiza mno anaongea kwa shda na anakazia Anauchunguu

  • @Lukiapaulo-xz6sf
    @Lukiapaulo-xz6sf 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu atunusuru dunia ipp mwisho

  • @GiveniWigenge
    @GiveniWigenge 10 หลายเดือนก่อน

    Tunamuomba kwa Mungu afungwe miaka zaidi ya miamoja

  • @seiflugendo5043
    @seiflugendo5043 2 ปีที่แล้ว

    Asante kamanda

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 ปีที่แล้ว

    Hatari sana, mbaya watu hawa wabaya wapo kanisani!

  • @pendojeremia3150
    @pendojeremia3150 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu wanaroh ngmu kiasi hicho kaah polen jaman wanafamilia😭😭😭😭😭

  • @VianaKokutensa
    @VianaKokutensa 4 หลายเดือนก่อน

    Izo ela watazipeleka wapi😢😢😢

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 2 ปีที่แล้ว +1

    Binadam jamn 😭😭😭 Tanzania jamn imekuwaje

  • @FikiliNzala
    @FikiliNzala 6 หลายเดือนก่อน

    da Mungu saidia wanao

  • @EmelamuSanga
    @EmelamuSanga 4 หลายเดือนก่อน

    Polen sana

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah mtihani huuuu

  • @stellawanyama4964
    @stellawanyama4964 2 ปีที่แล้ว

    poleni sana

  • @StellaStanphord
    @StellaStanphord 9 วันที่ผ่านมา

    Asante nimmpbdq

  • @kelvinmutagwa1633
    @kelvinmutagwa1633 2 หลายเดือนก่อน

    Ni movie gn hii au ni kweli

  • @nirvanabayona8010
    @nirvanabayona8010 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aailaze mahari pema peponi rouo yake

  • @estherjoseph4344
    @estherjoseph4344 2 ปีที่แล้ว

    Ni afande lakini ni kama ni mtangazaji pia Duuuuuuu saf sana

  • @AnethSwila-tw9mv
    @AnethSwila-tw9mv 8 หลายเดือนก่อน

    Heeee nimejikuta nisisimka mwili ivi kweli hiyo roho jamani shetani anaharibu watu

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 ปีที่แล้ว

    Hiki kiswahili mashaka kumkatakata marehemu

  • @shamimumussa3568
    @shamimumussa3568 2 ปีที่แล้ว

    Dunia imeisha jaman

  • @johnkubali193
    @johnkubali193 2 ปีที่แล้ว

    Pole kwanafamilia huo mtu anyomgwe

  • @bitreszaha1639
    @bitreszaha1639 2 ปีที่แล้ว

    Mh pole familia

  • @tifahsempinho9698
    @tifahsempinho9698 2 ปีที่แล้ว

    Mungu tuhurumie binadamu wamekuwa wanyama jaman

  • @mwanaally3236
    @mwanaally3236 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiun

  • @sudisilako5468
    @sudisilako5468 ปีที่แล้ว

    atali sana

  • @mustafachihepo5343
    @mustafachihepo5343 2 ปีที่แล้ว +1

    Angekuwa Hasani suluhu angetuhumiwa kama Gaidi lakini Kwa huyo jamaa anaitwa muuwaji tu!hii Dunia bhana!!!ngumu!!

  • @jchebetsusan
    @jchebetsusan 2 ปีที่แล้ว +14

    this is so sad God have mercy to the family

  • @faithiyyukuufiyyu8001
    @faithiyyukuufiyyu8001 2 ปีที่แล้ว

    Amempiga MAREHEMU AMBAYE KWASASA AMEFIRIKI 😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂

  • @TemwaJilaha-vw9md
    @TemwaJilaha-vw9md ปีที่แล้ว

    Huyo shetan kwel

  • @rooneyasilitv7939
    @rooneyasilitv7939 2 ปีที่แล้ว

    Dah!

  • @DobitDobit
    @DobitDobit 3 หลายเดือนก่อน

    jamani binadamu

  • @MsilieSalumu
    @MsilieSalumu 7 หลายเดือนก่อน

    Kivo Cha gweya

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani

  • @jemsikigocha6876
    @jemsikigocha6876 2 ปีที่แล้ว

    Jinwa

  • @VianaKokutensa
    @VianaKokutensa 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu anafaa kuwa mwanahabari😅😅

  • @DonathaMlwilo
    @DonathaMlwilo 9 หลายเดือนก่อน

    Mmmh jamn😢😢😢😢

  • @FeristerCuthbert
    @FeristerCuthbert 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie tuwe na hofu yako, duh unyama gani huu?

  • @LawrenceKasanga-l2b
    @LawrenceKasanga-l2b ปีที่แล้ว

    Dah

  • @suphiapatson3541
    @suphiapatson3541 2 ปีที่แล้ว

    Tunakwenda wapi?

  • @bilhamkole6206
    @bilhamkole6206 2 ปีที่แล้ว

    Yan afande anavotangaza huzun imenitoweka gafla,, ila Dunia imeisha jaman

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 ปีที่แล้ว

    Ushauri wangu kwa POLISI. Haya matukio msiwe mnayaripoti maana jamii imeona ni KITU Cha kawaida kwani hatuoni wauwaji wakipewa adhabu

  • @jumnneommary-qj2vz
    @jumnneommary-qj2vz ปีที่แล้ว

    Rest in peace

  • @barakakiza2391
    @barakakiza2391 2 ปีที่แล้ว +1

    Siku zamwisho 😭😭😭😭😭

  • @lifhonlee3427
    @lifhonlee3427 2 ปีที่แล้ว

    Adi nje ya kanisa.hatuogopi sai kabsaaaa n huzun kwakwel

  • @patriciamwenda130
    @patriciamwenda130 2 ปีที่แล้ว

    Hii Dunia inaenda wp jaman, mauaji ya kikatili kiasi hiki😭😭😭

  • @muungujaunguja8609
    @muungujaunguja8609 2 ปีที่แล้ว +32

    Jamani afande pole sana unaonyesha umeumizwa zaidi hadi kuongea shida pole baba angu afande na familia yake

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 2 ปีที่แล้ว +12

    Huyu Afande noma sana kwa haya maelezo hadi ni mesahau kama ni tukio la mauaji

    • @esterkelvin6922
      @esterkelvin6922 2 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli nimejikuta nacheka kama mazuri ety pigo la pili ndolilomuua dah

    • @josephinalugembe8285
      @josephinalugembe8285 6 หลายเดือนก่อน

      Jmn 😂 ila watu mpk umenifanya nicheke utafikr mazur

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 ปีที่แล้ว +9

    Afande unafaa sana umechukuwa nafasi ya mstaafu kamanda muroto yani umeiziba kabisa 😄😄

  • @annahchaz5537
    @annahchaz5537 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimempend police watu wote mnaowakata waalifu mngekua mnatup habali hivi ingependez natamn afand nikup jpo soda nimepend kaz yko

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว +7

    Dahhh😢😢🥺sidhani kama ni mara ya kwanza kuua huyo jamaa. Na nahisi anafurahia kuua😢😢

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 2 ปีที่แล้ว +1

    Afande unafaa kuwa mtangazaji

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +8

    SUBHANALLAH😭😭😭

  • @priscakomba2786
    @priscakomba2786 2 ปีที่แล้ว +3

    Ndashangaa Polis wakisema uchunguzi unaendelea Mtuhumiwa ahukumiwe chapu

  • @husnaseph9476
    @husnaseph9476 2 ปีที่แล้ว +5

    Sema kamanda unatupunguzia maumivu

  • @jestinabenedict4620
    @jestinabenedict4620 2 ปีที่แล้ว +3

    TULISHAONA KWA MADIWAN WACHADEMA LEO KWA WATU BAKI INAUMA SANA

  • @mugulusiwakanazi9986
    @mugulusiwakanazi9986 2 ปีที่แล้ว +1

    Alie ua auwawe

  • @Gaudensiamuganga
    @Gaudensiamuganga 2 หลายเดือนก่อน

    Mtuumiwa ni Jambazi alieshindikana Mpk alipata nguvu ya kudeki aseee,ila sasa Damu ya Mtu uwa inalia mbele za Mungu ndo maana hajafika mbaliii.Uyu afande🤝🤝🤝anasistiza Watu tusishadie Mambo tusiyoyajua yakatupa shda😔😔inauma jaman kaka wa watu

  • @anagresimaria9556
    @anagresimaria9556 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuwe na hofu ya mungu jamani

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani,jamani,tunaenda wapi mungu tuepushe na hii roho ya mauti💔🙆😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤔

  • @priscajohn6090
    @priscajohn6090 2 ปีที่แล้ว

    Duu Damu ya mtu ninzito' we² unaroho Nguni km unachinja kuku' na yeye asinyongwe'ushaidi umekamilika'ila auwawe' kwa kukatwa kakiungo kamojakamoja hadi afe

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s หลายเดือนก่อน

    Hakika wanadamu tumepoteza hofu ya Mungu mioyoni mwetu Mungu tunakuomba utusikie vilio vyetu,uwiiiiiiiiiiiii lnatisha saaaaaanaaaa😂

  • @edwardleonard7402
    @edwardleonard7402 2 ปีที่แล้ว

    Ivi wewe raisi unashidwa kutwoa tamko Kali pamoja na kuchukua hatua Kali kabsa zidi ya mauaji haya ? Afu tunakuona uko ufaransa unafanya nini ? Wakati nyumbani kwako unamakero kibao kwamba hauoni sio mbona wakti ule wa magufuli hapakua na mambo Kama haya? Mimi sjui wewe ikulu unafanya nini wakati raia Wana uwawa Kama wadudu tu hatukuelewi kabsa

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s หลายเดือนก่อน

    Hakika wanadamu tumepoteza hofu ya Mungu mioyoni mwetu Mungu tunakuomba utusikie vilio vyetu,uwiiiiiiiiiiiii lnatisha saaaaaanaaaa

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s หลายเดือนก่อน

    Hakika wanadamu tumepoteza hofu ya Mungu mioyoni mwetu Mungu tunakuomba utusikie vilio vyetu,uwiiiiiiiiiiiii lnatisha saaaaaanaaaa

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s หลายเดือนก่อน

    Hakika wanadamu tumepoteza hofu ya Mungu mioyoni mwetu Mungu tunakuomba utusikie vilio vyetu,uwiiiiiiiiiiiii lnatisha saaaaaanaaaa

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s หลายเดือนก่อน

    Hakika wanadamu tumepoteza hofu ya Mungu mioyoni mwetu Mungu tunakuomba utusikie vilio vyetu,uwiiiiiiiiiiiii lnatisha saaaaaanaaaa

  • @vivianmlekani9525
    @vivianmlekani9525 ปีที่แล้ว

    Ila jeshi la polisi wapongezwe kwa huo moyo kuona huo mwili sio kazi mchezo jamani waendelee tu kutuwekea nchi salama

  • @joycemagessa350
    @joycemagessa350 2 ปีที่แล้ว +10

    Mungu okowa Nchi yetu kila Leo Mauaji. Tumemkosea Mungu Tunaitaji toba ili tupone🙏

  • @MayalamamboleoMayalamamboleo
    @MayalamamboleoMayalamamboleo 5 หลายเดือนก่อน

    naomba jesh lapolis lifanye kazi kuepuka namajambazi walio naenda kanisani wegi wanajifanya wa2mixhi wa mungu

  • @karolshirima8935
    @karolshirima8935 2 ปีที่แล้ว +1

    Inawezekanaje ikawa mara ya kwanza kumuua mwanadamu...kwa ujasiri huu wa kikatili namna hii?

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 ปีที่แล้ว +2

    TZ inatisha sasa hivi kila Siku mauaji ? mpaka makanisani jamani Kuna Nini TZ imesurubia na Nini ? kila Siku nasema isomewe tz wafuasi wa wanganga na maframason hawana akili wana fikiri wakiua mtu watakua tajiri ?au watapoteza maesha yao jela kwa maesha yao inamana hawapati faida yote Ila majuto tu kwa kuweka magerezani dahari

    • @majaliwawilson9372
      @majaliwawilson9372 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu huwa wakat mwingine anaachia Mambo magum ili tujitambuwe yeye ninani naanataka Nini

  • @ARAFATSALUMABDULLA
    @ARAFATSALUMABDULLA 29 วันที่ผ่านมา

    Nimempenda bwana AFANDE anazungumza Kama mwandishi wahabari