SNURA NIKIRUDI KWENYE MZIKI NIKATWE MKONO/BABA MKRISTO/MUME WANGU MTU NA NUSU KANIBADILISHA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 840

  • @abuuhafswamunsheedu5790
    @abuuhafswamunsheedu5790 5 หลายเดือนก่อน +153

    Allah azidi kumuongoza Dada yetu na sisi sote pia.... Aaamiin

    • @fabssaleh7273
      @fabssaleh7273 5 หลายเดือนก่อน +12

      AMEEN YAA RABB WA JAZAKALLAHU KHAIRAN.

    • @abuuhafswamunsheedu5790
      @abuuhafswamunsheedu5790 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@fabssaleh7273 Aamiin yaa rabbal aalamiin

    • @hasnakid
      @hasnakid 5 หลายเดือนก่อน +7

      Aameen yaa Rabb

    • @SakinaSakinat-qd9rs
      @SakinaSakinat-qd9rs 5 หลายเดือนก่อน +2

      Amiin Amiin Amiin

    • @noot-oe2mw
      @noot-oe2mw 5 หลายเดือนก่อน +3

      Mashaallah Mashaallah

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 5 หลายเดือนก่อน +49

    Mashaallah Uhkty Snura ALLAH akupe msimamo ulicho kikusudia na wale uliowaacha kule ALLAH awalete karib yako,Amiiin.

    • @Mele-e4n
      @Mele-e4n 4 หลายเดือนก่อน

      Amiin yarab

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 5 หลายเดือนก่อน +112

    Allaah Akuongoze zaidi yani nikisikia maneno yako ndugu yangu nalia kwa furaha hakuna kama Allaah ❤

    • @Aisha-ic1rl
      @Aisha-ic1rl 5 หลายเดือนก่อน +6

      Hakika hakuna kama yy Allah Akbar Allah Akbar 😭

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 5 หลายเดือนก่อน +7

      Nimemsikiliza Jana Alhamdulillah kuna kitu imebadilika ktk maisha yangu

    • @yasminjuma9146
      @yasminjuma9146 5 หลายเดือนก่อน +3

      ALLAH akuongeze amin

    • @yasminjuma9146
      @yasminjuma9146 5 หลายเดือนก่อน +5

      Na kishki T v mtizame huyo dada mumsaidie hata mawazo

    • @Hms-l1f
      @Hms-l1f 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@fettiemaganza1484Allah atuongoze

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 5 หลายเดือนก่อน +97

    SHEKHE Kishki Msaidieni Huyu Dada Mpeni Moyo wa Kujitolea na kwenda isoma Dini mbali na yeye shaurianeni na Mumewe mumsaidie biidhnillahi Allahu Ahad mpeni Moyo

    • @jumanjoro782
      @jumanjoro782 5 หลายเดือนก่อน

      Allah awaongezee Imani wote walionyuma na dini

    • @Azza-o8c
      @Azza-o8c 5 หลายเดือนก่อน +3

      Shk kishki atasaidia wa ngapi na sisi je??? Mwenye kutaka dini hangoji shk kishki aende madrasa tu

    • @AleiHadji-js3ed
      @AleiHadji-js3ed 5 หลายเดือนก่อน

      @@Azza-o8c MUISLAMU wewe ????

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe mwenyewe umesoma dini lakini unalipi

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 หลายเดือนก่อน

      Shetani anadanganya sana watu kwamba wakiwa dini basi wameshamaliza wangojee kwenda mbinguni, lakini ni yule atakaye yatenda mapenzi ya Mungu tu ndiye atakaye muona Mungu

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 5 หลายเดือนก่อน +10

    Allah akupe mwisho mwema InshaAllah dada yetu katika iman ❤❤❤❤

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 5 หลายเดือนก่อน +10

    MashaAllaah tabarakaAllaah wa Alhamdulillaah
    Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake na atupe mwisho mwema kwa huruma wake

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 5 หลายเดือนก่อน +27

    Huyu katubia kweli kweli maana hata uso wake na macho yake unamuona tu anavongea...Allah akuongoze ww na sisi kwa ujumla

  • @bibahhadith
    @bibahhadith 5 หลายเดือนก่อน +13

    MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah ALLAH amuhifadh yeye pamoja nasi pia

  • @minatto12
    @minatto12 5 หลายเดือนก่อน +14

    Mashallah Allah umuongoza amtakae na umuacha apotee amtakae, Allah amuongoze mashallah

  • @GracePatric
    @GracePatric 5 หลายเดือนก่อน +10

    Masikini snura hadi sauti imebadilika Allah akuongoze ndg yangu ❤❤

  • @hawaramadhani6954
    @hawaramadhani6954 5 หลายเดือนก่อน +26

    Pindi itakapokuja nusura ya meenyezimungu na ushindi🎉,utawaona watu wakiingia ktk dini ya Allah makundi kwa makundi

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 5 หลายเดือนก่อน +1

      ALHAMDULILLAH 😢

    • @hassanaliamin1104
      @hassanaliamin1104 5 หลายเดือนก่อน +2

      Maneno matukufu ya Allah akimueleza Mtume wake Mohamed s.a.w

  • @assoistiquamat2397
    @assoistiquamat2397 5 หลายเดือนก่อน +9

    Yaa Rabii Mola nakuomba dada yangu huu mjaaliye Kua namoyo waujasirii sheikh muwezeshenii Apate Mmajukumu Mfano kama msimamizii wajambo Fulani ladini Allah mpe moyo waujasirii

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 5 หลายเดือนก่อน +3

    Dada Snura Allah akusameh wewe na sisi na akupokee hadi kufa kwako
    Amiin

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 5 หลายเดือนก่อน +10

    Masha Allah ❤mungu amekuongoza huu ndo muda wa kuabudu na kuomba sana atusamehe madhambi yetu aaminy

  • @swaiseif2989
    @swaiseif2989 5 หลายเดือนก่อน +8

    Ma'sha Allah mwenyezimungu anamuongoa amtakae

  • @IbrahimKimath-u9z
    @IbrahimKimath-u9z 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wasanii wote waislam wamfuate na washtuke kama huyu maisha ya dunia ni mafupi tuiogope hy siku ya malipo ya kuhesabiwa ili uingie peponi tuishi kwenye ukweli. Tusitafute riziki ya tamaa na ukapata majuto ya muda mrefu.ishi kwa kumfraisha mungu sio kuwafuraisha viumbe. Tunamuomba Allah atuongoze kwenye njia yake ishaallah.

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 5 หลายเดือนก่อน +2

    Takbir Allah Akbar Takbir Allah Akbar MashaAllah Mwenyeez Mungu azidi kukuongoza na aipokee toba yako

  • @BrotherMasoud
    @BrotherMasoud 5 หลายเดือนก่อน +13

    Allah akitaka kukupa kheri hukuzindiua kwenye dini. Mashaa Allah dada yetu ametakiwa kheri na Allah muumba wake. Allah amjaalie Imaan na Yaqiin ya kuitambua dini yqke zaisi 🤲

    • @sabihasalim942
      @sabihasalim942 5 หลายเดือนก่อน

      Allah atuongoze sote🇬🇧

  • @naimaali9888
    @naimaali9888 5 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdullilah Alhamdullilah wallah nmfrahiii sanaa zaidii ya sanaa kumuonaa dada yetuu kurudiii ktk dinii ykee na kuachana na mzikii Alhamdullilah yarabbi nkuombaa uwajaliee na waimbajee wengnee wacheee na watudii kwakoo na ss yarabbi tujaliee mwshoo mwemaa

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 5 หลายเดือนก่อน +18

    Namuomba Allah na Mimi anijaalie Toba

  • @ibnimasoud8228
    @ibnimasoud8228 5 หลายเดือนก่อน +25

    Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah ampe mwishomwema Dadayetu na familiyayake na waislam sote kwaujumla 🤲🏽🤲🏽🤲🏽

  • @NasraNasra-xc6jp
    @NasraNasra-xc6jp 3 หลายเดือนก่อน

    ALLAH azidi kukuongoza katika njia zake za kheir na atujalie wote mabint wa Kislam kuongoka.. Mashallah mashallah ukhty snura nina kupenda kwa ajili ya ALLAH

  • @mwanashaali1109
    @mwanashaali1109 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wallah Alhamdhulillah,nilijua mumewe kachanganyika sanah na Familia ya kwa mume wake pia Nzurii walimpokea na kumpenda

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ooo ma'shaallah ndugu yangu Allah akuongoze ndugu yangu na waisilamu wote duniani na walio potea wote Allah awalejeshee amiiin

  • @halimahassan8582
    @halimahassan8582 5 หลายเดือนก่อน +1

    Soooooo impressive Ma sha Allah 😢😢😢😢😢😢. Alhamdulilah ya Rabb. JazakiLLAH ya uqter❤❤❤

  • @salafiytz2009
    @salafiytz2009 5 หลายเดือนก่อน +9

    Allah akusimamie katika msimamo wako, na akuepushe na vitimbi vya sheitwan.
    NAKUSHAURI USIENDELEE KUZUNGUMZA TENA KWENYE VYOMBO VYA HABARI, ITAARIBU IKHLASW YAKO KATIKA TOBA YAKO. KIFUPI UJUMBE WAKO UMEFIKA NA UMEELEWEKA SANA, JIEPUSHE KUENDELEA NA HAYA MAHOJIANO NA UJISHUGHULISHE ZAIDI NA IBADA NA KUMUOMBA ALLAH AKUIFADHI KATIKA NJIA SAHIHI.

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 5 หลายเดือนก่อน +15

    MASHAA ALLAH
    ALHAMDULILA
    ALLAH azidi kukuzidua kwa hili n'a jengine na ss kwa ujumla ALLAH atupe mwisho mwema kwa sote THUMMA AMIN 🤲🏼

    • @Awatee
      @Awatee 5 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin amiin amiin habibty

    • @SakinaSakinat-qd9rs
      @SakinaSakinat-qd9rs 5 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin Amiin Amiin

  • @zeitunkassim9352
    @zeitunkassim9352 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah TabaraqaAllah ❤️
    Hasbiyahllah waneemal wakeel❤
    ALLAHU Akbaar 😭
    Allah ni muweza wa kila jambo na humuongoza anaetaka kuongoka Alhamdulillah

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er 5 หลายเดือนก่อน +25

    SubuanAllah kumbe sauti y quran Piya aijakutoka Allah umyoosha amtakae n umptsha amtakae

  • @Dhunnurein
    @Dhunnurein 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah Allah athibitishe moyo wake ktk dini na amfishe ktk imani yake iliyoko thabiti

  • @husna34562
    @husna34562 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mashallah tabarakallah Allah atuongoz ummat muhammad

  • @KhadijaAli-e7e
    @KhadijaAli-e7e 5 หลายเดือนก่อน +2

    Maashallah, You have really done something good, Allah azid kutusaidia tutubie kabla ya Mauti yetu. Amin Allahuma Amin ❤

  • @masmas1219
    @masmas1219 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akufanyie wepesi zaid dada uweze kufanikiwa na kumshinda sheytwan zaid
    Maashallah hongera sana kwa kuweza mpk hapo Allah akupe nguvu zaid
    Amin

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 5 หลายเดือนก่อน +40

    Yarrab tusamehe makosa yetu tujalie mwish mwem inshallah 🤲🤲

    • @alhamod5597
      @alhamod5597 5 หลายเดือนก่อน

      Amiina

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 5 หลายเดือนก่อน

      Amiin

    • @nassraAli-je5zj
      @nassraAli-je5zj 5 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @faridhamad3678
      @faridhamad3678 5 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Amiin

    • @RahmaNsengiyumva-g4d
      @RahmaNsengiyumva-g4d 4 หลายเดือนก่อน

      Mansha' Allah tabarakallah ya Allah zidi kuwaokowa wajaa wako mana mjaa kuokoka si kwa ujanja wake bali ni kwa uwezo wako Allah

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 5 หลายเดือนก่อน +7

    JazakaAllahu khyran , inshaAllah , da snura Allah azidi kukupa muongozo zaidi yarrab🙏🙏🙏

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 5 หลายเดือนก่อน +9

    Ni funzo kwa wengne na hongera snura kwa kukil mbele ya ummah kuwa unajutia mungu akusamehe pale ulipokosea

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 5 หลายเดือนก่อน +2

    Subhanallah nimetokwa machozi yarabi Allah humnusuru ampendae❤ alhmdulillahi

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 5 หลายเดือนก่อน

      Mimi pia nimetokwa chozi

  • @Kutaila99
    @Kutaila99 5 หลายเดือนก่อน +51

    Tusiwatukane walio baki kule bali tuwaombee ipo siku Allah atawaongoa in sha Allah

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 5 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAHA ATUONGOZE SOTE KTK NJIA ZURI NA AMJAALIE DADA YETU SNURA AZIDI KUUSHINDA MTIHANI AMEO AMUA KUUACHA NA ALLAH AMSIMAMIE MSIMAMO WAKE UE THAABITI KABISA ALLAHUMMA AMIIN🙏 nanyimbo yake niliokua naipenda ya majanga nimeifuta kabisa ktk simu yangu

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah. Tabaraqallah. Mungu. Akuongoze. Nduguyangu. Inshaallah

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 5 หลายเดือนก่อน +17

    Allah ndio kakuongoza tuseme alhmdulillah 😢😢❤❤

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 5 หลายเดือนก่อน

      Alhamdulillah

    • @MowanaMohammed
      @MowanaMohammed 5 หลายเดือนก่อน

      @@AyubuIkakuAlhamdulillah

    • @FATUMABACARCADANGE
      @FATUMABACARCADANGE 5 หลายเดือนก่อน

      Mm niliomba nipewe mumewakupenda dini nikapewa mlevi niliumiasana mpaka nikaamuwa kuachananae hapendi dini

    • @ahmedalsaadi7108
      @ahmedalsaadi7108 4 หลายเดือนก่อน

      Ungemlingania kidogo dogo​@@FATUMABACARCADANGE

  • @RukiaHassan-w4u
    @RukiaHassan-w4u 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah tabaraqallah Allah akuhifadhi akufanyie wepesi n akubarik Zaid moyo wa kuipend dini. Allah atujaalie toba ya kwely na shahada wkt wa maut n jannah iwe makaaz yetu amiin

  • @GluGlu-u4m
    @GluGlu-u4m 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mola akuongoze na atuongoze na sisi mola humuongoza amtakae yaa Rabb mola azidi kukuongoza ❤

  • @ZULFAHABIBU
    @ZULFAHABIBU 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana dada etu mungu akupe neema iyo usje kubadilika Tena nimepend mashalha

  • @HAKHISALUMU
    @HAKHISALUMU 4 หลายเดือนก่อน

    Snura mshukuru Allah muumba na muombe sana azidi kukuondoshea usheteni uliokukuta huko nyuma. Ubaki njia ya heri ya Allah

  • @patimaissa8572
    @patimaissa8572 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran na pia hongera ushauri usifanye tena intaviyou endelea kumtumikiya Allah Allah atujaliye mwisho mwema kila hatua dua nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @maryamalhinai3392
    @maryamalhinai3392 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Snura Mmungu akutangulie Dada. Wewe mungu kakuchagua. Hongera Dada

  • @OmanIbra-d6u
    @OmanIbra-d6u 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ila uyu dada kaongea ukweli mtupu Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema

  • @salmaabdallah2253
    @salmaabdallah2253 5 หลายเดือนก่อน

    Allah subhanahu wataala akubaarik snura akujaalie uwe miongoni mwawaja wa peponi na Allah subhanahu wataala akusameh makosa yako kwani Allah nimsamehemu kwa waja wake na anawapenda wale wanao muelekea , na uliyo waacha pia allah subhanahu wataala awaongoze ,amiin

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah tujalie pia cye tufate nyendo njema alhamdulilai

  • @hasnakid
    @hasnakid 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Allah humuongoza amtakaye na kumuacha kupotea amtakaye.
    Fa ametukuka #M.mungu mwingi wa #Rahma, mbora wa waumbaji.

  • @rehemaseif1785
    @rehemaseif1785 5 หลายเดือนก่อน

    Dada snura nakupenda kwa ajili ya Allah s.w. M.mungu atuongoze sote kwenye njia yake. Hakuna mkamilifu zaidi ya Allah s.w. na yeye anasameh madhambi yote. Allah s.w anasema tusikate tamaa na rehma zake.

  • @leilasalim-2009
    @leilasalim-2009 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah akulinde na akuhifadhi dada una sauti nzuri yakusima Quran mashaallah ❤

  • @alisaid1347
    @alisaid1347 5 หลายเดือนก่อน +1

    الحمد لله على هذه النعمة ، كثر الله أمثالك أختى ، WENGI watajifunza kupitia wewe

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah amuhifadhi yy na Vzazi vyake Allah amsamehe kwa kosa Allah ampe Subra ktk hij Dunia na Akhera

  • @HamzaNdayishimiye
    @HamzaNdayishimiye 5 หลายเดือนก่อน +2

    Maamshaallah Allah akuwekey wepsi na akubali toba yako kwa uruma wake amiiiin

  • @maryammzee3246
    @maryammzee3246 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimemefurahi sana kwa hiki ulichokiamua nisahihi mungu akufungulie kheri zote za duniani na akhera

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaa الله kheri, alhamdulillahi.

  • @Janataninaim-s8u
    @Janataninaim-s8u 5 หลายเดือนก่อน

    Takbirrrr
    Allah Akbar
    Allah atuswamehe sote uma wa mtume s.a.w tufuate njia sahii ya Allah

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 5 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar ,All1h akuongoze dada yangu akupe na ujasiri mana vishawishi ni vingi saana,Allah akupe subra na akuhifadh kwa huruma wake

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 5 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah ALLAH azidi kukuongoza Ukhty Yetu🤲🤎🤎

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 5 หลายเดือนก่อน

    Allah humuongoza amtakae. Alhamdulilah dada angu Snura namuomba Allah atupe hatma njema na sote tuendeleeni kusimamisha swala na kuipigania Dini yetu Allahuma Amiin.

  • @WadhihatRajab
    @WadhihatRajab 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah allah azidi kukuongoza kwenye swiratl mustaq❤❤❤❤❤❤

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 5 หลายเดือนก่อน

    Takbiiiiiiir x3da snurah nakupenda kwaajili ya Allah tuombe mwisho mwema

  • @missmannydxb
    @missmannydxb 5 หลายเดือนก่อน

    Masha'Allah tabarakAllah malezi mazuri sio wengi wenye hio bahati, mwenzi mungu atuzidishie imani na atupe mwisho mwema ameen 🤲🏽

  • @bintimbeyumwalimu2708
    @bintimbeyumwalimu2708 5 หลายเดือนก่อน

    Masha'Allah Mungu akuongoze Dada Snura🤲🏾🤲🏾

  • @vinanimwinyi3163
    @vinanimwinyi3163 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Allah akuhifadhi ya Rabbi Nkpenda kwa Ajili ya Allah Snura❤ 🇰🇪

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 5 หลายเดือนก่อน

    Dah!!! Allah azidi kumuongoza kwa kweli dah!!! Allah amuhifadhi sana na atamfanyia wepes tu rizki zke na majambo yke

  • @naswiharashid7166
    @naswiharashid7166 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah wala usitiye waswas ndugiyetu madam niya yako iko thabit na umejutiya Allah atakusameh hongera sn na uwe na moyo huohuo usibadilike km mzee yusuf tubu sana Twaibatal Nasuha tuko pamoja na wewe mkono kwa mkono mpaka peponi

  • @muhammessihakizimana2061
    @muhammessihakizimana2061 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akuzidishiye imani kwakweli umenitowa machozi nibahati iliyoje kwakweli sali sana Allah anakupenda kwakweli

  • @saidmakame
    @saidmakame 5 หลายเดือนก่อน

    Omba Mungu Mwenye enzi akupe tawfik yake. Hakuna hodari wala uwezo isipokua kwa uwezo wake. Allah akujaalie uongofu pamoja na sie pia

  • @MuhamedChabala
    @MuhamedChabala 3 หลายเดือนก่อน

    Allah subhanahu wataala akuzidishie iimaan akudumishe katika uislam

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 5 หลายเดือนก่อน

    Kwaza allah akuhifadhi ❤❤duniyani umependa msamaha kwa allah akusamehe❤❤❤❤ atakusamehi ❤❤❤ hiyo ni toba❤❤❤ hitorudiya tena❤❤❤

  • @mohamedjuma1084
    @mohamedjuma1084 5 หลายเดือนก่อน

    Ma Shaa Allah Allah amuongoze ktk iman thabit🤲

  • @iddyiddy1282
    @iddyiddy1282 5 หลายเดือนก่อน

    Wallah amefanya vyema snura kwa kuwaomba radio wasicheze ngoma zake, kazi kwao sasa ila mbele ya Allah anaradhi Nae. Allahuma bariq. ❤❤❤

  • @zuwenarajab695
    @zuwenarajab695 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulliah! Alhamdulliah! Alhamdulliah. Allah atuongoze sote kwa ujumla na atujaalie mwisho mwema.

  • @SaidiMunyama
    @SaidiMunyama 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tabarakallah allah akuhifadhi akujalie ni uamzi mzuri allah endelea hivo hivo

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 5 หลายเดือนก่อน

    MashaaAllah mungu alikuingiza kumrudia na kuomba sana mda wake ndio sahihi Allah atujalie moyo wenye kumnyenyekea na kumuomba msamaha

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mungu akuzidishie ilmuu na ucha wa mungu na sisi pia ...amiin 🤲

  • @JasmineMasiga
    @JasmineMasiga 5 หลายเดือนก่อน

    Mashalaah jaman adi natamani namimi mungu anijaalie niache kusuka haya mnywere ya rasta niwe na swali ila ipo ck mungu atanifanyia wepesi nilikuwa na bandika makucha nimeshaacha na bado ntaacha tu kwa uwezo wamungu

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah tabarakallah, Allah azidi kumuongoza, na sheikh kishk tunaomba mumsaidiye binti huyu

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ma Shaa Allah Tabarakallah kaswida kumbe wajua vzr kuimba a🤲Allah awaongozee na ss sote in sha Allah

  • @DoctorBondia
    @DoctorBondia 5 หลายเดือนก่อน

    Maashallah Inapendeza Sana, Allah akusamehe wewe na sisi pia. Aaamin 🤲

  • @bahatirashid6687
    @bahatirashid6687 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu Akujaalie uwe mmoja Kati ya wanawake wema

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Namshauri snura atoke khuruju akaitengeneze zaidi iimani

  • @hakeem2559
    @hakeem2559 5 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi sana kwakweli nimempenda kwajili ya Allah hadi natamani kulia kwakweli

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 5 หลายเดือนก่อน +8

    Mashallah nimeipenda hii upande wangu nimefurahi Alhamdoulillahi watu waache kumfananisha Snura na mzee Yusuf 😢😢😢please

    • @ramadhaniomary9241
      @ramadhaniomary9241 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu akuongoze inshaa llahu na sisi sote

    • @samxx411
      @samxx411 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tumuombeeni na Mzee Yussuf arudi kwa Allah...Allah ndie mwenye kuongoa, muislamu kazi zetu kufikisha daawa tu

    • @salma4140
      @salma4140 5 หลายเดือนก่อน +1

      Dada mungu akuhifadhi

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 4 หลายเดือนก่อน

      sana tuopeane Dua tu sio kumsimanga

  • @zulfamuhibu283
    @zulfamuhibu283 5 หลายเดือนก่อน

    Allaah humuongoa amtakae na kumuangamiza amtake,namuomba Allaah azidi kumuongoza dada yetu snura,sie na wao ______aaamin Allaahummah aamiin

  • @ElsieMunezero
    @ElsieMunezero 5 หลายเดือนก่อน

    Manshallah dd snura mungu akuzidishiy Iman dd yangu mungu atupe mwisho mwma nasisiote allahuma amiin

  • @abdallahkhalfan3966
    @abdallahkhalfan3966 5 หลายเดือนก่อน

    Masshaallwa Allah akuongoze ktk kheri Dada yangu pia Allah akulipe kheri in shaa Allah

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah azidi kukuongoza Dada angu Mashallah Mashallah Mashallah Allahumma barik Kwel umaweza ukachukia jambo kumbe lina kher na wewe na ukapenda jambo kuna Lina shar na wewe Allah atuongoz katika Njia iliyonyooka😢😢😢😭🤲

  • @AminaChanga
    @AminaChanga 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤ allah amekiongoza na atuongoze sotee

  • @Aminedanisman76799
    @Aminedanisman76799 5 หลายเดือนก่อน +2

    Allah Akbar
    MashaAllah tabarakallah.najipata machozi yani toka kwa furaha.hongera sana dada kufata njia ya haki 😢😢😢😢

  • @asnathally18
    @asnathally18 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuongoze zaidi dada yetu inshaallah allah kakunusuru mapema kabla ya umauti hio ni zawadi kutwa sana kwako

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu Amdumishe Katika Imani.

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifathi dada yetu na akujalie kila la kheri na akujalie mwisho mwema 👏.

  • @FatmaMbarouk-l6o
    @FatmaMbarouk-l6o 5 หลายเดือนก่อน +1

    Takbiiiiiiiiir allah akbar allah atuongoze ktk njia iliyonyooka waislam wote n wasiokua waislam awape kauli thabit wapate kuingua ktk uislamu😢

  • @fatmamohamed372
    @fatmamohamed372 5 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah maashaallah maashaallah Allah Subhanahu Wataala akuhifadhi wewe na familia yako na akuongoze ktk njia iliyonyooka biidhinillah

  • @HamadiAbdalla-b9s
    @HamadiAbdalla-b9s 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mungu akuongoze ila yasije kutokea yale ya Mzee Yussuf chonde chonde

  • @KhadijaSalum-nf5mf
    @KhadijaSalum-nf5mf 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdullillah mabrouk Sanura Allah atakuhifadhi na kukutoa ktk ushaytwan