BABA ATUHUMIWA KUUZA MTOTO wa MIAKA 7 -ASAFIRISHWA KWENDA NCHINI CANADA MAMA MZAZI AILILIA SERIKALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • BABA ATUHUMIWA KUUZA MTOTO wa MIAKA 7 -ASAFIRISHWA KWENDA NCHINI CANADA MAMA MZAZI AILILIA SERIKALI
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 412

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +4

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

    • @khaijakadija2082
      @khaijakadija2082 ปีที่แล้ว +1

      Kwa gea habibu angamsaidia hadi mawakili angapata mtoto wake
      Yule alipta mtoto wake

    • @petulomwaitulo5826
      @petulomwaitulo5826 ปีที่แล้ว

      Mung wañg

    • @maryamabdullah9169
      @maryamabdullah9169 ปีที่แล้ว

      Heee mtihani

    • @HabimanaAbdaul
      @HabimanaAbdaul 11 หลายเดือนก่อน

      0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa00aaaaaa00aaaaaaaaaa0aa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaa00aaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0

    • @HabimanaAbdaul
      @HabimanaAbdaul 11 หลายเดือนก่อน

      0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0a0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana dada Mungu asikie kilio chako 🙏🙏uyo baba mzazi njaa yake itamtokea puani janaume lisilojielewa

  • @hanialsaadi7394
    @hanialsaadi7394 ปีที่แล้ว +21

    Huyu mama pekeyake kufatilia hili jambo hatoweza, please serikali msaidieni huyu mama jmn, mama Samia wewe km mama na uchungu wa mtoto unaujua please msaidieni huyu mama jmn😭😭😭🙏🙏🙏

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 ปีที่แล้ว +22

    Kuna wanaume wengine watateseka sana kwenye Maisha yao. Haiwezekani alienda Leba umtese kiasi hiki😢😢😢😢Pambana dadaangu Kijana wako arudi..toka lini Wahindi wakawa waungwana.

    • @magrthmakandi7224
      @magrthmakandi7224 ปีที่แล้ว +1

      Ashikwe huyo wanaume amrudishe mtoto nchini wewe masikini unaweza mpa mtoto mtu bila mm yake kujua

    • @berthatz
      @berthatz ปีที่แล้ว

      @@magrthmakandi7224yaani hiyo ikiripotiwa ubalozi wa Canada mtoto atarudishwa

    • @berthatz
      @berthatz ปีที่แล้ว +4

      Hii ni human traffic..Huyu baba anatakiwa awekwe ndani,waliochukua mtoto wakamatwe Canada na mtoto arudishwe..Pumbavu.😡

    • @user-eb3sr5wi5v
      @user-eb3sr5wi5v ปีที่แล้ว

      23:46

    • @mukeshimanataussi6939
      @mukeshimanataussi6939 ปีที่แล้ว

      Na kwa nini asingeleka hzwo wa bibi mdogo

  • @KhalfanSaid-v1h
    @KhalfanSaid-v1h หลายเดือนก่อน +2

    Nenda kwa Rais moja kwa moja ...Rais atawasiliana na balozi wa TANZANIA NCHINI CANADA... INSHAALLAH MTOTO UTAMPATA

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 ปีที่แล้ว +12

    Huyo amepelekwa kwenye biashara haramu utakuta ameisha kuwa Shoga huyooo😭😭😭👍

  • @yasminmohamed267
    @yasminmohamed267 ปีที่แล้ว +15

    Nenda kwenye ubalozi wao ukalalamike,kama unawajua majina yao kwa umakini.Inaweza kusaidia,pole sana mama

  • @rosemkonge8436
    @rosemkonge8436 ปีที่แล้ว +6

    Ubaya wa mahakama za tanzania❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤huyu mama tumuonee huluma

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว +11

    Serikali tunaomba huyu mama asaidiwe jamani maumivu Ni makali Sana,Rais Samia tunaomba msaada msaidie mwanamke mwenzetu!!

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 ปีที่แล้ว +12

    Hii Tanzania ni nchi ya ajabu sana inahubiriwa Serekali inalinda watu na mali zao .Huku fedha fedheha hutumika kuuza hata vizazi vya nchi hii kirahisi kwa wageni.

  • @nassysakia9511
    @nassysakia9511 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mama pole sana! Kwa mahakama za bongo ni uongo hutopata msaada wowote watu wamesha kula Madolla! Paza sauti kwa MAMA SAMIA AKUSAIDIE dakika sifuri yusufu atapatikana inshaallah.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 ปีที่แล้ว +8

    Huyo mwanasheria ikibidi afutiwe leseni. Wanasheria washenzi kama hawa kuna siku watauza nchi tukiwa hatuna habari.

  • @user-ng1po1dh4z
    @user-ng1po1dh4z 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli hao Wahindi, ni hatari sana kwa mbinu walizozitumia, huwenda wanamdaa mtoto huyo, kuuza viungo kama:-Vigo, nk. *HAO WOTE WALIOHUSIKA NI MAJIZI, tena MAJAMBAZI WA WATOTO*. (Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, msaidie huyo mama wa mtoto, apate mtoto wake)

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 11 หลายเดือนก่อน +3

    Natamani iweke TIK tok hii Abari kwa Maana Haraka sana itatambaa vizuri sana inabindi huyu Mtoto arundishwe kwa Mzazi wake yani Mamake Mzazi

    • @eliza486
      @eliza486 6 หลายเดือนก่อน

      Fanya hvo dr aki plllzzz

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 ปีที่แล้ว +9

    Uchungu mwingi sana km mzazi pole sana wamama wote tupaze sauti kwaajili ya mwanamke mwezetu 😢😢😢

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 หลายเดือนก่อน +1

    Maskini inauma Mtoto alitoroshwa kwa nchia ya kuuzwa huyo Mtoto lazima arudishwe kwa Mama yake pole sana Mama

  • @mellenondieki6329
    @mellenondieki6329 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hi,TANZANIA MUKO,NA MUNAPEDA,BRIBE KUUZA,WATOTO,,HIYO ZURA,YAKIHIDI,WANANUNUA,WATOTO, PLEASE ZEREKALI,YA,TANZANIA PRESIDENT MAMA SAMIA,,SAIDIA THAT MAMA,TO RETURN HER CHILD FROM CANADA,, PLEASE TUNAKUHESIMU, MAMA PRESIDENT SAMIA,, HELP, AND HELP MAMA,WE LOVE YOU, MAMA SAMIA,JUSTICE TO BE DONE,, MAMA SAMIA.....I IN USA 🇺🇸

  • @user-rv7zt6tj3d
    @user-rv7zt6tj3d ปีที่แล้ว +14

    Udhaifu wa mahakama zetu tz ona mambo yanaenda hovyo yaan suala la mtt badala wawaite wote wawili et wanamzunguka mama mzazi yaan uchung wa mwana ajueaye ni mama huyo baba anauza utu kwa sh yaan hata kuish na mtt hajawah ishi naye mpk umr huo jmn pesa si mbaya binadamu ndio wabaya pole mama utapata mwanao ukiw na wanatakao fatilia serikal ikikuskia huyo baba arejesh nyumba ya watu na mal zote mtt atudi mbn hajamuuza wa mwanamke anayeish naye amuuze wako uliyezaa naye nje ya ndoa! Tena nyumba wachukue wao aaah utu hawana hao na wenye makosa ni hao wahind kwann hawajakushirikisha mazungumzo mwanz mpk mwsh mbona kama wanafanya kukuficha ficha

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 ปีที่แล้ว +8

    Huyu baba,kwa nini hakuwatoa watoto wake anaokaa nawo😢😢

    • @tatujafari9033
      @tatujafari9033 5 วันที่ผ่านมา

      Dada pole sana,pambana urudishiwe mwanao hauwezi kujua wanamfanyia nini dunia ya leo inawanyama wengi kuzidi binadamu,nahuyo baba yake ni mmoja wa wanyama hajatenda haki yeye hana hasara anao watoto wengine

  • @Elesciahmdugo
    @Elesciahmdugo 4 วันที่ผ่านมา

    Pole dada , wanasema mtoto ulimtelekeza hiyo waliwezaje kumuasili bila kupeleleza kama kweli huna uwezo wa kumlea yusuph? .Binafsi mimi ni mwanamke machozi yamenita .TUNAKUOMBA MAMA YETU MH DR RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MSAIDIYE HUYU DADA.

  • @mwamvuamagongo8163
    @mwamvuamagongo8163 ปีที่แล้ว +15

    Pole sana mtoto mzuri Mungu apishie mbali wasije wakamgeuza shoga. Umasikini mbaya 😭

    • @Queen-by6ei
      @Queen-by6ei ปีที่แล้ว +3

      Daa 🥺
      Na mambo ni mengi sana nawaza adi naogopa

    • @housnayousif780
      @housnayousif780 ปีที่แล้ว +1

      Pengne kutilewa figo

    • @lildraco_k8977
      @lildraco_k8977 ปีที่แล้ว +1

      Hawezi kuwa shoga huko Canada Watoto wana haki sana serekeli inafatilia sana kuusu Watoto Huyu maman amwache mtoto atapata maisha mazuri Mimi niko usa

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      ​@@lildraco_k8977wewe wapi mtoto anamaisha mazuri kama hayuko na Wazazi wake??Naishi Canada mimi

    • @tatotato506
      @tatotato506 ปีที่แล้ว

      ​@@lildraco_k8977kamuuzewako tamaa tuu

  • @mariamissa4029
    @mariamissa4029 ปีที่แล้ว +1

    Subhannallah pole dada,jamani tuweni makini na watoto tusipende vitu vya kusaidiwa mtoto mwenyewe mmoja t subhannallah pole sana dada

    • @judithgodfrey6503
      @judithgodfrey6503 ปีที่แล้ว

      Ukatili mkubwa Sana. Huyo baba ni muuaji. Amemuuza huyo mtoto jamani. Pole sana dada. Inaumaje!

  • @khadijakimana8809
    @khadijakimana8809 ปีที่แล้ว +4

    Government of Tanzania 🇹🇿 😰Mtoto arudi.alafu utaratibu sahihi ufanyike. Uyo mtoto ame ibwa...inaonekana wamesema uwongo kama mtoto amekuwa abandoned, ili wa mkomoe huyu mama. Mama Samia msaidieni Mtoto arudi kwa mamake.

  • @shamzone388
    @shamzone388 ปีที่แล้ว

    Pole ndugu yangu umaskini umekuponza
    Ungelujua hayo bora angesomea shule za serekali kuliko hayo
    In sha allah kwa uwezo wa allah utampata mtt wako zidisha duaa allah amuhifadhi amrudishe salama
    Na huyo baba ana haki yakufungwa ana muuza mtt kwa ajili ya pesa mpumbavu mkubwa asie kuwa na imani ya dini

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 ปีที่แล้ว +11

    Fedha huleta fedheha. Mwanaume Kauza mwanae. Kaaibisha taifa huyu. Wachunguzwe wote waliohusika. Mtoto mara moja achukuliwe na ubalozi wa tanzania kule canada kwa usalama wake kisha arudishwe kwa mzazi wa kike. Mungu yupo

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amlinde huyu mtoto inauma sana jamani 😭 Pole sana mama yusufu

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada,pambana mwanao utampata.Hata wao wahidi hawana nia nzuri kwa huyo mtoto why wafanye vitu kwa kificho

  • @UkendeDaud
    @UkendeDaud 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ushauri wangu mama nenda kwa mtumishi mwamposa yote yanawenzekana

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว +3

    Mimi hapa baba wa mtoto wangu yupo Uingereza anamtaka mtoto aende akaishi huko na mtoto ana miaka 7,kwa kweli sitaki kusikia hiyo hbr na baba mtoto nimemlock!!sitaki kabisa!pole mwanamke mwenzangu pambana!

    • @frankmlinda1181
      @frankmlinda1181 4 หลายเดือนก่อน

      Acha uchoyo wewe mpe mtoto mmeo

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 หลายเดือนก่อน

      ​@@frankmlinda1181uchoyo? Kwani imekuwa ni chakula au vitu?binadamu huyo

  • @RehemaFord25
    @RehemaFord25 4 วันที่ผ่านมา

    Kilichofanyika hapa ni uwizi na uchawi kabisa mungu aingilie kati mtoto arudishiwe mama yake

  • @salma0000
    @salma0000 ปีที่แล้ว +4

    Ushauri wangu, siku ukimpata mtoto wako unakatisha mahusianao na yule aliekua babaake, inaonesha hamtaki huyo mtoto.

  • @nasrayahya2885
    @nasrayahya2885 ปีที่แล้ว +1

    Dah inauma sana mama Samia wewe ni mwanake umezaa unaujua uchungu wa mtoto muonee huruma huyu mama mwenye mtoto fanya uwezavyo mtoto alejeshe na kila alohusika na hili wachukuliwe hatua kali za kisheria

  • @happyjohnson4171
    @happyjohnson4171 ปีที่แล้ว +4

    Mungu amnusuru huyo mtoto arudi salama

  • @user-op3dn6ls2e
    @user-op3dn6ls2e 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mwanamke mwenzangu
    Haki ya mtu haipotei pambana utampata mwnao

  • @VictoriaIkomeja-kh7wr
    @VictoriaIkomeja-kh7wr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole ,mama yetu Samia msaidie mwanake mwenzetu

  • @user-qz2xl3qe3v
    @user-qz2xl3qe3v 9 หลายเดือนก่อน

    Wahenga wanasema tajiri na mali yake masikini na wanawe endelea kupambana mungu atakusaidia na uyo baba hafai anaona bora kitu kuliko utu

  • @user-on4jf2tu7m
    @user-on4jf2tu7m ปีที่แล้ว +3

    Hakimu akamatwe na Huyo baba Yusuph ,na wakili njaa. weka ndani kwanza.

  • @blessingmapazia9545
    @blessingmapazia9545 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana ,pambana mpaka mtoto wako arudi

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +2

    Subhannallah mtihani kwakweli njaa gani hii

  • @bahatikyusa8864
    @bahatikyusa8864 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana dada ila baba mtoto wako anazambi kubwa sana

  • @user-jw2ei9oy4f
    @user-jw2ei9oy4f ปีที่แล้ว +3

    Warudishe mtoto kwanza halafu wakaewaongee kwaupya na makubaliaano wote,kama itakuwa siowizi ,tena wafanye haraka sana, sisi wanawake hatuja shindwa kulea

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana tulidhike na hali yetu vitonga vinaponza

  • @naomibildad509
    @naomibildad509 ปีที่แล้ว +3

    Aisee mtoto mzuri. Amlete mtoto kamwe mtoto hawezi kuthaminishwa na vitu.

  • @nabirabakary4209
    @nabirabakary4209 ปีที่แล้ว +1

    6:54 Ninamuonea huruma mtoto jaman anaenda kufundishwa ushoga mwishowe wamuozeshe mwanaume mwenzake 😢😢

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 ปีที่แล้ว +2

    Hapa mama Samia afanye kazi yake kama kwa yule kijana aliyemjengea nyumba na wafanyakazi wa wote wa mahakama hiyo wafukunzwe msaindieni mama Samia aipate video hii pia baba wa mtoto akamatwe

  • @user-ei6ik2yw9f
    @user-ei6ik2yw9f 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dadangu pambana mwanae arud ni bora ulale nae njaa

  • @stelamwakatulile2455
    @stelamwakatulile2455 ปีที่แล้ว +1

    Uyu baba anajua uchungu wa mwana kweli unagawa mtoto bila mamake kukubali kunawanaume mashetani kweli😢

  • @BahatiMgaza
    @BahatiMgaza ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti anajua Tena mbaya Sana Sasa dada Kwa nn toka mwanzo hujaweka angalizo kwenye vyombo vya habari

  • @ElisioVicenteMadimba
    @ElisioVicenteMadimba 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nifanyaje ?

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo lushwa imetembea mahakamani, kwa nini mahakama nimefanya unyama wa namna hii juu ya pesa baba kafanya unyama wa khali ya juu jmn dah😢😢hili ni gumu kwa huyu mama, mama samia amsaidie jmn dah😢😢😢😢😢

  • @RuqaiRasheid
    @RuqaiRasheid 19 วันที่ผ่านมา

    Pole sana huo wizi

  • @AishaTarimo
    @AishaTarimo ปีที่แล้ว +2

    Yaan mm sijui niseme nn mpaka tumbo la uzaz linanichezA.NAJARIBU KUVAA VIATU VYA HUYU MAMA HAVINITOSHI

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 ปีที่แล้ว +7

    Kama maandalizi ya kumchukua mtoto yangeenda vizuri kwa pande zote mbili upande wa Baba na Mama ,ingekuwa haina shida mtoto kwenda kupata elimu bora huko Canada. Lakini kwa kilichofanyika ni lazima huyu Mama apate wasiwasi. Ila wewe Mama uzembe wako umekuponza

    • @issacmary9495
      @issacmary9495 ปีที่แล้ว +2

      Hyo mama alikuwa mzembe sana pia alikuwa kama mjinga flan hivi

    • @timejames5099
      @timejames5099 ปีที่แล้ว +2

      Acheni kumtusi huyu kama hataki mwanae akalelewe na watu kuna shida gani kwani kwenda nje ndio kufanikiwa toka lini muhindi akampenda mswahili mwanasheria unamgawaje mtoto wa mtu huoni hata dhambi ungezaa wewe ungegawa mtoto

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm ปีที่แล้ว

      Baba Ndo wakumshtumu.

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm ปีที่แล้ว

      Wanaweza kumharvest viongozi apewe huyu mahindi sababu Ana matatizo ya moyo. Ni biashara hiyo.

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@timejames5099umejijibu, Toka lini muhindi akawa rahis kumpenda mswahili kiasi hicho... Alikubali misaada bila kuwa na mipaka

  • @vero57
    @vero57 ปีที่แล้ว +4

    I hope hawata mfanyia kitu kibaya, kama kuchukua organ za huyo mtoto. Kwanini mama mtu asiambiwe??? Magufuli tunakukumbuka baba, hapa ni pesa zimetembea pole sana mama

    • @Queen-by6ei
      @Queen-by6ei ปีที่แล้ว +1

      Daa 🥺🥺 ndio nilichowaza

  • @timejames5099
    @timejames5099 ปีที่แล้ว +2

    Serikali kueni na uchungu basi na wananchi wenu mama wawatu mnamjua uchungu anaopitia mtoto anauma jamani msimgawe mtoto kwa shilingi kueni na huruma mama samia msaidie mama wa watu inaniuma sana nimeumia na ninaumia mpaka sasa

  • @malyondanga4635
    @malyondanga4635 10 หลายเดือนก่อน

    Uzembee wamama kupendaa rahaa twakusomesheea Asante atasomaa hadi ulaya Asante Marpo yaasantee Ndiyohayo mwapendaa vyadezo brajashoo

  • @AhmedAbdallahBakari
    @AhmedAbdallahBakari 7 วันที่ผ่านมา

    Da Tanzania ni nchi ya ajabu San tena san kiukweli inaumaa Sana mgeni ananguvu kulik mzaliwa Yani MTU anaondok na mtoto kama mtoto hakuzaliw huyu Baba afungwee jela angalau 30

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu Baba mtoto hana matungu naye Kwa sababu ni mtoto wa nje ya ndoa mbona anao watoto wengine hakuwapeleka Mama pambana mpaka tone lako la mwisho la Damu hao wamekusudia kukufanyia ukatili lakini haki Yako haipotei Iko siku atarudi mikononi mwako Inshallah.

  • @salma0000
    @salma0000 ปีที่แล้ว

    Rushwa ndio adui wetu mkubwa, bila ya rushwa yote hayo yasingewezekana, pole sana

  • @nasrayahya2885
    @nasrayahya2885 ปีที่แล้ว +1

    Baba mtoto mwana sheria wote wakamatwe was waswekwe ndani naserikali imsaidie huyu mama mtoto alejeshwe nchini

  • @ruu6592
    @ruu6592 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana ila hii inaonesha ukaribu wa mama na mtoto ulikua hafifu sana

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 ปีที่แล้ว +4

    Tuna mifano hai huwa hawarudishi watoto kamwe . Ni mmoja tu aliyeweza kufanikiwa kumpata mtoto wake. Aidha huwa wanawaambia mtoto kuwa kwenu wanakaa porini na wanyama aidha wanasema wazazi wako wamekuuza

    • @berthatz
      @berthatz ปีที่แล้ว +3

      Kesi kama hiii ilitokea Norway,Mbona walimrudisha mtoto….Hii clip ingetafsiriwa kingereza then ikasambazwa ubalozi wa Canada weee..kesi nzito hiii..

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 11 หลายเดือนก่อน +4

    mama apate haki yake ,mtoto anauma uchungu saana🙄🙄

  • @SajidaIkoma-bt8qk
    @SajidaIkoma-bt8qk 9 หลายเดือนก่อน

    Mama samia mama yetu mlezi, najua fika ww ni mwanamke ambae ulishawahi kuonja uchungu wa reba naomba msaidie mwanamke mwenzio apatiwe mtoto wake,😭😭😭

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 11 หลายเดือนก่อน

    Wazazi tupate kujifunza ni kweli kabisa kuwa tuna maisha magumu bali tunatakiwa tuwe makini na misaada .hata kama mtu amejitokeza kukusaidia usimwelemee sana na kumuacha mtoto wako amilikiwe na yeye.

  • @noorlheyaljabri602
    @noorlheyaljabri602 ปีที่แล้ว +1

    polesana dada munguakusaidiye mtotowako arudi jamanihuyumwanaume nakama alikuwashidayakepesa kwanini asiuzewalea alokuwa anakaanawo kwaza agewekwandani iliakili imsogee

    • @gracenkembo8318
      @gracenkembo8318 11 หลายเดือนก่อน

      kumbuka yule muhindi alikuwa anamsomesha mtoto toka hapa.ange kataa tangu mwanzo.kwa upande mwingine baba ana akili sana

  • @HusnaAbdalla-c2g
    @HusnaAbdalla-c2g 5 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mama yangu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 หลายเดือนก่อน

    MAMA WA MTOTO HATAKI. PERIOD!!

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 ปีที่แล้ว +1

    Duh pole! Kuna umuhimu kumbe wa kupima DNA iwapo Mtoto anataka kupelekwa Nje ya nchi

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 ปีที่แล้ว

      Dn hapo haihusiki dini ya kiislam kama mume hajakuowa mtoto sibabaake hana baba kazaliwa nje yandowa ila bara wengi hawajui mtoto waharamu mtu husema mwanawe

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 ปีที่แล้ว +4

    Wewe kaka ni mjinga eti mtoto ni WA baba unauhakika Gani sisi wamama tuna Siri kubwa unaweza jitapa kumbe umelea mimba mama ndiyo kiungo na ndiyo maana waislan wanazika mtu Kwa kitumia jina la mama na siyo baba

  • @aboudybahmesh5424
    @aboudybahmesh5424 11 หลายเดือนก่อน

    Maskini pole khadija Allah atamuhifadhi wahindi siwatu wazuri ni wachafu sana awaogopi mungu Kwanzaa na huyo baba ni mchawi wa nafsi wajua mtoto anafanyanini usiku mbona pesa zina wahadaa chungeni sana watu ni wabaya sana muombeni mungu sana

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wwtu mribde Mtoto huyu

  • @estermahenge-ks3dr
    @estermahenge-ks3dr 10 หลายเดือนก่อน

    mama samia tunaomba msaidie uyu mama jamani uchungu wa toto aujuae mzazi wake alie enda leba😢😢😢

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 29 วันที่ผ่านมา

    Jamani serekali imsaidie arudi mtoto,wote hao wanahusika kumuuza mtoto wamesha pewa pesa

  • @noorlheyaljabri602
    @noorlheyaljabri602 ปีที่แล้ว +2

    jamani mamasamiya tunakuwomba raisiwetu msaidiyeni mwanamke mwezetumwanayearudi mamayeto wadawatilajinsiya hakiyatotonanawanawake mamayetu bwajima tumakutegemeya namuwashulikeye hawpbaba nahakimnamwanashariya maanahatakama mama agekuwahakuwezakukaana mtoto kunaustawiwajamiy nasiyokumuuzanjeyanchi

  • @janechristophermkumbi9046
    @janechristophermkumbi9046 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini asipeleke wale watoto wa mke mkubwa ndani ya nyumba yake raise samia funga awo wa tu weka ndani you mama watamuwuwa angepeleka wale watoto wa nyumba kubwa mama samia saidia damu yetu Tanzania uwaje akauzwe mama tunakuomba uhamiaji wachunguzwe kwanini wamubadirishe majina uyo baba mbaya

  • @kimwanachangani3922
    @kimwanachangani3922 10 หลายเดือนก่อน

    Baba hauna huruma hata hauogopi mungu ..tamaa imekushika kwa faida yako ba familia yako ..

  • @dramakid7569
    @dramakid7569 10 หลายเดือนก่อน

    Tujifunze pia kurahisisha maisha..watoto wetu tuhangaike nao wenyew mm na umasiki wangu siwez kusomesha atakaa nyumbn..kayumba zipo kibao

  • @mosammo7724
    @mosammo7724 ปีที่แล้ว

    Uyu baba wa mtoto achukulie atua kali sana daa anauza mtoto

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo Tanzania mmeanza kuuza watoto inje? Mtoto arudi jamani tunamuomba president watching from Capetown

    • @shakilabakari6928
      @shakilabakari6928 ปีที่แล้ว

      Usiseme tanzania imeanza sema hiv huyo baba na cha kuzingatia jamn tuwe karibu na watoto tusiwaamini watu hivhiv jamn 😢😢

  • @edwinsilas4326
    @edwinsilas4326 ปีที่แล้ว +2

    Ngoja nife na shida zangu na watoto wangu sitaki misaada ya watu

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 ปีที่แล้ว +2

    Hata wakimbadilisha jina mradi tu uwe na mawasiliano,usimkoseshe mtoto bahati dada,jatakuja kukutafuta tu.

    • @leahmlagwa284
      @leahmlagwa284 ปีที่แล้ว

      Wakimchinja jee

    • @Tdm1389
      @Tdm1389 ปีที่แล้ว

      @@leahmlagwa284
      Sio kumchinja wakimtoa organ
      Tamaa mbele mauti nyumba.
      Alichopangiwa mtu na Mungu Hutimia,
      Km alipangiwa kusoma Atasoma
      Hataiwe chini ya mwembe

    • @HinohiatHidoCo
      @HinohiatHidoCo 2 หลายเดือนก่อน

      Acha kutetea uovu.

    • @HinohiatHidoCo
      @HinohiatHidoCo 2 หลายเดือนก่อน

      Eti usimkoseshe mtoto bahati!!! KWA NINI ASAFIRISHWE KINYEMELA BILA MAMA MZAZI KUJULISHWA. Halafu wewe!!! Sijui na wewe ni Mhindi mwenzao. Bora usingejitokeza humu na kuandika yasiyoeleweka.

  • @user-chungamali
    @user-chungamali 10 หลายเดือนก่อน

    Aki watanzania kweli wanapenda pesa 😢😢😢😢Yani uuze mtoto wako .ule mwanamme ni shetani sana .alafu wenye wamepata faida ni mama wakombo na watoto wake

  • @nicholasmkama2877
    @nicholasmkama2877 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini asipeleke kati ya watoto wa mke anayeishi naye?ina maana watoto wa mke wake hahitaji wakasome huko Canada?.

  • @saeedalyahmadi1738
    @saeedalyahmadi1738 ปีที่แล้ว +2

    Mazingira uliyatengeneza kuanzia mtt akiwa mdogo kabisa maama NA wewe ulaumiwe, but tu nakuombea umpate mwanao

  • @user-tv9vt4qx2n
    @user-tv9vt4qx2n 10 หลายเดือนก่อน

    WanUme mkishaishiwa msifanye watt vitega uchumi kina Mm tunajitahidi sana kulea wtt wetuuu

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s 28 วันที่ผ่านมา

    Makubwa ,kweli hali mbaya hadi mmefikia kuuza watoto jmn Mungu atusaidie hii ni hatar

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 6 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭inauma sanaa jmn

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    Pole sana uyommewako akamatwe haraka ilimtoto arudi tz

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว

    Mtihani sana jamanii hii miteremko haina mwisho mwema yaani unge wakatalya tangu awali haya yote yasinge kukuta bora unge mpeleka ty kayumba

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt ปีที่แล้ว +3

    Mtoto anauma jamani acheni mama adai mwanae ata kama ingekua ni wewe mtoto kusoma atukatai lakini wao wamemfisha

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 ปีที่แล้ว

    Nafurahia saaana kazi yenu global

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว +1

    Kumbe kamfanana.bibi.mzaa mama

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 11 หลายเดือนก่อน

    Huyo mhindi ana tatizo la moyo halafu wanamruhusu aasili mtoto kwanza tangu lini mhindi akampenda mwafrika mpaka kutaka kuishi nae na kumsomesha huko bongo wahindi huwa wanajitenga sana na makabila mengine hata huku majuu na kule kwao india wana ubaguzi sana na watu weusi

  • @SajidaIkoma-bt8qk
    @SajidaIkoma-bt8qk 9 หลายเดือนก่อน

    Kuzaa mtoto nje ya ndoa siyo shida ni mapenzi ya mungu, mama apatiwe mtoto wake jamani ww baba kauze wakwako ulionao ndani,

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว +4

    Hawana nia njema kwanini wabadikishe jina

  • @maryamhassan7000
    @maryamhassan7000 ปีที่แล้ว +1

    Mm kama mama nilie zaza kwa uchungu hyu baba kichwa chake halali yangu😢 leba sio kuzur fanya mchezi mamaae

  • @kayulaedwin2587
    @kayulaedwin2587 ปีที่แล้ว

    Pole, mtoto anauma jitahidi umpate mtoto wako kabla hawajamuingiza kwenye ushoga hawana nia nzur na huyo mtoto nenda ubaloz wa Canada ukawashtaki hao kama unajua majina yao

  • @hadijaramadhani4801
    @hadijaramadhani4801 ปีที่แล้ว

    Kwanini kwanza walaImishe kuondoka na mtoto mama kakataa basi unalaImisha wako huy yaan mm.huy baba aisee sijui tuningekuwaje jaman

  • @SajidaIkoma-bt8qk
    @SajidaIkoma-bt8qk 9 หลายเดือนก่อน

    Kama mama wamtoto anakataa mtoto wake asichukuliwe yupo sahihi kwakuwa yy ndiye mmiliki Harali wa mtoto,hakiyake apewe,baba mzazi nikatiri sana Hana uruma anaroho ya kinyama sana,au kwakuwa yy anawatoto wengine ndiyo sababu ya kumuumiza mzazi wenzake siyo utu