Dah!!!sikutegemea kama kamanda uko vizuri hiv umetiririka namstari vizuri safi sana bwana mliro lazima tujiamini nalazima tuaminiane nakupa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
This Guy Is Well Educated, And Of Course He Seems To Have Acquired A Wide Range Of Knowledge Based On His Field Of Work As A Police Commanding Officer. Hongera Sana Ndugu Muliro. Mwenyezi Mungu Akuongezee Elimu Na Maarifa Zaidi Kwenye Kazi Yako Ya POLISI USALAMA WA RAIA.
Ahsante Afande Murilo yaani umeweka wazi kila kitu Hongera Kamanda naamini sasa jeshi letu watu wamelielewa na si kulipaka matope kwa vitu ambavyo vya uvumi
Anastahili pongezi zipi ?? watu wanatekwa na kuuwawa yeye akiulizwa hajui anajificha kwy kivuli cha upelelezi unaendelea?? unampa pongezi kwa Lipi??? wkt raia hawako salama
Upo vizuri kamanda sana leo nimekuelewa.sio wengine hawatupi moyo badala yake ni vitisho tuu utadhani wao wapo salama na hawafi. Ila ccm msiwaingilie hawa polisi kazi zao na kuonekana wabaya . Mnatuaribia nchi yetu
Muliro umeeleweka vizuri mno hongera sana..Nadhani hata wavunja sheria wameelewa..Japo ki ukweli ishu za utekaji zimezidi, kuna jambo lazima lifanyike kwa kina
Polisi wa sasa ni tofauti sana na wazamani hili nakubaliana nalo 100% hongera sana SACP MULIRO kwa point nzito sana ni haki yako kuwa na cheo hicho ila bado wapo ambao bado wana changamoto
Police wote mpaka wa barabarani wangekua hivi tungekua vizuri sana,iwapo wakifanya kazi namna hii kwa weledi kujua nani ni raia asiyefaa na nani ni raia mwenye shida..watu wanaosema ni wanasiasa na wana harakati ndiyo hugeuza maneno mitandaoni na kumbe wanaweza kua sehemu ya waharifu, kuna mtu hua anasemwa yeye ni nabii na akisema mambo yanatokea,imagine mtu kama huyo anapaswa kuchunguzwa kwa sababu anaweza kua ni sehemu ya kikundi cha uharifu.
Professionalism haiwezi kukaa meza moja na Rushwa. Kwa hilo sio sawa lakini pia kimsingi Police haiko kwenye group la Professions bali kwenye group la job kwasababu kuna baadhi ya vipengere haivikidhi. Je, huko magereza hakuna waliosingiziwa. Kama bado wapo ni wazi kuwa anaongea uongo.
@@giningionlineTvmbona unalazimisha kuonekana askari wengine hawana akili? Hilo litakusaidia nin kwan....au ni faraja kuona polisi amekosea ndio upate cha kesema?
But kinacho kera na kuumiza hasa raia wema nikuona muhalifu. tena mwenye uzibitisho. Au ushahid anatetewa mahakamani tena kunawengine wanashinda kesi Kwa sababu tu mashahid hawapendi kuwa. Sehemu ya chuki. nakuhatarisha family zao. Kwa vitsho hatakama wanajua ukwel. Watukio. labuda Sheria. za ushahidi ziboreshwe zaid. 💪💪👉🫶🇹🇿
Pamoja na maelezo ya kamanda wanaofikiri kwa kina wanaweza kusema ni siasa maana kuna kesi za muda mrefu kama kupigwa risasi kwa lissu watuhumiwa hawajapatikana
Kamanda somo limeeleweka saana tena saaana, natumai walimu wako wanafurahia matunda, tuhuma ziko nyingi kwa Jeshi la Police ila mkijitokeza na kutoa ufafanuzi jamaa inapumua na kujenga iman na Jeshi, ila Poleni saana mana likifanywa hata na taasisi nyingine lawama huwa ni kwenu
Commander kusundi kazi hiwe zuri hinabidi huwe na wasadizi Bora na wenye huwelewa,hapo jeshi lako litakuwa la hukweli, haya malamiko Kwa wananchi takwisha.maana Sasa Rai hakiona janga haongopa kutalifu police maana hatasumbuliwa,kwavile Rai wanagopa, je hii utafanyaje kusundi raia wakusadiye ,waliona tukio.
Kamanda Muliro amefafanua na kuwasilisha vizuri mada yake. Ni kweli jeshi la polisi ni letu kwani waliomo ni ndugu na watoto wetu ila inahitajika kusafisha jeshi la polisi ili baadhi ya ambao hawastahili waondoshwe ili kuondoa mashaka kwani kuna watu hawakuwa na tabia njema mtaani unakuta tayari ni askari polisi je mwisho wa siku tutarajie nini? Jeshi la Polisi linapaswa kujenga imani ya kuaminiwa na raia kiutendaji ili kuondoa mashaka na wasiwasi kwani badala ya raia kuona mahala salama ni polisi inakuwa kinyume chake hadi kuna misemo mtaani "kuingia polisi bure, kutoka hela" aidha umepeleka kesi au umeshtakiwa. Sina mashaka na askari upelelezi wa jeshi letu katika utendaji wao maana ziko kesi ngumu walishapata ushahidi bali mashaka yanakuja pale baadhi ya mambo kuonekana kama hayashughulikiwi... Ni muhimu sana jeshi letu kujitathmini na kurejea kujenga imani kwa raia. Pamoja na kwamba tuna matatizo ya mengi ya taarifa za mitandaoni kuwa aidha potofu, kutokamilika ama kutokuwa sahihi hili linatokana matumizi yasiyo mazuri katika mitandao yanayotokana na wengi kutokuwa na elimu na ufahamu wa faida wanazoweza kupata kupitia mitandao na ndio maana udaku na burudani ndio vitu pendwa hapa kwetu.
Ngoja na sisi comment kidogo mpaka watu wamefikia kusema labda vyombo vingine kutoka nnje vije vichunguze ni kwamba huu ugonjwa wa kutekana haujaanza Leo Toka awamu tano ndio uliko anzia na Sasa unaendelea ndio maana watu wakakata tamaa sawa na mtu umeumwa mda mrefu huponi kama una hera SI unaweza hata kwenda nnje ya nchi kutibiwa ndio tulipo fikia kama taifa Kwa hiyo watu wako trues
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
❤
Dah!!!sikutegemea kama kamanda uko vizuri hiv umetiririka namstari vizuri safi sana bwana mliro lazima tujiamini nalazima tuaminiane nakupa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I do appreciate you commander Muliro, you explained it very well
This Guy Is Well Educated, And Of Course He Seems To Have Acquired A Wide Range Of Knowledge Based On His Field Of Work As A Police Commanding Officer.
Hongera Sana Ndugu Muliro. Mwenyezi Mungu Akuongezee Elimu Na Maarifa Zaidi Kwenye Kazi Yako Ya POLISI USALAMA WA RAIA.
Ni mtu na nusu! Anajua na anajua sana......!Nimezidi kumfurahia.
But he is not well informed on some issues,How can you say that Msofe was kidnapped yet....he was in the court of law!
Anajitahidi
@@PASCALKANGIRIAmfurahie mpaka yatakapo kukuta.
Ahsante Afande Murilo yaani umeweka wazi kila kitu Hongera Kamanda naamini sasa jeshi letu watu wamelielewa na si kulipaka matope kwa vitu ambavyo vya uvumi
Respect fou you,Good job
Big up Commander Muliro. Umefafanua kitaalam kabisa na kwa hakika unastahili pongezi kubwa.
Anastahili pongezi zipi ?? watu wanatekwa na kuuwawa yeye akiulizwa hajui anajificha kwy kivuli cha upelelezi unaendelea?? unampa pongezi kwa Lipi??? wkt raia hawako salama
Pongozi zipo hizo kenge wewe
@@musa-v3f Kuna watu sijui kama wanajua kinachoendelea kwa kweli
Kamanda wangu Muliro uko vizuri sana ❤❤❤Mungu akubariki
Very bright sir
Very good with due respect.
Well educated
Hongera sana kaka @muliro mungu akubariki nakutabiria kuwa IGP Mtarajiwa mungu atende jambo kwako🙏🙏🙏🙏
Hongera sana sana Afande Muliro. Uko vizuri mno mno. Very composed, indeed🎉🎉
Speech nzuri Sana kama hawajaelewa wanahitaji msaada wa maonbi , hongera kamanda mliro
Statement nzuri ya kueleweka kutoka kwa Polisi kuhusu kupotea kwa Wananchi
Afande vizuri, huku kwenye site mambo ni tofauti.
Sikujua kama huyu kamanda ni mwanazuoni kiasi hiki. I wish kazi zao zingekuwa hazifanywi kisiasa.
Upo vizuri kamanda sana leo nimekuelewa.sio wengine hawatupi moyo badala yake ni vitisho tuu utadhani wao wapo salama na hawafi. Ila ccm msiwaingilie hawa polisi kazi zao na kuonekana wabaya . Mnatuaribia nchi yetu
Kwa statement yako Kananda umetuelewesha vizuri sana!! Shida hapa ni teamwork kwenye baadhi vyombo vyetu au taasisi nyeti.
U said it all na yote inatokana na tamaa ya rushwa
Huo ndio ukweli
Shida kubwa Polisi mmekuwa mkionesha Upendeleo wa wazi kwa ccm.
Safi sana umeeleweka vizuri kamanda
Ila mulilo namkubali sana,❤yuko vyema sema tuu baadhi yapolice hawapo njia moja,nahawawezi kuwa sawa wote,ila chapakazi kamanda,mulilo.
Hawa TLS Wa awamu hii nawaona wakija kivingine kabisa yani kisasa na wenye tija kwa Taifa.
Miaka yote TLS walikuwa wanashikiriwa chin ya vyombo vya kiserikali lkn sahz wamejitenga
Yani kiukweli wako vzr nimewakubali uongozi wao huko vzr
@@harunimvamba4886sasaivi wana uhuru wakugonga vyuma juu ya vyuma congole kwao.
🎉
I love muriro ❤
Wasilisho liko vizuri Sana 👍
Afadhali umetuelewesha mana wengi watanzania wakiona mtu kavaa suti tai na nimwana sheria baaas tunaamini lakin leo Mzee Muliro umeelewesha
Big up sana Kamanda Muliro.
Muliro umeeleweka vizuri mno hongera sana..Nadhani hata wavunja sheria wameelewa..Japo ki ukweli ishu za utekaji zimezidi, kuna jambo lazima lifanyike kwa kina
Very good speech mr muliro.
Upo vzr mkuu. Nimekuelewa
Hapa nistory2 kwenye utendaje nitofout sanaa
Kongamano Ni muhimu Sana Bila Kongamano tisingepata ufafanuzi wa Kamanda huyu mwenye weledi wa Hali ya juu
Upo vzur....
Shukuruni mungu wabongo wengi hawajui Sheria laa sivyo sijui ingekuaje
Saf kamanda hotuba yako nzur kabisa👍👍👏
Thanks kamanda murilo
mzee uko vzr sana
Mulilo 🎉🎉 Unastahili sio hao wanashelia
Big up kamanda muriro. umeeleweka vzr
Salute commander
Kamanda uko vzr brother
Safi Sana Murilo. Hongera
Axant
Huyu kamanda ni kiongozi kweli. Nimekukubali Afande endelea kulitumikia TAIFA LETU KWA UAMINIFU NA WELEDI. BARIKIWA SANA.
chuma leo kimecheka duh🫡. one love mwambukusi mm ni shabiki wako👊.
Hakika kamanda muriro umeongeya kwa kujiamini mana unaelewa sheriya hakika wewe kamanda 🎉🎉🎉🎉
Upo safi kamanda wangu
Hongera kamanda wetu.somo limeeleweka
Camanda upo fiti mungu akubariki akupe umri mrefu
Komanda kweli huko sawa,Nakupa. Marks 99 kwenye kutoa maoni sahihi .ongera sana
Policcm... Mnafanya kazi Kwa maelekezo ya CCM... Kwanini wapotee watu wanaoikosoa CCM tu
🙏
Polisi wa sasa ni tofauti sana na wazamani hili nakubaliana nalo 100% hongera sana SACP MULIRO kwa point nzito sana ni haki yako kuwa na cheo hicho ila bado wapo ambao bado wana changamoto
Police wote mpaka wa barabarani wangekua hivi tungekua vizuri sana,iwapo wakifanya kazi namna hii kwa weledi kujua nani ni raia asiyefaa na nani ni raia mwenye shida..watu wanaosema ni wanasiasa na wana harakati ndiyo hugeuza maneno mitandaoni na kumbe wanaweza kua sehemu ya waharifu, kuna mtu hua anasemwa yeye ni nabii na akisema mambo yanatokea,imagine mtu kama huyo anapaswa kuchunguzwa kwa sababu anaweza kua ni sehemu ya kikundi cha uharifu.
Niliwahi kuwaambia Muliro ni genius huyu mtu huwa hakurupuki,mwamba kabisa huyu IGP ajaye
Professionalism haiwezi kukaa meza moja na Rushwa. Kwa hilo sio sawa lakini pia kimsingi Police haiko kwenye group la Professions bali kwenye group la job kwasababu kuna baadhi ya vipengere haivikidhi.
Je, huko magereza hakuna waliosingiziwa. Kama bado wapo ni wazi kuwa anaongea uongo.
Master your language then njoo ulete hizo criticism. Jipange kwa kesho, wewe ni akili ndogo.
To be honesty huyu Murilo ni kamanda msomi na anayejielewa mno and very smart officer kupata kutokea to my experience of more than 3 decades.
Kwani Msofe alikufa kweli?
Hongera kamanda
Tunajuwa unajuwa kujieleza vizuri tu hata la Saanane, Lissu. Ukiulizwa utajibu limefika pazuri
Huyu ndiyo alitakiwa awe IGP sasa maana IGP yeye hata Huwa haongei
Huyo ambae haongei akiongea tu ujue imebidi sana
Namuona KAMANDA WANGU MULIRO J.MULIRO YUPO TIMAMU SANA
Huyu kamanda muriro nakukubali sana ufafnuzi mzuri sana mwenye akili amekuelewa alokuja kisiasa hatakuelewa
Kamanda langu hilo🫡🫡🫡🫡🫡. Sio kuwa ni Askari tu Mpaka sheria zimekaa ila kuna makamanda wenzake ndio wanamuangusha. 🎉🎉🎉
Kumbe Kuna askari Wana akili hivi.... Duh safi sana!!!
Huo ni uelewa wa Askari Kiongozi sio Wote, kwahivyo unapaswa useme "Kumbe Muliro una akili hivi" sio Askari wote
Huyo ni mwanasheria kitaaluma
@@giningionlineTvmbona unalazimisha kuonekana askari wengine hawana akili? Hilo litakusaidia nin kwan....au ni faraja kuona polisi amekosea ndio upate cha kesema?
Mpumbavu huyo kwani yeye anaakili.
@@giningionlineTv good argument,,, but not true! Zingatia Neno "KUNA" So, wote is exclusive katika mazingira hayo 😂
Sema huyu kamanda namkubali sana
KAMANDA UMEFUNIKA VIBAYA SANA NAKUPA SALUTE KAMANDA
Hongereni sana polisi Sisi MUJATA tunakupongeza
Leo umefafanuwa
Hivi ndio kumwambia mpumbavu ,pumbavu wewe20:03 bila kutumia neno mpumbavu , Hongera sana Kamanda Murilo
But kinacho kera na kuumiza hasa raia wema nikuona muhalifu. tena mwenye uzibitisho. Au ushahid anatetewa mahakamani tena kunawengine wanashinda kesi Kwa sababu tu mashahid hawapendi kuwa. Sehemu ya chuki. nakuhatarisha family zao. Kwa vitsho hatakama wanajua ukwel. Watukio. labuda Sheria. za ushahidi ziboreshwe zaid. 💪💪👉🫶🇹🇿
Kwa mara ya Kwanza namuona mlilo Akicheka😅
Nipo saudiya mtanzaniya nakukubali kamanda big up
Roudha, Saudia upo sehemu gani?
Mama mama ningerikuomba katika Uhai wangu Uyu camanda muliro ikikupendeza mama mpe U AGP, ,ana weledi flani ambao police wakubwa wengi Awana
Kamanda Muliro, unastahili pongezi sanna, ulichonifurahisha unaongea kwa kujiamini na umeongea fact. Tumekuelewa kamanda wetu.
Tuwe na sela ya serekali TU ndiyo hayo yonte yataisha maana wataacha kupewa oda ya chama
Maneno mengi ya uchochezi Yana Toka kwenye mapindunzi
SASA mbona wanakufa na mnahusika Kwa kiasi Fulani? MTU anakamatwa na miongoni mwa watu wako, na anakutwa amekufa, WAPO WAPI WAUWAJI?
Pamoja na maelezo ya kamanda wanaofikiri kwa kina wanaweza kusema ni siasa maana kuna kesi za muda mrefu kama kupigwa risasi kwa lissu watuhumiwa hawajapatikana
Kamanda safi sana ....
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kamanda anathibitisha kuwa zamani walikuwa wanabambikiza kesi na kupika ushahidi ! Sasa ivi wameacha.
Hao wanao pigapiga makofi ni watu wa ainagani
Kamanda somo limeeleweka saana tena saaana, natumai walimu wako wanafurahia matunda, tuhuma ziko nyingi kwa Jeshi la Police ila mkijitokeza na kutoa ufafanuzi jamaa inapumua na kujenga iman na Jeshi, ila Poleni saana mana likifanywa hata na taasisi nyingine lawama huwa ni kwenu
Ulitaka lawama iende kwa nani
Commander kusundi kazi hiwe zuri hinabidi huwe na wasadizi Bora na wenye huwelewa,hapo jeshi lako litakuwa la hukweli, haya malamiko Kwa wananchi takwisha.maana Sasa Rai hakiona janga haongopa kutalifu police maana hatasumbuliwa,kwavile Rai wanagopa, je hii utafanyaje kusundi raia wakusadiye ,waliona tukio.
Kamanda umeongea vizuri sana Tunauwaminifu na wewe
Moja ya hotuba ya maana sana
Mulilo umefanya vizuri
Pturi
Umetupiga nondo Leo mzee
Wow
Kamanda Muliro amefafanua na kuwasilisha vizuri mada yake. Ni kweli jeshi la polisi ni letu kwani waliomo ni ndugu na watoto wetu ila inahitajika kusafisha jeshi la polisi ili baadhi ya ambao hawastahili waondoshwe ili kuondoa mashaka kwani kuna watu hawakuwa na tabia njema mtaani unakuta tayari ni askari polisi je mwisho wa siku tutarajie nini? Jeshi la Polisi linapaswa kujenga imani ya kuaminiwa na raia kiutendaji ili kuondoa mashaka na wasiwasi kwani badala ya raia kuona mahala salama ni polisi inakuwa kinyume chake hadi kuna misemo mtaani "kuingia polisi bure, kutoka hela" aidha umepeleka kesi au umeshtakiwa. Sina mashaka na askari upelelezi wa jeshi letu katika utendaji wao maana ziko kesi ngumu walishapata ushahidi bali mashaka yanakuja pale baadhi ya mambo kuonekana kama hayashughulikiwi... Ni muhimu sana jeshi letu kujitathmini na kurejea kujenga imani kwa raia.
Pamoja na kwamba tuna matatizo ya mengi ya taarifa za mitandaoni kuwa aidha potofu, kutokamilika ama kutokuwa sahihi hili linatokana matumizi yasiyo mazuri katika mitandao yanayotokana na wengi kutokuwa na elimu na ufahamu wa faida wanazoweza kupata kupitia mitandao na ndio maana udaku na burudani ndio vitu pendwa hapa kwetu.
DAH!! KONGOLE KAMANDA, UMEPIGA KWENYE MISHONO!! HII KWELI INAITWA NGUMU KUMEZA!!
IGP ajaye
Kamanda unafaa kuwa IGP viwango vyako vya uwelewa wakazi Yako upo juu sana kamanda hapo tumekuwelewa watanzania
Kamanda nimekuelewa San somo limewafikia 💯
Umeomgea vizuri lakini maswala ya kuwaua watu linaharibu image yenu na nchi Kwa ujumla mjitathimini Kwa sababu imekuwa too much
Ikimpendeza mungu wewe murilo uwe igp
huyu jamaa ndo alitakiwa awe IGP Watanzania kwakweli anapoint za ki IGP kabisaaa🙏🙏🙏🙏
Safi sana m soldier wangu, yote umesema ni kweli.
Wafundishe kiongozi.Hao wengi wao wanamihemuko ya kisiasa
Ngoja na sisi comment kidogo mpaka watu wamefikia kusema labda vyombo vingine kutoka nnje vije vichunguze ni kwamba huu ugonjwa wa kutekana haujaanza Leo Toka awamu tano ndio uliko anzia na Sasa unaendelea ndio maana watu wakakata tamaa sawa na mtu umeumwa mda mrefu huponi kama una hera SI unaweza hata kwenda nnje ya nchi kutibiwa ndio tulipo fikia kama taifa Kwa hiyo watu wako trues
Maelezo ni mazuri sana ila kinachotuhofisha ni ile tabia ya uchawa kwa wafuasi
This is so sad Msofe is Alive. Am sorry for his family and his children.