SIMULIZI:BI AKIBA MTANZANIA ALIEFARIKI MAKKA MAAJABU MAZITO MTOTO WAKE ASIMULIA "ALIJIOMBEA DUA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น •

  • @yasinimalya4001
    @yasinimalya4001 2 ปีที่แล้ว +20

    Dah yani Dada yangu wewe ni mtoto mwema na Baraka kwa wazazi wako na hakika wamekupa malezi mema na hii ni kukufundisha dini MashaAllah! Ee Allah tujalie tuwe miongoni mwa waja wako wema na utujalie tuwe wazazi wema kwa watoto wetu, kesho waweze kutengeneza vizazi vyema. Alhamdulillah 🙏🏾

  • @inspirationalclips1422
    @inspirationalclips1422 2 ปีที่แล้ว +18

    Machozi yananitoka mimi mja dhaifu , mwenye chungu nzima ya madhaifu na madhambi
    Yaa ALLAH nisamehe kwa Rehema zako na uniingize peponi bila ya hesabu .
    Kama ulivyonipa neema ya uislamu ukubwani Alhamdulillah
    Amyn 🤲

    • @zulfaali5630
      @zulfaali5630 4 หลายเดือนก่อน

      Mm pia nna shaki

  • @Marim-p3f
    @Marim-p3f 6 หลายเดือนก่อน +41

    Huyu mama siwez kumuelezea mama mnzur sana hana mabaya niliweza kuishi nao kama mfanyakazi wao wandan nlitokea bara dar salaam walinfnya kama mtoto wao walinpenda san hawakunibagu mungu mlaze mahari pema pepon amiin😭😭😭polen sana familia nzima bi akiba

    • @freenaturetv
      @freenaturetv 5 หลายเดือนก่อน +1

      NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI

    • @tausimadezi2137
      @tausimadezi2137 5 หลายเดือนก่อน

      Aameen Aameen Aameen 🤲🏻 Polee Pia ni Msiba wako

    • @AgustaZaile
      @AgustaZaile 4 หลายเดือนก่อน

      Pimbi kweli wewe😅😅😅😅

  • @saidirahisi6436
    @saidirahisi6436 6 หลายเดือนก่อน +14

    MAASHALLAH! MOLA ATUZIDISHIE IMANI YA KUMCHA YEYE NA ATUJAALIE KIZAZI CHEMA KAMA HUYU BINTI INSHAALLAH!!

  • @najibathAbdul
    @najibathAbdul 6 หลายเดือนก่อน +12

    Yaa Allah mpe mama yetu Akiba pepo yajuu Kama alivokuwa akiiomba . Allah akuridhie katika Kila amali zako .nasi watoto zako tufate nyayo zako inshallah ❤❤

    • @freenaturetv
      @freenaturetv 5 หลายเดือนก่อน

      NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI

  • @seifseif1572
    @seifseif1572 2 ปีที่แล้ว +90

    Mama amekujenga Masha'allah ..Familia yenu ina'athari kubwa ya Dini Namuomba Allah msipungukiwe katika hili!!

  • @angelaurassa9748
    @angelaurassa9748 2 ปีที่แล้ว +29

    inalillah wainalillah rajiun yaani we dada Allah akuongoze uwe kama mama yako nimekisikiliza kwa makini sana umenifanya nilie umeniongeze kitu katika imani Allah atujalie sote mwisho wema na watoto wema amiin

  • @habityabsa997
    @habityabsa997 2 ปีที่แล้ว +33

    Subhanallah 😢 hakika Mwenyezi Mungu humpandisha cheo amtakaye! Bi Akiba ame pata bahati ya pekee. Msiba wake ni huzuni na furaha! Allah amghufirie madhambi yake na amjaalie pepo ya daraja ya juu kabisa 🤲🏾

    • @aimerancedido3454
      @aimerancedido3454 2 ปีที่แล้ว +1

      Allahuma ameen 🤲

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 10 หลายเดือนก่อน

      Hhhuyhggguyyytttgf4rrfy

    • @freenaturetv
      @freenaturetv 5 หลายเดือนก่อน

      NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI

    • @fatimaidresa1283
      @fatimaidresa1283 5 หลายเดือนก่อน

      Ameen

  • @wema3619
    @wema3619 2 ปีที่แล้ว +55

    Imeelezwa Ktk Qur'an Kuwa Mtu Mwema Huonekana Nuru Ktk Sura Yake Masha'Allah Ukhut Nafikili Nawewe Nikati YaHao Watu Tulioelezwa Yaa-Rabii Matamanio Ya Moyo Wangu Nikuwa Kama Huyu Mja Wako Alietangulia Mbele zako na Kuwa Nakizazi Km Chake اللهم تكبر دعاء 🙏

    • @nuujaimaabdallah8931
      @nuujaimaabdallah8931 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @abnaaa7197
      @abnaaa7197 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @neemamireillegbenye7898
      @neemamireillegbenye7898 2 ปีที่แล้ว +1

      Ameen 🤲🏾🤲🏾

    • @sweetiemollel7567
      @sweetiemollel7567 2 ปีที่แล้ว

      Innalilah wainalillah rajun

    • @HawaHawa-f7u
      @HawaHawa-f7u 6 หลายเดือนก่อน +1

      Allahuma amiina inshallah rabby tujaalie nasi na wazazi wetu na waislamu wote kwaujumla tuwe miongonii mwawaja wema

  • @ireneshao1700
    @ireneshao1700 2 ปีที่แล้ว +69

    Poleni sana dada jamani siwezi kukaa kimya japo mkristo dada ume lelewa vizuri sana mama alikuwa ana Waleya kwenye misingi mizuri Mungu awape wepesi

    • @mohammedrajabumwamba1322
      @mohammedrajabumwamba1322 2 ปีที่แล้ว +3

      🤝 nawe pia mwenyezimungu Akujaalie kilalakheri

    • @hamzahkanuni4830
      @hamzahkanuni4830 6 หลายเดือนก่อน

      Mashallah ukti ALLAH akifanyiwa wepesi kwa kila jambo

    • @freenaturetv
      @freenaturetv 5 หลายเดือนก่อน

      NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI

  • @assoistiquamat2397
    @assoistiquamat2397 2 ปีที่แล้ว +88

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiuna Allah Amrehem hajat Huu Akiba Wallah Alizaaaa😭😭naamewacha Watoto Wemaaaa Huu Nimfano Mwema Wamalezii Tuigee Maleziii Sinikutoka Burundi Mola Akubali Ibada Zakee Amsameh Ampe Yale Mazuri Aliyomuomba Amin

  • @mwaminiadinanimwiri
    @mwaminiadinanimwiri 2 ปีที่แล้ว +11

    Wallah...nimesikiza roho ya imani imeniingia namuomb Allah niwe miongoni mwa waumini na watuwema...na MwenyeziMungu ailaze Roho mahali pema Peponi...

  • @zuheriswalehe4703
    @zuheriswalehe4703 2 ปีที่แล้ว +83

    Innalillahi waina ileihi rajiun . Ila we Dada masha Allah umejaaliwa iman kama mama yako ,wallahi umenitoa machozi na kunirudisha katika njia ya hakii

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 ปีที่แล้ว +28

    Wewe dada mume wako amepata dhahabu Ktk ndoa yake maashaAllah Allah Akujaalie kilalakheri dadayangu na ajaalie ndoa yako iwe ni yenye kheri na Barka tele na kizazi chako Allahumma Amiin 🙏

    • @SunnahMickdady
      @SunnahMickdady 6 หลายเดือนก่อน

      😊😊

    • @وزعغ
      @وزعغ 6 หลายเดือนก่อน

      Amin

    • @karimkassingo571
      @karimkassingo571 5 หลายเดือนก่อน

      Aaaamin

    • @freenaturetv
      @freenaturetv 5 หลายเดือนก่อน

      NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI

    • @AliiNsunzahRamadhan
      @AliiNsunzahRamadhan 4 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤

  • @victorvenantkaigarula6255
    @victorvenantkaigarula6255 2 ปีที่แล้ว +77

    Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Bi Akida,Mwenyezi Mungu atuongoze katika njia yake na atujalie mwisho mwema,Amina.

  • @enterenter7798
    @enterenter7798 2 ปีที่แล้ว +14

    Naam niliwah kwenda umra kila baada ya swala huswaliwa swalat jeneza,, Mashaa Allah mam amezikwa vizr naamehifadhiwa sehem nzuri mchanga wamadina mzuri jaman Allahu Akbar Allah amjaalie Jannat firidaus 🤲🤲🤲🤲🤲

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 2 ปีที่แล้ว

      Amin na sisi sote

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 7 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Amiin 🤲

    • @HamidaAlbusaid
      @HamidaAlbusaid 6 หลายเดือนก่อน

      Allah amrahamu. Amin. ​@@abuubilal2646

    • @SalmaSimeon
      @SalmaSimeon 5 หลายเดือนก่อน

      Allahuma amiin na sisi sote

  • @mwanaishamzelela3354
    @mwanaishamzelela3354 6 หลายเดือนก่อน +8

    mashaaAllah 😢😢 mwenyez MUNGU amjalie pepo na sis tuliobak Allah atujalie subra Amiin

    • @freenaturetv
      @freenaturetv 5 หลายเดือนก่อน

      NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI

  • @fakihkhalfan-gr4se
    @fakihkhalfan-gr4se 7 หลายเดือนก่อน +14

    Namuomba Allah amridhie Hajjat Akiba na sisi tumuombe Allah atupe mwisho mwema

  • @mozasultan5152
    @mozasultan5152 2 ปีที่แล้ว +4

    Ya rabb tujaalie mwisho mwemaa 🤲🤲... Tujaalie tudumu katk Yale mema yanayokufurahisha tueke mbali na Yale mabaya yanayokukacrisha yaaarabb tujaalie pepo ya daraja ya juu kbs 🤲🤲

  • @habibhassan7172
    @habibhassan7172 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah huyu dada ni mfasaha sana Allah amzidishie maana ameeleza mazungumzo yote kwa taratibu na sarufi hakika inayofahamika. Mama amelea hakika Allah amridhie

  • @hayati9453
    @hayati9453 2 ปีที่แล้ว +82

    Mashaallah namuomba Allah akujaalie ufate nyayo za mamaako,,,,,shemeji yangu kapata mwanamke mashaallah

    • @tunudachitalks6575
      @tunudachitalks6575 2 ปีที่แล้ว +3

      Nimeshindwa kujizuia ma shaa Allah she is a super woman ma shaa Allah ma shaa Allah

    • @tunudachitalks6575
      @tunudachitalks6575 2 ปีที่แล้ว +2

      Allahumma Ameen thumma Ameen

    • @jonathanmollel3548
      @jonathanmollel3548 2 ปีที่แล้ว +3

      Yaan huyu aliemuoa huyu dada amepata mke maashallah I wish ningalikuwa mie. Yan ametulia anajieleza anaijua Dini anaunyenyekevu maashallah. Allah akujaalie maisha marefu na mwisho mwema katika imaan.

    • @sufimsafi7582
      @sufimsafi7582 6 หลายเดือนก่อน

      Kama unamjua naomba number yake mumewe

  • @victorvenantkaigarula6255
    @victorvenantkaigarula6255 2 ปีที่แล้ว +337

    Nimemsikiliza vizuri huyu dada,amenifanya nitafakari mahusiano yangu na Mwenyezi Mungu...

    • @salmajumanne3634
      @salmajumanne3634 2 ปีที่แล้ว +3

      Amin amin

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kbs

    • @ramlamussa613
      @ramlamussa613 2 ปีที่แล้ว +2

      Sana yani jamani Allah atuhifadhi

    • @helenkambi3918
      @helenkambi3918 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 ปีที่แล้ว +4

      @@ramlamussa613 amiin amiin ya Rabiialamin,Ila nasi tujikurubishe kwake na atujaalie tuwe wenye kunyenyekea kwake,amiin amiin amiin

  • @salmasuleyman3274
    @salmasuleyman3274 6 หลายเดือนก่อน +5

    Allah awafnyie wipes wafiwa wote,amuangazie Nuru ktk kabur yake naomba Allah nami anijaalie mwisho uliokuw mwema kama huyu mama🙏🙏🙏🙏 Yarabbie nakuomba mwisho uliokuwa mwema na naomba niwe miongoni mwa wale uliowaridhia Amiin🙏🙏🙏

    • @freenaturetv
      @freenaturetv 5 หลายเดือนก่อน

      NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI

  • @ochutrendmwonekano5619
    @ochutrendmwonekano5619 2 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH ANIJAALIE MKE MWEMA KAMA HUYU DADA HAKIKA ITAKUWA MOJA YA BARAKA KUBWA MAISHANI MWANGU

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 2 ปีที่แล้ว +33

    Innalilahi wainnailayhi rajiun Allah amlaze mahali pema.
    Natamani namimi siku nitakapo kwenda kuhiji mwisho wangu uwe huko huko.

  • @jacksonshile2081
    @jacksonshile2081 2 ปีที่แล้ว +5

    Ya rabi mpokee mjaa wako mpe alicho kitaka nasi tujalie mwisho mwema na utupe pepo tuondolee hadhabu ya kaburi na hadhabu ya moto utupe pepo ALLAH TAKABALANA DUA ETINA AMIN

  • @simplyfay5308
    @simplyfay5308 2 ปีที่แล้ว +33

    Me nimelia sana baada ya kusikia hii habari Ila watoto wa marehem n watu wenye hofu ya Allah 😭 Allah awape subra na mama etu jannat firdaus yawe makazi yake yarraby🙏

  • @rahmatahmed1871
    @rahmatahmed1871 2 ปีที่แล้ว +11

    Ukhty Allah Akulipe umrii thawiil wenye twaa na waislam wote na Awarehemu jaamia mouti muslim wa muslimat yarabby...unaujasiri sana dadangu...
    Allah Amridhie mamaetu na jaamia mouti muslim wa muslimat yarabby 🤲 nimejifunza mengi kwa huu msiba wa mamaetu ...Allah atukutanishe na Mtume wetu MUHAMMAD SALALWAHU ALEIHIWA SALAAMU kwa sidri mutakha
    Amiin yarabil Ala Amiin 🤲

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 2 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah wallah najikuta na liya kwafuraha familiya nzuri sana tungekua sote waislam itakiwavyo hata wenzetu wa kristo wange silim bila shaka ukijua wislam ki sawa sawa na kuufwata ki sawa sawa nineem isiyo namfano pia ndo furah ya hapa duniyan na kesho akhera ananiongezea iman Allah awafariji nasiye atuongoze sote natupe mwisho urokua mwema🤲

  • @zaynabsalum526
    @zaynabsalum526 2 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah Allah awape mwisho mwema wazazi wetu na waislaam wote kwa ujumla

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 2 ปีที่แล้ว +200

    Waislam walioshika dini huwa wanamaanisha kweli kweli. Wanakuwa na hofu na Mungu na pia wanakuwa na imani na Mungu.

  • @mgenikhamis
    @mgenikhamis 2 ปีที่แล้ว +18

    Nimempenda huyu dada maashaallah mwenyezi mungu atujaalie na sisi subra ya hali ya juu kama yako dada

  • @nadiahussein5079
    @nadiahussein5079 2 ปีที่แล้ว +13

    Mashaallah nyumba yenye dini allihamdullah m mungu atupe mwisho mwema sichoki kumuangalia huyu dada wallah

  • @masoudomarhamad6296
    @masoudomarhamad6296 4 หลายเดือนก่อน

    Maashallah kisa kinasisimua Allah ampe daraja ya juu yeye pamoja na sisi tujaaliwe mwisho mwema inshallah

  • @ruqayyahmohammed3188
    @ruqayyahmohammed3188 2 ปีที่แล้ว +16

    Subhanallah!!! Allah ampe makazi mema pepon
    Nimejifunza kitu Allah atujalie mwisho mwema kwetu sote 🤲🤲🥺

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 2 ปีที่แล้ว +42

    Mungu mwenyezi tunaomba Upokee mama yetu mfia dini na Mwenye Imani thabiti.

  • @munasuleyman3159
    @munasuleyman3159 2 ปีที่แล้ว +15

    Mashallah mwanangu khanifa Allah atakupeni subra dada angu Allah kampenda na kamzawadia zawadi sote tunaililia nafasi hii Yarab mjaalie firdaus ya darja ya juu poleni mama

    • @husna34562
      @husna34562 2 ปีที่แล้ว

      اللهم امين

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 ปีที่แล้ว +135

    Innalillah wainnailaih rajiun 😭😭😭Kwakwel huyo Mama Kifo chake hakihuzunishi jaman 😭😭😭ikiwa mtoto wake yuko hiv je Mama Mzazi alikuwa je 😭😭Allah amlaze mahal pema pepon na sisi atupe mwisho mwema 🤲😭😭😭Sisi sote ni wa ALLAH na kwake tunarejea😭😭😭kifo chake kishajuilikana lkn chetu sisi hatujakijua kifo chake kinafurahisha Alhamdulillah Mashallah Yarab na sisi tujaalie mauti yetu yawe mepesi 🤲😭tufe katika mji mtukufu wa Makka tuzikwe na Mtume wetu Muhammad S. A. W. Na tuswaliwe ni watu katika watu wema 😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว +23

    MASHAALLAH MI MTU AKIFA KAMA HVYO HATA SIUMII NABAKI NAJIOMBEA MWISHO MWEMA TU MANA MAMA KAFA AMESHATUBU MASHAALLAH ALLAH AMPOKEE KWASALAMA NASI ATUPE MWISHO MWEMA ALLAHUMMA AAMIIN YAARABB.

    • @aishayeahhasan7379
      @aishayeahhasan7379 2 ปีที่แล้ว

      Hakikaa

    • @hamidayanga8224
      @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว

      @@aishayeahhasan7379 Yaani huyo kafa kama malaika hana dhambi hata moja unaumia nn? Jman tuombe mwisho mwema yarabb

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏mwenyezi Mungu mpumzishe kwa amani

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 2 ปีที่แล้ว +69

    ALLAH AKBAR ALLAH atujaliye mwisho mwema sisi na vizazi vetu AMEEN 🤲

  • @yassinerasmus7400
    @yassinerasmus7400 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakallahu khaila uyu bint amenifanya mpaka nikatoa machoz.namuomba Allah Akupe hekima na busara kama mama yako.pia namuomba Allah ampe mama yetu daraja ya juu kama alivyokuwa akiiomba kwa Allah haza wajjallah 🙏

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 2 ปีที่แล้ว +259

    Kwa niaba ya wa kristo wote ndani ya ayo tv tuna sema inalilah wa inalilah rajun kwa ndugu yetu alie mpoteza mama yake , Mungu awape nguvu hii familia

    • @assiahassan2671
      @assiahassan2671 2 ปีที่แล้ว +14

      na mm nakushuru Kama mwisilam huyu ndio umoja Mtume wetu tunaemkubali sote ISSA(yesu)katufundisha Amani na upendo ,Yani nimefurahishwa na Comment yako

    • @afandechanel1507
      @afandechanel1507 2 ปีที่แล้ว +4

      @@assiahassan2671 ubarikiwe tena na tena

    • @mwanaidomary7159
      @mwanaidomary7159 2 ปีที่แล้ว +2

      Aamin

    • @aminaally8475
      @aminaally8475 2 ปีที่แล้ว +2

      Allahumma ameen

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว +3

      Mwenyezi Mungu akubariki

  • @AdijaJillo
    @AdijaJillo 6 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah ALLAH atujaalie mwisho mwema, atujaalie tuwe pamoja na mtume MUHAMMAD( S.A.W) peponi na atuweke pmja na maswahaba

  • @alqamarchannel1740
    @alqamarchannel1740 2 ปีที่แล้ว +27

    Innalillah wainna ilayhi raajiun 😭😭
    Tumuombe ALLAH nasi Atupe mwisho mwema 🤲🤲

  • @mwajumachande4220
    @mwajumachande4220 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah atujaalie mwisho mwema INSHALLAH 🤲

  • @samiramahmud406
    @samiramahmud406 2 ปีที่แล้ว +8

    Innallillaihi wainna illaihi rajiun
    Allah Ampe kauli Thabit
    Ndugu yetu
    Amsameh madhambi yake
    Amuondoshee Adhabu za kaburi
    Na Amlaze mahali Pema Peponi
    Awal Daraja Jannat Firdaus
    Yaa Rabbi 🤲❤
    Poleni sana wafiwa wote
    Allah Awape Subra
    Yaa Rabbi 🤲❤
    Shukran sana
    Mdogo wetu
    Wasia Mzuri sana
    Allah Atuongoze kwa
    Sote,Tuwe miongoni
    Mwa waja wema
    na Tuwe watu wa Peponi
    Yaa Rabbi 🤲❤

  • @claudiangowi9628
    @claudiangowi9628 2 ปีที่แล้ว +77

    mashaalah dada yangu, Mimi si muislam lakini nimekupenda yote uliyoongea.🙏

  • @AshakoKassim
    @AshakoKassim 7 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤ Allah akbar umenifanya nijililie kuliko maman .maman allah amzidishie nuru kila siku Allah tujalie vifoo Bora

  • @mwamedypwemu6117
    @mwamedypwemu6117 2 ปีที่แล้ว +3

    allah n muokovu wawaja wake wote wema allah atupe mwishoo mwema nasi kwenye kutafuta wanawake wa ndoa tutafutee weny kujua din dada ameongea saf san bil kupepesa machoo wenzetu wazanzibar din ndo kila kit so unguja ty ndo din ipo apana dunian kote din ipoo ila zanzibar wapo vizuli allah anipe mkee mwema inshllah allah ampe kauli thabit nas. atupe mwisho mwema amin

  • @zenasaid9713
    @zenasaid9713 2 ปีที่แล้ว +9

    SubhanaAllah. Inna lillah wainna ileyhi rajiuon. Allahuma ghfirlaha warhamha waskinha fil jannah. Allahuma thabithna bil kauli thabit. Allahuma jaalna qabra raudha min riyadhil jannah. Kwa kweli kisa kizito na chakuskitisha Alhamdulilah Allah awazidishie imani ndani ya moiyo yenu nimemkumbuka marham mamangu kwa kweli ukipata taarifa ya kifo kitu cha kwanza kukifanya ni umsujudie mola wako na huwa wapata utulivu wa nafsi kupambana na jambo zito hilo.shukran kwa elimu nzuri mama yetu bi akida kwa kweli tumepata funzo zuri

  • @HidayaSaidi-u2f
    @HidayaSaidi-u2f 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tabarakah llah hakika nimekuelewa juu ya ujumbe wako dada allah akubariki na atuja'alie sote tuwe wenye kumuelekea allah subhana wata'ala tukawe waja wenye kuzifuata amri zake na sunna za rasul llah s.a w na atupatie mwisho uliokua mwema🤲

  • @wahidashabaz814
    @wahidashabaz814 2 ปีที่แล้ว +7

    Hakika ya imani ni ujasir Allah nijalie kheri katika imani ya dini yangu.innalillah wa innaillah rajiun

  • @luluray2115
    @luluray2115 2 ปีที่แล้ว

    Mim ni mkristo Ila wew dada haki umebarikiwa una kauli nzur una confidence unamjua Mungu haswaaa kiufup unavutia kusikilizwa🙏🥰

  • @qurankareem2275
    @qurankareem2275 2 ปีที่แล้ว +23

    Allah, anifanyie wepesi na mm niwe na mwisho Mwema 🙏

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 2 ปีที่แล้ว +3

    Ya Allah in shaa Allah tujaalie na sisi mwenendo kama huu. Ya Rabb wape familia subra na faraja

  • @raykhalamour3666
    @raykhalamour3666 2 ปีที่แล้ว +6

    Ma sha Allah.Allah amjaalie awe miongoni mwa watu wema wa peponi..na sisi ..Allah atujaalie khusni lhatima..amiin.

  • @HabibaBb-d3s
    @HabibaBb-d3s 3 หลายเดือนก่อน

    Subbunn llah 😭😭😭 yan iri tukio ni ramuda sana lakini bado rina nipa nguvu san kuomba msamaa kwa mwenyezi Mungu kwakweli 😢 mwenyezimung ampe kire aricho kiomba yaraaaab 😭😭

  • @jonathanmollel3548
    @jonathanmollel3548 2 ปีที่แล้ว +5

    Maashallah aliemuoa huyu dada amepata mke hakika. Napenda sana mwanamke anaeijua Dini anautulivu ana subra. Allah amsamehe mama huyu na amuondolee adhabu ya kabri

  • @MaysaraMuhidini
    @MaysaraMuhidini 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah amjaalie pepo Ya firdausi Na Atujaalie na sisi mwisho mwema. AMEEEN

  • @abdulfazb2089
    @abdulfazb2089 2 ปีที่แล้ว +35

    Innah wa Innah lillah Rajun Daaah Kwa kweli Dada Nimekupenda Bure Wallah Mwenyezi Mungu Akuzidishiye Katika Misingi Mema Daima Milele Mwenzenu Kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @hashmallyrweabula5874
    @hashmallyrweabula5874 2 ปีที่แล้ว +5

    Hajath asante sana nimekupenda sana kwa ajiri ya allah na innalillah wainna lillaih rajuunii kwa mama atuu kipenzaa❤❤❤👏👏❤❤❤

  • @rahmavuai3059
    @rahmavuai3059 2 ปีที่แล้ว +16

    Allah akulipe kheri Dada yetu khanifa🤲Na mama yetu Bi Akiba akutanane na Mtume Muhammad sw,pepo ya firdaus iwe maakazi yake

  • @AzmarJamalulleyl
    @AzmarJamalulleyl 6 หลายเดือนก่อน

    Maa Sha Allah Allah awape subra zaidi na zaidi muweze kupendana zaidi na kusaidiana kwa mshikamano wa hal ya juu

  • @gililwise
    @gililwise 2 ปีที่แล้ว +10

    Yaani dada Mungu akuinue sana.wanawake wamuige huyu dada kwa imani aliyonayo.

  • @hawamrisho-uo4ih
    @hawamrisho-uo4ih 5 หลายเดือนก่อน

    Allahu Akbar mdada huyu nmempenda MaashaAllah. kwakweli DINI Ndio faraja kwetu. huyu dada na marehemu mamaake ni WACHAMUNGU. dada naomba Namba yako uwe unanipa Elimu ya Dini tena ukinifundisha wewe najua ntaelimika InshaAllah. NAOMBA NAMBA YAKO TAFADHALI INSHAALLAH

  • @mauamohamed9425
    @mauamohamed9425 2 ปีที่แล้ว +4

    Alhamdulillah Mungu anipe subra kama huyu dada, amenifanya nijawe na amani
    Kufiwa na mama au baba na kupokea taarifa ukawa na uvumilivu ni neema kubwa

  • @AminaLikolovele
    @AminaLikolovele 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada Allah amhifadhi mama katika pepo ya juu hasa in shaa allah

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 2 ปีที่แล้ว +11

    Natamani watt wangu wawe kama watt wa huyu mama Inshallah yarabi niongolee wanangu wawe wema Inshallah

    • @aminatatu5692
      @aminatatu5692 2 ปีที่แล้ว

      Amin insha allah

    • @yohana1242
      @yohana1242 2 ปีที่แล้ว +1

      Mtoto umleavo ndivyo akuavyo kwaio tujitahid tu na malezi mema

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @Maimunasimon
      @Maimunasimon 6 หลายเดือนก่อน

      npgie nikuelekeze chakufany ndug

    • @Maimunasimon
      @Maimunasimon 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@yohana1242kwel mwanang mchamung san mpk watu wanashangaa

  • @fatmakhamis6291
    @fatmakhamis6291 2 ปีที่แล้ว +1

    mashallah Allah ampe kila la khairat nasi atuzindue tufanye mambo mema na asizichukue roho zetu mpaka aturidhie poleni sana Allah awazidishie subra wafiwa wote

  • @حبيبعيد-ح7ب
    @حبيبعيد-ح7ب 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah dadangu nimekupenda imani yako ya dini hiii ndoraha yakufundisha dini watoto Mashallah Allah amlaze mamaetu pema kwa wenye wema.

  • @SfathSfath-jr2by
    @SfathSfath-jr2by 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤ mungu awabaliki muweze kushikamana zaidi na kusaidiana zaidi amen❤❤❤

  • @tiffanyemran7094
    @tiffanyemran7094 2 ปีที่แล้ว +4

    Maa Shaa Allaahaa Shaa Allaah... Allaah amzidishie Noor ktk Qabri yake na azidi kuwapa subra na faraja wafiwa

  • @zulfamohamed2638
    @zulfamohamed2638 5 หลายเดือนก่อน

    Tumuombe Allah atujaalie mwisho mwema inshaallah 🙏 atujaalie na kizazi chema mfano wa kuigwa inshaallah

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 2 ปีที่แล้ว +37

    *It shows how the deceased raised her children well who prays for her always. May Allah have mercy on her. From Allah we belong and to him is our return* 💕

  • @nuriaahmed9986
    @nuriaahmed9986 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah mashaaAllah mungu amempa mazuri na watu wameyaona na ss pia mungu atatupa mazuri kuanzia hapa duniani na kesho akhera zaidi.Yy minal faizin mashaaAllah Alhamdulilah hana neno.mungu ampe jannatul firdaus amin

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 2 ปีที่แล้ว +386

    Da huyu dada, aliemuoa emepata mke, dada ni jasiri,dada ni mcha MUNGU,dada Amesoma dini,dada amelelewa kimaadili ya dini,niwanamke wa heshima,angalia alivyo pokea taalifa na jinsi alivyo ileta kwa ndugu zake na baba yake,MUNGU akufanyie wepesi dada umalize maisha ya dunia salama,

  • @shujaamzarendotzafricanher9133
    @shujaamzarendotzafricanher9133 2 ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH,ALLAH AMJALIE PEPO BORA YA FIRDAUSI,NA HUYU DADA YAANI MTOTO WA MAREHEMU MASHALLAH NAE KABEBA ELIMU KUBWA,ALLAH IJAALIE KHERI FAMILIA HII NA WOTE AWAJAALIE MWISHO MWEMA,BIIDHINLAH AMIN.

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 ปีที่แล้ว +12

    Subhana allah
    Allah amjalie janat firdous iwe makazi yake Allahuma Amin yarab

    • @nawandafamito500
      @nawandafamito500 2 ปีที่แล้ว +1

      @sheshi beshi HAPA ni spesho, AU kwaajil, AU kwaniaba ya, MAMA, mmoja, alie jaaliwa imani yake thabiti, kipenzi cha muumba mbingu na ardhi, yani muumba mawingu na mchanga, na kila unacho kiona mbele yako, NDUGU nakuomba tuache kwanza, sio kwa ubaya, NA pia chunguza NA seemu.

  • @alishitseswa5564
    @alishitseswa5564 2 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allah Allah amjaalie mema na aghufirie amjaalie Jannatul Firdausi Nasi atujaalie mwisho mwema

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 2 ปีที่แล้ว +27

    Mashaa Allah, qur'an ndiyo muongozo wa maisha yetu

  • @tausimadezi2137
    @tausimadezi2137 5 หลายเดือนก่อน

    Subhaanallah,,
    Walhamdulillah ,
    Wa Laa Ilaha illa llah,,
    Àllahu Aqbar ,,
    Wa laa haula wa laa kuu'wata illa billah
    Hasbi'Allahu Wane'emal Wakeel ❤️

  • @linyamakasim191
    @linyamakasim191 2 ปีที่แล้ว +91

    Jinsi huyu dada anavyoijua Dini nimempenda saaana,ni wachache sana kupata mabinti kama hawa,
    Mungu ampe baraka tele

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ Masha Allah Masha Allah Tabarak Rahman... shukuran ahsant ukhty

  • @salmaally8243
    @salmaally8243 2 ปีที่แล้ว +11

    Daaa mwenzetu kapewa Mwisho mwema na Allah, Aminaa

  • @MA-kh2lr
    @MA-kh2lr 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah Amefariki Shaahid.. moja kwa moja peponi mauti yakikukuta huko tena kwenye Ibada. Subhanallah.. Allah atupe mwisho mwema yaarab.. yani kufia huko PEPONI TU MOJA KWA MOJA. MASHALLAH MASHALLAH

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 2 ปีที่แล้ว +16

    Innallilah wainallilah rajioun poleni sana kwa msiba Allah awape subra ndugu zetu kwa kumpoteza mama

  • @MaryamSuleiman-u3f
    @MaryamSuleiman-u3f 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallh ...mungu akuhifaz na wat wabay mungu akujaalie ujasir uouo...love you dada...❤..mungu amlaze sehem pema ...hakika kutoweka kwake bado tunais yupo pmj nasi....ALL THE ALL UMOJA NI USHINDI UTENGANO NI UDHAIFU.......

  • @magdalenek.5990
    @magdalenek.5990 2 ปีที่แล้ว +179

    Nikivyoiona tu hii video hapa TH-cam, sikupanga kusikiliza yote, Ila nilivyoanza tu kuisikiliza nimeishiwa kuisikiliza yote. What an end to her life. Beautiful end. Zawadi ya kifo chema ilikua ni dhahiri kwake. May God heal the hearts of her beloved and everyone else who was touched by this story.

    • @just_this_way
      @just_this_way 2 ปีที่แล้ว +5

      Aamiiiin. Hata mimi nlikuwa kama wewe lakini nimeisikiliza mpaka mwisho.

    • @rausaid9430
      @rausaid9430 2 ปีที่แล้ว +3

      Ata mm natamn hii familia niijuwe

    • @helinasubila987
      @helinasubila987 2 ปีที่แล้ว +1

      pia mimi

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 ปีที่แล้ว +2

      @@rausaid9430 Kumbe wewe kama mimi 😆 natamani nipatane na watu wazuri kama hawa maana maisha yangu yote ni changamoto na watu. Labda nihamie Tanzania lakini pia naogopa mara wanijie wabaya 💔😠

    • @rausaid9430
      @rausaid9430 2 ปีที่แล้ว +1

      Karibu mm nitskupokea

  • @shaabanramadhan
    @shaabanramadhan 2 หลายเดือนก่อน

    Maashaa Allah
    Mw/Mungu atujaalie watoto wema wenye kumjua Allah kama huyu dada

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimetokwa na machozi kwa kisa cha Mama huyu.natamani niwe na mm miongoni mwa familia ama niowe mtoto/mjukuu wa Mamacyetu huyu.Allah ampe Jannatul Firdaus na cc atupe khatima njema In sha Allah

    • @freenaturetv
      @freenaturetv 5 หลายเดือนก่อน

      NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI

  • @RashidyMrang
    @RashidyMrang 6 หลายเดือนก่อน

    Inallillah wainnailayih rajiun dada mwenyezi Mungu akupe umri mrefu na akupe mwisho mwema

  • @jamal5922x
    @jamal5922x 2 ปีที่แล้ว +137

    May Allah Guide us all to the siratul - mustaqeem , ease your pain and emptiness, and grant all our mothers Jannatul firdaus. Ameen Ya Rabi🙏Poleni sana ndugu zangu.

  • @HappynesMasha
    @HappynesMasha 4 หลายเดือนก่อน

    Dada mzuri nimekupenda bule Mwenyewe Mungu akubariki wewe na uzao wako, usibadilike dada angu, umenifungua umenitoa kifungoni ahsante,Mungu ajarie ndoa yako pia.

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah, mashaallah , dada yangu umeongea vzr , pia umetupa darasa tumejifunza wengine kupitia wewe , pia niseme malezi mazuri ulolelewanaamin mama huko aliko anafurahia na anaimani wewe kaacha mtu ,Allah akijalie wewe Na kizazi chako chote

  • @yusfatali7199
    @yusfatali7199 2 ปีที่แล้ว +2

    Inna liLLAH wainna ilayh rajiuun.. ALLAH nasi atupe mwisho mwema yaa rabb, pia atujaalie tuende hijjah ya rabb

  • @zuhurayasini4717
    @zuhurayasini4717 2 ปีที่แล้ว +44

    Poleni sana nimejifunza kitu kwa uyu dada natamani nimuone live inalilah waina lillah rajiun kwa mama yetu kipenzi

  • @RadhiaHassan-f3h
    @RadhiaHassan-f3h 5 หลายเดือนก่อน

    Aamina yaa rabbil alamin Allah atujaalie mwisho mwema

  • @minjesha
    @minjesha 2 ปีที่แล้ว +9

    Subhannallah, Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema!! Binti mwenyewe anaijua dini vilivyo !!

  • @AzmarJamalulleyl
    @AzmarJamalulleyl 6 หลายเดือนก่อน

    In Sha Allah dua zke na hijja yke iwe makqul na afufuliwe na maswahabakama alivyotaraji na nyinyi fmlia yke muwe na mwish mwema pamoj na waislm ste kwa ujumla 🤲🙏🤝