ALIYEDAIWA KUFUFUKA ARUSHA AONGEA KWA HASIRA AKIWA NA MAMA YAKE, "LAZIMA AUZE SHAMBA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 354

  • @lovenesszedekia7814
    @lovenesszedekia7814 2 วันที่ผ่านมา +80

    Jmn milard Ayo katika wafanyakazi wako ambao wanastahili kupokea mshahara mkubwa basi hyu Godfrey tomas anastahili pesa nyingi arusha kuna matukio mengi Sana na hyu ana kabiliana Sana na changamoto za watu jmn kama mnamkubali Godfrey nipeni like zangu na comment❤❤❤

    • @ANNATARIMO-qq1nl
      @ANNATARIMO-qq1nl วันที่ผ่านมา +2

      sio arusha tyu yan matyukio meng yupo on time apewe mauwa yake kwa kweliii

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa วันที่ผ่านมา

      Huyu mtangazaji Yuko vizuri na anaipenda kazi yake

    • @anoldjefsta177
      @anoldjefsta177 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Vido vidox pia

  • @RachelNathan-yv5zc
    @RachelNathan-yv5zc 3 วันที่ผ่านมา +97

    Mimi kwaupande wangu naona huyo baba alizikwa kweri lakn sio kwamba alikufa kifo cha MWENYEZI MUNGU na mwishowake MUNGU aliamua kutowa sehem walikomfisha ili UKUU WA MUNGU uonekane kwamba uchawi sio kitu mbere ya MUNGU

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 2 วันที่ผ่านมา +2

      Miradi ayo naomba uyo robati awapele uko aliko kuwepo kipindi chote Cha msiba wake tujue alikua akiishi na nani uko

    • @ndorobocarworks-dx4pf
      @ndorobocarworks-dx4pf 2 วันที่ผ่านมา

      Wachaw walikosea ubin haki yao kupata adhabhu

    • @StellaMwasha
      @StellaMwasha 2 วันที่ผ่านมา +1

      Duuu kaburi kutetema coz wachawi walishindwa kumkamata

    • @esterpaul5856
      @esterpaul5856 2 วันที่ผ่านมา

      Na walichelewa kumkata ulimi na kumpumbaza..ndo maana akatorok

    • @PendoMatemba
      @PendoMatemba 2 วันที่ผ่านมา +2

      Kweli kabisa,, binafsi naamini unachosema

  • @JohanesFaustine-vn9sk
    @JohanesFaustine-vn9sk 2 วันที่ผ่านมา +24

    Kati ya mwandishi anae kutana na majanga ya kihandishi ni uyu bro mwandishi wa ARUSHA

    • @FredMaulid
      @FredMaulid วันที่ผ่านมา

      Umeona eh huwa anaripoti matukio magumu na kushangaza utadhani Arusha siyo tanzania ni nchi nyingine maana wadudu wanamatukio hatari inahitaji muda mrefu kubalika pengine mazingira na malezi yamewaathiri

    • @jescaprojest7262
      @jescaprojest7262 วันที่ผ่านมา

      Kabisa

  • @magefrenk6722
    @magefrenk6722 2 วันที่ผ่านมา +10

    Mungu ameamua kujithibitisha kupitia Robert, kwakweli uchawi upo na Mungu yupo

    • @user-ng6yt2od7l
      @user-ng6yt2od7l 2 วันที่ผ่านมา

      😂Sana kweli Mungu hajaamua

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 วันที่ผ่านมา

      Haswaaaa

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huenda walisababisha ili wamdhulumu

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 วันที่ผ่านมา +15

    Serikali iwape vitambulisho vya NIDA wananchi wote ili tusiwe na sintofahamu

  • @talents7934
    @talents7934 2 วันที่ผ่านมา +11

    Yani mama anaonekana kama vile ndo mtoto wake marehem ila marehem anaonekana kama ndo baba yake na huyo mama kweli pombe inazeesha😂😂😂

    • @user-xh7xf2ki3r
      @user-xh7xf2ki3r 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂 kwa kweli 🙌

    • @user-et4ny5gj3p
      @user-et4ny5gj3p 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂.Pombe cyo maji jamani

    • @jescaprojest7262
      @jescaprojest7262 วันที่ผ่านมา +3

      Yaan nimeangalia Zaid ya mara 10 sielew km huyu mama n mwanae 😂😂😂😂

  • @user-sv3sv4xd1q
    @user-sv3sv4xd1q 3 วันที่ผ่านมา +9

    Mama hawezi kumsahau mwanae kama wamemuogesha na kumvalisha ndugu yao kweli washindwe kumtambua? Mama amekiri haikuwa imeharibika hapo itakuwa kuwa kuna mkono wa mtu.

  • @user-gv8yn9lg1i
    @user-gv8yn9lg1i 3 วันที่ผ่านมา +18

    Uongo, kuna uhuni umefanyika, hilo shamba yaani hata auze kwa laki moja sinunui 😮😮😮

    • @user-ng6yt2od7l
      @user-ng6yt2od7l 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂kweli dah laki moja

    • @user-ng6yt2od7l
      @user-ng6yt2od7l 2 วันที่ผ่านมา

      Yaani ata mtu anunui labda asiye jua😂

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 3 วันที่ผ่านมา +16

    HahahH marehem anatugombeza😂😂 ( natania tu) ila hii duniaa😢

  • @user-tv6jj3gt3i
    @user-tv6jj3gt3i 3 วันที่ผ่านมา +14

    Nmependa hiyo ongea ya mama apo. Et eeeeh eeeh eeeeeh eeeeh 😂😂😂

    • @chocolatekalex1631
      @chocolatekalex1631 3 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂heee heeee

    • @adolfmathew9698
      @adolfmathew9698 3 วันที่ผ่านมา +2

      Iyo ni kiarusha eeee eee ee kuitikia yan anajijibu ivyo yan

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 2 วันที่ผ่านมา +2

      Keja doii mpaka kaongea lugha ya nyumbani 😂😂😂😂😂😂eehh eehh eehh shikilia hapo hapo

    • @Zainab-qg6xv
      @Zainab-qg6xv 2 วันที่ผ่านมา +2

      Ila mtoto kazeeka kuliko Mama

    • @novahrappertz2990
      @novahrappertz2990 2 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Zainab-qg6xvsasa mtu alishakufa kaja kufufuka c lazima amzidi mama uzee😂😂😂

  • @sund2553
    @sund2553 3 วันที่ผ่านมา +8

    Kazeeka kuliko umri alionao…….anyway itakuwa walimtengezea kifo wamzurumu hakiyake

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu mzee anayegoma shamba lisiuzwe,anaonekana ana ROHO MBAYA MNO! Hata ongea yake,inaonesha ni mtu mwenye roho mbaya sana na chuki. Jicho lenyewe utadhan aligongwa na katapila. Mashamba yao wameuza wakala pesa. Ila shamba la Robert ndio wanataka asiuze ajenge! Shenzi kabsa. Robert,uza shamba lako! 😡

    • @suzysam6002
      @suzysam6002 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kilimanjaro hawana tabia ya kuuza Mashamba ya nyumbani hata ufanyaje hiyo Ni desturi yao

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 3 วันที่ผ่านมา +7

    Kwa hiyo sio kila aliepotea inakuwa ni kweli mfano walie mzika ni marehemu Wa wapi sasa maana robart huyu hapa je aliezikwa ni Wa Kwa nani?

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂Jaman raha Sana duniani raha Sana, sasa huyo robat alikuwa wapi wakat wa msiba wa robat mwenzie😂😂

  • @GoodluckNjau-km3ym
    @GoodluckNjau-km3ym วันที่ผ่านมา +4

    Kufa na kufufuka sio jambo dogo ni yesu tu ndio alie weza hawa wengine ni maigizo tu wana tufanyia

  • @aby21111
    @aby21111 3 วันที่ผ่านมา +5

    Let the higher authority deal with the situation.

  • @neemamollel6057
    @neemamollel6057 2 วันที่ผ่านมา +4

    Wafukue ilo kaburi mi naona wmemzika mtu tofauti n.a. si yeye

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 3 วันที่ผ่านมา +14

    Sasa kama mwenye kaburi kakubali kaburi lake lifunguliwe kwanini hawafungui???😅

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 3 วันที่ผ่านมา +16

    Labda nipacha bila kujua masikini 😢😢

  • @hollocolletha6519
    @hollocolletha6519 2 วันที่ผ่านมา +4

    Aliefufuka Ni yesu pekee mwana wa MUNGU Alie hai. Huu mwingine Ni uongo tu.

    • @mwanawataifa4889
      @mwanawataifa4889 วันที่ผ่านมา

      Ulichoandika kimechanganyika ukweli na uongo
      Jifunze vizuri juu ya kufufuka hata kwenye biblia sio Yesu peke ake
      Zakayo pia alifufuka

  • @muddywatown
    @muddywatown 2 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu akili itakua washazichezea au kashaziacha huko 😂😂

  • @halimatutupa3149
    @halimatutupa3149 2 วันที่ผ่านมา +2

    Robert sijafariki kabisa😅 jomn marehemu wa moto😂😂

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu amemsimamia na mizimu ya kwao

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow 3 วันที่ผ่านมา +4

      MUNGU achangamani na mizimu

  • @user-uf7oh5eu4v
    @user-uf7oh5eu4v 3 วันที่ผ่านมา +5

    😢so sad

  • @realmeamyna30
    @realmeamyna30 วันที่ผ่านมา +2

    Nilitamani kujua zaidi kuhusu yeye mfano aliondokaje na ni nn kilimfanya aondoke nyumbani vipi kuhusu familia yake mara ya kwanza kutoka nyumbani alienda kulala kwa nani na mpaka anarudi nyumbani alitoka kwa nani??? Na huko alikua haiwazi familia yake???? Na vingine vingi
    Kijana andaa maswali na ujipange kisawa sawa unapoenda kuhoji mtu bana na wewe BINAFSI NIMEKOSA VINGI NILIVYOTAMANI KUVIJUA NA MTIRIRIKO WA MASWALI..

  • @waltermachange7300
    @waltermachange7300 3 วันที่ผ่านมา +18

    Chimbeni kaburi kama kuna mtu, tujue ndo muvi iendelee

  • @user-et4ny5gj3p
    @user-et4ny5gj3p 2 วันที่ผ่านมา +1

    Marehem kazeeka kuliko mama yake dah.Hii noma sana

  • @teddyndungurusabnu4792
    @teddyndungurusabnu4792 2 วันที่ผ่านมา +2

    huyo baba mdogo ashikiliwe kafanya mpango kwa kufeki Maiti ili ionekane kafa auze shamba na lengo lilikua wamsake huyo kaka aliesingiziwa kufa ili wamuulie hukohuko pasipo ndugu kujua coz walishajua wamemzika ba mdogo mpuuzi

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 2 วันที่ผ่านมา +2

    Yule waliomwona mwochwari alikuwa Hana kovu na chanzo Cha kivo ni ajali so Robati hakufa alikuwa zake mjini familia walinda mwochwari kuchukua marehemu mwingine na kumzika

  • @user-zh8uf3wy2z
    @user-zh8uf3wy2z 2 วันที่ผ่านมา +2

    Niseme nini mungu wangu......

  • @user-wv1pu4jo3k
    @user-wv1pu4jo3k วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mungu anampenda ashike ibada sana

  • @IssaSandali-tk2zp
    @IssaSandali-tk2zp วันที่ผ่านมา +1

    Big up bro Godfrey

  • @chocolatekalex1631
    @chocolatekalex1631 3 วันที่ผ่านมา +11

    Afu mimi ninavyoona jamani nipo DRC lakini ili picha lilitengenezwa n'a wale ambao wanataka kumuzulumu robert shamba maana mukifata kwa umakini alieleta habari ya kifo kwa Mara ya kwanza ni BOSCO n'a huku nyuma mama anasema kwamba...n'a yule mtoto wake bosco kwa maana kwamba bosco ni mtoto wa uyo mzee anaesema shamba aliuzwi ambae mama anasema sasa ivi Hana makao nipo DRC🇨🇩

    • @naomisamwel18
      @naomisamwel18 3 วันที่ผ่านมา

      Robert sijasikia km unamke😅naomba nije uniowe tusaidiae kupambania shamba

    • @DM.2200
      @DM.2200 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@naomisamwel18 Ila nimesikia kasema yupo na watoto wawili upo tyar kuwa mamdo 😂😂

    • @lucymbena2538
      @lucymbena2538 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bosii na babaake hawakumlipa mganga walimzulumu 😅pesa yaka 😂akaamua kurudisha mwenyeshamba ambae Ni Robert Safi Sana

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 2 วันที่ผ่านมา +3

    Sio suala la kawaida hili. Em fikiria mama ake amethibitisha kbs kua aliona maiti kbs sura ni ya mwanae.

  • @JULIUSNCHAGWA
    @JULIUSNCHAGWA 2 วันที่ผ่านมา +4

    Hapa kuna mchezo rahisi sana umefanyika ngoja niwasanue
    1: baba mdogo na mke wake ndo wamemuogesha marehemu. Baba mdogo ndo anataka shamba so kama alitengeneza jambo hvii
    2:robart amekataa yeye hajawahi hata kugongwa na toyo
    SO JIBU HILI HAPA baba mdg alitengeneza uvumi wa kifo wakazika mtu mwingine kisha watammalizia robart huko huko alipo ila kabla hawajafanikiwa mwamba akarudiiiii😂😂😂😂😂😂

    • @user-zh8uf3wy2z
      @user-zh8uf3wy2z 2 วันที่ผ่านมา

      Mawazo yako😅....

    • @Alexander-th3tn
      @Alexander-th3tn 2 วันที่ผ่านมา

      Halafu jeneza lilikua linatingishika maana yake wamezika mtu ambae sie wa hiyo boma

  • @DotoLemako-np3lp
    @DotoLemako-np3lp 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona Robert ni mzee kuliko mama yake, hakufufuka aisee walizika mwili ambao sio yeye

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 3 วันที่ผ่านมา +10

    Jamaa amezeeka kuliko Mama yake

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 2 วันที่ผ่านมา +1

      Inatokea tu hata mimi kuna kaka yangu amesema kuliko mama

    • @winiemajengo1679
      @winiemajengo1679 2 วันที่ผ่านมา +1

      nami nimeona aiseeee

    • @suzanambatta1126
      @suzanambatta1126 2 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu ni cha pombe anaonekana

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 3 วันที่ผ่านมา +33

    Hlf huyu jamaa kama dishi limeyumba au ni mimi

    • @esabelfadhili8432
      @esabelfadhili8432 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hayupo sawa huyu...

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 3 วันที่ผ่านมา

      Nimeona pia mimi,naona haxipo xote.

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 3 วันที่ผ่านมา

      Hapana Yuko timamu.

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 3 วันที่ผ่านมา +5

      ​Yupo sawa, sema anaonekana ni mywaji sugu wa pombe kali.

    • @andrystephan5869
      @andrystephan5869 3 วันที่ผ่านมา +5

      Mtu kajibu maswali sawaa unaona hayupo timamu Broo duh!! Binadamu🙌

  • @doreenemanuel6024
    @doreenemanuel6024 2 วันที่ผ่านมา +1

    Dah

  • @waduduinctv6537
    @waduduinctv6537 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hatari

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 3 วันที่ผ่านมา +15

    😂😂😂 mbavu zangu Arusha shkamooni wote!!

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 3 วันที่ผ่านมา +6

    Jaman eleweni arusha kuna vita sna ya mashamba mana wanauza mashamba sana ndomana wanalogana na kimazingira uyu jamaa n ndugu wamemchezea ila uyu jamaa yuko na nguvu ya mungu

  • @johnteonas3144
    @johnteonas3144 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mama is beautiful

    • @Yanarichbiz
      @Yanarichbiz 2 วันที่ผ่านมา

      Black cute

  • @Yanarichbiz
    @Yanarichbiz 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mama ana ngozi nzuri sn

  • @user-dh6oc7um6f
    @user-dh6oc7um6f 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe baba mdogo kauza mashamba yote sahiv anamnyima robart kuuza shamba yake kumbe kauza yake kala na mtoto wake bosco manina robart tuko na wewe lazima shamba liuzwe bt mimi sitalinunuwa hata kama unauza buku

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 3 วันที่ผ่านมา +17

    Hata kama jamaa alifariki na akafufuka kweli,anaweza kufa tena kwa stress kutokana na changamoto alizonazo.

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂

    • @nafuwswedi2465
      @nafuwswedi2465 3 วันที่ผ่านมา +1

      Yaani😂😂😂😂,sababu ni Kama wanataka afe kweli

    • @hyy4114
      @hyy4114 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂asije akajinyonga tu

    • @OmanOman-ns3iw
      @OmanOman-ns3iw 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂daah

    • @OmanOman-ns3iw
      @OmanOman-ns3iw 2 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Rose-ue2honimecheka kama mazur

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 วันที่ผ่านมา +1

    Sura mama jamani sura za walevi waliopindukia kama kaka robert hapo uwaga wanafanana samahani kusema hivi lakini mara nyingi uwa wanafananaga kama huyo.marehemu mliyezika na yy alikuwa chapombe lazima wafanane😂😂 tena hasa wachqga wanafanana😂😂 mmezika.mtu siye buana fudueni kaburi kwa kibalk cha serikali basi mtapata jibu DNA itajibu

  • @techsavvyswahili
    @techsavvyswahili วันที่ผ่านมา +1

    Umechukuliaje taarifa za kifo kajibu nimependa 7bu Mungu hafi. Any way naona kuna uwezekano hicho kijiji watu wengi chanel hazisomi

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l 2 วันที่ผ่านมา +1

    Allah aqbaru

  • @chocolatekalex1631
    @chocolatekalex1631 3 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani mungu anisamehe inasikitisha kidogo lakini iyo heee ya maman jamani inaniweka hoi heee!!! Heee!!😂😂😂

  • @cosmatitus5509
    @cosmatitus5509 3 วันที่ผ่านมา +10

    Jamaa anatoa majibu marahisi sana kwenye maswali magumu

    • @winiemajengo1679
      @winiemajengo1679 2 วันที่ผ่านมา

      umeonaeee 😂😂😂😂😂😂😂

    • @omytifa6403
      @omytifa6403 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mi naona bora ata kabla ya kufukua kabuli awapeleke uko kwa aliko kua anaishi huo mwezi mzima jaman😢😢

  • @HappyAsajile
    @HappyAsajile วันที่ผ่านมา

    Daaa sikutegemea kam ungempata uyu mwe asant sana ayo tv

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 วันที่ผ่านมา

    Yaan ni maajabu sana aliezikwa anasema yeye hajawahi kufariki😢😢

  • @pendosailo1989
    @pendosailo1989 3 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu anaonekana ni mtu wa kilaji kile cha nanii...so kutokuwa sawa kwa mtu wa namna hiyo ni sawa. Swala la kufa au kuchukuliwa msukule sio... huyu alikuwa na misele yake huko..hawa wamezika mtu mwingine..hapo serikali ifukue wakazike kiserikali manispaa.

    • @ShukraniChomolla
      @ShukraniChomolla 3 วันที่ผ่านมา

      Swali la kujiuliza wamuulize kipindi msiba unatokea yeye alikua wapi maana na yeye si mwanafamilia? Au huo msiba hakuusikia

    • @vickytango5591
      @vickytango5591 3 วันที่ผ่านมา

      @@ShukraniChomolla 😂😂😂😂😂😂

  • @user-zr9sj8sf3w
    @user-zr9sj8sf3w 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo eeh,eeeh,eeeh,eeh, sas 😂😂😂😂😂

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 2 วันที่ผ่านมา +1

    Duuh sipat picha ngwajima angekua na mkutano arusha ingrkuajee angechukua maujiko balaaa

  • @user-yt5wg3yy8b
    @user-yt5wg3yy8b 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mzee anamdhulumu mnyonge shamba mpaka anamfanyia mazingaumbwe ya kifo ndugu yake! Dunia imeisha dhambi dhambi. Jamii iwashughulikie huyo mchawi waache dhuluma Kwa ndugu yake

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wamezika kivuli mungu wangu duh kweli ... uchawi upo..ila mungu mkubwa..🙆🙆

  • @user-uf7oh5eu4v
    @user-uf7oh5eu4v 3 วันที่ผ่านมา +1

    Marehemu anataka uza shambaaa😂😂

  • @sarahgilbert1084
    @sarahgilbert1084 2 วันที่ผ่านมา +1

    Robert anaonekana cha pombe😅

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 วันที่ผ่านมา +1

    KUMKISIA MTU ZAMBI RAKINI YULE MZEE ANAYOSEMA ATAKAMA KALUDI SHAMBA AUZI YULE MZEE BABA MDOGO WA MCHAWI NA ALIMUUA KIMAZINGALA KWA TAMAA 😂😂😂

  • @DicksonEdson
    @DicksonEdson 2 วันที่ผ่านมา +1

    Baba yake mdogo huyo mweusi ashauza shambalake

  • @emmanuelreuben1863
    @emmanuelreuben1863 2 วันที่ผ่านมา +1

    Msipende pesq raisi, mmeuza mashamba yenu mmemaliza pesa,sasa mnataka mashamba ya wenzenu sio vyema

  • @rosemarykipesha3898
    @rosemarykipesha3898 3 วันที่ผ่านมา +2

    Au wamebumba Kirk chair Ili wamdhurumu shamba?

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 วันที่ผ่านมา +1

    Nenden hospital kaulize kama walipokea mait uwe mchunguzi

  • @AlexKimario-be4dd
    @AlexKimario-be4dd 3 วันที่ผ่านมา +3

    Kijana kazeeka kuliko mzazi. Ila haya mambo yanafikirisha sana.

  • @emmanuelmasemba7612
    @emmanuelmasemba7612 55 นาทีที่ผ่านมา

    Wafukue kaburi , tuone kilichozikwa tujifunze kitu Kwa sababu tunaskiaga tu Imani hzo zipogo, mara saa mnazika marehem anakua kafichwa mahali pale kina kua kimvuli tu

  • @user-tk4ej5hx2q
    @user-tk4ej5hx2q 2 วันที่ผ่านมา +1

    Arth inafanya watu watoane roho jmn

  • @CarolinaErinest
    @CarolinaErinest 3 วันที่ผ่านมา

    🤔🤔

  • @marcelinabwakila7049
    @marcelinabwakila7049 วันที่ผ่านมา +1

    Baba mdogo nae aache mbamba! Mbona mashamba take kauza

  • @user-vo3wk9yr7k
    @user-vo3wk9yr7k 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona mama anaonekana kijana kuliko mtoto wake?? Au mnaonaje jamani

  • @marcelinabwakila7049
    @marcelinabwakila7049 วันที่ผ่านมา +1

    Baba mdogo nae aache mbamba! Mbona mashamba yake kauza

  • @kalangwapaschal7718
    @kalangwapaschal7718 3 วันที่ผ่านมา +2

    Shamba ni chanzo au vipi?

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 3 วันที่ผ่านมา +6

    Arusha Kuna matukio ,hata kiyama kitatokea kwanza Arusha,ndio Mungu ataruzu ulimwengu mzima ,haya maisha tumuishie Mungu tu,

  • @danielthomasmsigwa31
    @danielthomasmsigwa31 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kila linapotokea hili najitahidi ku-comment kuipuuza kauli ya biblia kunafungua milango ya mapepo; kitabu hiki muhimu sana kwa sasa "mtarudia udongo..." mwakani(2025) duniani kote masheni yatachukua maumbile ya wapendwa wetu waliofariki hata maraisi wetu tuliowapenda wataigizwa na pepo na kutuhutubia tutawashangilia. Ujumbe wao utakuwa kuiheshimu JUMAPILI

  • @RamadhanMabwabwa
    @RamadhanMabwabwa 2 วันที่ผ่านมา +1

    Amefufuka katika wafu😂😂😂

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 2 วันที่ผ่านมา +1

    Maitu ufa na chake mpen AUZE BHANA

  • @Mzunah
    @Mzunah 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mara walimtengenezea kifo cha uongo ili wamdhurumu shamba tu
    Any way kabla hamjafukua ilo kaburi awapereke aliko kuwa anaishii.

  • @michaelismail5572
    @michaelismail5572 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji,uko sawa lkn sisi kama waganga wa Tiba Asili,hapo tu tunaona huyo Robert unamhoji lakin bado ni mtu nusu
    Ushauri maalum; wazazi watafute mganga anayejuwa dawa,robert arudishwe rasmi awekewe na kinga lasivyo hata akaishi hatakuwa na akili timamu maana wachawi wanaogopa akirudi kumbukumbu atasema yote

  • @MariamKileo-mu8rv
    @MariamKileo-mu8rv 2 วันที่ผ่านมา +1

    Na hapo baba mdogo amehusika kabisa

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu baba mdogo ni mchawi

  • @MinaMasha-z4p
    @MinaMasha-z4p 2 วันที่ผ่านมา +5

    Marehem kugombeza wenzie tuu ....kuongea kistarabu aaaah😂

  • @JosephineMbelwa-jy3qy
    @JosephineMbelwa-jy3qy วันที่ผ่านมา +1

    Mama mzazi wa Robert eeeh eeeh 😂😂 unaniuwa mbavu zanu eeeh😂😂 eeeh eeeh eeeh eeeh😂😂😂

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 jaman mama kuitikia huko kunachekesha yaan

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama kijana,mtoto ndo mzee.

  • @prezgal8869
    @prezgal8869 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi nae hamuogopi marehemu

  • @user-wv1pu4jo3k
    @user-wv1pu4jo3k วันที่ผ่านมา

    Mungu nimkubwa

  • @hosea7919
    @hosea7919 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mtoto anazeeka kuliko mama

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 2 วันที่ผ่านมา

      Gongo aisee siyo maji ya kunywa😂

  • @talents7934
    @talents7934 2 วันที่ผ่านมา

    Halafu Ayo Tv badilisheni iyo maiki imepauka sana haileti image nzuri kwa Media kubwa kama hii🙏

  • @FloraChuja
    @FloraChuja วันที่ผ่านมา

    Hii ndo nchi ya Arusha barani Tz😂 hii ni maajabu😢

  • @championboys-mt6iu
    @championboys-mt6iu 2 วันที่ผ่านมา +1

    👮‍♀️

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 2 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂Nauza nauza eeh eeh this life no balance

  • @JanethManga-c1w
    @JanethManga-c1w 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mchongo huo...watu wa huko tunaelewa

  • @AthumaniKachwamba
    @AthumaniKachwamba 2 วันที่ผ่านมา

    Heeheeee hehee

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 3 วันที่ผ่านมา +1

    Lilitingishika maana mmezika mtu ambae sio Robert fukueni kaburi muone kilichopo

  • @bensonwissa5777
    @bensonwissa5777 2 วันที่ผ่านมา +1

    Vipi michango yetu irudishwe😅

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 วันที่ผ่านมา

    Ndugu waliamua kumtungia kifo na kuzika wanacho kijua wenyewe ili wachukue shamba lake! Ndugu sio, hakuna mtu wakufufuka asee

  • @user-dh6oc7um6f
    @user-dh6oc7um6f 2 วันที่ผ่านมา

    Nimependa sana ongea ya mama lakin hapo tunaona kabisa marehem katengenezwa hili kutokuuza shamba

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher072 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mi nahisi Arusha ni Kenya sio Tanzania. 😅