Shekhe Allah akulipe kheri kwa kutimiza heshima na twaa kwa kiongozi wako. Ila unaona wazi kabisa viongozi wa serikali hawajijui kuwa wao ni watumwa wa wananchi. Hapo waislamu washajitahidi sana kilichobakia viongozi kumalizia tu. Na si kuwa abisha waislamu kiasi hiko. Unauzalilisha uislamu hapo. Wa ache watoto wa some dini yao. Ww waekee mazingira mazuri tu kama kweli nataka kusaidia.
Maoni yangu binafsi Dini ina dhalilika hapa, waislamu Tujitoe katika dini yetu tuchangie kuendeleza madrassa zetu hii ni AIBU Sheikh anadhalilika hapa nia ni Njema Uwezeshaji hamna
Mimi sio Muislamu ila nimeipenda comment yako upo tofaut na wengine wafia Dini hawataki kuambiwa ukweli Mtu anawaza kumsomea dua Dc anaacha kuwaza jinsi ya kutatua hiyo changamoto
Waislamu ndugu zetu mkienda msikitini toeni sadaka ili maendeleo kama haya yafanywe kwa viwango vizuri maana lengo kama nikufundishwa dini ni jambo jema ila dini haipaswi kufundishwa kama adhabu, Ile kasumba yakusema hatutoi sadaka kufaidisha viongozi wa dini muache kabisa. Sadaka ni muhimu kwa maendeleo na ukuaji wa dini yenu ikitumika vizuri kwenye mambo kama haya.
Seneu mwisho wa waumini wa dini hiyo kutoa mchango qa sadaka ni ahs mia 5 hao watajamiana tu jinsia moja Mhe Magoti hamna kitu hapo wakubwa watawaonea wakubwa kwa kuwalazimisha
@@lawrencegwerino1656 apana amekili makosa sio kila kosa ni kuhukumu tu bila kufikilia kumbuka hata wewe unakosea Mimi ni mkristo na hekima aliyo tumia na kumpa pesa ya vocha amefanya vizuri sana Cha msingi Mungu aendelee kumpa hekima huyo kiongozi anaona mbali sana
Serikali inatakiwa iwasaidie kuweka mazingira mazuri ya watoto kuendelea na masomo yao, lengo la sheikh lilikua ni zuri tu ila changamoto za kiuchumi ndio shida. Ni vyema DC atie nguvu kukisaidia kituo hicho.
MM NIMESEMA LKN NAONEKANA NA MM KAFILI WAKATI UKWELI NDY HUO SEHEMU SIO SALAMA WATU WAANGALIE WASIMLAUMU MKUU WA WILAYA TU NI BORA WAOMBE MICHANGO KITUO KISAJILIWE BWENI LIJENGWE MAFUNZO YAENDELEE
Sisi wengine tumesoma maeneo kama hayohayo leo hii tuna maadili yetu na tuna maisha mazur Alhamdulillah nikiona hivi binasfi najua na maisha tu magumu nawaombea dua ndugu zetu hawa iko siku huyu Ustadh ataneemeka tena mda si mrefu in shaa Allah
Maashaallah kaka watu markazi tumevumilia cz kilichotupeleka tunakifahamu tusilqzimishane mirengo shule kuna nnn kama huna maadili mzigo tuuu mtaan sindo hao wasomi wanaokaa uchi na kusema ndo utandawaziiii wenye dini hawafanyi upumbavu kama huo
@@Pelegrinoemanuel wakristo mnachuki sana na uislam hilo tunalijua na quran ishatuambia kuwa chuki mlizonazo kwenye mioyo yenu ni kubwa kuliko hizi mnazozidhihirisha so tunawajua vzr kwahiyo comment kama hii yako ningeshangaa isiwepo
Toa ujinga wenu,mlizaa watoto kuwapeleka kulelewa? Kama uwezo wa kulea hamna mnazaa wa nini? Badala watoto mkawapeleke shule wasome elimu inayoeleweka mpo busy na kiarabu.
Mimi ni Muslim ila Kwa hili usalama wa watoto haujazingatiwa. DC upo sahihi na umetumia busara kubwa shekhe pia umetumia busara kukubali makosa kukiri makosa. Mungu ni mwema yametokea haya kabla madhara hayajawapata watoto.
@@user-yj5on8cz3enani aichukie dini ambayo watu wake wako kama mawe? Miaka yote hawataki kubadilika ,ninyi ni wabishi sana na ndio maana wengi hamsomi ila kulalama mnapenda sana
@@user-yj5on8cz3e haya mambo ya kuendekeza udini ndio yaliyosababisha majanga kibiti,mkuranga,Amboni na mtwara mtu anaendesha mafundisho bila hata uongozi wa dini mkoa hufahamu tena unalaza watu msikitini alafu unatetea tu ujinga et dini kuna mtu asiyejua maana ya kumuomba Mungu na kujifunza mafundisho mema kwann mnataka sana kulazimisha dini ya kiislam ionekane na taswira mbaya kwa kukosa elimu ya dunia ninyi ndio mnaofanya uislam uonekane vibaya mbele za watu kwakujiona kama malaika na wengine ni mashetani ingali ndani humo humo kuna mashetani zaidi hata ya hawa mnaowaona wadhambi badilikeni mnakera sana vile hamjui tu mnatufanya tunaowaamini na kutamani kujifunza mafundisho mazuri ya kiislam tuchukie
Sheikh ni mstaarabu sana. Amesema ukweli wake na Allah atamsimamia kupitia ukweli wake. Mafundisho ya Dini ni muhimu sana, tena sana, lakini shida mazingira siyo rafiki. Simple tu kuelewa.
Kama serikali mnatoa kwa ajili ya mashule basi mtoe na kwa ajili ya madrasa kwani kuna wengine sio kwamba wanapenda kuwa wabunge raisi na cheo zingine za kiserikali kuna wengine wanataka kuwa masheikh serikali iangalie hili msiwalazimishe watoto na ndoto zao
Lakin hao si wanatakiwa waende sekondari ndo huko Wapate na Elimu ya Dini??Ili kesho wasianze.kusema Pastor ana gari lakin shekhe Hata baiskeli hana hahaha
@@trophywilson7211 Kweli, umri ule sio wa elimu ya dini pekee. Ukiangalia upande mmoja yaani ustawi "kiroho" unasema ni sawa jambo jema kufundishwa dini. Ukiangalia kwa upana wake yaani ustawi wao kwa ujumla unapata jibu wanahitaji elimu ya dunia na ya dini.
Acheni fikra za kimagharib zilizojaa chuki, uislam sio ugaidi bwana, hiyo ni sawa na Sunday school kwa sisi wakristo !! Tusiwekeane mipaka kwa kuwapandikiza wengine ubaya !! Dini ni upendo, kwa taarifa tuu magaidi wakwanza ni hao wanaotuharibia watoto kwa ushoga na usagaji na tena wanalazimisha dunia iangamie, sembuse hawa wanaoipigania dini yao !! Acha chiki bwana
Angepata network uarabuni wampe fedha za kujenga mabweni.Uarabuni pesa zipo ni apate link Bakwata wangempa link.Ama angeenda ubalozi wa Oman Saudia nk wangemsaidia.Waislam jikusanyeni msaidieni sheikh muonganisheni na waarabu nje ya nchi wam finance.Km dini nyingine wanavyotafuta funds nje na kujenga maskuli nk.
Uko sahii ila kumbuka watoto Bado wanaitaji shule hicho kituo kinaitaji kijulikane kwa serikal na kwa wakubwa wa dini ili watoto wapewe malez Bora kinacho fanyika hapa ni sahii kabsa
Leseni? Leseni gani? Alafu hayo ni maisha tunayoishi kila siku... Nina jirani yangu anawatoto sita wanalala kwenye chumba kimoja na wazazi wao kwenye chumba kimoja... Maisha hayo ni afadhari kuliko maisha ya watoto kuzurura mitaani kuwa wauni na vibaka
@@OchoaHomeDecor_ ndio maana Serikari inatakiwa na watalamu wake wanatakiwa kutoka Elimu na makazi bora Ni 2024 sio 1940 lazima wawatoe wanainchi kwenye umasikini kama huo sio wanafikilia matumbo Yao tu .
Shekhe uko sahihi sikuizi watoto wadogo watukutu huku mtaani bora kuwe navituo kama hivi hata huku mtaani wangekuwa watoto wenye heshima chamsingi tumuwezeshe shekhe atufundishie watoto wetu huku mitaani hakufai asante mkuu kwa busara zako pia shekhe allah akulipe kwa hekima uliyonayo tukiwezeshe kituo waislamu inshallah
Ukweli tusifiche WAISLAM Kwa hili wanakosea sana hii tabia misikiti MINGI hiyo tabia ipo sana kuwakusanya watoto sehem km hiyo unatabia ya ongezeko la Ushoga watoto wengi wamearibiwa sehem km hizo za mikusanyiko
Kwani mwenyezi mungu kwenye vitabu vyake anasemaje na mtume naye na watu wema waliishije kipindi chao? Na kuhusu ushoga mungu kakataza lakini pia vilevile kuchanganyika na Wanawake imekatazwa tusiongee tu kwa ushabiki turudi kwa mungu tufate taurati, zaburi, injili na quraan.
Kiongozi ni ni kutafakari na kufanya maamuzi kwa Hekima na Busara, siyo Hisia na Mihemko, I salute you DC Magoti kwa namna ulivyoshughulikia kadhia hiyo, Mungu akubari!
Serikali iache kulea vitu hivi kwa kisingizio cha uhuru wa Imani. Hivi vituo vinavyokusanya watoto kiholela vinakiuka haki ya watoto ya elimu,nk. Magonjwa yakitokea nani anawahudumia? Na wazazi wenye watoto hawa wachukuliwe hatua za kisheria.
Huyu anausakama uislam , mimi siwez unga mkono kabisa , anajifanya busara ila moyoni ana maana yake . Pambaneni na wimbi la ushoga . Chuki tu moyoni ndio zimewajaa
Jamani shughuli za uendeshaji shughuli za dini ni changamoto sana, ukizingatia hakuna mfadhili wa kukamilisha kila kitu kwa wakati. serikali ituvumilie waisilamu. Ikiwezekana serikali iangalie namna ya kuwezesha taasisi za dini.
Taasisi za dini zitengeneze mazingira mazuri zenyewe ko kabla ya kuibebesha lawama serikali kwanza jikagueni wenyewe kwanza muone kama mnaweza kutoa huduma hiyo
@@canibalgazaboy8325 Mwisho wa siku huduma lzm ziendelee watoto mashaallah wanazaliwa wengi kama yukisubira mazingiza mazuri watapotea wate hao vijiweni kwa bangi, unga n.k
Asante sana muheshimiwa, umetumia njia mzuri sana nahekma yahali yajuu licha yakuwa ulikuwa nauwezo nahaki yakumhukumu Shekhe wetu huyo maana kosa lake likowazi
Nyie mnaolalamika eti anazuia kazi ya Mungu mnakosea!!! Haowatt kilamtu ametoka kwao na tabia zake. Hivi vitendo vya ukarili nivingi sikwawaislamu wala wakristo. Kwaiyo wacheni kiongozi afanye kazi yake. Watt wakiumia ninyie mtalaumu jmn
Big up sana mkuu una mauwa yako toka kwangu, umefanya kazi nzuri sana, kwanza ni watoto wa kiume tupu huu unaweza kuwa mwanzo wa ulawiti na kulawitiwa kwa watoto hao
Waziri Gwajima, ukaguzi ifanyike nchi nzima. Makanisa na misikiti yote ikaguliwe. Na sheria iwe Kali kwa wazazi na walezi. Iko siku waovu wataweka vituo km hivi kuendesha Mafunzo ya ugaidi, ushoga,nk alaumiwe nani?
Ukwel DC kakurupuka alafu watu wanaishi maisha ya shida kuliko hayo alafu wala mtu aongei chochote kwa kuwa jambo la dini na la waislam ndio hivyo tena Kumbuka sis tumesoma elimu ya dunia hiyo hiyo kwa kukaa chni na vyoo vya kulenga Lakin miaka sana yote tumeishi hivyo leo jambo la dini watu washabikia DC mwenyewe maneno machafu
@@perfecttentech6208 Kama hujui hapo kuna baadhi ni watoto wa mitaani wameletwa hapo kusaidiwa jee warudi mitaani wakazurure na kulala barabarani na masokoni? Au huko ndio salama zaidi.
Sheikh hongera sana umeweza kujitambua na kujieleza vizuri sana Mumgu akubariki sana Japo mi ni mu christo nimekuelewa sana na nimekupenda sana bure Na Bwana DC asante kwa kumuelewa Sheikh
Mtume wetu Muhammad ( s.a.w ) ukiangalia maisha yake yote alikuwa akilala mchangani kula alikuwa anakula tende na sio kwamba alikuwa masikini , starehe za kidunia zitawapotosha vijana , huyu dc atafute vijana ambao hawana ajira mtaani awasaidie acheni kusakama uislam
Usha sema hao ni wagonjwa acha wahangikie tiba na uponyaji pia ni watu wazima hawajitaji kwenda Shure ludishrni hao watt kwa wazazi wao wakaende shure na kulijenga taifa msikiti ni sehemu ya kusali na kuludi nyumbani siyo kuishi humo kazi au Shure wanafanya saa ngap? Ulizeni hao watt wanacho fundishwa kusije kukawa kunazalishwa akina hamza
@@rashidyyusuph4386 ww toka umesoma umeajiliwa au umepewa kazi ilmu ya dini ndo yenye kumfaa mtu kesho akhera ww unajina la kiislamu lakini hujtambui uislamu ni nini
Duu said mbona unadhalau wakristo , watoto wanaoshi vibaya wewe unaleta uchochezi acha unafiki Mungu sio wa kwako tu, viongozi wameshauri vizuri wewe unadhalau wakristo sio sawa ukome kabisa
Dc yuko sawa na ustadhi pia naamini kwa asilimia 100 nia yake ni nzuri mno . Waislamu na wadau mbalimbali hili ni dhima tujitokezeni kwa kile ulichojaaliwa kulibeba hili tusingoje kufuatwa au kuombwa. Tutengeneze Akhera yetu Leo.
@@bitecastory2137unakosea sana,raisi wako dini gani? Hana elimu yule,nani aliyepigania uhuru taifa hili,chama cha TAA baadae kikazaluwa TANU ndani yake walikuwa akina nani? Acha ufala,elimu waislamu tunayo yakutosha.
Hivi kwa nn waislam wakipewa mafunzo ya kidini mnagusisha na ugaid wakati wenzetu wakristo huwa wanakaa makambi ya kupewa kipaimara but hakuna inshu Kama hizo,then hao wanaoambiwa ni magaidi huwa watu wanaowadhamn ni wazungu,naomba tuwe wataft wa mambo kabla ya kuyazungumza.
Mh DC Magoti M Mungu akujaalie umli mrefu endelea utafika mbali umetumia hekima sana ila nikuombe umsaidie shekhe ili kupata ufadhiri wa kujengewa bweni za hao watoto Msadie Alifa kupata msaada wewe ni mtu wa watu pia ustadhi tupo tayari kukuchangia nipo tayari takuja kisarawe kukutembelea
Hiyo Kamati ya Afisa Ustawi wa Jamii, Mtendaji, na Afisa Tarafa, na Sheikh mwenyewe, imenifanya kuamini kweli watoto watarudishwa nyumbani kwao. Maana nimeshtuka baada ya kusikia ikifika saa 7 hutakuta mtoto hapo. Hata Nguruwe halali katika mazingira ya Namna hiyo "DC wewe Allah anakutazama" Watu wanamaliza magodoro kutafuta watoto.😂
Wote wanania nzuri kwa watoto DC amefanya kazi yake nzuri na shekh pia alikua na lengo zuri ispokua amekosea kufuata sheria tu lkn Allah awalipe kwa nia zao njema DC na shekh
Wewe mwehu kabisaaaaaa yan DC kaongea kwa ustaarabu kabisa na ana mwelekeza wajenge mabwen kisha wawachukue watoto tena kwa utaratibu mzur sasa hapo kakataza wapi wasisome din wewe nenda shule kasome
Usiseme ivo kwani maisha yetu tumetofautiana sana tena sana kuna baadhi wameona hapo ni bora sana kulingana na hali yao ya kiuchumi! Mshukuru Mwenyezi Mungu kama wewe amekupa hali nzuri na familia yako
Kabiiisaa yaani kama mimi mwanangu aende madrasa jioni arudi nyumbani hata kama analala chini lakini yuko nyumbani dunia ya sasa ushoga mwingi wanaenda kuwarundika wanaume watupu sehemu moja
Haya sasa ni sawa kwauamuzi uliochukuwa, watanzania haya tuungane sasa tulijenge hilo bweni ndani ya muda mchache biith’nillah🤲🏽 togather we can 💪🏾
Ishaallah
Yes
@@adamapollo9859o
Tutachangia kuliko wakawe teja
Ni kweli
huyu Shekhe yuko vyema sana ni msikivu ,Hapo kubwa ni wadau mbalimbali na viongozi wa dini waendeshe harambee mazingira ya boreshwe
SAMIA ANAFANYA NINI? WAUZE HAYO MAGARI YA BEI MBAYA WATUNZA WATOTO WA NCHI YETU, NI KAZI YA SERIKALI, USTAWI WA JAMII UKO WAPI RAISI?
Allah please we need your help iyakanahbudo waiyakanahstainu😢😢
Mimi ni mkristo nimependa jinsi shekhe alivyo mjibu dc kwa hekima inatakiwa tuishi hivi Watanzania.
Kweri ndugu yangu
ndugu yangu mungu aniongoze mimi na wewe hivi ndivo tunavoishi sisi masalafi kwa viongozi wetu.
@@lulanjamd3886 kwanini kutanguliza kuwa ww mkristo?
Huyo dc ni mshenz kama ingekuwa ni kanisani asengetoa uwamuz kama huo ila ukereketwa na ukafiri umemshikaa t
Yah shehe yup vzr
Hongera sana DC unabusara sana Allah akulinde nasi tuinuke tupige arambee bweni lijengwe biidhin Allah kazi iendelee wanafunzi wasome inshaallah
Mungu atawasaidia matajiri wa kiislam lazima wachangie ili wapate nusra Ya Allah ...Kila jambo na sababu yake ....Sheikh mungu atakulipa
Kwanini matajiri na siyo wewe?
@@JJ-fb9jp In Shaa Allah ndugu upo sahihi
Kumtolea Mungu ni nia ya mtu na si tajiri buku yako ina msaada sana katika hilo
@@SGIT-jd6fg upo sahihi sheikh wangu
Ma_ashallah! Shekhe Mungu akuongoze kwa kusema ukweli Allah akutie nguvu
Allaahumma aamiin yaa rabbi 🤲🤲🤲😢
Aliesikia magodoro ya maisha kwa kutafuta watoto anipe likes zangu3
Hahaaa kunaviumbe haviko serious#this is Tanzania
Shekhe Allah akulipe kheri kwa kutimiza heshima na twaa kwa kiongozi wako. Ila unaona wazi kabisa viongozi wa serikali hawajijui kuwa wao ni watumwa wa wananchi. Hapo waislamu washajitahidi sana kilichobakia viongozi kumalizia tu. Na si kuwa abisha waislamu kiasi hiko. Unauzalilisha uislamu hapo. Wa ache watoto wa some dini yao. Ww waekee mazingira mazuri tu kama kweli nataka kusaidia.
Bado kazungumzia bajeti ya 60million inafanya nini kama si kujenga mambo kama hayo... mimi nakubaliana na wewe
Comment yako Haina maana na Haina mashiko nenda katoe msaada
Maoni yangu binafsi
Dini ina dhalilika hapa, waislamu Tujitoe katika dini yetu tuchangie kuendeleza madrassa zetu hii ni AIBU
Sheikh anadhalilika hapa nia ni Njema Uwezeshaji hamna
mkuu sidhsni kama hapa ni Madrasa. wazazi wawajibike kila mahli kuna madrasa na watotot wanaenda shele na madrasa. kwa nini hawa hawaendi shule?
Mimi sio Muislamu ila nimeipenda comment yako upo tofaut na wengine wafia Dini hawataki kuambiwa ukweli
Mtu anawaza kumsomea dua Dc anaacha kuwaza jinsi ya kutatua hiyo changamoto
Na ishu nikutatua changamoto na sio kulalamika
Inabidi elimu izingatiwe sio elimu dini tu
Michango jamani tuanzishe haraka kujenga bweni la msikiti
Waislamu ndugu zetu mkienda msikitini toeni sadaka ili maendeleo kama haya yafanywe kwa viwango vizuri maana lengo kama nikufundishwa dini ni jambo jema ila dini haipaswi kufundishwa kama adhabu, Ile kasumba yakusema hatutoi sadaka kufaidisha viongozi wa dini muache kabisa. Sadaka ni muhimu kwa maendeleo na ukuaji wa dini yenu ikitumika vizuri kwenye mambo kama haya.
Seneu mwisho wa waumini wa dini hiyo kutoa mchango qa sadaka ni ahs mia 5 hao watajamiana tu jinsia moja Mhe Magoti hamna kitu hapo wakubwa watawaonea wakubwa kwa kuwalazimisha
Hongera sana DC kwa kazi nzuri hekima busara na Upendo Mungu akusimamie katika kazi zako
Allah amekujaaalia hikma sana sheikh, akulipe kwa nia yako na azidi kukuhifadhi.
Huyu DC ana hekima sanaa jaman nimempenda bure Mungu akubariki
@@bensonmgaya5693 hiyo sio hekima inatakiwa mtu ahesabiiwe miaka ya shetani …
@@lawrencegwerino1656 apana amekili makosa sio kila kosa ni kuhukumu tu bila kufikilia kumbuka hata wewe unakosea Mimi ni mkristo na hekima aliyo tumia na kumpa pesa ya vocha amefanya vizuri sana Cha msingi Mungu aendelee kumpa hekima huyo kiongozi anaona mbali sana
Serikali inatakiwa iwasaidie kuweka mazingira mazuri ya watoto kuendelea na masomo yao, lengo la sheikh lilikua ni zuri tu ila changamoto za kiuchumi ndio shida.
Ni vyema DC atie nguvu kukisaidia kituo hicho.
@@lawrencegwerino1656acha ujinga
@@lawrencegwerino1656😂😂 😂
Mkuu wa Wilaya yuko sahihi.Tena huyu jamaa anabusara sana.Tusilaumu tuchangie kuboresha mazingira. Allah Jaalia kituo kisajiliwe
Salute kwako kaka ,wenzio wataanza sema waisilamu tunaonewa
@@emmadora7848nani anakuonea amka usingizini ndugu yangu hizo dini sio zenu tumeletewa na wakoloni amkeni usingizini ndugu zangu 😭😭
MM NIMESEMA LKN NAONEKANA NA MM KAFILI WAKATI UKWELI NDY HUO SEHEMU SIO SALAMA WATU WAANGALIE WASIMLAUMU MKUU WA WILAYA TU NI BORA WAOMBE MICHANGO KITUO KISAJILIWE BWENI LIJENGWE MAFUNZO YAENDELEE
Ameen
@@emmadora7848kuna mtu alisema ugaidi unaanzia hapo.
Hongera sana Mhe. DC Petro Magoti kwa hekima na busara uliyo itumia. Mungu akubariki sana!
Hekima ni msingi wa wajita
Elimu ya akhera haipatikan kiurahisi allah atawasimamia na hiki kituo kitaendelea inshaallah
Shekhe umejibu kwa busara sana mwenyezi mungu Akusaidie uweze kukamilisha hilo itaji la moyo wako nakuombea
Sisi wengine tumesoma maeneo kama hayohayo leo hii tuna maadili yetu na tuna maisha mazur Alhamdulillah nikiona hivi binasfi najua na maisha tu magumu nawaombea dua ndugu zetu hawa iko siku huyu Ustadh ataneemeka tena mda si mrefu in shaa Allah
Maashaallah kaka watu markazi tumevumilia cz kilichotupeleka tunakifahamu tusilqzimishane mirengo shule kuna nnn kama huna maadili mzigo tuuu mtaan sindo hao wasomi wanaokaa uchi na kusema ndo utandawaziiii wenye dini hawafanyi upumbavu kama huo
Huyu atakuwa alifundisha ugaidi
@@Pelegrinoemanuel wakristo mnachuki sana na uislam hilo tunalijua na quran ishatuambia kuwa chuki mlizonazo kwenye mioyo yenu ni kubwa kuliko hizi mnazozidhihirisha so tunawajua vzr kwahiyo comment kama hii yako ningeshangaa isiwepo
@@Pelegrinoemanuel Acha ushenzi wewe
Toa ujinga wenu,mlizaa watoto kuwapeleka kulelewa? Kama uwezo wa kulea hamna mnazaa wa nini? Badala watoto mkawapeleke shule wasome elimu inayoeleweka mpo busy na kiarabu.
Huyu shehe nimempenda sana nimstarabu
Saana Allah amfanyie wepesi ktk usambazaji wake wa dini aende kisheria
Hata kama siyo mstaarabu hapo lazima ajifunze kuwa mstaarabu Kwa Maana akijifanya mkali jela inamhusu
Masha Allah watoto wanasoma dini yao hapo waachane tu mnachotakiwa mujenge mabweni tu. Na sikuzalilisha.
Mimi ni Muslim ila Kwa hili usalama wa watoto haujazingatiwa. DC upo sahihi na umetumia busara kubwa shekhe pia umetumia busara kukubali makosa kukiri makosa. Mungu ni mwema yametokea haya kabla madhara hayajawapata watoto.
Kabla ya kuisoma Dunia ni vyema kuisoma akhera yetu wenye Dunia tuwaachie Dunia yao
Swadaqta wa jina
Serikali wanataka madrassa zifungwe. Hawana lolote hawa. Wanataka elimu ya kizungu tu.
@@groundtrader173usingesoma ya kizungu, ungetuandikia nni hapa????.. ndio inayokusaidia kupambanua mambo
@@manish-fp1fbMambo gani ww choko nini
DC kisarawe mwenyezi mungu akulinde na kila baya ,akupe kheri na baraka zake
Mungu akubariki sheikh, aisee una Mungu uko mnyenyekevu
Achen akili mbovu iyo hali sio nzuri tuache dini pambeni watoto wanakaaje hapo ubishi sio mzuri tubadilike
Chuki na uislamu tuuh mungu anawaona mbona watu wanauza uchi na mashoga hawakamatwi wanachekelewa tuuh na viongozi awachukui hatuwa
@@user-yj5on8cz3enani aichukie dini ambayo watu wake wako kama mawe? Miaka yote hawataki kubadilika ,ninyi ni wabishi sana na ndio maana wengi hamsomi ila kulalama mnapenda sana
Didi haiwezi kuachwa pembeni ila utaratibu uchukuliwe dini yeyote haisemi watoto wateswe
@@user-yj5on8cz3e haya mambo ya kuendekeza udini ndio yaliyosababisha majanga kibiti,mkuranga,Amboni na mtwara mtu anaendesha mafundisho bila hata uongozi wa dini mkoa hufahamu tena unalaza watu msikitini alafu unatetea tu ujinga et dini kuna mtu asiyejua maana ya kumuomba Mungu na kujifunza mafundisho mema kwann mnataka sana kulazimisha dini ya kiislam ionekane na taswira mbaya kwa kukosa elimu ya dunia ninyi ndio mnaofanya uislam uonekane vibaya mbele za watu kwakujiona kama malaika na wengine ni mashetani ingali ndani humo humo kuna mashetani zaidi hata ya hawa mnaowaona wadhambi badilikeni mnakera sana vile hamjui tu mnatufanya tunaowaamini na kutamani kujifunza mafundisho mazuri ya kiislam tuchukie
@@user-yj5on8cz3ehawakamatwi vp... Mbona sinza wameshika madangulo yote
Sheikh ni mstaarabu sana. Amesema ukweli wake na Allah atamsimamia kupitia ukweli wake. Mafundisho ya Dini ni muhimu sana, tena sana, lakini shida mazingira siyo rafiki. Simple tu kuelewa.
Amesema ukweli wap anafanya watoto wasisome mtoto wa darasa la nne amemkumbatia asomi na alisema anawatoto wakubwa kumbe na wadogo wapo
Angekuwa mstaraab angefanya huu upuuzi? Ovyoo
@@florencejohn6427chizi ww achakutukana watu unaongea kwajazba ya dini tu fyuuu
Upuuzi gani ndugu@@florencejohn6427
Kuna machokoraa wamejazana mtaani iyo serikali imefany jukumu gan lakuwasomesha?@@JoyceMourice
Bakwata simamia hili,sio kusimamia sikukuu na mirad ya msktin
Wao wako bize na maulid tu
Kama serikali mnatoa kwa ajili ya mashule basi mtoe na kwa ajili ya madrasa kwani kuna wengine sio kwamba wanapenda kuwa wabunge raisi na cheo zingine za kiserikali kuna wengine wanataka kuwa masheikh serikali iangalie hili msiwalazimishe watoto na ndoto zao
Ukiwa na busara raha sanaaa DC anabusara Sheikh anabusara hapo Lugha ni Moja Mashaallah
Kwenye kulingania dini kuna mitihani mingi. Allah akupeni subra nusra ya allah ipo pamoja na matatizo
Sahihi Allah s.w.t awape subra
Serikali inataka kufunga Madrassa. Maneno yake yanaonesha niya yake kamili
Allaahumma aamiin yaa rabbi 😢😢😢
ndo kulala huko kuitafuta mbingu?
Kazi ya kufundisha dini na maadili mema.
Ni kazi nzuri ya Mungu, iboreshwe.
Lakin hao si wanatakiwa waende sekondari ndo huko Wapate na Elimu ya Dini??Ili kesho wasianze.kusema Pastor ana gari lakin shekhe Hata baiskeli hana hahaha
@@trophywilson7211
Kweli, umri ule sio wa elimu ya dini pekee.
Ukiangalia upande mmoja yaani ustawi "kiroho" unasema ni sawa jambo jema kufundishwa dini.
Ukiangalia kwa upana wake yaani ustawi wao kwa ujumla unapata jibu wanahitaji elimu ya dunia na ya dini.
Asante chief
Mh DC Mwenyezi Mungu akubariki sana,Mungu akupe maisha marefu in sha Allah,
Mimi machozi yamenitoka eti kwa ajili ya huyo ostaz alivyo mnyenyekevu hadi nimelia😢 jamani achangiwe bweni lijengwe
Nmejiskia huruma kweli asee
Ndio ujue umuhimu wa kusoma dini huyo sheikh kasoma dini
Yaani anaunyenyekevu mnoo Mungu amuinulie wafadhili wa project hii
Kwakweli jambo la msingi nikuchanga tu wajengewe bweni zuri waendelee na mafundisho hayo yanafaida sana ila tatizo ni mazingira
Hizo pesa zinazotolewa ni kiasi gani kinatengwa kwa ajili ya taasisi za kidini kabla hatujawalaumu na kuwadhalilisha viongozi wa kidini?
Kazi nzuri sana DC
Acha kuidanganya jamii!!!
Msikiti ni zaidi ya kufanya ibada, tafadhali tumia lugha nzuri.😢
Nyumba ya ibada wanapika jaman hiyo ni kambi ya jeshi au ugaidi.. nyumba ya ibada ni ibada tu
Haya mambo ya kuaza kufundisha watoto namna ya kuja kuwa magaidi yameaza tena jaman 😢
Nyooo umesikia wanafundisha ugaidi pale kuwa muelewa
@@JK-uq1tv kwani ww umefatilia kua wanafundishwa kuja kua magaidi ?
Acheni fikra za kimagharib zilizojaa chuki, uislam sio ugaidi bwana, hiyo ni sawa na Sunday school kwa sisi wakristo !! Tusiwekeane mipaka kwa kuwapandikiza wengine ubaya !! Dini ni upendo, kwa taarifa tuu magaidi wakwanza ni hao wanaotuharibia watoto kwa ushoga na usagaji na tena wanalazimisha dunia iangamie, sembuse hawa wanaoipigania dini yao !! Acha chiki bwana
@@devisshirima6780 sahihi kabisa ndugu
Hizo ni chuki zako wee unaubaguzi kwanza akuna gaidi
Mkuu magoti
Mungu akubariki sana kwa hekima kubwa uliyo onesha InshaAllah
Kazi njema
DC na sheikh Mungu awabariki sana.
Safi sana MH.ila wazazi wa hao watoto nao vichwa vyao sio sawa.
Kutafuta elim sio mpaka update pazuri sio
Dc amefanya kazi nzuri
Hongera sana mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo shehe pamoja na DC maisha magumu Sana wakirudishwa tunazalisha panyarodi mungu tutetee
Hongera DC, nimependa approach yako. Hope Shehe ataboresha
Je hao watoto wanafundishwa dini tu. watoto hao waulizwe wanachofundishwa.
ni dini tu wala usihofu
Swali la kipumbavu
😂😂😂
😂😂
We ni msenge mbona wakristo mnachuki na uislam ivi bwege wew
Huyo shkh mm namjua anajitahd sana na ana group la mchango wa hayo mabweni ila ndo hvyo watu wanatoa kdog kdogo sana
Allah atamuongoja
Atamuongoza inshaa Allah
Tuma link yake ya group
Mtu anaweza akaweka namba yake nkamtumia akuunge kwny group
Angepata network uarabuni wampe fedha za kujenga mabweni.Uarabuni pesa zipo ni apate link Bakwata wangempa link.Ama angeenda ubalozi wa Oman Saudia nk wangemsaidia.Waislam jikusanyeni msaidieni sheikh muonganisheni na waarabu nje ya nchi wam finance.Km dini nyingine wanavyotafuta funds nje na kujenga maskuli nk.
Dc ❤et magodoro Yanaisha kwa ajili ya kutafuta watoto❤
Allah amfanyie wepes sheikh tuchangie waweke bweni, mkuu wa wilaya yuko vixur ana huruma sana, sheikh nae mkweli, mkuu w wilaya ana huruma sana,
Maisha hayo ni bora kuliko maisha ya watoto kuzurura mitaani...
Kuwa wahuni,wezi,madawa ya kulevya nk...
Sahihi
Uko sahii ila kumbuka watoto Bado wanaitaji shule hicho kituo kinaitaji kijulikane kwa serikal na kwa wakubwa wa dini ili watoto wapewe malez Bora kinacho fanyika hapa ni sahii kabsa
Umeambiwa ni wa mtaani hao?
Hakuna dc hapa ni ukristo tu unataka kuturudisha nyuma katika dini laana tu llah
Wallah nakuomba mungu sambaratisha cheo chake huyu kafiri adharirike mpaka kaima🤲🤲
Hivi Serikari wanakuwaga wapi mpka kitu kama hiki kinatokea ? Alipataje leseni ? Mambo ya aibu sana haya.
Hakuna jambo la aibu hapo hayo maisha ndo maisha asilimia 90 watu wanaishi huko mikoani hivyo usifanye kama Kijiji kwako hakuna
Leseni?
Leseni gani?
Alafu hayo ni maisha tunayoishi kila siku...
Nina jirani yangu anawatoto sita wanalala kwenye chumba kimoja na wazazi wao kwenye chumba kimoja...
Maisha hayo ni afadhari kuliko maisha ya watoto kuzurura mitaani kuwa wauni na vibaka
@@OchoaHomeDecor_ ndio maana Serikari inatakiwa na watalamu wake wanatakiwa kutoka Elimu na makazi bora Ni 2024 sio 1940 lazima wawatoe wanainchi kwenye umasikini kama huo sio wanafikilia matumbo Yao tu .
Ajabu sana hii
Me nauliza hao watoto wanaenda saa ngapi shule? Maana navyojua wanaenda madrasa wakitoka shule...siyo kuhamia ,labda kama wapo hapo kwa muda .
KAZI nzuri magoti DC
Shekhe uko sahihi sikuizi watoto wadogo watukutu huku mtaani bora kuwe navituo kama hivi hata huku mtaani wangekuwa watoto wenye heshima chamsingi tumuwezeshe shekhe atufundishie watoto wetu huku mitaani hakufai asante mkuu kwa busara zako pia shekhe allah akulipe kwa hekima uliyonayo tukiwezeshe kituo waislamu inshallah
Ukweli tusifiche WAISLAM Kwa hili wanakosea sana hii tabia misikiti MINGI hiyo tabia ipo sana kuwakusanya watoto sehem km hiyo unatabia ya ongezeko la Ushoga watoto wengi wamearibiwa sehem km hizo za mikusanyiko
𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐒𝐀
Mbona mfalme zumaridi mbona Analaza usiseme waislam ili nikosa kama makosa mengine
Sunday school hawaharibiwi?
Kwani mwenyezi mungu kwenye vitabu vyake anasemaje na mtume naye na watu wema waliishije kipindi chao? Na kuhusu ushoga mungu kakataza lakini pia vilevile kuchanganyika na Wanawake imekatazwa tusiongee tu kwa ushabiki turudi kwa mungu tufate taurati, zaburi, injili na quraan.
Acha ujinga
Wajengewe mabweni watoto wasome Mbona Tanga wanamabweni watoto wanasoma vizuli tu
Tatizo vituvyakheri havina michango m
Nmewapenda wote shekhe na DC Magoti...Hapo mkuu wa wilaya tusaidie angalau Bweni Moja Inshallah
Kiongozi ni ni kutafakari na kufanya maamuzi kwa Hekima na Busara, siyo Hisia na Mihemko, I salute you DC Magoti kwa namna ulivyoshughulikia kadhia hiyo, Mungu akubari!
Serikali iache kulea vitu hivi kwa kisingizio cha uhuru wa Imani. Hivi vituo vinavyokusanya watoto kiholela vinakiuka haki ya watoto ya elimu,nk. Magonjwa yakitokea nani anawahudumia? Na wazazi wenye watoto hawa wachukuliwe hatua za kisheria.
We jaahili kweli,
We mpuuzi Kweli!!!!
Ww mjinga nmoja
Mjinga wa mwisho
Hongera sana DC kazi nzuri sana ndio viongozi tunao waitaji watazania big up
Sasa kazi ya nini hapo au ndio ukafiri unakusumbua
Huyu anausakama uislam , mimi siwez unga mkono kabisa , anajifanya busara ila moyoni ana maana yake . Pambaneni na wimbi la ushoga . Chuki tu moyoni ndio zimewajaa
Niliona watu wakimjibu vibaya huyu mkuu wa wilaya jee nani Yupo tayari mtoto wake aishi mazingira hayo?
Hapo hata hiyo elimu mtoto atafahamu kweli?
Jamani shughuli za uendeshaji shughuli za dini ni changamoto sana, ukizingatia hakuna mfadhili wa kukamilisha kila kitu kwa wakati. serikali ituvumilie waisilamu. Ikiwezekana serikali iangalie namna ya kuwezesha taasisi za dini.
Ni kweli kabisa
Sahihi kwasababu nawatu wa dini lengo 1 VP watu wataishi Kwa Imani na khofu hvyo wanafanya kazi kubwa saana kusaidia jeshi la police 🚨 kureta usalam.
Taasisi za dini zitengeneze mazingira mazuri zenyewe ko kabla ya kuibebesha lawama serikali kwanza jikagueni wenyewe kwanza muone kama mnaweza kutoa huduma hiyo
@@canibalgazaboy8325 Mwisho wa siku huduma lzm ziendelee watoto mashaallah wanazaliwa wengi kama yukisubira mazingiza mazuri watapotea wate hao vijiweni kwa bangi, unga n.k
😂😂😂😂
Hiyo pia nielimu kama mtoto ameshindwa kwenda shule kuliko kuzurura hata dini asome .nilazima itambulike kua pia hii nielimu.
Ni sahihi akhy kuna watu hapa nahisi si waislam wengine pia ni nawasiasa tu wanongelea vitu vya kijinga sana
Kwann ashindwe kwenda shule tunajua dini ni muhimu sawa lakin kumbuka elimu ni Bure kwann ashindwe kwenda shule??
Asante sana muheshimiwa, umetumia njia mzuri sana nahekma yahali yajuu licha yakuwa ulikuwa nauwezo nahaki yakumhukumu Shekhe wetu huyo maana kosa lake likowazi
Nakupongeza Dc Magoti mpakanimetokwa na chozi kwa hekima zako good bro
Hii aijakaa sawa
Taarifa za kiintelligensia zimebeba mambo mengi kuhusu hicho kituo..
Tusaidie tujue
Intelijisia ya mavi
@HUNA LOLOTE ULIJUALO ZAIDI YA CHUKI NA WAISLAM .
Sheikh Mungu amekupa hekima kubwa sana,wewe ni zaida ya sheikh wa mkoa,Mungu akuzidishie Ndugu yangu.
Ubarikiwe shehe na dc kwa hekima
Nyie mnaolalamika eti anazuia kazi ya Mungu mnakosea!!! Haowatt kilamtu ametoka kwao na tabia zake. Hivi vitendo vya ukarili nivingi sikwawaislamu wala wakristo. Kwaiyo wacheni kiongozi afanye kazi yake. Watt wakiumia ninyie mtalaumu jmn
Ni aibu kwa inchi.kuona haya mambo yanafanyika na serikali ipo…
Wapuuuzi Sana hii serikali
Aibu kubwa sana huu ni utumwa
Dc Mungu akubrki,una hekima sana
Big up sana mkuu una mauwa yako toka kwangu, umefanya kazi nzuri sana, kwanza ni watoto wa kiume tupu huu unaweza kuwa mwanzo wa ulawiti na kulawitiwa kwa watoto hao
Ushoga ndio unaanzia humour,ni ujinga sana huo.
@@user-vl5tz6xt2m hahahahaha wewe kweli akili huna
Waziri Gwajima, ukaguzi ifanyike nchi nzima. Makanisa na misikiti yote ikaguliwe. Na sheria iwe Kali kwa wazazi na walezi. Iko siku waovu wataweka vituo km hivi kuendesha Mafunzo ya ugaidi, ushoga,nk alaumiwe nani?
Nimependa ulichoandika.
Yule asiyefahamu nini maana ya dini atamuunga mkono sana DC,na Yule anaefahamu nini maana ya dini atamlaumu sana DC.
Ukwel DC kakurupuka alafu watu wanaishi maisha ya shida kuliko hayo alafu wala mtu aongei chochote kwa kuwa jambo la dini na la waislam ndio hivyo tena
Kumbuka sis tumesoma elimu ya dunia hiyo hiyo kwa kukaa chni na vyoo vya kulenga Lakin miaka sana yote tumeishi hivyo leo jambo la dini watu washabikia DC mwenyewe maneno machafu
kiongozi hakuna kulaumu mtu. hapo ni kusecure usalama wa hao watoto. shekhe ajenge hostel afanye hiyo kazi
@@perfecttentech6208 Kama hujui hapo kuna baadhi ni watoto wa mitaani wameletwa hapo kusaidiwa jee warudi mitaani wakazurure na kulala barabarani na masokoni? Au huko ndio salama zaidi.
Duh kweli
Magoti umechapa kazi vizuri sanaaaa hao nikujamiana tu jinaiq moja Mungu walibse hao watoto
Ujielew inaonekana ulizaliw unatukan
AYO TV RUDINI KWA SHEIKH MKAMSAIDIE KUPAZA SAUTI KWAJILI YA ARAMBEE WEKENI ACCOUNT NUMBER ONLINE ILI WATAKAOGUSWA TUCHANGIE HILO
Mama Samia anaona hili na Iman atafanya kitu kama alivyofanya mengi mazur yanayo gusa maisha ya watu😢
Hivi mama samia kuna jema amefanya au unampaisha tu mie sijaona pia namshuhudia Mungu
@@user-do1ug7de3g mama kawapeleka bongo movie korea hawez shindwa hili jambo la khery
Waangaliqe na afya zao je ni wazima? Je hawajaingiliwa kimwili.?
Yaan wewe una mawazo ya ovyoo
Wataingiliwaje wote hao naww uwe na akili
Tahila ww
Kwahiyo ulivy ingiliw wew ukiw mdog unadhani na haw watoto itakuw hivyo
kweli tabiaza za m2 zikiwa chafu na mawazoyake yanakua machafu alio zoea kulawitiwa pia mawazoyake kua kilam2 analawitiwa kama yeye
Sheikh hongera sana umeweza kujitambua na kujieleza vizuri sana Mumgu akubariki sana
Japo mi ni mu christo nimekuelewa sana na nimekupenda sana bure Na Bwana DC asante kwa kumuelewa Sheikh
Mtume wetu Muhammad ( s.a.w ) ukiangalia maisha yake yote alikuwa akilala mchangani kula alikuwa anakula tende na sio kwamba alikuwa masikini , starehe za kidunia zitawapotosha vijana , huyu dc atafute vijana ambao hawana ajira mtaani awasaidie acheni kusakama uislam
Uko vizuri sana mkuu nenda na kwa mwamposa wanala nje na wagonjwa
😂😂😂😂 kwakweli
Wale ni watu wazima hawa ni watoto wanaweza hata kufanyana vibaya tatizo mnaanza kuleta udini
🎉😂😂
Usha sema hao ni wagonjwa acha wahangikie tiba na uponyaji pia ni watu wazima hawajitaji kwenda Shure ludishrni hao watt kwa wazazi wao wakaende shure na kulijenga taifa msikiti ni sehemu ya kusali na kuludi nyumbani siyo kuishi humo kazi au Shure wanafanya saa ngap? Ulizeni hao watt wanacho fundishwa kusije kukawa kunazalishwa akina hamza
@@user-mc2zl1gj6uKwa uandishi huu hata wewe unatakiwa kwenda shule. Shure ndiyo nn?
Hii sio uislam,,,,,hawa watoto wanatakiwa wawe shule,.......kama mzazi huna elimu ya kutosha,,,usitake mtoto nae awe kama wewe,,mzazi
Hiyo wanayo pewa ni elimu pia...kikubwa ni usalama wa hao watoto
Kwahyo hapo walipo sio shule. Km unahuruma kweli ungewachukua wanaoranda katiakoo uwapeleke shule
Kwani shule ndio nin mbona kama ubongo wako umelala
@@rashidyyusuph4386 ww toka umesoma umeajiliwa au umepewa kazi ilmu ya dini ndo yenye kumfaa mtu kesho akhera ww unajina la kiislamu lakini hujtambui uislamu ni nini
Umesema kweli ngugu
Msikiti sio Kama kanisa asichanganye haki na batili..shehe wekeni namba zenu za tigo pesa mupate michango kuinua madrasa
Duu said mbona unadhalau wakristo , watoto wanaoshi vibaya wewe unaleta uchochezi acha unafiki Mungu sio wa kwako tu, viongozi wameshauri vizuri wewe unadhalau wakristo sio sawa ukome kabisa
Dc yuko sawa na ustadhi pia naamini kwa asilimia 100 nia yake ni nzuri mno .
Waislamu na wadau mbalimbali hili ni dhima tujitokezeni kwa kile ulichojaaliwa kulibeba hili tusingoje kufuatwa au kuombwa.
Tutengeneze Akhera yetu Leo.
Wazazi wenyewe ni maboya Sanaa, mungu atusaidie sana. Sijui nani katuloga
Hata mm nashangaa akili Gani hizi za wazazi. Ndiomana watoto wanafanywa vibaya
Hauna AKILI wewe
achakukurupuka mjomba hakuna mzazi asie mtakia mwanaeheri wamezania heri wakawapeleka wanao ilamzingira ndio changamoto
Kwa hili nakupongeza sana kazi nzuri
Hongera DC
Iv waislam kaz kutanua midomo wanawaona😢 iv kwel mnashindwa kuchangia din yenu watoto wenu wakasoma vizur 😢😢
Hao kulalama ni balaaa ila kuchangia maendeleo ya taasisi zao ni 0 huo ndio ukweli japo watakataa
Toka lini uisilamu akawa na Elimu ya kutosha ila Sasa kutukana kafili ndo wamejaliwa
@@bitecastory2137unakosea sana,raisi wako dini gani? Hana elimu yule,nani aliyepigania uhuru taifa hili,chama cha TAA baadae kikazaluwa TANU ndani yake walikuwa akina nani? Acha ufala,elimu waislamu tunayo yakutosha.
@@bitecastory2137 allah akusamehe
Angalieni hapo kama hakuna viashiria vya mafunzo ya kigaidi
Nilitaka kusema hili nimewaza kama wewe yaani wachunguzwe
Msiwe na mawazo mgando nyie
Hivi kwa nn waislam wakipewa mafunzo ya kidini mnagusisha na ugaid wakati wenzetu wakristo huwa wanakaa makambi ya kupewa kipaimara but hakuna inshu Kama hizo,then hao wanaoambiwa ni magaidi huwa watu wanaowadhamn ni wazungu,naomba tuwe wataft wa mambo kabla ya kuyazungumza.
Watoto wakibanwa wataeleza wanalishwa sumu ya itikadi
Acha ujinga wew Kila kitu ugaid ulaniwe milelw
Ninawaombea miundo mbinu iboreshwe. Shekhe Allah akulinde
Mh DC Magoti M Mungu akujaalie umli mrefu endelea utafika mbali umetumia hekima sana ila nikuombe umsaidie shekhe ili kupata ufadhiri wa kujengewa bweni za hao watoto
Msadie Alifa kupata msaada wewe ni mtu wa watu pia ustadhi tupo tayari kukuchangia nipo tayari takuja kisarawe kukutembelea
Hiyo Kamati ya Afisa Ustawi wa Jamii, Mtendaji, na Afisa Tarafa, na Sheikh mwenyewe, imenifanya kuamini kweli watoto watarudishwa nyumbani kwao.
Maana nimeshtuka baada ya kusikia ikifika saa 7 hutakuta mtoto hapo.
Hata Nguruwe halali katika mazingira ya Namna hiyo "DC wewe Allah anakutazama"
Watu wanamaliza magodoro kutafuta watoto.😂
DC wapo wengi in biashara funga natena huyoo she hakuonyeshee wengine
Kwa kweli ni hatari sana
Wote wanania nzuri kwa watoto DC amefanya kazi yake nzuri na shekh pia alikua na lengo zuri ispokua amekosea kufuata sheria tu lkn Allah awalipe kwa nia zao njema DC na shekh
Jamani umetoa maoni mazuri sana mungu akulinde kwa kufuatilia hayo mazingira ya hao watoto🙏🙏🙏
Raisi jiaangalie haya mambo ya kuvamia madrasa.na kuzuia watoto wasisome dini, mungu anakuona
Kwan hiyo ni shule😅😅😅😅 wwnafundisha nini bila kibali
Wewe mwehu kabisaaaaaa yan DC kaongea kwa ustaarabu kabisa na ana mwelekeza wajenge mabwen kisha wawachukue watoto tena kwa utaratibu mzur sasa hapo kakataza wapi wasisome din wewe nenda shule kasome
Unadhani Samia mwehu kama wewe ...
@@audaxbizimana8084 sikulaumu sababu ni mkristo
@@joycehaule9717 sikulaumu sababu ni mkristo
Eti chuo cha din hiv mzaz kabis na usingiz wanapat kuna wazaz wanamoy sana daah
Usiseme ivo kwani maisha yetu tumetofautiana sana tena sana kuna baadhi wameona hapo ni bora sana kulingana na hali yao ya kiuchumi! Mshukuru Mwenyezi Mungu kama wewe amekupa hali nzuri na familia yako
Kabiiisaa yaani kama mimi mwanangu aende madrasa jioni arudi nyumbani hata kama analala chini lakini yuko nyumbani dunia ya sasa ushoga mwingi wanaenda kuwarundika wanaume watupu sehemu moja
@@AshuraMaulidexactly
DC Allah akulinde na akuzidishie hekima na busara.
Hwenda ikawa ndio chanzo cha kupata msaada mkakamilisha kituo chenu. InshaaAllah allaj awape wepesi.
Wachunguzwe wanacho wafundisha hao watoto. Wengine wanatumia mgongo wa dini kupenyeza maovu
Kwenye dini ulidhani wanafundishwa nn!!!
Dhana mbaya dhambi
Acha chuki za udini
Ovyooo kama una cha kuongea nyamaza
Huna akili acha chuki fis ww