Shida kubwa tuliyonayo watanzania tunapenda kuhukumu kuliko kujifunza,mihemuko,ushabiki na ubinafsi ndo vinaharibu taifa hili.Tangu awali Mwambukusi alionekana sana kuwa muungwana,mzalendo na mpenda haki,pia ni mcha mungu wa asili
Muheshimiwa sasa uraisi umekushiba na sijategemea itakua mzalendo wa kweli na mwenye Imani na nchi Yako kuliko hao wanao toa hukumu hata upelelezi haija kamilika hongera raisi
Dakika ya 4:24 "tuna taifa moja " ,umesema Ndugu Rais wa TLS . Ukweli ni kuwa hatuna taifa moja kwa Sasa bali tuna nchi moja . Taifa ni moral unity ya races tofauti . Tulikuwa na taifa hadi 1995. Kuanzia hapo tukawa na Nchi bila Taifa . Leo hii Serikali ina competing moral theory za government. Hivyo tuna nchi bila taifa . Kama unataka taifa lazima tuwe na CCM tu. Na huko CCM tuanze kufuta baadhi ya sheria ili turudi kuwa na taifa.
@@FidelisiKidungu, CCM tu ndiyo ina falsafa ya kejenga Taifa. CHADEMA wana falsafa ya kujenga Nchi. Hivyo Rais wa TLS Ndugu yetu Mwambukusi ana nostalgia ya kuwa na Serikali ya CCM kabla ya 1995. Ndiyo nikasndika, ikibakia CCM pekee, zipo sheria kadhaa za kufuta na kuboresha ili kuwa na msingi imara wa Taifa.
Hiki ni kichwa at akipewa nchi mbili Hamna mashaka, ni mzalendo tuache ushabiki wa kupotezea mambo ya msingi na kufanyana mataira lakini time will tell,, Rais mwabuguzi hata ibilisi anaweza kumwelewa ,TUMWELEWE
Naiona hatua ya kwanza kuelekea kwenye nchi ya kufuata haki na demokrasia ya kweli kupitia wasomi na wazalendo wa kweli wa TLS chini ya Mwabukusi na wengine!
Mwenye akili afikili serikali iliyoko madarakani haiwezi kusababisha mauwaji kipindi cha uchaguzi hawa ni Wapinzani wanachafua uongozi ulioko madarakani ili wapate kula
@@StevenSanga-n3nnawe soma comment ya mtu vizuri na kuelewa. Jamaa kampongeza Julius Kambarage Nyerere huyu ndio JK Nyerere muhasisi wa Idara ya Usalama , sasa Magu apo wa nini? Au umezaliwa juzi ukiona JK tu wewe unajua kikwete sio ukichanganya na chuki zako binafsi kwa Mzee wa watu basi unalipuka bila tafakuli. Acha hizo .
Jamaa anajua wanao sema apewe nchi tujuane hapa
Mawazo ya maskinii akishiba 😂😂😂😂anafilwa ana sahau kua atawahunii wapo
Apewe uraisi
Mwabukusi Mimi ni ccm nimekuelewa sana....big up...
Yaan walio kuchagua kua urais wa sheria wametupa mtu sahihi
Mwabukusi unafaa kuwa Raisi wa nchi ya Tanganyika
@@christophermatupila7165 ila cyo TANZANIA
Mungu akutunze Asante kwa maneno mazuri
Safi sana Mwambulukus i
Mwabukus kweli Tls imepata mtu sahihi hata sisi wananchi tunaimani nchietu pengine itafika nchi yaahadi mungu awalinde Tls tuko pamoja
Shida kubwa tuliyonayo watanzania tunapenda kuhukumu kuliko kujifunza,mihemuko,ushabiki na ubinafsi ndo vinaharibu taifa hili.Tangu awali Mwambukusi alionekana sana kuwa muungwana,mzalendo na mpenda haki,pia ni mcha mungu wa asili
Ndivyo alivyo Hakika
Kama siurafi unafiki wizi ubinafis mwabukus MPENI NCHI atatusha sarama
Pia akina Mwambukusi wapo wapenda haki.tushirikiane.
TLS tulipatia sana
. Kumchagua huyu Mwamba
Kupitia hiki kikao kidogo naanza kuwa na matumain
Safi sana TLS presidaaa
MUNGU NI MWEMA .TLS IMEPATA KIONGOZI MKWELI NA MWENYE WELEDI MKUBWA TUIGE MFANO WA UONGOZI KWA MWAMBUKUSU
Saidieni wananchi jaman ili waishi kwa amani
👏👏👏
Mnyika vipi ANATUBU bado au kajiteka wakili 😢😢😢😢😢😢
Swali la kipumbavu huwa hajibu Mwabukusi! Ungewauliza watekaji walitaka nini kwa Mnyika
Mpumbavu hafundishiki
Muheshimiwa sasa uraisi umekushiba na sijategemea itakua mzalendo wa kweli na mwenye Imani na nchi Yako kuliko hao wanao toa hukumu hata upelelezi haija kamilika hongera raisi
Dakika ya 4:24 "tuna taifa moja " ,umesema Ndugu Rais wa TLS . Ukweli ni kuwa hatuna taifa moja kwa Sasa bali tuna nchi moja . Taifa ni moral unity ya races tofauti . Tulikuwa na taifa hadi 1995. Kuanzia hapo tukawa na Nchi bila Taifa . Leo hii Serikali ina competing moral theory za government. Hivyo tuna nchi bila taifa . Kama unataka taifa lazima tuwe na CCM tu. Na huko CCM tuanze kufuta baadhi ya sheria ili turudi kuwa na taifa.
CCM SIYO TAIFA NI CHAMA
@@FidelisiKidungu, CCM tu ndiyo ina falsafa ya kejenga Taifa. CHADEMA wana falsafa ya kujenga Nchi. Hivyo Rais wa TLS Ndugu yetu Mwambukusi ana nostalgia ya kuwa na Serikali ya CCM kabla ya 1995. Ndiyo nikasndika, ikibakia CCM pekee, zipo sheria kadhaa za kufuta na kuboresha ili kuwa na msingi imara wa Taifa.
Wewe ni mtu sio jitu TLS big up
Kwanini mnyika hajitokezi kuhojiwa jaman
Kamuulize aliyekuzalia gest kwann hahojiwi
Hiki ni kichwa at akipewa nchi mbili Hamna mashaka, ni mzalendo tuache ushabiki wa kupotezea mambo ya msingi na kufanyana mataira lakini time will tell,, Rais mwabuguzi hata ibilisi anaweza kumwelewa ,TUMWELEWE
😂
Kazi yako ni njema
Usiemtaka kaja😂
bado sina mashaka na ww mkuu ,watakuelewa tu
Mwambukus ni kichwa sana anajua kupangilia maneno ni mkweli sio kanjanja utakuta mtu najiita msom lakn ajiamn
Naiona hatua ya kwanza kuelekea kwenye nchi ya kufuata haki na demokrasia ya kweli kupitia wasomi na wazalendo wa kweli wa TLS chini ya Mwabukusi na wengine!
Huyu mzee ana akili kuliko viongozi wengi wakubwa
Wala sio mzee. Mvi zimempata mapema sana
Mwenye akili afikili serikali iliyoko madarakani haiwezi kusababisha mauwaji kipindi cha uchaguzi hawa ni Wapinzani wanachafua uongozi ulioko madarakani ili wapate kula
Hii nchi ngumu sana very secret country on issue of government operations RIP JK
Nyerere
Cyo jk sema magufur
@@StevenSanga-n3nnawe soma comment ya mtu vizuri na kuelewa. Jamaa kampongeza Julius Kambarage Nyerere huyu ndio JK Nyerere muhasisi wa Idara ya Usalama , sasa Magu apo wa nini? Au umezaliwa juzi ukiona JK tu wewe unajua kikwete sio ukichanganya na chuki zako binafsi kwa Mzee wa watu basi unalipuka bila tafakuli. Acha hizo .
Akhasante!
TLS imepata MTU sahihi
Tatizo ccm kitu kukaa kufikia muafaka hawataki kwa kufanya hivo watakosa mamlaka
Uzuri hata muuaji nayeye atakufa tu
Tukiwa na watu kama nyie hakika tutafka panako stahili, hatuez kuongozwa,, huku mioyo inamaumvu,, huku midomo inacheka hatar sna
Wananzengo wengi kumbe walikuwa hawana habari kama kuna chombo kinaitwa TLS ! baada ya huyu Mwamba kuingia ndo wameelewa kumbe kuna chombo hiki!
Mi mwenyewe nilikuwa sijui
Kisomi na kizalendo kabisa.
Uyu anafaa kuwa kingoz mtendaji ila afai kuwamtawalaa anaubaguz
Amembagua nani?
@@sebastianmwantuge5597 anaubiri sana utanganyika kuliko UTANZANIA
Twambie kambagua nani ili tumkatae
Kivipi?
Hapo wewe ndio mbaguzi