Mke wa Dr Mwaka Alivyopiga Magoti na Kuangua Kilio Kuomba Msaada wa Rais Samia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2023
  • Queen Oscar mke wa Dr Mwaka aliangua kilio kuomba msaada kwa Serikali na Rais Samia ili kumsaidia kupata talaka #Jahazi

ความคิดเห็น • 480

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว +52

    Dada anajibu vizuri na anaongea vizuri.mungu akusaidie mwisho mwema kati yako na Dr.mwaka.

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 ปีที่แล้ว +6

    Daah Queen umeniliza sana machozi yetu hayaanguki bure ln shaa Allah Mungu yupo mapoja nawe mdogo wangu 🌹

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 ปีที่แล้ว +22

    Aki pole sana dada kwa mtihani huu Allah akufanyie wepesi inshaallah 😭😭😭😭😭

  • @agostineminde6025
    @agostineminde6025 ปีที่แล้ว +20

    Dr mwaka unafeli wapi? mtoto mzuri hivi dah kweli unachosema Cha Nini wenzako tunajiuliza tutakipata lini😭

    • @manilabonalumanula9210
      @manilabonalumanula9210 ปีที่แล้ว

      Mfano ukithibitisha mkeo anamegwa na jamaa na wkt huohuo wawili hao wanajiidai mitaani utafanyaje? Siri ya mtungi aijuaye kata. Lkn sijasema alimfumania, ni mfano tu nimetolea

    • @wardahalgerery5955
      @wardahalgerery5955 ปีที่แล้ว +2

      @@manilabonalumanula9210 usitoe mifano ambazo hazipo kama unajua kwamba hajafumaniwa kwaiyo haikua na point kuongelea mfano huo kwa mtu ambaye hajauliza sababu ya ugomvi wao,,

    • @agostineminde6025
      @agostineminde6025 ปีที่แล้ว

      @@manilabonalumanula9210 🤗🤗

    • @agostineminde6025
      @agostineminde6025 ปีที่แล้ว

      @@wardahalgerery5955 👍

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 ปีที่แล้ว +17

    Hakuna lisilowenzakana kwa mungu dadangu Allah atahukumu na malipo ni hapa hapa duniani 😭😭

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pumzika kwaamani Gadner Mungu akurehemu makosa yako Amen

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 ปีที่แล้ว +5

    Wizara Husika zitakusikia na utapata haki zako na hakika uyo mshenzi mwisho wake aibu. Ata kama anakutishia ushirikina nk..
    Mungu atakulinda. Pole sana..
    Tanzanians 🇺🇸..

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      Usihukumu kwa kusikiliza maelezo ya upande mmoja tu ungesikiliza kwanza na ya upande wa pili Kisha ndio ukahukumu.!!

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb ปีที่แล้ว +5

    Pole sana dadangu inshallah wepesi utapatikana aameen yarabbi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +11

    Hilo mwaka,Mungu atashughlika nalo

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      Usihukumu kwa kusikiliza maelezo ya upande mmoja tu.!!

    • @hawamicky4651
      @hawamicky4651 ปีที่แล้ว

      Tumeona mwez nn mwaka mm nachukia wanamchekea serikali

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 ปีที่แล้ว +8

    Pole mdogo wangu mungu atakufanyia wepesi jitahidi usiku unapo hitaji kulala soma duwa ya kumuomba mungu akusaidie inauma sana ndowa ikifikia mwisho muachane kwa wema 😭😭😭😭

  • @jacksongeorge3964
    @jacksongeorge3964 ปีที่แล้ว +22

    Mpaka nimeumia yani 😥😥, mama anahekima na busara sana Mungu akupe Amani wewe na Familia yako

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +17

    Jamani Wana sheria tunaomba mumsaidie uyu dada apate haki yake,,, ndoa ni hiyari sio lazima jamani 😓😓, naww mwaka Acha ujinga ww haumtesi uyu dada ila unawatesa watoto wako

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      Sasa na wewe nawe unahukumu kwa kusikiliza maelezo ya upande mmoja tu.!!

  • @sabbob574
    @sabbob574 ปีที่แล้ว +46

    Jesus loves you. Call upon him. Stay blessed.

    • @gloryhillary1294
      @gloryhillary1294 ปีที่แล้ว

      Huyo mwaka arudi congo... hatumtaki Tanzania

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 7 หลายเดือนก่อน

      Jesus to a muslim?kaka

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 ปีที่แล้ว +30

    Huyu mwanamke ana busara sana kwa jinsi anavyoongea ila mwenzie anataka kumnyosha ili arudi kumpigia magoti

    • @neemasamweli5221
      @neemasamweli5221 ปีที่แล้ว +1

      busara ni ndani ndug angu sio kwenye media

    • @wilbatnyato4679
      @wilbatnyato4679 ปีที่แล้ว +1

      @@neemasamweli5221 ndio lkn huko ndani wanajuana wao
      Hapa nje ukipima wote wawili tunachokiona tu huyu dada ana busara kuliko mwanaume
      Huko ndani hatujui

    • @saidiissa8729
      @saidiissa8729 ปีที่แล้ว

      busara no ndani ya nyumba sio kwenye media

    • @wilbatnyato4679
      @wilbatnyato4679 ปีที่แล้ว

      @@saidiissa8729 ukiona yametoka nje jua huko ndani yameshindikana

    • @faineskigahe9026
      @faineskigahe9026 ปีที่แล้ว +1

      @@wilbatnyato4679 mmmh jamani Ndoa ni shida sana sisee

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 ปีที่แล้ว +32

    Jamani msaidieni huyu mama mteteni anateseka wallahi nimelia kweli😭😭😭😭

    • @malakisomwe5641
      @malakisomwe5641 ปีที่แล้ว +2

      Vilio vya wamama wamjini wew huyu acha akalie moto

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว

      Ni mtihani wa mwanzo wa mka huu

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

      Mie mchozi umenitoka haki

    • @daud405
      @daud405 ปีที่แล้ว

      mimi nimecheka tu. huyu mama hana lolote. analilia nyumba tu. aliwasha moto na atauzima yeye

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 ปีที่แล้ว +12

    wallah viongoz wadini hususan kadhi anamdhalilisha hy dada kwanini wanamnyima haki yake na dini imeruhuau mwanamke akiwa hakutaki anahaki ya kuachishwa kadri munavyo muudhi anavyo mwanga machozi binti ya watu na nyinyi viongozi InshaaAllah Mungu atawapa maudhi

    • @mathiaszakaria5354
      @mathiaszakaria5354 ปีที่แล้ว +1

      Watakuwa washahongwa hela hao na Mwaka

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 ปีที่แล้ว

      @@mathiaszakaria5354 mungu anasubiri wawe na maswali y kujibu

  • @sandrauwase9521
    @sandrauwase9521 ปีที่แล้ว +4

    Pole mpenzi mungu yupo machozi yako hatamuacha salamaa

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว +5

    Acha kulia we Ni mzuri,mzur mzur Tena💋🙏

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana sister Allah akujaalie moyo wa subra katika kipindi hichi kigumu Allah akujaalie ushindi yarabi

    • @daudkindy8062
      @daudkindy8062 ปีที่แล้ว

      Kunataratibu zaku kudai talaka nunua talaka

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana...Kila jambo
    Lina sababu zake na lina
    Mwisho wake. Wala usilie
    Mwenyeezi Mungi ana
    Kazi yake...Hii ni dunia
    Leo kwako.kesho kwake.
    Usitoe machozi kwa
    Mwanaume.ambaye siyo
    Hajakuzaa. Piga magoti
    Tumwombe Mungu. Usilie
    Tena...yeye siyo Mungu..
    Malipo ni hapa duniani..
    Hujui kesho itakuwaje.
    Omba Mungu wako.
    Inshaallah ...itakuwa
    Mwisho mzuri....

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 ปีที่แล้ว +6

    Hii nchi mwenye pesa ndie anosaminika na anasikilizwa

  • @khadijaoman5474
    @khadijaoman5474 ปีที่แล้ว +13

    Pole sana 😢 dada ang Mungu atakulinda na mabaya yote na huwezi kupatwa na jambo baya kwa uwezo wa Allah

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 ปีที่แล้ว +10

    Mwaka haya machozi hayakuachi salama

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akusmamie na usibadilishe dini Allah atakupa kheri na utapata furaha hii ni mitihani mungu anakupima Imani usivunjike moyo qeen

  • @asiamerey9081
    @asiamerey9081 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akufanyie wepesi hili lipite vizuri maana umeshika msahafu mpaka umeniliza wallah Mungu atakusimamia

  • @fatumakingi9753
    @fatumakingi9753 ปีที่แล้ว +10

    Inshallah mwenyezi mungu atakusimamia kila palipo uzito inshallah na wepesi pia utakuwa dadangu inshallah😭😭😭

  • @mickyjohn806
    @mickyjohn806 ปีที่แล้ว +31

    Dada umeniliza serikali tunaomba mumsaidie Huyu mama kabla hajapata matatizo makubwa zaidi watoto wake bado wadogo mapenzi hayalazimishwi mwaka atoe talaka

    • @jitukorofi9517
      @jitukorofi9517 ปีที่แล้ว

      Acha uboya wewe watu wanataka fame tu umeona wapi talaka ikadaiwa kwenye vyombo vya habari

  • @umurerwamignone9440
    @umurerwamignone9440 ปีที่แล้ว +2

    Ila hili li queen ni lizuri sana.😍

  • @sarahkalinga2522
    @sarahkalinga2522 ปีที่แล้ว +2

    Nimelia sanaaa naumia sanaaa eeeeh Munguuu mtetee huyu binti nakupenda Qeeen na ntakuombea pia

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 ปีที่แล้ว +3

    Allah atakuongoza kweny njia sahihi

  • @azamazam3279
    @azamazam3279 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake tujitume tutafte vyakwetu jamani tusikubali kudhalilishwa hivi mwenyezi mungu akufanyie wepesi dadangu

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 ปีที่แล้ว +10

    Bikira Maria mfariji wa wanaonyanyaswa umsaidie mwanao Queen😭😭😭🙏

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 ปีที่แล้ว

      Huyo sio wa bikira maria Tena,ni hivi kwa Sasa ni muislamu halisi Wala hataki kirudi huko. Nyie endeleeni kuabudu waliokwisha kufa

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 ปีที่แล้ว +3

    INGEKUWA KIPINDI JPM JAMBO HILI LINGEISHA HARAKA SANA!!

  • @tumainisanga7353
    @tumainisanga7353 ปีที่แล้ว +2

    Daah nimelia mpaka basi dada mungu co mwanadamu amani analeta mungu😭😭😭😭😭

  • @hashimfarsy8862
    @hashimfarsy8862 ปีที่แล้ว +1

    Inayomuweka kwe uislamu ni watoto subhaanallah

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 ปีที่แล้ว +3

    Pole san dada 😭😭😭😭👏👏👏🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @sarahmohammed1696
    @sarahmohammed1696 ปีที่แล้ว

    SubhannaAllah. Pole sana dada ni mtihani mkumbwa unapitia itakuja kuwa hadisi. Nakuomba shikamana na mungu wako usichoke kumuomba. Washike watoto wako uwe Mama imara. Haki yako itapatikana tu. Huyo anaekutishia kumbuka kwa mungu ni nyepesi akamzima. Shikilia dini yako ndio ya haki. Nakutakia kila la khery na nakuombea dua Allah akufanyie wepesi ya rabbi.

  • @saidamaligwa1090
    @saidamaligwa1090 ปีที่แล้ว +4

    mungu atakusimamia tunakuombea sana utashinda nduguyangu tukopamoja nawewe mungu atakujalia achakulia jamani mungu akulinde jamani pole sana

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 ปีที่แล้ว +1

    Pole dadaangu usilie we n mzuri sana achana naye mwaka Watanzania wapo watakusaidia na utapata mme bora kuliko yeye wangapi wameachwa akuache utulie na watoto wako

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 2 หลายเดือนก่อน

    Anajibu vizuri anaongea vizuri mungu akusaidie kwenye maisha yako.

  • @hawaakambii5741
    @hawaakambii5741 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli nimelia huyu Dr mungu anamuona na Dada machozi yako hayataenda bbure

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      Jitahidi kwanza usikilize na maelezo ya upande mwengine usihukumu kwa kusikiliza maelezo ya upande mmoja tu.!!

    • @samwa9496
      @samwa9496 ปีที่แล้ว

      @@swalehemrombo9301 huyo mwaka si anabwabwaja tuu sijawahi msikia akinyoosha maneno, analea watoto wa wenzie wakwake anawatesa Koko kabisa

  • @sandrauwase9521
    @sandrauwase9521 ปีที่แล้ว +2

    Mwaka mwaka haya machoziii utakuja kulipaaaaa mungu yukooooo

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว

    Dakhaaa pole sana dada nasikitika sana kuona unampigia magoti huyu mbwa mganga wa kienyeji mwaka

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana. Mungu atakupa Faraja ya Moyo wako.

  • @annymenroe1308
    @annymenroe1308 ปีที่แล้ว +14

    so emotional😭

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu dd

  • @salimakuyela7813
    @salimakuyela7813 ปีที่แล้ว +9

    Anambadilisha DINI alafu anamdhalilisha kiasi hiki kweli niuungwana😭😭😭😭😭😭😭

    • @Kaizirege
      @Kaizirege ปีที่แล้ว

      Wanawake ao

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 ปีที่แล้ว

      Wala sio uungwana kwa kweli

  • @fhhfhj7719
    @fhhfhj7719 ปีที่แล้ว +2

    Wallah wanawake kunavituvyakujifuza😢😢

  • @sabhuusalim7718
    @sabhuusalim7718 ปีที่แล้ว

    pole sana kipenzi mungu akufanyie wepesi

  • @annemoureen6676
    @annemoureen6676 ปีที่แล้ว +1

    Huyooo kipara si atoe tarakaaa😭😭shenziii sanaa

  • @teshanange2037
    @teshanange2037 ปีที่แล้ว +3

    Kila kwenye uzito na wepes upo, Allah ndie mjuz, mtatuz, msaada na nguzo pekee
    Kwa idhin ya Allah insha Allah utapata aman ya nafsi, yatapita na utayasahau

  • @user-in1jy2is7d
    @user-in1jy2is7d หลายเดือนก่อน

    2024 machozi la queen yamekuwa baraka kwake sasa hivi ni balozi na mengineo 🎉🎉🎉🎉 congratulations for letting go 🎉❤

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 ปีที่แล้ว +1

    duh!
    Mtegemee Mungu dada kukuvusha salama hapo

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 ปีที่แล้ว +29

    Nimejisikia vibaya sana ,kama na mm mwanamke mwanangu nikupe pole ,Leo kwako kesho Kwa mwingine,jamani tuoneane huruma wapendwa duniani tunapita ,inafika hatua Hadi mtu ndoa inakuwa jela unaogopa ,Leo hii uliyemwamini Kwa Kila kitu anakuwa ni mnyama kiasi hicho ,hapana jamani ,unaweza comment unachojisikia Kwa tu kipo Kwa uyu dada ,lakini uwezi jua kesho Yako na ww maana tupo Duniani,tumuombee mwenzetu sana Tena sana siyo kucomment vitu vya ajabu

    • @aishaanwar3906
      @aishaanwar3906 ปีที่แล้ว

      Kweli umeongea point dadang

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 ปีที่แล้ว

      ,Hili liwe funzo kwa wapenda sifa kuwa, mitandao ni mizuri kutangaza biashara tu, sio mambo ya mahusiano na ndoa, hata kama ni mazuri kiasi gani, hayo ni mambo ya ndani yabaki hivyo, Sasa hivi ishu inakuwa na maumivu zaidi kwa sababu aliwapa jamiii nafasi ya kujua maisha yeo kupitia mitandao ya kijamii, kila siku unanadi wake zako mitandaoni kuwa wazuri, mnaishi vizuri hawagombani au hamgombani, leo mambo yamegeuka yanakuwa maumivu mara mbili hasa kwa mke, lkn mwanzo zilikuwa sifa na umaarufu, hiyo mbaya, nina hakika kama wasingekuwa maarufu ishu isingekuwa mitandaoni na maumivu yangekuwa kawaida,sasa hivi zaidi ni aibu, watoto nao bila shaka wanajulikana sasa kwa sakata la wazazi nao wanapita kipindi kigumu kwa watoto wenzao,

    • @simbajumanne9718
      @simbajumanne9718 ปีที่แล้ว

      Unatumika vibayaaaa wewe mama

  • @alvinmbugua9830
    @alvinmbugua9830 ปีที่แล้ว

    Pole sana our sister..get healed in jesus name......I think dr mwaka should solve this issue as once and for all. maturity is needed

  • @serengetishipping2196
    @serengetishipping2196 ปีที่แล้ว +1

    Jirekebishe elewana na mumeo upate amani , hata mama samia yuko kwenye ukewenza na wanawake wenziwe na hajawahi kuleta ujinga katika media kama unazoleta weye mwanamke .
    Unajifanya kuweka injili kisha eti unataka uendelee kubakia muislamu , huo unanyesha kuwa hujielewi na hivyo ni vituko …. Wanawake wenzio wanajua kuwa unafanya vituko na kuja katika media …

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +5

    Duh ni mtihani huu Hadi mtu anajimalizi stress kwenye mambo yakizamani Mwaka ataona hiyi ni Dunia mwanamke hataki yeye anamnkankaniza dada kama humtaki mpe mahari zake uwe huru khallass💔

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว

      Subhanallah hasbunallah waneemal wakil inaskitisha kumbadili dini mtu alafu unarud unamnyanyasa mwaka muogope mungu

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

      @@husna34562 Yani mwaka asipo tubia atapata mtihani 🤔😔

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว

      @@khadidjasuleiman8006 😪😪

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 ปีที่แล้ว +1

    Pole mama.. Ila wanawake siwaamni kwa Kweli!! Ukiskia amesema muachane ujue kuna ushawishi wa mtu mwingine. Then anataka Muachane alafu wewe huna hata Mpango wala hujawah kufikiria. Then anataka Muachane na vtu ulivyompa anavitaka.

  • @emmysfitnessandforex9403
    @emmysfitnessandforex9403 ปีที่แล้ว +3

    Jmn kwan lzma hiyo ndoa?si mumsaidie huyu mama

  • @user-uk6qs5jd3q
    @user-uk6qs5jd3q 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dah aiseee

  • @nicken3250
    @nicken3250 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wana feel aje ktk hali kama hii!!?😭😭😭😭

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Subhannallah, mtihani kwakweli

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi ingia kwenye ndoa kwakweli pole sana ... Mungu wetu ashindwi na jambo lolote lile mkono wa Mungu si mfupi hata ashindwe kukuokoa dada unauwezo wa kuanzia upyaaa.!!!

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 ปีที่แล้ว +1

    Through this unaweza ukashindwa kumlaumu aliyekuwa sheikh wa mkoa at any angle of the saga

  • @fatumamohamed2229
    @fatumamohamed2229 ปีที่แล้ว

    Pole sana qeen.Hilo litapita muombe sana mungu.akupe akili njema.utayashinda yote mungu hatokutupa mkono.

  • @catherinemassawe1280
    @catherinemassawe1280 ปีที่แล้ว +1

    Nimeumia sana kuona mwanamke mwenzangu kutoa choz namna hii.....

  • @mariamumughandi7179
    @mariamumughandi7179 ปีที่แล้ว

    Mwenyeez mungu atakunusu na wanao Amina

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty ปีที่แล้ว +1

    Wanaume sijui mnataka nin dada mzuri jaman so sad 😢kanitoa machozi

  • @hmk..
    @hmk.. ปีที่แล้ว +1

    very sad. pls dr mwaka be fair. let her be happy. mwaache awe na amani.

  • @amirybeka9602
    @amirybeka9602 ปีที่แล้ว

    Dahh inauma....Allah akufnyie wepes inshaalalah

  • @beatricehaule5305
    @beatricehaule5305 ปีที่แล้ว +1

    Yesu Wangu

  • @khadijakimana8809
    @khadijakimana8809 ปีที่แล้ว +20

    I don't understand what is going on in this issue! Why is it too hard to complete the divorce process? It's not funny at all to see a woman, a daughter, and a mother crying like that? Subhanallah 😥Ya Allah, mfanyie wepesi humama kwa magumu yote anayo pitia!

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

      Islam is there to simplify issues, the problem is, we have left it behind !! ,,,,Matokeo yake tunautia aibu uislam mbele ya wasiokuwa waislam tukithibitisha madai Yao kuwa ni dini ya unyanyasaji Kwa wanawake, wakati sio kweli!

    • @khadijakimana8809
      @khadijakimana8809 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima7295 naam, uislam dini ya haki sio siri. Ila baadhi ya waislams na baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam wana dhalilisha uislam na kunyanyasa wanawakake....kama wanavyo mfanyia huyu alie kuwa mke wa Mwaka. So sad 😞 😔 😟 🙁

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 ปีที่แล้ว +1

      Unaelewa tatizo kuu ktk jambo hili?

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 ปีที่แล้ว +4

    wake km hawa tunafunga na kuomba ucku mchana tujaaliwe wake km hawa hatuwapati wengine wanachezea neema hii Allah amnusuru dada yetu ampe hitaji la moyo wake Thuma Ammyn🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      Sasa we nawe una amini na kujiridhisha kwa maelezo ya upande mmoja tu.!! Jitahidi kwanza upate na maelezo ya upande wa pili nayo Kisha ndio utoe hukumu

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 ปีที่แล้ว

      @@swalehemrombo9301 Nawe acha upumbavu,upande wa pili wa Nini hapo,pigabchini mtu mwengine aolewe

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      @@mwajumamohd7930 Sasa ndugu ushaaona wapi hata mahakama ikatoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja tuu.!? Lini ushaaona hivyooo.!?

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @twalibutwaha1632
    @twalibutwaha1632 ปีที่แล้ว +1

    Tamaa mbaya✍

  • @abuarafatmkweli748
    @abuarafatmkweli748 ปีที่แล้ว +1

    "Nampenda ila siko tayari kuishi nae"... Hii kauli inatosha kufanya ndoa imevunjika

    • @hani2095
      @hani2095 ปีที่แล้ว +1

      Akisema hivyo ujue anampenda kufa na huyu dada akaze kamba

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +1

    Subhannallah

  • @jeremiahluki7896
    @jeremiahluki7896 ปีที่แล้ว +2

    Ivi nyie wandishi mnaudin sana , mnalazimisha huyo mama asirudi kweny Ukiristo, Dada rudi kwa Kristo huku

  • @mikelaurence1582
    @mikelaurence1582 ปีที่แล้ว

    Doctor Mwaka, give her the freedom she wanted,

  • @halimaayubu3597
    @halimaayubu3597 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada mungu ata kupigania

  • @ezekieljolam4276
    @ezekieljolam4276 ปีที่แล้ว

    No surrender mamy vita bado mbichi songa mbele mamy no return FOCUST YOUR TRUST hivi Dr mwaka Kwan ukimuacha amekupunguzia nini .ukimpa nyumba ni wanao wanaishi

  • @naomibildad509
    @naomibildad509 ปีที่แล้ว

    Pole sana Queen mummy, usiogope Mungu atakutetea, anauona moyo wako kuwa huna hila yeyote.

  • @bintally4891
    @bintally4891 ปีที่แล้ว

    Pole Sana dada yangu. Sijui shida nn juu ya hili. Lakini hapo hakuna ndoa. Ndoa hujengwa na upendo ukiisha hakuna Tena. Mwache aende. Kama hili hàlitofikiwa muafaka wanawake tuingilie kati kumkwamua mwanamke mwenzetu, na ninaamini tunaweza kumuokoa kwenye hili.pole sana

  • @bintmwadarashi5177
    @bintmwadarashi5177 ปีที่แล้ว

    Pole sana dadangu Allah ataleta amani inshaa Allah

  • @perismwanyika9093
    @perismwanyika9093 ปีที่แล้ว

    Pole xna dear

  • @samirally9693
    @samirally9693 ปีที่แล้ว

    INSHAA ALLAH yatapita tu pia

  • @abdallahmsangi6654
    @abdallahmsangi6654 ปีที่แล้ว

    Mwaka badilika ALLAH husamehe iwe cye acha zako broooooo

  • @evancetilya167
    @evancetilya167 ปีที่แล้ว

    Pole kwake

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb ปีที่แล้ว +4

    Don't worry mamy Allah is with you thanks 🙏 to Allah every thing will go write

    • @zelinatelemla4535
      @zelinatelemla4535 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akutete my dear

    • @aishakahamba
      @aishakahamba ปีที่แล้ว

      mwaka tulia uachwe umeshindwa kumuenzi huyu mama anahaki, mungu wako muogope Sana na ogopa sana machozi ya mwanadamu.

    • @aishakahamba
      @aishakahamba ปีที่แล้ว

      Dada quin omba sana mungu atakulipa hapa duniani

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 ปีที่แล้ว

    Oooh ita Yesu Mara kw Mara utamuona Mungu ni jaribu lako utashinda tu

  • @namnyakiabell3818
    @namnyakiabell3818 ปีที่แล้ว +1

    Ooooh 😭😭😭Yesu akiteteteee jmn

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว

    Dada mungu atasimama na wew na utashinda hili yeye anajitia mwamba kwa ajili ya kipato Ila mungu anaweza kumporomosha muda wowote na wakati wowote..ogopa Sana chozi la Mwanamke.. kingine uko na damu ya watoto wako kweli nahii niseme Tu kwamba haitamuacha salama...Dr Mwaka.

  • @evancetilya167
    @evancetilya167 ปีที่แล้ว

    Pole kwake san

  • @lioally6647
    @lioally6647 ปีที่แล้ว

    Pole sana jipe moyo wa kusubiri

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 ปีที่แล้ว

    Jmn mpk nimelia yesu wangu

  • @khadeejahrashid3177
    @khadeejahrashid3177 ปีที่แล้ว

    Masha Allah, uko na hekma saana
    Allah yuko na wewe Dada tutakuombea dua na utashinda, Mali ya dunia ni uchafu, lakini Dr. Akumbuke mume huma wote, na Allah sio dhalim, Allah akupe ushindi Dada, I feel you

  • @uwasesifa7563
    @uwasesifa7563 ปีที่แล้ว

    Mungu ataripa Dr mwaka malaya mtupu.Wewe mzuri tulia utapata bwana watabia njema.

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 ปีที่แล้ว +1

    Poleee jamaniii queeen😓😓

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 ปีที่แล้ว

    Pole_Queen_mtegeemee_Mungu_tu_hakuna_wa_kukusaidia_Dunia_hii_futa_Machozi_kilio_sio_peke_yako_webzio_tumelia_sasa_tumenyamza

  • @harunayussuf6866
    @harunayussuf6866 ปีที่แล้ว +2

    Oya Dr. Unafeli sana mtoto mzuri kama huyu anamwaga machozi hadharani unafeli mwamba