MKE WA DR. MWAKA ANADAI TALAKA BAKWATA, AELEZEA KUKAMATWA NA POLISI, MWANASHERIA WAKE AZUNGUMZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2023

ความคิดเห็น • 1.4K

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 ปีที่แล้ว +21

    Mm ni mwanamme ila ss wanaume hatuko imara ktk ndoa zetu hatuwapi upendo na heshima ipasavyo wake zetu tunapenda kutongoza tongoza ovyo halafu tunawalaumu wanawake ss ndo tunowaharibu wanawake tusipowatongoza na tukatulia ktk ndoa zetu na wao wasingeharibika nasema tena ss ndo wachafuzi

    • @marthagabriel3417
      @marthagabriel3417 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akutunze maana umeongea ukweli mtupu

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +1

      Maashaallah kwakujuaukweri

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +1

      Kaka umeongea ukweli ila sio wote alhmdullah mumewng ni mume bora kwa familia yng na kwake na watoto alhmdullah

    • @nassorowaziri3076
      @nassorowaziri3076 ปีที่แล้ว +1

      Duuu mkuu nimekupata Ila sio wote ni baadhi yetu Tu

    • @daud405
      @daud405 ปีที่แล้ว

      acha usenge ... ndo nini umeongea bila shaka utakuwa mwanamke. haijakukuta

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 ปีที่แล้ว +31

    Kama kadhi ana presha basi hafai kua kadhi ateuliwe mwengine

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 ปีที่แล้ว

      Kadhi hana baraza,vikao vya vitu kama hivi anakaa peke yake?kama ndivyo hivi,kutakuwa na kwsoro nyingi ktk kusimamia ndoa zetu kiislamu,na kwa usumbufu huu,matatizo ya ndoa yatakuwa yanapelekwa kusiko sahihi.Allah atusimamie kwa haya.

    • @idrissamohamed1100
      @idrissamohamed1100 ปีที่แล้ว

      KWANI BAKWATA WANASEMAJE?

  • @fatumajeneby5449
    @fatumajeneby5449 ปีที่แล้ว +2

    1) MWANAMKE KABADILI DINI YAK..
    2) KAKUBALI UKE WENZA,
    3) MWAKA HUTOWI HUDUMA!
    4) POLE YAKO, MYANYASAJI🙏

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 ปีที่แล้ว +12

    Mtihan sana Mungu akufanyie wepes! Mwanamke akisema basi ujue kachoka sana

  • @zaytunimkwata6949
    @zaytunimkwata6949 ปีที่แล้ว +14

    Daah nimejiskia vibaya,
    Nampenda sana huyu dada, Be strong my dear..
    Mwenyezimungu asaidie mufikie muafaka kila mtu apate haki yake...

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว +1

      In shaa ALLAH

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 ปีที่แล้ว +35

    Mungu akusaidie mwanamke mwenzangu upate haki yako jaman

  • @danielmwamahonje9852
    @danielmwamahonje9852 ปีที่แล้ว +75

    Mapenzi yanatutesa sana tena sana mungu tu wewe ndo jibu kamili 🙏🙏

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 ปีที่แล้ว +1

      Ni uonevu tu kwasabu kama imeshindikana kuishi pamoja kubari na yaishe

    • @rashid1860
      @rashid1860 ปีที่แล้ว +1

      siyo mapenz iz zingine ni njaa tu na tamaa ya ella

    • @letisiamakonda3873
      @letisiamakonda3873 ปีที่แล้ว

      Ila😆👐

    • @saidmajeba9791
      @saidmajeba9791 ปีที่แล้ว

      Bro amka kumekucha,hao wote wanafuata pësa na maisha
      Hakuna mapenzi hapo

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 ปีที่แล้ว +26

    Mi ndomana kwenye swala la ndoa, sisikilizi mtu sijuw mwanasaikolojia, pastor au sheikh. Natumia akili yangu tuuu.

    • @mudhihirissa274
      @mudhihirissa274 ปีที่แล้ว +3

      Wewe kama mimi

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kabisa

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว +1

      Mwanasaikolojia kazi yake sio kukurudisha kwa mpenzi wako, anaweza kukusaidia hata tiba ya akili uishije huko baada ya kuachana na huyo mpenzi wako. Usichukulie negative in general brother.

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 ปีที่แล้ว +1

      😂 😂 😂 😂 Kabisa

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @aminakibwana8343
    @aminakibwana8343 ปีที่แล้ว +8

    Dah jamani 🙌 pole Sana queen wng, Allah atakufanyie wepes

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 ปีที่แล้ว +67

    😂😂😂😂😂kweli mganga hajigangi 😂 Yani dr.mwaka,SI ndio mshauri wa mambo ndoa na mahusianooooo🤣🤣🤣

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +10

      Ni malaya balaa bado monalisa nae

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +13

      Kishaumana hapo kungwi kaachwa ,askali wa usalama barabarani kagonga ,hakimu kahukumiwa ,askali magereza kawamfungwa 😄😄😄😄😄

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 ปีที่แล้ว

      @@MohammedAli-rh5si monalisa gani

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 ปีที่แล้ว

      @@rashidyally8715 hhhh

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 ปีที่แล้ว +2

      Hahahahahaha Dr anapiga bia,

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 ปีที่แล้ว +2

    Duhhh kwa kweli maneno sio kutenda
    Dr Mwaka nimekuwa nakusikiliza sn kwny mijadala yako unaonakana mshauri mzuri na unajua ndoa vzr
    Sasa leo na mimi nakushauri hivi
    1.Km mwanamke umezaa nae na hana tatizo kubwa basi kaeni chini muyamalize kiungwana tu kuliko kuja on public huku mnajiaibisha
    2.Km nyumba kaamua kujimilikisha kwa kuiba nyaraka basi mkubaliane kuwa iwe ya watoto wenu basi isiwe ya yyte na mama asikae hapo akaishi huko atakakoenda
    3.Kwa ajili ya watoto nakushauri wachukue watoto waweke boarding shule nzuri kuliko kushuhudia hii migogoro yenu
    4.Licha ya ugomvi wenu basi tunza wanao km ni kweli hutoi huduma basi wachukue ukae nao na hyo mkeo mwingine
    5.Katika mambo yenu yote achaneni kwa amani km mmeshindwana kabisa kila mtu asepe na alichojitafutia ili aendelee na maisha yke sio mtu hela yake awekeze saloon na mwingine anajenga hlf mwishoni wa kuwekeza saloon atake nyumba hyo hapana kila mtu abebe chake cha halali alichotafuta
    Note: Achaneni in peace tu

  • @missclementsemizigimisscle7458
    @missclementsemizigimisscle7458 ปีที่แล้ว +2

    Ndo mana hskupost Pole Mungu atakulipia inshallah❤️❤️❤️❤️🤲🤲🙏

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 ปีที่แล้ว +14

    Nilimwambia doctor mwaka hata ifanye nn mwanamke akikuchoka kakuchoka tu

    • @abdallahabdulaziz3683
      @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว

      Una maanisha mwanamke yupi Tena huyu huyu,

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว

      Sio kamchoka broo, tunavumilia mengi sana ambayo hata wanaume hawezi kuyavumilia, mnatuumiza sana😢😢😢😢😢😢😢 yanatufika shingoni unaona sasa wazama.-😭😭😭😭😭 tumwaa chie mungu mwenye hukumu ya hakki.

  • @zuhrazuuvenus3705
    @zuhrazuuvenus3705 ปีที่แล้ว +8

    Nikukumbuka ile roho yako nzuri na ucheshi wako wala hustahili haya Allah karimu rahimu utapata haki yako inshallah

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +11

    Subhannallah, mtihani kwakweli, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga inshallah 🙏

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว +18

    Tuacheni kushangilia kwa jirani kunawaka moto wakati nasisi kuna fuka moshi.

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 ปีที่แล้ว +17

    Maji yamezid unga hapo ni mkanyagano tu mimi nasema hiv mwanamke ni mmoja tu

    • @ibrahimsalmin6884
      @ibrahimsalmin6884 ปีที่แล้ว

      Usilete hayo na hata mmoja matatizo yanatokea

    • @shaluuanthony1836
      @shaluuanthony1836 ปีที่แล้ว

      Mnaweza sasa

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 ปีที่แล้ว

      Mwanamke mmoja anakua mama yako tu aliyekuzaa, hawa wengineo hata kama unao mia moja na imani yako kidini inaruhusu tatizo liko wapi.
      Hata Seleman, Daudi, Ibrahim hawakua na mmoja, ukiwa huna nguvu za kiume hapo shida ni juu yako, akisimbua huyu anaongeza mpya.

  • @messiahfeatures3994
    @messiahfeatures3994 ปีที่แล้ว +4

    M/Mungu ampe subira na kusimamia ktk suala lake inshallah

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze hukmu za quran kuswali kwa vitendo kiarabu gusa maandishi ya bluu
    youtube.com/@muhammadkipangatv2674

  • @newvoicetutorial2131
    @newvoicetutorial2131 ปีที่แล้ว +2

    Allah akukhifadhi dada yangu na akujaze sublla kwani hayo c mapito madhulli na in'shaallah utafanikiwa

  • @winfridapeter9455
    @winfridapeter9455 ปีที่แล้ว +16

    Mambo yamechachamaa sasa,mkunga nae ndoa yamyumbisha😂🤣😂🤣

    • @shaphaina9941
      @shaphaina9941 ปีที่แล้ว +3

      Hahahaha kazi yake kukaa na kufunda wenziwe ila yeye yake inamshinda .kweli mganga hajigangi

    • @joeldallas6491
      @joeldallas6491 ปีที่แล้ว +3

      Yawezekana dct mwaka Hana nguvu za kuwatbu hao viumbe

    • @shaphaina9941
      @shaphaina9941 ปีที่แล้ว +1

      @@joeldallas6491 nalo neno

    • @aishamrisho6860
      @aishamrisho6860 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆😆😆

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว +39

    Mapenzi shikamoo 🙏 ha! Ila wanaume zetu asilimia kubwa ndivyo walivyo inafika muda sisi wengine hatutaki kuvutana na mtu tuna Kaa kinywa na kutabika mwisho wake unazoea na unaendesha maisha peke yako, ila ukisha sahau maumivu mungu ndio ana muwazibu Sasa mara una sikia apepata mitihani hii mara hii? Mungu ndio kila kitu na hukumu ni hapa hapa Duniani amini Hilo jamani

    • @habibaomary3834
      @habibaomary3834 ปีที่แล้ว

      Kwakweli wanaume shikamoo wengine tumesamehe kila kitu nini wewe mwaka mmoja wengine 3 years pole dada

  • @zuberiismail2972
    @zuberiismail2972 ปีที่แล้ว +2

    We dada mwanasheria ni mzuri lkn kinguo chako mtihani

  • @abdulbandidu119
    @abdulbandidu119 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wanaojiita watetezi wa haki za wanawake ndio wanaoharibu hao wanawake.
    Dr Mwaka ni muislam na mkew ni muislam,iangaliwe dini inasemaje katika haya,wanawake wa kiislam wa siku hizi mnapotoshwa na ufeminist,na hiyo itawapeleka Jahannam

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 ปีที่แล้ว +11

    Kesi yako sawa sawa na ya kwangu. BAKWATA hupati haki. Hayo mashiroka ya haki za wanawake ndio watakupa njia yabkushinda. Nilisaidiwa kisheria na SUWATA nimeshinda

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 ปีที่แล้ว +18

    Kadhi inawezekana kuna Intrest na huyo Dr Mwaka hatuwezi kujua labda pengine ni Presure tu.

    • @majaliwawilson9372
      @majaliwawilson9372 ปีที่แล้ว +1

      Tunataka kuiona nadokter mwaka nae ahojiwe ili tujuwe wanawake wengi Sana sikuiz unatafuta Mali nabaada yakupatikana mwanamke anaaza kutaka talaka Sasa bakwata inesema Kama niwewe umeamuwa haya wasalimie Sasa ugovi wanini

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 ปีที่แล้ว

      Tatizo ni kusumbuana na tajiri

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 ปีที่แล้ว +2

    Wakati wakristo tukijiuliza imani yetu Iko wapi Kwa sakati la Mchungaji wetu Kimaro ... Sasa huku Kwa wenzetu Nako Kuna shida tena.. naombeni mwenyi jibu atusaidie🙏🙏🙏🙏🙏

    • @mankacharles4559
      @mankacharles4559 ปีที่แล้ว

      Jibu ninaliyetuumba,dini zenu hazina MUNGU wa kwelibzinaongozwa na taratibu za watu na wanadamu aziongozwi na muumba wa yote

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 ปีที่แล้ว +15

    Polesana dada hakiyamtu haiyendagi ivi ivi Allah atakupa lako fungu insha Allah 🙏

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Haki gani unayo ongelea ww

    • @kamikazisalma5209
      @kamikazisalma5209 ปีที่แล้ว +1

      @@kassimali2273 ukaye unajuwa uyo ni mke na sihawara

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      @@kamikazisalma5209 ni mke ndio uantaka haki gani apewe labda na mumewe au Bakwata tafadhali nieleweshe

  • @kinyamal8201
    @kinyamal8201 ปีที่แล้ว +4

    "Fika sasa Foreplan clinic matokeo utayapata naamini utanipenda." Sasa zaidi ya suluhisho amefanyaje tena?😊😊

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 ปีที่แล้ว +10

    Dr yupo zake marekani anazurura na bi mdogo wanakula maisha,ila hii dunia jaman

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 ปีที่แล้ว +1

    Sister umefanya vizuri sana kuwaumbua bakwata.

  • @himidijenga535
    @himidijenga535 ปีที่แล้ว +15

    Kulikuwa Kuna haja Gani ya kuoa wake wengi angali huyu dada ni mrembo haswa. Very very nice woman.

    • @shaluuanthony1836
      @shaluuanthony1836 ปีที่แล้ว +1

      Ila wewe lini mwanaume akaangalia urembo? Yan wanaume tamaa tu wanataka tu kummiliki kila mwanamke wanaemuona

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว +2

      Alitaka na mwingine ambaye sio mrembo😂

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 ปีที่แล้ว +2

      Yaani kweli Ni mrembo kingine inaonyesha kweli kavumilia mengi

    • @shaluuanthony1836
      @shaluuanthony1836 ปีที่แล้ว

      @@TM.Sullusi hatari sana

    • @softena100
      @softena100 ปีที่แล้ว

      Huyu ni mke wa 3,wengine 2 walimtanngulia,nyumayake huyu yupo mke mmoja wa mwisho

  • @jemimahaule1519
    @jemimahaule1519 ปีที่แล้ว +9

    Dada atakukumbu huyo wanawake wainayako niwachache Pomoja nayote umeongea kwasta sana allah akulipe

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +1

      Allah amlipe nini huyo. Wenzake wamemzidi kete. Mara nyingi wanaokimbia ni mabiwadogo na si bimkubwa.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว +17

    Mungu bariki ndoa zetu zidumu milele, aminaa

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mke kwel amemvumilia sana maana huyu Dr mwaka alikuwa anawaleta Malaya ktk nyumba yake pale ilala maana na anafanya nao mambo machafu kwenye kitanda kimoja anacholala huyu mke kila jambo Lina mwisho wake.

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb ปีที่แล้ว +4

    Pole sana my ule ukewenza uloukumbatia nakulala namume wenu pamoja ilikuwa khatwari ile.... nayule alokuchukulia mumeo ukamfanya pachaako nlijuwa mwisho wake ndohuu ajuwa alichokifanya bimdogo mmmh pole sana dadangu mtihani inshallah wepesi utapatikana aameen yarabbi

    • @halimafaber3685
      @halimafaber3685 ปีที่แล้ว

      P]ppp]

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 ปีที่แล้ว +2

      Huyu siyo yule huyu ni bimkubwa wale niwake wadogo

    • @fatmaabeid1155
      @fatmaabeid1155 ปีที่แล้ว +4

      @@siaammo1104 unamuona kavaa stara ndio maana umeshindwa kumtambua huyu ni queen mke wa pili ni wale wawili wanaopendana sio bi mkubwa

    • @benedictarweyemamu9531
      @benedictarweyemamu9531 ปีที่แล้ว +1

      huyu ni mmoja wao wale wa masare walikuwa wanapendana madai yao mdudu kaingia

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 ปีที่แล้ว +2

      @@benedictarweyemamu9531 eeh kwerr wamefanania na huyuuu

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akusaidie mwanamke mwezetu

  • @AbuuAbdilRahmaan
    @AbuuAbdilRahmaan ปีที่แล้ว +12

    HUU NDIO UKWELI BAKWATA...WANAENDEKEZA TAMAA YA PESA SANA...WANAWAKE WENGI WANATESEKA SANA KWENYE NDOA...BAKWATA NDICHO CHOMBO KILICHOPEWA MAMLAKA YA KUWASAIDIA WANAWAKE WANAOKOSA HAKI ZAO KATIKA NDOA...BAKWATA WANA RUSHWA PENGINE...NA SI HUYO TU...NI WANAWAKE WENGI WANAKUTANA NA MIZUNGUSHO MINGI BILA KUPATA HAKI YAKE.

  • @halimakuju6076
    @halimakuju6076 ปีที่แล้ว +15

    Jamani ndoa nongum sana kwetu wanawake ningum sanawanawake tunaonewa sana miaka nenda rud mwanamke unaambiwa vumilia to inaumixa sana mie huyu dada hapa alipo fiakia nimaamux magum sana kwake ila ameona bola hiyo kuliko ndoa

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 ปีที่แล้ว +1

      Sio ngumu tatizo waliiharibu toka mwanzo mitandaoni

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 ปีที่แล้ว +55

    Huyu ndio mwaka originally sasa, Mungu ni mkubwa sana, nadhani tukubaliane tu ukamilifu ni wa Mungu pekee

  • @justinecom7461
    @justinecom7461 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo ni Rushwa,,utakuta Kadhi kashalamba mzigo Kwa Dr hapo patakua na shida hak haitapatikana

  • @NDEWARA
    @NDEWARA ปีที่แล้ว +25

    Pole sana Queen. Huyo ndiye tapeli "Dr" Mwaka😭😭

    • @rumemerumeme8659
      @rumemerumeme8659 ปีที่แล้ว

      Pole ya nn hata huyo queen nae nitapeli njaa ndio inamsumbua

    • @rukiaissa5225
      @rukiaissa5225 ปีที่แล้ว

      Manara na Dk.Mwaka,Hakuna ufundi kwa hili.

    • @tatotato506
      @tatotato506 ปีที่แล้ว

      @@rumemerumeme8659 njaa gan inamsumbua yeye anadaitalaka yake

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 ปีที่แล้ว

      Tapeli ni dada mwenyewe

  • @twahaissack7887
    @twahaissack7887 ปีที่แล้ว +1

    Ww huyuuu ajafanyiwaa ukatiliiii huyuuu amejienguaaaa unabwabwajaaaa TU ,wamamaa wa mjinii haooo mtaingiaa motoniii wengiiii wanawakeeee duuuuuu

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 ปีที่แล้ว +22

    SubhanaaAllah Allah Allah ni Mwenye haki atamlipa Kila Moja Kwa Haki pole dada sie hatuyajui yaliyopo ndani ya mioyo yenu ila tumtangulize Allah Kwa Kila jambo Amiin yarrab 🤲

    • @mohammedsalum3502
      @mohammedsalum3502 ปีที่แล้ว

      Mnaomba talaka mkiishaona mmepata mali au mwanaume akiwa ana kitu ndio maana mnaomba taraka

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 ปีที่แล้ว +1

      @@mohammedsalum3502 sio kweli jmn talaka inatokea kunapokosekana maelewano baina ya wà2 wa2 ktk ndoa Mali si kigezo

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akikupa neema jitaidi kuificha kama ikiwa kuna uwezekano wa kuificha. Mtu anakuhusudu mtandaoni na inakupata.

  • @kashinjepius4096
    @kashinjepius4096 ปีที่แล้ว +3

    Maswala ya kuoa wake wengi haya... haya bhana na imani zenu... nachoamini hamna nafsi ya mwanamke ikafurahi mmewe kuoa tena

  • @rayanaabdallah6580
    @rayanaabdallah6580 ปีที่แล้ว +2

    Mtihani Wallahi, walio nje ya ndoa watamani kuingia kwenye ndoa na walio kwenye ndoa watakani kutoka nje ya ndoa.
    Mungu atuongoze jamani

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume konyo aiseee yani dada mzuri ivi na kaachwa vipi kuhusu Mimi Ashura mwenye sura ya baba 😫😫🙌🏻

    • @rhodachristopher4398
      @rhodachristopher4398 ปีที่แล้ว

      Mwanamke ndio kachoka kasema

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +1

      @@rhodachristopher4398 ni Sawa lakini inaonesha mwanaume ndo alianza vituko ndo mana mwanamke akachoka

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

      @@ashurajengela3926 Hakuna vituko huyo mwanamke kazidiwa kete na wake wenza wale 2. Aliamua eti kuishi na watoto wa wake wenza ili apate kupitia watoto nao wakakauka Sasa kawarudisha na anamba taraka ili agawiwe mali. Dr. Mwaka anaakili Sana kamkaukia na kesi ya swizi juu.

  • @merinaemmanuel3593
    @merinaemmanuel3593 ปีที่แล้ว +16

    Pole sana dada yetu, MUNGU akusimamie sana.

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 ปีที่แล้ว +13

    Yani office hizo ndio zilivyo kawaida Dada angu

    • @alimuhamed1830
      @alimuhamed1830 ปีที่แล้ว

      Allah atamsaidia koz kama allah aliyo ahidi hakika penyeuzito nawepesi upo

  • @williammgalla7774
    @williammgalla7774 ปีที่แล้ว +1

    Zakia Msangi@my class mate. Big up sana

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 ปีที่แล้ว +1

    Kadhi hajisikiii kuongea 🤔 Subhaana Allah Mtihani ,kwelii Mtihani Sasa kadhi kama hajisikiii kuongea si ajiudhuru hiyo KAZI awaachie watu ambao watakaojisikia kufanya izo KAZI waweze kusaidia watu?

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 ปีที่แล้ว +10

    Dr mwakaa buanaa khaaa mapenzi magumu na ni Vita kubwaa Sana Ina vipengere

  • @drsilo
    @drsilo ปีที่แล้ว +5

    Huku kuna rushaynah huku kuna mwaka🤣🤣

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว +1

      Mtihan

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 ปีที่แล้ว

      Wao yao wanatangaza, sote tupo shidani tu.

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 ปีที่แล้ว +1

    Jaman had wewe dk. Mwaka. 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
    Aiseee maisha yana usiri. Sna.

  • @annajulius9940
    @annajulius9940 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza umependeza Masha Allah uko kwenye taraka dada 🤗🙄🤔🤐🤐

  • @hodgebukaya5112
    @hodgebukaya5112 ปีที่แล้ว +7

    Muongopeni mungu katika sheria. Hiyo nifisi ya Dini kazi unatakiwa ulimalize hili jambo kidini na kisheria.

    • @abdallahabdulaziz3683
      @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว +1

      Bakwata wanatutia aibu watatusababisha hata jitihada zetu za KULETA MAHAKAMA ya kadhi kushindikana kutokana na njaa zao, wallahi tukipata MAHAKAMA ya kadhi NI lazima makadhi easier wa kuchaguliwa Bali wa ku apply na awe amesoma degree ya kiislamu sio Hawa makadhi njaa njaa.

  • @morogorodoll397
    @morogorodoll397 ปีที่แล้ว +5

    Maisha haya jamani mkiona mtu Anadai taraka mmuache hayupo anayependa kuona watoto wake wakae tofauti na baba au mama ndoa mtihani sana cku izi

  • @mariamumariamu5737
    @mariamumariamu5737 ปีที่แล้ว

    pole sana Tonka kabisa logo wangu uishi maisha yako mwaka ninini Toka waisilam niwabaya sana wanagandamiza kisa dini

  • @harrysonfidelis500
    @harrysonfidelis500 ปีที่แล้ว +1

    daah hawa viumbe ogopa sana, pole sana dr mwaka nikikumbuka enzi zile kwenye mahojiano yako kuhusu kutunza mwanamke zako na leo yalio kukuta ninakupa pole sana dr

  • @sein.208
    @sein.208 ปีที่แล้ว +13

    Allah ni mjuzi zaidi kwa yalifichikana na yaliyo dhahiri

  • @iman_thedon9548
    @iman_thedon9548 ปีที่แล้ว +3

    Daaah pole sana Mama yangu, haki ya mtu aipotei na kila lenye mwanzo alikosi mwisho hilo litaisha kwa uwezo wa Mungu Inshaallah

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 ปีที่แล้ว +56

    Dr Mwaka nakufuatilia sana, ila kwa hili umeniangusha

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 ปีที่แล้ว +3

      Dr Mwaka hapo umefeli

    • @mkohoexperience7322
      @mkohoexperience7322 ปีที่แล้ว +2

      Nyie mnasikiliza upande wa mlina asali, na kusema ameumia kwa kung'atwa na nyuki lakin hakuna aliyeongelea upande wa nyuki, kizazi cha nyuki waliopotea
      Don't drop into conclusions alaf hayo n mambo ya ndoa

    • @abdallahabdulaziz3683
      @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว

      @@mkohoexperience7322 mwaka alisema KUINGIA kanisani sio koa sijalisahau hilo Yule kanjanja mbahatishaji tu.

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 ปีที่แล้ว

      Hapa tumesikia upande mmoja tu. Ukisikia upande wa pili, utachanganyikiwa.

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +1

      @@mkohoexperience7322 Nikweli, ila kwa asilimia 99 wanawake tunaumizwa sana, na tunayo yavumilia kwa waume, waume hawayavumilii kwa wake.

  • @hawahabibu3881
    @hawahabibu3881 ปีที่แล้ว +47

    Mdada mzur MashaAllah kushinda wake zake wote

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +7

      Allah atampa haki yake Insh'Allah

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +6

      Ndio maaan hataki kuitoa talaka eti ana wake zke wale sura za jeshi anaona mh tabu kumuacha uyu mwanamke

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว +4

      Maa Shaa Allah
      Mzuri
      Anaongea kwa kituo
      Na akili ipo kichwani!
      Mke mkubwa

    • @madinamahuba
      @madinamahuba ปีที่แล้ว

      @@malak-lz6kx Kwani sianao wake 3

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +2

      @@madinamahuba kabaki mmoja tu yule sura ya babu yke

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 ปีที่แล้ว +15

    Huyu dada Mzuri sana. Akipewa divorce saa 4 asubuhi saa 4:30 Anapata Milionea South Africa Anamuoa

    • @sumiegeeb2111
      @sumiegeeb2111 ปีที่แล้ว

      Na ndo mana wanaume wanakuaga wagumu kutoa talaka wakifikirikia hivyo

    • @anoldpotentin2446
      @anoldpotentin2446 ปีที่แล้ว +3

      Millionea aoe mwanamke aliekaa kwa mwanaume miaka 10, kwan hakuna mabinti wadogo wazuri?

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +1

      @@anoldpotentin2446 hata angekaa miaka 20

    • @akinyindege7178
      @akinyindege7178 ปีที่แล้ว

      @@anoldpotentin2446 hovyo kweli wewe

    • @anoldpotentin2446
      @anoldpotentin2446 ปีที่แล้ว +1

      @@lifeinmiddleeast8179 Hakuna mwanaume mwenye akili tena hana hela, aoe mwanamke alieshindikana kwa mme wake. Nile makombo ya mwanaume mwenzangu na hela ipo😂nachukua binti mbichi

  • @leymanleyman7426
    @leymanleyman7426 ปีที่แล้ว +7

    Mmmmh. Sasa hapa ndio najua kweli mapenzi sio hela. Shikamoo mahaba.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +5

    Akupe haki yaki, aache mbamba zake fala huyo

  • @subirakakwela727
    @subirakakwela727 ปีที่แล้ว +3

    Kwa ajili Allah doctor amrejee kweli Allah atekeleze aliyoamlisha Kwan pumz c kitu Cha kujidai nacho akichelew kukatka

  • @wahidangunde4536
    @wahidangunde4536 ปีที่แล้ว +3

    Bakwata mungu anawaona watalipia wanachowafanyia walalamikaj wanaofika hapo…mimi ni muislam lakin nmesikitishwa sana na malalamiko hayo😢

  • @anoldpotentin2446
    @anoldpotentin2446 ปีที่แล้ว +4

    Kinachowaponza wanawake wengi wa hichi kizazi tamaa ya maisha mazuri kirahisi. Kuolewa na mwanaume mwenye pesa kuna gharama sana sio kazi rahisi kama mnavyochukulia.

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว

    Dr mwaka atakua kaenda kuizima kesi yeye sianajifanya boss KUBWA Yani Boss wa Dunia.Dada unajielewa na mungu atakusimamia ktk hili. Ila AJUE kaacha Mwanamke jembe ☑️☑️

  • @mbagaherbal4796
    @mbagaherbal4796 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli Ndugu zangu Swala la kuwaonyesha wanawake zetu mitandaoni sio jambo zuri na kiwasifia mitandaoni sio jambo zuri. Ndo yanawakuta hayooooo, Allah atuongoze sote Inshaallahu taala

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +13

    Dokt mwaka kujifanya ww mjuaaji mpaka unavuka mipaka Ona sasa Duniahi ..... Malipo yanaanza hapahapa

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 ปีที่แล้ว +6

    Jamani tatizo la wanawake wanafiki sana amuwezi wanawake watatu wakaolewa na mwanaume moja mapenzi ayagawanyiki lazima utaegemea upande moja tu

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 ปีที่แล้ว +1

      Mie spend watu wanooa wake wengi japo mie n muislam ila jambo hilo kwakwel huwa silikubal hata kdogo! Wanawake wanaumizwa Sana katka hili 😢😢😢😢

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 ปีที่แล้ว

      Kwani waisilam wanaume walivyoamrishwa kuoa wake zaidi ya mmoja kwa mwenye uwezo waliambiwa wagawane penzi sawa kwa wote? Hakuna jambo hilo hata Mtume s.a.w hakueza kugawanya sawa kwa wote. Kilichoamrishwa ni uadilifu wa kuwahudumikia kwenye mavazi, malazi, chakula na usiwanyanyase.

  • @f2abooksuppliers122
    @f2abooksuppliers122 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kama umeshindwa kuendana na baadhi ya vitu kwenye ndoa, ukadai talaka sidhan kama mumeo anakosa hapo, na sio urudishe nyumba tu, rudisha hadi nusu mahari maana umepata wakuendana nae huko maana hukufukuzwa kwa mumeo umejifukuza.

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw ปีที่แล้ว

    Mhhhhh sasa huyo Kadhi kama ana Pressure amekuja Kazini kufanya nini Duhhh sasa tuende kutafuta haki zetu wapi kama Vitengo vya Dini nao ni Ubabaishaji. Mwenyezi Mungu akusimamie Upate haki yako Queen.

  • @rajabumuyumbu4586
    @rajabumuyumbu4586 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna urafiki kati ya mke na mume
    Wanaume tubadirikeni tuache ushamba twendeni nawakati mambo ya baby baby yamepitwa na wakati hiki si kipindi cha maigizo narudia tena hakuna urafiki kati ya mke na mume narudia tena hakuna urafiki kati ya mke na mume

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 ปีที่แล้ว +14

    Hahaha 😂 mapenzi ya mitandaoni hayadum jmn eti wanapendana mmnooo hahaha 😂 Mungu ameturuhusu kuowa zaid ya mmoja lkn kuishi tuishi nao kwa akili San🤫Sasa utawaambiaje walimwengu

  • @malikeyndotopopote
    @malikeyndotopopote ปีที่แล้ว

    Dr Mwaka nae msenge tu. Uislamu unasema ukiachana na mke kila kiru ulichompa mwanamke si chako unamuachia

  • @King_186
    @King_186 ปีที่แล้ว +2

    Daah Dr Mwaka usimuache huyu Mama,unless km kuna jambo kubwa sana please

  • @hasnamustapha7774
    @hasnamustapha7774 ปีที่แล้ว +10

    Dada poleee sana Ktk hyo point mwanamke ukiamua kujivua ndoani unaonekana hauko sawa,unatakiwa uwe stable Ktk hili na haswaaa ukiwa na divorce na mwanaume wa aina hyo.
    Mwanaume siku zote huwa anapenda Aache yy na syo aachwe na mke Queen stay strong Maa.
    #Ndoa si kifungo#

    • @feezdidthis2220
      @feezdidthis2220 ปีที่แล้ว

      mtt wa kiislam ndo unakaa kusema hvo.. Subhanallah 🙉

    • @mishikikoti2948
      @mishikikoti2948 ปีที่แล้ว +1

      @@feezdidthis2220 😂😂si kwasbb hayaja kufika.

  • @happinessmtalika16
    @happinessmtalika16 ปีที่แล้ว +16

    Pole sana dada wanawake wengi tumeyapita hayo.lkn kikubwa uzima tu kama Mungu amepanga utapata vingi kuliko hivyo

    • @saadomar2480
      @saadomar2480 ปีที่แล้ว

      Hayo mmeyasikia niyamwaka, Sasa namwaka akija akasema mapungufuyake huyomama mtasemaje? Punguzeni lunwa ninyi wamama ninyi!

    • @saadomar2480
      @saadomar2480 ปีที่แล้ว

      Mambo yandani yamajumba nimagumu umdhaniae siye kumbe ndiye

    • @madinamahuba
      @madinamahuba ปีที่แล้ว

      @@saadomar2480 kwann aombe talaka alafu amfungulie kesi nyingine na amletee polis waje wamkamate anaamana.anamkomoa mkewe kisa kuombwa talaka haliyakuwa hana huduma yoyote na mkewe na watoto .kama unadada na akawa anapitia changamoto kama hizi ungejiongeza

    • @madinamahuba
      @madinamahuba ปีที่แล้ว +1

      @@saadomar2480 kuachana ndio amwambie arudishe kilakitu bado kesi juu ok anamnyanganya hiyo nyumba haliyakuwa anawatoto wataenda kukaa wapi usimtetee kwakua nimwanaume mwenzio ila angalia hoja nahaki

  • @abubakarali6363
    @abubakarali6363 ปีที่แล้ว +1

    Mwaka yuko sahihi, kwa msingi wa dini huyo mwanamke yy ndio anadai talaka, kama anadai talaka, aigharamie ni pamoja na kurudisha visivyovyake, kwa minajil ya mirathi ya kidini, anachostahil kupewa si kama matarajio yake, ndio mana wengi wanakimbilia mahakaman kwa kuwa mgawanyo wa kidini wengi hawaupendi wanaona wanapewa kidogo, kama tayar ameende kwenye sheria aende huko hapo ni kuchanganya madesa, maamuz ya bakwata ni tofaut na utakayoyapata mahakaman, hivyo achague mahal sahihi kumoja pa kumaliza janga lake, ila kuleta unafki wa kusubir hukumu ya bakwata ndio usonge nayo mbele, kadhi huo mtego ameustukia ndio mana anakupiga dana dana kwa kuwa ameshajua dhamira yao ni nini, na mkumbuke huo ni upande mmoja na mwaka nae ukimsikiliza ana hoja zake, ugomvi wao wao ndio wanajua kikubwa kuwaombea nusra tu iwakumbe coz kwa maelezo mwanamke ndio chanzo cha kumwacha mwaka, na nan kati yetu anajua sababu za moyo wa huyu mama kufikia hapo je kama kuna aliemrubun au la, ? Mimi binafsi niko upande wa mwaka coz nishapitia hali hii ya mwanamke kuondoka mwenyew baada ya miaka kupita anakuja tugawane mali, nilichomwambia tutauana ulishaondoka na ukaniacha kaendelee na maisha yako, huwez dai chumo la mali yangu ukatumie na mwanaume mwingine, i stand upande mwaka ingawa wengi hawatathmin wanajibu kwa mihemko zaid na kusikiliza dai la mmoja bila kumsikiliza na mlalamikiwa

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Allah atakujalia ulee wanao peke yako watoto 2 sio wengi ukipata kazi utaweza endesha maisha yako unless otherwise atakutesa sana sana trust me .

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 ปีที่แล้ว +24

    Dada mzuri Sana mrembo aswaa ,,daah, Mwenyezi mungu atakusaidia dear

    • @abdallahabdulaziz3683
      @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว +1

      Aje nimuoe.mie

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 ปีที่แล้ว +1

      Uzuri wake aende akaolewe na malaika basi, si hataki kuishi na mwanadam mwenziwe.

    • @mariamjuma4136
      @mariamjuma4136 ปีที่แล้ว +2

      @@Sheba4651 🤣🤣🤣ila wanaume mnafanyaga matukia. Mwanamke akichoka anataka kuondoka hamtaki

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

      @@abdallahabdulaziz3683 🤣🤣🤣

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

      Saana

  • @zaitunjuma870
    @zaitunjuma870 ปีที่แล้ว +3

    mtihan sn jaman Ee mungu wangu

  • @hellenrichard6528
    @hellenrichard6528 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh kazi kweli

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 ปีที่แล้ว

    Pole sana, maana na wewe ulichangia kuwaaminisha wanawake vijana kuwa kulala kitanda kimoja na mumeo wanawake wote wawili ni sawa? Haya ni matokeo ya maigizo. Ila uzuri una support nyuma yako Mungu akusaidie.

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว +5

    Nilikuwa namuona mwaka wa maana kumbe ndiyo hafai hivi ampe huyu mama hakiyake

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 ปีที่แล้ว +11

    ALLAH atawakufanyia wepesi ila Allah kareemu dada

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio shida ya mahakamani wanazulma sana na mwenye pesa ndio ananguvu hii ndio tz mie niko miaka 16 mpaka watoto wamekuwa hakuna haki yoyote inayotendeka zaidi ya pesa kuliwa na majaji na maloya LAANATULLAH

  • @mdimifrank
    @mdimifrank ปีที่แล้ว

    Pole sana mke wa Dkt Mwaka. Mahusiano hayalazimishwi. Mamlaka zifuatilie suala hilo ili ndoa hii iweze kuhitimishwa kwa amank kwa mujibu wa Sheria za nchi, maana upande mmoja unakwepa wajibu wa msingi kisheria. Waziri Gwajima na Waziri wa Katiba na Sheria ingilieni kati kumpatia haki huyu mama.

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

      Mbona iko wazi. Anaondoka kimyakimya kama alivyokuja.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +11

    Hizi Case ziwe kama case study Serikali ije na jambo hapa, hasa kuhusu malezi ya watoto, Makato yanatakiwa yawe direct kutokea bank kwa amr ya serikali na sio mtu mwenyewe aamue kupeleka hayo matunzo, kuwa na utaratibu wa deduction isiyo umiza

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว

      Hayo mambo yote yapo, ila ni procedure, sema tu hufahamu kaka.🙏

    • @abdirizakhtuke2882
      @abdirizakhtuke2882 ปีที่แล้ว +1

      50/50 ndio sababu ya talaka.

    • @eshialabonita7736
      @eshialabonita7736 ปีที่แล้ว

      Hio ni kazi ya ustawi sema Ndio hivo

    • @abdirizakhtuke2882
      @abdirizakhtuke2882 ปีที่แล้ว

      Utafute pesa umlete mtu akusaidie kuzila, siku anataka kuondoka aondoke na nusu ya mali yako.
      Where's natural justice?

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 ปีที่แล้ว

      Wewe unatamaa mbona hao watoto anaweza kukaa nao Mwaka mwenyewe

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 ปีที่แล้ว +4

    Bakwata Fuateni vzr sheria zilizonyooka na Allah kwny Masahafu mpo Hapo kwny taasisi kufanya nn Sasa.

  • @tmt2642
    @tmt2642 ปีที่แล้ว +1

    Kadhi anapanga mpango na police kukamata muumini🙄🙄🙄
    Dr. Mwaka anafeli hapo🙄🙄🙄

  • @neemasanare3474
    @neemasanare3474 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusaidie

  • @happygideon4861
    @happygideon4861 ปีที่แล้ว +54

    Kipindi hiki mnaachwa😂😂😂😂😂ngoja mie nikakojoe nilale,masingo mama tujuane kwa likes

    • @salasala9114
      @salasala9114 ปีที่แล้ว +2

      Tupooo💃💃shoga angu🤣🤣

    • @shadrackmohamedi8765
      @shadrackmohamedi8765 ปีที่แล้ว +5

      I love single moms since they are very educated.
      I wish one day I will marry single mama

    • @happilicioussteven9544
      @happilicioussteven9544 ปีที่แล้ว +1

      @Shadrack Mohamedi Mungu atakupa haja ya moyo wako

    • @annamitumba3981
      @annamitumba3981 ปีที่แล้ว +1

      Tupooooooooo😀

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 ปีที่แล้ว +2

      Tupo tumejaa tele na mambo yanaenda

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada ปีที่แล้ว +32

    Kwel ni queen maashallah

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

      Mzuri sana

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 ปีที่แล้ว

      Mtoto mzuri , kazi kukushanya wanawake lakini hawayawezi kazi kutaka umaarufu tu achia ngazi Dr mwaka tuchukue mama huyo

  • @motomototv5301
    @motomototv5301 ปีที่แล้ว

    Dhambi Huzaa Dhambi na dhambi ikikomaa Huzaa Mauti na huu Ndiyo Mwisho wa Dhambi Mungu Hakushindwa kuumba Amina Eva Wawili Wala akina Adami Wawili Mungu Atuwezeshe Kuzishinda Dhambi Tuishi Maisha Matakatifu

  • @mohamedmussa7121
    @mohamedmussa7121 ปีที่แล้ว +2

    Hamna kitu hapa, ujanja ujanja wa wanawake. Yaani kumkusanyia team yote hiyo kutengeneza attention. Wanawake; ukimkuta mwanaume anamafanyikio ya kidunia anaushawishi na anaakili kubwa never play hii michezo utajutaa. Mpaka kufika hapo kakwepa mishale mingi usihisi unaweza kumuangusha au kuchukua chochote kutoka kwa mwanaume pasina ridhaa yake kama yupo hai...

    • @kandurumedia8220
      @kandurumedia8220 ปีที่แล้ว +2

      Angalau kaka umezungumza.
      Simtetei doctor Mwaka Wala huyo dada.
      Wanawake Wana vitimbi kama huna Imani unaweza ingia motoni chaaaap.
      Allah atunusuru wanaume wote.