QUEENMASANJA AFUNGUKA KUICHUKIA NDOA NA DR MWAKA/SINA MAHUSIANO/NATONGOZWA/KUIMBA NA ZUCHU/HARMONIZE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 131

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy ปีที่แล้ว +40

    Some how Queen anafanana na Zari the boss lady!

    • @gabbyhenrgy1157
      @gabbyhenrgy1157 ปีที่แล้ว

      Sanaaaaaaa

    • @ElhemElhem-n7e
      @ElhemElhem-n7e ปีที่แล้ว +2

      Wanafanan kabisaa ila hutu dada kamzidi zari kwa uzuri asee

    • @Kakwasi
      @Kakwasi ปีที่แล้ว

      Halafu yeye ni mnatural kila mahali

  • @rahmaoman470
    @rahmaoman470 ปีที่แล้ว +16

    Uyu dada anajielew sana Allah akujaliy kweny kaz zko na akutunze 🥰🥰

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 ปีที่แล้ว

      Anajielew nn? hakuna checho te hapo, huyo kunamtu nyuma yake ukitaka kujua hilo sikiliza majib anayo yatoa kuhusu ndoa akitoka kwa mwaka kwa sababu tayar alijua anapo elekea

  • @melvingodfrey7036
    @melvingodfrey7036 23 วันที่ผ่านมา

    Da queen barikiwa Sana pambana watoto wako ulionao wanakutoshaa❤❤❤

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty ปีที่แล้ว +3

    Nampendaga huyu Dada Ni Queen kweli kam jina lake yuko very classy feminine yan huwa nawmanglia sana anatufundisha waweza kuvaa classy na ukapendeza mzuri bila kuonesha sana

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +4

    Wewe mzuri sana mwaka alikua mnyanyasaji uyo

  • @MatildsChami
    @MatildsChami ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli nakukubali sana na najifunza kupitia wew sana natamani nipate mawasiliano yako Mungu akulinde daima

  • @anisanassoro5246
    @anisanassoro5246 ปีที่แล้ว +6

    Inshallah mungu amsaidie huyo dada mie Huwa nampenda sana mungu amuongoze apate mume mwema nikiwa kama mzazi mungu akubariki kipenzi

  • @marryeliasmarryelias9289
    @marryeliasmarryelias9289 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda dear sister queen ❤❤

  • @JamilhaaSelemani
    @JamilhaaSelemani ปีที่แล้ว

    Love😂 U so much my dear unatia moyo sana ww dada ujui tu

  • @AzaShamba
    @AzaShamba ปีที่แล้ว +4

    Queen NAKUPENDA SANA. ULIPITIA MAGUMU❤❤SASA UNA LIFE YKO MUNGU AKUONGOZE. UR SO BEAUTIFUL

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว

    Mimi nampendaaa yaaaan sisemiii NI mkweri. SANA.❤❤❤❤

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว +3

    Nyie WAACHENI USHAMBAAA. WASWAHILII WAKUBWA. UYO BINTI SIO MZEEE LOOOO NA NGUO AU MAVAZI AYANA UZEEEEE. SIO MKUBWA NA SIO MZEEEE DUUUU WABONGOOOOO

  • @salimnassor3212
    @salimnassor3212 ปีที่แล้ว +1

    what a germ huyu ni mwanamke ukisikia anavyojibu na alivyo muonekano kitabia anastahili heshima nimempenda sana

  • @CalisternongiHaule-vk6ch
    @CalisternongiHaule-vk6ch ปีที่แล้ว +28

    Kunabaadhi ya watu ukiachana nao katika maisha milango lazima ifunguke

    • @AminaAmine-v4m
      @AminaAmine-v4m ปีที่แล้ว +2

      ❤❤❤❤❤natamani nikupe zawadi umenigusa mno

    • @iddymohammed1890
      @iddymohammed1890 ปีที่แล้ว +4

      milango ipi mzeee?? unadhani ni yeye hapo au unadanganya watu waachane na sehem sahihi walizopo waige kutoka kwemye ndoa waje warande mitaan... huyo ni mtu mzima saiv kutangaza mapensi mapaja nje haina maana na huo sio uhuru..
      msikilize vizur yeye mwenyew anachoongea usipoteshe watu.. NDOA ni kitu cha heshima sana subiri uoe au uwe na mtoto aolewe then itokee aachike ndo utajua vzr pia kama huna cha kusema kaa kimy ni bora zaid kwako
      anasema hafikirii tena ndoa ila ana mahusiano ya kawaida, je wewe ungependa mwanao awe kweny ndoa au mahusiano ya kawaida?? SHIRIKISHA AKILI KABLA HUJANYANYUA ULIMI WAKO UKAJIFANYA UNA INSPIRE SANA

    • @matridamwandambo9656
      @matridamwandambo9656 ปีที่แล้ว

      Kabisa mm nilikuwa na mpenz toka niachane nae 😊😊❤❤❤walah na enjoh

    • @monicaissah5662
      @monicaissah5662 ปีที่แล้ว

      ​@@iddymohammed1890mmmh ayo simaoni yake

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      ​@@iddymohammed1890umeongea maneno mazito sna ila madada wa uko wnawaza uhuru wa kujitofikiria kuna kesho yke ndio hao

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว

    Uyooo NIII original ❤🎉🎉

  • @ashamonamachicha8653
    @ashamonamachicha8653 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde na kila unachopamba

  • @FekiHappy
    @FekiHappy หลายเดือนก่อน

    Ndoa ya awal ilikuwaje?

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 ปีที่แล้ว +5

    Mama safi 🎉

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว

    Mzuri SANAAAA Jamani khaaaa

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde malkia wang uish sana

  • @omanqqwe4061
    @omanqqwe4061 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana dada

  • @Kakwasi
    @Kakwasi ปีที่แล้ว

    Very beautiful mama

  • @MwantumuAbdy
    @MwantumuAbdy หลายเดือนก่อน

    Nyie mnapendaga tu kuona mabaya ya mtu shida yenu ilikuwa afulie mumcheke ss kawafunga midomo😅😅😅

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 ปีที่แล้ว +3

    Huyo mtangazaji hana adabu,mbona anamusogelea huyo dada kishenzi hivyo?Na hayo maswali yake mengi ovyo ovyo tuu.

  • @BabaBalingasi-hp6gd
    @BabaBalingasi-hp6gd ปีที่แล้ว +1

    Hivi kwelii hata kama amekuzidi umri una ubavu wa kumkata?
    Ni hatarii sana huyo

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว

    Ongera dada!

  • @marryeliasmarryelias9289
    @marryeliasmarryelias9289 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze wewe na wanao

  • @MohonoMwita
    @MohonoMwita ปีที่แล้ว

    Unatafuta kiki lakini huna jipya kama umeachana na mwaka kwanini bado unamoongelea mitandaoni huna akiri ila punguza maneno kwenye mitandao

  • @hussenihamisi2862
    @hussenihamisi2862 หลายเดือนก่อน

    Ameachana na dr mwaka akaacha na dini kabisa, nimejifunsa kitu usisubutu kuoa mwanamke ety umbadilishe dini siku mkiachana anarudi ktk dini yake

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani hata akiwa na mtu hao wanaume hawawezi kumtaka bado acheni kunganganiza watu kuhusu maswali binafsi

  • @VeronicaHiari
    @VeronicaHiari ปีที่แล้ว +1

    Dada naomba mawasiliano nataka kununua nguo unazitangaza nipo huku Iringa

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 ปีที่แล้ว +3

    Una damu ya nguo,in short unapendeza Sana.

  • @nassirsalim6679
    @nassirsalim6679 ปีที่แล้ว +2

    Ila dada mgumu kukubali uyu mm pia mmoja wapo narusha msg sana 😅😅😅

  • @jacklineanthony5191
    @jacklineanthony5191 ปีที่แล้ว

    Napenda majibu yako

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว +1

    Umri ukienda isia zina pungua yupo Sawa

  • @JeniferMassawe-lu3de
    @JeniferMassawe-lu3de ปีที่แล้ว +6

    Mzuri sana

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt ปีที่แล้ว +1

      Sana wanaume wanatuchakaza ingawa sio wote

  • @KhadijaAbdallah-kn3ii
    @KhadijaAbdallah-kn3ii ปีที่แล้ว +4

    Abaya zipo hadi za 30000 kwani.lazima za pesa ndefu mbona sie tunavaa na hatujachujika😅😅

    • @munirahassan5969
      @munirahassan5969 ปีที่แล้ว +1

      Mnunulie

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว

      Wapi na Mimi nikanunuwe mpendwa

    • @KhadijaAbdallah-kn3ii
      @KhadijaAbdallah-kn3ii ปีที่แล้ว

      @@rithadonatus8110 zanzibar

    • @KhadijaAbdallah-kn3ii
      @KhadijaAbdallah-kn3ii ปีที่แล้ว +2

      @@munirahassan5969 kwani mwanzo.alipokua akivaa nilimnunulia mm?

    • @mimikimanga3126
      @mimikimanga3126 ปีที่แล้ว

      Endeleeni kuvaa shida iko wapi kwani ye akivaa akitakacho we na familia yako pia vaeni hizo abaya

  • @happypetro2948
    @happypetro2948 ปีที่แล้ว +1

    Kama dokta mwaka anammezea mate hapo

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya ปีที่แล้ว +1

    Na picha ya hamo na zuchu imekukaje, harafu watangazaji wa mutanzania Ni mpenzi tu kuriko aanze na Swari la maana anaanza na mpenzi😂😂😂😂😂

    • @farida4595
      @farida4595 ปีที่แล้ว +1

      Mm nlipoona picha ya hamo ndio nmekuja kumbe hkuna kinachoendlea

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว +2

    Dr mwaka alimpuuzia mwanamke mwenye hekma na akili

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt ปีที่แล้ว

    Wow mom🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪

  • @lindahjoseph8360
    @lindahjoseph8360 ปีที่แล้ว

    You look like mama tiffah

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +2

    Wasukuma wazuri jamani

  • @MwalimuKivava
    @MwalimuKivava 7 หลายเดือนก่อน

    hakuna zaidi ya ushabiki wa kidini

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 ปีที่แล้ว +2

    Roja anajarb kutupa ndoano

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +8

    Mwaka alikuzeesha nahisi umeondoka na nyota yako maana siku hizi hasikiki

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 ปีที่แล้ว +1

      Ata post Sion skuhizi😂

    • @florangido202
      @florangido202 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 ปีที่แล้ว

      Hataki tu malumbano baba wa watu kaamua kukaa kimya huo ndo uungwana...hongera Dr. Mwaka kwa kukaa kimya...

    • @HappyMakoga
      @HappyMakoga ปีที่แล้ว

      Queen bado kijana hana utuuzima jamani bado sana nyie mnajua mtu mzima nyie

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 ปีที่แล้ว +5

    Piga kazi dada uachane na ndoa kwa sasa

  • @Kakwasi
    @Kakwasi ปีที่แล้ว

    WAOH WAOH.

  • @KhadijaAbdallah-kn3ii
    @KhadijaAbdallah-kn3ii ปีที่แล้ว +6

    Huyu mwanamke ame change sana masikini roho yake alikuwa mtu mwenye kujistiri asaivi amekuwa upande wa shetani

    • @munirahassan5969
      @munirahassan5969 ปีที่แล้ว

      Mkiritu uyu dada.

    • @zayanazayana5353
      @zayanazayana5353 ปีที่แล้ว +1

      Ni Wanaume Wajinga Wanasababisha hayo Mwanamke Anakubali Kusilimu Anakufata kwnye Dini yko Anakuzalia Watoto Jicho lke linakuangalia ww vp Aishi Matokeo yke Mwanamme wnyw Bilisi hana hata kimoja anachokift kwny Dini yke wl hana Mapenzi Wengi Wanard kwny Dini zao na Watoto wao kw sbb ya Ufisadi Wanaukuta

    • @happymarwa4517
      @happymarwa4517 ปีที่แล้ว +1

      Utashangaa wewe unaingia motoni yeye peponi

    • @wardamohamood
      @wardamohamood ปีที่แล้ว

      Mungu mtu

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty ปีที่แล้ว

      Mbona sioni ziwa hapo wala mguu wala uchi mbona kavaa kieshima sana mwenzio anafanya kazi watoto wapate kula

  • @JafariAbdallah-ot9gp
    @JafariAbdallah-ot9gp ปีที่แล้ว

    Dunia imechukua chake hapo

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd ปีที่แล้ว

    Afu ni lika la zar uyu ila zar kujikana sasa

  • @fedhandunga5935
    @fedhandunga5935 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 ปีที่แล้ว

    ❤🔥

  • @rudiaeliakim2172
    @rudiaeliakim2172 ปีที่แล้ว +1

    🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 ปีที่แล้ว

    Ulikua unataka kuvua stara tu sio?? Uko huru sasa uhuru wa kishetwan

  • @ZORODUDEAli
    @ZORODUDEAli ปีที่แล้ว +3

    Jamani mdada mzuri Mashallah alikuwa akivaa hijabu mwenyewe alipokuwa na Dr sasa kavua Mungu ajaalie wasuluhishe waendelee kuwa pamoja rudianeni jamani

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 ปีที่แล้ว +6

      Hata alipokua na dr mwaka alikua havai hijabu muda wote alikua anavaa akienda kwenye interviews ila muda mwingi alikua anavaa kichwa waz n jeans michaniko

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 ปีที่แล้ว +3

      Ulikuwa humfatilii wewe wakati anaishi SA... Alikuwa anavaa vinjunga kinyamwez nouma

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 ปีที่แล้ว +2

      Warudiane ili iweje

    • @happinesshezron6633
      @happinesshezron6633 ปีที่แล้ว +1

      Mwache aishi maisha yake ya furaha.

    • @anisanassoro5246
      @anisanassoro5246 ปีที่แล้ว

      Anatafuta mabwanaaa huyo Hana lolote kaishiwa na umri huo Hana aibu!!!!

  • @MwandigaRuhobe-fm3it
    @MwandigaRuhobe-fm3it ปีที่แล้ว +1

    Unaumbile la kapendeza bala

  • @jojotz1210
    @jojotz1210 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤🎉🎉🎉😊

  • @ahmedbashash3672
    @ahmedbashash3672 ปีที่แล้ว

    Umalaya tu ndio uzeeni

    • @Kakwasi
      @Kakwasi ปีที่แล้ว +1

      Ni mzuri ni mrembo. Tena huyu sio muislamu tena

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 ปีที่แล้ว +1

    Dr mwaka kaachia chombo kizuri alikua mshauri wa ndoa yule

  • @FekiHappy
    @FekiHappy หลายเดือนก่อน

    Hhhhhhh

  • @shaaden-
    @shaaden- ปีที่แล้ว +1

    Ila dada usirudi kuva vile vinguo vifupi miguu yako hairuhusu😢

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 ปีที่แล้ว +1

      Mbona anapendeza sana

    • @khadijajuma6271
      @khadijajuma6271 ปีที่แล้ว +1

      Anapendeza mnoo acha makasiriko t

    • @winnerlucas5924
      @winnerlucas5924 ปีที่แล้ว

      Miguu yake haipendezi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 weeeeeeeeee

    • @shaaden-
      @shaaden- ปีที่แล้ว

      @@khadijajuma6271 acheni kumdanganya

    • @Kakwasi
      @Kakwasi ปีที่แล้ว

      Miguu kapewa na Mungu. Unataka aombe ingine wapi. Ukona miguu ya kumpa

  • @anisanassoro5246
    @anisanassoro5246 ปีที่แล้ว +1

    Hana lolote....

  • @anisanassoro5246
    @anisanassoro5246 ปีที่แล้ว +2

    Namuonea huruma sna maskini Sasa amekua anajinadi mwili wake mpka no ya simu anatoa hakika amepotea mungu amuongoze alikua amestirika kwa mwkaa umri wake umeenda anajinadi huyo Hana lolote hata kama mzuri sio sawa anachokifanya ni uchafu mtupu!!!!anatafuta wanaume wenye pesa Hana lolote huyo....

    • @queenmollel6739
      @queenmollel6739 ปีที่แล้ว +3

      Wewe nawe makasiriko tuuu, amesitirika wakati alikuwa ananyanyasika wewe kama umezoea mateso sio wote wanataka ,

    • @queenmollel6739
      @queenmollel6739 ปีที่แล้ว +4

      Unamuonea huruma wewe kama nani, unadhani anatangaza biashara za sh mbili, za mamilioni acha ujinga maisha ni mtandao funguka

    • @glory.patrickkitigwa4564
      @glory.patrickkitigwa4564 ปีที่แล้ว +1

      Vipi huwa mnadanga nae mbona unamzungumzia as if unamjua sana😅

    • @glotysadiki3425
      @glotysadiki3425 ปีที่แล้ว +1

      Acha makasiliko ww ndouna lolote

    • @wardamohamood
      @wardamohamood ปีที่แล้ว +2

      Nenda wew basi uko kwa mwaka mbona mnapenda kuingilia maisha ya watu