Ee Mwenyezi MUNGU, mwingi wa rehema,msaidie huyu baba,ameitumikia Tanzania lakini hakuna anayejali,mmmmh!!!😢😢😢😢haki yake MUNGU anaijua,kama hawakuhusika,mwezi huu wa 7 wataachiwa huru kwa jina la YESU.Zaburi 71:1 MUNGU ameamuru,tutakakokwenda siku zote,tuokolewe.Hii familia iokolewe kwa jina la YESU. Amen
Amen, hilo ni shambulio la kiroho. Msogelee Yesu, atakushindia magumu. Utapata faraja na amani moyoni mwako. Shida zitatatuliwa kimbingu, yaani kwa namna ya ajabu.
Dah. Hii Nchi ngumu Sana. Kuna watu wana Roho MBAYA SANA. Sikujua mtu anaweza kuwa Mtumishi wa Umma na Akafanya hivyo, Jaji anaye hudumiwa Kila kitu anashindwa kutenda haki. Pole Sana Mzee. Mungu atusaidie
Paschal Mwakyoma, wewe ni bonge la mwandishi aisee. Habari unazotulea zina funzo kubwa sana kwetu kama wasomaji. Keep it up. There's a bright future ahead of you.
Ata ongea ya huyu mzee wangu. Anaonekana anabusara na hekima sana na anaonekana dini. Imekaaa anahuruma na anaujua utu. Mungu atakujibu mda so mrefu shekhe wangu amen
Alitakiwa ataje simu yake hapo ili apate msaada. Sasa hata tukiomba namba yake, hatuwezi kuiamini. Inasikitisha sana kwa Gynecologist kuishi maisha hayo. Tunaomba haki itendeke 😢😢
Pole sana baba na Daktari bilal milomo ....naomba Mungu akukumbuke lakini mtazame Mungu tu najua unaumia sana ila rudisha imani yako kwa Mungu kila kitu kitakua sawa soma NAHUMU 1:12 kwenye biblia ...linasema kua ijapokua wana nguvu zilizo timilifu ,ijapokua ni wengi ,hata hivyo watakatwa naye atapita atakwenda zake ijapokua nikutesa sitakutesa tena....lakini pia soma kitabu cha AYUBU .....sisi ni wamoja dini hazitutofautishi na huu ni msaada wangu wa ushauri nakuombea kila la kheri Muheshimiwa Dr Bilal milomo
Ivi hii ni tanzania yetu ya amani ndiyo baba analia hivi na anakosa msaada, Mungu ampe njia ya kuweza kutatua hili suara, na kikubwa zaidi huyu ni doctor amewasaidia watu wengi, Leo anatendewa hivi, haya maumivu anayo pitia yatakuja kulipwa, mungu anawaona, mzee usikate tamaa zaidi kumuomba mungu mpaka haki ipatikane, pole sana baba🙏🙏🙏😢😥😢
Kiza hakiondoi Kiza Bali kiza huondolewa na Mwanga..Allah S.W.T ni Nuru amabayo haijawahi kushindwa na Kiza it's a matter of time. Allah S.W.T akufanyie wepesi Dr.Bilal
Mungu mwenye kujua ya sirini yote yaliyo nyuma ya jambo hili, Ee Mungu usinyamaze kwaajili ya hili, Munguuwe msemaji wa mwisho maan wewe ndio mwenye haki. Dunia hapa tunapita tu hata ungekuwa nani , Mungu atusaidie tuishi tukijua Mungu ni mkuu kuliko vyote ...Pole sana 😢😢😢 baba katika yote Mungu ajitwalie utukufu kwaajili ya hili....Eee Mungu nyosha mkono wako 😢😢😢😢 Baba ,baba , Mungu najua wewe pekeyako unainua vilivyo vinyonge kuahibisha vilivyo na nguvu, naomba Mungu jitwalie utukufu kwaajili ya baba huyu, Mungu wewe unatuwazia mema na unatupenda bila kujali madhaifu yetu hauwahi wala hauchelewi 😢😢😢😢😢Ee Mungu 😢😢😢😢moyo wangu umeuma pole baba. Mungu anaona mapito yako....atakushangaza mbele ya adui na watesi wako......Mungu ni mkuu ...Mungu kama ulivyotupenda hata ukamtoa kristo kwaajili yetu ili tuwe huru Kwa damu Ya Yesu mwanao mpendwa natangaza uhuru usio na mipaka kwa ibrahimu salma na mama yao... Na abdurazack akawe kama yusufu aameeen
Naomba mweheshimiwa Rais mama yetu mwenye upendo na huruma , Familia ya baba huyu mweheshimiwa Rais msaidie huyu baba wewe ni mama mwenye huruma na upendo sisi ni wapitaji katika Dunia hii mama tunakuomba fanya jambo kuwa huyu baba mungu wangu akubariki mama tazama watu wako wanavyoteswa na watu wenye nia mbaya mama msaidie huyu baba ndy maombi yangu kwako taaluma yake inahitajika kwa nchi yetu mama
Pole sana baba yangu mwenyezi Mungu akupe Subra ipo siku wata toka ipo siku baba mwenyezi Mungu ana Kupa nitukhan tuu rakn ipo siku uta shinda tuu 😢😢pole sana rakn pia muone Makonda ata kusaidia baba pole sana 😢😢😢
Mungu akukumbuke babangu, akuinulie msaada, haki yako na familia yako iinuke. Mungu si mwanadam, na wote waliotia mikono yao katika kutimiza uharibifu mkono wa Mungu ukawe juu yao
Pole sana Baba. Mungu akupe amani na utulivu shida zitapita. Inasikitisha sana na kuumiza moyo kusikia story kama hii. Kweli nchi hii hamna haki...kumuona Baba mtumzima analia kwa uchungu kwa ajili ya familia yake inasikitisha. Shame to leaders in Tanzania and corrupt system, this is a lawless country, tunaitaji system nzima na serikali nzima ibadilishwe...Baba afadhali uhamie nchi nyingine and claim assalym...
Eee mwenyenzi Mungu, wewe ni baba mwenye huruma ni mwingi wa rehema, tunaomba ukatende jambo la kushangaz ktk familia hii, wanaomchimbia kaburi wakafukiwe hko wenyew jmn. Allah allah tutakuhusudu ww pekee molaar. Ww pekee ndio tegemez la hii familia na tunaamini hvi punde watakua huru kwa nguvu zako mungu.
Pole Sana baba😭huyo binadam anpofanya anasahau Kama Kuna malipo hapa duniani anaweza asilipwe yeye Ila akalipwa kwa watoto wake nizambi kubwa Sana adi watoto unaweka ndani ukiwa wewe unaludi watoto wako wanakupokea wa mwenzio umewaweka ndani popote ulipo mungu anakuona machozi ya baba huyu hayaendi bule yanatembea mpaka kwenye kizazi chako baba mungu akulipe kwa haki
Very sad, That's why I promised myself to live far from Tanzania. And I thank God for where I am today. Tz drama nyingi Sana zinazo kwaza mioyo ya watu.
Mungu najua unajua mapito ya huyu baba uliyemuumba pamoja na familia yake , Nakuomba Mungu wa mbinguni utende muujiza kama ulivotenda kwa Paul nasila milango ya gereza ikafunguka tenda leo Mungu wangu, ulisema walipo 2 , 3,wakiomba utasikia na kujibu maombi yao, naomba nasi utusikie Mungu wangu ninakuamin mwaka huu hauishi familia itaachiwa huru na watu watajua uko Mungu usiyepokea rushwa.
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na akatuumba sisi sote ametupa na pumzi yake pia hajalala Wala hajakusahau anaona chozi lako na anaiona familia yako inachopitia pia ukweli ni kwamba Mungu wetu ni Mungu wa haki na ikiwa hawanakosa wameonewa Mungu atajiinua na kuonyesha ukuu wake ndani ya mtihani huu,Mungu huwaonekani wadhaifu anaonyesh ukuu wao hivyo baba naamini kabisa Mungu wetu si dhalim hata aseme uonge Amesema sintakupungukia wal sintakuacha kama nilivyo kuwa pamoja n Musa ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe kasisitiza tena kasema uwe na moyo mkuu zaidi kimtegemea Mungu na Mungu hatanyamaza.
Eee Mungu mpe haja za moyo wake mja wako huyu aliyejeruhiwa vibaya,Na ukajidhihirishe kwa wabaya wote waliomtenda ubaya mtu huyu wapate adhabu yako isiyokua na pingamizi🙏🏾🙌Amen
Mungu awaadhibishe wote waliohusika kumtesa huyu baba na familia yake, sawasawa na Mapenzi yake. Amen!!!binadamu wanakosa utu kumtesa mtu anaeokoa maisha ya watu.
Baba mpe Yesu maisha yako ..ni jambo dogo sana kwa Yesu tunaowatu kama wewe Yesu amewashindia.. njoo kwa Yesu baba .huyu Yesu kweli yupo na anaweza kutenda sanaaa... utashangaa yeye ni zaid ya mtu yeyote...
pole lakini mwandishi hujauliza uhusika wao kwenye hayo mauaji ulikuaje ? ukiua lazia kunyonywa fikiria aliyeuwawa ni kiongozi, balozi wa nyumba kumi ndie mjumbe mwenyewe. Mjumbe ana kosa gani hadi auwawe. Hatari saana hongera Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri na Mahakama kwa kazi nzuri, haki ni pamoja na kufungwa.
😢😢sema alhamdulillah tu babaangu hii ndio tz haki utaipata kwa ALLAH INSHALLAH 🙏 LIA UCHUNGU UPUNGUE POLE SANA BABAANGU NDIO MITIHANI YA DUNIA ALLAH ANAKUPIMA IMAN YAKO😢😢😢😢M/MUNGU AKUTIE NGUVU INSHALLAH 🙏
Allah ni mjuzi na mwingi wa huruma atafanya wepesi katika hili president msaidie huyu mzee wetu wenye busara na hekima akutane na familia yake hakuna atakae ishi milele! Inasikitisha sana!
Huyo ndo binadamu sasa😭😭😭😭😭 Ee Mola haya machozi yanayobubujika, yakafanyike fimbo ya kuwaliza wale wote wanaohusika na udharimu huu. Mungu atajibu kwa Vitendo
Mungu hakuna kitu anashindwa katika dunia hii panga pangua ila kwa mungu kuna kila haki ndomaana vyote unavyo viona hapa duniani hata dunia na vitu vyote vipo chini yake mzee wangu mungu anakusikia na anajibu/atajibu aminia tunakuombea na kujiombea 🙏
hii duni ngumu sana🙏🏼 ufike tu ule mwisho wa kizazi cha tatu nacha nne😭😭 binadamu wamekuwa wakatili sanaa😭😭😭😭😭😭🌏 baba kapata aradhi makubwa kwa sababu ya wanadamuwenye tamaa ya kumwaga damu za watu😭😭😭😭😭😭 na adui sikuzote hatiki mbali,
Mungu amtetee huyu Mzee kwa kweli, Kuna Watu Wengi Wanaumia sana, lakini Mambo yamejificha, Mungu kwa Mara ya kwanza anaangamiza, ilikuwa ni dhambi ya dhuluma, Mungu Yupo, Akuone na akutete kwa kweli
Mungu yupo hawai wala hachelewi. Mungu akufariji sana na yy ndio msemaji wa mwisho.😢 inauma sana. Pole sana mzee wangu. Mungu atayafuta machozi na atalipa gharama
UYU BABA AMENIUMAAAAA!AMENIUMAAAAAAA😢EEH YESU NYOOSHA MKONO WAKO BABA.KILA ANAEFANYA KINYUME NA WEWE UKANYOOSHE UPANGA WAKO.BINADAM WAMEKUA KAMA WANYAMA😢
Yule Mungu aliyemsadia Babu sea kutoka jela ktk kifungo Kama hicho basi hata hiyo familia naamini itatoka tuu.eh Mwenyezi Mungu sikia kilio Cha baba huyu
Anasema alisomea upadiri, na akisomeshwa na kanisa, inawezekana alishaingia ktk maagano ya upadiri omayo ni unayafanya kwa akili na moto wako binafsi. Sada kukiuka maagano Yako na Mungu inaleta laana. Ushauri : Mungu ni mwingi wa rehema, akumbuke alipoangukia , akiri makosa na kutubu kutoka rohoni, Mungu aingilie kati. Pole sana .
Wewe umenena kweli. Maana kwa sisi wakatoriki sacramenti ya ndoa na ya utawa huwezi kuzichanganya. Kuna mahala alikosea sana na bahati binadamu huwa hatukubali.kuadmit makosa yetu muda wote tunatafuta wa kumsingizia. Hata watu wengi wanaotekwa na kuuwawa unakuta ni watu waliojiingiza katika mfumo wa maisha usio sahihi, na baada ya hapo ndiyo unakuta mtu anaingiza hata ukoi mzima kwenye matatizo..so ndugu wengine wataonekana kama wanainewa kumbe kuna mtu mmoja aliwaingiza katika hayo matatizo na hataki kusema ukweli
Kwenye giza Mungu huonyesha mwanga ,sualà hili najua ufumbuzi utapatikana ,viongozi ,heshimuni kanuni ya kuitwa viongozi, Neno KIONGOZI ,kila neno lina maana yake, sasa watendaji wetu kama huyu baba yetu fuatilieni tujue ukweli uko wapi jamani
Allah akikupenda lazima akupe mitihani usijali baba angu litapita hili na familia yako utaungana nayo tena inshallah kwa uwezo wake na hao mahasidi litawashuka hawataamini
Mama pia alikuwa na shida , kwa Nini alimwacha mume Morogoro ak 18:42 arudi kuishi kwao, kupewa shamba si mbaya, kwa hekima msaada ya kuona Kuna ugomvi, angeuza akanunue mahali pengine au arudi kwa Mumewe . Kama unapenda sana kwenu acha kuolewa na kabila ingine, huyu akarudi na watoto kwao ,sasa baba ndie ananyanyasika. Thamira zinaficha mambo mengi sana. Mungu baba ahusike kwa rehema.
Nalia sana kwakweli pole Baba yangu Mungu akutie nguvu familia yako ina karama kubwa sana watoto wako wana vipawa hawatapotea hawatakufa mpaka makusudi ya Mungu kwako yatimie Mungu machozi ya huyu baba yanalalamika kwenye kiti cha Enzi nakuomba Baba Ile damu yako ya thamani iliyomwagika pale msalabani iende katika kiti cha enzi ikafute mashtaka ya huyu ya huyu baba yaliyoletwa mbele zako na mshitaki wetu ibilisi
Nimeshindwa yazuia machozi huruma ya Mungu na iwe juu yako baba. Hapa mshitakie Mungu tu naamini kwa wema wake atajibu mapema mno na wataaibika na kufedheheka mno.
Upande wa Pili wa nani...ebu kaaq chini List watu wote unaotaka Story zao za upande huo halafu jiulize...Hili Taifa lina watu wanaroho mbaya sana ni vile Nyerere alitunyima Elimu BORA na wachache waliopata Elimu bora wanaonekana mwiba kwa Serikali na Watumishi wapuuuuzi
Amin yesu anaweza kufanya jambo jipya kama wapo hai mwaka huu mwishon wataachiwa huru mwez wa kumi na mbili amin yesu anafanya tena anafanya mambo makubwa naamin katika hilo
Ee Mwenyezi MUNGU, mwingi wa rehema,msaidie huyu baba,ameitumikia Tanzania lakini hakuna anayejali,mmmmh!!!😢😢😢😢haki yake MUNGU anaijua,kama hawakuhusika,mwezi huu wa 7 wataachiwa huru kwa jina la YESU.Zaburi 71:1 MUNGU ameamuru,tutakakokwenda siku zote,tuokolewe.Hii familia iokolewe kwa jina la YESU. Amen
Amen 🙏
Amen
Ishaalah watatoka wahame huko kibosho,wa peleke moro
🙏
Amina ,mungu atatenda
Bado kitambo kidogo mzee wangu utafika mwisho wa shida hii Mungu atakupa ushindi usioutegemea……Amina 🙏🏿
Amiin
Amen, hilo ni shambulio la kiroho. Msogelee Yesu, atakushindia magumu. Utapata faraja na amani moyoni mwako. Shida zitatatuliwa kimbingu, yaani kwa namna ya ajabu.
Amiin
Dah. Hii Nchi ngumu Sana. Kuna watu wana Roho MBAYA SANA. Sikujua mtu anaweza kuwa Mtumishi wa Umma na Akafanya hivyo, Jaji anaye hudumiwa Kila kitu anashindwa kutenda haki. Pole Sana Mzee. Mungu atusaidie
Paschal Mwakyoma, wewe ni bonge la mwandishi aisee. Habari unazotulea zina funzo kubwa sana kwetu kama wasomaji. Keep it up. There's a bright future ahead of you.
Ata ongea ya huyu mzee wangu. Anaonekana anabusara na hekima sana na anaonekana dini. Imekaaa anahuruma na anaujua utu. Mungu atakujibu mda so mrefu shekhe wangu amen
Alitakiwa ataje simu yake hapo ili apate msaada. Sasa hata tukiomba namba yake, hatuwezi kuiamini.
Inasikitisha sana kwa Gynecologist kuishi maisha hayo. Tunaomba haki itendeke 😢😢
Kweli ❤
Duh so painful
Yaan kuna watu tunapewa uongoz kuumiza wengine lakn hawajui kama watastaafu na kukaa vijijin hao!!!!?
Inauma sana dr Mungu akutie nguvu maana hakuna maref yasiyo na ncha.
Pole sana baba na Daktari bilal milomo ....naomba Mungu akukumbuke lakini mtazame Mungu tu najua unaumia sana ila rudisha imani yako kwa Mungu kila kitu kitakua sawa soma NAHUMU 1:12 kwenye biblia ...linasema kua ijapokua wana nguvu zilizo timilifu ,ijapokua ni wengi ,hata hivyo watakatwa naye atapita atakwenda zake ijapokua nikutesa sitakutesa tena....lakini pia soma kitabu cha AYUBU .....sisi ni wamoja dini hazitutofautishi na huu ni msaada wangu wa ushauri nakuombea kila la kheri Muheshimiwa Dr Bilal milomo
😢😢😢Allah ni mwingi wa rehma na hakika atasimama na wewe katika hili inshaallah
Haki itatendeka bi idhni llah
Huyu baba Mungu amtetee. Mwanaume wa kipekee sana. Wengine wangeoa tu bila kujali.
Ivi hii ni tanzania yetu ya amani ndiyo baba analia hivi na anakosa msaada,
Mungu ampe njia ya kuweza kutatua hili suara, na kikubwa zaidi huyu ni doctor amewasaidia watu wengi, Leo anatendewa hivi, haya maumivu anayo pitia yatakuja kulipwa, mungu anawaona, mzee usikate tamaa zaidi kumuomba mungu mpaka haki ipatikane, pole sana baba🙏🙏🙏😢😥😢
Amen
Kiza hakiondoi Kiza Bali kiza huondolewa na Mwanga..Allah S.W.T ni Nuru amabayo haijawahi kushindwa na Kiza it's a matter of time. Allah S.W.T akufanyie wepesi Dr.Bilal
Mungu mwenye kujua ya sirini yote yaliyo nyuma ya jambo hili, Ee Mungu usinyamaze kwaajili ya hili, Munguuwe msemaji wa mwisho maan wewe ndio mwenye haki. Dunia hapa tunapita tu hata ungekuwa nani , Mungu atusaidie tuishi tukijua Mungu ni mkuu kuliko vyote ...Pole sana 😢😢😢 baba katika yote Mungu ajitwalie utukufu kwaajili ya hili....Eee Mungu nyosha mkono wako 😢😢😢😢 Baba ,baba , Mungu najua wewe pekeyako unainua vilivyo vinyonge kuahibisha vilivyo na nguvu, naomba Mungu jitwalie utukufu kwaajili ya baba huyu, Mungu wewe unatuwazia mema na unatupenda bila kujali madhaifu yetu hauwahi wala hauchelewi 😢😢😢😢😢Ee Mungu 😢😢😢😢moyo wangu umeuma pole baba. Mungu anaona mapito yako....atakushangaza mbele ya adui na watesi wako......Mungu ni mkuu ...Mungu kama ulivyotupenda hata ukamtoa kristo kwaajili yetu ili tuwe huru Kwa damu Ya Yesu mwanao mpendwa natangaza uhuru usio na mipaka kwa ibrahimu salma na mama yao... Na abdurazack akawe kama yusufu aameeen
Huyu baba amenyoka sana na kinachomsaidi Ana elimu na kufahamika sna ila angekuwa mtu wakawaida ashaisha mungu akusimamie mzee wangu daah😢😢
Pole Dakitari,May Almighty God Intervine
Naomba mweheshimiwa Rais mama yetu mwenye upendo na huruma , Familia ya baba huyu mweheshimiwa Rais msaidie huyu baba wewe ni mama mwenye huruma na upendo sisi ni wapitaji katika Dunia hii mama tunakuomba fanya jambo kuwa huyu baba mungu wangu akubariki mama tazama watu wako wanavyoteswa na watu wenye nia mbaya mama msaidie huyu baba ndy maombi yangu kwako taaluma yake inahitajika kwa nchi yetu mama
Jamani khaaa,huu uonevu hauvumiliki mbona😊
wampe familia yake kama kosa hakuna...
Watoto maskini wanahusika je? Mbona sifahamu.
Hakuna lehemahi hii nchi
Mungu mwenyewe anajua maana sisi hatuelewi Nini kimejificha ndani ya hii hukumu
Pole sana baba yangu mwenyezi Mungu akupe Subra ipo siku wata toka ipo siku baba mwenyezi Mungu ana Kupa nitukhan tuu rakn ipo siku uta shinda tuu 😢😢pole sana rakn pia muone Makonda ata kusaidia baba pole sana 😢😢😢
Maashallah. Doctor Bilal Allah akuhifadhi ktk dini ya haki
Dini ya haki ndio ipoje😅
Comment ya kipuuzi kweli, dini ya haki kathibitisha Mungu au? Acha ushamba
Utopolo huo uliocomment
Mungu akukumbuke babangu, akuinulie msaada, haki yako na familia yako iinuke. Mungu si mwanadam, na wote waliotia mikono yao katika kutimiza uharibifu mkono wa Mungu ukawe juu yao
Pole sana Baba. Mungu akupe amani na utulivu shida zitapita. Inasikitisha sana na kuumiza moyo kusikia story kama hii. Kweli nchi hii hamna haki...kumuona Baba mtumzima analia kwa uchungu kwa ajili ya familia yake inasikitisha. Shame to leaders in Tanzania and corrupt system, this is a lawless country, tunaitaji system nzima na serikali nzima ibadilishwe...Baba afadhali uhamie nchi nyingine and claim assalym...
Eee mwenyenzi Mungu, wewe ni baba mwenye huruma ni mwingi wa rehema, tunaomba ukatende jambo la kushangaz ktk familia hii, wanaomchimbia kaburi wakafukiwe hko wenyew jmn. Allah allah tutakuhusudu ww pekee molaar. Ww pekee ndio tegemez la hii familia na tunaamini hvi punde watakua huru kwa nguvu zako mungu.
Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo yuko pamoja nawe siku zote usikate tamaa Mungu atakusaidia🙏
Pole Sana baba😭huyo binadam anpofanya anasahau Kama Kuna malipo hapa duniani anaweza asilipwe yeye Ila akalipwa kwa watoto wake nizambi kubwa Sana adi watoto unaweka ndani ukiwa wewe unaludi watoto wako wanakupokea wa mwenzio umewaweka ndani popote ulipo mungu anakuona machozi ya baba huyu hayaendi bule yanatembea mpaka kwenye kizazi chako baba mungu akulipe kwa haki
Very sad, That's why I promised myself to live far from Tanzania. And I thank God for where I am today. Tz drama nyingi Sana zinazo kwaza mioyo ya watu.
Kuna wakati watu wote watakukataa, dunia yote itakukataa ila MUNGU HATAKUACHA. Mungu atapigana nao wanaopigana nawe na mwisho UTASHINDA. ZABURI 35:1-9
Mungu najua unajua mapito ya huyu baba uliyemuumba pamoja na familia yake , Nakuomba Mungu wa mbinguni utende muujiza kama ulivotenda kwa Paul nasila milango ya gereza ikafunguka tenda leo Mungu wangu, ulisema walipo 2 , 3,wakiomba utasikia na kujibu maombi yao, naomba nasi utusikie Mungu wangu ninakuamin mwaka huu hauishi familia itaachiwa huru na watu watajua uko Mungu usiyepokea rushwa.
Pole sana Mzee. Hukumu ipo juu Yao hao watesi wako. Watapigwa na kuhukumiwa mara saba Kila siku mbele ya KITI Cha Enzi. Haki ya Mungu itasimama vema.
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na akatuumba sisi sote ametupa na pumzi yake pia hajalala Wala hajakusahau anaona chozi lako na anaiona familia yako inachopitia pia ukweli ni kwamba Mungu wetu ni Mungu wa haki na ikiwa hawanakosa wameonewa Mungu atajiinua na kuonyesha ukuu wake ndani ya mtihani huu,Mungu huwaonekani wadhaifu anaonyesh ukuu wao hivyo baba naamini kabisa Mungu wetu si dhalim hata aseme uonge Amesema sintakupungukia wal sintakuacha kama nilivyo kuwa pamoja n Musa ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe kasisitiza tena kasema uwe na moyo mkuu zaidi kimtegemea Mungu na Mungu hatanyamaza.
Eee Mungu mpe haja za moyo wake mja wako huyu aliyejeruhiwa vibaya,Na ukajidhihirishe kwa wabaya wote waliomtenda ubaya mtu huyu wapate adhabu yako isiyokua na pingamizi🙏🏾🙌Amen
Pole sana mdogo wangu. M. Mungu haghafiliki, utapata haqi zao
Mungu awaadhibishe wote waliohusika kumtesa huyu baba na familia yake, sawasawa na Mapenzi yake. Amen!!!binadamu wanakosa utu kumtesa mtu anaeokoa maisha ya watu.
Mwacheni alie uchungu uishe yani uyo ni vile tuu anahof ya mungu vinginevyo angejidhuru pia ,,,mungu amtie nguvu huyu baba
Mwenyezi Mungu akupe faraja kwenye kipindi hichi kigumu.Hakika Mungu Atatenda kwa mapenzi yake.
Duh Mwenyezi Mungu amtie nguvu,it's not easy.
Baba mpe Yesu maisha yako ..ni jambo dogo sana kwa Yesu tunaowatu kama wewe Yesu amewashindia.. njoo kwa Yesu baba .huyu Yesu kweli yupo na anaweza kutenda sanaaa... utashangaa yeye ni zaid ya mtu yeyote...
InshaAllah litapita tu mzee wetu na utakuwa na family yko kwa uwezo wa Allah
Daah pole Sanaa baba Mungu ndio muweza wakila jambo atakufanyia wepesi yote yatapita maisha yenu yataendelea tunamuombea 😢😢😢ameen ameen 🙏
Innamaal uusri yusra Allah anajuwa zaidi yetu haki itatendeka insha Allah zidisha subira insha Allah
Nimesikiliza story ya huyu baba😢 daah Mungu amtiee nguvu jaman arudishiwe family yke jaman daah hakuna kitu cha thaman kama familia💘🙏🏾
Yaaaani,baba huyu amekonda jamani😢😢😢anawazia familia yake tu.Mwenyezi MUNGU amtunze huyu baba mpaka auone wema wa MUNGU wake.Amen
pole lakini mwandishi hujauliza uhusika wao kwenye hayo mauaji ulikuaje ? ukiua lazia kunyonywa fikiria aliyeuwawa ni kiongozi, balozi wa nyumba kumi ndie mjumbe mwenyewe. Mjumbe ana kosa gani hadi auwawe. Hatari saana hongera Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri na Mahakama kwa kazi nzuri, haki ni pamoja na kufungwa.
Kweli upande wa pili uongee
Subhanallah usikufu alhamdulillah Allah atakusaidia zidi kumwomba yeye ndio mweza wayote 😭😭😭🤲🤲🤲
😢😢sema alhamdulillah tu babaangu hii ndio tz haki utaipata kwa ALLAH INSHALLAH 🙏 LIA UCHUNGU UPUNGUE POLE SANA BABAANGU NDIO MITIHANI YA DUNIA ALLAH ANAKUPIMA IMAN YAKO😢😢😢😢M/MUNGU AKUTIE NGUVU INSHALLAH 🙏
Allah ni mjuzi na mwingi wa huruma atafanya wepesi katika hili president msaidie huyu mzee wetu wenye busara na hekima akutane na familia yake hakuna atakae ishi milele! Inasikitisha sana!
Mzee mungu yupo umehangaika sana pole sana soon mungu atatenda na familia itarudi na hao wachaga waachie hilo shamba
Pole sana Baba hakimu wa kweli ni MWENYEZI MUNGU atakupigania 😢
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi mzee huyu...na afanikishe kupata haki yake dhidi ya wanae,.inasikitisha sana
Mmmmh! Aisee kuna watu wanapitia mapito makubwa kwenye hii Dunia. Ya Allah wafanyie wepesi waja wako hawa.
Pole baba. Mwenyezi mungu awafanyewepesi waachiwe
Kila mwenye imani hupata mtihani Allah akuwezeshe uishinde mitihani yako mzee wetu na akulipe daraja ya juu😢
Allahumma aamin 🤲
AMIN ALLAHHUMMA AMIN
May Allah protect you man with wisdom inshallah everything is going be alright inshallah
Mzee wangu nime kusikiza kwa umakini sana mpaka moyo umeuma kwa uchungu pole sana malipo yako kwa Allah
Pole sana baba. Mungu anyooshe mkono wake juu yako hayo unayopitia yaishe.
Asante Millard Ayo TV kwa content nzuri, tunajifunza mengi kupitia interview hii.
Daah nimejickia kulia 🥺🥺 inaumiza sana pole sana babaangu mungu akusaidie akusimamie inshallah haki yako utaipata 😢
Huyo ndo binadamu sasa😭😭😭😭😭 Ee Mola haya machozi yanayobubujika, yakafanyike fimbo ya kuwaliza wale wote wanaohusika na udharimu huu. Mungu atajibu kwa Vitendo
Amina kwa damu ya Yesu
In Jesus name Amen 🙏
Kwa kweli kisasi sio chetu yaaani MWENYEZI MUNGU atawaadhibu
Mungu hakuna kitu anashindwa katika dunia hii panga pangua ila kwa mungu kuna kila haki ndomaana vyote unavyo viona hapa duniani hata dunia na vitu vyote vipo chini yake mzee wangu mungu anakusikia na anajibu/atajibu aminia tunakuombea na kujiombea 🙏
Wallahi it's really pain. May Allah( swt) bless you a heart of patience inshaallah. Ameen 😢😢
hii duni ngumu sana🙏🏼 ufike tu ule mwisho wa kizazi cha tatu nacha nne😭😭 binadamu wamekuwa wakatili sanaa😭😭😭😭😭😭🌏 baba kapata aradhi makubwa kwa sababu ya wanadamuwenye tamaa ya kumwaga damu za watu😭😭😭😭😭😭 na adui sikuzote hatiki mbali,
Mungu amtetee huyu Mzee kwa kweli, Kuna Watu Wengi Wanaumia sana, lakini Mambo yamejificha, Mungu kwa Mara ya kwanza anaangamiza, ilikuwa ni dhambi ya dhuluma, Mungu Yupo, Akuone na akutete kwa kweli
🙌 hiii dunia ni ngum Sana, pole baba, Mungu aitetee familia yako
Mungu yupo hawai wala hachelewi. Mungu akufariji sana na yy ndio msemaji wa mwisho.😢 inauma sana. Pole sana mzee wangu. Mungu atayafuta machozi na atalipa gharama
Allah akupe subra hakika mtihani mzito na akupe familia yko ikiwa salama inshallah
Ayo tv. kuna watu wanateseka sana na hii nchi fanya tafiti zaidi uone. Achana na habari za Udaku fanya hii kazi Mungu atakuweka mahali
watu wanyonge haki atuna
Chozi la mnyonge hali endi bure. Baba mungu yupo halali wala hasinzi ipo siku mungu ata kujibu maombi yako.
Kuna mambo kwenye maisha yanaumiza sana. Ee Mwenyezi Mungu onekana kwenye changamoto za watu wako
Uyu baba ana uchungu mwingi sana Mungu akufanyiye wepesi.
Dah alhamdulilah Allah akupe nguvu baba Allah yupo pamoja nawee
Imeniumiza sanaaa, Makonda mbona anasaidia wengi huyu hapa jamani asaidiwe naye
Atasaidiwa tu
Mungu pekee atosha
Ohh Mungu usichoke kututete na uwakumbuke wote walio onewaa.
Baba anatakiwa awe na upole kiasi na kumuweka Mungu mbele.
UYU BABA AMENIUMAAAAA!AMENIUMAAAAAAA😢EEH YESU NYOOSHA MKONO WAKO BABA.KILA ANAEFANYA KINYUME NA WEWE UKANYOOSHE UPANGA WAKO.BINADAM WAMEKUA KAMA WANYAMA😢
Mwenyezi Mungu ikumbuke familia hii na wote waliokosa haki zao,Katika dhiki kumbuka Rehema
Hawatanyongwa kwa Jina YESU Amina.
Yule Mungu aliyemsadia Babu sea kutoka jela ktk kifungo Kama hicho basi hata hiyo familia naamini itatoka tuu.eh Mwenyezi Mungu sikia kilio Cha baba huyu
Huyu mzee ana uchungu na ana maumivu makali sana! Allah Amtoe huyu mzee kwenye hili tatizo_ Amiin.
Mim mwenyewe nalia jaman khaa ee Mollah fungua njia
Anasema alisomea upadiri, na akisomeshwa na kanisa, inawezekana alishaingia ktk maagano ya upadiri omayo ni unayafanya kwa akili na moto wako binafsi. Sada kukiuka maagano Yako na Mungu inaleta laana.
Ushauri : Mungu ni mwingi wa rehema, akumbuke alipoangukia , akiri makosa na kutubu kutoka rohoni, Mungu aingilie kati. Pole sana .
Wewe umenena kweli. Maana kwa sisi wakatoriki sacramenti ya ndoa na ya utawa huwezi kuzichanganya. Kuna mahala alikosea sana na bahati binadamu huwa hatukubali.kuadmit makosa yetu muda wote tunatafuta wa kumsingizia. Hata watu wengi wanaotekwa na kuuwawa unakuta ni watu waliojiingiza katika mfumo wa maisha usio sahihi, na baada ya hapo ndiyo unakuta mtu anaingiza hata ukoi mzima kwenye matatizo..so ndugu wengine wataonekana kama wanainewa kumbe kuna mtu mmoja aliwaingiza katika hayo matatizo na hataki kusema ukweli
Mungu gusa kilio cha huyu mzee inshaalaah
Mungu yupo atafungua mlango wa gereza. Angekuwa mudy angeshakunywa sumu
Kwenye giza Mungu huonyesha mwanga ,sualà hili najua ufumbuzi utapatikana ,viongozi ,heshimuni kanuni ya kuitwa viongozi, Neno KIONGOZI ,kila neno lina maana yake, sasa watendaji wetu kama huyu baba yetu fuatilieni tujue ukweli uko wapi jamani
Mungu muumba tengeneza njia pasipo na njia mrudishie familia yake Amina
Haya machozi hayatadondoka bure hakika, Mungu na akujibu haja ya moyo wako mzee
Amina , Mungu futa machozi ya huyu baba! Wewe peke yako ndo mtoa haki.
Naam ni kweli 😭😭😭💔💔💔
Hakika machozi yake hayataenda bure
Daaah!!inaumiza mnooo mwenyezi mungu akuvushe katika majaribu unayopitia baba angu IPO siku tu kila aliyeshiriki uovu huo atawapa wanayostahili
UJASIKIA WATU WASIO JULIKANA
Dr. Please wapambanie familia yako, ikiwezekana ondoka nao Tanzania omba ukimbizi wa kisiasa nchi za mbali
Hii inchi, Mungu tu aingilie kati, dhuluma inafanywa na watu waliotakiwa kuzuia.
Mimi nauwakika mama mpenda haki ameshasikia kiliyo Cha uyu mzee akika awatanyongwa iyo familia aitanyongwa Tena labda wawe wameshawauwa,
Duh binadamu sisi mweee yani chanzo cha yote haya ni shamba tu ?! 😢😢 Aiseee Mungu atusaidie sana roho mbaya imetuzidi mnoo 😢😢
Peter Kibatala hii kesi size yake,ataipangua jamhuri mpaka RPC atajuta,namwombeni wakili msomi Peter Kibatala hapa maramoja🙏
Au Tundu Lisu apewe hii kesi
Upo sahihi
Huyo peter kibatala anapatkana wapi Jamani tunaomba namba zake.@softena100
@@softena100 tafadhali namba namba ya huyo Peter Kibatala ndugu yangu nakuomba sana
Pole sana Mzee,Mungu ndiye mwenye kutoa hukumu,just amini atakupigania
Unaweza kudhani unapitia magumu lakini ukisikia wengine unajiona kabisa machungu yako ni madogo. Huyu baba anajikaza tu lakini Mungu anajua
Kweli kabisa
😂jaman had huruma kweli
Yaani Mimi nimejifunza kabisa hapa kushukuru hivi nilivyo jamani kuna watu wanapitia Magumu
@@tajimwambole3115 kabisaa
Sure
mungu atafanya kazi yake watatoka mungu awaweke hulu
Daktari Bingwa magonjwa ya wakina Mama. Du! Mtu na nusu.
Aii hii ni uchungu aisee Mungu yupo na atakuponya wewe na familia yako itatoka salama Amin
😢😢😢😢 Mh Samia ni mpenda haki makonda mpenda haki yote Baba yatakwisha pole sana mzee😢inaliza inatia Uchungu,
Mama yetu.. Wewe ni mama tunakuomba Rais wetu msikie huyu baba. Msikilize mhurumie. Tunakuomba mama 🙏Mama Samia tusikie wanao
Allah akikupenda lazima akupe mitihani usijali baba angu litapita hili na familia yako utaungana nayo tena inshallah kwa uwezo wake na hao mahasidi litawashuka hawataamini
Mungu yupo anaona na anasikia
All will be well mzee
Haki itafanyika tu
Mama pia alikuwa na shida , kwa Nini alimwacha mume Morogoro ak 18:42 arudi kuishi kwao, kupewa shamba si mbaya, kwa hekima msaada ya kuona Kuna ugomvi, angeuza akanunue mahali pengine au arudi kwa Mumewe .
Kama unapenda sana kwenu acha kuolewa na kabila ingine, huyu akarudi na watoto kwao ,sasa baba ndie ananyanyasika. Thamira zinaficha mambo mengi sana. Mungu baba ahusike kwa rehema.
wallah naomba Rais amwone huyu mzee,,,,,haki inauma sanaaaa asee😢😢
Hivii, hivii daaahh mi sijui hata niseme nini! 😢😢😢😢 Mungu wa huruma tazama hili baba!
Ombeni jambo lolote kwa Jina langu nami nitafanya Eeee Mwenyezi Mungu wasaidie familia hii mwaka huu usiishe waachiliwe huru
Nalia sana kwakweli pole Baba yangu Mungu akutie nguvu familia yako ina karama kubwa sana watoto wako wana vipawa hawatapotea hawatakufa mpaka makusudi ya Mungu kwako yatimie Mungu machozi ya huyu baba yanalalamika kwenye kiti cha Enzi nakuomba Baba Ile damu yako ya thamani iliyomwagika pale msalabani iende katika kiti cha enzi ikafute mashtaka ya huyu ya huyu baba yaliyoletwa mbele zako na mshitaki wetu ibilisi
Nimeshindwa yazuia machozi huruma ya Mungu na iwe juu yako baba. Hapa mshitakie Mungu tu naamini kwa wema wake atajibu mapema mno na wataaibika na kufedheheka mno.
“Dunia tunapita kila kitu kitabakia”. Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho.
MUNGU akutie nguvu na kukukumbukia mema Baba.
Pole doctor Mungu ataukumu
Pole sana Mzee. Ila mwandishi ningependa kama unge balance hii story tusikie na Upande wa pili wa familia inayotuhumiwa
Upande wa Pili wa nani...ebu kaaq chini List watu wote unaotaka Story zao za upande huo halafu jiulize...Hili Taifa lina watu wanaroho mbaya sana ni vile Nyerere alitunyima Elimu BORA na wachache waliopata Elimu bora wanaonekana mwiba kwa Serikali na Watumishi wapuuuuzi
Acha mambo yako
Upande wa pili watuhumiwa Majaji?
Upande wa pili upi hao wachaga ndio tabia zao wanapenda kugombea sana ardhi ! Yaan hii chorea mstari .
Amin yesu anaweza kufanya jambo jipya kama wapo hai mwaka huu mwishon wataachiwa huru mwez wa kumi na mbili amin yesu anafanya tena anafanya mambo makubwa naamin katika hilo
Mungu akusaidie baba wangu 😢😢😢