Nimeipenda hii interview vibaya mno. Nikiangalia wanavyojibu maswali au wanavyojieleza wote kwangu ni ukomavu wa hali ya juu na wanatumia busara sana. How a nice couple is this? . Allah awabariki duniani na akhera. Nimejifunza mengi sana. Big up doctor JJ Mwaka
Dr anahekima sana na hivyo ndivyo Allah amewahusia wanaume ...kawajua kuwa hawawezi kuishi bila matamanio lakini jee unaudilifuu ...??na ikiwa huna uadilifu basi ishi nae huyo mmoja ...mashallah wamependeza sana namavazi yao na walivyo Allah awajalie kheri na furaha
Nguvu ya kuwa bibi wa pili ninayo lakini nguvu yakumkubali mume wangu aoe mke wa pili ndo sina jamani,nimesoma lesson lakini mashaallah mungu awazidishie
Razima muwe marafiki sababu hamjui shida aliopitia bi mkubwa mpaka kuipata Mali hiyo wezi wakubwa nyie bi mkubwa popote ulipo nakupenda bureee kabisa wewe ndio mke wa doctor mwaka mwenye mapenzi ya kweli toka moyoni mungu akulindie Mrs mwaka og 😘😘😘😘😘😘😘😘😘hawa wengine wamefata Mali tu😏😏😏
Honger xna Docter kwakuwastir wanawake Kama ni Pesa Kuna watu wanapesa mbona hawajathubutu kuoa bhana big-up Allah awajaalie uchamungu dealing xna maan shetan naeeee hyko mbali👃👃👃
@@mummycute6977 kwa tafsiri ya Quran yuko sahihi mnoooo tena bado anatakiwa aongezee mke mwingine ila kibiblia hawako sahihi hata kidogo huo unaitwa uovu,kwahio inategemea nimeongelea uovu kutokea angle gani?
..na uzinzi wako bado unapita kura za maoni!Mungu kweli aachwe aitwd Mungu..Upendo wa Yesu unatisha!ila tubu,ukifa na hao wake zako utatupwa motoni!acha upuuzi wako wewe,mke mmoja Mme mmoja ndiyo marlekezo ya Yesu!
Mashaa Allah....sio mtanga kila kitu anakitaka yeye mpk mke mwenziwe anamgombanisha ... pamoja na watoto... duuuuh huyu mtanganiliyekuwa nae mkemweza hatari...angekuwa kama hao tungesikilizana.. anawataka watoto wng wende kwake wawe vibaraka wake
@@mathiaszakaria7052 umeona tena ni unafiki mtupu, wakishatengana kila mtu anakuwa na umimi anafanya kila awezalo ili aonekane bora kuliko mwingine na ndivyo ilivyo hiyo Siri anaijua Dr anawaenjoy tu. Kweli wanawake bado Sana. Nawa 2 alikuwa rafiki nawa 1 Leo kashakamatana nawa 3 jamani!!!! nao wamesema kuwa wanaendana nikweli.
Inahitajika mtubu, Matendo ya Mitume 17:30 [30]Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu. Yesu aliongelea hili jambo, Tena kwa undani, je, hamjui kuwa mnazini?? Mke ni mmoja😭😭
Inamaana mpaka na Mitume wake ambao amewabashiria pepo watubu???? Mana wapo walooa zaidi ya mmoja. Nikisema Mitume sinamaana walokuja baada ya Muhammad s.a.w ambao wanakudanganyeni makanisani
Allah alisha sema uwoni wanawake hata wa 4 kama una uwezo wa kuwahudumia kwanzia mavazi mpk tendo la ndoa, na Allah amesema hivyo kwa sababu anawajua wanadamu vizuri kuliko sisi tunavyo jijua na amesema tuoe wanawake wengi ikiwa una uwezo kwa sababu Allah anajua kwamb wanaume hawawezi kutosheka na moja na pia kuna wajane Allah alisema wastirini
Shikamoo pesa wanaoamini pesa ndo sabuni ya roho gonga like tujuane
Ndoa ni mme mmoja na mke moja period
Exactly 💯
Huko kwenu huko. Acha mihemko
Mimi nimekuja huku leo baada ya kumwona Queen Bakwata akidai Taraka... Mapenzi buanaaaa!
KWA kweli tulokuja huku gonga likes... 👍
😅😅😅
Yaani
Hakika na mimi nipo na wewe Hakuna marefu yasiyo na ncha
Hata mie
Nimeirudia hii interview Leo, tuliokuja huku Leo gonga likes😄
😂😊😊
Hii inaitwa kuwa uyaone.mahaba yote hayo Na wamesha achana
Umemsikia kwini anasema naona kama alichelewa,wanapendana sana na mke mweza,😅😅😅😅
NIMEPENDA SANA HAYA MAZUNGUMZO, PIA NIMEJIFINZA MENGI, SHUKRANI ZENU NYOTE: MUNGU AWAFANYIE WEPESI. 👏
We dr mwaka nakupa respect sana wewe nikivutio cha dunia kuishi na mitala wake wakaelewana??? Wakati mmoja tuu ishu kubwa duuu I respect.
Mashaallah Mashaallah Mwenyezi Mungu Azidi Kuwalinda, Nimependa Hiyo👏👏👏👏👏🙏🙏
Uongo huo
This is wrong and haram ...same bed is very wrong ..tiresome
This is areal man with principals in life I love that
Mimi ni mkristo lkn nimempenda Dr mwaka ni gentleman.anaonekana anatoa haki sawa kwa wake zake
Uko sahihi doctor kabisa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Maasha Allah docta mwaka kwa kuwaconvert wawili , Allah akulipe na akuongoeze katika misingi ya kiisalm.
Nimeipenda hii interview vibaya mno. Nikiangalia wanavyojibu maswali au wanavyojieleza wote kwangu ni ukomavu wa hali ya juu na wanatumia busara sana. How a nice couple is this? . Allah awabariki duniani na akhera. Nimejifunza mengi sana. Big up doctor JJ Mwaka
Kama umeikubali kofia ya geah gonga like
Ma Shaa Allah Hakika Allah hivi ndivo vile anataka ndo ya uke wenza iwe Allah awadumishe katika ndoa hii Amiin
Mashaa allah hongera Dr mwaki kwa kisimamia ndoa kwa haki halafu wamebadili dini wamependeza Sana wallah mungu azidi kuwabariki aaminy
Dr anahekima sana na hivyo ndivyo Allah amewahusia wanaume ...kawajua kuwa hawawezi kuishi bila matamanio lakini jee unaudilifuu ...??na ikiwa huna uadilifu basi ishi nae huyo mmoja ...mashallah wamependeza sana namavazi yao na walivyo Allah awajalie kheri na furaha
MashaAllah Taabaraka Rahman Allah awadumishe katika ndoa yenu
mashallah tabaraka allah
Nguvu ya kuwa bibi wa pili ninayo lakini nguvu yakumkubali mume wangu aoe mke wa pili ndo sina jamani,nimesoma lesson lakini mashaallah mungu awazidishie
Kulala chumba kimoja na wake zake sio sawa kidini ...Allah awaongoze Inshaallah. Nimependa hii ndoa
Hahah daa wewe hujaelewa nafikili
@@khariifagabwa7911 nifahamishe sheikh wangu
@@salumkomba7682 hawashirik tendo la ndoa kitanda kimoja wana lala tu
Salum Komba uharamu umetokea wapi?
@@saymarsaymar4654 kama wanalala tuu hamna shida lakini kama wanashiriki tendo la ndoa hairuhusiwi kidini
Dr.respect sana
We kiboko Kwa maisha ya sasa lakin naomba utupe siri ni nn
Leo unalia. Tamaa ya maisha hii. Hatari sana.
Razima muwe marafiki sababu hamjui shida aliopitia bi mkubwa mpaka kuipata Mali hiyo wezi wakubwa nyie bi mkubwa popote ulipo nakupenda bureee kabisa wewe ndio mke wa doctor mwaka mwenye mapenzi ya kweli toka moyoni mungu akulindie Mrs mwaka og 😘😘😘😘😘😘😘😘😘hawa wengine wamefata Mali tu😏😏😏
Namuomba Mola na mimi pia anijaalie wawili tuu mwenye upendo kama hawa in sha Allah Amin
Unaela?
Hongera Ila kulaala na wake wawili chumba kimoja .turudini katka dini ya Allah haifai na si vizur .huo nu ukafir
ALLAH AKBAR. kwa kawaida sio rahisi kwa hili jambo. ila ALLAH ndio muweza yote hayo. HONGERA SANA DR. NA WAKE ZAKO
Jamani uke wenza haujasilimu
🤣🤣🤣🤣
Queen na dokta mwaka waliendana sana wallah huyo mwengine kakaa kama House girl
Kweli sanaa
Dr ni Mcha Mungu...Allah ajaalie wanaume wote wa Kiislam wanaotaka kuongeza wake wapate barka kama za Dr...Aameen. Masha Allah
Bado unaamini hivi?
Mashaallah... Dahh wallah miasha km hv rahaa ya dunia... Jmn
Hongera Dk Mwaka kwa kumiliki Vizuri hiyo "Mizigo" ,"Mizigo" imejisitiri Vizuri ni funzo kwetu ,tumejifunza Kitu kizuri.
Naam
FOLONATUS ZONGO mizigo tena
th-cam.com/video/bAWxGhusG-8/w-d-xo.html
Ety mizigo😂😂😂😂
YEAH..! Dr .mwaka.you're the greatest..Bravo.....!!!!!
MashaAllah, Allah ibarik, na iwe khery katika familia yenu. Natamani interview iendelee.
Wakenya wamtaka Rais Magufuli aende kwao akawanyooshe kidogo.
th-cam.com/video/CvC54oRI9nw/w-d-xo.html
duuuh! uyu ndo Dr mwaka bn
@@CyimSky mmh!
Honger xna Docter kwakuwastir wanawake Kama ni Pesa Kuna watu wanapesa mbona hawajathubutu kuoa bhana big-up Allah awajaalie uchamungu dealing xna maan shetan naeeee hyko mbali👃👃👃
Mashaallah tabarakallah wajazaka llahu khayra..allah wape upendo huohuo
Tatu yussuf nakuona mke mwnzangu nasi tuzidi pendana
Halima Mbena kweli kabisa tuwe mfano kwa wenzetu..😆😆😆
Abu
mnamwita baba poleni sana
haki itabakia kuwa haki tu siku zote.. na batili itabaki kuwa batili.. Allah akulipe dokta kwa uadilifu wako
Mash allha ❤🥰🥰🥰
Wanawake hawa mungu awape subiri sana na msikubali kupotoshwa allah kawapa nusra haswa
Nimeipenda hiyo Ndoa 👏 👏 Inshaallah, Allah ani Jaliye na Mmi
Mungu Asante sana kwa kuaibisha wazinzi waluiojificha ndani ya ndoa
😂
YESU awarehemu tu Kwa huo uovu wenu.
Hujui usemalo...hao ni wake zake wa halali...hapo uovu uko wapi...ulitaka azini?
Kweli kuacha yesu kwa jili ya tamaa zetu
@@mummycute6977 inategemea unatafsiri kutokea wapi? Ndio maana nimeandika kuwa Yesu awarehemu maana tafsiri yangu imejikita ktk Biblia?
@@mummycute6977 kwa tafsiri ya Quran yuko sahihi mnoooo tena bado anatakiwa aongezee mke mwingine ila kibiblia hawako sahihi hata kidogo huo unaitwa uovu,kwahio inategemea nimeongelea uovu kutokea angle gani?
Kuwa muislam ni baraka.
Nashukuru kuwa muislam
Msitake kutudanganya...sura zenu tyu zinaonyesha hamna mapenzi ya kweli
Kweli
Uliona mbali😂
Dr mwaka kachagua mashine haswaa wanafanana wazuri na wanaakili wako vzr mashalaah
Allah awajaze kheri inshallah nmewapenda wanawake wenzangu mnapendana sana
..na uzinzi wako bado unapita kura za maoni!Mungu kweli aachwe aitwd Mungu..Upendo wa Yesu unatisha!ila tubu,ukifa na hao wake zako utatupwa motoni!acha upuuzi wako wewe,mke mmoja Mme mmoja ndiyo marlekezo ya Yesu!
Ungejua doctor mwaka malaya ata msingejisifu Mungu asimame nanyi tu.
Kuna mtu nilimsikia pia hahahahahaha
Ashawahi kuku....
Ina wahusu nini et malaya kwani mnalipwa mkiwema hayo
Manshallah mwenyez mungu awazidishie mapemazi fidunia walakhera mzidi kupendana
Mashaallah Mwenyezi mungu awazidishie upendo wenu na mume wenu, Yaani hadi raha,
Wakenya wamtaka Rais Magufuli aende kwao akawanyooshe kidogo.
th-cam.com/video/CvC54oRI9nw/w-d-xo.html
Ndoa ya mke zaidi ya mmoja mume km hatojiamini akawa smart ndipo mizozo haitoisha .honger kaka kwa kuwamudu wake zako allah akusimamie
Hongera sana dkt mwaka... Hiyo haitopatikana popote pale ni kwako
Niseme mungu amekupa zawadi
Heshima Dr.mwaka umenifurahisha sana umetoa funzo kubwa sana kwa jamii
Money is everything. Bila pesa kungekua na fujo kama zote...
Mwanaume nihela kwani wataka kuoa na hauna hela.
Even with money, I can't share a man.aende akiendanga.nonsence tupu hapa.
@@tinahpinah how sure are you that you are not sharing the man that you have now. You might be sharing na hujui. Men will always be men!!!
Vp bado money z everything 😅😅😅😂
Huyu queen hakupenda kuongezewa mke kwa kweli😢😢Tokea mwanzo
Ukewenza Raha sana ALLAH atuwafikishe,nimeazimia kuongeza 2........4
Wakenya wamtaka Rais Magufuli aende kwao akawanyooshe kidogo.
th-cam.com/video/CvC54oRI9nw/w-d-xo.html
Dr. Noma
Mmm hii maada inawahus islamic people
Ila shabik wa Dr.MWAKA
Dah mashallah Dr mwaka nimejifunza mengi ktk h czone hongera sn
Hongera sanaaaa wanawake mnapendana sn mnamoyo mwaya me siwezi ninawivu sn
Wazuri Mashaalah
Wazuriiii
Alf mabrook doctor Allah awazidishie mapenzi
Mashaa Allah....sio mtanga kila kitu anakitaka yeye mpk mke mwenziwe anamgombanisha ... pamoja na watoto... duuuuh huyu mtanganiliyekuwa nae mkemweza hatari...angekuwa kama hao tungesikilizana.. anawataka watoto wng wende kwake wawe vibaraka wake
😀😀😀😀eti wawe vibaraka
Masha Allah barakallahu fiik wajazakallahu khair
Da hii capo imekaa powa San gonga like Kama umeiyelewa
Nothing else money is taking...but i like it
Sipendi Aina hii ya ndoa Mungu aniepushe
Amin
Tamaa TU ndo inawatawala hawa wanawake mbaya zaidi walikuwa wakristu wangekuwa waislam ningesema wamelelewa hivyo .
@@castruga6133 kweli ni tamaa tena ile ya fisi kabsa,pesa imewafanya wawe watumwa wa ndoa
@@mathiaszakaria7052 umeona tena ni unafiki mtupu, wakishatengana kila mtu anakuwa na umimi anafanya kila awezalo ili aonekane bora kuliko mwingine na ndivyo ilivyo hiyo Siri anaijua Dr anawaenjoy tu. Kweli wanawake bado Sana. Nawa 2 alikuwa rafiki nawa 1 Leo kashakamatana nawa 3 jamani!!!! nao wamesema kuwa wanaendana nikweli.
Doct mwaka ,tupatiye na sisi Dawa ya kuishi na Ndoa, wa lalaje na wake wawili
Mashaallah jmn Allah awazidishie wengne cjui kma tutaweza hyo hali😢😢
Hahhaha wew naona mwenzangu mim😆🤣🤣🤣me yaan kwanz huyo mwanaume ajiandea au anitoe kweny list tuu🙆🏿🙆🏿
Mke wa kwanza mzurii safii tuu
Mashallah jmn wazuri Queen kafanana na Zari
Sanaaaa
Mwanzo nlijua zari
Kabisaa yuko bomba baalaaa
Ongeren mungu hatunzie mazuri dosari zipo
Inahitajika mtubu,
Matendo ya Mitume 17:30
[30]Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu.
Yesu aliongelea hili jambo, Tena kwa undani, je, hamjui kuwa mnazini??
Mke ni mmoja😭😭
Inamaana mpaka na Mitume wake ambao amewabashiria pepo watubu???? Mana wapo walooa zaidi ya mmoja. Nikisema Mitume sinamaana walokuja baada ya Muhammad s.a.w ambao wanakudanganyeni makanisani
Mashallah nafurahi kuolewa mke wapili bimkubwa nampenda sana
I wish you happy marriage 💕💕💕
Mungu awape pepo.nshaallah
Queen Mrembo mashaallah
Mashaallah na zidikuwaelewa..hongera doctor mwaka na wake zake rahaa kwl
Nimeipenda sana hii story !!!inafundisha mengi
Asiyejuwa atapongeza lakini haifai
Maashaallah tabaraqallah..allah awajaalie aman
Ya Rabby awazidishie upendo uzidi in sha Allah
masha Allah mungu awazidishie upendo daima dawamu insha Allah
Natka namba yko samahan lakini
nani ww
Allah alisha sema uwoni wanawake hata wa 4 kama una uwezo wa kuwahudumia kwanzia mavazi mpk tendo la ndoa, na Allah amesema hivyo kwa sababu anawajua wanadamu vizuri kuliko sisi tunavyo jijua na amesema tuoe wanawake wengi ikiwa una uwezo kwa sababu Allah anajua kwamb wanaume hawawezi kutosheka na moja na pia kuna wajane Allah alisema wastirini
Alfalukau
th-cam.com/video/bAWxGhusG-8/w-d-xo.html
MashaAllah,Mabrouq alf mara Mabrouq Doctor
Wazuri Maasha Allah
Dr Mwaka npe kamzizi
Kama umegundua bi mdogo ana zaidi ya upendo gonga like
Wakenya wamtaka Rais Magufuli aende kwao akawanyooshe kidogo.
th-cam.com/video/CvC54oRI9nw/w-d-xo.html
Mashaallh hongera Doctor mwaka
Mashaallah Allah awafanyie wepes inshaallah
Daktari mwakaa naonaaa kamjibu mapigo nabii tito
Dr mwaka anajitambua wanaume wengine hawajitambui alafu wanatumia mabavu oooh naoa haunitishi ukiona vip undoka inakuwa nivurugu
Mashaallah Allah awafanyie wepesi inshaallah nme wapenda bure kwa mnavyo pendana Allah awazidishie Inshaallah
Mashaallah pendanen ila kwangu duuh
Maashaallah mungu awape afya na maisha marefu wote mkiwa pamoja inshalaah na hongereni sana
Yaani mkamwacha YESU kisa mume jitafakarini.
Happiness Mwenda 😂😂
Wameenda kwenye dini ya haki
Yes hajakataa ndoa
Nakwambia mashallah mwanaume jasiri wengine wanaficha adi anakufa ndio mama na watoto waja
As Long as you have Money...You good to go....
Maumivu yako na mke kwanza hao wengine wez lazima wapendane
Maumivu yako na mke wa kwanza hao wawili wezi lazima wapendana
Masha allah nimependa sanaa hi
Masha allah mungu awajalie kheri kwenye maisha yenu
Dr mwaka we ni kibokoooo
Roho ya Qeen ni safi kabisa
Kabisa
Dr mwaka unafurahia maisha ya hii dunia mpaka raha,mke wangu sijui unakwama wapi legeza msimamo nimlete mdogo wako
😂😂😂😂🇬🇧
😂😂😂😂😂😂😂
Jamani mimi Christian, but I love those queens 👑 God bless you guys😘😘👏👏
Mashallah allha awazidishie upendo zaidi na zaidi lnshallha nimewapenda bure