"Dr Mwaka Alinipa Vitisho | Aliandika Kwenye Ukuta wa Nyumba | Aliniitia Polisi"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2023
  • Queen mke wa Dr Mwaka akieleza namna alivyopokea vitisho toka kwa mumewe

ความคิดเห็น • 534

  • @zuwenasalum4660
    @zuwenasalum4660 ปีที่แล้ว +31

    SubhanaAllah ! Ndio zao hizo lkn Allah atasimama kwenye haki biidhniAllah

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 ปีที่แล้ว +13

    Dr Mwaka Mungu anakuona.Nakushauri mwanamke mwenzangu ondoka mwachieni hizo mali Mungu atakusaidia.

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 ปีที่แล้ว +6

    ALLAH Atakupa Nyumba yenye khery na ww sister..pole sana🙏🏼

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh ปีที่แล้ว +47

    Huyu mama ni chombo ni mzuri sana sana

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +4

      We we we ushazini Tayari, tengua kauli Yako....🤣🤣🤣

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 ปีที่แล้ว

      Basi na uzuri wake ndio umeponza. Mpka akangukia kwa Dr Mwaka Mwenye tamaa ya kukusanya Wanawake. Alafu hawatendei haki. Na kupita kujisifu Mimi ni Mwanamume nae waweza Wanawake

    • @herikaniugu
      @herikaniugu ปีที่แล้ว

      @@monicahovda5890 angetulia tu awe submissive, maisha yaendelee

    • @mohammedkhimji7505
      @mohammedkhimji7505 ปีที่แล้ว

      kumbe machozi hauyawezi eh? 🤣🤣🤣🤣

    • @wennybarny168
      @wennybarny168 ปีที่แล้ว

      Heri Kaniugu huyu dada kashakuwa submisssive kupiliza na sasa kafika mwisho. Amenyenyekea sana na kavumilia sana, sasa kashapata majibu kuwa uvumilivu wake na unyenyekevu wake hauna thamani kwa huyo mwanaume. Bora aachane naye apate amani ya nafsi aelee watoto wake. Akiendelea kuwa na huyo mwanaume huyu dada atakufa kwa simanzi na sononeko.

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 ปีที่แล้ว +9

    Wanawake wazuri walio wema na roho nzuri huwa wanaonewa sana na wananyanyaswa sana kwa sababu ni wapole sana na wana huruma sana

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 ปีที่แล้ว +7

    Subhanallah
    Pole sana dada ALLAH ATAKUPA KILA LA KHERI KWA UNIO PITIYA

  • @mwanamnyika4085
    @mwanamnyika4085 ปีที่แล้ว +142

    Nimegundua kitu kutoka kwa uyo mwanamke ana nyota ambaye mwaka anatembelea ndio Mana mwaka ataki kumpa taraka

    • @mofatv5565
      @mofatv5565 ปีที่แล้ว +13

      Uko sahihi huyu dada ana nyota kali sana

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +9

      Sana yani anataka amtumie tu dada wawatu

    • @aminamzuri9933
      @aminamzuri9933 ปีที่แล้ว +8

      Kabisa mwaka mwanga mtumia nujumu za mtu na anatumia neema za watu ndo maana anaganda

    • @pendojeremiah1023
      @pendojeremiah1023 ปีที่แล้ว +6

      Uko sahihi ndugu yangu

    • @giftgodson5603
      @giftgodson5603 ปีที่แล้ว +15

      Arudi tuu kwa Yesu

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 ปีที่แล้ว +18

    Queen ni lazima umwogope Dr mwaka . Maana malumbano yake si pole pole tunamwona na mitandaoni 😭 pole sana

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว +6

    Pole sn dd huo mchozi unao kutoka kwa Uchungu na huzuni mungu hatokuacha atakulipa utapata aliye bora kuliko huyo aliyekupa maumivu utasahau yote hizo changamoto muachie mungu

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 ปีที่แล้ว +12

    Nakupenda sana dada angu hy mwanaume n aibu zinampata kwa yale alokuwa akiongea

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว +39

    Nilichojifunza Mali nzuri ni ya kutafuta peke yako

    • @habibakhalfan1065
      @habibakhalfan1065 ปีที่แล้ว

      Sawa_kabisa,cha_mtu_mavi

    • @pendo8082
      @pendo8082 ปีที่แล้ว +1

      @@habibakhalfan1065 yan bora mtu upambanie maisha yako mwenyew hata mkiachana unakua na mwelekeo

    • @lydiamsheri4095
      @lydiamsheri4095 9 วันที่ผ่านมา

      Kabisa kabisa

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Dr mwaka ni kichaa na pia nimchawi smart

  • @deejulesdonatha4107
    @deejulesdonatha4107 ปีที่แล้ว +6

    Lilian Mwasha hatutaki kumuona Mwaka ever kwenye interview zako. Mnafiki mmoja

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana huyu doctor Mwaka itakua akili zake haziko sawa

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว +23

    Kwenye maisha haya unajuwa unaweza kukutana na mwanamke akawa ndo nyota yako .. ukimwacha huyo mwanamke unashangaa mambo yako ayaendi sawa ..Mimi ninamfano mzuri sana ..

    • @bigwanyiabdul2864
      @bigwanyiabdul2864 ปีที่แล้ว

      Viongozi hao wa dini wmebaki ni wababishaji tu Imani apo haipo huenda kina kitu wameahidiwa na mwaka na Hilo lishekhe la mkoa bora ametumbuliwa ingewezekana afukuzwe ata kusali kwani hakuwa na Imani ya dini

    • @oyay2821
      @oyay2821 ปีที่แล้ว

      Hana nyota yoyote huyu na machozi hayo ya uongo

    • @irenemacha9911
      @irenemacha9911 ปีที่แล้ว

      Ni kwelii ndo maaana hata sasa Dr mwaka havumii sana kama miaka ya nyumaa coz huy dada anasema wana ugomvii ni mwaka sasa,

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 ปีที่แล้ว

      @@oyay2821 unalopoka ovyo

    • @magrethmpina952
      @magrethmpina952 ปีที่แล้ว

      Mh kiaje sijaelewa my na unamfano gani

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 ปีที่แล้ว +5

    Aki pole sana dadangu hakuna lisilowenzakana kwa mungu

  • @jamalahmed7057
    @jamalahmed7057 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli bakwata siku zote wanafeli huyu mama na aliekuwa mumewe Dr mwaka ni maarufu walipaswa watoe haki haraka na iwe wazi ili jamii ya kiislam wawe na imani na chombo hichi

  • @blasidafussy1364
    @blasidafussy1364 ปีที่แล้ว +3

    Mkewe mzuri mashallah kafanana na Zari the boss lady kwa umbali

    • @ngoni7944
      @ngoni7944 6 หลายเดือนก่อน

      Zari ni plastic surgery na mafilter

  • @margaretnyamwilahila292
    @margaretnyamwilahila292 ปีที่แล้ว +4

    Queen Pole sana.
    Huyo bwana ni mkatili sana sana.
    Dua zake zitamrudia mwenyewe. Mungu yuko nawe. Chozi lako atalilipa.

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 ปีที่แล้ว +16

    Kumbe mwaka akili hana kabisa

  • @surajatul732
    @surajatul732 ปีที่แล้ว +4

    Mambo ya wanandoa ukweli halisi huwa wanao wao wawili na watatu ni Mungu tu.
    Usipokuwa na hekima wakati wa kuwasikiliza wanandoa waliopishana unaweza kuegemea upande mmoja kutokana na ufundi wa mtu mmoja kujieleza na mambo mengine kama huko kulia lia.
    Simaanishi kwamba huyo dada analia kwa uongo.., Lakini mimi nikiwa kama mmoja wa watu waliopitia matatizo ya ndoa kwa zaidi ya miaka tisa sasa nimeoa mke mwingine na familia inaendelea lakini yule mwanamke ambaye niliishi naye awali bila ndoa kwa miaka matatu tu mpaka leo inanigharimu miaka 9 zaidi.
    Watoto wawili tuliozaa ndio kitu kinanifanya nalazimika kuwa mnyonge. Alishawafanyia ukatili watoto nilipopata habari nikaenda polisi na ustawi wa jamii nilitakiwa kupewa watoto ikashindikana kwasababu ya maneno aliyoyageuza na pia familia yake yote ilisimama (NASHINDWA HATA JINSI YA KUELEZA) akapewa watoto na nikaambiwa nisubiri watakapofikisha miaka 14.
    Watoto wanazidi kuharibika kimalezi (MAADILI) Lakini nimekosa kumzidi nguvu. NATAMANI KUTUMIA NGUVU KAMA YEYE ANAVYOFANYA LAKINI NASHINDWA KWASABABU WATAKAOTESEKA NI WANANGU.
    Maelezo yake kwa sehemu kubwa yanaaminika kila upande kwasababu ni mwanamke. LAKINI BAADHI YA NDUGU WAMEANZA KUONA TATIZO WAMEONA WATOTO WANACHOPITIA WAMENIPA MTOTO MMOJA KINGUVU LAKINI MTOTO AMEHARIBIKA SANA (umri miaka 8/ mdogo) NA NINAAMBIWA MKUBWA NDIO USISEME.
    Hawa MWAKA na MKE WAKE hakuna ambaye unaweza kumpa haki kwa kuwasikiliza. KUAMUA WANANDOA INAHITAJI NEEMA SANA. WENGI HUWA SIO WAKWELI. KILA MTU HUWA ANAFANYA KILA NAMNA KUTENGENEZA NAMNA YA MADAI YAKE KUKUBALIKA.
    Nikimsikiliza huyu dada ninamuonea huruma sana kwasababu najua wanawake wengi wanapitia maonezi (SIO WOTE) Lakini naogopa kumtetea moja kwa moja kwasababu wengine ni wabaya ingawa wanaobekana katika sura hiyo hiyo na baadhi yao hata wameharibu future za wanaume (HASA WANAUME AMBAO HAKUNA ANAYEWASIKILIZA/ KILA MTU ANAHUKUMU KWA KUAMINI YALE YA MWANAMKE).
    Simtetei MWAKA wala huyu MKEWE. Nawaonea huruma wote na hasa watoto wao. Kwasababu kama hii vita anayeifikisha hapa ni mke au mume...., MWISHO WA SIKU WAATHIRIKA NI WATOTO TU. Hawa watakwenda kutafuta furaha na amani waliyoipoteza kwa MWENZA MWINGINE Lakini watoto hawawezi kupata "SPEA" (spear) ya BABA au MAMA. Hicho watakachokipoteza watakuwa wanekipoteza milele (KUMISS MALEZI YA MZAZI MMOJA).
    Kuachana sio tatizo LAKINI WACHUNGE WASIACHANE KIASI AMBACHO ITAWANYIMA KUSHIRIKIANA KUENDELEA KUWALEA WATOTO WAO.

    • @steliusrweyemam4345
      @steliusrweyemam4345 7 หลายเดือนก่อน

      Umeandika vema sana!

    • @kyannickk2be
      @kyannickk2be 17 วันที่ผ่านมา

      hii umeandika kwa hekima sana

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว +8

    Dr mwaka kumbe ni maskini uyo hana kitu anadai nyumba aliompa mke!🙄

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 ปีที่แล้ว +2

    Polee sana dada angu

  • @ramadhanikibenga4284
    @ramadhanikibenga4284 ปีที่แล้ว +54

    Sometimes wanaume tunafeli sana aisee 😢😢😢😢 hivi unamfanyia vipi unyama mwanamke ambaye mliisha ishi kama mke na mume na mna watoto naye 😢😢😢😢 je unawajengea nini watoto mioyoni mwao ??? 😢😢😢😢😢

  • @dionisiabaynit2916
    @dionisiabaynit2916 ปีที่แล้ว

    Pole sana madam

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +2

    Rudi kwenye dini yako funga kavu ciku 3 naamini MUNGU halali wala hasinzii yeye atakulinda na mabaya yote atakulinda uingiapo na utokapo na ATAKUSHINDIA KESI hii QUEEN we mzuri tulia

  • @angelbarnabas7075
    @angelbarnabas7075 ปีที่แล้ว +15

    Jesus Christ protection to this woman and the her family Amen ✝️💜🙌🏾🙌🏾🙌🏾

    • @florahsylvester5778
      @florahsylvester5778 ปีที่แล้ว +1

      Sikia nikwambie mumy usihame dini yako Kama unaependa ila mkaribishe Yesu moyoni mwako hawezi kukufanya chochote Yesu tu ndo kiboko cha wanaotumia nguvu za giza vinginevyo utapigwa tu, sisi hapa mtandaon ni wapambe tu ukipigwa ktk ulimwengu wa roho tunakuachia zengwe mwenyewe.

  • @mringoarts3710
    @mringoarts3710 ปีที่แล้ว +5

    Chozi la Munenge malipo kwa Mungu baba

  • @mwoney1
    @mwoney1 ปีที่แล้ว +5

    Unamtoaje machozi mwanamke alokua mkeo na alokuzalia watoto na uloishi nae kwa upendo ..oaneni kwa Amani na muachane kwa Amani..we mwaka laana hazitakuacha wewe ..

  • @anoldringo7362
    @anoldringo7362 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dada. Dr. Mwaka anaonekana ana uwezo anashindwaje kusamehe haya kama ni nyumba si watoto wanaishi na wanapata ada. Hu moto ulianza na cheche Moja iliyotakiwa kudhibitiwa chumbani sasa inawaharibia heshima. Walituonyesha ni watu wanaofurahia zaidi ndoa zao sasa pengine wamefikia pachungu zaidi mpaka kuanikana kwenye vyombo vya habari namna hii. Si kitu kizuri Sana Mana wanadhalilishana baadae itakuja kuadhiri watoto wao watakapo kuja kuona humu.

    • @rahimwaziri6453
      @rahimwaziri6453 ปีที่แล้ว

      Mwaka ana roho mbaya roho ya umaskini pia

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 ปีที่แล้ว +6

    We nae mzuri mnoooo jamaa anawaza atakaechukua Ngoma 😂😂😂😂😂

    • @jamalahmed7057
      @jamalahmed7057 ปีที่แล้ว

      Alipaswa awe mpole Dr. Mwaka kama bado anamtaka mwanamke

    • @samwa9496
      @samwa9496 ปีที่แล้ว

      Kalishwa limbwata analea watoto wa wanaume wenzie

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 ปีที่แล้ว +6

    Allah afanye wepesi kwa hili inshaallah aki ni mtihani km mtu wajua yatakua hivyo mtu hangekubali kuolewa

  • @user-xx1yw7jw2p
    @user-xx1yw7jw2p ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @monikamasasi7582
    @monikamasasi7582 ปีที่แล้ว +11

    Doctor mwaka ni mwanaume ambae nilikuwa nakufuatilia kwa ukaribu niliamini wewe ni baba Bora mume Bora na mwanaume anae jitambua zaidi,ulituaminisha kuwa wewe ni mume Bora Sana na sisi tukaamini ambayo ni magumu kwa wengine wewe umeupiga mwingi, doctor mwaka umetuumiza wanawake wengi,kwanini umeamua kutuumiza hivi!!!!!,😭😭😭,itoshe kusema binadamu hubadilika,Ila mpe mama wawatu haki zake acha unyanyasaji,ulitudanganya tukasikilza mengi kuhusu wewe tukamaliza bando kumbe wewe upo hivi looooh

    • @marympochela7903
      @marympochela7903 ปีที่แล้ว +1

      naonekana Dr. hayuko tayari kumuacha Qeen,
      Lakini kwa hayo anayomfanyia ndiyo yanamchefua mwenziye, na kwa Nini ufanye hayo ikiwa watu mumezaa, mwisho wa siku sura yako utaiweka wapi? Mbadilike wanaume

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 ปีที่แล้ว

      Punguza makasiliko monika

  • @salmakaratta1420
    @salmakaratta1420 ปีที่แล้ว

    Pole mama,wanawake tunapitia magumu mengi,hata kama kuna changamoto za kiasi gn huwezi mtoa mke ndn ya nyumba ilihali mna watoto.Allah akusimamie hd ushindi.

  • @beipoaquality9159
    @beipoaquality9159 ปีที่แล้ว +5

    Dah! Kama magufuli angekuepo sizan kama huu upuuzi ungekua unaendelea…..em tumuhurumie huyu mama viongozi wa serikali na dini haswa viongozi wa dini kwann hamtendi haki wakat nyie ndo wenye haki na mna Mungu sasa dini iko wap haki iko wapi mnazalilisha dini coz dini ni yenye haki siku zote kwann viongozi hamtendi haki hayo machozi hayatawaacha salama kabisa nawaambia 😢

    • @rahimwaziri6453
      @rahimwaziri6453 ปีที่แล้ว +1

      Hiii dini imewaangalia sana wanaume

    • @daud405
      @daud405 ปีที่แล้ว

      acheni ujinga kuna dini ya Mungu zaidi ya uislamu ???.kama huyu mwanamke ameamua kuachana na Mwaka basi arudishe kila kitu cha mwaka

    • @janeshelutete9715
      @janeshelutete9715 ปีที่แล้ว

      Hivi huyu mama mpaka afe ndio serekali iingulie Kati kuchunguza jam an I? Waziri wa wanawake ukowapi sasa? Uwt mkowapi jam an I Huyu mama yuko PabayA Sana,,,ameshajieleza Sana kilasiku hakuna anaeonyesha hata kumsikiliza.

    • @janeshelutete9715
      @janeshelutete9715 ปีที่แล้ว

      Yaani I imiss you mag u,,huyu mama angeshapatahaki yake sikunyingi.

    • @janeshelutete9715
      @janeshelutete9715 ปีที่แล้ว

      Sass viongozi wadini mnashambuliana nyie mmemsahau mam aw a wat u,,,

  • @user-xx1yw7jw2p
    @user-xx1yw7jw2p ปีที่แล้ว +8

    Kuna wanaume wengine wanaroho mbaya sana

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 ปีที่แล้ว +1

    Pole mrembo mungu youko pamoja na ww

  • @barakagashaza8516
    @barakagashaza8516 ปีที่แล้ว +5

    kwakua imekua public ni vema kusikiliza pande zote mbili dunia ya sasa ufedhuli upo pande zote mbili kwa aliewai ona kesi ya amber heard na john depp anaweza nielewa

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 ปีที่แล้ว +4

    Ila Dada muongo kodi ulikuwa unatumia kulipa ada ya shule,Mara ulikuwa upewe kitu,unajichanganya

    • @aishacharira1858
      @aishacharira1858 ปีที่แล้ว +1

      Hayajakukuta tulia dada na yakimfika mwenzio usijishaue zamu yako yaja

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 ปีที่แล้ว

    Duh pole Dada

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 ปีที่แล้ว +4

    Beautiful lady kaza moyo yatapita hayo

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anaonekana smart sana ukinuona kumbe kichwani hakuna kitu kabisa........huyu dada anaplay innocence sasa mwaka kama huyu dada kwa maneno yake na muonekano wake yupo hivi ulihitaji nini au kuna vitu chini ya pazia hatuvijuwi ....

  • @barakacharlessamson1951
    @barakacharlessamson1951 ปีที่แล้ว

    pole sana mama angu

  • @sirielsamweli4751
    @sirielsamweli4751 ปีที่แล้ว

    Pole dada

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว +4

    Hayo mambo yenu ya ndoa mia yatawatokeeni puani kwanza sionagi maana zaidi ya kupeana UTI tu mnamaliza dawa madukani ebu tulieni na mke mmoja uchafu tu

    • @coin9007
      @coin9007 ปีที่แล้ว

      Mke mmoja na michepuko 10

  • @rodenyiandrea4473
    @rodenyiandrea4473 ปีที่แล้ว

    Doctor Mwaka hufai kumbe mnyanyasaji kiasi hicho mwachie dada wa watu aende,baki na uliozoea kuwafanya watumwa,, Mungu akushughulikie ipasavyo,

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 ปีที่แล้ว +8

    Hapa ndio inadhihirisha uchawi wa huyo mwaka na wenzie analazimisha ndoa na mwenzie hamtaki.Machozi ya huyu mama na uchungu alionao vitarudi tuu kwa huyo mwaka.

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว +1

      Umesikiliza maelezo ya upande mmoja usikurupuke tu kuhukumu

    • @kobelomorogoro
      @kobelomorogoro ปีที่แล้ว

      @@swalehemrombo9301 fact

    • @kobelomorogoro
      @kobelomorogoro ปีที่แล้ว

      @@swalehemrombo9301 uyo mama ,ana nguvu kubwa sana ya kuteka akili za watu,tapeli mmoja hvi

  • @hamisaponda1286
    @hamisaponda1286 ปีที่แล้ว

    Pole queen

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 ปีที่แล้ว +1

    Jamani dada pole sana dr mwaka misijampenda matendo yake tangu alipoanza kuoa naweupo sijawahi kupenda tabia zake zatamaa namchukia sana

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mbaba mungu atakulipia muachie yy

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      Haya ni maelezo ya upande mmoja hupaswi kuhukumu.!!

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +8

    Wanaume acheni mahangaiko nyie,,, pole sana dada Mungu yupo atakulipia na kukupigania ww na wanao achana na uyo tapeli atakuharibia maisha zaidi

  • @abdourazakndeze4157
    @abdourazakndeze4157 ปีที่แล้ว +44

    Huyo mganga wa kienyeji Mwaka roho mbaya kweli unamnyanganya aje Mama watoto nyumba? Jinga sana kweli mpiga ramuli wewe Mwaka...myache dada wa watu aishi kwa amani...wewe kazi kuoa owa tu ...tamaa za waganga wa kienyeji hizo ...halafu hao waganga ni watu wa kutishia watu tu ndivio wanavio ishi ...waganga wasikutishe dadaangu ..na usitoke kwenye nyumba yako....hao waganga kama akina Mwaka wahuni tu hawana lolote...kazi kuowa owa tu .

    • @gosbertgideon6843
      @gosbertgideon6843 ปีที่แล้ว +1

      Kwani sidin lenu linakatqza mwanamke kumiliki au apo kamnyqnyasa nn apo 😂 uislam ni ushetan alikua analala nao kitandaki1 😂 😂 😂 iko hv dokta mwaka mganga wakienyeji na majini anayo

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +5

      @@gosbertgideon6843 kwanza mdomo wko utumie vzr na vidole vyako unapoandika. Istoshe dini yetu inasema kwamba mwanaume akikuacha na watoto haki yke akae pazur na watoto awahudumie watoto wke kwa kila kitu. Dini yetu haian dhulma kma unavyojicjanganya ww mwanamke amempa hna haki ya kuchukua chochote kile.

    • @raphaelchumila5283
      @raphaelchumila5283 ปีที่แล้ว

      Mganga ndere mwaka katil

    • @abdourazakndeze4157
      @abdourazakndeze4157 ปีที่แล้ว

      @@gosbertgideon6843 hakuna dini inayokataza mwanamke kumiliki mali ...ndugu yangu achana na udini hapa tuko kwenye haki na ubinadamu kila dini ina wabaya na wazuri ...kinachoendelea hapa ni huu Mganga wa kienyeji mpiga ramuli alieishiwa alias Mwaka rohombaya kutaka kumudhulumu dada wa watu...nani kakwambia kama muke hawezi kurithi mali ya mumewe?! Si Kuran wala Bibilia ..vitabu viote hivo vinawapa wanawake haki ya kurithi kile kilicho haki tao kutoka kwa waume zao. Yule Mwaka Roho ya korosho Mungu anamuona

    • @abdourazakndeze4157
      @abdourazakndeze4157 ปีที่แล้ว +3

      Hapa ndipo huwa namkumbuka marehemu Magufuri...yule Mzee angekuwa bado uhai Mwaka angekipata cha mtemakuni... shenzi sana gili Ganga la kienyeji.

  • @universitylink
    @universitylink ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe nguvu na tumuombe Allah kama ni kuwa pamoja iwe kwa wema au kuachana iwe kwa wema pia

  • @ibrahimrashid951
    @ibrahimrashid951 ปีที่แล้ว +13

    tangu nizaliwe kuja duniyani sijawahi kupata haki ataa moja sasa nna miaka 51 nafikiri nikifika kwa mungu nitapata nikifa lakini kwa binadamu hupati kitu pumbavu

  • @tanzaniamoja7952
    @tanzaniamoja7952 ปีที่แล้ว +2

    Salute kwako MWAKA,Hawa mashetani tu,ameshapata mtu wa kumgonga huko anaanza wenge

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +9

    Hatuto vibeba wallah 💔💔 niwachache wanao zingatia kwakwel 🥺🥺

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +2

    Majeneza😳😳😳😳😳😳😳😳😳hyu mwanaume hafai Queen toka hyo hafai

    • @pendo8082
      @pendo8082 ปีที่แล้ว

      Atakua Ana mambo ya kishirikina

  • @fauziatumbo8221
    @fauziatumbo8221 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe DR Mwaka mshenzi

    • @mahmoudukusso4488
      @mahmoudukusso4488 ปีที่แล้ว

      Upande mmoja huo, usihukumu

    • @daud405
      @daud405 ปีที่แล้ว

      mshenzi ni wewe . unaongea usililijua

  • @samwelpendael7744
    @samwelpendael7744 ปีที่แล้ว +1

    Daa kwa heshima alokuwanayo huyu bwana hapa TZ na maeneo mengine kajivua nguo zote na amejiharibia sana. Angekuwa na busara Kweli, hata huyu mama asingelia badala yake angemwachia hata hizo nyumba. Ila kwa tukio hili hata yeye ajiandae kukosa heshima na kuharibika mipango yake mingi sana . Maana huu ni moyo wa Commodo aliyonao huyu Baba. Duu inaumiza sana.

  • @ahllamabdully8748
    @ahllamabdully8748 ปีที่แล้ว +6

    Sorry Allah atakusimamia ila nakushauri usirudi ,usirudi atakuuwa, na huvyo vitisho usiogope Allah atakusimamia hana Dawa ya kukudhuru ni vitisho tu ,

  • @mwamvuakayanda8730
    @mwamvuakayanda8730 ปีที่แล้ว

    Duuuh 😭 poleee sanaaa ndugu MUNGU yupo atasikia

  • @babumrisha
    @babumrisha ปีที่แล้ว

    We unaolewaje na mganga wa kienyeji, alafu mnazinguana kisha ukadhani utakua salama, Mpe Yesu maisha yako utakuwa salama. Hao majamaa ni mawakala wa contrary spirits.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +7

    Kuwa na wanawake wengi ni ushamba,anataka watu wamuone kidumee,toa talaka queen hakutaki.

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 ปีที่แล้ว +15

    Pole sana utapata haki yako kwa uwezo wa Allah. 😭😭😭😭

    • @gosbertgideon6843
      @gosbertgideon6843 ปีที่แล้ว

      Allah
      Huyuhuyu au
      Maana Allah yuko makha

    • @rehemaothman2475
      @rehemaothman2475 ปีที่แล้ว

      In sha Allah

    • @mabrozacpmstancesa1207
      @mabrozacpmstancesa1207 ปีที่แล้ว +1

      Acha ujinga ww na yesu yupo wapi Israel🤪

    • @rahmaqasim5143
      @rahmaqasim5143 ปีที่แล้ว

      @@gosbertgideon6843 Inamana wamuona hapo ulipo ebu mara nyengine kama huna la kusema bora ukae kimya tu

  • @mbarikiwambarikiwa6479
    @mbarikiwambarikiwa6479 ปีที่แล้ว

    Tatizo la kuolewa na wanaume wanaojua ndumba ndio hili.
    Pole sn my dear MUNGU atakusimamia.

  • @eaglecrown6470
    @eaglecrown6470 ปีที่แล้ว +4

    Rudi dini Yako ya zamani mojakwamoja ndoa inakuwa imevunjika.

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +3

    Hata mimi mume wangu kama huyo mwaka , mbaka watoto kawatelekeza talaka hataki kutoa , kiukweli nilimkimbiatuu nikaja oman nimejipanga kwanza kimaisha japo sijakamilisha nimepiga hatua , yaani sitaki hata kumuona nikirudi nafikia kwa kadhi ,wanaume kama hawa hawafai kabisa,sasahivi ananiona mzuri , namwambia kama unataka kifo niambie unanitaka mimi tena , yaani nimechoka

  • @elishaobadia8829
    @elishaobadia8829 ปีที่แล้ว +4

    Kumb mwaka mshirikina boya Yule au Icho kitengo alimuachia mke mwanza

  • @clentinangollo7859
    @clentinangollo7859 ปีที่แล้ว +5

    Queen simama usilie jipambanie wewe kama wewe,mapenzi hayalazimishwi.Mwaka yeye nani kwenye sheria adi akusumbue kiasi hiki.wanawake wengi tunapitia haya lakini tunaamini Mungu anatusimamia kwa kila jambo

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว +1

      Umesikiliza maelezo ya upande mmoja kulia sio hoja.!!

    • @aminakabarega2972
      @aminakabarega2972 ปีที่แล้ว

      @@swalehemrombo9301 Mpaka kafikia hapo ni kwamba hamtaki mwanaume mapenzi hayalazimishwi kama hataki ujue hataki kweli hapo hakuna cha kusikiliza upande hata wakirudiana hakuna maisha tena kwa hatuo waliofikia itakuwa ni usanii tu

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      @@aminakabarega2972 broo mbo ya mapenzi au ya ndoa we ya ache hivyo hivyo broo Wala usiyachukulie dhamana au kuyasemea ukamalizaa utaabika mambo ya mapenzi we yasikie tuu hayajitaji ushabiki hata kidogo.!!

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 ปีที่แล้ว +3

    Mwanamke m simwaminigi hua wanajua kujielezaa sana hawa watu unaweza zani kwer mwanaume anatatzo

    • @husseinkazigo6189
      @husseinkazigo6189 ปีที่แล้ว +1

      Ktk watu walio toa mchango mkubwa aisee unastahiki pongez usije tokea ukaamin hivi viumbe aisee

    • @claudia1500
      @claudia1500 ปีที่แล้ว

      Ndio mwanamke anajua kujieleza ila huyu yuko right! Yule Mwaka bwana kuoa oa oa,hata kama huyu dada angekuwa na tatizo kiasi gani ila Ana watoto wake! Hakutakiwa kumyanyasa hivyo

    • @eliassabbath2480
      @eliassabbath2480 ปีที่แล้ว

      @@claudia1500 kama ni ivyo bas nam nikosema mbona wanawake wengine wa mwaka hawajapata malala miko utasemaje

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 ปีที่แล้ว

    Pole kwanza ndugu yangu au mwanamke mwezangu mwachie kila kitu kama riziki yako ipo ipo tuuu na hakika utapata tuuu kikubwa uzima tuu acha kila kitu mungu yupo pamoja nawe inshaallah mi niliachwa na nikachiwa watto wangu na mpaka leo naishi mwenyewe tuu na nina myaka 11 nipo mwenyewe

  • @rukiaahmed1291
    @rukiaahmed1291 ปีที่แล้ว +2

    Mrembo ma shaa Allah Allah atakupa utulivu

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว +1

    Hapo unalia umejipotezea points. Wanawake wanatumia sana silaha ya kilio ili kuonewa huruma.

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 ปีที่แล้ว +6

    Polesana dada kuwa na subra Haki itatendeka nakama amezamiria ubaya ili akuangamize basi tunamuomba Allah anzenayeye 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 ปีที่แล้ว +3

    How can you do that to a woman you once loved? How can you do that to your own kids?Dr Mwaka God is watching you and very soon he will punish you.

  • @MgeniKisinzah
    @MgeniKisinzah 25 วันที่ผ่านมา

    Nimerudia tena hizi notes ili niyaelewe vizuri maisha na umuhimu WA KAZI na kipato binafsi.Kazi endelee

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 ปีที่แล้ว +9

    Wekeni namba ya simu tumchangie mwanamke mwenzetu maisha yaende.

    • @lilyshayo761
      @lilyshayo761 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli..tumchangieni wanawake tzania yote. Mbona atatoboa tu..she is very smart..ondoka zako

    • @habibakhalfan1065
      @habibakhalfan1065 ปีที่แล้ว

      Kweli_hilo_wazo_Zuri

    • @hawandosi2500
      @hawandosi2500 ปีที่แล้ว

      Akiamungu umewaza kama mimi

    • @hawandosi2500
      @hawandosi2500 ปีที่แล้ว

      Quuin tafadhali kubali kutoa namba Yako ya sim tutachanga Kwanini akutese ?? Yeye mwaka ni nani? Ni mtu tuu kama watu wengine Wala asikutishe.qlauz fanyeni mpango tuweze kuchanga ..
      Quuni jikaze jipe thamani wewe nimzuri bana

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 ปีที่แล้ว +4

    hakuna zaid ya Allah na haki haina tabia ya kushindwa hata cku moja na subra haiongopi mungu atamfedhesha hapa hapa dunian na kesho pole sana dada yng inaumaa mno lkn mungu atasimama na ww ☝️

  • @aishakilimba5938
    @aishakilimba5938 ปีที่แล้ว

    Kuoa mke zaidi ya mmoja huo ni udhinifu, Mungu alimuumba Adamu kisha alimpa msaidizi, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba wanawake zaidi uwezo wa Mungu ni mkuu Sana mtu unamoyo mmoja je unaweza vipi kuoa Zaid ya mmoja? Huo sio mpango wa Mungu, Hosea 6:4 watu wangu wanasngamizwa Kwa kukosa maarifa dini inaweza kukueleza fanya hivi Ikapingana na Mungu anataka Nini huu ni unyanyasaji wa jinsia na kutomjua Mungu wa kweli ni yupi mama okoka zakati za mwisho

  • @husnamohamedy4132
    @husnamohamedy4132 ปีที่แล้ว

    Dah! Ee mungu cmama na huyu dada

  • @vincej9275
    @vincej9275 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Dr. Mwaka sio mtu mzuri. Unatisha mama watoto wako, kwani ndoa ni kwa lazima ? You are using the money you have to intimidate people. You are not a real doctor otherwise you would be smarter than that.

  • @estermuge3883
    @estermuge3883 ปีที่แล้ว +2

    Ndoa ni kama safari tuombeane Dua atuepushe na Shari ya chini ya jua

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke Mzur

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 ปีที่แล้ว

    Pole dada angu unatuliza wengi na tunajifunza

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว +3

    Sipat picha hao wangine wenzako wakipata hii habar

  • @gracealbin1555
    @gracealbin1555 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atakusimamia wala usilie dada

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake wazur wanakosa wanaume wamaana dahh

  • @geochris5983
    @geochris5983 ปีที่แล้ว

    Ooh jamani pole sana dada mambo ambao unapitia magumu kweli

  • @rahmamwaliko6758
    @rahmamwaliko6758 ปีที่แล้ว +2

    Dada unaniliza ww Mungu aliye hai akusimamie mpendwa Allah ni mwema atacmama na ww

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว

    Aaaa Mwaka mpk MAJENEZA kwenye mageti Tena , ...achana na huyu mama...!

  • @songombingo108
    @songombingo108 ปีที่แล้ว +6

    Dahh Dada njoo niwe nawe. Tutakula tunachopata. Tutalala tutavyoweza.

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 ปีที่แล้ว

      Iyo ni jokes sasa

    • @minaelnathanael1846
      @minaelnathanael1846 ปีที่แล้ว

      Hili linawezekana si alitoka kwa mwingine mwaka ni chuo cha pili

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว +1

    He docta Mwaka sijaamini kumbe ndivyo ulivyo? Tena mke mzuri atapata mme mzuri kumbe we Ni chui kiasi hiko?

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +3

    Ukimuona mwanaume kamuacha mke hata kama ni mzuri namna gani usimuone mjinga, kamuoe wewe utaelewa kwanini aliachwa. Mambo ya wanandoa tuwaachie wao sisi tutazame tu. Maana hata sisi wenyewe washabiki wengine hatujaoa, wengine tunawatoto nje ya ndoa, wengine ndoa zetu zinawaka moto kilasiku... tujitahidi kutulia tuache ushabiki....

    • @mirajiiddy7385
      @mirajiiddy7385 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndo umeandika uhalisia wengine wanaandika ushabiki na kuhukumu bila kusikiliza upande wa pili.

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +1

      @@mirajiiddy7385 hilo ni tatizo kubwa. Kuna watu tumeyaona live mwanamke anaongea mpaka watu wanamtukana mwanaume kumbe tuliokuwepo wakati wa matukio tumeona mwanamke ndiye mwenye makosa kabisa. Mkaka wawatu akapigwa hadharani akidaiwa kumtesa mkewe kumbe sisi tulijionea alivyokuwa akiteswa na mwanamke.
      Mpaka leo ndoa za watu nikiona zinawaka moto naomba dua tu iwe salama na iwe heli wasije kuumizana tu.
      Ndugu yangu wewe acha tu, ndoa zina mambo magumu hakuna mfano.

    • @mirajiiddy7385
      @mirajiiddy7385 ปีที่แล้ว

      @@DonMooSTUDIO_Express Pole sana mzee muombe Mungu atakupa mwenye kheri na wewe kama bado hujaoa

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +1

      @@mirajiiddy7385 Allahuma Ammiy. Na wewe pia 🤲

  • @nicken3250
    @nicken3250 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu mmoja DR.YEAR..

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 ปีที่แล้ว +2

    Lilian Mwasha unampa,Lilian Mwasha,Lilian Mwasha nakuita

  • @amourking8608
    @amourking8608 ปีที่แล้ว

    Michezo yakuigiza umaarufu unapwendwa kweli mtu yupo tayari kusema uongo ilimradi tivii immurike haya ndo maisha yetu watanzania

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 9 หลายเดือนก่อน

    Usijari dada MUNGU yupo atakusimamia ❤

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 ปีที่แล้ว +1

    Dada ww South Africa cape tonw kunasili zenu weka waziii

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 ปีที่แล้ว

    Dahh,,mbona mama mzuri sana jamani????