PART 1: DR. MWAKA AIBUKA, HAJAKUBALI NDOA KUVUNJWA, AMVAA SHEIKH WA DSM "HAYA NI MATAPISHI, AIBU".

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 931

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 ปีที่แล้ว +7

    Ushauri wangu kwako Mwaka. Kwakua Mke wako ameshasema kwamba kwambahakutaki na anataka talaka yake ni bora ukampa talaka yake kwa kheri na salama mukatengana kuliko kuja kulazimisha kutomuacha kisha aidha wewe ama mke wako mmoja wapo akaja kufanya jambo kisha akaja kulijutia maisha yake yoooote.

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 ปีที่แล้ว

      Kaka hapo utambue Jambo 1.la msngi dr hakatai kuachana na mkewe ila hapo kuna Jambo nyuma ya pazia analihofia kua yawezekana wabaya Wake wakatumia nafasi hiyo ya ugomvi na mkewe kumuarest anachotaka ni vipengele vya sheria ya mungu kufuatwa

  • @deejulesdonatha4107
    @deejulesdonatha4107 ปีที่แล้ว +30

    Baby lets go vacation ukiachwa achika mwanamke mpaka adai talaka ujue kavumilia mengi

    • @vaskosamweli3556
      @vaskosamweli3556 ปีที่แล้ว

      Sio Kavumilia mwanamke akipataga mwanaume wakumdanganya anaanza kudai taraka kwa nguv sio kma anakua ananyanhaswa

  • @universitylink
    @universitylink ปีที่แล้ว +5

    Doctor mwaka uko right kwa haya unayoyaongea tunakuomba uwende usuluhishe issue ya mkeo kifamilia na kwa kadhi vizuri sana Allah awalipe kheir wote nyie

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo lugha zako sio nzuri na ujuwaji mwingi siungi mkono yote ila jitambuwe kabla ilitokea matatizo wew na huyo sheikh wa mkoa sasa unawaingiza wengine kuwa wahuni. Kauli sio nzuri

  • @neemashuma5595
    @neemashuma5595 ปีที่แล้ว +6

    Ngazi ya familia ya nini muache Queen aendelee na maisha na wewe na baby let’s go vacation endeleeni

  • @FREENETNAME
    @FREENETNAME ปีที่แล้ว

    Huyu mume si mwema wallahi sikiza kicheko chake cha uwadui Subhan’Allah mungu amlinde Queenie na wanawe oenfine aliona mkewe hawezi kumuacha ndio kihere here munaendeleya mungu anaona kila kitu ndani ya nafsi na moyo wake anaweza hata kumuawa huyu mama na watoto wake kwa hasira na nyuso za uadui na unyanyasaji na udhalilishaji mungu amuongoze siratul mustaqeen ammiyn

  • @ahmedsalim4930
    @ahmedsalim4930 ปีที่แล้ว +5

    Well said brother ilikua haina haja kuiweka vedio kidunia ur in good thinking tomorrow may Allah protect you

  • @ummimohammed-pn1oz
    @ummimohammed-pn1oz ปีที่แล้ว +2

    Talaka ni haki mwanamke akikukata ni haki yake muhimu akurejeshee mahari yako aendelee na maisha yake. Nimemuona kwa macho yangu mwanamke mwenzangu akilia anadai talaka yake mpe usimsumbue maisha mafupi usihadaike na pumzi sote tutakufa na vyote tutaviacha mwacha mwanamke aende salama.

  • @zuwenaadja2261
    @zuwenaadja2261 ปีที่แล้ว +10

    Unachokilalamikia nini Dr hapa😂 ukiachwa achika basi.

  • @ameirothman805
    @ameirothman805 ปีที่แล้ว +1

    Umekosea sana kuwaita viongozi wahuni dah kaka ni ngumu sana viongozi kukuunga mkono pia ndoa inapo ingia dosari ni muhimu kutatua ttz ila kesi ishakua kubwa cha muhimu stay humble ila usisusie watt chengine zingatia sheria za dini Kuna wakt utaingia mattz bila ya kujua muachie mungu wasichn wpo wengi sana

  • @amraniramadhani4148
    @amraniramadhani4148 ปีที่แล้ว +7

    Soma vizuri katiba ya bakwata, baraza la masheikh la mkoa lipo ktk katiba, hio ishu imeisha Isha uza TU dawa

  • @samiahmlimanzila6406
    @samiahmlimanzila6406 ปีที่แล้ว

    Dr ushauri wangu kwa maelezo ya mkeo ki dini unamakosa iletu. Mwaka mzima hupo nae wakati matalaa sio haki kikubwa toa taraka maisha yaendelee kingine ki misingi ya kidini bado unamkosea Mungu kusema mashekhe kua ni wahuni

  • @krintonnyembo4759
    @krintonnyembo4759 ปีที่แล้ว +24

    Kaka uliambiwa uombe radhi ukagoma,hata kama huna nywele Kaa,tulia wakunyoe vyema sasa.

    • @nathalieswedy3653
      @nathalieswedy3653 ปีที่แล้ว +1

      🤣

    • @fadhilhelebula664
      @fadhilhelebula664 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @zulfahussein6784
      @zulfahussein6784 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂 hilo neno

    • @betridajulias7676
      @betridajulias7676 ปีที่แล้ว

      Nyie wanaume Mungu tu awasaidie tena nyaza tu.Nyie upenda kunyanyasa wanawake nasi tumeumbwa tunamoyo pia ndokashachoka mwenzio.Ukiachwa achika,ulitaka umuache mke maana ndo imekuwa kawaida ila mwanaume kuachwa niaibu

    • @betridajulias7676
      @betridajulias7676 ปีที่แล้ว

      We siunzonga pesa sasa umeumbuka

  • @eppiemodest
    @eppiemodest ปีที่แล้ว

    Dr. Mwaka una busara sana. Unajua kujieleza. Very inteligent man.

    • @natumsifumbajo7578
      @natumsifumbajo7578 ปีที่แล้ว +1

      Ila anapaswa ampe talaka mwanamke mana mwanamke akisema basi ni basi istoshe uyo mama bado nikijana anawitaji kimwili, na na huduma nyengine yeye amemuacha mwaka mzima bila kumpa dudu wala maitaji wanawake awapo ivo wanaitaji kubembelezwa na kuskilizwa

  • @nemecymsanya4952
    @nemecymsanya4952 ปีที่แล้ว +31

    Bro Acha na social network endelea na maisha yako na biashara zako cha msingi lea watoto wako. Ushauri wa bure Dr mwaka piga kazi askari wangu.

    • @jescadeogratias5292
      @jescadeogratias5292 ปีที่แล้ว +1

      Akitaka janja janja ya kukwepa kulea.Talaka ishatoka,na unapangiwa matumizi ya watoyo

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 ปีที่แล้ว

      Sio suala la social media. Yule Mwanamke amefanya katika social media ili kumuhaibisha Dokta Mwaka. Kuna watu wamekatwa masikio na wengine wamekatwa Uume, lakini hatuja wahinkuwasikia mambo yao ya kuachana. Yule Mwanamke anajua fika kwamba dokta mwaka social media guy and I don't agree with most of things anavyoongea kwenye vipindi vyake. Ila hili hapa hiyo ndio ilikuwa dawa yake yule Mwanamke

    • @amirishauur5795
      @amirishauur5795 ปีที่แล้ว

      apo kuna mali iningia pasu babuu uspoongea unaeza ukapishana

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +46

    Mwaka mzima hujamgusa mkeo 🙄 huduma huna lakini kumtumia police pia hapana ndoa hapo muache atapata mwengine 😄 mwanamke mzuri kama yule

    • @augustkisaka5107
      @augustkisaka5107 ปีที่แล้ว

      Kama amuneshi mwelekeo

    • @buthainaayoub9107
      @buthainaayoub9107 ปีที่แล้ว +2

      Wewe hujui chochote hebu olewa ndo utajuwa anachoongelea mwaka, mnaishi na maboyfriend mnaacha kihuni huni basi unadhani pia ndoa zinaenda hivyo

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +1

      @@buthainaayoub9107 Pole sana usichokijua sawa na usiku wa kiza mimi naijua ndoa ndio maana nikajibu ndoa sio vita ndoa nimakupaliano ya watu 2 mmoja akichoka hakuna ndoa hapo

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

      @@buthainaayoub9107 hivi wewe mwanamme alie oa anawezaje ukishi na mwamke bila kumgusa wakati ndio kilicho waunganisha wakaingia kwenye ndoa tendo la ndoa

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 ปีที่แล้ว

      Hao mashehe anafunjwa ndoa yako kwasababu,hio ndoa alifunga ndo mashehe hao ,ww nenda kwenye mahakama wao atagawa Mali,kama ww muislamu kweli kama ujakaa nae mkeo Kwa cku 40 basi hio ndoa imefunjwa ww mwenyewe

  • @jeybullaz9323
    @jeybullaz9323 ปีที่แล้ว +42

    DOCTA MWAKA UNAPENDA FUJOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
    Ukiskiliza vizuri shekh Alhad alichokiongea utamuelewa vzuri tu.
    1- Baraza la maulamaa(MASHEKHE) lipo chini ya utaendaji wa bakwata.
    2-baraza la maulamaa pia lina dhamana ya kusuluhisha kesi za ndoa kutoka ktk ofc ya kaddhi.ckiliza Vzur dakika 5:18
    3-Kaddhi mwenyewe anaesuluhisha kesi nimwanachma husika ktk baraza la maulamaa,,na ktk kutoa suluhu hii uliopewa na yeye alikuepo. Ckikiza Vzur dakika ya 5:44
    4- nahuyo shekh Alhad unaemtuhumu kua hana mamlaka,,ujue yeye ndio MWENYEKITI WABARAZA HILO lamaulamaa waliokaa na kutoa hukumu hio,akiwepo kadhi. Ckiza dkk 5:55
    5 - KIUFUP HILO NI BARAZA LA MASHEKHE WA BAKWATA na akiwemo kadhi ndani ndio wamevunja ndoa yako,, ckiza vzur dkk 7:47
    6- naukitaka kuamin kua huyo kadhi unaemtaka wewe ndio avunje ndoa yako na yeye alikuepo kwenye kikao ckiliza vzur dkk 8:8
    7- dakika ya 8:21 shekh Alhad amesema wao kama ofc ya Baraza la BAKWATA mkoa,,wanakupa ruhusa ya kukata rufaa ndan ya cku 30...
    Maanayake nikwamba rufaa yako peleka ofc za bakwata ukiwandikia Baraza la maulamaa waliovunja ndoa YAKO,,mana hata kadhi unaemtaka nae yumo humo humo ndan ya Baraza hilo.
    8- Akasema tena Shkh Alhad,,kunzia dakika 9:9,,,lengo la vikao hivyo ni jema na ndio utaratibu unaotunika ktka ndio zote.
    9- Akaendelea tena kusema Shekh Alhad ,swala hili limekuja ktk sura tofaut ndiomana na sisi tumelileta kwanjia ile ile ya tofauti.
    MAANA YAKE NIKWAMBA
    Baraza hilo Halina utaratibu wakutanga talaka zawatu ktk vyombo vya habari,,Ispokua kwakua Swala hili lako limekuja kimitandao ndiomana na sisi tumelileta kimitandao Ili watu wote wapate kujua na kufahamu.
    SASA DOKTA MWAKA AMBACHOHUJAELEWA HAPO NI NN KAMA SIO WEWE UNAPENDA SHARI NA SHEIKH ALHAD...KUBALI YAISHE DOKTAAAAA

    • @ireneassey2022
      @ireneassey2022 ปีที่แล้ว +2

      Anaona atapata aibu

    • @mashulano4362
      @mashulano4362 ปีที่แล้ว +3

      Alhad na mwaka hawapatani, kwahyo kama Mmoja wapo anakuwa hakimu wa mwenzie lazma amnyonge tu

    • @mariamjuma4136
      @mariamjuma4136 ปีที่แล้ว +2

      Yaani anatea ata aibu kila kitu kiko wazi sijui kilele za nini mpaka anakera
      Yeye yake yanaenda anaendelia na maisha yake na wake zake wengine
      Queen ajieliwe yuko wapi
      Mjeuri mbishe sijui utamsaidia nini. Mwanamke mwenyewe ndio anataka talaka anataka ata BAKWATA pia wammbembelizi
      Kubari kushuka Dr Mwaka acha kilele

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +1

      Kaka wewe ni noumer😅

    • @hajihamisi6929
      @hajihamisi6929 ปีที่แล้ว

      kweny uislam hakuna kitu kinaitwa shekh wa mkoa shekh alhadi anakosa kuwa na mamlaka coz sharia ya uislamu haijampa mamlaka hayo never someni fiqhi vizur👌👌👍
      ila kadhi anaruhusiwa kuvunja ndoa na pia sio kwa taraka ila ni kwa fiqhi ina vipengele vinavyolazimu ndoa kuvunja ikiwa mmoja aridhiki na mwenzie na hakuna uwezo wa kupatana hata kwa kuvumiliana basi ndoa inavunjwa na mwanamke anakaa eda na eda pia inagaramiwa na huyo huyo mume.
      ikiwa imeshindikana pande zote maelewano basi mwanamke pia anaruhusiwa kujivua kwa kulipa nusu mahali then hakuna ndoa hapo...hiyo ni sheria ya kiislamu..
      LAKIN PIA KWA HEKMA TUUU DOKTA MWAKA AACHANE NAE TUUU HUYO MWANAMKE KWA NIN ASUMBUE WATU KAMA ANAMPENDA ATAFUTE SOLUTION BAINA YAO WALA ASILETE MITANDAONI WANAITIA AIBU DINI
      alhayaau minal iiman...
      ALAFU NASHAURI KWA KILA MUISLAM TARAKA NA MAMBO YA NDOA SI YA KUWEKA HADHARANI ALLAH HAPENDI KUTOLEANA AIBU ZA NDANI YA NYUMBA KILA MTU AMSTIRI MWENZIE THEN MNATENGANA KWA AMANI KILA MTU AISHI MAISHA YAKE
      Allah atuongoze sote waislamu inshaallah.

  • @sky-wz5zi
    @sky-wz5zi ปีที่แล้ว +10

    Kwan huyu Mwaka kwann hataki kutoa talaka? Tuanzie hapo kwanza, maana kupelekwa bakwata ni kuwa kagoma kutoa talaka na bado anaonesha hataki kutoa talaka! Sasa kwann usimpe mwenzio talaka awe huru? Haupo nae zaid ya mwaka mzima, hakutaki nawe humtaki kwann usimpe talaka? Unaonekana kama tahira flan hv, manaume ya hv ni masenge sana, linakung'ang'ania na wkt hampo pamoja. Shame on u Mwaka

    • @lissamnyingi6457
      @lissamnyingi6457 ปีที่แล้ว

      Siri anaijua yy Dr Mwaka Kama alikuwa anatembelea nyota ya qeen akisha muacha Kila kitu kinamfuata muhusika.

    • @joharikasuwi6973
      @joharikasuwi6973 ปีที่แล้ว +1

      Tena yeye anajiona Yuko sawa wakati alishampeleka mwenzie polisi. Usingeenda polisi kaka wanawake tukichoka tumechoka usiombe yakukute sasa vumilia

  • @Hovyoo
    @Hovyoo ปีที่แล้ว +8

    Dr. Maisha Hayana Tafsiri Kaka.🤝🏾

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 ปีที่แล้ว +2

    Kuna mambo ya kukushauri dk. Mwanak
    1. Jambo la Kwanza fitna huzimwa kwa uchamungu japo kupigania heshima yako Ni sehemu katika jihadi
    2. Ndoa inaweza ikavunjwa na qaadhi au hata sheikh ikiwa hamna qadhi ndio maana katika sheria Kuna anaitwa muhakkam kiujumla Ni mjuzi wa mambo ya kisheria
    3. Jambo la tatu shida sio sheikh wa mkoa shida Ni mkeo cs popote mtakapoenda

  • @sashambonde7258
    @sashambonde7258 ปีที่แล้ว +6

    naludia Tena mwaka acha kelele Wala so we will be Qeen anaolewa mwezi ujao na mchumba ndio mm akutaki amesema mbele ya Shee wetu wa mkoa tuwachie nafasi na sisi tumuudumie Qeen wewe umeshindwa Tena ukiendelea ntakushitak kwasasa Qeen ni mke mtalajiwa acha fujo kumtunza ulishindwa acha tukuoneshe maisha ya mke anavo tunzwa mwaka ukiachwa achika

  • @bupeisaya9063
    @bupeisaya9063 ปีที่แล้ว +1

    Ongea yooote lkn kumbuka,,tulikuheshimu ila umejivunjia heshima pia ungekata rufaa iko wazi usingekuja hapa kujitetea,,,.mwanamke mwaka mzima hakuna huduma ???????
    Mungu akujaalie queen upatege ridhiki Kwa ajiri ya wanao

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 ปีที่แล้ว +8

    Usituchoshwe kama umeona ujatendewa haki mufti kasema ukate rufufaa kwendaaa

  • @azizimkwawa7711
    @azizimkwawa7711 ปีที่แล้ว +6

    Shekh Muhuni dah to be honest kaka umetutukana waislam wote kwa kifupi umekosea sana na umejikweza sana nakushauri jishushe kaka mbele za Mungu na atakusamehe

    • @idrisargevar4557
      @idrisargevar4557 ปีที่แล้ว

      Sheikh muhuniii mimi nimesemaa😎

    • @coin9007
      @coin9007 ปีที่แล้ว

      @@idrisargevar4557 Mkiachwa achikeni 😂😂😂

    • @idrisargevar4557
      @idrisargevar4557 ปีที่แล้ว

      @@coin9007 hivi mtu kama dr mwaka akabembeleze demu? Demu mwenyewe yule😂😂😂
      Mafiiiiii

  • @mohammedmakarani2802
    @mohammedmakarani2802 ปีที่แล้ว +12

    Uko sahihi doctor ila ulijisahau sana shekh wangu vitu vyako ulivianika sana mambo mengine siri ila mambo ya kifamilia yanahitaji siri sana uliyaanika sana hazarani hukujua kua kuna hasadi ila ushauri wangu mwache aendee hapo hakuna tena mapenzi shekh

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 ปีที่แล้ว +3

    Mara paaaap shehe wa dar kumuoa mke wa Mwaka

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 ปีที่แล้ว +5

    Akili nyingi point nyingi!mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!Mwaka yupo sahihi

  • @wardafusi6012
    @wardafusi6012 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo mashehe ni wahuni duu kwakweli mwaka ww ni mwaka kweli mwenyez mungu akusamehe Sana, usingetaka yafike Apo ungetoa talaka chapu chapu

  • @chumaulete7273
    @chumaulete7273 ปีที่แล้ว +7

    Kwa ninavyo kuona tutasikia suala la watoto umepelekwa tena mahakamani....

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 ปีที่แล้ว +4

    Yupo sahii kabisaa.Chombo pekee chenye uwezo wa kutoa talaka ni Mahakama tu.Sheria ndio inavyosema.Maamuzi ya Bakwata haina mamlaka ya kuvunja ndoa.

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 ปีที่แล้ว

      Kwass waislam hatutambui kitu kinaitwa mahakama labda km mumefunga ndoa ya kiserikali. Huyu mwamba kasitisha huduma mwaka mzima kampeleka mkewe polis ili atoke nyumbani na watt huyu Jamaa ni zaidi ya mnyama

    • @abdulnaseermrisho4342
      @abdulnaseermrisho4342 ปีที่แล้ว +3

      Acha uzwazwa,Bakwata ina mamlaka ya kuvunja ndoa kupitia Kadhi,Ndoa zenu za kikristo ndio zinavunjwa na mahakama

    • @tatotato506
      @tatotato506 ปีที่แล้ว

      Usilete udini apakichaa wewe

    • @ailenyanthony1550
      @ailenyanthony1550 ปีที่แล้ว +1

      Mhmhm, Nani aliyekudanganya? Hata hiyo Sheria unayoijua wewe haiwezi kutoa talaka kwa ndoa zote mpaka wapitie masuluhishi sehemu mlipofungia ndoa

    • @mnyamamkalitv6575
      @mnyamamkalitv6575 ปีที่แล้ว

      Wew iyo serikali nikwanyie makafir

  • @gaudencemihungo4348
    @gaudencemihungo4348 ปีที่แล้ว +63

    Kama unataka kuongea na muft kwa nini usiende kuonana naye ofisini kwake, hapa uongei na muft, unaongea na umma kwa lengo la kuleta vurugu.
    Kama mke ulimshawishi wewe mpaka mkafunga ndoa, unashindwaje kumshawishi mkeo arudi kwako?
    Nadhani umeshindwa kukaa na mkeo.
    Kwa sasa huna ndoa na Queen, mlianza sirini mnamaliza hadharani, tena mitandaoni.
    Acha vurugu, tunajua una bifu na Shekhe wa mkoa.
    Jitahidi kuuza dawa zako achana na Shekhe wa mkoa.
    Queen ameenda,

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 ปีที่แล้ว +3

      Huyu ndoa imemshinda

    • @mercynadia3140
      @mercynadia3140 ปีที่แล้ว +4

      Hii msg ikufikie Mwakastress kubali matokeo sio mume mzuri

    • @zigzag4487
      @zigzag4487 ปีที่แล้ว +1

      Huyu sheikh wa mkoa aliekua anamuita magu ni Mungu au yupi

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว +1

      Ushabiki

    • @gd1926
      @gd1926 ปีที่แล้ว

      Kweli wewe kiazi kweli kweli kwaiyo hata huoni kuwa huyo sheikh kakosea

  • @mzeealiy8939
    @mzeealiy8939 ปีที่แล้ว

    Dk .mwaka UPO.SAHIHI.SANAAAA.
    Nahuyo.sisi Tunamfahamu. MNAFIKI. KABISA. ANATAMAAA.

  • @vincej9275
    @vincej9275 ปีที่แล้ว +7

    Ndoa sio kwa lazima , kama mkee amechoka na wewe, mwache aendelee na maisha yake. We can try to save our marriage but it's wrong to force one party to stay if they no longer want to.

    • @btylove1870
      @btylove1870 ปีที่แล้ว

      Kunywa soda nitalipa. Nimesema hivyo hivyo kwani maneno yote ya nini?? Mtu kaomba talaka yake mpee!

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 ปีที่แล้ว +5

    Usimwite Shekh wetu Muhuni ,ndoa huna bwana, hakuna wahuni muhuni ni wewe, Mimi ningekuwa Shekh wa Mkoa Namuoa Gueen harakaaaaa 🤸‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada ปีที่แล้ว +4

    Kwanza adabu huna yani leo masheikh unawaita wahuni, subhanallah

  • @Muadhin1
    @Muadhin1 ปีที่แล้ว +2

    100% uko right. Ndoa haivunjwi na Shkh Wala baraza Bali ni Qadhi. Hapo Bakwata wameingia Cha kike

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 ปีที่แล้ว

      Mimi ninavyojua mngewaita woote msikilinze shida zao Kila mmoja aongee yake Kwa makubaliano ndo mseme hadharani sijui Kwa wenzetu sisi Hadi liongelee Kwa umoja wakubaluane ndo itanganzwe haisikilinzwi upande mmoja hapana

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 ปีที่แล้ว +11

    Mume na mke ndio wanahusika na suluhu na kiukweli sio vizuri kufanya haraka kwenye talaka ila ingetakiwa wawaite wakae pamoja family ikishindikana kabisa yote talaka itoke au ajivue ndani ya ndoa mke kwa kumrudishia mahar yake, maana sisi ni binaadam na ndoa siku hizi watu huhujumiana katika ndoa kuharibiana kama wana vinyongo na mtu akapata nafasi ya kuharibu ndoa ya mwingine. Kisheria mwanaume ana haki zaidi katika sulhu yeye na mke wake n mazungumzo yangesimamiwa ikishindikana ndipo itoke, ila umashuhuri nao na macho ya watu. husda na uchawi n.k huchangia mengi watu wakachukiana bila sababu. tusishabikie maana ndoa sio kitu chepesi maana kuna wapambe wengi na mahasidi kila pande. sio vyemakushabikia ugomvi maana hujui tatizo liko wapi nje au ndani au kutokana na remote za kichawi

    • @zuwenaadja2261
      @zuwenaadja2261 ปีที่แล้ว

      Alivyokua anatamba marekani na mke mwingine hakujua anamgogoro akatengeneze kwanza na mwanamke wake kwa familia mbona mda wakutamba aliupata? Ndoa ina mwaka akiwa kwenye vurugu kwanini mme yeye asingelipushi kifamilia zaidi anadai kupushi sasa hivi by the way mke kakataa kushuruhishwa hata wangeenda popote kama ameshaamua kuachana unadhani kuna mtu angemstopisha pale maana mke ndie alie amua sio ngazi yoyote ilioamua akiachwa akubari kuachika maana popote atakapoenda kudai matoke yatatoea tu kupewa taraka yake maana ndie hataki kuishia nae sasa na mapenzi hayarazimishi…

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 ปีที่แล้ว +1

      Fact

    • @amarually5457
      @amarually5457 ปีที่แล้ว +1

      Nduguyangu wewe umeongea walichotakiwa kuongea wahusika lakini wahusika ndio wanachochea talaka baada ya kusuluhisha wao wanashabikia sasa sijui inaleta imanigani kwetu mtu anaetakiwa kupatanisha anafarakanisha hakuna mkamilifu mtu anakosea mpenimaelekezoiliajue alipokosea nini maana ya usuluhisho

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 ปีที่แล้ว

      @@zuwenaadja2261 ila unajua kitu kimoja kama ushawahi kukaa katika ndoa au ukasuluhisha migogoro ya ndoa kuna maneno mengine yanayosemwa na.mmoja wapo au wote ya kusikia kutoka kwa mtu fulani anamuambia mke wako.kafanya kadha wa kadha au mume wako kasema.kadha wa kadha na kumbe mtu akachukulia kw kuwa.wana ugomvi na wakautoa wapo wachonganishi wazuri na wakati wa sulhu wakiitwa wanakimbia, pili kuna maneno ya dhana kabisa mtu anaweza akamdhania mwenzie kupitia vitu fulani au kuona akadhania tu, na tatu kuna maneno ya kutengeneza.mtu akoleze chumvi aonekane yupo sawa na pia katika pande zote hasira huwa juu kila.mmoja anataka mwenzie ajishushe na kuna kahuruma pengine na mapenzi yapo nimeshuhudia ndoa mtu katoa talaka.mpaka tatu na anampemda mkewakena mke bado anampenda mume lakin kuna tishia nyau tu. mnaweza kukuta mambo yanabadilika kwa wengine, mambo ya kuingia sana na kuwasemea wana ndoa yashaumbua baadhi ya wazazi. kuna watu eamepeana talaka tatu kitu ambacho hawaruhusiwi tena kuish pamoja mpaka ipite ndoa mke aolewe na mtu mwingine kisha aachike mtu anafanya hadaa na kumwambia rafiki yake aoe kisha amuache siku mbili waweze kuoana tena na hii haramu. sio kila wanaotaka kutalikiana wanachukiana wakati mwingine wanaopendana hugombana na siku mbili washakuwa pamoja, wangapiwanatiana magumi lakin wanapendana sana. kuna jamaa walishabikia ugomvi wa ndoa ya dada yao na shemej yao wakawa wanamuna shemej yao kama taka na wakakuta siku chache mbele wenzao wanarudiana na kuitana wapenzi na wao wanaonekana washenzi, mapenzi ni kama lenzi, hu zoom moyo wa mwenzi, wakigombana wapenzi, hata wakipigana konzi, usijejitia tanzi kwa kuingilia penzi, wakipatana wapenzi, watakuita mshenzi,

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 ปีที่แล้ว

      Ni rahisi kuongea huwezi kujua maisha ya hyu dada

  • @eliaskahory7116
    @eliaskahory7116 ปีที่แล้ว +7

    Acha Story Kaka sema Ufundishwe Jinsi yakuishi na Mwanamke, Wew Endelea kuwaelekeza watu jins yakupata watoto.

    • @H2025-y8g
      @H2025-y8g ปีที่แล้ว

      ✊🏼🤣😁😁😁

    • @habibaomary3834
      @habibaomary3834 ปีที่แล้ว

      Haaaahaaaa haswaaa toa dozi

  • @hoseamgema9107
    @hoseamgema9107 ปีที่แล้ว +9

    Mwalim wa ndoa za wengine ame fail kwenye ndoa yake . .

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 ปีที่แล้ว

    Kakate shauri lako.Mahakamani, utapata taratibu nzuri...
    Maana kidini zoezi zima lime kaa BIAS kukuthurutisha upande wa Mali.....!
    Thas is not fair.... kwasababu, kama migogoro imekaa ndani ya mwaka mmoja pasipo raia kutambua, ndani ya siku moja linatangazwa nchini....., hapo hekima ya Mungu haipo bali hekima ya kibinadamu

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 ปีที่แล้ว +12

    Huna tatizo kuvunjika kwa Ndoa kwa sababu unajua Utaenda kuoa Mwanamke mwingine Umchezee tena. Watu kama nyie ndio mkikatwa neti zenu mnalalamika kumbe ni history na tabia chafu za kucheza na maisha ya wanawake

    • @eliaskahory7116
      @eliaskahory7116 ปีที่แล้ว

      Mmmm vp yamekukuta

    • @lissamnyingi6457
      @lissamnyingi6457 ปีที่แล้ว

      Kabisa wanatuona hatuna akili unavumilia weee mwenzio anaendelea kula Raha, Mwanamke akishasema Baasi Mzee utahis unaota ila ndo uhalisia si wanadhan mapenzi ni Pesa waoe Bank sasa kunguru wasio fugika

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 ปีที่แล้ว

      @@eliaskahory7116 😆😆😆😆😆

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 ปีที่แล้ว

      Kwan kutoa taraka kuna kaz kwanza maan ukiona mtu anaitaj taraka ujue amekuchoka

  • @bakarijuma5104
    @bakarijuma5104 ปีที่แล้ว

    Pole,nachodhani Mimi Kuna baadhi ya taratibu ulizisahau ama hukuzijua juu ya muongozo wa dini yako katika kumpata mwanandoa wako,ulioa kimedia media,mliishi kimedia media,mpaka maisha ya ulalaji chumbani kwako na wake zako uliyaweka kwenye media,hivyo usistaajabu kuona ndoa inavunjika kimedia media,huwenda ni matokeo ya kile namba ulivyopanda mbegu na ndicho unachikivuna

  • @rehmamoshi4693
    @rehmamoshi4693 ปีที่แล้ว +6

    😄😄😄pole sana labda unaogopa kugawa mali sasa kama mwanamke hakutaki shekhe afanyaje

    • @hannanommy302
      @hannanommy302 ปีที่แล้ว +1

      Rehma umenena huyu anaugomvi na Shekh Alhad apuuziwe mke hamtaki hamtaki ,yeye anaugomvi na Shekhe, Naona Aibu mimi wallah wake wa mwaka wamevumilia mnooo huyu baba ananogwa anajua kutesa hajui kuacha,

    • @vincej9275
      @vincej9275 ปีที่แล้ว

      @@hannanommy302 kweli kabisa

    • @cdeleo9336
      @cdeleo9336 ปีที่แล้ว +1

      Ndio anataka kuchukua kila kitu mwanamke asibaki na kitu

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +1

      Kabisa na hasa hyo nyumba aliomuandikia ndio inayomuumiza kichwa uyu mali ndio inayomtolea mate kusema hapa

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 ปีที่แล้ว +2

    Hapa huongei na mfti
    Ungekuwa unaongea na mufti
    Ungeenda ofsi kwake,,
    Cyo unakuja kwenye mtandao ya kijamii,,wewe syo wa kwanza kuachwa,,ukiachwa achika maisha yaendele,,mwanamke akishasema (NO)huwezi kumubadilisha,,neno (NDOA)ukiondoa helufi(N)inabako DOA,,

    • @deogratius1790
      @deogratius1790 ปีที่แล้ว

      Acha nae uyo she ameshapata mume mwngine

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 ปีที่แล้ว +3

    Uliacha kuwahudumia ukifikiri unawakomoa sasa jnalalamika nini? Koma msosi 👌

  • @peterkabeke362
    @peterkabeke362 ปีที่แล้ว

    Mwanamke akikuchoka Dr ni mbaya kupita Simba mwenye njaa, utakufa we mng'ang'anitu, shauri yako,

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 ปีที่แล้ว +3

    Kamuowe monalisa. Janaume gani lina wanawake 3 ila bado wazini na wazaa hadi watoto.

  • @nervenb2831
    @nervenb2831 ปีที่แล้ว

    Hakuna. Cakurudiana. Muace atapata. Rizkiyake. Weye. Sulimuaca mkaenda ulaya. Kula upepu ataposho hamkumupa uyo. Alikuwa. Mke. Akirudi. Atakuwa. Amezalilisha. Masheikh🙏

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 ปีที่แล้ว +7

    mwanamke hakutaki toa taraka bhana

  • @othumaniabdallah6848
    @othumaniabdallah6848 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu yangu sheikh alhad mussa amekurupuka Allah akupe subra

    • @muhan_de_coco3567
      @muhan_de_coco3567 ปีที่แล้ว

      kwa nilivomsikiliza nimemuelewa vzuri sana

  • @Boyhoodking
    @Boyhoodking ปีที่แล้ว +6

    Mwezi March nafunga ndoa na queen. Mtoto mashaallah. Acha sisi tumuhudumie wewe si umeshindwa bwan kaa kwa kutulia. Mwanamke hakutaki Sasa unalizmisha mzee!? Mwaka mzima hujamgusa una haki gani kuwa mume? Fakeni taipu😂

    • @asmamwadini3127
      @asmamwadini3127 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaa

    • @habibaomary3834
      @habibaomary3834 ปีที่แล้ว

      Haaaahaaaa ukiona cha nini wenzio wasema nitakipata lini ,shamba limekushinda kulima waache wenzio waliiime ,Achia ngazi

    • @habibaomary3834
      @habibaomary3834 ปีที่แล้ว

      Watu oyoooo hutakiwa bhana km dollar dollar zako muache mrembo wa watu

  • @ameirothman805
    @ameirothman805 ปีที่แล้ว +1

    Mukiendelea na mvutano huo watt mtawapa wakt mgumu sana endelea na matibabu kwa wagonjwa pia nafc unayo ya kuoa mke mwengine usimize kichwa mpe haki yke mkeo kitokea nyumba Fata taratibu za dini n nchii pia uc force kusema ndoa haijavunjika ila kk kosa kuwaita viongozi wahuni inauma sana hakuna sehemu utakayo enda ukashinda juu y hii kesi

  • @tmt2642
    @tmt2642 ปีที่แล้ว +12

    Jamaa kachanganyikiwa huyu..hajakubali kuachwa😂😂😂😂

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 ปีที่แล้ว +2

    Umeambiwa kwenye hilo baraza kadhi nae yumo kaka usipanic tuliza kichwa wanaokushauri kufanya hili wanakupotosha muungwana akivuliwa nguo huchutama

  • @ramadhanfara2302
    @ramadhanfara2302 ปีที่แล้ว +9

    Mwaka mzima hautumi hela ya matumizi ya watoto

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 ปีที่แล้ว +1

    Kama Mke HAKUTAKI, NA KUKIRI HIVO, haina haja ya kua...isha maneno/mgogoro na wakuu wa dini. Wao wasingejua kama mmoja wenu htaki

  • @samirelhiad1243
    @samirelhiad1243 ปีที่แล้ว +8

    Dr. Umeongea vizuri sema unacheka kama unataka kulia hivi dah!!! Kweli mapenzi yana nguvu Allah ainusuru ndoa yenu inshaallah!!!

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 ปีที่แล้ว +2

    Toka hapa bwana umekaa mwaka mzima hutoi matumiz na ukamshitaki mkeo eti amekutapeli nyumba ukamtumia police, tulia dawa ikuingie

  • @mariamjuma4136
    @mariamjuma4136 ปีที่แล้ว +4

    Mlaumu aliyekuwa mke wako yeye ndio alitangaza kwenye social media
    Usitupigee kilele bwana
    Mwaka mmoja umeshindwa kuweka Sawa migogoro ya ndoa yake
    Mpaka limekuja social media wewe uko wapi? Iyo aibu yako ibebe tu kubari kushuka
    Muungwana akivuliwa nguo uchutama

  • @saifbrashdy6095
    @saifbrashdy6095 ปีที่แล้ว

    Dr Mwaka was is Right Masala Ya talaka ni Mahkama ni kazi ya Kadhi

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 ปีที่แล้ว +3

    Real TALK
    Wahuni nenda nao KIHUNI

  • @deuslucas2256
    @deuslucas2256 ปีที่แล้ว +1

    Unajiaabisha mwanamke hakutaki usi force

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว +3

    Penz kiberiti washa 🤣🤣ukiachwa achika by barnaba classic

  • @irenegeorge3501
    @irenegeorge3501 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni mkorofi tunakujua unatukanaga adi mashehe kwenda uko kuonea tu mwanamke wako ovyo🤨

  • @salimiddy7769
    @salimiddy7769 ปีที่แล้ว +8

    Pole sana doctor Mwaka kwa madhila yalio kukuta

    • @beatriceswai2608
      @beatriceswai2608 ปีที่แล้ว

      Umeachwa kubali kuachika

    • @lissamnyingi6457
      @lissamnyingi6457 ปีที่แล้ว

      @@beatriceswai2608 Huwa wanaona raha kituumiza sasa kubali matokeo

  • @issabaruni7616
    @issabaruni7616 ปีที่แล้ว

    mnafiki uyo shekhe ndio maana anamacho manne na mimi nakuambia mwaka shika iyo uyo shekhe anamtaka mkeo mjinga sana uyo shekhe

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 ปีที่แล้ว +7

    Ww wake zako uliwatangaza kwa press sasa ili watu wajue mzee hauko tena pale lazima ifanywe press , tena ingetakiwa ilipiwe iwe promoted , mashekh huyu mtu anawaibisha sana

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 ปีที่แล้ว

      Si ndo hapo na wakirejeana chumbani ataita yy Mwaka ataita press km kawaida yake, tena nn???

  • @ngoni7944
    @ngoni7944 ปีที่แล้ว +2

    Hizi ndoa za kiislamu ni lazima wabadilishe sheria hii ya ukandamizaji kwa wanawake, mwanamme anaweza kumpa talaka mwanamke kwa maneno tuu ila mwanamke lazima aende bakwata au serikalini. Wanawake wa kiislamu amkeni mkatae huu unyanyasaji dhidi yenu. Wanaume wamejipendelea kwa kuwaoa wanawake wengi na kulala na nyie kwa zamu pia

    • @suleimanrashid3918
      @suleimanrashid3918 ปีที่แล้ว

      Hufaham unacho kiongea uislam ndio uliokuja mpa haki mwanamke na ndio maana wasio kua waislam wakezao wanateseka zaid wenzio budha wanawake ndio wanatoa mahari. Kuto kutoa talaka mwanamke ni kwasababu Mungu alijua mwanamke anakua na hali ya mabadiliko hata ww ukiwa ni mwanamke kuna siku hutokea ukawa na hasira na kufikiria kufanya unachotaka kwa mfano unapokua mja mzito au ukiingia kwenye siku baadhi ya wanawake wakua hivyo na pia ukiolewa mwanaume pia ndio hutoa mali.

    • @kassimmanaramalika8592
      @kassimmanaramalika8592 ปีที่แล้ว +1

      A, Aaaaaa hii ndio haki yetu Na Sisi tuko Radhi kabisaaaa na Sheria zetu za kiislaam usituingile! Ndioo kama ivi wanaojuwa kuowa Na kunyanyasa hawajuwi kuwacha Sheria inamuachisha si umeona Queen uislaam haupindi pindi,Wala uislaam hauna Rushwa,

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Tuache na dini yetu nyie mna dini yenu na sisi tunayetu haikuhusu babu. Alafu uislam umempa cheo kikibwa mwanamke.

    • @ngoni7944
      @ngoni7944 ปีที่แล้ว

      @@malak-lz6kx kivipi? Mbona mwanamme anaweza kumpa talaka mwanamke na mwanamke hawezi kutoa talaka, pia kuhusu kugawa Mali watoto wakiume wanapewa zaidi kuliko wa kike, pia mbona hakuna viongozi wanawake kwenye uislam, mashehe na maimamu ni wanaume, hata misikitini wanawake mnawaficha uani., mnawambia wanawake wa kiislam wajitande mbona nyie wanaume hamjitandi. Tena mnaoa wake wanne wakati mwanamke haruhusiwi kuolewa na wanaume wengi.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      @@ngoni7944 jibu lakwanza mwanamke hawez kutoa talaka kwa sababu yy sio msimamizi wa mwanaume lkn pia anaweza kutoa talaka akiwa kwamba mwanaume anasababu ambazo zinamuumiza nafs yke kukosa raha ya maisha ya ndoa kutokuepo kupitia kwa mashekhe ndio kma hyo mkewe dokta mwaka. Na la pili kwasababu nasab inaenda kwa baba na sio kwa mama kwani ww jna lako ngoni utaitwa ngoni masha si unapewa jna la baba ako istoshe jibu linakuja hivi allah ameeka mwanaume ni msimamiz kwa mwanamke kam baba yko akifa akaacha mali ww mwanaume unapata mara 2 mwanamke mara moja mfano ameacha laki tano mwanaume atapewa laki 3 mwanamke laki 2 kwamba ww umepewa kikubwa uwe ndio msimamizi wke yy laki mbili zke ni nafs yake ww hzo laki 3 akiumwa kumlisha kumvisha unatoa ww sio yy. Alafu kuhusu mwanamke kuwa kiongoz mwanamke kiongoz wapo isipokua hawatakiwi kupaza sauti zao wapo wanaofanya madarsa na kuwasomesha kuhusu dini kuwa elimisha alafu mwanamke ni stara hatakiwi kuwa juu kila sehemu kwani nyie masista wale si wanasehemu maalum na wnaavaa mavaz sio ya kuonesha mwili wao kwamba dini ya kiislamu inampa heshima mwanamke kwamba stara kwake lazima. Kuhusu kuoa wake zaid ya wanne ila allah amekwambia ikiwa unaweza na una uadilifu wa kimaisha na kiafya alafu hii imewekwa kwamba mwanamke anapata period mwanaume akiwa ana hamu si ataenda kwa mke mwengine mwanamke anakuwa na mimba anamambo tofaut anakua nayo . Na kiafya mwanamke anatakiwa asifanye tendo la ndoa kila siku sio afya nzr kwake kwamba mwanamke sehemu zake za siri ukiwa unatumia kila siku zinachoka harka na kuwa muonekano mwengine lkn ww mwanaume huna bikra mwanamke anayo sasa aje mwanamke awe na chini ya wanaume zaid ya mmoja .nikuulize swali tu ww utaruhusu mkeo awe na mwanaume mwengine wakufanya nae tendo la ndoa

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 ปีที่แล้ว +3

    Nazani kama ulioa kwakufuata shelia yadini basi angalia dini inasemaje kuhusu ndoa nasheliazake utajua muongozo ukoje hiki unachofanya unatokakwenye misingiyadini muogopemungu natendahakipale inapopaswa

  • @mzamirmfuruki6668
    @mzamirmfuruki6668 ปีที่แล้ว +1

    Mwaka raana inakusumbua tu!Ww ndie unavuna ulichopanda maisha yako umeyajenga hivyo,unapenda sifa zisizo na naama kwanza Huna elimu ya Dini zaid ya hayo maneno machache unayoyataja kwa lugha ya kiarabu haya unaita mitandao na unajiita ww ni muumin hujui ofisi za Bakwata zilipo au ofisi ya Mufti ilipo!Punguza Show off!

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 ปีที่แล้ว +9

    Queen anatakiwa Baba 🤣🤣🤣🤣

  • @adalishaibu4433
    @adalishaibu4433 ปีที่แล้ว

    Wewe dokta mwaka mshenzi kwenda zako usiuaribu uislam wetu

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 ปีที่แล้ว +33

    3. Popote mtakapoenda mkeo atakuwa mshindi kwasababu tu hataki
    4. Kitendo cha mkeo kushinda kinaleta tafsiri kuwa wewe unalazimisha mapenzi kitu ambacho wewe unapigania taratibu
    5. Wanawake by nature sio watu wenye uoni mkubwa wa mbali Kama huyo mkeo japo sijamsikiliza saana hoja zake kubwa unapopishana na mwanamke jst get cool for some while
    6. Jambo lengine unaongea fact but unataja vitengo vingi Kwa wakati mmoja , mufti, qaadhi, haiat ulaamaa
    Kitu ambacho hizo department zengine hazifanyi kazi ya uqaadhi but wanakazi labda za kufutu masaala na mfano wake
    7. Andika barua kwenda kwenye tanzu tofauti ili kulipush Jambo lako ni educative way more than the way you move cs you can't learn from wrong doers

    • @nyungurehassan2779
      @nyungurehassan2779 ปีที่แล้ว

      Wewe unjua huy hatuelewani kwnn uwehakimu? wahivyo mmmmmmmm

    • @tonygee5680
      @tonygee5680 ปีที่แล้ว

      Kabisaa

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 ปีที่แล้ว +1

      Ameshasema hana tatizo la kumuacha yule Mwanamke. Alikuwa tayari pamoja hakutaka yeye amuache. Anampenda lakini hataki kuishi naye.
      Lakini Mwanamke kwenye Uislamu anaweza kumuacha mwanamme kwa kusema tu na kumrudishia Maali yake na kusema. Ila unajua adhabu za Allah kwa mwanamke anaye muacha Mwanamme kwa mambo ya kidunia?? Pamoja Mwanamke hana Haqqi yankutoa taraka kwani taraka iko kwa Mwanaume. Kwani hakuna Nwanamke au Wanawake walioomba taraka kwa kurudisha maali yake wakati wa mtume Muhammed SAW na maswahaba ?? Ndio maana Mwanaume akapewa Haqqi yankutoa taraka wewe Maulidi usiwe kama Kuffar. Kwa sababu angalau sisi tuna logic and thinking via our brain not emotions. Una uhakika mwanamke alikuwa hapati matumizi wewe??
      Wanawake wengi sasa hivi wanaangalia Maslahi ndugu yangu. Kama hauna kitu kwangu pakavu tia mchuzi, wala usijali kwani huna kitu anyway. Lakini kama una hali nzuri ya kiuchumi, kiwa mwangalifu ndugu yangu.
      Huyu Mwanamke ni Gold digger na ana ndugu wale ukiwaangalia wote they are after money and wealth.
      Mali ni za Dokta Mwaka na akiamua kumpa chochote yule mwanamke kwa sababu tu tuachane kwa wema tu. Watoto wake dokta mwaka ni wakubwa above 7 years old. Anaweza kuishi nao na yule mwanamke kutambaa zake.
      Pili, dokta Mwaka amesham replace yule Mwanamke na alikuwa tayari amepanga kumuacha lakini kuna issue za mali kwani yule Mwanamke alikuwa amekabidhiwa mali ambazo zina fungamana na watoto wengine. Kwanza mtu wenyewe ameshakuwa mzee yule. Dokta mwaka ameshakamata katoto kazuri, kabichi cha miaka 20s huko...😂😂😂😂. Kudadeki..... High Value Man always has options. Wewe ukisusa watu wanakubadilisha tu.
      Marekani na Ulaya watu kama akina dokta Mwaka, wanawa sainisha Wanawake zao kitu kinachoitwa PRENUP PAPERS. Yaani, ikitokea ndoa imekufa, Mwanamke anaondoka na nguo zake kama alivyokuja tu. Kwani wanaume wamechoka kudhulumiwa mali kutokana na kisingizio cha ndoa. A lot of men in the western countries, lost everything because of divorce. Tena huko nwanamke amepewa taraka mkononi. Wanawaacha Waume zao right and left. Women walk away with kids, money and wealth. Men remain bankrupt. Tena hapo bado child support and spouse support on top of it. Sisi tuna geza tu.
      I know these kinds of women.
      They are Gold digger..... Wanakuzalia watoto wawili au watatu na halafu wanasingizia huwapi matumizi, unawanyanyasa , umpendi au sababu yeyote ile na kudhalilisha mbele za watu kama vile.
      Bora Mwaka afuate sheria aliache lile zee na kuleta chombo kipya. Wazuri wanazaliwa kila siku.
      Hata mimi wacha nikaongeze Mke wa 3 sasa hivi. ... 😋😋😋😋😋
      Yule mwanamke sio mpumbavu anajua adhabu ya

    • @cheka480
      @cheka480 ปีที่แล้ว +1

      @@hamidudongo1879 hakuna atakaeingia kaburini kijana, jaribu kuangalia vidole vya mkono uloumbiwa na Allah

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว

      💯%

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 ปีที่แล้ว

    Daaaah nashangaa saaana, ndoa inashinikizwa kuachanishwa hasa na viongozi wa kiislam, badala ya kuunganisha ndoa ya Dr, acheni umate umate kwenye ndoa za watu.

  • @henrymushi8340
    @henrymushi8340 ปีที่แล้ว +8

    Huyu jamaa anajifanya kufundisha Mambo ya ndoa,kumbe anamnyanyasa mke asee ni hatari,usimwamini mtu

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว

      Ndomana watu tunaambia tuache kuangalia watu kwenye TV wakitufundisha ndoa wakati wao awajaolewa

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 ปีที่แล้ว

    Kwani unalazima gani na huyo mke wakati wewe mwenyewe yasemekana umetelekeza family yako kwa kila kitu. Mpe talaka yake na maisha yasonge mbele dr. Kuowana kwa heri na kuachana pia kwa heri na sio vita

  • @safiahassan6121
    @safiahassan6121 ปีที่แล้ว +4

    Hii ndo ile mtu hakutaki na bado hataki kukuona ukiwa kwa mtu mwingine kwasabab anajua yeye ndo mwenye makosa

    • @hassanmohamedi9966
      @hassanmohamedi9966 ปีที่แล้ว

      Yote ni yote Dr Kubali yaishe, Viongozi wetu wa BAKWATA naomba muwe maki I ktk kufanya maamuzi hasa yahusiyo ogogoro baina ya mnaotuongoza hasa ya ndoa,mara nyingi mueni wapatanishi ili kujijengea imani na heshima kwetu sisi mnaotuongoza Kwa kweli mnatusimamia vizuri .Endeleeni kusimamia HAKI

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 ปีที่แล้ว

    Dr. Mwache mwanamke aende na maisha yake kama umemkera

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว +6

    Tia talaka unaongea sana kama mwanamke

  • @youandme1593
    @youandme1593 ปีที่แล้ว

    Kwa kiwango chochote ambacho Dr Mwaka amemkosea mke wake hakifikiii kiwango ambacho sheikh wa mkoa kaukosea uislam na waislam!!!He doesn’t deserve to be on that chair!

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 ปีที่แล้ว +5

    baraza halijakosea kaka wameshughurikia tatizo ni wazoefu sana kina Mufti na mashekhe katika mambo hayo na wana hikima.wewe mfuate mke wako mweke sawa anaonekana napenda sana kuheshimiwa na hapendwi tukanwa,ila pole naelewa una machungu na kuachana si jambo jemaa kma ulivyosema,Mungu akupe busara zaid katika hili

    • @manhajsalafafrica
      @manhajsalafafrica ปีที่แล้ว

      Katiba ya Bakwata haimpi mamlaka Sheikh yoyote wa Bakwata kuvunja ndoa,

  • @ameirothman805
    @ameirothman805 ปีที่แล้ว +1

    Stamina kashasema ndoa za bongo zinafungiwa chumbani na zinavunjikia instaa

  • @boaskabate1229
    @boaskabate1229 ปีที่แล้ว +11

    Dr. Mwaka mi naona suluhisho la haya yote ufike foreplan clinic ubungo plaza wakutatulie tatizo lililoko kwny ndoa yako.

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 ปีที่แล้ว

    Mimi ni Mkristo ila Dr. Mwaka ameuliza maswali mazuri sana kwa kuwasaidia waislam japo wengine wanashindwa kumuelewa,sijawahi ona sehemu yoyote Duniani Kiongozi wa dini anatangaza kwenye Press kuvunjika kwa ndoa tena na miwani ya kutoa aibu,pia Kisheria ndoa hiyo haijavunjika mpaka pale mahakama tiakapotamka ndoa imevunjika Bakwata ni sehemu ya Ushahidi tu

  • @mbarikiwambarikiwa6479
    @mbarikiwambarikiwa6479 ปีที่แล้ว +3

    Lkn inavyoonekana mkeo queen hakutaki tena.
    So ni sawa tu kupewa mkeo talaka.

    • @donjb3178
      @donjb3178 ปีที่แล้ว

      Talaka hazitolewi kuolela na kwanza hairuhusiwi kwa Mungu

    • @mbarikiwambarikiwa6479
      @mbarikiwambarikiwa6479 ปีที่แล้ว

      @@donjb3178 mapenzi yakifika mwisho huwa hakuna mjadala ndg, ukilazimisha sn huwa kuna matukio makubwa yanakuja.
      So ni vyema kuachana Tu.

  • @cholombuda1658
    @cholombuda1658 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana doctor mwaka naamini ww sio kama utadhulumika kwa kuachana namkeo ila ulihitaji zaidi amani kwasababu kwanza unaonesha kwamba bado muhitaji mkeo pamoja na watt napia hata mkiachana basi iwe kwakheri sio shari coz mlishazaa watoto watajifunza nn kutoka kwa wazee wao

  • @aminaseif9577
    @aminaseif9577 ปีที่แล้ว +7

    Mwanaume kupe huyu.... Ndoa imekushinda.. Sasa nini keleleeeeee bhana, hebu usituchoshe😄

  • @samsonzablon
    @samsonzablon ปีที่แล้ว +1

    Kisheria, kama sikosei haivunjwi na shehe, wala mchungaji au dini, bali kisheria Ndoa hapa Tanzania inavunjwa na mahakama tu. Mabaraza mengine sheria inawapa fursa ya kushauri na kuwa mashahidi tu kwamba ndoa imevunjika kiasi cha kutokurekebishika. Kama naakosea, tafadhali naomba pia ufafanuzi

  • @ibrahimdotto5234
    @ibrahimdotto5234 ปีที่แล้ว +3

    Don't panic Bro, usingeita press na ww,kwani kwa kufanya hvyo still mgogoro wa Ndoa yako unaufanya uzidi kutrend. Be cool man

  • @amarually5457
    @amarually5457 ปีที่แล้ว

    Pole sana nduguyangu dk mwaka hatamimi nilikutana na shekhe uchwara morogoro alinifanyia hivyo baadae yule mwanamke alikuja kwangu tuludiane nakusema alishawishiwa na shekhe huyo ili baadae aolewe na yeye

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 ปีที่แล้ว +4

    Wewe mpumbavu kuwatusi mashekhe na kuwadharau...mpe haki mkeo acha kupiga mdomo

    • @donjb3178
      @donjb3178 ปีที่แล้ว

      Acha mihemko swala la ndoa ni swala la watu wawili sasa mashekh wako wanaingilia vp, tena kwa kutoa conclusions wameivunja ndoa how comes ni mahakama ndio inayomamlaka ya kuvunja ndoa tena kwa makubaliano ya pande zote mbili na ikitokea pande moja imegoma talaka haitolewi

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 ปีที่แล้ว

      @@donjb3178 kwani ndoa aliji fungisha wepia vipi si hawa viongozi wake wa dini ndio aliwaendea...

    • @tatotato506
      @tatotato506 ปีที่แล้ว

      @@donjb3178 wanaingilia mwanamke ndio kaenda kutoamalalamiko bakwata

    • @donjb3178
      @donjb3178 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanyusuf2401 mfungishaji wa ndoa hana mamlaka yyte kwenye ndoa mana yeye alifungisha tu ndoa na kwa lugha nyepesi naweza sema mfungishaji wa ndoa anakua kama shahidi wa upatanisho kati ya pande mbili lkn tofauti na hapo hana mamlaka nyingine yyte kwenye ndoa

    • @deusisindwa616
      @deusisindwa616 ปีที่แล้ว

      @@donjb3178 ukiachwa achika
      Amekuwa wa kwnza dunian
      Wengi wameshaachwa hafu maisha yanaendelea,,,swala la ndoa mkishindwa kuelewana wawili ndan mkaipeleka kwenye mabalaza hiyo cyo ndoa Tena,,
      Hata mkiipeleka kwenye familia hiyo cyo ndoa,,kat ya wawili hao Kuna mmoja ataongea uongo Ile balaza limuone Hana hatia,,
      Hapo ndo kuvunjika Kwa ndoa,
      Malizanen wawili mukisindwankuelewana bc kila mmoja aangalie maisha yake cyo kujizalilisha,,kila cku alikuwa anajifanya yeye nimushauli wa ndoa nani kakwambia ndoa inaushauli,,nyambafu

  • @lailazahor5462
    @lailazahor5462 ปีที่แล้ว

    Doctar mwaka weee acha maisha yaendeleee ukikataliwa acha kiroho safi usibwabwaje sanna mwanamke akikupenda kanapenda kweli na akikukataa anakataa kweli

  • @jabahmagai9030
    @jabahmagai9030 ปีที่แล้ว +4

    Hapa mwaka imekula kwake.

  • @minaniormar5841
    @minaniormar5841 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba UKO vizuri Kwa hoja

  • @khamiskiandiko2965
    @khamiskiandiko2965 ปีที่แล้ว +4

    Ofisi ya kadhi sio wahuni kwanza inabidi uombe msamaha ndio mufti atakujibu maswali yako bila hivyo sidhani

  • @husnaissa1780
    @husnaissa1780 ปีที่แล้ว

    1. Usilazimishe usikopendwa utakuja kupata donda lisilo tibika .
    2. Kazi kupata akupendae asekupenda achana naye
    3. Usivutwe na tabasamu meno chonge ya simba si tabasamu bali ni cheko la muuaji
    4. Ukanda huu unashida sana kujua kwingi.....

  • @DealDeskPro
    @DealDeskPro ปีที่แล้ว +2

    kiukweli mengi yanaweza kusemwa hapa...lakini swala la kuzungumzia masuala ya ndoa ya mtu katika mitandao ya kijamii regardless what, sio sawa..viongozi wetu wa dini wanapaswa kutumia sana busara kwenye kufanya maamuzi.
    Dr. Mwaka might be a low person kwenye elimu ya dini lakini katika hili, ofisi ya shekhe wetu wa mkoa inapaswa kujitathimini sana katika hili..how comes wanatangaza kuvunjika kwa ndoa ya Dr. Mwaka..it is totally wrong.......

    • @abdallahmgaya7521
      @abdallahmgaya7521 ปีที่แล้ว

      SHEIKH MKUU AMEINGILIA MGOGORO AKIWA NA INTEREST, HAWEZI KUWA HAKIMU WA JAMBO HILO TENA KWA KUTANGAZA KWENYE VYOMBO VYA HABARI.
      HAWA NDIO VIONGOZI WA BAKWATA

  • @dihemwamwenemilao2055
    @dihemwamwenemilao2055 ปีที่แล้ว

    Dr Mwaka upo vzuri umeonekana kama unamuonea mwanamke lakini hawajui mwanamke mpumbavu ukimuolea mwenzie hapendi lakini. Huyu Alhad Musa hana hakili huuyu ni na hafai kua kiongozi wa aina yeyote.....

  • @soudbako5925
    @soudbako5925 ปีที่แล้ว +4

    Mwaka kapigwa na kitu kizito kumbe bado anampenda

  • @abdallahabdulaziz3683
    @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว

    MAHAKAMA haina UWEZO wakuvunja ndoa ya kiislamu sababu SHERIA ni tofauti na Kama wakuvunja NI lazima watumie Islamic law, we Kama unaweza nenda mahakama ya kawaida ukakate rufaa mgawane nusu kwa nusu Kama hukumu ya kiislamu huitaki.