Nilimnyang'anya Kikwete Mic Nikamzuia Kuongea - Dr Slaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Dr Willibrod Slaa kwenye mahojiano maalum na Power Breakfast ya Clouds FM

ความคิดเห็น • 23

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpuuzi Sana huyu Mzee.

  • @MariamMasunga-v7n
    @MariamMasunga-v7n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnafiki namba moja

  • @ibrahimmbarouk1564
    @ibrahimmbarouk1564 2 หลายเดือนก่อน

    Hata hapo anaendelea kupiga siasa, mzee Slaa yeye ilimradi Tonge iende kinywani -ukamnyang'anye rais kipaza sauti hao walinzi hawajamparuza na hiyo ndiyo ingekuwa habari ya kutrend isiyosahalika...!

  • @zumbembwana5693
    @zumbembwana5693 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dr. anaongea uongo! Founder wa ccbrt ni mdachi mmoja anaitwa Vanestee. Labda aseme yeye ni co-founder kwa kuwa Vanestee alikuwa ni foreigner.

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 2 หลายเดือนก่อน +1

    TUNAKUELEWA MZEE. FUNGUA CHAMA NA TUKO NYUMA YAKO.

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 2 หลายเดือนก่อน

    anaenda na upepo huyu mzee hatabiliki wala hatumwamini kabsa

  • @LeiyoKippi
    @LeiyoKippi 2 หลายเดือนก่อน

    Mbn ulikimbia kwa ability kuhongwa na ccm

  • @AssociationofPhilosophy
    @AssociationofPhilosophy 2 หลายเดือนก่อน +1

    CCBRT
    HONGERA SANA

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 2 หลายเดือนก่อน

      Ni yake au?

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pazuri ndio umepakata.

  • @yusufkisome639
    @yusufkisome639 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa Lakini Umekwisha KABISA kisiasa.

  • @AMBROSIJOSEPH-qc7xo
    @AMBROSIJOSEPH-qc7xo 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu wote wapigaji tu

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee mhuni tu

  • @Myunani_DivineStudios
    @Myunani_DivineStudios 2 หลายเดือนก่อน

    Tutatambuana mbele matembezini😂

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 2 หลายเดือนก่อน

    Muongo huyo

  • @rashidsuleiman9253
    @rashidsuleiman9253 2 หลายเดือนก่อน +2

    katika wazee wapuuzi huyu ni mmoja wapo.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 หลายเดือนก่อน +2

      Uwezi kuwa kusema fulani mchawi bila ya kuwa na wewe mchawi. Kudi la wapuuzi utakuwemo?

    • @adamlubawa1281
      @adamlubawa1281 2 หลายเดือนก่อน +1

      Saaana yaani hajielewi

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 2 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli ni punguani

    • @corporatethugsent7380
      @corporatethugsent7380 2 หลายเดือนก่อน

      Mwanangu sure aseenagonga like kwako.ni kweli anejituma mengi kuliko kawaida but ni mzee mmoja mavi sana kwa ile kitu alotulostisha watanzania duni mwaka 2015.yan ata atage anye akojoe hatakuja kushinda kuushinda ule uchaguzi ...emb acha nkasikilize ngoma yangu ya Chief Duke na Niki mbishi na Beka asee sio ushenzi huu wa kujifanya fundi wa maelimu na ujuaji wakati kiila simu wasomi wabaturudisha tuu nyuma acha ni baki na risasi za tundu lissu nijue kuna mungu na kuokoka kwa Mpina kumfata mungu japo alikua mule mule but hata bangi hua inaachwa big up mpina but slaa haachi usenge wake miaka nenda rudi.adi inaboa kutupa vitukio vyake vya ushujaa vilivopitaga kitamboo wakati mwisho alisaliti tuu kisa demu wake

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 2 หลายเดือนก่อน

      Kama ulijaliwa kwenda shule usingesema hayo

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 2 หลายเดือนก่อน

    HUNA jipya

  • @rashidsaid6015
    @rashidsaid6015 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli mzee slaa lkn hiyo kumpoka maiki io kwel hakun anaethubuty kwa mfumo.wa nchi.hii