Injili ya Luka Sura ya 19-23

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Huduma na kazi ya Yesu ilifikia kileleni katika wiki tatanishi wakiingia katika sherehe za pasaka. Katika video hii tutaangazia Injili ya Luka sura za 19-23 na jinsi ilivyotokea kwamba Yesu asiye na hatia aliishia kuadhibiwa kwa kifo kama mwasi wa mapinduzi dhidi ya Rumi. Pia tutaona jinsi Yesu hakushangazwa hata kidogo, kwa sababu aliamini kuwa kifo chake kingeleta mustakabali mpya kwa Israeli na watu wote.
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA
    #BibleProject #Biblia #Luka

ความคิดเห็น •