Dr. Chris Mauki: Mbinu 4 za kupona haraka penzi linapo vunjika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Je unahangaika sana kwa sababu tu penzi lako limevunjika? Unashindwa kulala au kula? Maisha hayaendi? Jibu ninalo hapa. Hizi hapa mbinu 4 za kupona penzi linapo vunjika.
    #DrChrisMauki#Kupona#PenziKuvunjika

ความคิดเห็น • 124

  • @irenekyando4429
    @irenekyando4429 2 ปีที่แล้ว +5

    Kama ningeijua hii Chanel mapema nisingekua mtu wa kujihukumu but namshukuru Mungu niliijua katika wakati sahihi God bless you doctor Chris

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว +8

    Asante Sana mungu akupe heri siku zote,nimepona na naendelea kuishi nae ingawa kila mtu anaishi Maisha yake,umenikomboa mauki🙏🙏

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว +3

    No 1,,,pekee ni jambo zur sana,,,,, jiambie mwenyewe, lazma maisha yaendeleee❤️

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa samehe alafu achiliia kumbeba yaani nenda zako kajichanganye michenzoni huko pambana na kazi Toka nje watu wakuone utaipata mwingine usijifungie kaa vinzuri kuliko mwanzo

  • @MercyTracy-k2m
    @MercyTracy-k2m 2 หลายเดือนก่อน +1

    I have learn a lesson through this..🔥🔥🔥

  • @centrinewereh-xd2qd
    @centrinewereh-xd2qd ปีที่แล้ว

    Napenda ushauri wako ni WA thamana sana,,nmekua nikikufuatilia sana,,mungu akubariki sana 💝💝

  • @Patrickmcharo63
    @Patrickmcharo63 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kaka umenisaidia mnoo

  • @odiliagwivaha6326
    @odiliagwivaha6326 ปีที่แล้ว

    Thanks najifunza mengi kutoka kwako God bless you and your family

  • @lydiaedwin6911
    @lydiaedwin6911 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana kaka angu

  • @neemamatto8749
    @neemamatto8749 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana Dr umenitia moyo...umenipa moyo wa kusonga mbele ..mungu akubariki sana

  • @MariamBilali-gu4ql
    @MariamBilali-gu4ql ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka mungu akujaalie kila la kher umenibadilisha sanaa

  • @Busweluhardware
    @Busweluhardware ปีที่แล้ว +1

    Hii ya kukaa ndani inaumiza sana

  • @rozinahedwin5811
    @rozinahedwin5811 2 ปีที่แล้ว

    Amina mungu akufanye kuwa kichwa na si mkia kaka.

  • @beatriceakinyi8084
    @beatriceakinyi8084 2 ปีที่แล้ว

    Nafundisho zako inanisaidia sana,asente mungu akubariki sana.

  • @SuzanaNkumba
    @SuzanaNkumba 6 หลายเดือนก่อน

    Asante baba MUNGU akubariki sana its me suzie

  • @HappynessRafael
    @HappynessRafael หลายเดือนก่อน

    Mung akupe maisha marefu

  • @shakylahamad8326
    @shakylahamad8326 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana maana leo hii nimeshaachana na mpenz wang

  • @AshuraNzeyimana
    @AshuraNzeyimana ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kak yangu

  • @TwigaTechnology
    @TwigaTechnology 2 หลายเดือนก่อน

    Mke wangu kaniachia g'alfa sina kosa. Nasikia yuko na mtu mwingine naumia sana tena sana. Nimemwachia Mungu tu apambane naye

  • @salamasalama7140
    @salamasalama7140 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda wewe kaka wallah kwa ushauri wako

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  2 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว

    Aksante ndugu kwa ushaur

  • @RichSilayo-t4v
    @RichSilayo-t4v หลายเดือนก่อน

    Kweli lazima maisha yaenderee

  • @sophiajackson5001
    @sophiajackson5001 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni akubariki sana kaka Mauki

  • @alimkumba9459
    @alimkumba9459 2 ปีที่แล้ว

    mungu akuweke kaka tunajifunza sana kupitia wewe

  • @marryurio8661
    @marryurio8661 ปีที่แล้ว

    Brooo ishi miaka mingi mungu akutunze🙏🙏🙏

  • @taucseif851
    @taucseif851 ปีที่แล้ว +2

    Chris nashindwa kusamehe sijui nifanye nn jmn

  • @sallyraidan6867
    @sallyraidan6867 2 ปีที่แล้ว

    My best channel Ever... thank you chriss you tought me alot..😘

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  2 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana sana kutazama. Natumaini ume subscribe tayari rafiki

    • @happyelibariki6013
      @happyelibariki6013 2 ปีที่แล้ว

      Dah 😭😭😭nmejifunz vit ving aisee npo kwny wakati mgum

  • @bensontemu9356
    @bensontemu9356 2 ปีที่แล้ว

    Shukrani

  • @SylvieSalma
    @SylvieSalma 4 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mpnz jamn ivo mnavosema tofauti kwakwel kama umeingia deep katika kupenda ila kilakitu kinawezekana watu wanapata uchiz kwakupenda dah noma sana

  • @asmaally9298
    @asmaally9298 2 ปีที่แล้ว +9

    Daah,mume wngu ameniacha cjamaliza eda bado juzi ijumaa kaoa kaniacha na mtoto naumia hana hata Salam wala huduma lakini nitajitahidi😔😔😔

  • @doreenjuma-fo4ql
    @doreenjuma-fo4ql 10 หลายเดือนก่อน

    Asntsa mmi nimeuzwasana

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 2 ปีที่แล้ว

    Swadakta

  • @catherinenasambu5366
    @catherinenasambu5366 2 ปีที่แล้ว

    Point taken ...alot thxz boss

  • @happyfaniaikamika5695
    @happyfaniaikamika5695 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @marthamtui8068
    @marthamtui8068 2 ปีที่แล้ว

    Chris mauki

  • @marthamtui8068
    @marthamtui8068 2 ปีที่แล้ว

    Samehe

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 4 หลายเดือนก่อน

    Mie mwanmme nilipenda kichizi ila nilichitiwa na kitu kilichonifanya niweze kuachana nae nilikua kila nikikumbuka daimond kachana na hamisa mobeto jins alivokua mzur basi najikuta na mm naweza kumuacha pengine ntapata mwemgine kama zuchu

    • @pendojoram6039
      @pendojoram6039 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 umeanza vzr ila huku chin umenichekesha, samahan lkn kpenz

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 ปีที่แล้ว +1

    Nimeachilia kutoka Moyon
    Mwangu....

  • @MajidAbdullah-p9s
    @MajidAbdullah-p9s หลายเดือนก่อน

    Tanks 4 ur advice broo

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula4783 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsate dk mauki. Mm.sijawahi kujuta hata siku moja.kukusikiliza.

  • @Itc_tiffany_
    @Itc_tiffany_ 14 วันที่ผ่านมา

    Thanks a lot bro ,

  • @BUCHOSAONLINETV
    @BUCHOSAONLINETV 2 ปีที่แล้ว +4

    Usikute bro Chris mwenyew ukiachwa reaction yako n balaa....but so thanks....

  • @seifthani8468
    @seifthani8468 2 ปีที่แล้ว +2

    Nashkur sana kwahili somo, kwasbb mm nimuhanga mana mahusiano yangu yamevunjika mwezi mmoja tu uliopita lkn kila nikifikiria bado moyo unaniuma sana mana sikutarajia kwakweli

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  2 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana sana kutazama. Natumaini ume subscribe tayari rafiki

    • @AsiaRamadhan-c8b
      @AsiaRamadhan-c8b ปีที่แล้ว +1

      Asante sana mpendwa nina changamoto kubwa sana katika mahusiano yangu ila nimejifunza kitu kutoka kwako

  • @BenaDeta-ks5lb
    @BenaDeta-ks5lb 2 หลายเดือนก่อน

    Nina mimba yake alafu kaniacha nifanyaje

  • @samkaskakongesaja-boy7837
    @samkaskakongesaja-boy7837 2 ปีที่แล้ว

    On Point

  • @mwanas2
    @mwanas2 23 วันที่ผ่านมา

    Thanks nimejifunza apa sana

  • @eutropiamansweth899
    @eutropiamansweth899 2 ปีที่แล้ว

    Nimepona sehemu kubwa ubarikiwe mno Dr. Lakin npo karb nae lakn Kila nkimuona moyo wangu unaniuma sana

  • @GeophreyTanzania
    @GeophreyTanzania 11 หลายเดือนก่อน

    Ni muda mrefu tangu moyo wangu uumie nime kuja hapa nikiwa nime umia tena 20-10-2023

  • @TundaEmanuel-ns8kj
    @TundaEmanuel-ns8kj หลายเดือนก่อน

  • @abdulazizramadhan5119
    @abdulazizramadhan5119 2 ปีที่แล้ว

    Dr.shukran kuna kitu ntakuomba unishauri ntakucheki inbox ngoja nitulie kidogo

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sanaa

  • @hadijahamisi3359
    @hadijahamisi3359 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki sana

  • @MercyTracy-k2m
    @MercyTracy-k2m 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa hii point👉 jichanganye...

  • @monicampokwa441
    @monicampokwa441 2 ปีที่แล้ว

    Yaan kk cjui nikushukuru vip.Unanipa faraja Sana ubarikiwe

  • @jackliinenjau2042
    @jackliinenjau2042 2 ปีที่แล้ว

    Napt moy kwa mafunz yk niilikt tamaa san mung akubarik

  • @HadijaKidunda
    @HadijaKidunda 9 หลายเดือนก่อน

    Salute kwako Doctor 🙏🙏 nakukubali sana

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana my brother from another mother hakika umenitoa mbali

  • @joycemponda8486
    @joycemponda8486 2 ปีที่แล้ว +1

    Namshukuru Mungu nimepona moyo wangu

  • @zeynabahmed3578
    @zeynabahmed3578 3 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana Ubarikiwe😢

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Hongera happynes hapa lazima upone

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว

    Hakuna mkamilifu, bora kusamehe

  • @fetyalmas698
    @fetyalmas698 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan km vile unaniambia mie

  • @amanially5834
    @amanially5834 ปีที่แล้ว

    Daaah Mauki umenisaidia sana kaka thanx

  • @HawaMatona
    @HawaMatona 5 หลายเดือนก่อน

    Asante nimejifunza kitu

  • @shamumaabdallah-je3dh
    @shamumaabdallah-je3dh ปีที่แล้ว

    Asante Dr kwa ushauri wako nimeshasamehe

  • @MadlyneDaudi
    @MadlyneDaudi 5 หลายเดือนก่อน

    Be blessed

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว

    Yes,,,, uko sawa kabisa ushaur konk

  • @merryrichard6211
    @merryrichard6211 ปีที่แล้ว

    Daah wewe baba uko vizuri ubarikiwe

  • @saidothman4527
    @saidothman4527 3 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa kaka

  • @ummufeysal6353
    @ummufeysal6353 ปีที่แล้ว

    Thank you doctor Mungu Akuweke

  • @RaheliJohn
    @RaheliJohn 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana🙏

  • @tarasila6148
    @tarasila6148 ปีที่แล้ว

    Doctor nisaidie niko kwa wakati mugumu Sana baada ya mpenzi wangu kuniaza kwa sababu ya rafiki yangu wa ndani na kuingia nae kwenye mausiano na kuniaza Mimi..naumia sana

  • @nellas_de_drizzy4170
    @nellas_de_drizzy4170 ปีที่แล้ว

    Habari yako kaka Chris mauki naitwa Isack nimeachana na mpenzi wangu baada ya kugundua kuwa hanipendi tena mapenzi yamekufa hayapo tena kwangu mawasiliano amekata anitafuti tena wala kunijulia hali yangu hanijulii lakini bado nampenda sana nifanyaje kaka yangu

  • @Kurthumabdul-u2n
    @Kurthumabdul-u2n 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana mauki.

  • @eliethjenifa
    @eliethjenifa 11 หลายเดือนก่อน

    asantee

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว

    Ushaur konk, 👍👍👍👍👍👍👍👍👍❤️👍

  • @judicalucas597
    @judicalucas597 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki hakika umekuwa msaada kwangu

  • @doreenjuma-fo4ql
    @doreenjuma-fo4ql 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubilki

  • @janethshedrack1215
    @janethshedrack1215 2 ปีที่แล้ว

    Ameni najifunza sana kwako Dr.

  • @esthermassay-z4w
    @esthermassay-z4w 9 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 2 ปีที่แล้ว

    Asntee

  • @mwanaidimshana7596
    @mwanaidimshana7596 ปีที่แล้ว

    Asante kaka yangu

  • @joycemponda8486
    @joycemponda8486 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana mtumishi wa mungu

  • @priscamhina7550
    @priscamhina7550 2 ปีที่แล้ว

    Thanks bro god bless u

  • @kekekelly1299
    @kekekelly1299 2 ปีที่แล้ว +1

    Asant san Dr Chris🙏

  • @AnnaYombo
    @AnnaYombo ปีที่แล้ว

    😢

  • @janethmgeta4912
    @janethmgeta4912 2 ปีที่แล้ว

    Asante sanaa kakaa

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว +2

    Kikubwa kusamehe, na maisha yaendeleee

  • @twilumbageorge5426
    @twilumbageorge5426 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana!

  • @arianashuma2768
    @arianashuma2768 2 ปีที่แล้ว +1

    Dr nabarikiwa Sana na mafundisho yako mungu azidi kukuweka najifunza vitu vipya kila siku kutoka kwako🙌🙌🙌🙌

  • @bensontemu9356
    @bensontemu9356 2 ปีที่แล้ว

    Shukrani

    • @lilianiatieno1138
      @lilianiatieno1138 2 ปีที่แล้ว

      Yaani doct nacheka mpaka basi japo inauma

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 2 ปีที่แล้ว

    Merci beaucoup

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  2 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana sana kutazama. Natumaini ume subscribe tayari rafiki. Merci

    • @nahishakiyeassuman5541
      @nahishakiyeassuman5541 2 ปีที่แล้ว

      D'accord mauki

    • @nahishakiyeassuman5541
      @nahishakiyeassuman5541 2 ปีที่แล้ว +1

      Doctor Mimi nilikuwa na mwezangu sasa basi ani najikuta Sana Nina maumivu Sana katika moyo wangu kwakweli