Dr.mauki masomo yako ninayaelewa na kuyapenda Kwan bado ni kujana mdogo na mwenye safar ndefu katika maisha maisha niliyonayo sas samahan naomba urafiki na ukaribu wak hata wa kimawasiliano yako ili kupata mtindo mzur wa kimaisha katik safar yang kipnd cha uhai wang Naomba hvy kam hutojal pia naamin ww n mtu muhm na rafik bora ktk maisha ya vijana weng 🙏🙏🙏🙏😔
Thank you Dr. Chris, kweli umesave mahusiano yangu. Leo nilishapanga mizigo yangu iliniachane na mwenzangu lakini somo lako hili limenifanya nibadili maamuzi
Maswali kabla ya kuachana 1.kuna uhalisia au ni hisia kama hisia badae utashindwa kuendelea 2.je nipo tayari nipo tayari kuishi bila yeye 3.nitapoteza nn nikiruhusu kuachana nae 4.naweza kupata alie bora zaidi 5.je kuna chochote cha mm kujirekebisha
Dr Nina mme wangu A nafanya kazi oman, toka ameondoka mawasiliano yanakuaga ya shida Sana kila nikimpigia anasema subir kidogo naumia Sana aliipata likizo a kaja Tanzania, amebadilika Sana hata tendo la ndoa hafanyi kama zaman,, Hana hamu na mimi kabisa, Dr ni fanyeje, tumezaa watoto wawili
Nikweli Dr Chris Mauki....somo nzuri....kwakweli inachukuwaga mda sana kuwamuwa kuwachana namtu ambaye unampenda....mawazo yakuwachana na mpenzi wangu yalikuwepo before I gave birth to 2 kids with him.....nilivyo zaa mwanangu wapiri ndipo mawazo yalitimiya
tangu nilipoanza kufatilia huyu Leo tu nime enjoy San hii channel alafu nimeumia San niliachanaka nampenzi bila sababu ila leo hii najuta had sina ata hamu yakuingia ku mausiano 😭🙏Asante San kwa Ushauri Dr muki 🙏🙏
Yan mda huu nilikua nafikiria kuondoka katka ndoa doctor...naingia youtube nakutana na hii kitu..........daah!!! Kuna vitu umevisema duuh...ahsantee.sana.
Atukuzwe Mungu kwaajili ya Dr. mauki.... Kusudi la Mungu lizidi kuimarika katika maisha yako... Mungu akutunze sana na uzao wako kaka Chris Mauki
Jamani we dokt mungu akutunze siwezi ongea zaidi maan nikm unaishi na mm
for real kuna namna napata ujasiri ss wa kuamua baada ya kusikiliza hii content, thank u
Dr. Chris asante saana umenituliza akili leo ndo nilkuwa kuachana 🙏
Mungu akubariki sana Dr pia god bless akupe maisha marefu kwasababu unafanya vizuri sana kuelimisha sisi tusojua🙏🙏
Nimekuelew Dr chrismauki mungu akulind na nakuombea uish miak miaaah❤❤❤
Dr chrismauki mamb unayoyazungumz niyakwel. Mung akibark my brther❤
Mungu aendelee kukutumia Dr.
Hakika Dr ninakushukur sana topics zako ni nzuri sana, hongera sana!!!!
Dr its my first time to learn with you I real enjoy your lesson and I am about to stand and fight for my family be blessed
Mungu akutunze sana D Chris mungu akupe maisha marefu sana 🙏❤️❤️❤️
Thanks brother for a good lesson, imenipa nguvu sana
Dr.mauki masomo yako ninayaelewa na kuyapenda Kwan bado ni kujana mdogo na mwenye safar ndefu katika maisha maisha niliyonayo sas samahan naomba urafiki na ukaribu wak hata wa kimawasiliano yako ili kupata mtindo mzur wa kimaisha katik safar yang kipnd cha uhai wang
Naomba hvy kam hutojal pia naamin ww n mtu muhm na rafik bora ktk maisha ya vijana weng
🙏🙏🙏🙏😔
Yaaani nilikuwa kwenye process lakini kupitia SoMo nimejifunza na sitaondoka tena Asante baba
Napenda sana mashauri yako mungu akubari
Asante.kwa ushauri. wako. Dr. chriis. mauki. ubalikiwe
Kweli Dr umeongea vizuri God bless u
Mungu akutunze sana 🙏
Asante baba mungu akubariki ,ninamaumivu ya kutosha ila kwa SoMo lako nipata nimepata majibu .
Shukrani Dr alitaka nimuache mtu lkn kuishi bila yeye sitoweza nimeshapata jibu
Umenifunza Ving sana bro Chris Mauki
Baba yangu mungu akulinde sana
Wao amaizing soma lile la kuzitekq akili za mpenzi wako limenibadilshqqq
Thank you Dr. Chris, kweli umesave mahusiano yangu. Leo nilishapanga mizigo yangu iliniachane na mwenzangu lakini somo lako hili limenifanya nibadili maamuzi
Perfect blessed in abundance uishi saana jmn duh🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asahnte sana kaka
Asante kwa funzo zuri. Nimekuelewa sana
Très sage mon frère que Dieu vous bénisse abondamment.🙏🇨🇩
Yani kuna mtu namuacha leo baada ya hii video,thank you so much Mauki
Jinaaaa😂😂😂😂
Somo nzuri sana, Shukran kaka
Thanks dr. MAUKI..
Maswali kabla ya kuachana
1.kuna uhalisia au ni hisia kama hisia badae utashindwa kuendelea
2.je nipo tayari nipo tayari kuishi bila yeye
3.nitapoteza nn nikiruhusu kuachana nae
4.naweza kupata alie bora zaidi
5.je kuna chochote cha mm kujirekebisha
Asante an Dr. kukuona inagharimu bei gani kwa ushauri wa kisaikologia?
Mungu akubariki kaka
Asante sana kaka nimejifunza kitu hapa.
Mungu akuweke sana Chris mauki
Jmn ubarikiwe sana 😢😢😢😢😢
Najifunza mengi sana kupitia ww mengi mno uishi sana Kaka barikiwa
Masha allah shukran may allah bless u more dr u doing great job 😍💯👏👍🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1kaka munguakubariki saana naomba unisaidie ushauli nakimaombipia kunamtu nampenda saana lakini nimemzidi umli miaka 14 lakini nampenda nufanyeje? Kaka NIFANYEJE
Nilitaka kuzama asante MUNGU akubariki umeniokoa mapema doctor
Dr nashukuru kwa ushauli wko mungu akubariki sana
Nimekuelewa asante
Thanks... always building me both emotionally and mentally, God bless you Dr.
Ahsante sana DR
Asante sana kaka nimejifunza kitu
Barikiwa Sana, nimekosa kk.
Dr Nina mme wangu A nafanya kazi oman, toka ameondoka mawasiliano yanakuaga ya shida Sana kila nikimpigia anasema subir kidogo naumia Sana aliipata likizo a kaja Tanzania, amebadilika Sana hata tendo la ndoa hafanyi kama zaman,, Hana hamu na mimi kabisa, Dr ni fanyeje, tumezaa watoto wawili
Kasha Pata uko oman Dada siku izi wanaoa ukouko kimyakimya walishapata kubali kutoka ubalozin niko Oman nayaona Dada pole sana
Asante sana Dr ubalikiwe
Kweli kabisa Hana umuhimu wowote kwangu
Really fact stated, be blessed Dr.
Brother nimepona ktk hili mungu akulinde sanaaaah
Mungu akubaliki Sana ndugu yangu
Nmejifunz sanaaaaa❤❤❤❤
Thanks a lot man of GOD🙏
Barikiwa sana
Hii topic kama umeniandalia mm ubatikiwe sana
Nimekuelewa kaka angu mungu akutunze,
Asante kwa somo
Dr mm kila ninachohisi kupoteza bado haoni! Ndo anachukua udhaifu wangu wa hofu ya kupoteza kama fimbo ya kunipigia!
Nimebarikiea Saudi na kipengele cha kujirekebisha,maana naamini mi pia sio Malika Nina mapungufu yangu ,barikiea zaidi Dr
Umenitia moyo Dr
Dr Naomba Namba unisaidie zaidi
Mm nampenda sana tulikwazana kidogo kakaa kimya na mm nimekaa kimya
😂😂😂😂😂
Sounds is great whaooooo
Miminataka kumuacha nifuate maisha yangu nitafte pesatu 👬👭💏💑
Umesomeka Kaka👍
Kazi nzuri Dr,mungu akubariki sana uzidi kutuletea masomo mazuri
Somo nzuri dk but naomba kuuliza swali private
Brother upo vizuri sana
Thank you doctor,,,be blessed tunaokota chochote mola akubleee🤲🤲🤣🤣🤣🤣
Asante kwa elimu. Mungu akubariki.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Shukrani sana dokta
Inachosha kujipendekeza
I wish ungekuwa live ningekuuliza maswali
Shukran Dr. Tumebarikiwa kwakweli naweza pata no yako.
Kaka uko vizuri kwa mafundisho yako
Nikweli Dr Chris Mauki....somo nzuri....kwakweli inachukuwaga mda sana kuwamuwa kuwachana namtu ambaye unampenda....mawazo yakuwachana na mpenzi wangu yalikuwepo before I gave birth to 2 kids with him.....nilivyo zaa mwanangu wapiri ndipo mawazo yalitimiya
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Umenisusa sana dr mm hii hali inantokea mnoo
Upo vzr doctor thanks alot
Asante kwa somo taaamuu@ Prof.CMauki.Mungu akubariki sana
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1 duuh Dr nimrjifunza kitu na n fact kabisa kW hya uliyosema mungu akubariki
@@kudelysokoine8089 asantee kwa xomo zuriiii na mungu akubariki
Ukijishusha mateso yanazidi
tangu nilipoanza kufatilia huyu Leo tu nime enjoy San hii channel alafu nimeumia San niliachanaka nampenzi bila sababu ila leo hii najuta had sina ata hamu yakuingia ku mausiano 😭🙏Asante San kwa Ushauri Dr muki 🙏🙏
Thankx
Hili somo linagusa mnooo. Aksante sana Dr.
Asante
Amina dr umeniponya
Nimekubar mkuu
Yan mda huu nilikua nafikiria kuondoka katka ndoa doctor...naingia youtube nakutana na hii kitu..........daah!!! Kuna vitu umevisema duuh...ahsantee.sana.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Nashukuru
Duu!!! Unasema jamani 😢dockt da!! Uyu mwanaume anatamaa mno
Nimecheka kwa sauti kubwa, Mungu atusaidie
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1 mzee me nashida yakukuona nasijui nakuonaje
@@amanpeter845 piga 0713407182
Mungu akubariki kwa kutuelimisha kwa mafundisho na ushauri ktk maisha marefu ya mahusiano 🤲🙏🤐👏❤️
Hiyo point ya tano wengi tunafeli hapo
Mwanaume sio ........mtu wa kujielza Sana
Uamuzi ukitoka umetoka
nimejiuliza jibu ni yes i can do thi
Dr.Chris Mauki asante sana🙏🙏🙏
Salute kwako bro
Mim nmemuacha abadilike je npo sahihi
kazi mzuri ndugu ubarikiwe
Very Smart
Nimeelewa
Unaweza kuishi bila yeye
Je nitapoteza nini endapo ntaachana nae
Je,Ninaweza kumpata aliebora zaid
Je kuna chochote chamimi kujirekebisha
Asante sana kwa maswali haya God bless you
Mbona km umenisema mm Doctor🥲🥲mana ndo nilikuw nawaza kuachana na mpnz wng mana simuelew hata