Dr. Chris Mauki: Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 379

  • @maygasper-uw5bo
    @maygasper-uw5bo ปีที่แล้ว +8

    Asantee sana kaka nimejifunz sana yaaan umeniongelea mimi kabisa hizo mambo 5 zote za kwangu MUNGU AKUBARIKI NA AKUTUNZE SANA

  • @doricedavid5551
    @doricedavid5551 3 ปีที่แล้ว +80

    1.kulalamika Au kulaumu
    2.kukumbushia makosa ya nyuma
    3.kushuku Kila kitu (doubts )
    4.kulinganisha (comparison)
    5.usimuhadhibu mume wako kwa kumyima tendo la ndoa

    • @luciasoko9354
      @luciasoko9354 3 ปีที่แล้ว +17

      Na sidhani kama kuna MTU ambaye hajawaj kulalamika utakuta naudhi kwelikweli ukimuuliza nakwambia unalalamika sana wakati yeye ndo chanzo aisee asikwambie mtu

    • @mwanaishamkazi7870
      @mwanaishamkazi7870 3 ปีที่แล้ว +6

      Mm hapa nmefeli 😂😂

    • @faithandati3229
      @faithandati3229 2 ปีที่แล้ว +5

      😂😂😂hapa mm nimeangukako

    • @birusidesmond3245
      @birusidesmond3245 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi hapa💯

    • @bethjohn928
      @bethjohn928 2 ปีที่แล้ว +5

      Vyote hivi ninavyo na siwez kuacha mana Kila mala uwa analudi ludi makosa kusaliti dharau uchoyo ubibafsi majibu mabaya ila akibanwa akitaka unyumba ndio anajishusha tena tendo likiisha analudia kuachana hataki vitisho vingi basi inabidi iwe ivyo ivyo ingawa moyo umechoka

  • @salomeezekiel734
    @salomeezekiel734 2 ปีที่แล้ว +23

    Kiukweli umenifunza kituu asante baba kwasababu umeniokolea ndoa yangu pia kwanzia Leo nabadilika mungu akutangulie katika Kila ufanyalo

    • @TundaSacto
      @TundaSacto 10 หลายเดือนก่อน

      We ndio kama me nimeacha naongeaga usiku kucha mpaka anamka anatoka njeee

  • @RoswintaLovenus-wp4dv
    @RoswintaLovenus-wp4dv ปีที่แล้ว +1

    Mhh docta yaan haya Mambo wasio penda wanaume Mambo matati huwana mm nayafanya lakin kwaelimu uliyotoa nimejifunza na nitajirekebisha Asante docta mungu akurinde

  • @JOSEPHMbenja
    @JOSEPHMbenja 8 วันที่ผ่านมา

    Nashukuru sana namim nipo ivyoivyo mungu anisaidie nibadilike kabisa

  • @SikituKamwambi
    @SikituKamwambi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Asante san yn kama pr. Mmbaga vile masomo ayo ayo

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 ปีที่แล้ว +19

    🤣😂😂😂😂😂😂Nime semwa hapa tobaaa hahha asante san

  • @MonicaMagesa
    @MonicaMagesa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee doctor Kwa ushauri wako

  • @rehemalugenge7718
    @rehemalugenge7718 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee kwasomolako kaka hakikaa umeongea nitakuwaaa mwanafunzii wakooo kwa sasa

  • @angelamos8545
    @angelamos8545 3 ปีที่แล้ว +9

    wanaume mmezid sana unaeudia swala hlohlo kila mwaka mnatia hasira sana tamaa za mwili nimewachoka

  • @roswitaegogo5098
    @roswitaegogo5098 3 ปีที่แล้ว +8

    Ongera mauki you touch it,Ni kweli kabisa Ni Kama unajua exactly maisha ya watu....

  • @furahadickson4056
    @furahadickson4056 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimeanza kujifunza kitu kutoka kwako asante kaka Chris kwa mafunzo yako.

  • @hekimacharles1048
    @hekimacharles1048 3 ปีที่แล้ว +15

    Asante doctor umenisaidia sana, naweza sema kila siku nabadilika kupita clip zako🙏

  • @frankthomas2867
    @frankthomas2867 ปีที่แล้ว

    Asante, Dr.chris ,nimejifunza kitu. Naimani nitakuwa mke bora

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran Doctor Kweli ulio sema Kwnye kulaumu Nitaachaa shukran sn

  • @ramlati7646
    @ramlati7646 2 ปีที่แล้ว +4

    Daa,hapo kwa kukumbuka yalopita ,na kucomplain mungu anisamehe

  • @swalhazira8533
    @swalhazira8533 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante nitabadilika na mambo 3 hayo ya mwanzo umenifunza sanaaaa dr mambo yako safiiii👌

  • @AshaAmeir
    @AshaAmeir 5 หลายเดือนก่อน

    Dr Christ unanifurahisha sana,tufunze tubaki na wababa wetu wapendwa milele.

  • @mutulilawrence727
    @mutulilawrence727 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana kwa mafundisho yako, unafanya poa pia kukosoa wanawake, maana tulikua tuna wafanya Hao ndio wanao stahili Bali c wanaume, nakutizama nikiwa qatar

    • @EstaMwakasala
      @EstaMwakasala 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂 nimekamatwa

  • @ThomasMollel-m7h
    @ThomasMollel-m7h 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka yng nimejifunza meng kutoka kwako mungu akuongezee miaka buku uzid kutuelimisha

  • @EdithaPetro-jw1qd
    @EdithaPetro-jw1qd 3 หลายเดือนก่อน

    Nashukur Kwa mafundisho Yako Mr chris

  • @رحيمهكينيا
    @رحيمهكينيا ปีที่แล้ว

    Shukran sana kwa mafundisho yako Sasa ndo nimeelewa alhadhulillah

  • @MmMo-i2g
    @MmMo-i2g 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwer mimi ndo gisi nipo kabisa napendaga kumwambia ibyo bitu kwer Asante kwaushauli

  • @ZiadaRashidi
    @ZiadaRashidi ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Dr Chris endelea kutufundisha

  • @banguha
    @banguha ปีที่แล้ว +1

    Ngoja nijaribu hili la kushuku kwa kweli ninalo Mungu anisaidie

  • @AshaAmeir
    @AshaAmeir 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani unanimaliza Dr na mazuri Yako kwetu.

  • @ramazanihakizimana9291
    @ramazanihakizimana9291 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekufwatiliya sana Salut uko sahihi

  • @roseamukhono9150
    @roseamukhono9150 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante Dr hua nasoma kitu kwa mafunzo yako

  • @EmeliaSambala
    @EmeliaSambala ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho,God bless you

  • @elzdeus2365
    @elzdeus2365 ปีที่แล้ว

    Asante Dr.nimejifunza k2

  • @ZuhuraMchina
    @ZuhuraMchina หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa muongoz mzur

  • @aminamgaya7511
    @aminamgaya7511 ปีที่แล้ว

    Asante baba barikiwa mnooo nimejifunza kitu kikubwa sana leo

  • @mconedimple5364
    @mconedimple5364 ปีที่แล้ว

    Asante dr Chris Mauki👍🏽👏👏🙏🙏

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 9 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe sana 🙏 daah Mungu anisamehe sana

  • @blamotz2000
    @blamotz2000 2 ปีที่แล้ว

    ahsante kwa somo zuri ambalo limegusa miongoni mwa jambo mambo matatu ambayo dhahiri yatanisaidia kuelewana.

  • @magrethmwambu3637
    @magrethmwambu3637 ปีที่แล้ว +10

    Dr,wanaume ni stress sanaaa anaweza kukufanya ukakimbia kichaa,wana dharau balaaa tena wenye ndoa ndiyo tatizo kubwa sijui hawa viumbe wanataka nini hawaeleweki.

  • @levinalyimo6240
    @levinalyimo6240 ปีที่แล้ว

    Asante sanaaaàa doctor umeniponya mungu akulinde sana

  • @rispermuli3292
    @rispermuli3292 2 ปีที่แล้ว

    Waoh thanks pastor hakika kupitia kwako nabadilika and saving ndoa yangu

  • @khadijaramadhan1796
    @khadijaramadhan1796 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwasomozuri asantesana

  • @solomonmassangya8187
    @solomonmassangya8187 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana kiongoz nashukuru sana mafundisho mazuri Mungu akubariki.

  • @kissajohn8676
    @kissajohn8676 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa SoMo zuri

  • @munikomarwa2025
    @munikomarwa2025 2 ปีที่แล้ว

    Hapa umeniokoa kabisa thanks pastor kwa mafunzo yko

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante unatufungia macho,barikiwa Sana,

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 11 หลายเดือนก่อน

    Thqs very much 🙏, nimejifunza sana😬

  • @BINWAAmina
    @BINWAAmina ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishiye kibali

  • @BenimanaJeannette-b3r
    @BenimanaJeannette-b3r 2 หลายเดือนก่อน

    Napenda shahuli zako Dr

  • @EstherMisheck
    @EstherMisheck ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana,umenichanua sana

  • @neemashao4749
    @neemashao4749 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante nimejifunza kitu kizuri mno. Nashukuru maana Kuna vitu baadhi skuwa nimevipata leo nimejifunza

  • @biumbemohamed7945
    @biumbemohamed7945 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks ubarikiwe

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 2 ปีที่แล้ว

    Yes, this is the best Media Online TV

  • @Gellefaroolle
    @Gellefaroolle 8 หลายเดือนก่อน

    Thanks kwa kunifundisha

  • @happyazizi6044
    @happyazizi6044 ปีที่แล้ว

    Duuh!! Tabia yangu kabsa ....ahsante nmepona

  • @kuruthumually3786
    @kuruthumually3786 2 ปีที่แล้ว

    Thanks alots.unanbadlsha kila wakat.

  • @OZANAJOSEPH
    @OZANAJOSEPH 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana hapa kulalamika daah

  • @KhadijaKarani-ji6nc
    @KhadijaKarani-ji6nc 6 หลายเดือนก่อน

    Asante nimejifuza sana

  • @lydiabosibori4116
    @lydiabosibori4116 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho yako mazuri kabisa 🙏

    • @millymatere
      @millymatere 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/gOAVSGHfZVwKvYugy52iMQ.html

  • @jacquelinemgesi2772
    @jacquelinemgesi2772 3 ปีที่แล้ว +2

    asanter san😃kun vit ckuwa navifaham befor but now nitachange🙈🙈🙈

  • @rebeccqhnyqngoso3772
    @rebeccqhnyqngoso3772 7 หลายเดือนก่อน

    Thanks for good advice God bless you 🙏

  • @deborahapolnary1433
    @deborahapolnary1433 2 ปีที่แล้ว +7

    God bless you ever brother, you teach us the important thing to have in our relationship 💞

  • @kulwakipuga5487
    @kulwakipuga5487 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa ushauri,ila kaka unakuta mwanaume mwenyewe akikosea ataki kabisaa kuombaa msamahà kabisaa na wala ukikaa kuzungumzaa nae anabadilishaa makosaa yake yanakuwaa ya kwako,ni Mungu tu anayebadishia MTU sidhani ata ukifanyaa vyote atakuonaa wa maana.

  • @janenkhwazi2457
    @janenkhwazi2457 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuishi nakiumbe mwanadamu nikazi.....asante Dr Chris kwa somo nzuri.....my man sometimes when we misunderstand anasema his X is better than me , and I replied that if she was better then you are worse and I don't think so if I have right man....immediately nasikia voice yake "Jane basi yayishe hasira tu ndiyo yanisemesha vibaya.

    • @100truth2know
      @100truth2know 3 ปีที่แล้ว

      Ooooh sorry Baby😪

    • @mwanaishamkazi7870
      @mwanaishamkazi7870 3 ปีที่แล้ว

      We cross the same way but my man dont know whow to say sorry, i regret every day to trust him,its more than pain

    • @levinalyimo6240
      @levinalyimo6240 ปีที่แล้ว

      Doctor namshikuru Sana umeniponya Sana

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 9 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣 nashukuru sana kaka daah me mpaka mumewangu alikuwa anachukia sana🤔 me huyo daaah htr

  • @lulumdoe919
    @lulumdoe919 ปีที่แล้ว

    Asante kaka mimi napenda kulumu na kulalamika

  • @sammgnnko4379
    @sammgnnko4379 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed brother hili somo Ni la ♨️♨️ San linafundish saba

  • @salamasalum6956
    @salamasalum6956 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka umenielimisha

  • @SikituKamwambi
    @SikituKamwambi 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidye wanawake mn tunamidomo san n kulalamika jmn fuh

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mimi no 1 na no2 itabidi nibadilike

  • @ZulekhaaishaSaidi-ds7yq
    @ZulekhaaishaSaidi-ds7yq ปีที่แล้ว +4

    Duh mi niliolewa namwanaume anagubu sijawai ona yan anagubu balaaa yan kabra hajanioa alikua vzr sana lakn baada yakuniingiza ndan mwezi tuu hali ika badilika kila ninachofanya mwanaume anaongea tuu mmh mpk nikajuta kwann kanioa nikasema hapa sijui nitaweza kukaa ata mwaka ila baati mbay tuliishi miezi4 tu akafaliki kwaajali😢

    • @rosemarysulle9288
      @rosemarysulle9288 ปีที่แล้ว

      Mungu alikupigania,ndiyo maan kamtoa mapema

    • @Until835
      @Until835 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@rosemarysulle9288duuuuh 😢😅😅 wewe ni gaidi na kama siyo mmeru basi mmachame ... 😂

    • @rosemarysulle9288
      @rosemarysulle9288 4 หลายเดือนก่อน

      @@Until835 nidhamu basi acha makabila ya watu

  • @christinasiikon4708
    @christinasiikon4708 3 ปีที่แล้ว +6

    Mawaidha mazuri sana.God bless

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze sana❤

  • @mynameisname8805
    @mynameisname8805 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Dr

  • @rehemampangala5544
    @rehemampangala5544 2 ปีที่แล้ว

    Asante Dr ubarikiwe sana

  • @jfr2444
    @jfr2444 3 ปีที่แล้ว

    asante na jifunza kutuko kwako Mungu akubariki

  • @AliceBorawilondja-xj1vv
    @AliceBorawilondja-xj1vv 9 หลายเดือนก่อน

    Nimesshukuru sana kwa kila Siku ndo nilivyo kuwa ivo yani ata afae kosa bado mwaka omoja nitayakumbusha tena akinikosea lakini umenituma nibadilike

  • @happynessemanuel5173
    @happynessemanuel5173 ปีที่แล้ว +5

    Dr kwenye kipengele Cha kukumbusha mambo ya nyuma sio kwamba tunapenda unakuta mtu kila Mara anachepuka unajua anaomba msamaha unamsamehe hamjakaa sawa anarudia Tena kosa lile lile Sasa anakuadhiri kisaokojia yaan mpaka unafanya vitu ambavyo huelewi Mungu atusaidie kwakweli

  • @leinashabani1386
    @leinashabani1386 3 ปีที่แล้ว

    Daaaa dockta Asante kwa kunielimisha

  • @dorcusmlinga862
    @dorcusmlinga862 3 ปีที่แล้ว +2

    Dr Mwenyezi Mungu akubari sana sana

  • @NoelMmbando-sg2ev
    @NoelMmbando-sg2ev ปีที่แล้ว

    Very facts bro.darasa zaidi kwa somo hili.

  • @dorisbosibori8126
    @dorisbosibori8126 2 ปีที่แล้ว

    Thanks my brother had Vai's

  • @besthatchincubators2786
    @besthatchincubators2786 ปีที่แล้ว +1

    Asante,,be blessed 🙌

  • @florencehaluwa2191
    @florencehaluwa2191 ปีที่แล้ว

    waaah asante hyo n mimi kbsa nitarekebisha

  • @lilianleonard8106
    @lilianleonard8106 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana
    Barikiwa Dr. Mauki 🙏

  • @Sarah-o5u9t
    @Sarah-o5u9t 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo nimimi kabisa nakumbukaga sana mambo ambayo aliniahidi naakufanya lkn sasa nabadilika Mungu anisaidie

  • @kulthumkhatibu8217
    @kulthumkhatibu8217 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana vipindi vyako, somo zuri ,nina swali je kama ni mwanaume yeye ndiyo mlalaishi na kukumbusha yalopita inakuwaje? Napia akikosea wakati huo anakimbia usimsemeshe,utaacha vipi siku ingine muweze ongea akusikilize

  • @JanethWilliam-m3t
    @JanethWilliam-m3t ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana

  • @RedentaMichaelmfilinge
    @RedentaMichaelmfilinge 8 หลายเดือนก่อน

    Asnte nmepata somo🙏🙏

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 2 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa mawaidha

  • @gracesamwely8178
    @gracesamwely8178 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa nondo za kutosha

  • @catherinekerubo9734
    @catherinekerubo9734 2 ปีที่แล้ว

    Ghi asante sana nimejifusa kitu na nimeaja hiyo tabia

    • @eunicejeremiah3724
      @eunicejeremiah3724 2 ปีที่แล้ว

      Yaaan et umejifusa yaaan huwa. Nafurahi sana

  • @EvonaNzogela-f3c
    @EvonaNzogela-f3c ปีที่แล้ว

    Asante umeniokoa

  • @skorahmgala8736
    @skorahmgala8736 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri nimebadilika kiukweli kuanzia Leo nimepona

  • @racheljoseph5192
    @racheljoseph5192 3 ปีที่แล้ว +42

    Yaani Mbona Hizi Dalili Anafanya Mwanaume Wangu Na Sio Mimi Sasa Inakuaje hapo 😟😟😟

  • @gladyswambuinganda
    @gladyswambuinganda ปีที่แล้ว +2

    Kweli mpezi wangu kania bia hayo yote mwanzoni mwa relationship yetu natuko poa kabisa

  • @queendarnford7115
    @queendarnford7115 2 ปีที่แล้ว

    Asant nmejfunza kitu 😘😘😘

  • @pendorensam9680
    @pendorensam9680 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo

  • @ElizabethMutuku-qt2vj
    @ElizabethMutuku-qt2vj 10 หลายเดือนก่อน

    So nice ilove this channel

  • @sholastikaHenjewele-rh4gw
    @sholastikaHenjewele-rh4gw 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yan huyu ni mimi kabisa aa HaaaAaa nimeacha mimi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @irenebarukwatamu-fo1qs
    @irenebarukwatamu-fo1qs ปีที่แล้ว

    Yesu nisaidie.

  • @mohammedalshahwani1542
    @mohammedalshahwani1542 3 ปีที่แล้ว

    Amina Ubarikiwe 🙏🙏😘😘napenda mafundisho yako

  • @mercylinekerubo6425
    @mercylinekerubo6425 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisaaa be blessed alot 🙏