Asante mtumishi wa Mungu. Huu ujumbe ni wangu kabisaa. Wakati nimepewa talaka baada ya miaka 17 ya ndoa yangu nili assume kama vile mume amekufa kwahiyo nilibaki kujiazama mm kama mm na maisha yangu. Sikujali juu ya tatizo. Niliamua kujitafuta na mpaka sasa nakaribia kujipata🙏
Asante mtumishi wa Mungu. Baada ya miaka 17 ya ndoa yangu na talaka juu bila sababu ya msingi, niliamua kukubali matokeo na kuanza toka zero. Na mpaka sasa najitafuta na naona nakaribia kujipata. Najua kila kitu kinatokea kwa sababu kwahiyo namshukuru Mungu ktk yote.

Umenena ukweli, heri nijipende na kujiundumia💪💪🥳🥳
Asante mtumishi wa Mungu. Baada ya miaka 17 ya ndoa yangu na talaka juu bila sababu ya msingi, niliamua kukubali matokeo na kuanza toka zero. Na mpaka sasa najitafuta na naona nakaribia kujipata. Najua kila kitu kinatokea kwa sababu kwahiyo namshukuru Mungu ktk yote.
Umezidi kuwa baraka kwenye maisha ya waliojeruhiwa ktk mahusiano, endelea kubarikiwa baba
Asnte sana MUNGU akubarik🤲🤲🙏
Asante sana Mungu akubarik kwa kweli tunanjifuza mengi kuhus ndowa zetu endeya kutupa mafunzo
Asante sana ubarikiwe
Asante sana kwa kweli watu kuongea lazima waongee lakini maisha lazima yaendelee,Mungu akubariki sana Dr Chris kwa mafundisho
Mungu akubafiki sana kwa Elimu
Huu ukweli kabsa Asante San ticha
Asanteee sanaa mtumishiii
Amina kabisa baba napenda mavunzo mazuri
Kweli baba mungu akubaliki kwa haya mavunzo mema
Ahsante sana
Asante sana
Nayapitia mimi
ys. I realy like this.
Thank you
umeongea kweli
Kabisaaa kabisaa
Thanks
Nimepona
Shukraan.....
Nitapona mm sio wa kwanz Duniani kuachana
ushauri mzuri
Okay
Nasikia Amani San nahayo ndio maswal nilikuwa najiuliza kumbe najikosea nazid kukonda tu
I wish ungefundisha pia kuhusu co-parenting
Nashukur san
Asante sana mauki.
🙏🙏🙏🙏
Mm naomba no yako tu
Dr unanigusa mm
Unakuta unaamua maamuzi magumu wakati haukua tayari