- 905
- 14 729 388
Chris Mauki
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 23 มี.ค. 2012
This is official channel of Dr. Chris Mauki. Subscribe for the best learning on relationships, family and parenting, personal development and other inspirational content
Dr. Chris Mauki: Faida Za Kuwa Mtu Wa Shukrani. Part 2
Kuwa mtu wa shukrani sio rahisi ndio maana wengi wanashindwa wanabaki kulaumu tu kila kitu. Hizi hapa faida na manufaa ya kuwa mtu wa shukrani maishani
มุมมอง: 188
วีดีโอ
Dr. Chris Mauki: Unafanyaje Ili Kuweza Kuwa Mtu Wa Shukrani?
มุมมอง 4322 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kuwa mtu wa shukrani sio rahisi ndio maana wengi wanashindwa wanabaki kulaumu tu kila kitu. Kama unatamani kuwa mtu wa shukrani unafanyaje? Unatumia mbinu gani? Hapa nakupa madini
Dr. Chris Mauki: Madhara ya Kutokuwa Mtu wa Shukrani
มุมมอง 5684 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kuwa mtu wa shukrani sio rahisi ndio maana wengi wanashindwa wanabaki kulaumu tu kila kitu. Hizi hapa hasara na madhara ya kutokuwa mtu wa shukrani maishani
Dr. Chris Mauki: Mbinu Bora Kukusaidia Kutoka Kwenye Tabia ya Chuki na Machukizo
มุมมอง 1K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Chuki imeumiza maisha ya wengi sana. Chuki na machukizo yameathiri afya za wengi zaidi ingawa mtu hajui kwamba athari anazokumbana nazo ni sababu ya tabia ya chuki na machukizo. Kama unatamani kuondokana na tabia hiyo au kumsaidia mtu mwenye shida hiyo, basi mbinu hizi hapa
Dr. Chris Mauki: Usichokijua Kuhusu Tabia Ya Kujipenda na Kujithamini
มุมมอง 1.4K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kwa kutojipenda na kutojithamini utakaribisha madhara mengi sana kwenye maisha yako. Yamkini hujui kwanini hisia hizi hasi zinakujia mara kwa mara na kujui namna ya kuziondoa. Hapa nakusaidia kwa undani kufahamu vitu muhimu sana kuhusu hii shida ya kujikuta hujipendi na hujithamini
Dr. Chris Mauki: Usichokijua Kuhusu Hisia Zako. Part 2.
มุมมอง 790วันที่ผ่านมา
Mara chache sana tunayaongelea na kutafuta kujua kuhusu mambo ya hisia. Utamaduni wa kiafrika unazitenga na kuzichukulia poa hisia na ndio maana wengi wetu tunashida ya kihisia. Hapa nakupa mambo nyeti usiyoyajua kuhusu hisia zako na ukiyafahamu utabadilika hakika
Dr. Chris Mauki: Ukiziona Tabia Hizi 3 Ujue Mpenzi Wako Anasumbuliwa Na Wivu Mkali
มุมมอง 3.6Kวันที่ผ่านมา
Kuna wivu unaovumilika kwenye mapenzi na kuna wivu ambao ni sumu na kero na hauvumiliki kabisa. Mara nyingine wenye wivu wa aina hii wanajificha flani usiwagundue kama wana hii shida. Sasa ukiziona hizi tabia basi gundua kabisa kuwa mpenzi wako anasumbuliwa na wivu mkali. Jua ili mliongee mapema
Dr. Chris Mauki: Usichokijua kuhusu hisia zako. part 1
มุมมอง 1.1Kวันที่ผ่านมา
Mara chache sana tunayaongelea na kutafuta kujua kuhusu mambo ya hisia. Utamaduni wa kiafrika unazitenga na kuzichukulia poa hisia na ndio maana wengi wetu tunashida ya kihisia. Hapa nakupa mambo nyeti usiyoyajua kuhusu hisia zako na ukiyafahamu utabadilika hakika
Dr. Chris Mauki: Fanya haya unaponyemelewa na sonona
มุมมอง 885วันที่ผ่านมา
Nimeongea na kufundisha sana kuhusu tatizo la sonona au depression ambayo huwakumba wengi na athari zake ni kubwa na bahati mbaya wengi hawajui hata dalili zake. Tafuta masomo hayo kwa kuandika Chris Mauki Sonona” yatakuja na utachagua. Leo na kuonyesha nini cha kufanya unaponyemelewa na Sonona, unapojisikia upweke na huzuni kubwa kwa muda mrefu
Dr. Chris Mauki: Hivi ndivyo mwili wako unavyo athiri hisia zako
มุมมอง 1.1K14 วันที่ผ่านมา
Kama ilikuwa hujui mwili wako una uwezo wa kuathiri hisia zako na hisia zako pia zinaweza kuathiri mwili wako. Kuna mambo ukifanya unaweza kujikuta unaanza kujisikia vibaya na kuharibu siku yako. Ili isikutokee hiyo ni vema uyajue haya
Dr. Chris Mauki: Usichokijua Kuhusu Tabia Ya Chuki
มุมมอง 1.1K14 วันที่ผ่านมา
Nimefundisha masomo mengi kuhusu chuki hapahapa na watu wame nishuhudia kwamba wamepona baada ya kutazama videos hizo. Leo natamani nikuonyeshe kitu nyeti sana ambacho wengi huwa hawakijui kuhusu chuki na kwa kutokujua huko wanapata shida.
Dr. Chris Mauki: Tabia 4 Za Mtu Asiyejikubali
มุมมอง 1.3K14 วันที่ผ่านมา
Je unamfahamu mtu asiye jikubali? Unajua dalili za mtu asiye jikubali? Je unajua madhara ya kutojikubali ni makubwa yanaweza hata kufanya mtu akajiondoa uhai? Hapa nakupa tabia nne uweze kujigundua au kumgundua mpenzi wako kama ana shida ya kutojikubali
Dr. Chris Mauki: Ili Kuongeza Thamani Yako Zingatia Vigezo Hivi Vitatu
มุมมอง 2.6K14 วันที่ผ่านมา
Haiwezekani ukabadilisha hali ya maisha yako pasipo kushughulikia thamani yako kwanza. Thamani yako ikishuka maisha yako kwa ujumla yanashuka na ikipanda basi maisha yako yanaonekana kufanikiwa zaidi. Nini kitakacho kusaidia kuongeza thamani hiyo? Vigezo hivi vitatu ni muhimu sana na nyeti kwenye kukubadilisha
Dr. Chris Mauki: Fanya Haya Kuepuka Hofu Na Wasiwasi
มุมมอง 1.4K14 วันที่ผ่านมา
Wengi sana wamekatishwa ndoto zao kwa sababu ya hofu na wasiwasi na kama haujui, wengi wamejikuta wapo mahospitalini kwa sababu ya magonjwa yanayosababishwa na hofu na wasiwasi. Utaepukaje na kuzishinda hofu na wasiwasi? Hizi hapa mbinu bora kabisa za kukusaidia
Dr. Chris Mauki: Kwanini Mpenzi Wako Anabisha na Kujitetea Kwenye Kila Kitu?
มุมมอง 1.6K14 วันที่ผ่านมา
Kama ulikuwa hujui ni ngumu sana na inakera sana kuwa na mpenzi ambaye anabisha na kujitetea kwenye kila kitu. Shida inakuja pale ambapo hujui sababu ya huko kubisha hovyo. Sasa, usipojua itawasumbua na kusumbua penzi lenu. Hapa nakupa sababu za ukweli
Dr. Chris Mauki: Mambo haya Hukutokea kwa kasi Unapokuwa Mtu wa Shukrani
มุมมอง 1K21 วันที่ผ่านมา
Dr. Chris Mauki: Mambo haya Hukutokea kwa kasi Unapokuwa Mtu wa Shukrani
Dr. Chris Mauki - Vitu vitano ( 5 ) vinavyoweza kusababisha maumivu na stress kwenye maisha yako
มุมมอง 1.2K21 วันที่ผ่านมา
Dr. Chris Mauki - Vitu vitano ( 5 ) vinavyoweza kusababisha maumivu na stress kwenye maisha yako
Dr. Chris Mauki - Usichokijua kuhusu hisia zako. part - 2
มุมมอง 1.2K21 วันที่ผ่านมา
Dr. Chris Mauki - Usichokijua kuhusu hisia zako. part - 2
Dr. Chris Mauki - Sababu nne ( 4 ) kwanini unamaumivu na majeraha kwenye mahusiano yako
มุมมอง 1.8K21 วันที่ผ่านมา
Dr. Chris Mauki - Sababu nne ( 4 ) kwanini unamaumivu na majeraha kwenye mahusiano yako
Dr. Chris Mauki: Vitu 5 Vitakavyo Kusababishia Maumivu Na Stress
มุมมอง 1.5K28 วันที่ผ่านมา
Dr. Chris Mauki: Vitu 5 Vitakavyo Kusababishia Maumivu Na Stress
Dr. Chris Mauki: Jinsi ya Kuirekebisha Siku Yako Iliyoanza Vibaya
มุมมอง 96828 วันที่ผ่านมา
Dr. Chris Mauki: Jinsi ya Kuirekebisha Siku Yako Iliyoanza Vibaya
Dr. Chris Mauki: Usichokijua Kuhusu Hisia Zako
มุมมอง 3K28 วันที่ผ่านมา
Dr. Chris Mauki: Usichokijua Kuhusu Hisia Zako
DR. CHRIS MAUKI : GIA NNE (4) ZA KUANZA MWAKA 2025 KWA NGUVU
มุมมอง 2.2Kหลายเดือนก่อน
DR. CHRIS MAUKI : GIA NNE (4) ZA KUANZA MWAKA 2025 KWA NGUVU
DR. CHRIS MAUKI : UNAUENDEAJE MWISHO WA MWAKA 2024
มุมมอง 839หลายเดือนก่อน
DR. CHRIS MAUKI : UNAUENDEAJE MWISHO WA MWAKA 2024
Dr. Chris Mauki - Utajuaje Mpenzi Wako Amepevuka Vya Kutosha
มุมมอง 2Kหลายเดือนก่อน
Dr. Chris Mauki - Utajuaje Mpenzi Wako Amepevuka Vya Kutosha
Dr. Chris Mauki - Uhusiano Uliopo Kati Ya Madhabau Na Saikolojia
มุมมอง 826หลายเดือนก่อน
Dr. Chris Mauki - Uhusiano Uliopo Kati Ya Madhabau Na Saikolojia
Dr. Chris Mauki - Njia Nne za Kuonyesha Upendo Kwa Umpendae Part 3
มุมมอง 2Kหลายเดือนก่อน
Dr. Chris Mauki - Njia Nne za Kuonyesha Upendo Kwa Umpendae Part 3
Dr. Chris Mauki - Unaiendeaje Christmas ya 2024 Mambo matatu yatakayo kusaidia.
มุมมอง 492หลายเดือนก่อน
Dr. Chris Mauki - Unaiendeaje Christmas ya 2024 Mambo matatu yatakayo kusaidia.
Dr. Chris Mauki - Njia Nne za Kuonyesha Upendo Kwa Umpendae Part 2
มุมมอง 2.3Kหลายเดือนก่อน
Dr. Chris Mauki - Njia Nne za Kuonyesha Upendo Kwa Umpendae Part 2
Dr. Chris Mauki - Njia Nne za Kuonyesha Upendo Kwa Umpendae Part 1
มุมมอง 3.3Kหลายเดือนก่อน
Dr. Chris Mauki - Njia Nne za Kuonyesha Upendo Kwa Umpendae Part 1
Yes
Kweli kabisa
Nilijarib naona nimevuna matunda asantee
Asante dr naimani penz lang litaend kuw penz bor nampenda san mpenz wang
Asante sana dr unanifunza sana kila siku nagombana na mpnz wang kumbe mimi ndio chanzo daaaa
Hii kwakweli namtumia tu mwenza wng aiskie
WAP kusasiklaib
nice sut.
Bravo!!! Real brain opener
Yaan nafurai sana kumbe niko sahihii
Nimechelewa kuiona lkn nahis nilishatolewa kabla hii clip haijaingia hewani.😂😂
Nikwel kabisaa brother
Nawachukua sana wanaumee😎😎
I have learned kitu important in my life
Amen 🙌
Yaan wangu ana dalili zote hadi unachoka kabisa😭😭
Doctor me nipo nje ya mada kidogo..Je nisahihi mwanamke Kutokujua kipata cha mme wake Mfano mshahara anaolipwa kazini?
Asante Kaka umemfanya mchumba wangu kujiludy kwa mafundisho yako
@happy augustino
Naomba namba yako kwa ushauli zaidi
Nimejifunza mengi sana kwako lakin nami ninashida yangu moja bado sijapata majibu naomba unisaidie
💪💪💪
Hi daktari, na jje mwanaume kama muliwachana akaoa tena bado hasaidii watoto hawalipii fees natena huyo mama wa kambo anatumia watoto kama maids before waende shule wanafanyia huyo mama kila kitu ndo waende shule wakiwa late . Unanisaidiaje coz naiskia moyo wangu unaumia sana nivile nko mbali na hawo sjui ntasaidikaje please 🙏😢😢😢😢
Asantee nashukul sana kwa ujumbe wako
Atomic habit by James clear
Asante kwamafuzo l hope nimefurahiyaa😂
Nikweli papa kutuwombeatu😊😊
Asante
Mniombee nipate mwanaume kama Huyo ju niliumishwa ati sahii Niko miaka tatu bila mpenzi ju naokoba sana nikiona wanaume naona wanafanana wote 😭
❤ fantastic one Dr continue with the same spirit
Wow I like you Dr umeniokoa kabisa
Kuna wengine hawaambiliki wakiambiwa wanasema wanalaumiwa
Kiukweli sisi tukigombana ndo huwa upendo unanoga yani tutagombana weeeee afu tunaangalia face tunaanza kucheka vibaya kweli hapo tutaanza kupondana na mito na michezo mingine ya kimahaba itaendelea yaan hata majilani zetu wameishatugundua yaan pale2 tunapoanza kugombana hawatuachanishi maan wanajua kinachofuata baada ya hapo ni kufurahia yani penzi langu na mama la mama nalipenda sana😊.
Kaka mm nafanya yote laknii mpenz wangu ana wivuu na hasira sana
Asantee
Me mchumba wangu kakataa kabsa kuniambia analipwa shingap yan nshahara wake
naweza pata namba yako dr?
namba 4
Asante doctor yani dalili zote ninazo mbaya zaid hii ya sonono mok najiuliza kwani nataka kuoata deepration ..sina raha presha joto waswas mmmm mtihan sada dawa yske nini
Mm mbn dalili zote nazipitia jmn naumia
Niko single ata sijapa mume sahihi wara wakujielewa
Sipendi mume ameshaowa
From Burundi ❤
Merçi kwa point zako
Mafundisho mazuri sana mwalimu
Si ungo hatari
Asante sana doctor nimefunguka kupitia wewe god bless you
Asantee kwa mafunzo yako mazur barikiwa sana, Mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa sababu ya wazazi na ndugu zangu kisa kwao na binti wanatabia ya kishirikina na mama yake binti ndiye mwenye sauti ya juu,naomba ushauri wako nifanyeje?
Vitabu napataje na bei zikoje
😅😅😅 nimejifunza ila nimejikuta nacheka
Wangu anatabia ya uzinzi namshukuru mungu nimemuacha