Tenda mema hali ya kua unategemea malipo kwa Allah, isikupite swala ya Alfajir na soma Qur-an namaana kua karibu na muumba. Halafu niambie km utakua na stress. Stress ni mzongo unaotokana na shaitwan. Haitegemei ww ni milionea au bilionea. Kwani hatuwaoni mabilionea na mamilionea wanaojiua kwa stress? Na ukiwa karibu utajiona unafuraha tu ww na mawazo mabaya hayaji hata km chakukila hukijui. Niamini mm
Love Mummy Dadaaa hii ni Kwel Stress zinatokana na Ibilisi na ibilisi kaumbwa kwa moto na moto huzimwa na maji hivyo Mtume muhammad (Sw) Ameseme tunapopataa msongo wa mawazo Tushike uzu na kuendelea na mambo menginee yaan Kuuzima moto
Naamini kwa kiwango kikubwa kwamba ndani ya hivyo vitu vitano ulivyovigusia ...to be stressless ni silaha tosha no matter what circumstances we are undergoing ...JOEL YOU'RE THE BEST let's meet at the top!
Joel, to let you know, your words are ambient and full of sense. You know, whenever I listen to your clips, I get quickly from the deep of valley to the top of mountain. Also to assure you, you are inspiring millions of people. Where ever I share your video, I get thankful responses. May God always bless you.
Mimi ni fundi mwenye uwezo mkubwa! Niliyefanikiwa kiroho na kimwili. Nimeruhusu furaha yangu ishikiliwe na Mungu naye husema nami niwe hodari tu na ushujaa mwingi! Ahsante kaka! Umenisogeza mahali.
Dah kila mara nisikiapo somo lako baba huwa ni na kitu cha kuondoka nacho...nafurahia sana..kiukweli kwasababu kupitia kuishi katika maneno yako...nimeweza kubadili mind yangu (Mind programming) nimefanya asante Joel...tuko pamoja
Mimi Ni jasiri!!!!Mimi ninaweza!!!!!,,,,,,Asante kaka maneno yako yana faida sana hasa kwangu!!!!barikiwa MUNGU na aendelee kukuongezea maarifa zaidi na zaidi
Asante kaka kwa maneno yako ya Busara. Mimi #Najiamini katika Yesu ndio maana maisha ya stress niliyapiga teke kabisa wala sina stress yoyote. Asante kwa kunitia nguvu zaidi ya kutokaa ndani ya stress
mungu akubariki sana baba kwa mfundisho yako , nafata mafundisho yako nikiwa katika mji wa kampala uganda, najengwa sana ,nilikuwa na woga wa maoni ya watu inanifanya nisiendelee lakini leo minaisha vizuri siogopi maoni yao tena naendelea sasa na nimekwisha kuanza business yangu, asante baba
i am confident, i am intelligent, i can do everything God created me to, i am hardworking, i am talented, i am capable, i am rich, i am fearful and wonderful made.. i am the best
Hongera sana Kaka nafuatilia masomo yko sana yako very standard na binafsi yananisaidia, pia ukosefu wa kipato cha uhakika husababisha ugumu wa maisha na watu wengi kuwa na stress hivyo hujikuta wanachukia kila kitu maishani mwao, na kujenerate negative thinking kwa kila kitu, Jamii inatambua mchongo wako nikutie moyo brother endelea kutuelimisha, binafsi naenjoy, wishing gd day my brother
Napenad kujiambi am the best no one like me napia npenda kutatua changamboto mwenyewe cpendi kumshilikisha MTU yoyote ala mm nu msiri na mambo yangu he ni sawa
Brother nanauka salute kwko , naendlea kujifunz sana kutoka kwko , kw kifup mimi najiambia "furaha yangu ipo kwangu mm mwenyew na balance ya furah yangu ni ku keep moving tu"
Kaka mungu akubaliki na akulinde kwa uelevu na uodal ulokua nao kufikisha ujumbe kwa watu inatufumbua vitu vingi na kutuelimisha sana. big up sana Joel Nanauka 👍
kaka m napend kazi zako na vitabu vyako napend sana kuvisoma sijawai kumaliza kukisoma kitabu chote ila vitabu vyako sichoki kuvisoma Asante kwa kutubadilisha
Mimi ni thinker mkubwa ninauwezo wa kufamya mambo makubwa naweza ishi bila kumtegemea mtu nina uwezo wa kuja kuwa mfanyabiashara mkubwa mungu aniongoze na mkabidhi yeye kila jambo langu
Mimi nimfanya biashala mkubwa sana Judith general service itafanya kazi African nzima mimi nizaidi ya baaresa,moo ,na Azam mimi nimfanya biashala mkubwa sana
nimekupenda bure kaka daa!!! nimeteseka Sana miaka mingi,ASANTE SANA M/MUNGU akujaalie IN SHA ALLAH
Ameen ahsante sana
Thanks brother joel., the bless of God should upon you!!!
I will start from today to have mind programming
I’m strong girl and no one can destroy my happiness 😍💪🏿
Yes
acha kujiamin Kama umekula mtori
life uwezo sema hiyo maneno ukiwa hai
I can do it even if others think that i cant.
Thank you for the best lesson
Asante sana. Mafunzo mazuri. Mimi ni mshindi- I am an overcomer.
Tenda mema hali ya kua unategemea malipo kwa Allah, isikupite swala ya Alfajir na soma Qur-an namaana kua karibu na muumba. Halafu niambie km utakua na stress. Stress ni mzongo unaotokana na shaitwan. Haitegemei ww ni milionea au bilionea. Kwani hatuwaoni mabilionea na mamilionea wanaojiua kwa stress? Na ukiwa karibu utajiona unafuraha tu ww na mawazo mabaya hayaji hata km chakukila hukijui. Niamini mm
Love Mummy Dadaaa hii ni Kwel Stress zinatokana na Ibilisi na ibilisi kaumbwa kwa moto na moto huzimwa na maji hivyo Mtume muhammad (Sw) Ameseme tunapopataa msongo wa mawazo Tushike uzu na kuendelea na mambo menginee yaan Kuuzima moto
Love Mummy umeongea fact kabisa
nice. huo ndio ukweli na kufanya dhikri zinatuliza moyo
Wazo zuri love!!!!
Joel nanauka nashukurusana kwaushauriwako mungu aendelee kkpa uhai mrefu nilikuwa
Yah! I caught you clearly. I have those problems. I need to start use your advice. Thanks
Naamini kwa kiwango kikubwa kwamba ndani ya hivyo vitu vitano ulivyovigusia ...to be stressless ni silaha tosha no matter what circumstances we are undergoing ...JOEL YOU'RE THE BEST let's meet at the top!
Ni kweli kabisa, lakini pia nikwamba pamoja na hayo yote pia Kuwa na imani, maisha pamoja na Mungu ya naongeza furaha, ujari, kujiamini
Ok
asante
True thing
Exactly
Najiamiinin. Ntakua imara
You have been so helpful to us Mr Joe. God bless you
waoooooooo Joel I am the best and I CAN,...............................BE BLESSED NANAUKA
Furaha yangu haitashikiliwa na mtu,,,am the best woman in this world, be blessed my brother Joel.
iam healthy iam great...
barikiwa afya tele tuendlee kujifunza video imekuja wakat mzuri kama umeniona vile leo nlivokua na stress.
Mm najiamini sana and am the best person in this world thnx brother for the good words to us
Joel, to let you know, your words are ambient and full of sense. You know, whenever I listen to your clips, I get quickly from the deep of valley to the top of mountain. Also to assure you, you are inspiring millions of people. Where ever I share your video, I get thankful responses. May God always bless you.
Ahsante sana sana
Asante kaka umenifariji sana kupitia somo lako asante mungu mkubwa insha allah
Umeongea kitu kizuri sana, nimejifunza hapo 'self talk' thanx brother..
Mm ni mfanya biashala mzuli
nmependa ushauri wako Leo umenikuta katika wakati mgumu I have to change my mindset.... blessed a lot Bro
Asante sana kwa somo
Iam a best
Thanks for your words they are helping us to survive.. be blessed
Thanks so much .I am the best and I can get anything that I want.
Nimejifunza kitu. Asante ubarikiwe
Asante kaka. nimejifunza sana na sitaki tena kushikiwa furaha.
I knw i can do it! and iam going to do it change start from today thanks mr Nanauka
Mimi ni fundi mwenye uwezo mkubwa! Niliyefanikiwa kiroho na kimwili.
Nimeruhusu furaha yangu ishikiliwe na Mungu naye husema nami niwe hodari tu na ushujaa mwingi!
Ahsante kaka! Umenisogeza mahali.
I love this..thanks a lot🙏
brother am blessed with you're motivation thanks for the message...
Dah kila mara nisikiapo somo lako baba huwa ni na kitu cha kuondoka nacho...nafurahia sana..kiukweli kwasababu kupitia kuishi katika maneno yako...nimeweza kubadili mind yangu (Mind programming) nimefanya asante Joel...tuko pamoja
nashukuru sana nilikuwa namawazo Ila baada yakukusikiliza yameisha
Ubarikiwe sanaaaa
Naamini mimi ni mwanabiashara mkubwa sana, bila kusahau Asante sana kaka Joel Mungu akuzidishe maradufu, wewe ni kio cha wengi,❤❤❣
Mm ni mtu muhimu
"See you at the top"
You are always the best brother
Vzur sana
I am the CEO of my own life.....
Nimeipenda sana hii statement.
Asante sana brother
Mimi Ni jasiri!!!!Mimi ninaweza!!!!!,,,,,,Asante kaka maneno yako yana faida sana hasa kwangu!!!!barikiwa MUNGU na aendelee kukuongezea maarifa zaidi na zaidi
Shukran kwa kunijuza
Am a hard worker,Am strong and I can do ,I can stand with my own feet 🌹🌹
Thanks bro umenisaidia
Daaaaa pastor jo yani umenisema mimi kabisa, point zote zinanihusu, Asante sana ntajitahidi
I'm saying to myself strong woman I love my son so much your good words and how everyday I make myself happy
Asante kaka kwa maneno yako ya Busara.
Mimi #Najiamini katika Yesu ndio maana maisha ya stress niliyapiga teke kabisa wala sina stress yoyote. Asante kwa kunitia nguvu zaidi ya kutokaa ndani ya stress
Iam blessing with this lesson
thanks for this amazing video.
naamini kupitia hii video am become the best.
see you at the top
Actually u're the good educator
I really like this lesson from Congo based in Johannesburg thank you
Unacho kiongea kikosawa kabis Mimi najiamini miminkama mimi
You're a blessing brother!!
Utatatua vipi tatizo la kupenda na kujali sana?
Asante kaka joel
mungu akubariki sana baba kwa mfundisho yako , nafata mafundisho yako nikiwa katika mji wa kampala uganda, najengwa sana ,nilikuwa na woga wa maoni ya watu inanifanya nisiendelee lakini leo minaisha vizuri siogopi maoni yao tena naendelea sasa na nimekwisha kuanza business yangu, asante baba
Thanks too sana my brother, napenda sana abavyo umezungumuza.
i am confident, i am intelligent, i can do everything God created me to, i am hardworking, i am talented, i am capable, i am rich, i am fearful and wonderful made.. i am the best
Alhamdhulilah
Wow
God .bless you Joel good job
Wow, this is wonderful over❣️
Hongera sana Kaka nafuatilia masomo yko sana yako very standard na binafsi yananisaidia, pia ukosefu wa kipato cha uhakika husababisha ugumu wa maisha na watu wengi kuwa na stress hivyo hujikuta wanachukia kila kitu maishani mwao, na kujenerate negative thinking kwa kila kitu, Jamii inatambua mchongo wako nikutie moyo brother endelea kutuelimisha, binafsi naenjoy, wishing gd day my brother
Thanks broh ... , may god blessing ue more and more for your inspiration 2 peoples
Mungu yupo nami I can do it!
Napenad kujiambi am the best no one like me napia npenda kutatua changamboto mwenyewe cpendi kumshilikisha MTU yoyote ala mm nu msiri na mambo yangu he ni sawa
Brother nanauka salute kwko , naendlea kujifunz sana kutoka kwko , kw kifup mimi najiambia "furaha yangu ipo kwangu mm mwenyew na balance ya furah yangu ni ku keep moving tu"
asante kaka really mawazo yamepungua KBS nilivyotizama hiyo video tyuu mungu akubariki uishi maisha marefu
I'm the best. I'm blessed. I will go so far.
Asante kwa ushauli mzulikaka
Nasema Asante kaka.umenipunguzia msongo wa mawazo.
Nami pia kama ww dia
Nimeipenda mana imenivusha atua kubwa sana
Tuma Juma mambo naomba unicheki whtsp 0719619494
yaani mm sijui unisaidiaje maana nikisema nisiwaze napata kubwa kuliko
@@kissomundende3696 ya nin tena bro.
Here from kenya Kusema ukweli uyu msee he is the best motivation speaker in tanzania💡 very smart guy
Joen N you have been part of my life change,significantly.
I am the CEO of my own life....I love that
Mimi ni bora sana...
Najiamian nitaweza mm nimtafutaj
I am the CEO of my own life daah rah san
For Sure
I’m the C.E.O of my own life Mungu anitie nguvu nishinde hili jaribu Aamin 🙏🏻
Very true. Thank you very much for encouragement
Mimi ninaweza,mimi ninapedwa na Mungu,Asante sana Kaka,utatufunza mengi,ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Shukrn bro perfect I have a lot of stress ioo step ya 3 Ndio I menigusa
Kaka mungu akubaliki na akulinde kwa uelevu na uodal ulokua nao kufikisha ujumbe kwa watu inatufumbua vitu vingi na kutuelimisha sana. big up sana Joel Nanauka 👍
Athumani Said
ni kweli kaka umrkomboa wengi
Santee my brother. Mimi ni mtu wa maana mbele za machoni pa mungu 🙏🙏I can do all things in christ 🙏💪be blessed so much.
Mr joel like this video, it's awaken everything that is seems Impossible in my life and it's reveal things were hidden,
Asante kwa somo zuri limenijenga na kubadilisha mtazamo wangu naanza kwa kusema mimi ni baraka nawewe ni baraka kwetu
Above all,.ni Mungu kwanza mengine ndio yanafuata.
Barikiwa kaka JN.
Najikubali, na sintoruhusu Furaha yangu itawaliwe name mtu mwingine. Biashara ndiyo mpango mzima.
Thank you my brother kila ninapopitia changamto huwa nayakumbuka mafundisho yako napata ujasir wa kuyashinda 😭😭🙏🏻🙏🏻
Tnx Joe Mungu aendelee kukuweka ila mm ni muhanga sn wa stress na kufukiria negative all the time. Nahitaji msaada Zaidi asant
kaka m napend kazi zako na vitabu vyako napend sana kuvisoma sijawai kumaliza kukisoma kitabu chote ila vitabu vyako sichoki kuvisoma Asante kwa kutubadilisha
Nashukuru kwa mrejesho,naamini vitakupa matokeo makubwa sana
Nikwelikabisa
nmejifunza kitu,coz kunaixhu imetokea nmejilaum Sanaa,nmekuwa n zaid y stress~ila kuxhika cmu tu nkakutana n iki kituuu*thanks alot
+magreth richard ni kweli kabisa hata mimi imekuwahivyo
Yes ,lM appreciated this speaker is talking the truth, in fact about fear.there for l have learned s lot through is talent knowledge
Mimi najiamini
Thanks brother unatusaidia wengi MUNGU mkuu akujalie afya njema upendo furaha kila iitwapo leo
Asante Sana kaka kweli nimeamini kuanzia leo furaha ya ni
muda mwingine tunapitia changamoto ili tuone fursa behind-the-scenes
Mimi Ni mfanyabiashara
Kwa uwezo wa Allah nitafikia malengo hayo
In Shaa Allah
Ahsante Sana mwalimu JO nitabadilika Sana kupitia mafundisho yako.
Nimependa selftalk,mind reprogramming👌👏👏
Asante kaka kuanzia leo sitaki mawazo nimekuwa mtu wa mawazo Kila siku na kukonda kisa mawazo
bro ulizaliwa kwaajili ya watu
blessed sana sana
Ninaweza
You’re the best advisor bro. Keep it up #FurahaJipeMwenyewe#Nanauka#BasitaMedia from Turkey 👏
Ahsante Kaka Joel,,umenipa funzo kubwa inshallah Allah anisaidie niweze kuishi maisha yangu bila msongo wa mawazo tena
Nkushukuru sana maana me nskonda kwa sababu ya mawazo
Asante sana
I'm the best Graphics designer from Zambia but now in tz my wishes I wish to know more kiswahili
Hey brother
Mimi ni thinker mkubwa ninauwezo wa kufamya mambo makubwa naweza ishi bila kumtegemea mtu nina uwezo wa kuja kuwa mfanyabiashara mkubwa mungu aniongoze na mkabidhi yeye kila jambo langu
Wow thanks so much umenisaidia sana bro 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Furaha yangu ni wajibu wangu. Nimejifunza
Kabisa Eunice,You are the CEO of your own Life.
Haiwezekani hakuna binadam atakaeweza kuishi bill stress
Nimekupat vyema bro
umenibariki sana, na shukru kwa somo lako, barikiwa mtumishi wa MUNGU.
Asante sana kaka Kwa ushauri wako uliokua mzuri sana unatusaidia wenigi sana Mungu atkulipa
im da master of my own lyf
i am a president
Umenisaidia sana Asante na Mungu akubariki
Brother barikwa saana mtumishi wa Mungu aliye hai hakika your my role model
Sina chakukulipa ila tu nakuombea kwa Mungu akupe umri mrefu na mafaanikio tele
Asiah Mariam mambo
Mm najiamni ile mbaya na Najua yote niyatakayo kwa uwezo wake mungu nitayaafikia
Niko morogoro 0692444870 NIELEKEZE MY MENTOR JOEL wapi nipate kitabu chako nipe namba
Somo lako zuri sana, shukran bro..
Mimi nimfanya biashala mkubwa sana Judith general service itafanya kazi African nzima mimi nizaidi ya baaresa,moo ,na Azam mimi nimfanya biashala mkubwa sana
Thanks sana kijana! God bless you
There is no way u can live without stress........ila there is the way to overcome stress
mimi ninajiamini , najipendda\ napendwa MUNGU anannipenda na sitaenda jehanam
Ameni
Amina
Aaah wap ww
Thanks soo much I lv my self
Asante Sana Haki nimeumizwa na make wangu Ila kwa ushauri wako KUANZIA sai nasema IAM THE BEST
Mimi ni mfugaji mkubwa no matter how challenge I faced!
Safii,na itakuwa hivyo
Mimi ni mwanamke ninaye jiamini
Nitajenga horofa na nitanunua gari haijalishi kipato nilicho nacho