AINA ZA BIASHARA ZINAZO MFAA MWANAMKE - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 281

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 7 หลายเดือนก่อน +65

    1:Ushonaji na upunifu
    2:Agiza vitu kutoka nje (cargo)
    3:home business (choma viazi,sambusa,chapati,cake)
    4:kilimo biashara (mifugo)
    5:kununua na kuuza kwa faida (trading)
    6:beuty business (vipodozi)
    7:real estate (nunua kiwanja jenga rentals)

    • @RizikiMollel-m8y
      @RizikiMollel-m8y 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nakupa100% uko vzur kwenye kipindi

    • @groliamhame806
      @groliamhame806 3 หลายเดือนก่อน +1

      naomba kujua alikuwa anasoma kitabu gan kwa biblia

    • @cupcandymushi9126
      @cupcandymushi9126 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@groliamhame806mithali 31:10 nakuendelea

    • @AnnaAnojeys
      @AnnaAnojeys 3 หลายเดือนก่อน

      @@groliamhame806mithali 31

    • @kaitlinkatychloe9495
      @kaitlinkatychloe9495 3 หลายเดือนก่อน

      Mk

  • @pillykajembe-yp1ir
    @pillykajembe-yp1ir 9 หลายเดือนก่อน +25

    Ahsante sana......nitafika hatua hiyo ya Mume wangu kujivunia mimi.....Amina

  • @VellahBeauty-wg3ob
    @VellahBeauty-wg3ob 9 หลายเดือนก่อน +4

    Asante kaka me at nikiwa nyumbani naweza kumsuka MTU na nikajipatia pesa

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 9 หลายเดือนก่อน +11

    👏👏👏👏👏😁😁😁Yan mpk Raha, shukran sana kaka acha nifanye kushare na wanawake wa nguvu

  • @miraclesmercyandgrace
    @miraclesmercyandgrace 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mume wangu atajitambulisha kwa staili hii Mwl Nanauka amesema kwa uwezo wa Roho mtakatifu kwa jina la Yesu Kristo.

  • @EvalisterMwinula
    @EvalisterMwinula 7 หลายเดือนก่อน +7

    Kaka Joel wewe ni zawadi ya pekee sana kwa kuvusha wengi,kuinua mioyo iliyokata tamaa na kufungua akili iliyochoka...hua nabarikiwa sana na machapisho yako,na ninaushuhuda wa mahali ulinijenga nikasimama tena. Barikiwa

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 9 หลายเดือนก่อน +8

    🤔Katika watu wanaofanya mapinduzi na mageuzi ya kweli nchini Tanzania ni wewe na wale wote wenye kutoa elimu ya fedha na biashara. Hongera na kila hatua hakika unafanya mageuzi kwa watu🤝

  • @OripaMosha
    @OripaMosha 9 หลายเดือนก่อน +5

    Amina mtumishi Ila Mmi mumee wangu hataki nifanye biashara yoyete😢😢 Sasa hapo nifanyeje

    • @SubiraWilson-gv1mh
      @SubiraWilson-gv1mh 8 หลายเดือนก่อน

      Anakupa kila kitu??

    • @hedayamohammed2781
      @hedayamohammed2781 3 หลายเดือนก่อน

      Huyo wako ni sawa na wangu😂 nacheka kama mazuri. Mimi sasa hiv nafanya kwa kulazimisha nachoma keki mara siku azimwage basi tu vurugu😂

  • @cupcandymushi9126
    @cupcandymushi9126 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ahsante sana kaka Joel kwa neno la ukumbusho
    Mithali 31:10. Nk

  • @janethjovinal4495
    @janethjovinal4495 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa hii mtumishi wa mungu ubalikiwe

  • @JosphineOmonya
    @JosphineOmonya หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana mtumishi nimepata kiti Mimi NI fundi lakini nachesea nimepata kitu

  • @MathewBayyo
    @MathewBayyo 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera mwalimu Mungu akupe siku Nyingi

  • @beatusdaniel
    @beatusdaniel 26 วันที่ผ่านมา

    Amina san pastor lazima na mm nipambane jamn

  • @gipsonbamuhaga2976
    @gipsonbamuhaga2976 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Brother umeweza kuexplore mambo muhimu sana kwa jamii yetu Mungu aendelee kukupa utume mwema na ukafanikiwe wew na familia yako.

  • @angelakeneth8993
    @angelakeneth8993 7 หลายเดือนก่อน

    Asante mtu wa Mungu ubarikiwe wewe na uzao wako amen 🙏

  • @scholasticamarandu4762
    @scholasticamarandu4762 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema kusikia hili neno
    Mungu nipe neema ya kuchagua kitu sahii

  • @ValentinaMossy
    @ValentinaMossy 3 หลายเดือนก่อน

    Amina xana ubarikiwe hakika mungu akupe miaka mingi hapa dunia umenitoa gizan

  • @KabulaKing
    @KabulaKing 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki saaaaana, Bado najichanga nikijipata nakupigia

  • @JohnRufa
    @JohnRufa 9 หลายเดือนก่อน +13

    Nashukuru kwa kunipa wasia mwema .acha nimjaribishe mke wangu maana hana kazi yoyote

    • @happinesspraygod7276
      @happinesspraygod7276 9 หลายเดือนก่อน +1

      Usijarib fanya

    • @theresiamwandara7990
      @theresiamwandara7990 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@happinesspraygod7276Kwanini asimsaidie mkewe?

    • @SleepyBacon-zx9rm
      @SleepyBacon-zx9rm 8 หลายเดือนก่อน

      Kumsaidia mke wako ni akiri asikudanganye mtu kaka

    • @veronicaluvanda2880
      @veronicaluvanda2880 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera mkaka Mungu akupe moyo huohuo mzuri

    • @helenasangu3698
      @helenasangu3698 4 หลายเดือนก่อน

      hujamwelewa, amesema aseende kujaribu biashara, yani achukulie kua akafanye, maana inaweza kwenda kwenye maneno hayo, baada ya kujaribu akashindwa ila akiamini kua anafanya ndivyo itakavyo kua.​@@theresiamwandara7990

  • @agnessmwajojo-gr4ko
    @agnessmwajojo-gr4ko 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amin...alhamdulillah nimo japo kidogo

  • @marymajige9697
    @marymajige9697 9 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @gladysmbugua9083
    @gladysmbugua9083 8 หลายเดือนก่อน

    Wamama hallooo God bless you servant of the most high God

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera mwalimu; Juu ya taa inayowaka bila kuzimika, fuatilia yaani Fanya exegetical research. But all is fine!

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 7 หลายเดือนก่อน

    Tena nilikuwa nataka kununua shamba kibaha na nimemwambia Mungu aingilie kati uhitaji huu.
    Asante Joel 🎉

    • @sarahweston2708
      @sarahweston2708 6 หลายเดือนก่อน

      Kibaa watakuibia...
      Bora kanunue Mkulanga dadaangu

  • @pialafrance7922
    @pialafrance7922 9 หลายเดือนก่อน

    Umesema vyema sana barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @FloraMika-n5m
    @FloraMika-n5m 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante ushonaji na ubunifu ❤❤❤❤

  • @UwinezaFrancine-nt4jw
    @UwinezaFrancine-nt4jw 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nipe wateja kwenye duka yangu

  • @jovinaanderson
    @jovinaanderson 2 หลายเดือนก่อน

    Thank you neno zuri sana Mungu akubariki

  • @RedgaMsigala
    @RedgaMsigala 9 หลายเดือนก่อน +7

    Amen Sema watu wa Mungu tuamke maana wacha Mungu tunamzalaulisha Mungu kana kwamba Mungu hawezi kubaliki kumbe hatujakaa mkao wa kupokea.

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika Tena wengi TUNALIA NJAA NJAA ata mionekano yetu wengi inamwaibiaha MUNGU Kwa NJAA , tumebweteka na kuridhika tu Kwa dini na KUKESHA kulia na KUOMBA makanisani na kusaka miujiza ,wakati BWANA ALISHAWEKA KILA KITU NDANI YETU ,TUAMKE

  • @JenniferMartin-y4b
    @JenniferMartin-y4b 19 วันที่ผ่านมา

    moyoni mwangu nimesikia neno nakuombea mung afanye kitu kwaajili yangu

  • @christinekitsao4569
    @christinekitsao4569 7 หลายเดือนก่อน

    Amen, barikiwa sana mtumishi naomba kujua maandiko yanapatikana katika kitabu gani

    • @ZENAMHUMBA
      @ZENAMHUMBA 7 หลายเดือนก่อน

      Mithali 31

  • @upendondilahomba7915
    @upendondilahomba7915 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kwa huduma nzuriVipi ni methali ngapi??? mana naona unasoma mistari tu

  • @GraceMoses-z5p
    @GraceMoses-z5p 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu nisaidie NAMI nifanikiwe

  • @angelmalugu2887
    @angelmalugu2887 3 หลายเดือนก่อน

    Asnt sana mtumish Mungu akubarik sn nimepona mahal

  • @_letsgrowtogether
    @_letsgrowtogether 9 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu amekutumia kunijibu😢 ubarikiwe kaka❤

  • @pulcheriamayombo5780
    @pulcheriamayombo5780 5 หลายเดือนก่อน

    Joel Mungu akubariki mafunzo yako ni mkombozi

  • @pendomason8582
    @pendomason8582 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mchubgaji asante

  • @linahjoseph6457
    @linahjoseph6457 8 หลายเดือนก่อน

    Dah sante sana bro umenigusa ktk biashala asante kwa kunihakikishia kile nilicho kua nawaza kukifanya❤

  • @jemimahchiro4013
    @jemimahchiro4013 9 หลายเดือนก่อน

    Amen ni mebarikiwa sn na ujumbe waleo

  • @beatricemnkeni2670
    @beatricemnkeni2670 9 หลายเดือนก่อน

    Amina. Amina. Ubarikiwe mtu wa Mungu.

  • @MagrethIkoti
    @MagrethIkoti 7 หลายเดือนก่อน

    Amina na Mimi naamka jamani,mungu nisaidie

  • @fostermwanja8718
    @fostermwanja8718 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika umenisaidia sana barikiwa sana mtumishi.

  • @RoseSimeo
    @RoseSimeo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukwel kwa mnao ish jijin mnalaha wengne tuko mbali na miji jmn 😢

  • @neemazacharia2670
    @neemazacharia2670 6 หลายเดือนก่อน

    Asante baba ubarikiwe maana sasa

  • @gaudensiashayo3294
    @gaudensiashayo3294 7 หลายเดือนก่อน +1

    Umeapprove my business idea. Kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa. Asante kaka kwa maarifa haya.

  • @AnnWahome-ty4nc
    @AnnWahome-ty4nc 6 หลายเดือนก่อน

    Thenks sana,umesoma kitabu gani

  • @zaishanga1622
    @zaishanga1622 9 หลายเดือนก่อน +3

    Asante naenda kuwa mpya mchumgaji ubarikiwe niombee sana niweze simama tena maana maadui ni wengi eeee kwenye maisha yangu lkn kwa ujumbe wko huu barikiwa

  • @WebWne-c3l
    @WebWne-c3l 4 หลายเดือนก่อน

    Aki najifinza kitu kwny masomo yk n nilianza jn,mungu akubariki sn

  • @Sali-dr3xx
    @Sali-dr3xx 3 หลายเดือนก่อน

    Pastor umenigusa sana ubarikiwe sana nikitabu gani hicho

  • @NdimyakeKennedy
    @NdimyakeKennedy หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akutunze sana sana.

  • @HekimaLuvanda-te3xr
    @HekimaLuvanda-te3xr 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mtumishi wa Mungu .

  • @rajabkahindi3389
    @rajabkahindi3389 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ubalikiwe sana kaka joel

  • @Jrmontaiza
    @Jrmontaiza 6 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke ni mtu nanusu Mama zetu hakika madini makubwa hayo

  • @nuhuamini1528
    @nuhuamini1528 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana unanipa nguv sana

  • @emmakioko174
    @emmakioko174 17 วันที่ผ่านมา

    This is wonderful.

  • @SteriaMizimu
    @SteriaMizimu 3 หลายเดือนก่อน

    Umefanya nielew ktyu mungu akubark saan

  • @annamallya8756
    @annamallya8756 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana Mungu azid kukutunza

  • @miriamshedrack2320
    @miriamshedrack2320 5 หลายเดือนก่อน

    Something so powerful I have heard today 🙌🙌

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 9 หลายเดือนก่อน +38

    Hakika Mda Na MB. MH. Joeli Nanauka Nazo Tumia Kukufatilia Na Kusikiliza Video Zenye Ujumbe Wenye Kutu Jenga Hakika Kukufahamu Na Hata Vitabu Vyako Vyote%86 Ni Hazina Kubwa Kwa Mtu Ambaye Yupo Tayari Kubadilika Na Kuwa Mtu Wa Kitofauti Yani Kuishi Maisha Aliyo Kusudia Mungu Tuishi Au Mtu huyo Aishi Awe Vile Kama Ambavyo Mungu Amekusudia Katika Maisha Yetu Katika Maisha Yake

  • @BuzakeYvonne-cc4ge
    @BuzakeYvonne-cc4ge 7 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa maono mazuri

  • @paulpeter4684
    @paulpeter4684 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee Kaka Joel Nanauka

  • @goldiegranted5501
    @goldiegranted5501 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nipo nasubiri 😊🏆🥇

  • @ThomasNghwani-nw6rx
    @ThomasNghwani-nw6rx 9 หลายเดือนก่อน

    Amina...Injili iliyonyooka

  • @gracelaizer1787
    @gracelaizer1787 8 หลายเดือนก่อน +4

    Shukran ila Mwanaume mwingine hapendi ukinunua eneo

    • @HadijaMakupika
      @HadijaMakupika 5 หลายเดือนก่อน +2

      Wengi wako hivo , mtihan Yan kuna wanaumenukiwanao hata future zako zinapotea kabisa

    • @hedayamohammed2781
      @hedayamohammed2781 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@HadijaMakupikakama huyu wangu ni shida tupu

  • @JescaAnatoli
    @JescaAnatoli 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mimi nimejifunza kitu katakana nipige hatua japo nafuga kuku wa mayai

  • @Sharon-m2s
    @Sharon-m2s 8 หลายเดือนก่อน

    Safi kaka nimejifunza kitu hapa

  • @brandyTrevor-x9g
    @brandyTrevor-x9g 9 หลายเดือนก่อน +1

    thanks and god bless you

  • @GladyKimaro-df7gi
    @GladyKimaro-df7gi 3 หลายเดือนก่อน

    Amina nmepata kilicho changu

  • @lidyadorcas9536
    @lidyadorcas9536 3 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks bro you mean alot to me!

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 9 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana hakika 🙏🙏

  • @goldiegranted5501
    @goldiegranted5501 9 หลายเดือนก่อน +4

    Somo 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nurumichael2554
    @nurumichael2554 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana,barikiwa sana

  • @happyambweneambwene8444
    @happyambweneambwene8444 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sanaa nimepata kitu

  • @revombenmwakwenda6006
    @revombenmwakwenda6006 9 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa Sanaa❤❤

  • @elizabethchacha8276
    @elizabethchacha8276 9 หลายเดือนก่อน

    Well said mtumishi🙏

  • @JescaZacharia
    @JescaZacharia 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amena mtumishi

  • @Am-ryn
    @Am-ryn 7 หลายเดือนก่อน

    Imenijenga sana 🙏🏽❤️

  • @janethkawishe9368
    @janethkawishe9368 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Joel

  • @kanaelmushi7862
    @kanaelmushi7862 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu atubariki kwenye harakati zetu za utafutaji.

  • @linethowire7031
    @linethowire7031 9 หลายเดือนก่อน +1

    Well said NANAUKA

  • @BitriceMwemezi
    @BitriceMwemezi 2 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @evalinemalole6709
    @evalinemalole6709 7 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌
    Genius one ever 🙌

  • @rehemamwasomola4362
    @rehemamwasomola4362 6 หลายเดือนก่อน +1

    BARIKIWA MNOO MTUMISHI JOEL NANAUKA NAKUELEWA SANA.ILA NAOMBA UWAFUNDISHE WABABA WASIWE NA INFERIORITY COMPLEX. WANAWAKE PIA TUSIWE NA JEURI HADI KUKANYAGA WABABA TUKIFANIKIWA.STAY BLESSED

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 9 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana kaka joel

  • @MwanaishaMohammed-f4t
    @MwanaishaMohammed-f4t 4 หลายเดือนก่อน

    Amin hakika tutafka uko

  • @AgripinaMallya-n7x
    @AgripinaMallya-n7x 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana kijana

  • @godrivercaaron81
    @godrivercaaron81 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi, umenijibu maswali yangu leo

  • @paulinamoses1797
    @paulinamoses1797 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mwalimu

  • @TwilumbaLugasi
    @TwilumbaLugasi 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana,umenipa vitu.

  • @ailennkya892
    @ailennkya892 9 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you nwalimu

  • @efroncinarespice7919
    @efroncinarespice7919 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana

  • @rechoshop4094
    @rechoshop4094 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana jmn 🙏

  • @AnithaNsellu
    @AnithaNsellu 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli soma limeeleweka

  • @lucyshedrack189
    @lucyshedrack189 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you my brother

  • @GraceKimenanga
    @GraceKimenanga 5 หลายเดือนก่อน

    Heshima Yako Leo nimejifunza mengi

  • @gracefaida2317
    @gracefaida2317 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mnoooo

  • @julianalaly2095
    @julianalaly2095 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

  • @TinaNombo
    @TinaNombo 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni mtumishi

  • @upendominja9824
    @upendominja9824 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika ubarikiwe