Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Hivi unajua kuna wapenzi wengi sana hujikuta wanagombana sana na hawajui kwanini wanagombana hivyo. Kila mmoja anamwona mwenzake ndio tatizo. Hali hiyo ikiendelea mnaweza kujikuta mnaachana. Hizi hapa SABABU 5 ZA KWANINI MNAGOMBANA HOVYO, Jifunzeni ili mbadilike#Sababu5#Kugombana#Hovyo

ความคิดเห็น • 222

  • @baluhyaandrew1564
    @baluhyaandrew1564 ปีที่แล้ว +32

    1) Mawasiliano mabovu
    2) Kukosekana uelewa
    3) Kutokuwepo uelewano
    4) UBINAFSI
    5) Tabia ya kudhania
    NB: Tusifanye hayo

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

      Safi Sana

    • @geraldshundi9452
      @geraldshundi9452 11 หลายเดือนก่อน +1

      Nimependa najua hii mada sio ya hapa
      Mimi na mchumba wangu tuko mbali geographically Love languages yake Ni physical touch na mahusiano yetu Yana mda wa mwezi mmoja tangu tuwe mbali ananiambia hayuko happy kwasababu there is no physical touch as a way to be Happy
      Nifanyaje

    • @bonifacebeatrice3981
      @bonifacebeatrice3981 9 หลายเดือนก่อน

      Nisahihi kabisa ,ila kweli Mungu aturehemu 🙏❤️

  • @WitnessHassan-gy3rz
    @WitnessHassan-gy3rz หลายเดือนก่อน +1

    Dr mauki ubarikiwe kwa kutufunza na kuweka akili mpya ndani ya vichwa vya watu wengi tunapitia mengi katika yote unayofundisha lakini tunapona sana ubarikiwe

  • @apostlepaulstudent7111
    @apostlepaulstudent7111 2 ปีที่แล้ว +21

    This is one of the Best video katika video ambazo Dr nimekutana nazo..hakika hii Nita I play mpaka iwe scratches, plan yangu ni kuwa bora na makini kwenye mahusiano yangu. Kweli mahusiano yanajengwa hayajijengi kama wengi tunavyodhani. Maarifa, vitendo, uvumilivu ndio dawa ya kusonga mbele na kufanikiwa kwenye hili eneo

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  2 ปีที่แล้ว +4

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @user-cf8re1vm7o
    @user-cf8re1vm7o ปีที่แล้ว +3

    Nimejifunza tena mm nimegunduwa ninatabia mbaya lakini Sasa nimeacha kuanzia Leo nimejifunza kabisaa ahsantee mauki kwa somo lako zuriii

  • @peterkessy7461
    @peterkessy7461 2 ปีที่แล้ว +8

    Doctor hili ni kweli kabisa mm ni muhanga wa hilo halafu mm ndy mwenye hizo tabia

  • @esterjohn871
    @esterjohn871 2 ปีที่แล้ว +5

    Asante San doctor nimekuelewa San mungu Akubariki San mausiano yangu yanachangamoto San mi kila cku Ni MTU wa kulia tu

  • @danielmlwafu4380
    @danielmlwafu4380 5 หลายเดือนก่อน +3

    🎉Doctor 🎉mauiki ❤

  • @julianalameck9045
    @julianalameck9045 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii inatugusa moja kwa moja wanawake, aisee asante sana Dr Mungu akubariki nimejikuta nabadilika kwa mafunzo yako namsaada wa Mungu, kwasasa ni furaha tu maana namuelewa

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  2 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @magrethmwambu3637
    @magrethmwambu3637 ปีที่แล้ว +6

    Dr ubarikiwe sanaaa nimekuelewa vzr,ila wanaume wengi ni pasua kichwa Mungu atusaidie wamama tulio kwenye ndoa jamani.

    • @NuruChande
      @NuruChande 2 หลายเดือนก่อน

      Amiin

  • @user-hn5mc1vp2r
    @user-hn5mc1vp2r 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dah dokta mungu akupe maono zaidi mimi nimekua mwanamke wakutengeneza nyumba isiyotengenezeka. Watu wengine niwagumu kuwaweka sawa.nimeamini wengine ndivyowalivyo kwenye koo zao

  • @ME-qe8ui
    @ME-qe8ui 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana jaribu kumchunguza nakumuuliza Mungu mwana mkeatakiwi kuwa ivyo bali anatakiwa kukuombea lakini akikufumania iyo ni tiketi

  • @user-mb1wc2um2i
    @user-mb1wc2um2i 24 วันที่ผ่านมา

    Asante Sana Father

  • @emelensianmalugu8673
    @emelensianmalugu8673 ปีที่แล้ว +1

    Amina Mungu akubariki sana kwa mafundisho mazuri

  • @lightforafricatv3122
    @lightforafricatv3122 ปีที่แล้ว +2

    Napenda unavyofundisha Dr Chris

  • @MOTecnology
    @MOTecnology 2 ปีที่แล้ว +2

    Uko sahihi Brother. Mimi ndie nilikuwa muhanga wa hizi tabia zote ulizotaja hapo. Shukran sana NITABADILIKA

  • @shitalnayi2580
    @shitalnayi2580 2 ปีที่แล้ว +5

    Very inspiring videos. Thanks. Please do more on communication between two people living together or husband and wife and listening to gossip would break relationship

  • @victoriabulambo2029
    @victoriabulambo2029 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Mtumishi wa mungu, umenigusa mimi moja kwa moja,,,,, 😱 😱

  • @HappyMwaigwisya
    @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

    Chris unafundisha vizuri. Nawapenda wote wewe na mke wako Miriam. Mbarikiwe Sana Sana kwakweli

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kaka mauki kwakutupatia elimu bora

  • @elizabethmgimba454
    @elizabethmgimba454 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu wa mbinguni akubariki

  • @giftamulike8650
    @giftamulike8650 2 ปีที่แล้ว +2

    Dokta Nina kuelewa aisee ahsanteee sana dokta

  • @mwinjumakombo958
    @mwinjumakombo958 6 หลายเดือนก่อน +2

    yan kwenye ndoa yangu tunagombana Sana mke wangu ananiambia kuwa Mimi Malaya na wakati hiyo tabia Sina kabisa unazani hiyo ni dalili gan nikichelewa kidogo tunagombana yaan ugomvi ndan ya nyumba Kila ikipita mwez sababusababu zinakua nyingi Sana

  • @theresiamartin3008
    @theresiamartin3008 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Dr saivi nimebadilika sana na mume wangu ananifurahia nilikuwa na vimaneno mimi jmn

    • @Suzy19-qh3nh
      @Suzy19-qh3nh 8 หลายเดือนก่อน

      Stopic hoi imenifungu akili thaks

  • @queenmakere2849
    @queenmakere2849 2 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee kwa somo zuri nimejifunza kitu ndio maana magomvi yanatokea sana sana

  • @kelvinsakey2540
    @kelvinsakey2540 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki sana chris mauki 👏🏾

  • @user-xk3hd6xf3e
    @user-xk3hd6xf3e ปีที่แล้ว

    Ahasante Dr Chris's mimpka hpa tumeishagombana

  • @ElzaberthKazoba
    @ElzaberthKazoba 16 วันที่ผ่านมา

    Kweli iro somo lime nigsa sana mm nampenzi wangu tnagombana ovyo

  • @JapharyKininki-oe3kk
    @JapharyKininki-oe3kk ปีที่แล้ว

    Asante kwa Somo zuri me mwenyewe ni muhanga wa jambo Hilo

  • @rahmamasagati4218
    @rahmamasagati4218 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo zuri

  • @otiliangombale3548
    @otiliangombale3548 ปีที่แล้ว

    Teacher i love your topc so yanabadirisha maisha yangu GOD bleas you

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 ปีที่แล้ว

    Asante sana apo umipa elemu xx nnimejua hongora dctr

  • @jacobkilimba748
    @jacobkilimba748 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana Doctor Nimejifunza Mambo Mengi Sana Ubarikiwe Sana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  2 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @cindyfrancis2722
      @cindyfrancis2722 2 ปีที่แล้ว

      Doctor ninashida sana namsaada waushauri ninamgogoro mkubwa kwenye mahusiano yangu nanimjazito pls dokta

  • @elijahthadeus2745
    @elijahthadeus2745 7 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana Mwl. Kwa masomo mazuri unayotupa Mungu wa mbinguni akubaliki sana

  • @mwendelwaaline1444
    @mwendelwaaline1444 2 ปีที่แล้ว +25

    Kweli iyi somo inanigusa sana tena sana. Mimi na mpenzi wangu tunagombana sana tena zaidi kila siku. Akuna uaminifu kati yetu.

    • @raphaelyesaya188
      @raphaelyesaya188 2 ปีที่แล้ว +1

      Kaka sio wew Tu Mim mpaka saiz mda huu nime itwa na balozi uku

    • @AngellasimonkivuyoSimon-of4xs
      @AngellasimonkivuyoSimon-of4xs ปีที่แล้ว +1

      Kufny nn kwabalozi

    • @361NEWS
      @361NEWS ปีที่แล้ว

      @@AngellasimonkivuyoSimon-of4xs😂😂😂😂😂😂😂

    • @ameria2332
      @ameria2332 ปีที่แล้ว

      😂😂😂MUNGU nisamehe yasinikute ,pole jaman😢

    • @aishadulla7364
      @aishadulla7364 ปีที่แล้ว

      @@raphaelyesaya188 🤣🤣🤣

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe San Docter nikipata mahusiano mapya nitaishiii na ivi vitu

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique

  • @RoseMbwawa
    @RoseMbwawa 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsant kwa somo🙏

  • @lulubandawe6284
    @lulubandawe6284 2 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations Dr mauki your the solver to us heart breakers

  • @MegaNasri-bv7tc
    @MegaNasri-bv7tc 3 หลายเดือนก่อน

    Thank you sir

  • @user-ut9xt6mo2u
    @user-ut9xt6mo2u 2 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri sana mm nina mpenzi wangu ambaye hataki kunielewa hususan upande wa fedha ety akoradhi nikope ili yeye anunue nguo mpya za sikukukuu

  • @jacklinenoballa8946
    @jacklinenoballa8946 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa somo hili ambalo limekuwa ni mimi umeniongelea hadi natafuta plani B sasa

  • @thomasferdinand8769
    @thomasferdinand8769 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa ushauri mzuri

  • @estherkalenge1689
    @estherkalenge1689 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Dr. Chris unanifanya napiga hatua

  • @user-lq4rn8qp4x
    @user-lq4rn8qp4x 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sana

  • @marykomba2171
    @marykomba2171 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaaani ni kweli kbs.....be blessed

    • @JACKSONMAKUBO-ne7lv
      @JACKSONMAKUBO-ne7lv ปีที่แล้ว

      nasemakutoka moyonimwangu hakunaulijo kisema ambajo sijawahi kukumbana najo katika ndowayangu nimepitiya mengisana shidanyingi sana nikiyanza kusimuliya utaniyoneyahuluma kweli achatu

  • @gracemutalungu
    @gracemutalungu ปีที่แล้ว

    You are ablessing in Dr

  • @anastazianindi4184
    @anastazianindi4184 10 หลายเดือนก่อน

    Nimepata somo kubwa

  • @UwezoAbeli
    @UwezoAbeli หลายเดือนก่อน

    😢😢 🙌🏻

  • @_.princesslinah
    @_.princesslinah ปีที่แล้ว

    Daaah uwelewaa nimejifunzaa 🥺

  • @nassirkhalfan3166
    @nassirkhalfan3166 2 ปีที่แล้ว +4

    Perfect💯

  • @user-xk3hd6xf3e
    @user-xk3hd6xf3e ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @FredooCulture-zl9ou
    @FredooCulture-zl9ou 8 หลายเดือนก่อน

    Kwel Dr unajua

  • @user-pz4np8vy3j
    @user-pz4np8vy3j ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kwa somo zuri.

  • @cymone6159
    @cymone6159 10 หลายเดือนก่อน

    Umeniongelea mimi maana hata sasahivi siko sawa na mke wangu ahsante kwa mafunzo nitakaa chini kujifunza ili tuishi vyema

  • @dancansaka5004
    @dancansaka5004 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi mzuri brother

  • @Evarinfaustin
    @Evarinfaustin หลายเดือนก่อน

    Dr,Mungu akubariki me nina mume wangu tumezaa nae lakin hatujafunga ndoa lakin kuna kipindi tunagombana hadi inabidi niondoke nirudi nyumban ili kupunguza hasira lakini kuna mda yani tunaongea vizuri hadi naona raha nifanyaje na sijui huwa inakuwa shida ni nn

  • @senedapaul9264
    @senedapaul9264 2 ปีที่แล้ว

    Thanks nabarikiwa Sana na mafundisho yako

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 5 หลายเดือนก่อน

    Sante jamn sisi tukiwa maliza wiki tumuombee Mungu yaan mwez hauishi Ugomvi usio na sababu mtu anatoka na Maneno hko anakuja kuuliza ukijib kosa ni ugomvi

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa huyo ni mm lkn maisha ndo yanafanya hivyo ndugu watu tunaokutana na balaa

  • @fahidashishi255
    @fahidashishi255 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi na mpenz wangu tunagombana sana na mim ndie chanzo na yeye uchukua atua kunifukuza kwake ikisha sijui kwa nini ila maray sana

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

    Mbona kwangu aifunguki

  • @fortunesanka5341
    @fortunesanka5341 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank you 🙏

  • @salimzumamangale9843
    @salimzumamangale9843 2 ปีที่แล้ว

    Thanks somo zuri sana

  • @danielmlwafu4380
    @danielmlwafu4380 5 หลายเดือนก่อน

    Aisee 😮🎉❤

  • @annachuwa3432
    @annachuwa3432 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka mauki

  • @bintimchasa8557
    @bintimchasa8557 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana imenikusa mazima

  • @ArtstjamdiiAgamabigboy
    @ArtstjamdiiAgamabigboy 8 หลายเดือนก่อน +3

    Broo bigi up sana broo wahaya sina hamu nao malaya wakubwa

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 5 หลายเดือนก่อน

      Umalaya ni Tabia Ya Mtu kila Sehem wapo wanao kuwa hiv

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 ปีที่แล้ว

    Criss mauki is the best 😅

  • @directormwanguku
    @directormwanguku 2 ปีที่แล้ว +2

    That's true

  • @rhodasaid3262
    @rhodasaid3262 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakuelewa sana Dr. Sijuti kuwa mwanafamilia ya chanel hii , kiukweli unanibadilisha kila ninapo angalia kila unachokifundisha. BWANA akutunze!!

  • @user-sn8ne4is8x
    @user-sn8ne4is8x 25 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa na Mimi ico kitu kinanifikiaga ten nasisi tunagombana na Mme wang san

  • @agnessmhokole8600
    @agnessmhokole8600 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi ni wanandoa , lakini Mumewangu amezaa Zambia na mwanamke mwingine nifanyaje mwalim

  • @kekekelly1299
    @kekekelly1299 2 ปีที่แล้ว

    Asant San Dr Chris 🙏

    • @giftmndeme6415
      @giftmndeme6415 2 ปีที่แล้ว

      Mungu azidi kukutunza Dr.Chris🙏

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 ปีที่แล้ว

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique🇲🇿

  • @haulekanuth5393
    @haulekanuth5393 ปีที่แล้ว

    Inanigusa sana Dr

  • @salometemba5225
    @salometemba5225 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kaka
    Nimejifunza sana

  • @glorykalunga4849
    @glorykalunga4849 2 ปีที่แล้ว

    Ahasante kwa ushaur mzur Kaka

  • @MohamediAthumani-ge1bq
    @MohamediAthumani-ge1bq 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mm Nina mpenz wangu Kila 2kikutana mm nayeye haniangaliii uson ata dakka m1 yn ananiona aibu sn tn zaid ya sn yn

  • @raphaelyesaya188
    @raphaelyesaya188 2 ปีที่แล้ว

    Blessing

  • @neemashirima6121
    @neemashirima6121 2 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazuri barikiwa San.

  • @abedijunior4369
    @abedijunior4369 ปีที่แล้ว

    Duu Asante kaka kwa ushaul wako

  • @MagoriMonge-op1jr
    @MagoriMonge-op1jr 11 หลายเดือนก่อน

    Fact

  • @user-ct6cf4pb2y
    @user-ct6cf4pb2y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani Dr,m na mume wng tumekuwa tukigombanana mume wng na kila tukigombana amekuwa akiniambia kila mtu afanye yake na amekuwa akinitelekeza na kwenda kuishi na rafiki yake lakini na anarudi tena nampokea

  • @faithmaiseli609
    @faithmaiseli609 ปีที่แล้ว

    Aise mimi nampigia simu mara nyingi sana mume wangu maana ni mtu wa safari sana,lakini yeye anachuna kimyaa!nikichoka kupiga nayeye hapigi,nikaamua kutafuta company ya marafiki tu kwaajili ya mawasiliano maana nilipolalamika alilalamika zaidi naamua kunyamaza

  • @TumainiMupope
    @TumainiMupope ปีที่แล้ว

    Nikweli baba

  • @LoyceLoyce-fu9pc
    @LoyceLoyce-fu9pc 2 หลายเดือนก่อน

    Eeh jamani me mpenz wang akiongeà nisipomuelewà ananitukanà kabisà jamani 😭😭😭😭me nimeamuà tyu nimuache coz anielekez kwalughà nzuuuuriiiiii but anàongeà kiukali duuuh me siwezi😭😭😭

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania หลายเดือนก่อน

      Pole sana ana tatizo sehem sio bure.

  • @janethisack735
    @janethisack735 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @joycetematema1324
    @joycetematema1324 ปีที่แล้ว

    kweli kabisa, unasikia wewe wakati wengine wameshasikia miaka mingi Sana, unapokuja kusikia wewe wanakushangaa

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Dr. Chris

  • @KUZENZATV
    @KUZENZATV ปีที่แล้ว +1

    Nasumbuliwa sana na mapenzi yan pak moyo unauma coz baby wangu anao weng

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 2 ปีที่แล้ว

    Najifunza mengi sana

  • @QueenMunisi-x6z
    @QueenMunisi-x6z หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza mengi kwako mungu akupe maisha mrfu nafatilia san video zako lakin bado najikuta nang'ang'ania penzi fake sijui nashida gan nampenda mtu ambae hana mda na mimi namtumia txt hanijibu anajibu akijisikia na nikimwambia hiyo tabia sipendi anaomba msamh lakin bado anarudia kile kile usk .naomb nisaidie kaka nijitoe uku nashindwa

    • @WitnessHassan-gy3rz
      @WitnessHassan-gy3rz หลายเดือนก่อน

      Kuna shida hapo kuna kidudu mtu yupo hapo i akili yake imetekwa sehemu nyingine uwe na jicho la 3
      Mahusiano fake

  • @user-kp6ju3pb9l
    @user-kp6ju3pb9l ปีที่แล้ว +1

    Wakati mwingine mtu anakua na ubabe uliopitiliza l hate sana😢

  • @williumgeorge3888
    @williumgeorge3888 2 ปีที่แล้ว +1

    The best lesson 🙏

  • @luhanyamipawantobi6888
    @luhanyamipawantobi6888 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nagombana Sana hovyo,,,namke wangu

  • @user-ey2df6tz4s
    @user-ey2df6tz4s 4 หลายเดือนก่อน

    I wish I listened to you sooner before I got into this fake marriage I would hav made a better decision,ata hivo naomba ushauri wako maanake tuko na watoto watatu sai lakn ndoa haina ladha wala amani 😢

  • @OnieriSimion
    @OnieriSimion หลายเดือนก่อน

    Docta nimekuelewa

  • @RutyNatalia-uu5uj
    @RutyNatalia-uu5uj 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa yani mm ni mtu wa kupanic mnooo

  • @angelomary5542
    @angelomary5542 3 หลายเดือนก่อน

    Nikweli hata Mimi na mpenzi wangu tunagombana kila mara na ukiangalia hakuna sababu ya msingi sijui mpaka sasa nifanyeje 😢

  • @user-uk7ib9pd1i
    @user-uk7ib9pd1i ปีที่แล้ว

    Kwel kaka