Dah ebana jamn tuseme ukweli huyu brother anatuokoa sana na ni asilimia zote wengi tunakumbwa na hili tatzo na hii hali inanikuta sasa nashindwa kufanya kazi , nashindwa kufanya chchte kwa ajili ya mwanamke nnaempenda kwa dhati lkn yeye haoni thamn yangu
Mzee upendo sio hisia.....marekebisho tu! Watu wengi wanachanganya hisia na upendo....hisia hua zinabadirika kila dakika.....na hubadirishwa na vitu vingi ndani ya mwili...so upendo sio hisia, upendo ni nguvu inayotoka ndani ambayo hutokana na maamuzi. Asante
Asante kwa somo zur mm yamenikuta na nimefuta namba zote zawad zake nimegawa zote hakuna kitu chake tena na amekula brock maana anakuwa msumbufu ilihal hana mapenzi ya kweli...ni zaid ya mwez sasa nina Amani na furaha ykutosha maisha yanaendelea vzr kabisaaa
Kweli nimimi umesemea kwakukuwa nilikuwa namchumba ambaye nilimpenda Sana moyoni, Ila ilitokea wakati flani akaniitisha nikazania ataniambia mambo mazuri, kumbe ataniambia nimekuchoka utafute mwingine mchumba bila sababu mpaka Léo sijapata mwingine kama naye, nilivuta namba yake Siku kwa Siku Ila sikuweza kuisahau mpaka Léo hii karibu mwaka mmoja hii. Nifanye njee?
Nimechelewa kukujua japo nishapona maumivu ila 😢nikimtizama mtoto wake kumsahau inakua ngm jpo asahv ctaki ata ukarb nae mana hata malez ya mtot pia hayajui bc nikajivua mazima tumebakia na jina lake2🙌
Wakati mwingine unapokua mtu wa kutendwa mara kwa mara inabidi ukae utafakari kwa kina , kwanza uanze kujisafisha wewe kimwili na kiroho ukishajikamilisha geukia upande wa ukoo pengine Kuna laana za ukoo ndo zinakutesa uwe mtu wa kutendwa mara kwa mara , lakini pia ujitafakari katika safari Yako ya kimahusiano pengine ulishawahi kumtendamtu bila sababu ya msingi halafu machozi yake mungu akayapokea na yakakuweka katika wakati mgumu Tena usiosameheka yote hayo inabidi tujiulize , usilaumutu kua mbona unakua wa kuachwa Kila wakati, jitafakari ukipata majibu mkimbilie mungu, Kila changamoto inakisababishi, Asante CHIEF JOEL
MUNGU Ameumba vyombo vyake kwa ajili ya KUJENGA UFALME wake kwa ajili ya UTUKUFU WAKE.(Yeremia 17:1-27'10,14'Zaburi 19:12,51:1-19.Asante somo ni zuri kazi ni kuliishi, EL-SHADDAI=Waefeso 3:20
Asante sana, daah nipitia maumivu ayo nirimpenda kwa moyo ote kila aricho kuwa anataka nirimpa nirimthamini,nirimjali,nirimuheshimu lakn yeye ariniacha mimi richa ya vyote aridanganya kuwa ananipenda kumbe yeye arikuwa ananipenda kawaida miaka yote 3 nikiwa nae
Haki leo joel umenizungumzia mimi na kunifundisha somo ninalopitia kwa sasa kwenye maisha yangu duhh kaka yangu ubarikiwe sana na Mungu maana nimesubilia hili somo ili nijifunze jinsi gani nitapona🙏🙏🙏🙏
Kaka Joel kiukwel mafundisho yako huwa yananilenga sana nina mzazi mwenzangu kiuhalisia nilimpenda sana yaani tuliweka malengo lkn saiv ana mke mwingine na nilikuwa najipa matumain lkn naona km inashindika ingawa anabaki kunipumbaza tu naona, Asante kwa somo zuri nimejifunza kitu
Habari jaman, hapa brother Nanauka ameongelea pale unapompenda mtu lkn yeye hakupendi, sasa kinacho nikuta mm Kwa sasa ni tofauti na hilo, mm ninampenda mwanamke na nimesha mwambia ukweli siku kadhaa zilizopita, alinikataa akidai tayar Yupo na mahusiano, lkn bado ananitafuta tunaongelea maisha na kadhalika, nahisi pengine haniamini lkn najiuliza nifanye nn ... Naomben ushauri
Asante sana kaka ila kama mtu huyo ni sister tupo naye kila siku ,mezani , nyumba moja ,kusali pamoja .inakuwaje nifanye nini nimejengewa chuki kwa sababu ya vipaji vyangu naomba ushauri
Asante doct ukweli mie nimesota sana niliachwa na ujauzito mpka nimejifungua hakutaka mazoea na mimi kabisa lakin nilijitahidi kumpotezea mpka saiv ndo naenda nikipona mara nyingi apenda kuangalia muv na kusikiliza music,,,dah ila namtoto wake ila sijalii naiman na kwa somo lako hili nitazidi kumwona wa kawaida tu..
Kaka kiukweli nam nimiongon mwa watu wanaopitia changamoto hii ila kupitia dara lako kunakitu nimejifunza,asante pia mungu akujalie upeo wakuelendela kutoa masomo kama haya adhim
Aiseee inauma sana kwakweli hii ilinikuta niliugua sitokuja kusahau kidogo nife uuuuwiiii namshukuru Mungu pekee kwakweli nilikaa sawa sema inanipa ugumu wakupenda tena sijui najionaje😭
Kwa kweli hii hali ngumu sanaa nna mpnz wangu tumekuwa kwa mahusiano miaka 2 Nimegunduwa ana mpnz Mwingine naona fika hanipendi Naumia Sanaa Lkn nashindwa kumuacha Naona mafunzo yako yatansaidia
Yan nacheka kama mazuriiii uuuuuuw😂😂hapa kichwa cha habar ni unampenda lakin hakupendi,,,, haya ukija huku kwenye habar ifuayayo,,,, ni jinsi ya kupona machungu,,, bora nifungue nahapo pa,,,, jins yakupona machungu,,, eee jaman😭
Ahsante sana Kwa somo lako hakika unatuponya wengi, mimi ilinitokea alionekana kunipenda ila baada ya mda aliniacha nkawa siwez kumsahau ila baada ya kuchukua maamuzi nkamua kufuta Kila chake , ila bado yeye aninitafuta na aliniacha , iyo Hali najikuta namrudia Bado ananiumiza na me nampenda Bado , kaka angu ili limekuwa tatizo kubwa sana kwangu
Njia nyengine ambayo huwa inasaidia kwa kiasi kikubwa ni kutafuta mpenzi mwengine na uzuri zaidi baada ya kuwa naye ni vizuri umuelezee huyo mpenzi wako mpya hali ulikuwa ukipitia punde tu baada ya kuingia na yeye kwenye mahusiano ili ajuwe vipi akusaidie kuondoa stress ambazo umekuwa nazo. Ni njia nzuri sana na mie ni mmoja ya waliowahi kufanya hivyo
Hapo kwenye vitu hapo mfano mtu alikupa gari, unatakiwa umrudishie gari lake ila kutokana na ufukara wetu na ukute mtu alikupenda sababu ya vitu basi akishavuna hivyo vitu na akaondoka kwenye maisha yako ndo kwanza anakuona bwege wewe uliejitoa kwako. Hivyo tuwe na kiasi kwenye kutoa hizi zawadi mana kadiri unavyojitoa zaidi ndio utakavyoumia zaidi siku ukigundua kua hupendwi na mtu ameondoka kwenye maisha yako.
Mimi nilipitia pia ila sisi tulikua tunapendana kabla ila baadae mwenzangu akaja akachenji gafla kiukweli nilisota sana nililia sana nilijaribu kila njia ili kuweza kirejesha penzi ila haikuwezekana mwisho wa siku nikaanza kusota tena kutaka kujitoa katika mawazo hayo nilijaribu njia tofauti tofauti ila sikuweza mpka saiku moja ndipo nikapata mtu akanishauri jambo moja zuri sana na ndo hilo lilo nosaidia mpka leo niko poa na hata nikumuona hapo naona kama nikipande cha nyama tu cha kawaida buchani
Umeeleza vizuri saana kaka yangu. Nondo za maana sana katika kukabiliana na msongo wa mawazo unaotokana na mapenzi. Yes kubali kwamba huyo mtu hana hisia nawe. Anakupenda kama kaka au dada tu na si kama mwandani. Wala huna kasoro yoyote isipokuwa ni hisia tu hazipo kwako. Tulia kuna siku naye atakuja akute hisia zimeisha, mrushe kichurachura akome.
Hii ilinikuta brother nilicho kifanya ni kufuta namba yake ya simu lkn pia hata yeye nili mwambia kama kweli ana niheshimu afute namba yang.Nashukur alifanya hivyo na hajawahi knitafta tena na nimeoa tayari.
Nimeelewa sana hili somo mimi limenikuta swala kama hili lakini nashidwa kumsahau kabisa nifanyeje nishajaribu kufanya hayi yote lakin bado tu nisaidieni
Mim nilikuwa na mwanamke mmoja mzuri tuu nilikuwa nasoma nae chuo na nilimsaidiya vitu vingi sana tena sana tu na kumpa ushauri maana alikuwa alishaanza kukata tamaaa na nikamtafutiya hadi na field na kuniambiya haya maneno TRUSTLY I REALIZE THAT THE ROMANTIC CONNECTION I INITIALLY FELT WITH YOU HAS FADED AWAY niliumiya sana na kuniambiya tena THANK YOU FOR EVERYTHING but mim nikamwambiya KUNA MAISHA BAADA YA CHUO 😢😢😢😢😢😢😢😢
Wewe ni shujaa ulietutowa wengi kwenye maono finyu…ambayo yalituweka kifungoni kwa muda mrefu! Glory to hanuman! Keep doing you,faida ya maono yako ni mwanga kwa wengi
Dah ebana jamn tuseme ukweli huyu brother anatuokoa sana na ni asilimia zote wengi tunakumbwa na hili tatzo na hii hali inanikuta sasa nashindwa kufanya kazi , nashindwa kufanya chchte kwa ajili ya mwanamke nnaempenda kwa dhati lkn yeye haoni thamn yangu
Umeachwa wee Umeachwa..KUBALI KUBALI utampta wako mtapendana kwa dhati😂😂😂 Brother JOEL 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
😂
Eeh banaee😂😂😂😂
😂😂😂😂
Ebwanae imenitokea iyoo kaka daah sasaivi nipo mbali nae sana sasa ananitafuta yeye mie sina mpango nae tena nimesha mtoa moyon
Mzee upendo sio hisia.....marekebisho tu! Watu wengi wanachanganya hisia na upendo....hisia hua zinabadirika kila dakika.....na hubadirishwa na vitu vingi ndani ya mwili...so upendo sio hisia, upendo ni nguvu inayotoka ndani ambayo hutokana na maamuzi. Asante
Nimejikuta nakupenda napenda kufatilia darasa lako kwa sababa unauponya moyo wangu🙏Mungu akubariki
Hello
Umeolewa?
Asante kwa somo zur mm yamenikuta na nimefuta namba zote zawad zake nimegawa zote hakuna kitu chake tena na amekula brock maana anakuwa msumbufu ilihal hana mapenzi ya kweli...ni zaid ya mwez sasa nina Amani na furaha ykutosha maisha yanaendelea vzr kabisaaa
Kweli nimimi umesemea kwakukuwa nilikuwa namchumba ambaye nilimpenda Sana moyoni, Ila ilitokea wakati flani akaniitisha nikazania ataniambia mambo mazuri, kumbe ataniambia nimekuchoka utafute mwingine mchumba bila sababu mpaka Léo sijapata mwingine kama naye, nilivuta namba yake Siku kwa Siku Ila sikuweza kuisahau mpaka Léo hii karibu mwaka mmoja hii. Nifanye njee?
@@SafariBabonenip no zak
Somo lako limekuja wakati sahihi kwangu asnt Joel
Pole sana, hata mm nipo hapo ktk wkt mgum sana
Nimechelewa kukujua japo nishapona maumivu ila 😢nikimtizama mtoto wake kumsahau inakua ngm jpo asahv ctaki ata ukarb nae mana hata malez ya mtot pia hayajui bc nikajivua mazima tumebakia na jina lake2🙌
Wakati mwingine unapokua mtu wa kutendwa mara kwa mara inabidi ukae utafakari kwa kina , kwanza uanze kujisafisha wewe kimwili na kiroho ukishajikamilisha geukia upande wa ukoo pengine Kuna laana za ukoo ndo zinakutesa uwe mtu wa kutendwa mara kwa mara , lakini pia ujitafakari katika safari Yako ya kimahusiano pengine ulishawahi kumtendamtu bila sababu ya msingi halafu machozi yake mungu akayapokea na yakakuweka katika wakati mgumu Tena usiosameheka yote hayo inabidi tujiulize , usilaumutu kua mbona unakua wa kuachwa Kila wakati, jitafakari ukipata majibu mkimbilie mungu, Kila changamoto inakisababishi, Asante CHIEF JOEL
MUNGU Ameumba vyombo vyake kwa ajili ya KUJENGA UFALME wake kwa ajili ya UTUKUFU WAKE.(Yeremia 17:1-27'10,14'Zaburi 19:12,51:1-19.Asante somo ni zuri kazi ni kuliishi, EL-SHADDAI=Waefeso 3:20
Kwa kweli maumivu niliyonayo nataman kubadilisha no ya simu l😢😢😢
😢😢😢
Ni kukaa kwenye maombi tu na kumtukuza Mungu baadae taratibu utapona.
Asante sana, daah nipitia maumivu ayo nirimpenda kwa moyo ote kila aricho kuwa anataka nirimpa nirimthamini,nirimjali,nirimuheshimu lakn yeye ariniacha mimi richa ya vyote aridanganya kuwa ananipenda kumbe yeye arikuwa ananipenda kawaida miaka yote 3 nikiwa nae
Nashukuru sana kwani nasaidiwa sana kupitiya ile mafundisho yako nilipitiya shida kama hiyo nilimpenda mutu mwenye hanipendi
Mungu akubariki kaka umeokoa maisha yangu,nilikuwa nateseka sana kwa sasa naendelea vizuri
Mambo
Sasa kama umeolewa huyo mtu unaishi naye unafanyaje
Haki leo joel umenizungumzia mimi na kunifundisha somo ninalopitia kwa sasa kwenye maisha yangu duhh kaka yangu ubarikiwe sana na Mungu maana nimesubilia hili somo ili nijifunze jinsi gani nitapona🙏🙏🙏🙏
Amina, nakuombea uvuke salama na kwa ushindi pia.
Tupo wengi ndugu
@@aminaally7116 kweli mama kupitia haya mafunzo tunaweza kupona kabisa
@@joelnanauka kaka yng nisaidy namb yk ya simu kk
@@aminaally7116 nimefunguka akili niliona maamuzi ninayotaka kuyafanya nakosea kumbe nipo sahihi mim nakaa nae mbali nimekubali sipendwi Acha nikae nae mbali
Kaka Joel kiukwel mafundisho yako huwa yananilenga sana nina mzazi mwenzangu kiuhalisia nilimpenda sana yaani tuliweka malengo lkn saiv ana mke mwingine na nilikuwa najipa matumain lkn naona km inashindika ingawa anabaki kunipumbaza tu naona, Asante kwa somo zuri nimejifunza kitu
Uko sahihi Joel Ila nashukuru kufatilia video zako nimekua nikimove on ,,,,,,,asante kakka joel mungu akutie nguvu na pumz ndefu kaka
Dr mauki + Mr joel Nanauka + Appostle johanes.. mesaidia sana mungu awabariki
Habari jaman, hapa brother Nanauka ameongelea pale unapompenda mtu lkn yeye hakupendi,
sasa kinacho nikuta mm Kwa sasa ni tofauti na hilo, mm ninampenda mwanamke na nimesha mwambia ukweli siku kadhaa zilizopita, alinikataa akidai tayar Yupo na mahusiano, lkn bado ananitafuta tunaongelea maisha na kadhalika, nahisi pengine haniamini lkn najiuliza nifanye nn ... Naomben ushauri
Me sijawahi kutendwa ila huwa nawatenda lakin huyu wa sasa ndio fungu lang nimejifu z jamb kisicho lizk hakilik jmn 😊😊😊❤❤❤
Dah kweli mm kweli nampenda mtu ambaye hanipend ila naumia sana kwa kuwa namupenda sana ila asante kwa ujumbe nadhan nitajitahid
Asante sana kaka ila kama mtu huyo ni sister tupo naye kila siku ,mezani , nyumba moja ,kusali pamoja .inakuwaje nifanye nini nimejengewa chuki kwa sababu ya vipaji vyangu naomba ushauri
Asantee kaka joel ni wengi tunapita iyo satuation inaumiza mnoo
Asante wekaka sasachangamoto nilionayo nimme naeishinaye nisaidie nifanyeje naomba msaada wako
Asante doct ukweli mie nimesota sana niliachwa na ujauzito mpka nimejifungua hakutaka mazoea na mimi kabisa lakin nilijitahidi kumpotezea mpka saiv ndo naenda nikipona mara nyingi apenda kuangalia muv na kusikiliza music,,,dah ila namtoto wake ila sijalii naiman na kwa somo lako hili nitazidi kumwona wa kawaida tu..
Asante kwa Somo zuri Mimi ndiyo Niko kuya pitia hayo kira nikitaka kumuacha nashindwa kabisa
Ahsante sana. Umefanya nicheke kidogo, " si Kila anayefanya maziezi anajenga afya ya mwili" wengine wanajenga moyo.... Congraturation
Yah vyote ulivyoongea hp ni kweli na nilitumia njia hiyo nimejikuta nimekuwa sawa pka najishagaa....Asante cna mr joel
Hili limenikuta lakini niliamua kuanza maisha mapya kwa kukubali
Kaka kiukweli nam nimiongon mwa watu wanaopitia changamoto hii ila kupitia dara lako kunakitu nimejifunza,asante pia mungu akujalie upeo wakuelendela kutoa masomo kama haya adhim
Aiseee inauma sana kwakweli hii ilinikuta niliugua sitokuja kusahau kidogo nife uuuuwiiii namshukuru Mungu pekee kwakweli nilikaa sawa sema inanipa ugumu wakupenda tena sijui najionaje😭
Asante sana,akika nimejifunza Vingi saana kupitia wew,mwenyezi mungu akubariki saaana🙏
Raha ya mtu akikupenda wewe ni kumpenda zaid ndio ninavyo jua Mimi sasa we unamuonesha upendo ye anakuonesha maumivu that is not love
Umenena
Ni kujipendekeza kabsa.mapenzi nikupendana
Barikiwa Kaka Joel,Nimejifunza. Ingawa kweli Ni kitu kigumu Sana💔Ila mafundisho Kama haya kweli yanahitajika Sana
Nimejifunza. Ingawa natamani kupata uponyaji zaidi natamani kupata ushauri zaidi
Kwa kweli hii hali ngumu sanaa nna mpnz wangu tumekuwa kwa mahusiano miaka 2 Nimegunduwa ana mpnz Mwingine naona fika hanipendi Naumia Sanaa Lkn nashindwa kumuacha Naona mafunzo yako yatansaidia
Yan nacheka kama mazuriiii uuuuuuw😂😂hapa kichwa cha habar ni unampenda lakin hakupendi,,,, haya ukija huku kwenye habar ifuayayo,,,, ni jinsi ya kupona machungu,,, bora nifungue nahapo pa,,,, jins yakupona machungu,,, eee jaman😭
Joel sema,sema usiogope sema,wahoo imenichekesha sanamungu akupe zaiidi
Kuna ki2 nimejifunza thanks brooh halki kama iyo ilisha nitokea nimejua namna ya kukabiliana nayo.
Asante sana Kaka mimi pia ni muanga na hilo kwa somo lako naamini nimepata tiba halisi ubarikikiwe sana
this dude is super genius he was first student in tanzania
Yaani siyo kwa mateso haya nimegundua kitu Mungu akubari sana
Ahsante sana Kwa somo lako hakika unatuponya wengi, mimi ilinitokea alionekana kunipenda ila baada ya mda aliniacha nkawa siwez kumsahau ila baada ya kuchukua maamuzi nkamua kufuta Kila chake , ila bado yeye aninitafuta na aliniacha , iyo Hali najikuta namrudia Bado ananiumiza na me nampenda Bado , kaka angu ili limekuwa tatizo kubwa sana kwangu
Wee ni bwege
Mtoto wangu, kila nikimwangalia basi namkumbuka sana jamaa, no way yaani
Njia nyengine ambayo huwa inasaidia kwa kiasi kikubwa ni kutafuta mpenzi mwengine na uzuri zaidi baada ya kuwa naye ni vizuri umuelezee huyo mpenzi wako mpya hali ulikuwa ukipitia punde tu baada ya kuingia na yeye kwenye mahusiano ili ajuwe vipi akusaidie kuondoa stress ambazo umekuwa nazo. Ni njia nzuri sana na mie ni mmoja ya waliowahi kufanya hivyo
Hapana, usijaribu kujiponya kwa kuanzisha mahusiano mengine, kwanza hayatodumu hataaa
Your very good my brother unanifundisha so many things in this life I really appreciate 😊
Unanisaidia sana Joel, Mwenyezi Mungu akubariki.Unatusaidia sana kwa hizi elimu.
Ahsante
Nimependa somo hili maua🎉🎉jaman nmejifunza kitu
Kabisa hasa kupenda kwa sana asiekupenda ni ngumu sana!!
Yani sana, kumpata mtu akupende nikazi sana. Mungu atusamehe sana
Mungu akubariki sana mafundisho yako yananipa kupiga hatua moja zaidi
Ubarikiwe sana masomo Yako yamenitengeneza kivingine kabisa,nipo vizuri sana, naomba tuwasiliane,
Kweli kaka hiyo imenipata Mara kibao Sana daaah upo good sana
Asanteee sana kwa elimu hiyo baba yetu
Duh , yaani mahusiano yangu Mimi na mpenzi Wangu yalipo fikia mungu nishahidi jamani.
😂😂Mungu akupe nguvu
Asante Joel kwa fundisho zuri
Ubarikiwe sana kaka Joel tunajifunza vitu vingi kutoka kwako, sasa kama nimezaa nae na mtt kafanana nae itakuaj 😌😌
Shida ndo inakuja hapo naumia sana sjui la kufanya
Hapo kwenye vitu hapo mfano mtu alikupa gari, unatakiwa umrudishie gari lake ila kutokana na ufukara wetu na ukute mtu alikupenda sababu ya vitu basi akishavuna hivyo vitu na akaondoka kwenye maisha yako ndo kwanza anakuona bwege wewe uliejitoa kwako. Hivyo tuwe na kiasi kwenye kutoa hizi zawadi mana kadiri unavyojitoa zaidi ndio utakavyoumia zaidi siku ukigundua kua hupendwi na mtu ameondoka kwenye maisha yako.
Kwa kweli wewe ni mwalim wangu mengi unayofundisha yananipa faraja na fundisho kwangu
Asante Sana KK hayo mm yamenikuta Yani nmeumia mnoo
Sometimes unatakiwa ukubaliane na unacho kiona maana ukilizia kutoka moyoni ya kwamba mtu akupendi aitokutesa trust me 😌
Kwel
Hakika
Sasa kama kwa wale walio olewa kwa watu wasio wapenda waliolewa juu ya wazazi lakini waoa awakuwapenda wanaume wafanyeje sasa
Napitia changa moto hy brother nilimpenda na tumeishii miaka minne sasa akasema hanipendi
Shukran Ndugu Nan 📚📚📚📚📚📚📚📚📚 mazuri hayo 🎙️...............
Asante ,huyu ni mme hajaniacha lakin hayupo na mimi lakin roho inauma nafanyaje kes kama hii
Uko... Sahihi br .. Joel mungu azidi kukubariki
Pumuz ya moto iendlee kwa sie ambao hatupenw tunapenda
Nakukubali sana kaka unatufundisha vyema mungu azidi kukujalia maarifa na maisha malefu.
Mie nna mwali je kama umezaa nae utaondoaje hiyo hisia ya mtoto jaman 😢😢😢
Mungu akubariki sana brother Joel kwa somo zuri na lenye mantiki kubwa..hakika wew ni zaid ya mwalimu sabab unagusa sana maisha ya watu nikiwemo mimi.
Kweli kabsa hakuna binadam mwenye akili timamu ajapitia haya mambo
Mungu akubariki kaka
Mungu akubariki kw mafunzo yko aki nimeyapenda
Mimi nilipitia pia ila sisi tulikua tunapendana kabla ila baadae mwenzangu akaja akachenji gafla kiukweli nilisota sana nililia sana nilijaribu kila njia ili kuweza kirejesha penzi ila haikuwezekana mwisho wa siku nikaanza kusota tena kutaka kujitoa katika mawazo hayo nilijaribu njia tofauti tofauti ila sikuweza mpka saiku moja ndipo nikapata mtu akanishauri jambo moja zuri sana na ndo hilo lilo nosaidia mpka leo niko poa na hata nikumuona hapo naona kama nikipande cha nyama tu cha kawaida buchani
Ulishauriwa nn tuambie na ss
Hello ulishauriwa nini nisaidie na mimi
Umeeleza vizuri saana kaka yangu. Nondo za maana sana katika kukabiliana na msongo wa mawazo unaotokana na mapenzi. Yes kubali kwamba huyo mtu hana hisia nawe. Anakupenda kama kaka au dada tu na si kama mwandani. Wala huna kasoro yoyote isipokuwa ni hisia tu hazipo kwako. Tulia kuna siku naye atakuja akute hisia zimeisha, mrushe kichurachura akome.
Nilikua na msongo wa mawazo hususani juu ya mada hii ya mahusiano lkn baada ya somo hili akili yangu kunakitu imekitua hakinitesi tena
Be blessed with this song
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Hii ilinikuta brother nilicho kifanya ni kufuta namba yake ya simu lkn pia hata yeye nili mwambia kama kweli ana niheshimu afute namba yang.Nashukur alifanya hivyo na hajawahi knitafta tena na nimeoa tayari.
Good
Safi
Maashallahu Alla akubrk uko vzr
Ulifanya cha maana
❤
Nimeelewa sana hili somo mimi limenikuta swala kama hili lakini nashidwa kumsahau kabisa nifanyeje nishajaribu kufanya hayi yote lakin bado tu nisaidieni
Nilikuwa nalia... Nikasikia et " nitampata mwinginee.. mzur zaidi"🎧 dah sema mm ndo na experience hiki kitu saivi... Ila naimami ntamsahau
Kusikiliza nyimbo
Kuimba
Kusifu kufuta namba ikiwezekana kuacha kabisa mawasiliano yaan kumkaushia
Kama ilivo elezwa unakua poa2.
Asante sana kwa somo hii linanisaidia Sana
Asant sana kwa somo zury joel
brother nakupendasn kwaajili ya mungu lakinipia nakukubali coz nakuelewasn
Anayependa na mwanaume, mwanamke hana upendo mwanamke anatii.
Nashukuru kutuponya ila ni ngum hasa yule wa karibu
You are so good at educating people, I really appreciate what you have one day I will become one of you kind
Hapo kwenye vitu kuna tisha .......... Kuna wengne wameachiwa watoto
Mimi Niko kwaiyo Hali nampenda anipendi nateseka sana
Asante sana hii naona inausiana na afya ya akili mtu hakupendi unatunza vitu vyake. hili sasa jibu limepatikana ni kutupa vyote ukweli unakuweka huru.
Be blessed with this one
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Tatizo langu mimi kila siku namuona na haliepukiki mana nafanya nae kazi sijui hata nifanyaje
Kaka nataman kukaa nae mbali lakin ninamtoto nae nafanyaje nateseka sana kiukweli nampenda sana
Hongera sana Kijana kwa Elimu unayotupatia. Mungu Akubariki.
Barikiwa sana kaka somo zuri sana limenivusha mahali
Mim nilikuwa na mwanamke mmoja mzuri tuu nilikuwa nasoma nae chuo na nilimsaidiya vitu vingi sana tena sana tu na kumpa ushauri maana alikuwa alishaanza kukata tamaaa na nikamtafutiya hadi na field na kuniambiya haya maneno TRUSTLY I REALIZE THAT THE ROMANTIC CONNECTION I INITIALLY FELT WITH YOU HAS FADED AWAY niliumiya sana na kuniambiya tena THANK YOU FOR EVERYTHING but mim nikamwambiya KUNA MAISHA BAADA YA CHUO 😢😢😢😢😢😢😢😢
Dawa ni kumtaka rafiki yake na kusaka mapene sanaa
Nilifanya mazoezi sana na kiukweli nilikaa nae mbali sana na nilikata kabisakabisa mawasiliano.
Mie na kubali mwingine amen ni cheza aka zip umenisaidia
Nipo kabisa kwenye hali hio na inanitesa sana
Asantee kwa mafundisho nime yapokea vizur na, nimeelewa jambo
Be blessed with this song
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Wewe ni shujaa ulietutowa wengi kwenye maono finyu…ambayo yalituweka kifungoni kwa muda mrefu! Glory to hanuman! Keep doing you,faida ya maono yako ni mwanga kwa wengi
Ukovizili kaka unamafunzo mazuli ilachakutu saidia tunaomba wapunguze matangazo kwenye vipindi vyoka yanachukuwa mudamlefu sana
Asantreee 🙏 Kwa somo
Thanks mr I Know moreeeeeee💪💪💪
Napitia magumu sana sijui jifanyaje kila nikijaribu kukaa mbali nae nshindwa
Asante saaana vidéo iyi ni yangu
Doctor thanks sana umenisaidia me napitia hiyohari sasaivi thanks God bless you
Utapona tu kaka