Baada Ya Mahusiano Kuvunjika Kuna Hatua Tano (5) Lazima Upitie

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 255

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 4 ปีที่แล้ว +8

    inauma jmn.. Kujipa moyo na kukubaliana na Hali.. Sikomi na siachi kupenda...

  • @jemimasibonike7776
    @jemimasibonike7776 5 ปีที่แล้ว +9

    Nimekubali kuwa bila yy nitaishi na tayar nimeanza ukulasa mpya wa maisha yangu ila kaka sijajua kwa nn tukikutana nnpoteza mudi nashidwa kuwa jasili

  • @victoriamerura9382
    @victoriamerura9382 ปีที่แล้ว

    Thanks so much 🙏🙏🙏 kwa SoMo lako zuri . Na nimejifunza mengi kutoka kwako , lakini katika point ya kutokukubali hiyo Ni kweli kabisa na ningumu pia

  • @paulinastephano236
    @paulinastephano236 2 ปีที่แล้ว +3

    Somo zur Sana.. Naendelea kurud kwenye hali yangu nimefikia Hatua ya 4 ila siezi jinyonga kabisa japo chamoto nipo nakiona... Wanaume Mungu awape sehem zenu zakuishi mbingun... MUNGU nisaidie nivuke salama 😔😔 🙏

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 ปีที่แล้ว

      Haupo pekeako tupo wengi 😔

    • @mwigaadam1179
      @mwigaadam1179 2 ปีที่แล้ว

      Bado hamjapenda mnanusanusa tu

    • @mohammedadam8261
      @mohammedadam8261 ปีที่แล้ว

      Nimecheka kama mazuri but tuko pammoja sana ,,allihamndulillah skuweza kuchukua uamuz hatarish but now walau mood ya kazi imeanza kurud

  • @fredjaffu8903
    @fredjaffu8903 4 ปีที่แล้ว

    Dah nimekubali sana hii, nilipitia na nimefika kwenye acceptance

  • @HawaMatona
    @HawaMatona 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka

  • @wazuuonlinetv9796
    @wazuuonlinetv9796 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Teacher wngu JoelNanauka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Ali Saleh pamoja sana Saleh

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @judithmzava4161
    @judithmzava4161 2 ปีที่แล้ว

    Thanks nimeshapitia zote now nipo kwenye acceptance

  • @nematz9270
    @nematz9270 2 ปีที่แล้ว +5

    Nashukuru sana kaka Joel, ila mimi ninachangamoto kwenye mahusiano, naomba japo ushauri maana nipo njiapanda, naomba kama naweza kupata mawasiliano yako

  • @paulsaimon8750
    @paulsaimon8750 5 ปีที่แล้ว +1

    kweli Nanauka unafundisha broo

  • @lightnesselia765
    @lightnesselia765 5 ปีที่แล้ว

    umenifanya nitoke sehem moja na kwenda sehem nyingine... thanks my brother

  • @marimuhamis3471
    @marimuhamis3471 5 ปีที่แล้ว +1

    SHUKRAN SANA

  • @edsonlaurencemwagamasasi9074
    @edsonlaurencemwagamasasi9074 5 ปีที่แล้ว +11

    With emphasis.... "I can live without her" thanks so much my dearest brother Joel..... I have passed from this brother... but ultimately it ended with a lot of pains.... I thank God now all pains have gone away... and I am living my new life without her.... before that I thought my life would be more harder without her... but it was a matter of time....

  • @fridamuss922
    @fridamuss922 ปีที่แล้ว

    Mm mwanaume aliyenambia ninywe dawa za mitishamba nipate mimba tukahangaika maporini kutafuta dawa nikanywa zilikuwa chungu leo hii ananiacha na mtoto mdogo mdogo sana MUNGU anisaidie kwakweli labda kuna siku na mm nitakaa sawa namlea mtoto nyumbani pekeangu nmeharibu kila kitu sijui niseme vipi naona kila rangi ya dunia kwel wanajinyonga wote wanachoka yanaumiza haya mambo ila ALHAMDULILLAH🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @tarikideu8380
    @tarikideu8380 5 ปีที่แล้ว +4

    0713841552,, naitaji uxhauli mana mbaka xaxa nixhapoteza mwelekeo wang wa maixha nafanya kile nixichopenda kufanya

  • @aboubakaribakari988
    @aboubakaribakari988 5 ปีที่แล้ว +6

    Thanks broo me nipo katka hatua ya 3 najaribu kumuweka sawa ila naingia kwenye hatua ya 4 nikiona haelekei daaah haya mambo hayana ubingwa.

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 2 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa kinomanoma

  • @YangaNews
    @YangaNews 6 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie please yaani nimeachwa sikutegemea kama nitaachwa

  • @jacobmathias6811
    @jacobmathias6811 5 ปีที่แล้ว

    uvizur sana tunajifunza

  • @jamaljaphar1577
    @jamaljaphar1577 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli bro mm nipo kwenye changamoto hii ya Mahusiano saiv ni week tatu zimepita nimetengana na mpenz wng sema nimejifunza vitu vingi toka kwako ingawa Bado na mahumiv rohon

  • @sypriannjole4865
    @sypriannjole4865 5 ปีที่แล้ว +1

    Umenena vyema cjui npo hatua gn

  • @thebroski9763
    @thebroski9763 5 ปีที่แล้ว +3

    Anza na kusalimia kidogo mfano Habari? Then Leo Tunazungumzia hiki hiki then unaendelea huo ni mtazamo wangu binafsi maana video inavyoanza tu unaanza kuongea huwa nahisi tofauti sana au ndo kuenda na mda?

  • @SizzoSela29-sh8nz
    @SizzoSela29-sh8nz 8 หลายเดือนก่อน

    Niko hatuwa ya nne nasijui nifanyeje maana nateseka sana

  • @josephinechendi9527
    @josephinechendi9527 4 ปีที่แล้ว

    Baada ya miaka minne ndo nikafikia hatua ya 5 hatua ya hasira ilinitesa Sana namshukuru Mungu nilivuka salama

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +14

    Ni kweli brother mimi nilisema sitomuamini mwanaume yeyote kwani wote wanafanana lakini now nimetoa hiyo kitu kichwani nimekua vizuri now siwazii wala sifikilii kilichonikuta so na angalia mbele niendako ya nyuma yatakua tuu kama kumbukumbu thanks brother🙏🙏

    • @thegirl1405
      @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว

      Hivyo mahusiano yanahitaji kua makini sana bila kukurupuka kikubwa kumuomba m mungu kwa sana yeye ndio muamuaji wa kukupa chaguo sahihi

    • @hassanbinally7127
      @hassanbinally7127 4 ปีที่แล้ว +1

      Dah pole sana mi niliacha kuwaamini wanawake wote duniani kumbe nilikua nakosea sana

    • @mohamedsuleiman7215
      @mohamedsuleiman7215 3 ปีที่แล้ว

      njoo kwangu.

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 ปีที่แล้ว +22

    Ukweli kabisa napia usivunje ma penzi kisa umepata mpenzi mpya kabla hujamfaham... napia usivunje mahusiano kabla hujamkosoa huyo mpenzi wako Tabia zinazo kukera. Napia usianze mahusiano mapya ili umkomoe mpenzi wako wazamani utajikuta umeingia kwenye shida zaidi.. Pamoja Bro.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +2

      Maneno Lugendo kabisa Maneno,ni kweli unayosema???

    • @ibzanruheta
      @ibzanruheta 5 ปีที่แล้ว

      Fact

    • @kelvingitau6814
      @kelvingitau6814 4 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka hae bro... Naomba nipigie na hii naba, 0719483205, naitwa Kelvin kutoka Nairobi kenya.,, nakuomba ndugu yngu.

    • @agathakayanda3427
      @agathakayanda3427 3 ปีที่แล้ว

      💓💓

    • @manenolugendo6396
      @manenolugendo6396 3 ปีที่แล้ว

      @@agathakayanda3427 🙄

  • @eliasdani4542
    @eliasdani4542 2 ปีที่แล้ว

    Yaa

  • @joharysamwel6416
    @joharysamwel6416 5 ปีที่แล้ว

    Kaka Joel asante kwa somo lako

  • @tarikideu8380
    @tarikideu8380 5 ปีที่แล้ว +6

    brother mimi nipo kwenye kipengele cha dépression ,,naumia xanah

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 5 ปีที่แล้ว +1

    Yani mm taree moja mwenzi huuu ndio nimeachana kabisa kabisa na mpnzi wangu

    • @queeneva3709
      @queeneva3709 5 ปีที่แล้ว

      Yaani mlikua ktk kipindi cha mpito bado? Yaani huamini ila ndio imetokea unajaribu uweka contacts na yeye yaani unahisi labda alichanganya files.

    • @nasmafarmsltd9146
      @nasmafarmsltd9146 5 ปีที่แล้ว

      Poleee ndug

    • @judithnyonyi703
      @judithnyonyi703 5 ปีที่แล้ว

      Pole kaka Hilary

  • @benfrancis8288
    @benfrancis8288 5 ปีที่แล้ว

    Bro kazi nzuti sana unayoifanya naomba unisaidie katika hili

    • @benfrancis8288
      @benfrancis8288 5 ปีที่แล้ว

      Ninarafiki yangu ambae urafiki wetu ulianza mwaka jana maongezi yetu yalikuwa yanahusu maisha kuelekeza namna ya kuishi kwenye mahucano huyu kqka alikuwa anapenda sana kuniita dada kila anaponipgia au tukiwa tunachati....mwaka Jana mwishoni ile hali ya kuniita dada akaacha mm nikimuta kaka haitiki na tukiwa tunachat nikimuita tu kaka ananiaga ananiambia atanitafta badae badae aliniambia nipange Siku tuonane anamazungumzo na mm ambayo hataki tuongee kwa simu na kabla hajaniambia kuonana alianza kuniita majina ya kimahucano kila akipiga cm utackia anaitaa baby wang,my n.k na siku moja akaniambia katokea kunielewa kutokana na mazungumzo yetu nyuma...... Mpaka sasa sijaonana nae lakn Jana alinipgia akasema kavumilia kashindwa inabidi aseme tu kwa cm sababu sijaenda kuonana nae na md unaenda nikamwambia Sena akaniambia anahitaji anivishe Pete ya uchumba na mwaka huu afunge ndoa na mm mpaka sasa cjamjibu kitu chochote.....napata shida bro kutoa majibu sababu kutokana na maumivu nilopata huko nyuma naomba unisaidie bro kwa kunishauli nn nifanye maana dah

  • @vincentmuli4283
    @vincentmuli4283 5 ปีที่แล้ว +1

    ila kwa sasa nimeamua kukubali kwamba niko peke yangu

  • @paulinedavid2524
    @paulinedavid2524 ปีที่แล้ว

    Niko napitia hiyo na mtu ashaenda na life yake lakin maumivu niko nayo almost 6yrs najitahid bt nashindwaa accept

  • @tadeifabiano5413
    @tadeifabiano5413 3 ปีที่แล้ว

    Mim nimeachwa juzi tu akiri yangu imevurugika naomba unisaidie

  • @priscapili4938
    @priscapili4938 2 ปีที่แล้ว

    Kwani Dr ukiachwa na mtu ambaye ameamua kutengana na ww mapenzi ni lazima au mpaka ulipize kisasi

  • @togolanisaidi704
    @togolanisaidi704 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni kwakuwa nini cha kufanya baada ya mahusiano kuvunjika ndio tatizokubwa pia linakumba wengi, Saidia Umma Kaka katika hilo pia Maana tayar tumezifaham hatua ambazo mtu hanabudi kupitia

  • @glorylucas6070
    @glorylucas6070 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru kaka saivi nipo kwenye hatua ya tano .

  • @allymakelega6849
    @allymakelega6849 3 ปีที่แล้ว

    Nipokwenyeatua yapili unanisaidiaje

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว

    Nakataa Kwa jina la Kristo yesu mahusiano yangu kuharibika,No! No naipenda family yangu aisee

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 ปีที่แล้ว +6

    Mm ni mwanafunzi ya kwanza kuingia darasani leo hii

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Kombo Omar umetisha,hongera sanaaaa 👏👏👏

    • @ibzanruheta
      @ibzanruheta 5 ปีที่แล้ว

      Karbu jifunze

  • @zuhuraabdillah6941
    @zuhuraabdillah6941 5 ปีที่แล้ว +3

    Nishawahi pitia hatua zote hizi ni kweli unachokizungumza salute kwako

  • @LeahIsaya-jn9hj
    @LeahIsaya-jn9hj 5 หลายเดือนก่อน

    Kipindi unashauri hiki sikukuelewa kbsaa,maana nilikua ktk kipindi kigumu mno..akili yg iliganda kbsaa.. niliwaza ivi huyu anatushaur hivi anajua maumivu kweli yakuumizwa ktk mahusiano/ndoa?kiukweli sikukuelewa kbsaa..sasa nimiaka 5 ndio nakuelewa kaka.namshukuru sn mungu nmepona kbsa nimeanza upya na sikumbuki tena kuumizwa kule kulikonikosesha kbs furaha..nmekua nikikufuatilia sn kupitia mafundisho yako nmejifunza mengi mno yaliyonisaidia..jp kiukweli nimekua muoga sn kuanza mahusiano mapya mpk leo.

  • @JoyceSimba-n2t
    @JoyceSimba-n2t 6 หลายเดือนก่อน

    Msaada

  • @fatmaazizi4792
    @fatmaazizi4792 2 ปีที่แล้ว

    Kabisa

  • @fastlady3099
    @fastlady3099 3 ปีที่แล้ว

    Nilipitia hizo hatua nampaka sasa niko n.a. miaka 6 bado sijaona mtu sahihi kwangu naomba ushauri

  • @mariamachugu6288
    @mariamachugu6288 3 ปีที่แล้ว

    Asante kaka but mm nipo katka hatua ya 3 na cjui nifanye nn

  • @sihabarajabu5509
    @sihabarajabu5509 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaani hizo atua zote zinanihusu mm kaka jamani nimeachwa na baba mtt wangu juni 25 lakn kwa video zako najihisi mm ni mt tena asante kwa elemu yako

  • @leahamani1267
    @leahamani1267 2 ปีที่แล้ว

    Kaka mm napitia mpaka Sasa nasijui sababu kwann hasema chochote nahisi kufa

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 5 ปีที่แล้ว +3

    Nilipitia kipindi cha mahusiono kuvunjika tena bila ya kunambia tena akahama nchi ila nashkur nimevuka salama

  • @mageandrew5550
    @mageandrew5550 5 ปีที่แล้ว +3

    Tangu na x wangu yapata miez 11 sasa mwanzo ilikuwa ngumu lakn now naweza sana na nimeamin bila yeye naweza tena zaidi

  • @glorymbwambo6650
    @glorymbwambo6650 2 ปีที่แล้ว

    Ya pili sasa

  • @Saranabwire
    @Saranabwire หลายเดือนก่อน

    Nimeyapitiya niliachwa na mutu nilipenda sana ilinichukuwa 3yaer kujikubali kuwa Isha tokeya.....nilibembeleza nilituma badi ya watu kumuongelesha ila wapi

  • @tzcodesentertainments4048
    @tzcodesentertainments4048 4 ปีที่แล้ว +1

    Nama zangu hizi 0689707586, 065272092 na 073777077. Kaka mm nmeachana na mke wangu nilidumu nae katika mausiano miaka minne na tukajaliwa kupata mtoto wa kike anaitwa nadhra, mwaka 2020 nikaanza kuona mabadiliko katika ndoa. mwishowe akapata ujauzito bila ya kujuwa ni wanani, hatimae nimefahamu kuwa ujauzito sio wangu tukaachana leo kaja tumegawana vitu. Sasa tatizo siwezi kulala na nikilala nawaota mke na mtoto, nasikia maumivu xana ktk moyo. nasindwa kulala sijui nianyaje naomba msahada namba zangu hizo 0689707586, 065272092 na 073777077. Nampenda xana mwanangu na nilikuwa nishamwandalia jina mtoto mpya atakae kuja Nadhir. Nashindwa ata kuanya kazi

  • @salmaqueenhamisi9295
    @salmaqueenhamisi9295 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna MTU anapita utanisaidiaje mana nimeomba msamahaa ADI nimechoka bado ako na hasra

  • @thelastbornchannel8073
    @thelastbornchannel8073 5 ปีที่แล้ว

    real 100% hakuna ulipokosea. hizo stage zisikie kwa mtu zisikukute

  • @mpolesanga5869
    @mpolesanga5869 4 ปีที่แล้ว

    Mm kaka napitia ayo

  • @haulebh5007
    @haulebh5007 5 ปีที่แล้ว +2

    Najuaje kama nimesha fika hatua hiyo ya acceptance

  • @priscapili4938
    @priscapili4938 2 ปีที่แล้ว

    Kwani ukiachana na ex wako kaka mpaka akutishie?

  • @togolanisaidi704
    @togolanisaidi704 5 ปีที่แล้ว +6

    Somo zuri, Naomba pia uweke njia ama solution ambazo mtu atachukua baada ya mahusiano kuvunjika maana Kaka Joel wapo waliowengi hawajui wafanyeje baada ya mahusiano kuvunjika,

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      togolani saidi sawa,tafuta video yangu inayosema Usiogope kuanza upya

  • @shukurumustafa6792
    @shukurumustafa6792 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu binafsi nilipoona video yako hii hatua hizo nimepitia na Niko hatua ya mwisho. ila hatua zote ngumu asikuambie mtu bwana. Mafundisho yako nayakubali see you at the to

  • @isackisack5549
    @isackisack5549 5 ปีที่แล้ว +1

    ahsante kaka minaachaga tuu sijawai kuachwa unakua makini ukiona anabadilika unamwelekeza haelewi unamuacha kabla yayeye kufikiria kukuacha

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 5 ปีที่แล้ว +2

    Daah! Asante kaka ndio neno langu ilo nimepata kitu cha kujifunza

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hii video ilinifungulia dunia kuwa ninachokitaka na hivyo nilivyo Leo ni kwa neema ya mungu tu

  • @getrudagodfrey8686
    @getrudagodfrey8686 3 ปีที่แล้ว

    Mimi bado napitia hatua ya kwanza kabisa maana mahusiano yangu yamevunjika muda siyo mrefu

    • @JoyceHaule-v7t
      @JoyceHaule-v7t ปีที่แล้ว

      Mungu atakusaidia utapita utasahau

  • @decideliusdeogratius9119
    @decideliusdeogratius9119 5 ปีที่แล้ว +1

    Mm jampo hili limenitokea wiki tatu zilizopita ila nashukuru mungu saiv niko stage ya mwisho nimekubaliana na kila kitu

  • @mgunyajunior1565
    @mgunyajunior1565 5 ปีที่แล้ว +3

    mimi mpenz wangu aliniambia tuachane lakin had leo sijaamin n mwez wa pil hui naamin atarud yu.

  • @machibyacharles5230
    @machibyacharles5230 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni ukweli asilimia kama zote bro,,endelea kuelimisha

  • @frankdaniel9815
    @frankdaniel9815 4 ปีที่แล้ว

    Congratulations Mr for your good lesson

  • @sabaskumburu6766
    @sabaskumburu6766 ปีที่แล้ว

    Ningeomba nipate namba yako nikupigie mkuu nipo kwenye kipind hicho Cha angel

  • @fayashilikale5574
    @fayashilikale5574 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi imenitokea juz tu nimeachana na girlfriend wangu.

    • @queeneva3709
      @queeneva3709 5 ปีที่แล้ว +1

      Nani kamuacha mwenzake? Maana kwa nijuavyo mimi anaeachwa ndio anakua ktk hali tete.

    • @mokilisasunya6990
      @mokilisasunya6990 5 ปีที่แล้ว

      Mimi ndio nimepitia ila aijajua niko WAP kwa hatua hizo

  • @shavakhantz7960
    @shavakhantz7960 2 ปีที่แล้ว

    Yan unaongeaaa mle mle namopitiaa mm

  • @Dimitry-cb5tb
    @Dimitry-cb5tb ปีที่แล้ว

    Mm bado hatua ya tatu nimeshidwa kufika hatua ya tano bado nateseka kaka nahitaji msaada wako

  • @vincentmuli4283
    @vincentmuli4283 5 ปีที่แล้ว +2

    mie ndo nko katika kpind hicho cha mpito nmetokea kuachana na mke yapata tar 29-01-2019

    • @dottowilsoni4703
      @dottowilsoni4703 2 ปีที่แล้ว

      Pore kaka angu tunao texeka na Ayo Mambo no wengi

  • @samiragillian5972
    @samiragillian5972 3 ปีที่แล้ว

    Mmh

  • @samuelnyirobemakongo.3037
    @samuelnyirobemakongo.3037 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi hapa wala siamini but nimeshafika hatua ya mwisho ya kukubali na nianze life yangu upya

  • @selinamoses1268
    @selinamoses1268 2 ปีที่แล้ว

    Mm

  • @mikedizo8023
    @mikedizo8023 4 ปีที่แล้ว

    kaka mm nimepitia hali zote nipo kwenye hali ya kukubali sasa

  • @saidimkombe9842
    @saidimkombe9842 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante

  • @michaelopiyo8760
    @michaelopiyo8760 3 ปีที่แล้ว

    Nina swali bro, je mpenzi wako ukienda na mimba yake na hataki nifanyeje?? Ni Maggy.

  • @catherinemjatta5156
    @catherinemjatta5156 3 ปีที่แล้ว

    Niko kwenye mahusiano yanayo nipa maumivu kila wakati nifanyeje?

    • @mohamedsuleiman7215
      @mohamedsuleiman7215 3 ปีที่แล้ว

      Mazali hujawa na maamuzi sahihi lazima uendelee kuwa na maumivu.

  • @daddymunga874
    @daddymunga874 8 หลายเดือนก่อน

    Niko kwa stage ya Kwanza please help me bro😢

  • @annamwakalobo4575
    @annamwakalobo4575 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks,mwenzi tatu still na jaribu kutaka kusahau na shindwa kinachoniumiza nikiwanza miaka sita yote nilikuwa na danganywa na fake promises . But mungu mwema ipo siku nitasahau complete

    • @imanimwakinga4934
      @imanimwakinga4934 2 ปีที่แล้ว

      Havisahauliki my dear, na usijaribu kulazimisha... Yapokee yabebe ishi nayo taratibu utapona, ikubali hiyo hali

  • @hawamtambwa402
    @hawamtambwa402 4 ปีที่แล้ว

    Nipo depression mwee

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mr

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi bado nipo kwenye depression...

  • @husseinmrisho1348
    @husseinmrisho1348 5 ปีที่แล้ว +1

    hakika sichoki kukufatilia kk

  • @hezronngulwa9250
    @hezronngulwa9250 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana mr. Mimi apo nipo napitia hatua kama 3 kwa mpgo hatua ya kwanza ya nne na ya tano hata sielewi niende vipi hatua ya tano moja kwa moja

    • @albeleenalberto158
      @albeleenalberto158 5 ปีที่แล้ว

      Hezron Ngulwa 😂😂😂😂Huwezi kuruka stage

  • @jemimasibonike7776
    @jemimasibonike7776 5 ปีที่แล้ว +3

    Unayo yasema ni kweli kaka nimepitia ila nimefika hatua Ya tano ila sijajua kwa nn tukikutana moyo wangu unashtuka yani nahis maumivu

    • @emanuelmushi6878
      @emanuelmushi6878 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana' njia pekee ya kuondoa maumivi ni kusamehe tu'yani kisamehe inakusaidia wewe mwenyewe'mimi niliposamehe na kusahau ndipo nilikua huru'japo ilinigarimu mda'ila niligundua kuendelea kushikilia jambo lisilo na maana tena nikujiua tararatibu ,

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 ปีที่แล้ว +1

    Usi ingie kwenye mahusiano sababu ya upweke ingia ukiwa na utayari.

  • @mariammasatu4785
    @mariammasatu4785 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sna bro Joel kwa somo zuri nimekuelewa sna ubarikiwe

  • @dopemnyama4743
    @dopemnyama4743 4 ปีที่แล้ว

    Npo kwenye hiyo hatua ya kwanza yn kila saa nachunguliya sim nkisikia text t najua ndye

  • @melkisedekkabambo2120
    @melkisedekkabambo2120 5 ปีที่แล้ว +1

    Yeah

  • @benjaminkimaro8348
    @benjaminkimaro8348 3 ปีที่แล้ว +1

    Brother Unanifanya Nijiamnii zaidi

  • @janenelson5462
    @janenelson5462 4 ปีที่แล้ว +1

    Masomo mazuri endelea kuktuelimisha kaka Joel

  • @mussakubari3920
    @mussakubari3920 ปีที่แล้ว

    Kaka namba 5 yenyewe naikubali

  • @preciousdominicy138
    @preciousdominicy138 2 ปีที่แล้ว +1

    But depression 😓 ili niumiza saana 😔

  • @pauldenyoo303
    @pauldenyoo303 5 ปีที่แล้ว

    yaaaan broo kuna rafikia angu limemkuta hilooo lakn haaaamin anasema yy bora hata amrudie alf aje kumwacha kwa njia nyingine em nisaidie sa hapo namsaidiaje

  • @adelinajared5616
    @adelinajared5616 3 ปีที่แล้ว

    Mi nishamaliza hatua hizo zote lkn Sasa kinachonisumbua nakua namuota saana Mala Nampiga😔,Mala ananitext na kunirushia picha aise Naomba unisaidiee nifanyaje maan naona Kama nateseka 🙏

  • @alihamisi7962
    @alihamisi7962 3 ปีที่แล้ว

    Bro me nimeachwa na nikatukanwa