Umeogea saahii kabisa dokta me Niko namume hapa duuh mungu tu ndo anajuwa lakn nashukuru sana kwa ushauli wako kwakweri unatusaidia sana vitu vigi tunajifunza kutoka kwako mungu azidi kukulnda akupe maisha malefu🙏🙏
Yani kanisumbua hataree analia nakupenda nakupenda hajui kulipa kodi hajui msosi hajui A wala Z tofauti yake nn akikupa elfu5 wew utampa laki moja duuh yamenishinda nyie nimemuweka ndani ili tuepukane😂😂😂😂
Dr No2 na no3 ni noma leo naacha 🤣🤣mtoto wangu nitalea mwenyewe akii, hili ni tatizo 😢kuliko kuendeleaaa kumuomba Mungu amrekebishe, bora nimuombe Mungu anitunzie Mwanangu😅😅😅
Anapenda sana neno sina! Ni mtenda kazi wa Uma ila ata ukimwambia mahitaji ya mtoto atakuambia Hali ngumu Hana hela yy ni mtu wa kuahidi aidi2 atimizi wakati hata familia Hana bado na ata akikupa ela hakupi inayokidhi maitaji sasa mtu Kama uyo yy ni mfanya kazi mm nipo2 ata iyo kazi sina ndo ninaeangaika na mtoto ata akiumwa hajali saana kuhusu sisi akidai anahali ngumu wakati yy kwa mwezi anapokea mshahara mara2
dokta mauk audanganyi mimi mme wangu nimekuja kumgundua tunamwaka ivi yeanasaidia sana kwako na anawasikiliza sana ila mimi ajawaipo kunisaidia kwetu ata siku moa sikuzakua nyumbani atanipa kila kazi yake minafanya yeana lala anafanya kazi lakini kila siku anaela
Samahan naomba unisaidie nilikuwa namtu kwenye mahusiano afu kumbe alikuwa namtu mwingine koh nilipojua nikubali tulikuwa wawili tumeiahi ivyo miaka miwili but ghafla2 kaja kasema tuachane tumeachana nimeendelea na maisha yangu anataka turudiane na hataki mm niwe namtu kwenye mahusiano wakati yeye yupo na alipogundua ninamahusiano namtu mwingine kanichukia
Asante baba kwa somo zuriiii🙏🏿
Ahsante Sana mpaka hapo , no comment zaidi umenisaidia sana
Umeogea saahii kabisa dokta me Niko namume hapa duuh mungu tu ndo anajuwa lakn nashukuru sana kwa ushauli wako kwakweri unatusaidia sana vitu vigi tunajifunza kutoka kwako mungu azidi kukulnda akupe maisha malefu🙏🙏
Merci sana dr kwa mafundi sho unayotupatiya kila Siku tukotuna faidika sana tena vyakutosha
Hii n kwel tulikosana n mtu wangu juu y kuombaomba pesa kila wakati
Yan dokta sijui umeona maisha yangu ndio ukatoa somo daaah umenigusa mweeeeee
🙏🙏 Dr nashukur kwa kunifuhgua macho
Yani kanisumbua hataree analia nakupenda nakupenda hajui kulipa kodi hajui msosi hajui A wala Z tofauti yake nn akikupa elfu5 wew utampa laki moja duuh yamenishinda nyie nimemuweka ndani ili tuepukane😂😂😂😂
Asante dr
Sante baba kwadarasa Allah akupe maisha malefi
Dr No2 na no3 ni noma leo naacha 🤣🤣mtoto wangu nitalea mwenyewe akii, hili ni tatizo 😢kuliko kuendeleaaa kumuomba Mungu amrekebishe, bora nimuombe Mungu anitunzie Mwanangu😅😅😅
Hili SoMo Asante sana kaka angu ubarikiwe sana
Shukran Dr kweli mtu akidangangwa au akateswa ni uzembe wake mwenyewe umetufunza mengi sana🙏🙏🙏
Asante Kwa somo Zuri nimejifudza kitu
Mungu akubariki sana doctor
Ila hapo kwa kuombomba hela kwa kweli mpaka wanakera, !! Yaani haoni haya!!
Rose❤
Akiii nmefika mahali nmechoka hadi Niko kumuacha😢
Saf san dokt mungu akubariki
Duh hii dalili ya mwisho ipo kwa huyu baba mjengo kaabisa😂😂😂duh c.mauki MUNGU akutunze baba unaona lyf zet kbs znavoenda shukrani
Ubarikiwe sana kwa masomo
Asante ubarikiwe mno
Asante kwasom zuri nimejifuz San mungu azid kuku bariki
Anapenda sana neno sina! Ni mtenda kazi wa Uma ila ata ukimwambia mahitaji ya mtoto atakuambia Hali ngumu Hana hela yy ni mtu wa kuahidi aidi2 atimizi wakati hata familia Hana bado na ata akikupa ela hakupi inayokidhi maitaji sasa mtu Kama uyo yy ni mfanya kazi mm nipo2 ata iyo kazi sina ndo ninaeangaika na mtoto ata akiumwa hajali saana kuhusu sisi akidai anahali ngumu wakati yy kwa mwezi anapokea mshahara mara2
Mungu akuweke milele Dr
Ahsante Doctor Ujumbe mzuri🥰🙏🏿
Thank you
Ahsante dr 🙏
Your very very true thanks alot
Ubarikiwe🎉🎉sana
Kwa kwel Mwl unazid kuupiga mwingii Kwa madini haya💪💪
Habari Dr. Mauki ,ninakufuatilia Sana mafundisho yako ofisi yako iko wapi natamani kufika ili nami nipone kwakweli
MUNGU WANGU NAKUOMBA KWA URUMA WAKO BABA JEHOVA NIBARIKI WANGU WA MAISHA NA TUWE NAAIMANI MOJA,,Amen 🙏
Jamani Dr Chris hio ya pili kutoka mwisho na ya pili kutokea mwanzo ndio chanzo kikubwa huku znz ndoa kuvunjika ubarikiwe sana Dr
Ahsante kwa somo nzuri,🙏
Asante Mungu wangu hana hizo tabia
Nimekuelewa sana mama yamenikuta
Asantee kwa somo limetuingia wallah
Somo zuri sana barikiwa
Asanteee sanaaaDR Chris ❤
Mungu akubariki mtumishi
Asantee san dr🙏
Ubarikiwe dr mauki
Somo nzuri
Wakwangu namba 2 na 3 ni kero
Nashukuru Mungu nimeacha a nae
everything that you said here is true dr ubarikiwe
Dr Chris ww fire nimejifunza kitu
Asante kwa ukumbusho
Realy kabisa hafa I'm asante
Ubarikiwe sana kaka
Ohhhh My Asantee sana Mtumishi wa Mungu Nakuelewa sana
God bless u
Ahsante kwa somo zuri
Ahsante sana kaka kwa elimu
thanks
Hahahaha nimefurahi sana hili somo. Limenipa akili mpya... mungu akusimamie daima kaka
Ni kwel kabisa Dr mauki
😂😂😂😂😂😂😂uwii dokta naskia kuchekaa walah naenda kumuuachaa aii simtaki tenaa woi
Asante kuniamsha kwa usingizi
Ahsante
Amina
dokta mauk audanganyi mimi mme wangu nimekuja kumgundua tunamwaka ivi yeanasaidia sana kwako na anawasikiliza sana ila mimi ajawaipo kunisaidia kwetu ata siku moa sikuzakua nyumbani atanipa kila kazi yake minafanya yeana lala anafanya kazi lakini kila siku anaela
Asante Kwa SoMo zur
Dalili ya mwishooo mmmmh😢😢
Exactly chris umeongea point
Daaa kumbe nilikoseaa sanaa 😢😢😢😢 wtt wanguu niliwatafutiy baba wahovyo
Hbr dokta mm nakuftiria sana alafu nina mwanaume ana tbia ngumu sana doctar naomba tuonane doctar
Daaaah haya yapo tena mm siwez jaman kupa pesa mwanaume ila kwasababu nampenda ndo mana nampa daaaa ina umwa ila nime jifunza mungu akubaliki kaka
Asante Doctor umenifungua akili ni kweli hafai kuwa mume😢😢
Thunks
Hapo mwisho 😂😂mume wangu mtarajiwa eri my husband 😂😂😂
MAUKI,MUNGU Anaona jitihada zako,
Asante kwa somo 🙏🙌
Yani nimesikiliza aya yote ndio ninayo pitia tagu nizae watoto wawili yeye kilasiku hana 😢😢😢😢
Dr. Chris unatisha sana, endelea kutuelimisha.
Broo kiukwel umekuwa mtu bora kwenye maisha yng kwasababu najifunza vitu ving kutoka kwako kama fans wako nataman nikuone
Kwa mambo ya ndoa huwa simusikilizi yoyote zaidi ya kureje ktk qur_an na sunnah kwa kuwa kila kitu Mungu ametuelekeza humo
Sasa hapa ulikuja kufanya nn?
Nakufatia sana sema bando to ndo linaniboa
Thanks so much sir for this
Hii ilinikuta mimi namba 2 jamani khaaaaaaa uuuuwiiiiii mi staki hata kuwaza
Dr yan me naishi nae lakini bado tupo kwa wazazi wake na hataki kuama kabisa jaman
Thank u so much sir for you teaching.
Shukran sana
Tayari ushaniokoa mwee..🙏🙏
habar dias,sor naomba mwenye namba za Doctor Chris aniandikie nin shida nae plz guys
Niukweli kabisa hizi vitu zote tano umetaja nimeziona nimeteseka kwenye ndoa 20 year's 😢
Dr nisaidie no yako nina shida sana😢😢
Hilo limenifika k lakin mm nimemuacha mana anaomba sana alafu akipata yeye hana msada kwangu kwasasa imekula kwakwe 😅😅👈👈👈👈👍
hiyo ya nne ni mumewangu 🤣🤣🔥🔥🔥😎
Namba 3 hiyo umegusa wangu mie, yan anatamani hata chakula asiwe ananunua😅😅 ..mungu tusaidie jaman
😂,
Wow
Huyo ni wangu namba 4
Mm nahitaji sana ushauli kutoka kwako
This is very true
Samahan naomba unisaidie nilikuwa namtu kwenye mahusiano afu kumbe alikuwa namtu mwingine koh nilipojua nikubali tulikuwa wawili tumeiahi ivyo miaka miwili but ghafla2 kaja kasema tuachane tumeachana nimeendelea na maisha yangu anataka turudiane na hataki mm niwe namtu kwenye mahusiano wakati yeye yupo na alipogundua ninamahusiano namtu mwingine kanichukia
Mm mpenzi wangu anataka kua huru hataki kuulizwa kitu chochot napia hata sim yake anaficha
Brother mauki, wewe ni 🔥🔥🔥🔥 nimecheka hatari. Mungu akuzizishie miaka.
Nimeipenda mpaka basi dalili zote izo kama naziona kwa mtarajiwa wngu🤷♀️
Duuh kimbia.mbio
Doctor this point thank
Asant kwakwel
Jamani kama umeniona wakwangu iko ivoivi na Jo tumeshaza watt 4 😊😊
Nilijikuta katika hii Hali Hadi nikajiondoa na watoto watatu
Kaka habar mm mume wangu atuelewan hasa kwenye kupanga mambo ya ufamilia