Pele limepata Mkunaji. Asante Mbunge wangu Mh. Jerry Silaa, Elimu hii nami nimestafidi si haba. Kila la heri katika majukumu yako. "TUKAMILISHIE BARABARA YA MAJOHE KUWA KIWANGO CHA LAMI TAFADHALI. INAVIGEZO NA SIFA ZOTE KULIKO ILE YA ULONGONI MAMBAYO YENYEWE TAYARI" (Nimechomekea hapo! Kila la heri Mh Waziri)😊
Allah amjaalie afya njema huyu Mh waziri,anasaidia kweli kweli,halafu ni kijana wa mjini,ukija kiujuaji anakuja hivo hivo,na vifungu vya sheria vimelala..
Moja ya Mawaziri mahiri kabisa. Huyu CCM hata wakija kumpa nchi wala hawatakuwa wamekosea. Mwerevu, jasiri, eloquent akiongea! Hawa ndo wanafaa kukaa kwenye uongozi! Mungu akubariki Mh. JS!
Waziri wangu slaa mwenyezi mungu akulinde wizara yako ni ngumu sana wengi wanatumia nguvu ya pesa kunyanyasa walala hoi. Wazir uko vizuri napenda sana kiongozi mfuatiliaji na anaefuata sheria.namalizia mwenyezi mungu akulinde.
Allah amlinde na kumhifadhi huyu waziri jasiri mwenyewe hekma bila kumdhulumu raia yeyote kwa kupata haki yake! Inshalla awe Raisi mtarajiwa siku za usoni ..mhe, marehenu Rais magufuli kweli aliwapa elmu na mafundisho raia wake katika kutekeleza haki kwa raia yeyote yule....
Mashallah, hongera sana Wazir nimekukubali sana, Warithi wa Maguful bado wapo, Alhamdulilah 🙏Alhamdulilah Allah kareem, haki ya mtu haipotei, nimejifunza kitu hapa, wosia ni muhimu sana 🙏
Namuona JPM ndani ya huyu good boy. Dah!!!! Mungu akubariki sana ktk utendaji wako mr. JERRY SLAA. kweli wewe umewiva licha ya umri mdogo uliyonao💯💯💯💯💯💯💯💯
Cs Silaa is the Best Minister in Tanzania the Way He Go throughout His Groundwork I Could Adore Him To be Kenyan Cs blessed Silaa Waziri wa Ardhi Tz (Bongo)
Najiukiza hivi kweli rushwa itaisha maana huyu sio hakimu wala wakili lakini anayajua vipi wenye nafasi za hakimu na wakili wameshindwa kudadavua yote hayo miaka yote.😂😂😂😂
@@swahilifashion2206 Eti kisa Waziri tu ndo kaenda kutengua kesi iliyoshindikana MAHAKAMANI ! inamaa yeye ni above the law ! WEZI WATUPU HAWA GENGE LA WAHUNI KUTUIBIA NCHI YETU// HATUNA NCHI / HATUNA MIFUMO / MIFUMO YOTE IMETEKWA NA WAZURUMISHI SO CALLED VIONGOZI
Waqfu sio lazima iandikwe yaani kule kutamka tu hii ni Waqfu yatosha ni kama mfano wa Talaka sio lazima iandikwe kule kutamka tu nimekuacha si mke wng ndo tayari tena hiyo haina utani, ila mzee mwnyewe marhumu Allah amrahamu alifanya hvyo alishawaona watoto wake mwenendo wao.
Kiukweli bila unafki uyu inabidi apewe nchi kuongoza apa mh,samia kumteuwa uyu kuwa waziri wa ardhi apa nakubari umeupiga mwingi sanaaa ivi hawa wengine wanafanyakazi gani
Huyo aliyenunua imekula kwake. Nyumba za urithi kuna utaratibu mpana. Na huyu marehemu alikuwa na akili kubwa sana kwenda kusajili wosia. Big up marehemu. Wewe uliyenunua mdai msimamizi wa miradhi kukutapeli. Tena wewe uliyenunua ukionekana hapo unafukuzwa huna hati miliki😂😂 Duh balaa
Aliegundua pesa kwakweli amejua kutupata Sasa Mali kaacha Mzee na amefarik kaacha wosia mashekh maimamu wameitupa qruan wanashupalia dhuruma Kuna kitu nilicho kigundua Kuna watu wanagombea vyeo misikitini kwa maslahi binafsi
ManshaAllah SLAA nimekupenda sana unajuwa kutenda haki Mungu akulinde mpaka sheria ya kislam unaijuwa Allah akuhifadhi yarab Allah azidi akupandishe cheo zaidi na zaidi kijana mdogo lakin ManshaAllah unajuwa kuitenda haki ww hakika unamuogopa Mungu hutaki dhulma Allah azidi kukupa mazuri dunian na akhera
Silaa mdogo wangu. Umesimama vizuri kusimamia sheria na kuelimisha. Mana nimeelewa leo. Hanisi haruhusiwi kuoa nilikua sielewi Allah Akujalie Afya njema
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Baadhi ya watoto. Hawajawa tiyari kuuza
Jamani na Mimi nina kesi ya Shamba naombeni namba ya SILAA NINAMATUMAINI ATANISAIDIA
@@BilalShingwa😊😊iijj
Samahani sana na mm tuna nyumba yetu apoapo gerezani mtaa wasomali nakuomba nisaidie ndug zangu
Hongera sana mh silaa ukweli kazi unaiweza mama ameteua mtu sahihi
SLAA IS NEXT PRESIDENT OF TANZANIA, wanafata haki sio maslahi God bless you
Mpaka nitokwa machozi😢 Waziri jinsi anavyo dada vua vizuri sana Allah akulipe
Pele limepata Mkunaji. Asante Mbunge wangu Mh. Jerry Silaa, Elimu hii nami nimestafidi si haba. Kila la heri katika majukumu yako. "TUKAMILISHIE BARABARA YA MAJOHE KUWA KIWANGO CHA LAMI TAFADHALI. INAVIGEZO NA SIFA ZOTE KULIKO ILE YA ULONGONI MAMBAYO YENYEWE TAYARI" (Nimechomekea hapo! Kila la heri Mh Waziri)😊
Waziri nimekusikiliza zaidi ya mara moja Mungu akulipe kila la kheri
Allah amjaalie afya njema huyu Mh waziri,anasaidia kweli kweli,halafu ni kijana wa mjini,ukija kiujuaji anakuja hivo hivo,na vifungu vya sheria vimelala..
Kwakweli Wewe ni Waziri ALLAH azidi kukulipa MashaALLAH ivi marehemu anaendeleya kujipatiya thawabu zaki madrasa yamerudi ALLAH azidi kukupa afya njema
Kazi nzuri sanaa mungu atu jalie viongoz kama wewe kwenye nchi yetu ya Tanzania..
Masha Allah wazir m.mung axidi kukuongoza kwenye kheri dah kuna watu wahikma humu
Wazir silaa kijana mmbich mwerev shupavu na kajaaliwa hikma pia
Ni Mungu sio mungu
Moja ya Mawaziri mahiri kabisa. Huyu CCM hata wakija kumpa nchi wala hawatakuwa wamekosea. Mwerevu, jasiri, eloquent akiongea! Hawa ndo wanafaa kukaa kwenye uongozi! Mungu akubariki Mh. JS!
Asante sana Mheshimiwa Slaa Mungu akubariki sana. Mh Raisi Samia nakuomba usimtoe huyu Waziri kwenye hii Wizara asante
Mama Samia hongera sana kuchagua watu sahihi katika uongozi wako!! CCM oyeeeeeeee
Maashaalah Mh.Waziri Silaa wewe uwe mfano wa kuigwa uko dhahiri ktk kusimamia haki hongera sana Allah azidi kukuongoza ktk kusimamia haki😊
Wazir slaa Mungu akulipe kwa utendaji wenye uadilifu
Uyu waziri ni mzuri sana, mungu amlinde
Sawa lkn n Mungu co mungu
Ww ni mwalimu wa shule gani😂😂@@FranciscoKatakwa
Maasha Allah Tabarakallah namuombea kwa Allah mweshimiwa Wadhiri Wa Ardhi Allah Amuongoze kweny dini ya HaQhi ya Kislam❤❤❤
Mama usimtoe kwenda sehemu yengine silaa yupo vizuri apo umepata jembe kwa sisi wanyonge
Mpk natokwa machozi ya furaha kwa huyu kijana.
mashAllah I wish huyo waziri tungekuwa nae inchini Kenya mungu akupe moyo huo mwenye kutenda hakiii
Ukweli mawaziri wetu hawajali wananchi
Hakuna waziri Mzuri Mama Samaia amapata kama Huyu Jamaa,ana Akili za kizalendo zaidi
Mh Raisi mlinde sana Huyu Waziri ameitendea Haki sana hii nafasi
Hakika
Slaaa mwili Mdoogo AKILI kubwaaa busara zimejaa hongera sana
Huyu wazur ni mtt wa doctor Slaa wa Chadema au
Duuuh...! Nimesikiliza kwa makini sana yani anamaliza tatizo kirahisi kabisa nimeona hekima ya suleiman Mungu akupe rehema mh ; Jerry slaa
Congratulations Minister SLAA
Rais wangu Samia umechagua waziri sahihi.Yaan Silaa mtendaji mzuti sana.❤❤❤❤❤🙏🙏👍👍
Waziri wangu slaa mwenyezi mungu akulinde wizara yako ni ngumu sana wengi wanatumia nguvu ya pesa kunyanyasa walala hoi. Wazir uko vizuri napenda sana kiongozi mfuatiliaji na anaefuata sheria.namalizia mwenyezi mungu akulinde.
Allah amlinde na kumhifadhi huyu waziri jasiri mwenyewe hekma bila kumdhulumu raia yeyote kwa kupata haki yake! Inshalla awe Raisi mtarajiwa siku za usoni ..mhe, marehenu Rais magufuli kweli aliwapa elmu na mafundisho raia wake katika kutekeleza haki kwa raia yeyote yule....
Shekh...msimamiz umepotoka....unapenda vitu vy duniiaa.inalilah waina rajiun
Ndio aoao mashehe makanzu wanaswali wanawaza ubaya
Ndo nashangaa, wanaume wazima na makanzu yao hata aibu hawaoni. Ukiona walivyo waongo eti wanamfundisha sheria waziri wakati ni mwanasheria.
Kbsaaa
Mr . ministry u deserve to be a president ❤
Mh, Waziri silaa uko vizuri sana.Mungu akubaliki sana katika utendaji wako Nakuomba Mh,Rais wangu Samia usimtoe huyu waziri
Mashallah, hongera sana Wazir nimekukubali sana, Warithi wa Maguful bado wapo, Alhamdulilah 🙏Alhamdulilah Allah kareem, haki ya mtu haipotei, nimejifunza kitu hapa, wosia ni muhimu sana 🙏
Daaah ,nimejifunza kwa muda mfupi ,kumbe busara ni tunu ,YAAH ALLAH TUJAALIE TUWE NA BUSARA JUU YA KUTATUA MAJAMBO YETU
Namuona JPM ndani ya huyu good boy. Dah!!!! Mungu akubariki sana ktk utendaji wako mr. JERRY SLAA. kweli wewe umewiva licha ya umri mdogo uliyonao💯💯💯💯💯💯💯💯
JPM alikuwa Hana Maono Kama ya Jerry ndio hakumteua
Huyo waziri Ana Akili sana🎉
Nikweli anaakili nyingi anakipaji, na anajua kuongea kwa point
Mweshimiwa uko vizuri big up piga kazi msaidiye mama kazi kama makonda hongereni
Tuhitaji kua na mawazir kama hawa maashaallah. Mungu akuongoze kitika kuonahaki inshaallah
Waziri Slaha, umenena jambo la Ukweli na Busara❤
Mungu ambariki huyo baba huko aliko
Mungu akuoneshe njia iliyosahihi wazari umeongea haki umenigusa mno duwa yangu kwako sima hivyohivyo
Cs Silaa is the Best Minister in Tanzania the Way He Go throughout His Groundwork I Could Adore Him To be Kenyan Cs blessed Silaa Waziri wa Ardhi Tz (Bongo)
Safi Sana Mkuu hao walo uza nyumba wana tamah tu nja Zina wasumbua uko vzr Mkuu Mungu akulipe
Shekhe na devu kapaka rangi lakini kashindwa kuheshimu husia wa marehemu,Mungu azidi kukulinda mheshimiwa Waziri slaaa .
Yaani waziri umetengua kesi ambayo miaka kadhaa hata mahakama imeshindwa, uamuzi wako mzuri mno..!
KWANI YEYE NI MAHAKAMA! HATUNA NCHI ! YANI WAZIRI KAWA HAKIMU / JURO/ PROSECUTOR / na Hakimu hapo hapo ! / MIFUMO YETU HOVYO NA HII INADHIHIRISHA !
@@onionpeeling5822hiyo ndio moja wapo kazi ya waziri kutatua matatizo ya ardhi kama hujui uliza utaambiwa
Najiukiza hivi kweli rushwa itaisha maana huyu sio hakimu wala wakili lakini anayajua vipi wenye nafasi za hakimu na wakili wameshindwa kudadavua yote hayo miaka yote.😂😂😂😂
@@swahilifashion2206 Eti kisa Waziri tu ndo kaenda kutengua kesi iliyoshindikana MAHAKAMANI ! inamaa yeye ni above the law ! WEZI WATUPU HAWA GENGE LA WAHUNI KUTUIBIA NCHI YETU// HATUNA NCHI / HATUNA MIFUMO / MIFUMO YOTE IMETEKWA NA WAZURUMISHI SO CALLED VIONGOZI
@@onionpeeling5822 maswali ni mengi mno ndugu yangu kwamba hawakuwaza alivyowaza au sheria hazikueaongoza na je waziri ndio kajua sheria ama
Huyu mwamba wa ccm anajua sanaaa, alafu mtoto wa mjini haswaaa ❤❤❤mungu akulinde,
Mashallah waziri Allah akuongeze. Apa nimejifunza mambo mengi sana na sai 3:34am sijalal nafatilia silaa❤
Hapa kuna kazi, kumbe Slaa kumbe una busara sana, wewe una weledi sana.
I like how he is respectful, teaching and taking charge All the time representing well.
Go go go jerry Mungu yupo na wewe kwa kila hatua utakayoipiga
Mhimili wa mahakama mjitafakari hii kazi sio ya wazir Ila mmeshindwa kusimamia haki sababu ya rushwa
Haha sheria mahakamani,tulia shehe haki itendeke mahakama hopeless kwan wako wapi
😂🙏@@nikundiweamosi5087
Waziri uko vizuri .Mungu andelee. Kukupa heki busara na marifa ayo .umexaidia wengi
Wewe ndio kiboko yao.
Fanya kazi msela wangu.
Mungu atakubariki kwa kuwatetea wanyonge wanao dhulumiwa haki zao.
Respect mbunge wetu Allah akuongoze Mashaallah.
MH Waziri SiLLA MUNGU akubarik umejua dasaka tul jaliya kwa marehem
Huyu waziri yupo vizuri sana, mola amjaalie sana aendelee hvhv
Waqfu sio lazima iandikwe yaani kule kutamka tu hii ni Waqfu yatosha ni kama mfano wa Talaka sio lazima iandikwe kule kutamka tu nimekuacha si mke wng ndo tayari tena hiyo haina utani, ila mzee mwnyewe marhumu Allah amrahamu alifanya hvyo alishawaona watoto wake mwenendo wao.
Unachokisema ni Sawa kisheria za dini. Ila Sheria za nchi zinahitaji kisajili hvyo vyote
MashaAllah
Ameen
Kwamaisha yanavoenda kasi sasaivi itapendeza iandikwe binadamu vigeugeu shk
@@Ins3ctsworldsisi tumefanyiwa hivihivi na familia Ila tunamuachia Mana alotafta amekufa
Ocd ukipewa agizo na kiongoz unatakiwa kupiga salute sio kuitikia kwa kichwa
Sahihi kabisa !
Zimepigwa sana
😂😂😂😂
Kweli mkuu nimeshangaa pia huyo muite ofisini uumpe elimu
Na yeye anashangaa mambo yanavyoenda
J E R R Y S LAA : Bravo!!!!!
Jerry slaa mfano wa kuigwa na mawaziri wote wakuu wa mikoa wilaya be responsible he is definitely doing a good Job
True
Very smart and intellectual man
Nimejofunza kitu hapa, salute Mh. Waziri
Jery Mungu akubariki sana
Kiukweli bila unafki uyu inabidi apewe nchi kuongoza apa mh,samia kumteuwa uyu kuwa waziri wa ardhi apa nakubari umeupiga mwingi sanaaa ivi hawa wengine wanafanyakazi gani
Safiiiiiiiiii madrasa irudi yeeeeeee baba kaburi lako lipo pepon inshallah 🙏
HUYU WAZIRI ANA AKILI NYINGI ALLAH AMLINDE
Amiin
Haka ka bwana Kako vzr sana kamenyooka mungu akajaalie kafike mbali ( srah )
Katika mawaziri wote wewe ni kichwa mungu akubariki sana akuzidishie hekima busara na maarifa mara mia pia akupe maisha marefu uwatumikie watu wake
Sawa lkn n Mungu co mungu 🙏
Huyo aliyenunua imekula kwake. Nyumba za urithi kuna utaratibu mpana.
Na huyu marehemu alikuwa na akili kubwa sana kwenda kusajili wosia. Big up marehemu.
Wewe uliyenunua mdai msimamizi wa miradhi kukutapeli.
Tena wewe uliyenunua ukionekana hapo unafukuzwa huna hati miliki😂😂
Duh balaa
fundishoooo kwa wote
FUNDISHO KWA WOOTEE KUMBE URIDHI UNASAJILIWA HATA ARDHI JAMANI ARDHI TUFUNDISHENI MENGIIII ILI KUTATUA WALANGUZU KILAIINI
Atachukua hio ilojengwa ilala ghorofa na mbili na madras na km haitoshi makusanyo ya Kodi atalipwa deni lake
Wazili sila akika wewe nimchapa kazi mungu akulinde
Huyu jamaa anasifa zote za kuwa Raisi wa nchi yetu,
INSHAALLAH siku moja atakuwa Raisi wa nchi yetu 🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huyu waziri Mungu ambariki saana, nimejifunza mengi hapa
Namuelewa silaha vizuri .mungu mtunze silaha
Aliegundua pesa kwakweli amejua kutupata Sasa Mali kaacha Mzee na amefarik kaacha wosia mashekh maimamu wameitupa qruan wanashupalia dhuruma Kuna kitu nilicho kigundua Kuna watu wanagombea vyeo misikitini kwa maslahi binafsi
Mungu akujalie waziri wangu kwa kutenda haki kwa sisi wanyonge
Hongera sana waziri na inaonyesha Jengo lina waqfu ila wanataka kuleta janja janja.
UMEWAKOMESHA MATAPELI AIBU YAO
Asante sana wazili wambie watafute pesa zao hio mali ya malehemu
Professor jerry silaa🔥🔥🔥🔥
Mwenyezi Mungu akupe kila la kheir, Waziri Slaa
Safi sana Tena sana tu
😮mashallah wazir sila mungu akupe pepo yako
Hongera sana silaah unatenda haki allah akurinde na shari uyo arienunua mgumu wa kuerewa ubishi unaingia hasara
Mwenyezi Mungu akulipe kheri mheshimiwa waziri
Waziri slaa uko vzr m,mungu akuweke nawajua hawa jamaa mpk dada zao nawajua hawa jamaa wamewaendea kinyume dada zao
Mwenyewe kalala anataka duwa kwa kweli nimempenda huyu baba❤❤❤
Mashallah jazakah llahu kheyr Allah akuomgoze uwe kiongoz mwema siku zote
Mungu akubari waziri silaa❤
Mashaallaah hongera waziri umeongea. Vipi
Hongera sana mh Silaa wizara imepata jembe
Jerry mkuu umetenda haki ubarikiwe sana suala la hela watamalizana wenyewe
Huyu waziri Mungu amtangulia nimemfwatilizia sana jinsi anavo toa maamuzi ya haki bila ubaguzi
Wallahy umenifurahisha sana waziri
Mheshimiwa Waziri Slaa uko vizuri keep it up
CCM tuleteeni 10 kama hawa naamini kila mwenye imani ya dini anamuombea dua huyu mashallah mwenyezi ampe umri na amuweke kwenye nafasi
Safi sana mkuu fanya kazi yako wewe sio mtu wa rushwa wewe ni mtu wa watu na haki inshallah 🙏 haki itendeke dada wa watu apewe haki yake
Allah akufanyie wepesi muheshimiwa waziri
Asante sana Mh Waziri
Daa kweli waziri mungu atakulinda sana mkuu🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Hapa ninachoona mnunuzi kapigwa ela😂. Ila waziri katoa elimu nzuri sana
Good job waziri MUNGU akulinde.
Waziri uko vizuri..well done..ww unajua kazi yko
Waziri very smart mungu akubariki
🙏,lkn n Mungu co mungu
@@FranciscoKatakwa Yaani nachukia mimi kuandika mungu😪😪
ManshaAllah SLAA nimekupenda sana unajuwa kutenda haki Mungu akulinde mpaka sheria ya kislam unaijuwa Allah akuhifadhi yarab Allah azidi akupandishe cheo zaidi na zaidi kijana mdogo lakin ManshaAllah unajuwa kuitenda haki ww hakika unamuogopa Mungu hutaki dhulma Allah azidi kukupa mazuri dunian na akhera
Yaani yoote yachelewe lakini madrasa irudi, safi sana nimempenda waziri bure bure, Nimejifunza sana kupitia huu mgogoro
Silaa mdogo wangu. Umesimama vizuri kusimamia sheria na kuelimisha. Mana nimeelewa leo. Hanisi haruhusiwi kuoa nilikua sielewi Allah Akujalie Afya njema
MUNGU akubariki Sana