Pole sana ,mimi pia ni Muhanga wa Figo,Nimepitia Dialysis jamani sio mchezo,Namshukuru Mungu na mimi nilivuka,Haikuwa rahisi kuna wakati unakata tamaa lakini Nguvu ya Mungu ni kubwa especially unapoomba na kua jasiri. Natoa Pole kwa watu wote wenye changamoto yoyote ya kiafya.
God told me to pray for this guy and his family !! Simjui wala hanijui lakini niliota ndoto naskia sauti inasema ni mwombee. I pray for few minutes nalia bila sababu. Am glad God answers my prayers 🙏🏽🙏🏽😭😭😭😭😭 His watching and hear our prayers
Mungu mkubwa sana Sina cha kusema Kwa kweli Professor Jay Nashukuru Mungu na malaika wake wamekupigania mpk umerudi upya.Uishi miaka mingine mingi Kwa jina la Yesu ❤🇹🇿🙏
Très intelligents prof,quand tu expliquent en étant seulement patient (malade)on dirai un soignant,...tu fait la physiopathologie devant la chronique ,bravo à vous .
Unavyoongea prof. Machozi yananitoka nami nilishawahi kupata changamoto ya kumuuguza mama yngu kwa hali yke ilivyokuwa watu na ndugu zake walimkatia tamaa lkn mm nilisimama acheni mungu aitwe mungu leo hii mama yngu ni mzima wa afya nakumbuka hii ni miaka13 iliyopita kwa ambaye hajawahi kuuguza mgojwa hawez kuelewa wala kuamini mungu aendelee kukulinda kaka!
Hujawahi soma bibble, hujawahi soma Quran, na hutaki kuamini kuhusu Mungu, basi story ya Prof Jay iwe alert kwako kuwa Mungu ni muweza na Mkubwa kuliko lolote unaloweza kulifikiria na lililo nje ya uwezo wa fikra zako ..Trust in Him....
MUNGU SIO KAMA UNVYOMDHANI HATESI MTU MUNGU ANAKUJUA KABLA UJAINGIZWA TUMBONI HUYU YOPU KUKAMILISHA KAZI YAKE ALIYOMTUMA DUNIANI. KWAKIFIPI TUPU KWA MPANGO MAALIMU USIMUHUKUMU BINAADAMU. WALA KUMCHEKA AU KUMDHIHAKI KAKOSEA HAPANA NI HAWEZI KUONDOKA DUNIANI MPAKA APITIE HAPO PIA ALIPOPITIA. ILA MUNGU YUPO KWELI KABISA LAKINI UPENDO NDIO SIRI YA ALIVYO MUNGU.
Ahuna akili sawa. Quaran ya wa arabu, bibliya ya waroma. We mtu mohusi Ina kusaidiya nini? Kesho uta ambiya watu wageuke wa hindu? Damn, is it a curse to be black and African?
@@godfreylalida3521 above all zingatia unachokula!interview zima amekiri kilichompelekea kuumwa ni ulaji mbovu,na kinachoendelea kumuimarisha ni ulaji bora. Guys tusiendekeze vyakula vilivyosindikwa na hizi fast foods maana ukiona matangazo yake imewekwa kana kwamba ni "fashion" ila zinatumaliza jamani.Kula vizuri kwa wakati ,sio kila saa kudokoa dokoa,kula shiba ipe mda mwili kutumia ulichokila,fanya mazoezi hata ya kutembea tu kila siku.Imani pia muhimu ili uwe na utulivu wa nafsi
It’s midnight nmechoka lakn baada ya kuona hii post usingiz umekata nmeangalia na mda wote macho yamejaa machoz lakn moyo wangu umejaa furaha, am speechless to our God my childhood was enjoyable kwaajili ya huyu msanii. Welcome back To Professor Jay again. Uwepo wako tu hivo hata bila nyimbo tayar ni furaha mana you have done a lot. Nchi umeiheshimisha tayar..
God is good all the time. Nimesikia hii " madaktari waliendelea kuni pump kalibia lisaa lizima, walikua wananikubali sana, walikataa kua hawezi kutufia hapa. What a great heart, mwenyezi Mungu akutunze sana, asiwasahau madaktari wako.
Sio hela mungu anapenda aendelee kuishi alimpa mtihani tu shukuru una afya vinginevyo ungekua unapata shida kama alivyopata usingependa kutumia hayo maneno kaka tumshhukuru mung kwa afya 🙏🙏 na mungu mwema profeso j ame recover
Kwakweli ni kwa neema ya Mungu tu ,kwa binadamu siyo rahisi,Hata mm naguswa zaidi kama Prof J angemtolea Mungu maisha yake,amwimbie Mungu ,Kwa neema yake peke yake tunaweza.
Professor Jay ni furaha kubwa kuona umepona na unaendelea vizuri. Umeonyesha nguvu na uvumilivu mkubwa katika kipindi hiki kigumu. Tunakutakia afya njema na mafanikio zaidi katika safari yako ya muziki na siasa. Endelea kututia moyo na kutuongoza kwa mfano wako mzuri. Mungu akubariki!
Mungu aendelee kukutunza Professor Jay ilaa Mungu atuepushe na maradhi makubwa kama uliyoyapitia na atufanye kua wenye kuyatenda ya kumpendeza Muumba nimejifunza mengi juu ya uliyoyapitia,,
Hakika nakupa pole sana na hongera sana kwa kuvuka Prof. J. Wewe ni ushuhuda Mungu yupo na anatenda sana. Mpaka machozi ya furaha yamenitoka. Kuna kaka yangu anayefanya Diylisis mara 3 ana imani sana na Mungu namimi naamini atapona tena kwa ushuhuda huu. Mungu aendelee kukukumbatia kama Ayubu urudi tena kwenye chati mara Saba sabini❤
Prof Jay,nimejifunza vitu vingi kupitia maelezo ulio toa,Kweli Neema ya Mungu kubwa sana kwako,mara ya mwisho tulionana Mikumi ukiwa bado Mbunge.Pia nifurahi hasa kwa moyo wako kuwazia wengine na hii ndio maana Mungu amekuponya,nakuombea pia Mungu akupe neema ya Kuingia katika ufalme wake,hii ni kumwamini Yesu Kristo na kipawa alicho kupa mtumikie Mungu sasa kwa kuwaleta wengine katika Ufalme wa Mungu aliye hai.Pole sana ndugu yangu na tunaendelea kukuombea.
Aiseee Prof J Mungu anakupenda Sana Sana Sana.... Usiache kujishusha mbele ya Muumba wako siku zoote..!! Kuhusu chuma ulizowekwa umenikumbisha mbali Sana ,hata mi nimepitia Hali hiyo baada ya kupata ajali. Hongera Sana Kwa kuwa mkakamavu , kumcha Mungu na Sasa unakuwa ushuhuda Kwa watu wengi. Ubarikiwe Sana ndugu yangu.
Ndugu Yangu Professor Jay Mungu Ana Sababu Ya Wewe Kupitia Kwenye Mitihani Iliyoipita Pole Sana Ndugu Yangu Utasimama Tena Na Utafanya Makubwa Ambayo Kila Mtu Atushughudia Ukubwa Wako Ndugu Yangu.👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
Nauona ukuu wa Mungu kupitia Pr.Jay Mungu ni mwema sana pole sana kwa yote uliyopitia hakika Mungu wetu ni mwaminifu anatutendea mazuri na kutuwazia mema👏
Tuombe na tuombeane sana Mungu atuepushe na Magonjwa, hata kama huna pesa lakini una Afya basi una sababu kubwa sana ya kumsifu na kumshukuru Mungu kwa nguvu zote. Afya bora ni mtaji mkubwa mno kwa mwanadamu. Mungu atupe Afya na Uzima, Magonjwa ni umasikini ndugu zangu😭😭😭
If there one thing i love about Frida Amani ukiacha heer rap skills ni muonekano wake wa asili (bila kucha/nywele bandia). Keep it up girl. Wewe ni mzuri hata bila ya vikorombwezo.
MUNGU Ni mwema sana finally umerejea, huu ni ushuhuda wa kutosha sana kwamba MUNGU yupo, daah! umetufunza mengi sana kaka, nimefurahi sana kwa kurudi kwako professor J.
Mungu mkubwa kaka! Ninakumbuka nilipokuona Karimjee ilinipa faraja sana na somo kubwa pia juu ya maisha yetu wanadamu hapa duniani..Hakika professor ukuu wa Mungu umejidhihirisha juu yako na kwenda kinyume na matarajio ya binadamu wengi. Pia nina wazo moja kama afya yako kwa sasa itakuwa inaruhusu. Ungefanya professor jay festival walau kwa mikoa kadhaa ili mashabiki wako waweze kukuona live
Prof J, nakupenda na ni mpenzi wa kazi zako sana... Pamoja na kuwa mimi ni musician pia, nakuomba tu sasa ufanye sasa mziki unaowaleta watu kwa Kristo sasa.
miradi Mimi naitwa atanasi nipo gairo morogoro niripata ajari ya Rori mwaka 2021 niriwekewa vyuma mguu mmoja na mkono rakini Kwa sasa chuma Cha mguu kinanisumbua sana kinatoa majipu Kwa sasa nasumburiwa na mguu maisha magum naomba nifike kwako niweze kuomba msaada kwenye vyombo vya habari
Pole sana Mwenyezi Mungu ametenda mambo makuu juu yako prof J muhimu kukumbuka mapito uliyoyapitia na kurudisha utukufu kwake Muumba wa Mbingu na Dunia na vyote vilivyomo.
Pole sana Professor Jay. Hayo ni mapendi ya Mungu anasababu zake hilo amini na ndio maana umeanzisha hiyo foundation ilikua kwanza kupitia hayo yote. Na nk auhakika Mungu atakupa maisha marefu sana ili kufanya yale Mungu alio kuandilia kufanya.
Unaye soma Ujumbe huu Mungu Akupe Neema Ya Afya Njema Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako.
Wana nchi wa mikumi ombi langu kwenu, njia pekee ya Kumsaidia professor jy# ni kumpa ajira ya ubunge hiyo anayoomba ili ajisaidie please mpeni ubunge... Kwa moyo1
Kaka yangu pole sana. Na Mungu ni mwema Na Yeye ndo kila kitu. Kaka yangu wewe ni kati ya wasani number one nakukubali sana kwa kazi Yako.Huwezi kuamini naandika na tokwa na machozi.Mimi nipo Burundi Kaka january next year nitakuja kukuona . Sina contacts zako Ila nimeishi mikocheni karibu na kituo cha Radio clouds FM ninaamini nikipitia kwawo nitaweza kukuona. Kaka pole sana . Na pia nawashukuru wote muliyo muombea Kaka yetu wote muliwo towa musaada .
my bro, nimekusikiliza huku natetemeka, wewe ni ushuhuda unaoishi...Mungu amekupa second chance ya kuishi ili umtumikie...my advice is, achana na secular music, sasa tumia kipawa chako kumwimbia Mungu. Mungu hana upendeleo. Warumi 12:1
Nina kila sababu ya kumuabudu huyu Mungu, uhai sio kitu kidogo jamani, pole sana prof kwa uliyoyapitia nmejifunza pia imani ni kitu muhimu sana, umeonesha imani ya hali ya juu
Mimi ni mmojawapo ya watu walio kuwa wanaumia Sana kuona professor j anaumwa Sana, na maneno mengi ya uzushi yalikuwa yanazushwa sana, nimefurahi sana na machoz yananitoka, mungu zaidi kukulinda siku Hadi siku walau utoe hata wimbo mmoja tu wa historia haya yote uliyopitia, hongera Sana brother 👏👏👏👏💞
Mimi nakuelewa mwaka 2021 mwezi wa 12 mtoto wangu wa miaka 7 akakutwa na saratani ya damu kizungu unaitwa acute lymphoblastic leukemia acha kabisa kwanza ni ugonjwa wa kitajili yaani km mama wakati wanasema nilihisi dunia yote imeniangukia ila Mungu ni mwema bado tunapambana hakika mungu ni mwema daima
Mngu ashukuriwe sana ni wa ajabu. Ametenda maajabu makubwa unajua Proffesor Jay wewe ni mtu ambaye umepitia magunu katika maisha. Unajua kuugua mda mrefu lakini ukarudi kwenye Hali yako ya zamani. Halafu ukasimama moyo na kurudi ukiwa na kumbu kumbu Kamili Mngu apewe sifa sana.
Thanks media for this EPISODE 01. Nimetazama mwanzo mwisho, Nimejifunza vitu vingi sana, na nitavifanyia kazi ikiwemo * KUMTANGULIZA MUNGU KWA KILA JAMBO... Misa ilifanyika ya kumuombea Prof J * KUWA MVUMILIVU... Mke wa prof kavumilia mengi kwa mumewe mpaka leo na amekuwa msaada mkubwa. * KUWA NA IMANI hata pale unapoona wengine wameshindwa wewe unaamini hakika hilo pito utalipita tu. *MTINDO WA MAISHA... Vyakula tunavyokula pamoja na vinywaji, muda wa kula, kulala. Kiukweli Prof hakuwa na mtindo mzuri wa maisha yake na ametushauri namna ya kufanya big up 🙏 * KUTOKUKATA TAMAA. Mheshimiwa bado anakitaka kiti cha ubunge 2025 🎉🎉 * KUSAIDIA WENGINE. * NK Mirald, Vido & Frida asante kwa interview 🎉🎉🎉
Huù ushuhuda ni mkuu sana na ya ajabu sana. Mungu haonekani ana kwa ana ila anaonekqna wazi unaposikiliza shuhida kama hizi. Binafsi nimeuona Mkono wa Mungu wazi wazi kupitia simulizi ya huyu mheshimiwa. Kwa kweli amemuona Mungu na sisi hususa mimi nimemuona Mungu.
Mzee wa mitulinga, Mwenyez Mungu ni mwema,tumefurahi sana,mshukuru Mungu,na madokta,serikali kiujumla na washika dau,duuu hujafa hujaumbika,big up sana madokta.
Mtu hafi kwa sababu anaumwa mtu anakufa muda wake ukifika Allah ajaalie shifaa wagonjwa wote na atujaalie mwisho mwema amiin
Ameni kabisa mtumishi
Allahuma amiin
Kweli kabisa
Maradhi pia yanauwa
@@malikissa8251 anayeua ni Allah na siyo maradhi. Maradhi ni isbabi tu ya kifo cha mtu ila maradhi hayauwi mwenye dhamana ya kuua ni Allah anayeumba
Pole sana ndugu yangu, umepitia pagumu baba. Una mke mzuri amekuweka ktk Hali nzuri Muda wote.
Professor Jay ukiona huu ujumbe naomba uufanyie kazi fanya wimbo mmoja ikiwezekana Albam kabisa kumshukuru Mungu maana huu ni ushuhuda wa ajabu.
Mungu hashukuriwi kinafiki namna hiyo.Yeye amuombe kimya kimya tu Mungu aonae sirini atambariki sana.
Alishamshukuru poa ww kashukuru sio lazm uumwe ndo uimbe
Alishatoa wimbo unaoitwa siku 460 nenda mtandaoni uutafute. Kwenye wimbo ule ameeleza yote hayo na amemshukuru Mungu.
Hee kwahiyo baada ya yote akamshukuru Mungu kwa nyimbo siyo? Akili gani hizi mwezetu wapi anaposhukuriwa Mungu kwa nyimbo
@@saimarmuhsin9578😂😂😂😂jmn
Pole sana ,mimi pia ni Muhanga wa Figo,Nimepitia Dialysis jamani sio mchezo,Namshukuru Mungu na mimi nilivuka,Haikuwa rahisi kuna wakati unakata tamaa lakini Nguvu ya Mungu ni kubwa especially unapoomba na kua jasiri.
Natoa Pole kwa watu wote wenye changamoto yoyote ya kiafya.
Ulifanya dialysis kwa mda gan kuna ndugu yangu ana miaka 2 bado anafanyiwa mpka sasa naulziq kujua kama inachukua mda gan
Ooi pole sanaaa @@GodliverNyangi
Pole saanaaaa haya maisha. Ni kumshukuru mung 2
Yaan prof Kawa kama daktar anaelezea vzr Hadi unaelewa vzr
Pole Sana kwako pia
Prof J..siku zote usimsahau Mungu! Cause you are the choosen one!
Yaani Mungu ni mwema mpk Prof Jay anatoa ushuhuda na mpka mapito aliyopitia kawa kama daktari jinsi anavoelezea mambo. All in all God is great
Nakuelewa kaka mwaka juzi nilipata vimawe kwenye urethra but God is awesome nilirecover tuwe tunakunywa sana maji wapendwa na tusibanie mkojo
God told me to pray for this guy and his family !! Simjui wala hanijui lakini niliota ndoto naskia sauti inasema ni mwombee. I pray for few minutes nalia bila sababu. Am glad God answers my prayers 🙏🏽🙏🏽😭😭😭😭😭 His watching and hear our prayers
Toka na uwongo wako 😂😂
@@Mina.15inaeza kua kwel,,,kila aliyeomba kwajl yke anamshkr Mungu kwa kujib maombi yk.
@@Mina.15 mungu akuhurumie!🙏🏽
@@ShamsiMbago-n2q amen to That.
@@jamilazahran4571 na ijulikane ivo kwa wenye mihemko,watumie akili so kukurupuka kumkashif mtu
Mungu mkubwa sana Sina cha kusema Kwa kweli Professor Jay Nashukuru Mungu na malaika wake wamekupigania mpk umerudi upya.Uishi miaka mingine mingi Kwa jina la Yesu ❤🇹🇿🙏
Très intelligents prof,quand tu expliquent en étant seulement patient (malade)on dirai un soignant,...tu fait la physiopathologie devant la chronique ,bravo à vous .
Professor Jay na Tundu lisu wana tosha kabisa kutu kumbusha ya kwamba Mungu yupo.
Ommy dimpoz pia
Kweli kabisa 😢😢😢Mungu ni Mkubwa
Hakika Mungu yupo
Kweli kabisa
Ommy hajafika kwa level ya Lissu na Jay @@MudrickBoy
Unavyoongea prof. Machozi yananitoka nami nilishawahi kupata changamoto ya kumuuguza mama yngu kwa hali yke ilivyokuwa watu na ndugu zake walimkatia tamaa lkn mm nilisimama acheni mungu aitwe mungu leo hii mama yngu ni mzima wa afya nakumbuka hii ni miaka13 iliyopita kwa ambaye hajawahi kuuguza mgojwa hawez kuelewa wala kuamini mungu aendelee kukulinda kaka!
Acha tu mm mpaka sasa niko kwenye wheelchair kwa miaka 7 niliyoyapitia Mungu ndo anaejua
@JacobMavika usikate tamaa ndugu muamini mungu ipo cku utasimama tena mungu wetu hakupi jaribu usiloliweza binafsi naamini utashinda kwanjia yoyote ile......amin
@@JacobMavika pole sana mungu atakunyanyua tena...
@lilmojr7 Amina Mungu ni mwema aliopita huyu jamaa ndo niliyopitia Figo ilifeli nikakaa icu siku 28 nikuwa nimekata kali kbs
@@AnthonyShirima-z6v Namshukuru sana Mungu mpaka hapo kaniepusha na mengi
Hujawahi soma bibble, hujawahi soma Quran, na hutaki kuamini kuhusu Mungu, basi story ya Prof Jay iwe alert kwako kuwa Mungu ni muweza na Mkubwa kuliko lolote unaloweza kulifikiria na lililo nje ya uwezo wa fikra zako ..Trust in Him....
MUNGU SIO KAMA UNVYOMDHANI
HATESI MTU MUNGU ANAKUJUA KABLA UJAINGIZWA TUMBONI
HUYU YOPU KUKAMILISHA KAZI YAKE ALIYOMTUMA DUNIANI.
KWAKIFIPI TUPU KWA MPANGO MAALIMU USIMUHUKUMU BINAADAMU.
WALA KUMCHEKA AU KUMDHIHAKI KAKOSEA HAPANA NI HAWEZI KUONDOKA
DUNIANI MPAKA APITIE HAPO PIA ALIPOPITIA. ILA MUNGU YUPO KWELI KABISA
LAKINI UPENDO NDIO SIRI YA ALIVYO MUNGU.
Kbsa yaan jamani
Ahuna akili sawa. Quaran ya wa arabu, bibliya ya waroma.
We mtu mohusi Ina kusaidiya nini?
Kesho uta ambiya watu wageuke wa hindu?
Damn, is it a curse to be black and African?
Mungu anakupenda sana muimbie Yeye Sasa na kumsifu achana na mamiziki hayo ya kidunia Yesu anarudi muda si mrefu!!!
@@godfreylalida3521 above all zingatia unachokula!interview zima amekiri kilichompelekea kuumwa ni ulaji mbovu,na kinachoendelea kumuimarisha ni ulaji bora. Guys tusiendekeze vyakula vilivyosindikwa na hizi fast foods maana ukiona matangazo yake imewekwa kana kwamba ni "fashion" ila zinatumaliza jamani.Kula vizuri kwa wakati ,sio kila saa kudokoa dokoa,kula shiba ipe mda mwili kutumia ulichokila,fanya mazoezi hata ya kutembea tu kila siku.Imani pia muhimu ili uwe na utulivu wa nafsi
Prof wewe ni ushuhudaa unaoishi. Namtukuza Mungu sana kwaajili yako, pole na hongera pia. Mungu ashukuliwe amekuponya
It’s midnight nmechoka lakn baada ya kuona hii post usingiz umekata nmeangalia na mda wote macho yamejaa machoz lakn moyo wangu umejaa furaha, am speechless to our God my childhood was enjoyable kwaajili ya huyu msanii. Welcome back To Professor Jay again. Uwepo wako tu hivo hata bila nyimbo tayar ni furaha mana you have done a lot. Nchi umeiheshimisha tayar..
Pole sana tulikuwa tunasoma wote
God is good all the time. Nimesikia hii " madaktari waliendelea kuni pump kalibia lisaa lizima, walikua wananikubali sana, walikataa kua hawezi kutufia hapa. What a great heart, mwenyezi Mungu akutunze sana, asiwasahau madaktari wako.
Kilicho muokowa profesor j namba1 Mungu,2 Pesa. Vinginevyo nindoto tuu.
Nakubaliana nawewe. Asilimia mia
Yes kama iyo sindano ya 5milion kwawiki nipesa kwakweli wengi wanakufa kwakukosa pesa
Sio hela mungu anapenda aendelee kuishi alimpa mtihani tu shukuru una afya vinginevyo ungekua unapata shida kama alivyopata usingependa kutumia hayo maneno kaka tumshhukuru mung kwa afya 🙏🙏 na mungu mwema profeso j ame recover
@@MALCOM_TV602 ok
Kama ni pesa mbona magufuli kafa ?kila m2 ana wakati wake
Huyu mtu kapitia mazito sana aisee hakika kuna funzo kubwa sana katika yale aliyopitia🙌🙌🙌🙌
Yap Hali yake inatufunza vingi sana. Now days tunaulaji flani hivi kwa Hali zetu tukiumwa shughuli imeisha
Kwakweli ni kwa neema ya Mungu tu ,kwa binadamu siyo rahisi,Hata mm naguswa zaidi kama Prof J angemtolea Mungu maisha yake,amwimbie Mungu ,Kwa neema yake peke yake tunaweza.
Professor Jay ni furaha kubwa kuona umepona na unaendelea vizuri. Umeonyesha nguvu na uvumilivu mkubwa katika kipindi hiki kigumu. Tunakutakia afya njema na mafanikio zaidi katika safari yako ya muziki na siasa. Endelea kututia moyo na kutuongoza kwa mfano wako mzuri. Mungu akubariki!
Mungu aendelee kukutunza Professor Jay ilaa Mungu atuepushe na maradhi makubwa kama uliyoyapitia na atufanye kua wenye kuyatenda ya kumpendeza Muumba nimejifunza mengi juu ya uliyoyapitia,,
Hakika nakupa pole sana na hongera sana kwa kuvuka Prof. J. Wewe ni ushuhuda Mungu yupo na anatenda sana. Mpaka machozi ya furaha yamenitoka. Kuna kaka yangu anayefanya Diylisis mara 3 ana imani sana na Mungu namimi naamini atapona tena kwa ushuhuda huu. Mungu aendelee kukukumbatia kama Ayubu urudi tena kwenye chati mara Saba sabini❤
Pole sana professor jay Mungu ni mwema pia wapo watu wema nampongeza sana mke wako na nampa pole kwa yote hakika umepata mke bora
Kabisa ni mfano wakuigwa
Prof Jay,nimejifunza vitu vingi kupitia maelezo ulio toa,Kweli Neema ya Mungu kubwa sana kwako,mara ya mwisho tulionana Mikumi ukiwa bado Mbunge.Pia nifurahi hasa kwa moyo wako kuwazia wengine na hii ndio maana Mungu amekuponya,nakuombea pia Mungu akupe neema ya Kuingia katika ufalme wake,hii ni kumwamini Yesu Kristo na kipawa alicho kupa mtumikie Mungu sasa kwa kuwaleta wengine katika Ufalme wa Mungu aliye hai.Pole sana ndugu yangu na tunaendelea kukuombea.
Nlionana au ulimuona?
Mwenyezi mungu mkubwa sana, hii ni tafsir halis ya kuto kata tamaa.
Basi prof jay awe mfano mzuri kwakila anaepitia magumu kiasi akafikia kukata tamaa
Hakika Mungu🙏 anazidi kujitukuza kilawakati ..polesana Professor usiacheibada kaka MUNGU niwetusote🙏🤝
Aiseee Prof J Mungu anakupenda Sana Sana Sana.... Usiache kujishusha mbele ya Muumba wako siku zoote..!!
Kuhusu chuma ulizowekwa umenikumbisha mbali Sana ,hata mi nimepitia Hali hiyo baada ya kupata ajali.
Hongera Sana Kwa kuwa mkakamavu , kumcha Mungu na Sasa unakuwa ushuhuda Kwa watu wengi.
Ubarikiwe Sana ndugu yangu.
Asante sana Millad & Profesor kwa maana kupitia mahojiano haya nimejifunza vitu vingi sana 😥
Kaka Millard hii interview nzuri sana ina kila kitu kuhusu haya maisha all moment are there
Ndugu Yangu Professor Jay Mungu Ana Sababu Ya Wewe Kupitia Kwenye Mitihani Iliyoipita Pole Sana Ndugu Yangu Utasimama Tena Na Utafanya Makubwa Ambayo Kila Mtu Atushughudia Ukubwa Wako Ndugu Yangu.👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
Mke wako apewe heshima aisee🙏🙏
Kweli yaani ni mwanamke na nusu
Ukitokea kumkosea mke wako basi Mungu aamue mwenyewe Mimi Sina haki ya kuhukumu
Nauona ukuu wa Mungu kupitia Pr.Jay Mungu ni mwema sana pole sana kwa yote uliyopitia hakika Mungu wetu ni mwaminifu anatutendea mazuri na kutuwazia mema👏
Show ya Songea nilikuwepo, nilikuwa Songea kikazi. Pole sana kaka tulienjoy sana kaka kumbe ndo ilikuwa safari ya mateso. Mungu akulinde
Mungu ni mwema kila siku nafurahishwa sana kukuona ukiwa hai ndugu professor Jay
Yatosha kusema Mungu ni mkuu sana umekuwa ushuhuda kwa kila anayeona uwepo wako Prof.
Mungu mwema saana,ametenda makubwa kwako professor Jay! Tumejifunza mengi saana kupitia mtihani ulopitia
Hii ndyo best enterview 2024
Sure, alafu anaelezea vizuri
@ mwanasiasa huyo
PROF JAY
MBUNGE WA BINADAMU NA WANYAMA
HONGERA SANA NA GOD BLESS U
Tuombe na tuombeane sana Mungu atuepushe na Magonjwa, hata kama huna pesa lakini una Afya basi una sababu kubwa sana ya kumsifu na kumshukuru Mungu kwa nguvu zote. Afya bora ni mtaji mkubwa mno kwa mwanadamu. Mungu atupe Afya na Uzima, Magonjwa ni umasikini ndugu zangu😭😭😭
Amiin amiin inshallah yarab tulinde na tuepushe na maradhi makubwa ya kutisha
Amina
Amiin
@@sajdatomar6025 amiin🙏
@@leaherasto929 🙏
Legend mwenyewe. Waimbaji wachache Tz nnaowavulia kofia. Prof, Mwana FA ,,,,,,nnawapenda sana. Hawanaga papara au kuvimba saana kwenye mafanikio yao. Nipo Kenya 🇰🇪 hapa
God will remain the only God for us 🙏🙏
TRUE TRUE 🙌
mirad unicomentie nam shabik wako natajskia poa saana me mwl nipo singida kinampanda tumaini grlz karbu
kazi ya udaktari ni kazi ya wito sana ni vile TZ tumeamua kuidharau tuu, Prof Mungu akutunze sana
If there one thing i love about Frida Amani ukiacha heer rap skills ni muonekano wake wa asili (bila kucha/nywele bandia). Keep it up girl. Wewe ni mzuri hata bila ya vikorombwezo.
MUNGU Ni mwema sana finally umerejea, huu ni ushuhuda wa kutosha sana kwamba MUNGU yupo, daah! umetufunza mengi sana kaka, nimefurahi sana kwa kurudi kwako professor J.
Mungu mkubwa kaka! Ninakumbuka nilipokuona Karimjee ilinipa faraja sana na somo kubwa pia juu ya maisha yetu wanadamu hapa duniani..Hakika professor ukuu wa Mungu umejidhihirisha juu yako na kwenda kinyume na matarajio ya binadamu wengi.
Pia nina wazo moja kama afya yako kwa sasa itakuwa inaruhusu. Ungefanya professor jay festival walau kwa mikoa kadhaa ili mashabiki wako waweze kukuona live
Prof J, nakupenda na ni mpenzi wa kazi zako sana...
Pamoja na kuwa mimi ni musician pia, nakuomba tu sasa ufanye sasa mziki unaowaleta watu kwa Kristo sasa.
miradi Mimi naitwa atanasi nipo gairo morogoro niripata ajari ya Rori mwaka 2021 niriwekewa vyuma mguu mmoja na mkono rakini Kwa sasa chuma Cha mguu kinanisumbua sana kinatoa majipu Kwa sasa nasumburiwa na mguu maisha magum naomba nifike kwako niweze kuomba msaada kwenye vyombo vya habari
Tafuta mawasiliano yake
Pole sana kaka
Wabongo mmeanza
@@OCHUMASIHIMtu anahitaji msaada wewe unasema kaanza watu bwana?
Unakaa wapi
Asante milad tumejuwa vizuri kuwa kaka yetu professor j,anaendelea vizuri tunamuona anaongea vizur kwa dakika zote nimefrahi sana zaidi ya sana
YOU CAN NOT EXPLAIN A DIVINE MIRACLE.......GIVE GLORY TO GOD
Ameeen 🙏🙏🙏
Speed 120 g hai allah east zuu a.k.a proffersor jay bro big up Millard ayo, mina ally, ayo tv east zuu, proffersor jay foundation east zuu big up sana
katika hii dunia anayejua hiyo kitu ni mkewe mimi nimeuguza mume wangu omba sana yasikupate big up broooo wallah mungu atabaki kuwa mungu
Pole sana mwenyezi Mungu azidi kukusimamia
Mungu azidi kukubariki na akupe moyo huo huo wa kutokukata tamaa
Mungu ni mwema🙏🙏
Pole, maana hicho kipindi uchumi unadorora, tendo liliwaunganisha hupati....yaani tabu tupu.
Bu
Pole sana Mwenyezi Mungu ametenda mambo makuu juu yako prof J muhimu kukumbuka mapito uliyoyapitia na kurudisha utukufu kwake Muumba wa Mbingu na Dunia na vyote vilivyomo.
Bwana Yesu apewe sifa
Ameen.
Amen🙏
Ameen
Allah apewe sifa
Glad to see you doing better prof. Jay . May God continue to bless you and your family and foundation.
😢😢😢😢😢jamani pole prof jay Mungu akusaidie utapona na utarudi kama mwanzo
Ameen 🤲🤲🤲🤲🤲
Professor Jay tafadhari nakuomba uimbe wimbo wa kumshukulu mungu na uokoke kabisa
*maisha yetu ni ushuhuda tosha Mungu atupe heri amen*
Pole sana Profeser J kwa Uliyo Pitia Mungu ni Mwema kila Siku Mkumbuke Mola wako
Daima Mungu atanguli
Asante sana mngu wangu kwakuponya uyu mtu wako
Mungu hana mwenzake Kaka. Tumshukuru Mungu kwa kukupatia nafasi nyengine. Big up yourself Legend
Pole sana my bro wacha Mungu aitwe MUNGU
Pole sana Professor Jay. Hayo ni mapendi ya Mungu anasababu zake hilo amini na ndio maana umeanzisha hiyo foundation ilikua kwanza kupitia hayo yote. Na nk auhakika Mungu atakupa maisha marefu sana ili kufanya yale Mungu alio kuandilia kufanya.
Pole sana Pro J Mungu azidi kuimarisha afya yako
Mungu azidi kukuinua na kukupigania Prof Jay, kwa utukufu wa jina lake! Amen! 🙏🏾
Unaye soma Ujumbe huu Mungu Akupe Neema Ya Afya Njema
Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako.
Pole sana Prof J. Nilikuwa shabiki wako mkubwa sana. Mtumikie Mungu sasa 7bu yeye ndiye njia na kweli na uzima.
Mungu uyu bas tuu machozi nalia sana pole sana❤❤❤❤❤
Asante Mungu kwa kumponya Profesor J.Asante sana.
Wana nchi wa mikumi ombi langu kwenu, njia pekee ya Kumsaidia professor jy# ni kumpa ajira ya ubunge hiyo anayoomba ili ajisaidie please mpeni ubunge... Kwa moyo1
Wewe acha Ujinga mtu hapewi Ubunge Kwa kuhurumiwa kampe wewe Ubunge kwenye jimbo lako
@daudiayubu4464 barikiwa boss
Yatosha kusema Mungu atukuzwe Prof Jay Mtumikie Mungu sasa ili vijana wengi wakufiate kama role model wao Pongezi kwa mke mwema wa Mithali 31
Mungu akupe maisha marefu zaidi umepitia mengi na nimejifunza mengi pia
Kaka yangu pole sana. Na Mungu ni mwema
Na Yeye ndo kila kitu. Kaka yangu wewe ni kati ya wasani number one nakukubali sana kwa kazi Yako.Huwezi kuamini naandika na tokwa na machozi.Mimi nipo Burundi Kaka january next year nitakuja kukuona . Sina contacts zako Ila nimeishi mikocheni karibu na kituo cha Radio clouds FM ninaamini nikipitia kwawo nitaweza kukuona. Kaka pole sana . Na pia nawashukuru wote muliyo muombea Kaka yetu wote muliwo towa musaada .
my bro, nimekusikiliza huku natetemeka, wewe ni ushuhuda unaoishi...Mungu amekupa second chance ya kuishi ili umtumikie...my advice is, achana na secular music, sasa tumia kipawa chako kumwimbia Mungu. Mungu hana upendeleo. Warumi 12:1
Alright EXCLUSIVE INTERVIEW..... Glory to God.
Hongera Millard....
Nina kila sababu ya kumuabudu huyu Mungu, uhai sio kitu kidogo jamani, pole sana prof kwa uliyoyapitia nmejifunza pia imani ni kitu muhimu sana, umeonesha imani ya hali ya juu
Professor Jay mungu anapenda umutumikie ndugu yangu njomana mungu arikuponya 😢😢😢😢😢
Mungu aliekutoa kweny kivul cha kifo anakusud lake nalo n kumtumikia kuachana na uovu
Asante Mungu kwa kumponya Professor J!
Pole sana kaka prof, 😢 ayo naomba umuulize je sauti yake kwa sasa Iko sawasawa au Kuna namna haijakaa sawa richa yakuona anaongea vzr
Ukiwa na afya mshukuru Mungu tu
Pole sana professor jay
Mimi ni mmojawapo ya watu walio kuwa wanaumia Sana kuona professor j anaumwa Sana, na maneno mengi ya uzushi yalikuwa yanazushwa sana, nimefurahi sana na machoz yananitoka, mungu zaidi kukulinda siku Hadi siku walau utoe hata wimbo mmoja tu wa historia haya yote uliyopitia, hongera Sana brother 👏👏👏👏💞
Tunakupenda Profesa Jay na vitu vingine kama ivo
Mimi nakuelewa mwaka 2021 mwezi wa 12 mtoto wangu wa miaka 7 akakutwa na saratani ya damu kizungu unaitwa acute lymphoblastic leukemia acha kabisa kwanza ni ugonjwa wa kitajili yaani km mama wakati wanasema nilihisi dunia yote imeniangukia ila Mungu ni mwema bado tunapambana hakika mungu ni mwema daima
Dah pole Sanaa km mzaz nmesoma hii msg nmehisi maumivu Sanaa moyon Mungu amponye mtoto wetu
Pole sana
Pole sana
Tunamshukuru Mungu sana kwa ajili yako prof Jay. Inafundusha ,inauma pia
Afya yako ndiyo utajiri wako... pia kama unaamini mungu yupo sema Amem
Amen🙏
AMEN kubwaaa 🙏
AMEEEEEEN
AMEEEN
Dah Pr Jey Mung anakupnda sana yan nikiskiliza maneno yko hadi machox yananitoka umepitia mengi kakaangu
Tumepoteza wapendwa wetu kwa ukosefu wa pesa maana hiyo kitu ni gharama sana
Pole sana brother, Allah azidi kukupa shifaa . Makambako nilikuona ulipita uwanjani kwetu.
Pole sana prof kwa matatizo ulio pitia 🤲
Dah pole sana Professor. Hakika umepitia changamoto kubwa sana
Akiongea PROOFESOR JANABI JUU YA SUKARI HUWA HATUELEWI
Lakini Doctor Janabi Asipuuzwe
Prof Jay Bwana Mungu wetu ana kusudi na wewe,kuna mambo natamani nikuelezee.
MWENYEZI MUNGU NI MKUBWA SIKU ZOTE❤
Mngu ashukuriwe sana ni wa ajabu. Ametenda maajabu makubwa unajua Proffesor Jay wewe ni mtu ambaye umepitia magunu katika maisha. Unajua kuugua mda mrefu lakini ukarudi kwenye Hali yako ya zamani. Halafu ukasimama moyo na kurudi ukiwa na kumbu kumbu Kamili Mngu apewe sifa sana.
Mungu akupe maisha marefu kaka
Thanks media for this EPISODE 01. Nimetazama mwanzo mwisho, Nimejifunza vitu vingi sana, na nitavifanyia kazi ikiwemo
* KUMTANGULIZA MUNGU KWA KILA JAMBO... Misa ilifanyika ya kumuombea Prof J
* KUWA MVUMILIVU... Mke wa prof kavumilia mengi kwa mumewe mpaka leo na amekuwa msaada mkubwa.
* KUWA NA IMANI hata pale unapoona wengine wameshindwa wewe unaamini hakika hilo pito utalipita tu.
*MTINDO WA MAISHA... Vyakula tunavyokula pamoja na vinywaji, muda wa kula, kulala. Kiukweli Prof hakuwa na mtindo mzuri wa maisha yake na ametushauri namna ya kufanya big up 🙏
* KUTOKUKATA TAMAA. Mheshimiwa bado anakitaka kiti cha ubunge 2025 🎉🎉
* KUSAIDIA WENGINE.
* NK
Mirald, Vido & Frida asante kwa interview 🎉🎉🎉
Tunaipongeza sana serikali kwa suala la kusaidia matibabu ya Prof
NI Kodi zetu za Watanzania
Legend, poleni sanaaa mzee professor jay
SHEMSHA BONGO 🎸🎵