Hongera sana waziri Jerry Slaa. Shida bado iko huku chini (Mawilayani) yale maneno ya kitabu cha kutoka 28:3 hayamo mioyoni mwao. Bado unayo kazi ngumu huku chini. Nakuombea neema tele toka kwa baba wa Mbinguni.
Ningeulizwa kuwa Tanganyika kuna mawaziri wangapi ningesema mmoja tu naye ni Jelly Silaa, na iko na mkuu wa mkoa mmoja tu ngugu Albert Bashite maarufu MAKONDA,big up yenu.
Kazi nzuri mheshimiwa Silaa. Tatizo la utapeli wa Ardhi linahusishwa na watumishi wa ardhi wasio waaminifu. Bila kujenga mfumo imara, itakuwa ngumu kumfikia kila aliyedhurumiwa.
Kulingana na uelewa wangu, kuna watu au viongozi wa nchii ni waadirifu sana, to mention few among many, kuna Huyu Jerry Silaa, Kuna Makonda na Kuna Bashungwa. Hawa watu wanapiga kazi sanaa kuliko maelezo sanaa. MUNGU AWATANGULIE KATIKA KILA JAMBO
❤mimi nina kuombea dua kubwa sana kwa mwenyezi mungu akupe uhai mrefu mjomba silaa kwa kutetea haki za wanainchi tanzania naitwa ally uwesu Matimbwa may god be with you all the time uncle silaa
Silaa uko vizuri sana Mungu akuinue zaidi zaidi, wewe ni waziri wa serikali ya tanganyika siyo wa jamhuri ya muungano maana huna mamlaka Zanzibar na kuna waziri mwingine,lkn mawaziri tumwogope na Mungu kuwa Zanzibar inaye Rais na Muungano wa tanzania lkn serikali ya Tanganyika iko wapi?
Na mungu atakupigania yupo na wananchi wa gongolamboto ukonga tuko pamoja usile lushwa ni laana kua kama magufuli na Mzee mpinda kibuli ni laana wakubwa na wadogo
Tunahitaji utumishi wa namna hiyo. Mh. Waziri wa Ardhi hafanyi siasa bali anafanya kazi ya utumishi wa umma. Hakuna sababu ya kuwa na maneno laini wakati wananchi wengi wanaumia.
@@saidbakar-qo6ri huyu ni mwanafunzi wa Magufuli aliyefuzu masomo kweli kweli Magufuli alifuzu masomo ya nyerere akiwa mtoto wa miaka 6 sembuse jerr sraa makonda humuoni wengine ni vibaraka tu
Huyu Jaji kwa kuchunga haki za watanzania, inatakiwa ajiuzuru na ikiwezekana achukuliwe hatua. Kumuacha kwenye position yake ni kukubaliana na maovu aliyoyafanya.
Tunataka wanaume kama ww Mhe Waziri wa Ardhi. Na tunasikia kuwa hata kesi ya bilionea Msuya ikisemekana shahidi muhimu kama yule Dada wa kazi hakutoa ushahidi, pengine kwa kusahau kwa makusudi au kwa bahati mbaya lkn nani wa kusubutu kuwagusa?
Mh slaa kibaha pwani tunamatatizo makubwa na utatuzi hakuna Kila siku tunaambiwa njoo kesho njoo kesho Sasa ni miaka inaenda tunakuomba uje kibaha pwani utusaidie wanainchi
Huyu brother amenyooka. Sana🙏
Hongera sana kazi nzuri Mhe. Waziri.
Hongera sana waziri Jerry Slaa. Shida bado iko huku chini (Mawilayani) yale maneno ya kitabu cha kutoka 28:3 hayamo mioyoni mwao. Bado unayo kazi ngumu huku chini. Nakuombea neema tele toka kwa baba wa Mbinguni.
Amina. Mungu atukuzwe.
Ningeulizwa kuwa Tanganyika kuna mawaziri wangapi ningesema mmoja tu naye ni Jelly Silaa, na iko na mkuu wa mkoa mmoja tu ngugu Albert Bashite maarufu MAKONDA,big up yenu.
Wewe ni nguzo kuu ya Tanzania umetenda miujiza sana na bado unatenda . Nakukubali sana kaka. Mungu akulinde sana
Hakika mutu huyu kashushwa na Mwenyezi Mungu, nakuombea uishi siku nyingi watu waweze kupata unafuu
Mhe. Bwana mdogo tuko nyuma yako tunakuombea munyezi mungu akulinde na akutangulie ktk kazi yako
Kazi nzuri mheshimiwa Silaa. Tatizo la utapeli wa Ardhi linahusishwa na watumishi wa ardhi wasio waaminifu. Bila kujenga mfumo imara, itakuwa ngumu kumfikia kila aliyedhurumiwa.
Waziri namkubali sana,,,,Toka atoke Lukuvi naona huyu ndiye aliyevaa viatu vyake vizuri
Ridhiwani kikwete alifanya vizuri pia ila muda wake ulikatizwa gafra 😢
Mungu akutunze mh waziri wa ardhi. Haki huinua taifa.
Nafuraha saana,nikiona vijana kama hawa wanaotaka kubadilisha nchi hii kutoka mikononi,mwa majizi,hongereni sana wavijana wa Magufuli wetu
Wabunge na viongozi wafuate mfano wa viongozi wetu wanamapinduzi Slaa na Makonda❤❤🎉Tutaendelea.🎉
Kulingana na uelewa wangu, kuna watu au viongozi wa nchii ni waadirifu sana, to mention few among many, kuna Huyu Jerry Silaa, Kuna Makonda na Kuna Bashungwa. Hawa watu wanapiga kazi sanaa kuliko maelezo sanaa. MUNGU AWATANGULIE KATIKA KILA JAMBO
Unamuonaje waziri wa maji (Aweso)
Vijana wa magu
Makonda&Silaa
Kweli kabisa mwenyezi mungu amhifadhi Samia na wewe waziri wetu kazi ngumu sana .mwenyezi awahidhi Ameen Ameen Ameen you 🙏
Mungu akulinde mtetezi wa wanyonge shikamoo mpina
Hongera sana kaka jer mungu akulinde utokapo na uingiapo🎉🎉🎉
❤mimi nina kuombea dua kubwa sana kwa mwenyezi mungu akupe uhai mrefu mjomba silaa kwa kutetea haki za wanainchi tanzania naitwa ally uwesu Matimbwa may god be with you all the time uncle silaa
Hongera kaka jer kwa kazi nzuri Mungu akulinde na kukutunza
Hadi raha Mola azidi kumpa afya njema amkinge na maadui
Yesu asante nenolako latajwa katikati yamatifa pokea utukufu mungu ulie hai
Vijana wa Magufuli kazi nzuri,hatutaki,katika nchi hii
Kwakweli waziri huyu mungu amtumze nakupongeza sana
Silaa uko vizuri sana Mungu akuinue zaidi zaidi, wewe ni waziri wa serikali ya tanganyika siyo wa jamhuri ya muungano maana huna mamlaka Zanzibar na kuna waziri mwingine,lkn mawaziri tumwogope na Mungu kuwa Zanzibar inaye Rais na Muungano wa tanzania lkn serikali ya Tanganyika iko wapi?
Sawa kabisa mh waziri jery uko juu si tunakuombea tulio kwisha tapeliwa ardhi .
Hongera sana kaka jer mungu akulinde utokapo na uingiapo
Unaeleweka vizuri asna mkuu
Definition of a true leader🎉
Hiki ni kifaa cha kazi, Hii wizara imesimama imara. Jerry Slaa talipwa na Mungu
Mungu akubariki sana na akutunze na uendelee kuwa msaada mkubwa kwa Watanzania wote na hasa wanyonge
Hotoba nzuri yenyemipango sahii na yakuiponya miyoyo ya wananchi. Kweli jerry Mungu akulinde sana
AMIINA SANAA. MUNGU AKUBARIKI.
Hotuba yako iliyotukuka inanitoa machozi safi sana mkuu
Na mungu atakupigania yupo na wananchi wa gongolamboto ukonga tuko pamoja usile lushwa ni laana kua kama magufuli na Mzee mpinda kibuli ni laana wakubwa na wadogo
Waziri upo vizuri wote wangekuwa hivyo nchi ingepaa
Kabisa
Sanaaa
Ahsante MUNGU
Upo sahihi kiongozi, watu wananyanyaswa sana na kudhulumiwa mali zao
Nakukubali sana muheshimiwa
Tunahitaji utumishi wa namna hiyo. Mh. Waziri wa Ardhi hafanyi siasa bali anafanya kazi ya utumishi wa umma. Hakuna sababu ya kuwa na maneno laini wakati wananchi wengi wanaumia.
Bora mmejua hilo hao majaji ni wala rushwa pia
Hila Hawa dumu majizi usaidiana na majasusi kutoka roho za wachapakazi ongera Sana Dr Jery
Huyu brother ni Raisi ajae, mark my words ✍️
Je makonda
Mungu azidi kukupa nguvu
Wewe ndiyo Feature ya rais wangu wa 2030
WANYOSHE AO WALIKUA WEWE NA TAMAAA KUMBE MESHUSHWA NA MUNGU
Kesi ya arithi kilosa wafugaji na wakulima,hili haliwezekani kwani mkulima ni masikini.
Jerry Slaa
Hapa watanzania tumelamba dume
Dah!,lulu iliyokuwa imefichika,tunamshukuru Rais wetu kumuamini ili awatumikie wa TZ
Majembe ya marehemu j p m mungu awenanyi
Huyu hakuwahi kuwa waziri wa magufuli ili ni jembe la mama samia
@@saidbakar-qo6ri huyu ni mwanafunzi wa Magufuli aliyefuzu masomo kweli kweli Magufuli alifuzu masomo ya nyerere akiwa mtoto wa miaka 6 sembuse jerr sraa makonda humuoni wengine ni vibaraka tu
Ameen Ameen Ameen 🙏
Dada yangu 2005 Amina chifupa kusema ukweli2 mkampoteza mungu awBariki yanga bingwa
Ukongo oyeee
Double allocation ni janga na inafanywa na maafisa ardhi kwa makusudi kwa nia ya kujipatia fedha na kukidhi njaa zao
Double allocation ni janga kwa dodoma jiji mi mwenyewe nimepigwa kiwanja kwa namna hii
Huyu Jaji kwa kuchunga haki za watanzania, inatakiwa ajiuzuru na ikiwezekana achukuliwe hatua. Kumuacha kwenye position yake ni kukubaliana na maovu aliyoyafanya.
Maigizo
Hapo umekosea...kuhusu Mbeya kwamba mtafanya kwa ajili ya Speaker???
How about wasio na speaker?
You are doing well..lakini hapo umeteleza.
Tunashukuru kwa nafasi uliyopo
Nileteheni awa
Bado wale wamiliki wa ardhi wanaoziba barabara
Mambo ya mkeo ss ya nn ufala amfanyi jaz yyte mnauza nchi2
UBAKI HAPO HAPO WASIKUTOE WEWE HII WIZARA UNAWEZA KABISA
Tunataka wanaume kama ww Mhe Waziri wa Ardhi.
Na tunasikia kuwa hata kesi ya bilionea Msuya ikisemekana shahidi muhimu kama yule Dada wa kazi hakutoa ushahidi, pengine kwa kusahau kwa makusudi au kwa bahati mbaya lkn nani wa kusubutu kuwagusa?
Mheshimiwa unaongea maneno mazito sana,hivi tamaa itatufikisha wapi?
tunaomba uwasaidie watu wa tondoloni kujua hatima yao ili kumaliza mgogoro wa eneo hilo la kisarawe
Hapo mh umeteleza ama umesahau Diamond huyu sio mtu mkubwa huyu ni mtu mashuhuri.
Mh tunakuomba wilaya ya Kilosa kunamadudu mengisana karibu
Akitoka Bashe...alafu Jerry Slaa..na kuna Mavunde nimependa na nawapokeza kwa kunyookaa...Mama 2025 tunaenda naye.
Hiyo Kisi myaka yote kesi Iko japani au Tanzania au
Ardhi ya biashara ya carbon credit,Loliondo,na Kilimanjaro International Airport inafuata utaratibu,kanuni na sheria au Katiba ipi?
Mh slaa kibaha pwani tunamatatizo makubwa na utatuzi hakuna Kila siku tunaambiwa njoo kesho njoo kesho Sasa ni miaka inaenda tunakuomba uje kibaha pwani utusaidie wanainchi
MIE HALMASHAURI WAMEPITISHA BARABARA KWENYE ENEO LANGU.HAWAJANIPA FIDIA YA ENEO LINGINE
MUNGU wetu wa mbinguni akukinge na kila baya hakika haki ya wanyonge isipokwe na wajuni
KAMA KINA MAMA CHATANDA . KAZI KUKOSOWA TUU.
😂😂😂😂😂sasa muda wote anaumaliza kushukuru na kusifia bunge la ajabu dunia
Hapana tulipe wote hata Mzee Kwa maendeleo yetu wote
Huyu ni kiongozi
Hakika
Nikama kaka yake mpinda pambana na sela za aridhi ziwe za kisa
Kichwa hicho cheza nacho ufungwe
FIDDA HUSSEIN NI TAPELI PAPA NAMBA MOJA NCHI HII NI MNYAMA ASIE NA HURUMA WALA UTU HATA KIDOGO
Tudai huduma nasi tulipe Kodi halali
KWA KUUPEPETA TU TZ HATUJAMBO
Mmh 😂😂😂
Duh!!mwamba salotte sana
Una stahili kabisa salimiya 98
Tunakutakia Kila la kheri na tunaamini wewe ndio mkombozi wa walio onewa
Hongera sana kaka jer mungu akulinde utokapo na uingiapo🎉🎉🎉
Hongera sana kaka jer mungu akulinde utokapo na uingiapo