Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mungu akulinde Jerry! Nia njema dawa Malaika wema wakakuchunge Usiku na Mchana na vilevile Dada yangu Mh Rais Samia Nakuita Dada umenipita kidogo kuzaliwa heshima kwako Mama yetu" Silaha Jembe kweli kweli ana hofu ya Mungu "Mungu awalinde kwa hasada za Dunia, Hamisi Dale Boston USA
Pole sana braza men,kweli umeumizwa sana pamoja na wakaazi wenzenu muliovunjiwa majumba yenu..niko na imani na waziri pamoja na kamati yake yote wataweza kuitafuta haki na kuikabidhi kwa wahusika !
Ndugu watanzania TUMSHUKURU MUNGU sana kwa kutupa Juyu kijana .Ingekikuwa ni Amri Yangu ningeomba Awe RAISI wa Tanzania. Ni waziri mpenda haki.apewe maua yake🎉🎉🎉 J.silaa uishi sana
Mojaa na MDACHI wanashirikiana kudhulumu haki za watu, katika Kila kesi wanashirikiana, walioko serekalini wanatumika kuficha Majambazi, wananchi tunapoteza haki zetu bila msaada, Bado hakuna haki Arusha hii
Hata Mimi amenivunjia nyumba kwa staili hii, tena akijitapa kuwa hata ungalimitedi nilivunja bila kufuata utaratibu na kama sijatendewa HAKI niende mahakamani
Wanatafuta kura . Uchaguzi umewalazimisha kufanya haya. Wananchi wanasahau ni hii hii CCM Ndo imewaumiza miaka yote hii. Ni vizuri wanatoa pole lakini watu wameumia sana sana. KWa Wamasai na Mbarali je?
Yani huyu Waziri Silaa apewe tuzo ya Waziri Bora wa mda Wote kwa KWELI. Imagine Kila anapoenda wanamuombea ni jambo si kawaida huyu ni kiongozi wa KWELI KWELI
Mh waziri slaa hao watumishi wa ardhi manispaa ndio wanao sababisha migogoro ya ardhi wakishirikiana na wakishirikiana na wakurugenzi hila kiama chao kimefika. watumbue wote recruit wengine wasomi wapo wengi hawana kazi.
Ukweli usimame Mama Samia kiukweli upo vema sana nakuomba utuangalie hapa Arusha huko mlangarini Kuna Kambi ya jeshi wamechua maeneo yetu tumezuiwa kuyaendelaza nahuku Kuna nyumba tumejenga na tumelipia Halmashaur vibali vyote mpka Leo hakuna chochote kinachoendelea Silaa arejee kufuatilia
Mh waziri slaa mashahidi muhimu sana kwenye mgogoro wa ardhi ni majirani wanao zunguka eneo lenye mgogoro. Mahakama huwa hawa endi kuhuliza majirani. Ndio maana migogoro haishi mahakamani wewe huna fika eneo la site ndio maana hunafanikiwa kutatua migogoro.
Nyumba zilibomolewa kwahiyo zitajegwa zingine hapo ni siasa tu swali alizibomoa nani tunajuwa uchaguzi unakuja ndomaana sasahivi tunaona haya ukipita uchaguzi utaambiwa mambo mengine watanzania tubadilike ccm wajanja Sana
We cheka tu leo kwa kumwona jerry slaa! Anaweza askusaidie kabisa! Kama Ramadhani ntuzwe alifkisha swala lake na TRA kwa raisi magufuli aliekuwa tinga tinga hapa nchini. Lakini hakulipwa hata mia hadi leo kaamua kujiua! Unadhani raisi na waziri nani mkubwa? Unacheza na hi nchi,
Sio wenge hajui kilichomtokea huyo bro. Tafuta crip ambayo alikuwa anaelezea mpaka Waziri Jerry Slaaa alitoa machozi na amechangiwa na watu kumfariji. Kiufupi alivunjiwa nyumba yake alitaka kujiua lakini aliyemnusuru ni Waziri huyu.
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Pole Sana class mate wangu Mr Respis Mungu ni mwenye haki atasimamia na haki yenu mtaipata.
Asante sana mama Samia...
Hongera mhshmw Silaa,Mungu azidi kuulinda uongozi wako na uishi sana
Siraa na makonda watetezi wa wanyonge live long viongozi wengine waige mifano yenu congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
*Waziri clips zake zotee amevaa nguo nyeupe inaone kana ni mtu safii mcha Mungu hata roho yke ni Nyeupe Allah ampe afyah njema miaka 100*
Hongera sana Arusha tumefurahi sana Mama Samia Suluhu Hasani oyee mitano Tena tutakupa
Mungu akulinde Jerry! Nia njema dawa Malaika wema wakakuchunge Usiku na Mchana na vilevile Dada yangu Mh Rais Samia Nakuita Dada umenipita kidogo kuzaliwa heshima kwako Mama yetu" Silaha Jembe kweli kweli ana hofu ya Mungu "Mungu awalinde kwa hasada za Dunia, Hamisi Dale Boston USA
Mama samia mungu ampe maisha marefu
Pole sana braza men,kweli umeumizwa sana pamoja na wakaazi wenzenu muliovunjiwa majumba yenu..niko na imani na waziri pamoja na kamati yake yote wataweza kuitafuta haki na kuikabidhi kwa wahusika !
Mungu akubariki sana Jerry slaa dah!! Sijui ulikuwa wapi mkuu kweli Mungu amekuleta
Ndugu watanzania TUMSHUKURU MUNGU sana kwa kutupa Juyu kijana .Ingekikuwa ni Amri Yangu ningeomba Awe RAISI wa Tanzania. Ni waziri mpenda haki.apewe maua yake🎉🎉🎉 J.silaa uishi sana
Hongereni Sana Dah mlionewa sana Ndugu Zetu
Mojaa na MDACHI wanashirikiana kudhulumu haki za watu, katika Kila kesi wanashirikiana, walioko serekalini wanatumika kuficha Majambazi, wananchi tunapoteza haki zetu bila msaada, Bado hakuna haki Arusha hii
Hata Mimi amenivunjia nyumba kwa staili hii, tena akijitapa kuwa hata ungalimitedi nilivunja bila kufuata utaratibu na kama sijatendewa HAKI niende mahakamani
SAMIA KALETA FULAHA KWA WANANCHI WA TANZANIA MUNGU HIBALIKI TANZANIA ❤❤
Mimi nashangaa wanaomkebehi mama,Mama anaongoza Nchi kwa uadilifu
Mungu azidi kukutangulia mhshmw😢❤
Mwenyezi Mungu akulinde na kubariki kazi za mikono yako. Endelea kupigania haki za wanyonge ktk Migogoro ya ardhi Nchini Tanzania.
Big up Waziri Slaa kwa mwendo wako wenye tija, Mwenyezi Mungu akulinde na kukisimamia kwenye kazi yako.
mimi nakuombea lalsi Samia mungu Akuweke zaidi utusadie sisi wadogo
Jeri silaa kaletwa na mungu arusha Palioza hata mm ninezulumiwa hapo arusha
Mungu ni mwema wakati wote, hakika atawatendea, Watanzania wengi walilia pamoja nanyi, sauti ya wengi ni ya Mungu.
Waziri Jerry tunaomba udill na huyo mtu anaitwa mojaa ni mtu mbaya sana anabomoa nyumba za watu bila kudikiri
Mungu anadili naye, NAMI kanivunjia kwa style hii
Wewe mh,sila ulikuwa wapi,watu tunateseka,
Wanatafuta kura . Uchaguzi umewalazimisha kufanya haya. Wananchi wanasahau ni hii hii CCM Ndo imewaumiza miaka yote hii. Ni vizuri wanatoa pole lakini watu wameumia sana sana. KWa Wamasai na Mbarali je?
Waziri Anabaraka za wazazi wake.hakuna kitakachokufika wala kukupata kutetea dhulma.mungu hapendi dhulma
VIVA MH. WAZIRI SILAA....SAFISHA UOZO NA UCHAFU WIZARA YA ARDHI.
Yani huyu Waziri Silaa apewe tuzo ya Waziri Bora wa mda Wote kwa KWELI. Imagine Kila anapoenda wanamuombea ni jambo si kawaida huyu ni kiongozi wa KWELI KWELI
Nimecheka huyu jamaa 😁😁😁
Ubarikiwe sana
Mh Waziri ni Mtu wa Maana Kabisa
Mnabadilishiwa GIA tu watesaji ni hao hao walikuwa wapi yote yanatendeka
Wamepata haki yao basi inatosha
HongerH sana Mh. Rais.
Jery slaa umekuja muda muhimu sana mkuu
Balon macheni 🎉🎉
Haki ya m2 haipotei hongera sn mama
MUNGU WA AJABU aisee 😭😭
Huyu waziri ni kiongozi aswahhh
MUNGU ATAWASIMAMIA INSHALLAH
Mh waziri slaa hao watumishi wa ardhi manispaa ndio wanao sababisha migogoro ya ardhi wakishirikiana na wakishirikiana na wakurugenzi hila kiama chao kimefika. watumbue wote recruit wengine wasomi wapo wengi hawana kazi.
Ukweli usimame Mama Samia kiukweli upo vema sana nakuomba utuangalie hapa Arusha huko mlangarini Kuna Kambi ya jeshi wamechua maeneo yetu tumezuiwa kuyaendelaza nahuku Kuna nyumba tumejenga na tumelipia Halmashaur vibali vyote mpka Leo hakuna chochote kinachoendelea Silaa arejee kufuatilia
Huu uonevu upo kibaha. Yule.mkuu wa mkoa wa Pwani inaonyesha alikuwa anakulishwa rushwa. Anadhurumu sana
Umetishaaaaa
moyo mkuu usirud nyuma kiutendaji Mungu anayaona hayo yote.
Huyo mtu jamn,dahhhh tena awajengee watu wote 32
Mh waziri amesha jua jambo zaidi hapo kuhusu Alimashauri ilicho kifanya ila atawaumbua
Kweli watu wanateseka sana ila kweli jerry umeweza
Haki itapatikanatu mtangulizeni mungu kwakila jambo
Haki ya mwanadamu mungu aoneka
Hatari tz tumefikiq huku?!! Tajiri anaamuq kuleta vita kwa.raia.
Slaa mbona uko tofauti wakati umetokea familia tajir
Yaaaan furaha imezidi hadi anatetemeka kujieleza
Kumbe haki ko wazi nibaadh tu yaviongoz wasiotenda haki Allah awadhalilishe
Huyo moja nihatari sana
Nikifikiria nyumba 32 inachanganya na kuumiza sana kila mmoja na familia yake je niwangapi wameumia? Nyuma yao kwanzia mke na watoto bibi na babu
MJOMBA PAMBANA USIKATE TAMAA
Tuna muelewa sana
lol, piganieni haki, mfumo ubadilike, wananchi wasionewe tena . Mfumo wa CCM urekebishwe kabisa. Ni vizuri mnajisahihisha wenyewe.
Mheshimiwa Silaa safisha idara ya Ardhi nchi nzima. Watumishi wa idara hii si binadamu wenye huruma kwa binadamu wenzao.
Mungu Ajalie wazili wetu mchamungu
Yani kesi kwanzia 82??? Mpaka leo
Mh waziri slaa mashahidi muhimu sana kwenye mgogoro wa ardhi ni majirani wanao zunguka eneo lenye mgogoro. Mahakama huwa hawa endi kuhuliza majirani. Ndio maana migogoro haishi mahakamani wewe huna fika eneo la site ndio maana hunafanikiwa kutatua migogoro.
mjomba una vibe
MashaAlllah
Nyumba zilibomolewa kwahiyo zitajegwa zingine hapo ni siasa tu swali alizibomoa nani tunajuwa uchaguzi unakuja ndomaana sasahivi tunaona haya ukipita uchaguzi utaambiwa mambo mengine watanzania tubadilike ccm wajanja Sana
Hivi waziri unapokuta madudu sehemu halafu Kuna watendaji wa hovyo je,unawaacha ?
Machawa. Machawa
Mbunge wangu mitano Tenaaaaaaaaaaaaa!
Mahakimu waoamua kesi bila kufika eneo la tukio nao washtakiwe
WEZI HAO MAHAKIMU
Kuandika kwa mkono, kwa mguu, kwa mdomo, kwa mashine haijalishi. Muhimu kuwepo vigezo muhimu vinavyotakiwa kisheria basi inatosha.
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪
Pole sana
Huyo Mojaa ni Mungu?
Aridhi nitatizo kubwa
Serikali ya sisisem imewahujumu watu wengi sana kwa kupitia mahakama mchongo
Duu Yani maneno yote hayo unasema huna la kusema,?
Nasikia ah kikubwa tz ni wa mwishi kielimu yabuhakimu duniani kote
Wingine wansema nchi haiedeshwi na Imani kwa Sababu hawataki kukubali Uwongozi wa Rais Samiha
Mhe,tunakuamini ktk haki wewe ni jasiri.Watetee wananchi.
Sasa mbona wavunaji hatuwaoni?
Maenyesho hayo, uchaguzi unakuja.
Drama nyiiingi
Poleni wahanga
Tunataka wizara zote zifanye iv
Ila CCM ni watalamu wakutega na kutegua ila tuliosoma kiuba tulisha isoma mbinu za CCM hata haisumbui
korumba upo vizur san
FIDDA HUSSEIN NI PAPA WA NYUMBA ZA WANYONGE DAR
Furaha ikizidi hugeuka wazimu
We cheka tu leo kwa kumwona jerry slaa! Anaweza askusaidie kabisa! Kama Ramadhani ntuzwe alifkisha swala lake na TRA kwa raisi magufuli aliekuwa tinga tinga hapa nchini. Lakini hakulipwa hata mia hadi leo kaamua kujiua! Unadhani raisi na waziri nani mkubwa? Unacheza na hi nchi,
Lema akisikia hiiii anaumia
Sasa polisi unamshika jamaa kiivyo Kwani kafanya nini
Wa Tanganyika bila katiba n kuteseka waloserkalini n waungu mtu,
Nilijua huyu jamaa ni jembe tangia akiwa Mayor ilala, presidential candidate in future
Balloon macheni nakuona hapo Kamanda!! Kilio Chako Allah kakisikia .
Binafsi Hii Movi za Biwanja sielewi😅
😂😂vp kama haki ikiwa kwa m bomoaji utasemaje😂😂😂
Hao wanatengeneza matatizo halafu wanatoa tiba yake wahuni CCM
Ulipotealea wap msomi
Chawa!
Hujawahi kukutwa na kudhulumiwa haki yako. Ndio maana unasema hivo
Wewe mwenyewe una wenge kuubwa hata hueleweki

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mimi nakuombea lalsi Samia mungu Akuweke zaidi utusadie sisi wadogo
korumba upo vizur san