Makonda ww kweli mtoto wa maskini unajua shida za watanzani kwenye hiyo serikali yako kama mtawajibika kama unavyofanya ww mtalaishia kazi mama kabisa masikini mama anapambana lkn kuna viongozi ni majizi kupita kiasi daah😢😢😢
Mkurugenzi hongera sana kweli unauwezo makubwa umeonesha usomi wako hakika hiyo halimashauri Ina mtu hata tingisha kichwa umetema cheche nimependa ujasiri wako
Ni kweli kaonesha ujasiri...lakini je, yote alosema ni sahihi? Ukiwa huidai wewe Halmashauri au Serikali unawezaona ni sawa tu. Imagine mtu kakopa nondo tani 25...then mtu halipwi. Unaambiwa kiurahisi tu kuanzia 01.07.2024. Ujue hiyo sio exact maana hadi pesa iletwe. Na pesa haziletwi hiyo tarehe..ifikie mwezi October vifungu ndio vinafunguliwa...mtu kasupply Oct. 2023. Huu ni uhovyo
Huyu DED katokea wilaya yetu ya Nanyumbu ingawa hapa alikua mkuu wa wilaya, kiukweli huyu mama yupo vizuri saana, alibadilishiwa majukumu kutoka kua mkuu wa wilaya na kwenda kua mkurugenzi kiukweli tulimpenda saana kiongozi wetu
Ila anaposema ataanza kulipa mwezi wa Saba akumbuke mikataba ina kipengele Cha RIBA kwa malipo yaliyocheleweshwa. Ninashauri akae na hao wafanyabiashara wakubaliane ili kusogeza muda Hadi huko mwezi wa Saba vinginevyo riba itahusika.
Makonda ukimaliza ziala kaa na chama chako waambie kumaliza haya matatizo viongozi wote wa mkoa wachaguliwe na wananchi sio kuteuwa mtu ambae hajui uchungu wa eneo husika
Makonda tutaendelea kumuombea mungu atakulinda na kukupa afia njema Ili uendelee kufanya kazi ya kutusaidia watanzania lakini tunaoma mwenyezi mungu ampe laisi moyo wa kuendelea kukupa sapoti kubwa zaidi na viongozi wa ccm waendelee kuku kapani mungu akubaliki sana
Makonda kila ukiona mtuhumiwa amepatikana na maskosa unamwachisha kazi. Hadharani aondoke hadharani. Hapo ndipo tutakapo komesha wa hujumu uchumi. Wa Tanzania.
Yani makonda anajua sana shida za watanzania wengine mnafanya nini kama hapa pesa zinatumika ovyo na viongoz wapo likn wapo tuu kimya sasa MAKONDA akifanya kweli binge msione wivu kaa kimyaa
HIVI HIZI COMPUTER ZOOOOTE ZINAZONUNULIWA KWENYE MAOFISI ZIBAFANYA KAZI GANI?. MNAHAKIKI NINI NA KUMBUKUMBU ZOTE ZINAHIVAZIWA KWENYE COMPUTER? . HIVI MBONA MKO HIVI?
Makonda anahudumia wananchi ipaswavyo Nchi inajengwa na wananchi ni bora sana anavyofanya mheshimiwa makonda kushirikiana na wananchi kutatuwa kero amerithi mbinu mbadala wa kupambana na UFISADI 🇹🇿
Utunzwe na Yesu Makonda, vilio ni vyingi kwetu wafanya biashara tumefilisika kupitia uzabuni, Halmashauri hazilipi....Mimi naida tokea 2013 mpka Sasa sijalipwa
Makonda take care na Mungu akulipe
Mkurugenzi maua yako🌼🌼🌹💐🌺🥀🌹
Hongera mkurugenz na Mnec aongezewe nguvu Ccm inogile
Mashallah kazi nzuri muheshimiwa ❤ kusafisha ufisadi. Hivi kufanya uadilifu ni kazi ngumu? ogopeni Mungu.
Kaka MUNGU wetu wa Isaka, Ibrahim & Yakobo akulinde Mhe. Makonda. Una kazi kubwa mbele kaka yangu. Mungu akulinde tu
❤
Mungu amlinde wasimuue maana Hawa watu nao ni shida. Walimuua magu sembuse
Mungu akulinde sana kiongoz wetu
Hongera sana Mkurugenzi 💪
Baada ya maelezo ya Mkurugenzi kelele zote chaliiiii,proud of you Chaulembo
Alafu Nay wa Mitego akiimba mwamuburuza BASATA mwamfungia nyimbo zake😅😅😅😅😅
Kwel kabisaa yana muonea tuu majitu yana tuibia sana
Yawezekana wale ney alowaimba ndo wanamsweka ndan wakishirikiana na basata
Makonda ni kiongozi bora tanzania,mungu ambariki sana
Ziara za Mhe. Makonda zinadhihirisha kuwa Watanzania wana shida kuliko maelezo. Wako wapi viongozi RC,DC nk?
Pongezi sana kwa kuweka maisha rehani
Makonda ww kweli mtoto wa maskini unajua shida za watanzani kwenye hiyo serikali yako kama mtawajibika kama unavyofanya ww mtalaishia kazi mama kabisa masikini mama anapambana lkn kuna viongozi ni majizi kupita kiasi daah😢😢😢
J
Hii filamu Haitaisha kwakweli Makonda starring Na Mkanda wakuendelea Mpaka kieleweke! Fuatilia tu mikanda hii haimaliziki.
Mkurugenzi safi sana
Mkurugenzi huyo mshikirieni yuko vizuri sana pia
Makonda oyeeeeee M/mungu akusimamie Kila atua unayo piga 🌹
Nimefurahi sana kuona ujasiri wa mwalimu wangu wa chuo @Chaurembo. Mungu akulinde sana
Anajiamini Hadi raha
Sasa hizi mambo kama hujaonana na makonda ndio basi
Ukweli mungu atuhurumie sana
Hongera sana DED Msomi hakika unaweza
Nimekupenda Sana dadangu macho manne
Makonda nimeona Magufuli wapili mungu akubariki kaka yangu, from Congo 🇨🇩 to Sweden 🇸🇪.
Makonda wew nikiongozi tuko nyuma yako mungu akufanyie wepesi
Hongera Mkurugenzi kwa majibu na kwa kujiamini
Mkurugenzi hongera sana kweli unauwezo makubwa umeonesha usomi wako hakika hiyo halimashauri Ina mtu hata tingisha kichwa umetema cheche nimependa ujasiri wako
Ni kweli kaonesha ujasiri...lakini je, yote alosema ni sahihi? Ukiwa huidai wewe Halmashauri au Serikali unawezaona ni sawa tu. Imagine mtu kakopa nondo tani 25...then mtu halipwi. Unaambiwa kiurahisi tu kuanzia 01.07.2024. Ujue hiyo sio exact maana hadi pesa iletwe. Na pesa haziletwi hiyo tarehe..ifikie mwezi October vifungu ndio vinafunguliwa...mtu kasupply Oct. 2023. Huu ni uhovyo
Ee, Mwenyezi Mungu mlinde kiongozi we Paul Makonda zidi ya maadui wasimzuru
viongozi wanakula Hela sana mama anajitaidi sna kutoa pesa kuleta maendeleo lkn viongozi wanapiga ela Kodi zetu hizo wanakula.
SAMIA kasema kula kwa urefu wa kamba yake
@@benjaminmiselya2622HAJA MAANISHA UIBE JUWA KISWAHILI VIZURI HUWEZI KUWA MKUU WA WILAYA NA KUTAKA MAISHA KAMA YA MKUU WA MKOWA HIYO NDIO MAANA YAKE.
Hao viongozi wamewekwa na nani? Na huyo anaeambiwa matatizo hayo ni nani?
Miaka ya uchaguzi hii, tutaona mengi.
Huyu DED katokea wilaya yetu ya Nanyumbu ingawa hapa alikua mkuu wa wilaya, kiukweli huyu mama yupo vizuri saana, alibadilishiwa majukumu kutoka kua mkuu wa wilaya na kwenda kua mkurugenzi kiukweli tulimpenda saana kiongozi wetu
Makonda Mungu akulinde jamani
Yani wanawanyanyasa sn wafanyabiashara
Mheshimiwa makonda umeyaona hayo madudu ni tabu sana wananchi tunatekeseka sana .
Huyu Mkurugenzi dada Chaurembo ni hodari mno na anafaa kuongoza Idara kubwa zaidi kwani ni mfuatiliaji mzuri sana na ni mzalendo.
Ila anaposema ataanza kulipa mwezi wa Saba akumbuke mikataba ina kipengele Cha RIBA kwa malipo yaliyocheleweshwa.
Ninashauri akae na hao wafanyabiashara wakubaliane ili kusogeza muda Hadi huko mwezi wa Saba vinginevyo riba itahusika.
Yaani yuko vizuri maa shaa Allaah na mtu mwengine anaitwa Subira mgalu yaani Kuna wadada wapo vizuri kiuongozi
Mwamba ana mizimu ya Magufuli
😂😂
Makonda ukimaliza ziala kaa na chama chako waambie kumaliza haya matatizo viongozi wote wa mkoa wachaguliwe na wananchi sio kuteuwa mtu ambae hajui uchungu wa eneo husika
Mnachambua ni mchele huo?
Makonda tutaendelea kumuombea mungu atakulinda na kukupa afia njema Ili uendelee kufanya kazi ya kutusaidia watanzania lakini tunaoma mwenyezi mungu ampe laisi moyo wa kuendelea kukupa sapoti kubwa zaidi na viongozi wa ccm waendelee kuku kapani mungu akubaliki sana
Mkurugenzi yuko vizur sana ila hao wengine mtihani
Kaka fanya kazi pamoja sana
Dada chaurembo ❤
I believe in you makonda❤❤❤❤
Kuachicha Mtu kazi au kumfukuza kazi je watoto wa hizo Familia watakula nini ? Oni langu nikuwaonya Wananchi kufanya kazi kwa uaminifu asante
Makonda kila ukiona mtuhumiwa amepatikana na maskosa unamwachisha kazi. Hadharani aondoke hadharani. Hapo ndipo tutakapo komesha wa hujumu uchumi. Wa Tanzania.
Facts facts ukweli kabisa
Wanajua kuvaa kaunda suti hawa wakurugenzi jamani lkn wanamuaibisha mama yetu samia.
Bilioni nne ni gorofa la nchi gani ?
Super mamusi mazuri kutok kwa Mheshimiwa Makonda
Mkulungenzi upo vizuri
Huyu kiumbe ana khatar anaitwa Mariam khatibu chaurembo maa Shaa Allaah ana moyo mwema huyu kiumbe namfahamu vizuri
Makonda mungu akubariki 🤲 hii nchi hata sie wanawake hatufai unatetea madudu😅😅
Makonda noma sanaa!
Ukiwa na DED msomi na anajiamini kama huyu, hadi raha
Duh ! !
Mama Tz, wanakusaliti kwa kukutafuna ili ufe kabisa?
Makonda umenipa imani yakuishi barikiwa sanaaaa ila baba ninashida namtaji
😂😂😂😂
😅😅
Watu engine wanaishi kwe nye mingogo ya wt muheshimiwa pasua majipu
Yan viongoz wore wangekuwa kama mh Makonda nchi ingekuwa na adabu sana
Nice
Hao wakurugenzi nchi nzima nikelo
Mkurugenzi yuko vizur
Piga kazi baba Keegan wewe ni Raisi ajaye awamu ya Nane (8) Mungu akulinde
Mh Dr Samia Suruh hasan, endapo ikatokea wakamuua mh makonda naomba uniteue mimi tuone kama na mm wataniweza.
😂😂😂😂😂
Sasa mtu anafanya kosa la wizi unamuhamishia idara nyingine😮 kweli hii ni sawa😮
Hii imeenda😂😂😂😂😂
How i wish things were working this way in Kenya...we could have gone far by far lakini ZAKAYO RUTO NAYE NI NANI. MUNGU SAIDIA KENYA 🇰🇪
Hahahaha
😂😂😂😂😂😂
Zakayo bado anasumbuana na mahakama,anataka wafwate yote yake hata kama ni mbaya
Utaambiwa wacha kukuja kwa mkutano wa rais kupiga kelele 😂
Kosa walilolifanya ni kuniteua Mimi kuwa mwenez❤
Hakika umeonaeee😂😂😂😂
Hakuna ulaji wa hela kama ulivyo mawilayani, wanapiga hela kama juu😂😂
Sio Tunduma tu ni wilaya zote
Yani makonda anajua sana shida za watanzania wengine mnafanya nini kama hapa pesa zinatumika ovyo na viongoz wapo likn wapo tuu kimya sasa MAKONDA akifanya kweli binge msione wivu kaa kimyaa
HONGERA SANA RAIS SAMIA KUMCHAGUA MAKONDA
Nyeti
Piga kazi makonda utembee usikae chini tena inuka nao mwanzo mwisho
Mmmhhh haya
Waumbue hivyo hivyo nchi iko icu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani ni washenzi tu na Wana roho mbaya sana
Me huwa naskia raha ziara yamakonda kuliko ya raisi na makamu wake
HIVI HIZI COMPUTER ZOOOOTE ZINAZONUNULIWA KWENYE MAOFISI ZIBAFANYA KAZI GANI?. MNAHAKIKI NINI NA KUMBUKUMBU ZOTE ZINAHIVAZIWA KWENYE COMPUTER? . HIVI MBONA MKO HIVI?
Na kweli
Watumishi wa aina hiyo ndio wanaofanya CCM yetu ama serikali yetu wananchi waichukie.
Nafuu makonda umekiri uzito wa mzigo we ni mwanaume kweli na mwazi
Makonda anahudumia wananchi ipaswavyo Nchi inajengwa na wananchi ni bora sana anavyofanya mheshimiwa makonda kushirikiana na wananchi kutatuwa kero amerithi mbinu mbadala wa kupambana na UFISADI 🇹🇿
Mafisadi watamchukia sana Makonda wapo tayari kumuuwa ili waendelee Ufisadi kama walivyomuuwa a JPM😭🇹🇿
Wt anapewa madalaka kwa faida yao
Kuwa waziri mkuu tuwanyooshe
Nimegundua wananchi wanaichukia serikali kwa mambo ya kipuuz Kama haya
Sababu ya watendaji wabovu
Ajamani hawa watu wanawaonea sanaa wanyenge jmn
Watoto wawe nzenu mnachowafanyia mnataka wawe wezi?
Kwakweli huyu jamaa anasaidia sana!!
Mama wambiye viongozi wote waje kwenye mkutano ya makonda wajibu utaona tanzania itakwenda tuu watanzania niwengi waliyo nyuma yako viongozi wachache
Eti imeendaaahyoooooo😅
Hapo ndio napata picha Kuna wale ambao wasijuwa kuongea sijui wanaishi vipi ? Pesa Yako umekopa umefanya Biashara halafu hulipwi
Yaani
Mkoa gani
MUNGU akubarik makonda
Makonda kwanini usiwe raisi tuuu moja Kwa moja upo vizuri
Hii imeenda 🤣😂
Miaka yote uyu mwamba alikuwa wapi
Walikificha kipaj chake
Sasa kimeibuka hadharan, japo anayalisk maisha yake!
Huu ni mkoa gani??😢😢
Mkoa wa Songwe huu ndugu
@@femexpress7857 okay 👍
Wamemchokoza beya kimetoka chuma kimeingia chuma😂😂😂😅😅🤣🤣🤣🤣
Hakika chuma hicho
Se Moçambique fosse assim seria Melhor
Ndio maana mafundi wengi hua hatupendi kuifanya kazi zao sababu malipo ndio kama hivyo Bora kufanya kazi kwa mchina.
Makonda anafahamu mengi
Hiii imeenda
Utunzwe na Yesu Makonda, vilio ni vyingi kwetu wafanya biashara tumefilisika kupitia uzabuni, Halmashauri hazilipi....Mimi naida tokea 2013 mpka Sasa sijalipwa
Wanatakiwa wote wawe kama makonda maana yupo arusha tu
Makonda iko kazi. Watendeji wa serikali baadhi ni dhaifu. Abisa na ni maadui wa CHAMA CHETU.
Makonda umejua kuwaonyesha