Katika waziri mwenye kazi ngumu ni huyu kuliko wote, mungu amsaidie avuke salama, amjaze hekima na busara zaidi, ampe nguvu za kuwashinda maadui wanaomzunguka na wanaomsogelea Amin.
Katika waziri mkweli na mvumilivu ni huyu! Huyu tabu hata aibu haoni anataka kuchukua eneo letu bila aibu! Mungu akulinde mr waziri nimeamua viongozi wa kweli wapo
Mwalimu Tabu yake yupo sahihi. Mama yake alizaliwa hapo walikuwa na Mifugo , Sasa iweje leo Mmasi awe na hati tena 15 , sasa je ni sawa. Mwalimu awe na Moja ? Mama yake hakuwa na uwezo , umasikini ni shida. Mtu ananyimwa haki yake. Mh Waziri jitahidi Rudi Tena kwa utulivu. Kamishna amedanganyanywa . Na bahati mbaya mama alikufa . Je tutafika ?
katika mawaziri wa ni waziri mtenda kazi kwelikweli pia una hofu na Mungu na unahujumu kwa haki Mungu akuogoze na mabaya roho za hussda bwana yesu akipigania sana damu ya yesu ikifunikeyesu atembee na wewe itokayo uingiapo viongozi kama huyu silaha ndiyo wanatakiwa sio kiogozi anachaguliwa anakaa tu na viti vya kuzunguka ofisini hatari wananchi anataka kufuatwa baba hongera sana kwa hekima busara Mungu akulinde sana nasi tunakuomba kila siku
Sidhani kama ana hofu ya Mungu, ninachokiona yeye hufuata sheria za nchi na katiba hivyo kama aliyekudhulumu kafata sheria atampa haki, tofauti na Makonda ndio mwenye hofu ya Mungu
Mwalimu sheria imechukuwa mkondo wake Acha kujiliza liza. Silaha kuu yenu wanawake ni kujiliza lakini haki leo imebainika. Waziristan Salaam aisee nakupenda bure tu kwa haki unavyoipeleka. Mungu azidi kukubariki
Mwalimu shukuru Mungu hakuna atakaeondoka na Ardhi najua inauma sana kudhulumiwa ila haki ya mtu haipotei kama ni ya kwako itarudi tu hata kwa namna nyingine
Waziri upo sw kwa mujibu wa sheriya lkn makamishina wako hamna kitu hawakufanya haki kwa huyu mama na family yk wamezaliwa hapo tangu miaka/mwaka 1960 leo wanakuja kuambiwa hawana haki ktk eneo lao na kushinda kesi wtt walio zaliwa wakiwaona na kuwafundisha mwenyewe darasan kweli inaingia akilin umewapa ushindi usiyo wa haki ……⚖️
Mm muishimiwa na kukubali sana ila hao watendaji wako kwamaelezo ya mama amesha wafuta mara 4 Leo wewe ulitakiwa uumalize huo mzozo tofauti na hapo huyo mama anadhulumiwa na kupenda sana waziri wangu lakini hapo nahisi haipo sawa
Kuna masheria yamewekwa bila kuzingatia utu tena ni mengi. SasaHuyu mama kama ana haki na mungu anajua, hayo machozi yake siku inakuja na mungu atajibu. Mungu ana macho na masikio
Mweshimiwa waziri plse hapo kuwa na macho ya mbali msaidie huyo mama Nimejifunza kitu hapo ushirikishwaji haukuwa mzuri. Angalieni namna ya kuwafidia hiyo familia vinginevyo hata mm nimeumia sana. Mungu yupo haki haipotei hata siku moja
Maswala haya ya ardhi nadhani kuna siku nitakujaga kulala nje,nimejenga kwenye kiwanja cha baba na wala sijui kama huwa ana hati na hata sijui hati inafananaje aise😂😂😢
@@fettyrashid9042 Yani hata Leo skijitokeza MTU na makaratasi yake akasema,hapa NI pangu,wala sina kipingamizi chochote MAANA mimi SINA karatasi yeyote inayohusiana na ardhi kiukweli.
@@IsraelKisaila-vm6vj Jitahidi uanze kufuatilia my friend lasivyo litakupata lakukupata,tunatakiwa tujifunze tuache kuishi kimazoea hata mjomba akikupa ardhi tujitahidi kwenda ofisi za ardhi
Inaumiza sana kutojua Sheria tunaomba wizara ya aridhi waelimishe watanzania juu ya umiliki wa aridhi Hadi machozi yamenitoka kwa mama huyo kutotambua Sheria ya umiliki wa aridhi. " Haki haipotei inacheleweshwa"
Kuna vy kujifunza vingi sana katika utaratibu wa kununua viwanja na kuweka rekodi sahihi za documents, ni bora kufuata na kukamilisha aratibu ambazo ni salama kwako kwa njia iliyonyooka
Mimi naona maafisa wa ardhi wliochini ya waziri ndiyo wenye shida ya kutengeneza migogoro yatakiwa mahakama iwachukulie hatua za kisheria kugonganisha watu na serikali yao
Tatizo wenyeviti wa mitaa darasa la saba felia, na ndio wanao shirikiana na madalali kuuza viwanja hawana wanacho poteza hapo wao, ila serikali iwasaidie hawa maskini wanao chukuliwa mashamba yao na kuuzwa
Shida ya hapa ni Elimu juu ya umiriki Ya Ardhi Pia hizo dimecation ndio shida. Watu wnapaswa kuelimishwa Kuwa kuna tofauti Ya kumiliki na kupangishwa ardhi kutokana na sheria Ya Tanzania kila mtu yupo kwenye Ardhi kama mpangaji. Mfano serikali leo ikiamua kuvunja mkoa mzima wa Dar watu wote watahamishwa kwa kupewa gharama ya ujenzi tu na sio wa ardhi. Sasa hii elimu serikali inapaswa kuitoa kwa wanainchi kupita wakuu wa wilaya
Wewe ndio huna adabu, na siku mama yako akidhulumiwa ndio utakapojua. Kwahili nikuambie ukweli Waziri amedanganywa na makamisha , na iko siku haki itapatikana.
Mi mwenyew niliuziwa km huy mam namwekit na mwenye eneo niliporud ten nikakuta kimemegwa kauziwa mwengne nilichofanya nilimwambia huyo mwenzangu nipe pesa nikuachie palipoba niondoke sitak kelele bas nikajiondokea zangu.
Huyu mama hajauziwa na mwenyekiti, huyu hili ni eneo la mama yao la asili kwa miaka yote na wao (yeye na dada zake) wamezaliwa hapo inakuwaje serikali inakuja kupima inawapa watu wengine na sio wao waliokuwa hapo je serikal ililichukua hilo eneo kutoka kwa nani? Hapo ni uonevu wa waziwazi angekuwa mh makonda kwa stahil yake ya uulizaji jibu lingepatikana, haiwezekani eneo kutoka umiliki wa asili lipo kwao alafu linavyopimwa linakuwa kapewa mwingine, HAPO MAMA ATAIPATA KWA MUNGU HAKI YAKE.
Kama umemsikiliza Waziri vizuri kuwa Shamba lilichukuliwa na Halimashauri 1992 na likapimwa likagawanywa sasa mama tabu kakabidhiwa kwa kamishna wa Aridhi aende ofisin wakaangalie utaratibu uliotumika kuchukuliwa kwa shamba hilo kama kuna haki anapaswa kupata atapata kutoka Alimashauri Waziri kamaliza mgodoro kati ya Mama tabu na Huyoo mzee Mmasi na Mama tabu sasa yeye anapaswa kwenda kwenye ofisi ya aridhi kuangalia halimashauri ilitumia utaratibu kuchu
Tena wamemzulumu waziwazi , Hapo wamekuzunguka na wanakuhoji tena kwa ukali. Wanakupa amri zisizo sahihi. Mwenye Eneo anapewaje kiwanja kimoja, mchaga anapewa 15, anawauzia watu wengine ,je hii ni sawa?
Kweli katika wizara yenye dhulima ni ardhi kwa stayli hii tutapigwa sana Sasa kwanini hawa viongozi wa serikali za mitaa wanauza viwanja Hali yakua sheria haiwatambui?
Pengine Hana haki lkn upatikanaji wa pesa ni mgumu ndugu inauma umejinyima umepambana umepata million zako 2 hata miaka mitano umejibana tena baada ya hapo hata miaka 10 umejenga Leo unaambiwa huna haki ukiangalia una watoto ukiangalia hujui uanzie wap
Bila shaka hilo eneo lilikuwa zururaji. Sasa hivi zama za mawe zimepita hazipo tena mwl. Muda mrefu upo umeshindwa kulichukulia sheria eneo la mama yako. Sasa anzia hapo. Bila shaka hapo umejifunza kitu cha kisheria kitakusaidia kwa yajayo.
Huyu mama anadhulumiwa,hawa makamishna wa ardhi kww nini waziri hawachukulii hatua?leo unaambiwa kange ni eneo la viwanda lakini nyumba zimejengwa,umeme upo maji yapo na wasambazaji ni haohao serikali inamaana hawajui kama ni eneo la viwanda?mwasubiri watu wajenge ndio mje na sera za ardhi,kuhusu suala lakusema mwenyekiti wa kijiji hahusiki na suala la ardhi je vijijini kuna maafisa ardhi?wangekuwepo watu wasingehangaika na wenyeviti na watendaji wa vijiji
Anachokifanya waziri Kiko sawa, kulikuwa na upotoshwaji mkubwa kwenye ardhi. Sasa wahusika kukubali matokeo ni shida. Ila maelezo ya waziri yamekamilika,
Hizi video za Waziri wa Ardhi zinaonyesha mpasuko kwenye utoaji elimu...video kama hizi zionyeshwe mashuleni. Watoto wajifunze sheria na haki zao za msingi kwenye umiliki wa ardhi. Hiki kilio hakitakwisha leo wala kesho tusipoweka msukumo kwenye elimu.
Wazili wangu samahani kidogo Apo kwenye kuona ofsa naomba unia una weza maliza miaka yako yote ya kuishi duniani nausimuone arafu wote tungekua tuna nunua viwanja mpaka juje huko hii Tanzania ss tusinge miliki nyumba maana ss waviwanja vya raki 8 singe skilizwa
Katika waziri mwenye kazi ngumu ni huyu kuliko wote, mungu amsaidie avuke salama, amjaze hekima na busara zaidi, ampe nguvu za kuwashinda maadui wanaomzunguka na wanaomsogelea Amin.
haswaa kaka yangu mwema. shukran kwa dua zako. alafu mtu wa watu kajaliwa elimu na Hekima ya Mungu kutatua kwa haki..ushanskia
Napenda sana waziri anavyofafanua na anavyo ongea naamini mheshimiwa ni msomii wa hali ya juu sana.naomba mungu ampe kila la kheri
PhD ya sheria imetulia kichwan
@@RodriguezOdhiambosana
Duh,,,, aise huyu nimtu Hana upendeleo mungu akubarik
I have been following you Hon Jerry S, am impressed 👍, good job may God bless you
Daa Mungu akusadie sana asee inaitaji ujasiri mwingi sana na moyo mkuu
Chapa kazi waziri, unatenda haki kabisa. Mwenyezi MUNGU akusimamie mh. Kulia kwake hakusaidii, sheria imefuata mkondo wake.
Katika waziri mkweli na mvumilivu ni huyu! Huyu tabu hata aibu haoni anataka kuchukua eneo letu bila aibu! Mungu akulinde mr waziri nimeamua viongozi wa kweli wapo
As family we are happy ...Ila tabu anapata tabu kweli
Kila mtu anahaki Ya kutetea mali yake
Mwalimu Tabu yake yupo sahihi. Mama yake alizaliwa hapo walikuwa na Mifugo , Sasa iweje leo Mmasi awe na hati tena 15 , sasa je ni sawa. Mwalimu awe na Moja ? Mama yake hakuwa na uwezo , umasikini ni shida. Mtu ananyimwa haki yake. Mh Waziri jitahidi Rudi Tena kwa utulivu. Kamishna amedanganyanywa . Na bahati mbaya mama alikufa . Je tutafika ?
@@tabuomary1016 oh jmni mama wa watu
katika mawaziri wa ni waziri mtenda kazi kwelikweli pia una hofu na Mungu na unahujumu kwa haki Mungu akuogoze na mabaya roho za hussda bwana yesu akipigania sana damu ya yesu ikifunikeyesu atembee na wewe itokayo uingiapo viongozi kama huyu silaha ndiyo wanatakiwa sio kiogozi anachaguliwa anakaa tu na viti vya kuzunguka ofisini hatari wananchi anataka kufuatwa baba hongera sana kwa hekima busara Mungu akulinde sana nasi tunakuomba kila siku
Sidhani kama ana hofu ya Mungu, ninachokiona yeye hufuata sheria za nchi na katiba hivyo kama aliyekudhulumu kafata sheria atampa haki, tofauti na Makonda ndio mwenye hofu ya Mungu
Mwalimu sheria imechukuwa mkondo wake Acha kujiliza liza. Silaha kuu yenu wanawake ni kujiliza lakini haki leo imebainika. Waziristan Salaam aisee nakupenda bure tu kwa haki unavyoipeleka. Mungu azidi kukubariki
Wachakuongea hivyo ni vile tuu halijakupata, watu wanadhulumiwa kwa kukosa elimi na maarifa
Allaah akulinde waziri
Pole mama, waziri anaenda na official paper, ata hivo ni zamani na maisha umeendelea nayo, watoto wamekua watatafuta tu
Mungu akubariki Waziri wa Ardhi Mhe Jerry Silaa
Amen.
Nakukubali sana waziliwangu huna haraka huna hasira
Nimemfuatilia waziri Slaa,kwa kweli anastahili kupongezwa,amefit kabisa,na yupo juu ya haki,pongezi Dr Slaa
Okay
Kuna mdau kaelezea vzr sn
Nimeelewa, kumbe wengi hawaelewi wanafikiri waziri kakosea
Usinipeleke ivyo me ndo nimewaita hapa nimeipenda iyo
Sema wazir mvumilivu sana
Mungu akutie nguvuu waziri wetu afya njema na kila la heri kaka❤
Amen.
Pole mama yangu
Mwalimu shukuru Mungu hakuna atakaeondoka na Ardhi najua inauma sana kudhulumiwa ila haki ya mtu haipotei kama ni ya kwako itarudi tu hata kwa namna nyingine
Kwakweli apa waziri naona maji yamezidi unga kabisa ila bado unaweza kufanya vyema zaidi kaza
Kaka yangu nikinunua kiwanja this day nakutumia in box maana haya ni magumu na mapito pole sana
Waziri upo sw kwa mujibu wa sheriya lkn makamishina wako hamna kitu hawakufanya haki kwa huyu mama na family yk wamezaliwa hapo tangu miaka/mwaka 1960 leo wanakuja kuambiwa hawana haki ktk eneo lao na kushinda kesi wtt walio zaliwa wakiwaona na kuwafundisha mwenyewe darasan kweli inaingia akilin umewapa ushindi usiyo wa haki ……⚖️
hujui kinacho endelea wewe
Mungu atatenda kwa mwalimu, Dhuluma kubwa Sana imefanyika kwa Mwalimu.
Kweli namimi sijui sheriya ila hapa kiukweli naona kama haki ipo kwa uyo mama
Mm muishimiwa na kukubali sana ila hao watendaji wako kwamaelezo ya mama amesha wafuta mara 4 Leo wewe ulitakiwa uumalize huo mzozo tofauti na hapo huyo mama anadhulumiwa na kupenda sana waziri wangu lakini hapo nahisi haipo sawa
Mama mbishi hana documents daaah waziri unamoyo sana kiukweli shida sn hivi huyu mwalimu gani anazungushwa hajui kusoma
Kuna masheria yamewekwa bila kuzingatia utu tena ni mengi. SasaHuyu mama kama ana haki na mungu anajua, hayo machozi yake siku inakuja na mungu atajibu. Mungu ana macho na masikio
Mweshimiwa waziri plse hapo kuwa na macho ya mbali msaidie huyo mama Nimejifunza kitu hapo ushirikishwaji haukuwa mzuri. Angalieni namna ya kuwafidia hiyo familia vinginevyo hata mm nimeumia sana.
Mungu yupo haki haipotei hata siku moja
Waziri umedanganywa waziri commissioner kakudanganya. Rudi upate ukweli.
Hapa Kuna kujifunza Mengi SANA....
-Watendaji wa Kata,hawahusiki
ninampongeza huyu waziri anazungumza kwa kwa adabu za hali yajuu sana wala aenuwi sauti ya juu kabisa
Huyo mama anaongozwa na kweli ya roho yake
Silaa ya maangamizi ni KULIA na kusema MIMI NIMASIKINI,, uonewe huruma.
😢
I can see my father and my brother .....DISMAS COSMAS IS TYPING........😂😂😂
Natamani kulia nipo Oman na nime nunua kwa mwenye kiti na Nisha jenga Sasa sintazimia mie miaka saba natumika na mwarabu Leo unikute sio kwangu😭😭😭😭.
😂
@@hajjiomary2383polee kwanziaaa leoo situmi pesaa tz yakujengaaa😅😅😅😅😅😅😅kama mamboo yenyewe ndohy
Maswala haya ya ardhi nadhani kuna siku nitakujaga kulala nje,nimejenga kwenye kiwanja cha baba na wala sijui kama huwa ana hati na hata sijui hati inafananaje aise😂😂😢
🙆♀️🙆♀️
@@Fhfhfhfhf78 kweli, yani nije nimuulizie mzee wangu anipe kabisa
😂😂😂umeacha nimecheka
@@fettyrashid9042 Yani hata Leo skijitokeza MTU na makaratasi yake akasema,hapa NI pangu,wala sina kipingamizi chochote MAANA mimi SINA karatasi yeyote inayohusiana na ardhi kiukweli.
@@IsraelKisaila-vm6vj Jitahidi uanze kufuatilia my friend lasivyo litakupata lakukupata,tunatakiwa tujifunze tuache kuishi kimazoea hata mjomba akikupa ardhi tujitahidi kwenda ofisi za ardhi
Mh. Umedanganywa hapo. Hati/offer ulizoonyeshw zimetengenezwa.
Hizi ardhi jamani ni kilio 😢
pole jamaniii😂😂😂😂
Wazir kama mgeni na mambo ya nchi hii, kuhusu kujisifia na kutishana ni mambo ya kawaida sana, wala usishangae hilo
Inaumiza sana kutojua Sheria tunaomba wizara ya aridhi waelimishe watanzania juu ya umiliki wa aridhi Hadi machozi yamenitoka kwa mama huyo kutotambua Sheria ya umiliki wa aridhi. " Haki haipotei inacheleweshwa"
Sema mama mbishi kikao kizima kasikilizwa yeye to
Sasa viwanja vikipimwa wamiliki wa asili kwa nn wasipewe kipaumbele?
Hii tanzania masikini hana chake
Wazinguaji ni watumish wa Ardh. Bila kujua chanzo hicho hizo ni siasa tu
yan mpaka naogopa kununua kiwanja hekaheka
We ni Mimi kabisa yaan naogopa mnooo
Mimi nimeshapigwa nimetulia tu apa na mapumbu yangu.
Usiogope, kaanzie Ardhi
Unalilia haki ya umiliki ardhi wa asili , yaani unawahi kusema hapa pangu 😅
Tatizo hapo kwa huyo mama ni jina lake😂😂😂😂
JAMANI mimi mbona naanza kulia mapema, maana nimenunua nimepewa mkataba wa kiwanja sio ati ya kiwanja
Watu wa ardhi hao ndio wsabaya wamewapa ardhi wa tu ambao hawastahiki na mwenye haki anadhulumiwa na waziri hana makosa
Tunao nunuwa viwanja kutumia mweyekiti wa mtaa tujuwane😂😂😂😂
Kuna vy kujifunza vingi sana katika utaratibu wa kununua viwanja na kuweka rekodi sahihi za documents, ni bora kufuata na kukamilisha aratibu ambazo ni salama kwako kwa njia iliyonyooka
Mimi naona maafisa wa ardhi wliochini ya waziri ndiyo wenye shida ya kutengeneza migogoro yatakiwa mahakama iwachukulie hatua za kisheria kugonganisha watu na serikali yao
Tatizo wenyeviti wa mitaa darasa la saba felia, na ndio wanao shirikiana na madalali kuuza viwanja hawana wanacho poteza hapo wao, ila serikali iwasaidie hawa maskini wanao chukuliwa mashamba yao na kuuzwa
Huyu mama yuko sahihi sema sasa Nchi hii ina uhuni mwingi sana
Shida ya hapa ni Elimu juu ya umiriki Ya Ardhi Pia hizo dimecation ndio shida. Watu wnapaswa kuelimishwa Kuwa kuna tofauti Ya kumiliki na kupangishwa ardhi kutokana na sheria Ya Tanzania kila mtu yupo kwenye Ardhi kama mpangaji. Mfano serikali leo ikiamua kuvunja mkoa mzima wa Dar watu wote watahamishwa kwa kupewa gharama ya ujenzi tu na sio wa ardhi. Sasa hii elimu serikali inapaswa kuitoa kwa wanainchi kupita wakuu wa wilaya
Kabisa kuna kamchemzo ambako waziri haujui
Duh tunalilia ardhi inayo tumeza kila siku
Mama Tabu ni tabu Kweli 🤣🤣 Huyu mama ni Mwalimu asiye elimika.
Sasa anafundisha watoto shule wanakuwa wabishi 🤣🤣
😊😊😊😊😅
Anawafundisha UBISHI😊@@rexgodwill7353
Tena wenyeviti wanapiga hela sanaa jamani
Mmh kwakweli hapa nahisi huyu mama pia anahaki
wizara hii mama nafanya vizuri sana au aliwahi dhurumiwa kiwanja eti?mbona wizara nyingine kero ziko nyingi hamna haya
Nilitaman sn wazir aombe documents zinazoonyesha kuhamisha eneo kutoka kwa mama yake mwalimu kwenda kwa jiji
Huyo mama hana adabu maan kinacho mfanya asimame kitu gani
Ina wezekana were ndo Huna adabu ungejua anapitia magumu kwakuona ana.nyimwa hakiyake
Sikulikikukuta ndo utajua
Mama tapeli
@@harounramadhan9771 wewe ndo huna adabu sijui ni mama yako yule .Mbona waziri ni mtoa haki sana kwanini yeye hakose haki?
Wewe ndio huna adabu, na siku mama yako akidhulumiwa ndio utakapojua. Kwahili nikuambie ukweli Waziri amedanganywa na makamisha , na iko siku haki itapatikana.
Waziri toeni elimu kwa wananchi kuhusu sheria,,,,,tatizo mnaficha kutoa elimu
Tuliouziwa na wenye viti wa mitaa maeneo uwiiii😢
Imeekulaaa kwetuuu kamaa mamboo yenyew ndohayoo😅😅😅😅😅😅
Tafuta uchawi tu mwalimu Tabu😂😂
Kwa elimu ninayo pata kwa waziri slaa nitaheshimu taratibu za ardhi
Mi mwenyew niliuziwa km huy mam namwekit na mwenye eneo niliporud ten nikakuta kimemegwa kauziwa mwengne nilichofanya nilimwambia huyo mwenzangu nipe pesa nikuachie palipoba niondoke sitak kelele bas nikajiondokea zangu.
Huyu mama hajauziwa na mwenyekiti, huyu hili ni eneo la mama yao la asili kwa miaka yote na wao (yeye na dada zake) wamezaliwa hapo inakuwaje serikali inakuja kupima inawapa watu wengine na sio wao waliokuwa hapo je serikal ililichukua hilo eneo kutoka kwa nani?
Hapo ni uonevu wa waziwazi angekuwa mh makonda kwa stahil yake ya uulizaji jibu lingepatikana, haiwezekani eneo kutoka umiliki wa asili lipo kwao alafu linavyopimwa linakuwa kapewa mwingine,
HAPO MAMA ATAIPATA KWA MUNGU HAKI YAKE.
Daaah roho imeniuma
Inasikitisha sana
Mboniii kamaaa mama tabuuu ikooo kiwanjaa chakeee wazirii katerezaaa
Kama umemsikiliza Waziri vizuri kuwa Shamba lilichukuliwa na Halimashauri 1992 na likapimwa likagawanywa sasa mama tabu kakabidhiwa kwa kamishna wa Aridhi aende ofisin wakaangalie utaratibu uliotumika kuchukuliwa kwa shamba hilo kama kuna haki anapaswa kupata atapata kutoka Alimashauri Waziri kamaliza mgodoro kati ya Mama tabu na Huyoo mzee Mmasi na Mama tabu sasa yeye anapaswa kwenda kwenye ofisi ya aridhi kuangalia halimashauri ilitumia utaratibu kuchu
Et we mama unanizungusha 😂😂 uc choke mkuu ,n mtu mzima anaitaji kueleweshwa mno
Sawa bwana waziri
Mmemzulumu huyo Mama, Jerry silaha MUNGU anakuona
Tena wamemzulumu waziwazi , Hapo wamekuzunguka na wanakuhoji tena kwa ukali. Wanakupa amri zisizo sahihi. Mwenye Eneo anapewaje kiwanja kimoja, mchaga anapewa 15, anawauzia watu wengine ,je hii ni sawa?
@@tabuomary1016 huyo Jerry silaha kampachaga 15 kwasababu wote wa kabila Moja , Jerry mpare na huyo aliyepewa 15 ni mchaga,
Mpaka apo nishapigwa ekar 40 Mungu anamwona hyo alienitapeli😂😂
😅😅😅😅😅😅poleee
Mamboo yenyew ndohayaaa Bora nilee helaa yang kwanziaaa leoo😅😅😅😅😅😅
Tatizo watendaji na makamishna wa ardhi ndio chanzo cha migogoro
Hiyo miaka walifidiwa kila.walipopima Mwl. Uchuro kulilia ardhi. Kanunue sehemu.nyingime
Toa ushahidi .Tusikurupuke tu. Yakikukuta utajua.
Mama ana haki hapo
😂
waziri mpaka umalize mvi zitakuwa kama za hayati baba wa taifa
Waziri hukumpa nafasi huyo mama na hata hukutaka kusoma nyaraka commissioner kakudanganya. Mmasi kafanyiwa demacation kwenye shamba la nani??
Karoge tu tabu😂😂😂😂😂
Watu wa Tanga mjini ni wajuwaji bila maarifa kichwani
Tabu anapata tabu kweli...kumbe kaka yake kadhulumu kingine....majirani wengine miyayusho
Huo mjina wenyewe
Ukimsikiliza kwa makini huyu Mwalimu unaona anayoyasema yana mantiki ila Waziri hataki kumpa nafasi
Kweli katika wizara yenye dhulima ni ardhi kwa stayli hii tutapigwa sana
Sasa kwanini hawa viongozi wa serikali za mitaa wanauza viwanja Hali yakua sheria haiwatambui?
Huyo mama inavyo onaonekana anahaki kabisa
Pengine Hana haki lkn upatikanaji wa pesa ni mgumu ndugu inauma umejinyima umepambana umepata million zako 2 hata miaka mitano umejibana tena baada ya hapo hata miaka 10 umejenga Leo unaambiwa huna haki ukiangalia una watoto ukiangalia hujui uanzie wap
uyu waziri ata felii sana eneo la mtu na ni mali ya mzazi wa mtu sio fair
Yani walimu kila mahali wananyanyasika tu😢
Hawajitambui
Wala hawataki kuelewa 🙆♀️
@@jasonwatz7457 oooooo jamani,kweli hawajitambui?
Ukiibiwa ndipo utajua Ni kweli au si kweli.
Wanajinyanyasa wenyewe!
Inamana muda wote wenyeviti wanauza viwanja hamufamu? Mulitoa elimu gani kwa wananchi
Hapana hii ni dhuma munabadilishijaje umiliki bila kumpa huyo mama tarifa
Bila shaka hilo eneo lilikuwa zururaji.
Sasa hivi zama za mawe zimepita hazipo tena mwl.
Muda mrefu upo umeshindwa kulichukulia sheria eneo la mama yako.
Sasa anzia hapo.
Bila shaka hapo umejifunza kitu cha kisheria kitakusaidia kwa yajayo.
Mama anashindwa kuelewana na waziri kinachogombewa hapo ni umiliki wa zamani na wasasa ,,Sasa aende kupambania nyuma 92, huenda wakalipwa
Hapa inaonekana mama tabu na wizara kabla ya 1992 walicheza mchongo wakuzulumu saiv slaa anafata sheria mmpya wakati nyuma watu wamezulumiwa
Hapana huyo mama alizaliwa hapo. Wewe unakubali shamba la baba yako liuzwe ili mpewe kiwanja kimoja ? Dhambi Sana.
Huyu mama anadhulumiwa,hawa makamishna wa ardhi kww nini waziri hawachukulii hatua?leo unaambiwa kange ni eneo la viwanda lakini nyumba zimejengwa,umeme upo maji yapo na wasambazaji ni haohao serikali inamaana hawajui kama ni eneo la viwanda?mwasubiri watu wajenge ndio mje na sera za ardhi,kuhusu suala lakusema mwenyekiti wa kijiji hahusiki na suala la ardhi je vijijini kuna maafisa ardhi?wangekuwepo watu wasingehangaika na wenyeviti na watendaji wa vijiji
Me kama vwanja havijapimwa nani anahusika kama Sheria haimtambui mwenyekiti wamtaa?
Nikifuatilia mamboyako kwangu nidarasa tooosha kabisa wazili wangu
Fukuza makamishina unawatetea wanini
Yaani zanzibar tungepata waziri kama huyu matapeli wangenyooka
Anachokifanya waziri Kiko sawa, kulikuwa na upotoshwaji mkubwa kwenye ardhi. Sasa wahusika kukubali matokeo ni shida. Ila maelezo ya waziri yamekamilika,
Muheshimiwa inaonekana ana maamuzi ya muemko mama ana haki kamili kabisa
Hizi video za Waziri wa Ardhi zinaonyesha mpasuko kwenye utoaji elimu...video kama hizi zionyeshwe mashuleni. Watoto wajifunze sheria na haki zao za msingi kwenye umiliki wa ardhi. Hiki kilio hakitakwisha leo wala kesho tusipoweka msukumo kwenye elimu.
Kamata