MWANAMKE MTANZANIA AJIZAWADIA JUMBA LA KIFAHARI DAR ES SALAAM, MSOMI WA DEGREE ALIYEKATAA KUAJIRIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 354

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 5 หลายเดือนก่อน +23

    Hongera Sana Mwanangu. Mungu Amekuwezesha kwa kutimiza ndoto zako. Ubarikiwe Daima 🙏

    • @sadamissa5687
      @sadamissa5687 5 หลายเดือนก่อน +2

      Njoo tukupe laki mbili baada ya miaka kumi uje na gorofa😂😂

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 5 วันที่ผ่านมา

      @@sadamissa5687 kabisaa, hafu aache kutudanganya umri sio 39 ni 17

  • @JonathanNelson-l8h
    @JonathanNelson-l8h 4 หลายเดือนก่อน +3

    Asante millard ayo na asante dada wote kwa pamoja mmeniongezea nguvu na imani ya kuongeza juhudi ktk maisha

  • @nzubukamlekwa2831
    @nzubukamlekwa2831 5 หลายเดือนก่อน +32

    Hongera Sana Dada,Wewe nakuchagua MALKIA WA NGUVU kwa mwaka huu,

  • @aineakimaro1094
    @aineakimaro1094 4 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu dada yuko makini, na siyo sana kutokana na shahada, ila mojawapo ya wazazi au wote kwa pamoja ni brilliant, enterprising and consistent,❤.

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana binti,Mungu azidi kukutunza na familia yako..
    Nvaiiya ton'konu, vafele tili kisha.
    Wanawake tukiamua tunaweza.❤

  • @FedisianaNkya
    @FedisianaNkya 4 หลายเดือนก่อน +12

    Kotana kyaa kotana Kindo Kisha den mungu akupandishe Kwa viwango vya juu zaidi❤

  • @DorcusJohn-ie6zp
    @DorcusJohn-ie6zp 4 หลายเดือนก่อน +4

    Sanya juu hoyee. Wajomba zangu kumbe mpo vizuri. Hongera sana MAMMARIII.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Sana kipenzi..mungu azidi kukubariki na kukujalia...unatuinspire nasisi ..kama mim napenda Sana mambo ya ardhi Yan..namim ninataman Sana sikumoja namm nibulding inshallah

  • @salomemkilima5732
    @salomemkilima5732 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana mdogo wangu umenifurahisha sana na kuni inspire sana napiga magoti namuomba MUNGU anitendee nami niweke kakibanda kangu ka saizi yangu tu yani nitajikuna pale nitakapo fikia. MUNGU akupe maisha marefu wewe na familia yako ili mu enjoy kile mlicho kitolea jasho .

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s 5 หลายเดือนก่อน +10

    Amen🙏🏻utukufu kwako Mungu🙏nami siku moja nitajenga kwangu na nitakuwa boss na mmiliki mkubwa wa mali nyingi🤲🙏🏻❤❤

    • @rasvegas8991
      @rasvegas8991 5 หลายเดือนก่อน

      Mtu anaamaendeleo kuliko ww unamshurii

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mashalah mashalah mashalah.. umejitahidi Sana shost..umeweza

  • @AllyMadenge-u6o
    @AllyMadenge-u6o 5 หลายเดือนก่อน +28

    Jumba kama la Christian Ronardo CR7 hongera sana Dada natamani wanawake woote wafanikiwe kama wewe Inshallah

  • @angeljoseph4666
    @angeljoseph4666 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sn, kwa Mungu yote yanawezekana

  • @annkim2690
    @annkim2690 5 หลายเดือนก่อน +51

    Wafanyi biashara Wana Siri kubwa Sana Yani Mimi niliapa sitawahi tamani Mali za watu

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 4 หลายเดือนก่อน

      Sawa kabisa

    • @bobkevinshoo5385
      @bobkevinshoo5385 4 หลายเดือนก่อน

      Nje ya kuwapongeza, umeongea point nzuri sana. MUNGU anajua

    • @dondrizzotv4456
      @dondrizzotv4456 4 หลายเดือนก่อน +8

      Hata usipotaman at least kuwa motivated sio kutia huruma kusema wanasiri sana,kuwaza negative, itakua umezungukwa na watu wasiokua na ndoto kubwa ama huna hata moja wa watu wako aliekamilisha ndoto zake kubwa

    • @legacytrainingservices
      @legacytrainingservices 4 หลายเดือนก่อน +8

      Hata umasikini una siri kubwa, kutokuwa na nidhamu ya fedha, kutokuwa na growth mindset, kutokuwa na juhudi na shauku ya kutimiza ndoto kubwa nk. kisha kutoona mapungufu yote hayo ila kuanza kulaumu wengine kwamba ndio chanzo cha matatizo yako au kuamini kila aliyefanikiwa lazima atakuwa amefanikiwa kwa njia za mkato. Mi naamini unniverse ipo very fair na haina upendeleo ina mpa mtu kile ambacho atakuwa ame show up na kuamua kwa dhati kukipata, "if you focus on you, you grow if you focus on shit, shit grows"

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 หลายเดือนก่อน +7

    Ntahakikisha kwenye 50th birthday day yangu najizawadia kitu self love ni nzuri sana congratulations my sis endelea kutu inspire wow God bless you sis

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 5 หลายเดือนก่อน +12

    Hongera na nisahihi sana kuajiriwa km upo uwezekano vyema sana kujiajir na utakwenda mbali kimaendeleo

  • @eliuwosumari5254
    @eliuwosumari5254 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera dada nimefurahi sana kwa kutumia asili yetu ukaachana na mambo ya kichina tz tunakila kitu

  • @mnyampaa_kisasa
    @mnyampaa_kisasa 5 หลายเดือนก่อน +13

    Duh uko vzr mazee tukaze hawa wanawake wanachakarika sana sio poa😢😢😢

  • @HabiBarnabas-t5x
    @HabiBarnabas-t5x 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada yangu ....nawashangaa wanaofikiria negative ...kujituma ndio siri ya mafanikio hakuna kingine ...asilimia kubwa mtu akiajiriwa mara nyingi anategemea mwisho wa mwezi ufike hapo unakuta amekuwa na madeni mpaka SONGESHA sasa hapo atakuwa na ndoto ya kujenga kweli .. cha pili tuache kulilia kutwa mapenzi piga kazi

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 4 หลายเดือนก่อน

      Uko sawa mimi milishawaji kufukuzwa kwenye chumba kimoja nikiwa na mtoto miezi miwili tuu sikuwa kodi ,baadae ya miaka kumi nina nyumba tena wala siishi humo ninaishi kwingine Mungu ni Mungu na bidii ya mwenye haki haimuachi mtupu anayetafuta.

  • @trecygohy7847
    @trecygohy7847 5 หลายเดือนก่อน +18

    Hongera sana dada🎉👏. Wanaume ambao wenye fikra za umaskini watasema kwamba umedanga

    • @HappinessGerald-c8t
      @HappinessGerald-c8t 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwelii kabsaa watasema kadanga bla kujua ameanza zaman kujpambania ,,

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 หลายเดือนก่อน

      ​​@@HappinessGerald-c8tKuanza kupambana zamani sio kufanikiwa. Unaweza ukapambana miaka 25 na usifanikiwe ila mwenzako akapambana miaka 5 tu akafanikiwa.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 หลายเดือนก่อน +1

      Na wanawake ambao wana fikra za umasikini watasemaje?

    • @Rockefella-93
      @Rockefella-93 5 หลายเดือนก่อน +1

      Inawezekana pia

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 5 หลายเดือนก่อน

      @@rumdeesonsoa1811 tokea niwafahamu wanawake niliowaona kwa macho huwa hawana fikra za umaskini

  • @REHEMAMUNA-p5v
    @REHEMAMUNA-p5v หลายเดือนก่อน

    Hongera mwaya ila maandiko yanasema usitamani Mali ya mtu amri ya Mungu Kila mtu atainuliwa kwa wakati Mungu anaopenda na Mungu anakupa unachostahili

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 5 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah 🙏 ❤❤God bless

  • @emmanuelmwaka6070
    @emmanuelmwaka6070 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Dada Mungu azidi kukubariki, unamaneno mazuri yenye hekima

  • @peacBoy
    @peacBoy 5 หลายเดือนก่อน +2

    Aise Big up Sana Dada kikubwa mungu Hana choyo na mungu habariki mkono mitupu nimekuelewa Sana na mungu atubariki Sana sote tujitafutao mafanikio yapo yaja tusichoke kutafuta 🙏🙏🙏

  • @priscusgodwin
    @priscusgodwin 5 หลายเดือนก่อน +8

    Dada yupo smart, LIKES kwa ajili yake..

  • @marygumbo3296
    @marygumbo3296 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kipenzi! Mungu azidi kukupa kibali❤

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dada Mungu azidi kukubariki na pia namuomba Mungu siku moja niweze kutimiza ndoto zangu

  • @FedisianaNkya
    @FedisianaNkya 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen barikiwa Kwa kuwatia wanawake Moyo ❤

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 5 หลายเดือนก่อน +3

    We. Congratulations 🎉🎉raha sana 😢😢wamama siku hizi 🔥🔥🔥mashalllah mashalllah

    • @StellaMwasha
      @StellaMwasha 5 หลายเดือนก่อน +2

      Hongera sana dada

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 5 หลายเดือนก่อน +25

    Mafanikio ni siri msichanganyikiwe trust the process keep working

    • @mtummoja6882
      @mtummoja6882 4 หลายเดือนก่อน +1

      Anasema kununua kiwanja "anajua alichokifanya kupata kiwanja" sasa hapo kwenye kujua alicho fanya ndio siri zenyewe

    • @CandyVois
      @CandyVois 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @itzsnazzyjazzy472
    @itzsnazzyjazzy472 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah mashallah dada ana jielewa sna congrats

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mjengo mkali sanaa🎉

  • @joyceassey2347
    @joyceassey2347 5 หลายเดือนก่อน +10

    Wachaga oyeeeeeeee😊😊😊

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 5 วันที่ผ่านมา

      nimekuja kugundua wachaga wanateseka sana na hii dunia

    • @joyceassey2347
      @joyceassey2347 5 วันที่ผ่านมา

      @julianapeason6254 kwa kutafuta hela au🤣🤣

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 4 วันที่ผ่านมา

      @@joyceassey2347 kabisa, yaani ukisikiliza habari za wanawake wa hapo Sanya juu wanavyoteswa na hela unajiuliza ninini shida,, kuna yule dada anaitwa Sabina wa Sanya juu nae anaishi Arusha, ukisikiliza kesi yake utachoka.,amenyanyasika jamani, mume amemtesa dada wa watu, sijui amerushwa mafuso, magari ya gharama uuuw

  • @tekashichannel
    @tekashichannel 5 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sanaa dada Ila umenipa wivu mkubwa sanaa lazma nipambane😢😢😢

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 4 หลายเดือนก่อน

      Haswaaa hapo ndio unatakiwa

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 16 วันที่ผ่านมา

    Ongera sana dada kwa juudi zako paradison ni hapa duniani na sio mbunguni.fiko ni mapumzo ya milele,vyote vinapatikana duniani tukivitafuta kwa bidii bila kukata tamaa isiyo mbaya.you ar super woman.

  • @matildagerase5927
    @matildagerase5927 4 หลายเดือนก่อน +2

    MWANAMKE NANGAI🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉TWENDE KAZI....

  • @agathadavid7127
    @agathadavid7127 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada tena hongera sana .

  • @witneywilly
    @witneywilly วันที่ผ่านมา

    Jifunzeni video za house tour mweeh.

  • @katarinachristopher8562
    @katarinachristopher8562 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukubariki na kukulinda dada

  • @taifaonlinetv.3670
    @taifaonlinetv.3670 4 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu dada ni mkweli tena mkweli kabisa , hana majivuno hawezi kutaja hela kubwa ili ajipandishe , ameni Inspire saaana

  • @chiconinde8135
    @chiconinde8135 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hizi pongezi ni wazi kuwa hatujui really how things work.
    Tujifunze kufanya tathmini za uhalisia kwanza.

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 4 หลายเดือนก่อน

      Mwenyewe tuu hujijui tathmini jifanyike mwenyewe kwa nini unaishi,na wajibu wako hapa duniani ni nini.

    • @chiconinde8135
      @chiconinde8135 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@devothasimbi6495 sawa

  • @williammashauri272
    @williammashauri272 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mtangazaji unachakujifunza upo na Mtu mwenye madini mengi unauliza maswali mepesi sana

  • @RAGEEY-xc7wz
    @RAGEEY-xc7wz 3 หลายเดือนก่อน

    Very humble woman ❤

  • @RahelPetro-ro3yn
    @RahelPetro-ro3yn 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dada mungu nimwema 🙏😘🌹🌹

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 5 หลายเดือนก่อน

    Oohhhh.....more congratulations Lily.

  • @IbrahimIddy-z4y
    @IbrahimIddy-z4y 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada honger sanaaaaaa mungu akuzidishieeee

  • @floraswaggy6388
    @floraswaggy6388 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana Liliani sipendi kuajiriwa pia na ninapambana sana

  • @ElineMan
    @ElineMan 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana lili mungu akupe zaidi

  • @EdithaKikoti
    @EdithaKikoti 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana dada kwajumba zuri

  • @JacksonjacksonTrois
    @JacksonjacksonTrois 5 หลายเดือนก่อน +19

    Sanya juu gather here

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 5 หลายเดือนก่อน +1

      Woyoooo ❤❤❤😂😂😂😂😂

    • @chenhans8236
      @chenhans8236 5 หลายเดือนก่อน

      Sanya Tuppo Vzr

    • @rosemasaki698
      @rosemasaki698 5 หลายเดือนก่อน

      Daah aisee🙌

    • @JacksonjacksonTrois
      @JacksonjacksonTrois 5 หลายเดือนก่อน

      @@chenhans8236 kabisaa kibuwa Dua n kuamini kwakila unachokifanya nakua na mLengo tuu

    • @JacksonjacksonTrois
      @JacksonjacksonTrois 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@rosemasaki698 kilakitu kinawezekana nikupambana tuu na kuomoba mungu na kuamini kwakila unachotaka kukifanya kabla yakufanya

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada mwenyezi Mungu azidi kukubariki, hakika wewe ni mwanamke wa shoka,❤ Jumba kama la Messi

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 5 หลายเดือนก่อน +1

    hongera sana dada 🥰🥰🥰👏👏👏

  • @pceodhc
    @pceodhc 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Dada! 🎉

  • @shadya977
    @shadya977 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana kwake 🙏

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 5 หลายเดือนก่อน

    Mama hongera sana tena sana mimi pia nataka kujenga unaweza kunisaidia plani ni mimi Simba Abdul Amsterdam Holland

  • @FestonjohnngilangwaNgilangwa
    @FestonjohnngilangwaNgilangwa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ndiye Anaye jua.

  • @robertkabuthia2781
    @robertkabuthia2781 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana binti

  • @RobertEmmanuel-pl9jj
    @RobertEmmanuel-pl9jj 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana dada ushuhuda wako unanguvu na unatia moyo

  • @NuruKanyenye
    @NuruKanyenye 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa jumba lote hilo unafanya nalo nini jamani? duh . Hongera bhanaa usije sema ninawivu.

  • @AminielSolomoni
    @AminielSolomoni 5 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kitu be blessed sana na kwifeahee iwe

  • @MdutaSomha-u6z
    @MdutaSomha-u6z 5 หลายเดือนก่อน +10

    Eeeh mungu wengine wanatoa hela wapi jamni kama ni kazi mbona nafanya 😢😢😢😢

    • @soniahassan6769
      @soniahassan6769 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂nimecheka

    • @peterpaschal4522
      @peterpaschal4522 5 หลายเดือนก่อน

      Hela ni jinsi unavyo ishi thubutu kufanya kazi😂

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 5 หลายเดือนก่อน

      Kujipanga na kua na subra.

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wakati Wa Mungu ni sahihi,

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 5 หลายเดือนก่อน +2

      Ni wakati wa kupigia wenzako makofi hadi hapo wakati wako utakapofika ongeza adabu kwenye kile kidogo unachopata kufanya kazi pasipo kuwa na plan zaidi ni hasara then tengeneza njia nyingi za pesa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezimungu akujalie Kila la heri Amin inshallah

  • @modesanga
    @modesanga 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mhhh! Jamaniiii! Mbona kama hesabu iinakataa kabisa kichwani?... Usitamani mali ya mwingine. Haujui ameipata kwa namna gani.

  • @FadaBronx
    @FadaBronx 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kilimanjaro Moshi,sanya juu stend up

  • @sadickshabankiloya4622
    @sadickshabankiloya4622 4 หลายเดือนก่อน

    Hongela winga

  • @alencleophace2182
    @alencleophace2182 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu dada hana majivuno,ila mtangazaji huna maswali technically jifunze kwa yule dada wa Mbengo TV

  • @Radiumflexx
    @Radiumflexx 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dada🎉🎉🎉

  • @MageMollel-wb7ms
    @MageMollel-wb7ms 5 หลายเดือนก่อน

    🎉hongeraa sanaa kekuu

  • @talents7934
    @talents7934 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi binafsi Namuogopa sana Mwanamke anaejiweza😂Mwanamke kama huyu huwezi kumuoa bali atakuoa wewe kwa mfano unaanzaje kujiita baba mwenye Nyumba kichwa cha familia wakati Hujui ata bei ya cement 😂😂

  • @kristinmpoli3586
    @kristinmpoli3586 4 หลายเดือนก่อน

    Congratulations sister

  • @helenandanu5135
    @helenandanu5135 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Lillian

  • @djurio
    @djurio วันที่ผ่านมา

    Ukijiconnect na mifumo ya kifedha au au mifumo ikikuconnect automatically hakuna kinachoshindikana

  • @amoogaza6825
    @amoogaza6825 5 หลายเดือนก่อน

    Aisee so inspiring😊

  • @mnugwaally4-xh4un
    @mnugwaally4-xh4un 5 หลายเดือนก่อน +9

    Uwe unauliza maswali ya msingi tujifunze ,,poor performance Rudi kweny interview ya mulokoz na boss wako Millard Ayo ujifunze

    • @khamisomary7428
      @khamisomary7428 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli hana maswali ya msingi

  • @norineraymond8098
    @norineraymond8098 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Masiaoo

  • @eunicejohn5520
    @eunicejohn5520 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana ❤

  • @andrewmsuya4908
    @andrewmsuya4908 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana wanipa nguvu namm kupambana

  • @sarahsaimon4095
    @sarahsaimon4095 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera zake

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah 🙏 ❤❤God bless
    Tupambane jamani ,sio poa..
    Wadada wanajenga magorofa na wadada wengine wanalilia mapenzi bado😂😂😂2024😢karibia 2025,ebu wadada tubadilike,hii sio miaka ya ujinga tena

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 5 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 👏 my sister 🎉❤

  • @kristinmpoli3586
    @kristinmpoli3586 4 หลายเดือนก่อน

    Congratulations sus

  • @loiskimaro1733
    @loiskimaro1733 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana kwa akili kubwa.

  • @happymollel4635
    @happymollel4635 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera wewe ni mwanamke na nusu. Maisha yanahitaji mipango, sala na jitihada

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera dada kwa kujituma hadi ndoto zato zikatimia

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera zaidi umetia fora.

  • @njuka3515
    @njuka3515 5 หลายเดือนก่อน +12

    Watu wanajua kuishi mimi hata birthday yangu inapita sikumbuki

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂sasa ww happy birthday ndio nini hujui hiyo siku unafurahia umri wako kupungua

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 4 หลายเดือนก่อน

      Usiige happy birthday iga kufanya kazi ili uwe na maendeleo basi

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 5 หลายเดือนก่อน +3

    Namuunga mkono hapo kuumiza kichwa kweli maana kuna muda mtu usiku haulali .fundi wasimbufu anaweza kafanya sivyo ulivyomuelekeza

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 4 หลายเดือนก่อน

    Mwambie akuonyeshe watu wote waliomsaidia ambapo hataki kuwataja mwambie aseme .hawa watu wapo wengi sanaaa tz mafanikio yao kuna watu wengiiii au mmoja nyuma yake hasa baba, kaka, uncle ,mume , wachumba , au familia

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 8 วันที่ผ่านมา

    Chukua maua yako dada🎉🎉🎉🎉

  • @joancenjosias1296
    @joancenjosias1296 4 หลายเดือนก่อน +4

    Yaan hii nyumba ni nzur kuzudi ya mwijaku mara 10000

  • @rachelsika9588
    @rachelsika9588 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina,,na kwangu itakua

  • @kelvinkissanga4075
    @kelvinkissanga4075 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji kazingua sana. Hamna tunachojifunza hapa.

  • @jackstar508
    @jackstar508 5 หลายเดือนก่อน

    Wow umetisha sana

  • @happiejackson6662
    @happiejackson6662 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada

    • @christopherkiswaga9270
      @christopherkiswaga9270 5 หลายเดือนก่อน

      Asante sana Unawatia Moyo watu kujishusha na kufanya kazi.

  • @allykamila3445
    @allykamila3445 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa ana maswali ya kizembe sana😂 Yaani unapata muda na mtu kama huyo unatakiwa watu wapate madini

  • @dingimtoto352
    @dingimtoto352 5 หลายเดือนก่อน

    Wow Hongera sana Na Mimi nitajenga

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 5 หลายเดือนก่อน +2

    Congratulations to her

  • @mwijagenelsoni357
    @mwijagenelsoni357 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mafanikio mengi yana siri nyingi nyuma yake jifunze kuridhika na alichokupa mungu japo kuwa na ndoto kubwa nayo ni siri mojawapo

  • @zainab8251
    @zainab8251 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah ❤❤❤❤❤hongera sana dadaanke umeweza sana

  • @hijamaulidi7382
    @hijamaulidi7382 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ukisoma kitabu Cha rich dad poor dad utamuelewa.