WAZIRI SILAA AWABANANISHA WATAALAM ISHU ya KITUO cha MAFUTA MIKOCHENI -WADAI ni MAAGIZO ya MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2023
  • WAZIRI SILAA AWABANANISHA WATAALAM ISHU ya KITUO cha MAFUTA MIKOCHENI -WADAI ni MAAGIZO ya MAGUFULI....
    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni jijini Dar es salaam na kupiga marufuku ujenzi holela wa vituo vya mafuta nchi nzima vinavyojengwa kwenye makazi ya watu hatua inayohatarisha usalama wa watu na mali zao.
    Waziri Silaa ametoa agizo hilo Desemba 23, 2023 alipoenda kukagua eneo kilipojengwa kituo hicho na aliambatana na Kamati ya ulizi na usalama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 221

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 6 หลายเดือนก่อน +5

    Wazili uko sawa, ww verry intelligent. Big up waziri. Piga kazi baba.

  • @AnordPantaleo
    @AnordPantaleo 6 หลายเดือนก่อน +2

    Waziri silaa endelea kuchapa kazi usiogope pesa silolote wala sichochote pesa ambazo si halalari hua hazizidi vizazi 3 zinakua zimeisha mjaribu kufanya ufuatiriaji kwa wale waliokwisha zichuma harizao kifedha zikoje waziri silaa endelea kumuogopa mungu utamaloza kazi zako vizuri na mungu ataendelea kuubariki uzaowako na vizazi vyako vitaendelea kua salama hata kamau utakua haupo duniani.

  • @shamtealmas3290
    @shamtealmas3290 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mh waziri hivi vituo vya mafuta vipo vingi karibu nchi nzima,sio hapo tu kwa mstaafu,unda tume ichunguze kwa kuanzia anza na mikoa mikubwa then baadae uje na majibu na maamuzi sahihi wengi wa wamiliki nivigogo wenye fedha zao wanaweza kutushitaki na serikali ikaingia matatani na kulipa fidia kwa fedha za kodi za wananchi wasio na hatia.hongera kwa kazi nzuri ila ushauri wangu uzingatiee

  • @flova7022
    @flova7022 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mweeeh kumbe afisa utumishi wangu umeondoka handeni ..doohh . Anyway may God keep u..Omary mhagama

    • @benjaminyohana5581
      @benjaminyohana5581 4 หลายเดือนก่อน

      Ila Jamaa yuko Vizuri sana ,anajiamini anapotoa maelezo.

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 6 หลายเดือนก่อน +11

    Waziri WE ni mpole ila maswali yako ni verry intelligent big Up

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 4 หลายเดือนก่อน

    Waziri fanya hadharani. Maana huko mtaani ndio kwenye siri nyingi za maswala ya ardhi.
    Mambo haya yakifanyika kiofisi ndiko rushwa zinatawala.
    Wananchi wanajua ukweli.
    Nakupongeza waziri endelea na hii clinic.
    Ardhi hazipo ofisini. Nenda eneo husika utakutana na ukweli
    Pongezi zako waziri. Big up.

  • @omaryyahaya2116
    @omaryyahaya2116 6 หลายเดือนก่อน

    Mh wazili Amakweli Nimekuelewa iyo Nafasi upo sawa kitaaluma km nikilaza huzielewa hao jamaa wanatumia shule yao kudanganya watu kisomi zaidi umefafanua Vema Naomba upitenao na mmiliki washeli Asanteeeee

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hapo kinachoonekana taratibu zimefatwa ila inaonyesha kuna watu wanajifanya wao ndo watu muhimu hawataki kilele Kings hata hivyo haohao wamejimilikisha maeneo ya wazi wakaweka uzio wao wapo sawa

    • @jumaashukia663
      @jumaashukia663 3 หลายเดือนก่อน

      Tuko pamoja mzee. Umesema kweli kbs.

    • @AdamKamendu
      @AdamKamendu หลายเดือนก่อน

      Mi nilifikiri mawazo yangu pekee yangu kumbe wengi

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 11 วันที่ผ่านมา

    Well said brother bonge🎉🎉

  • @user-uq7kk4dw2o
    @user-uq7kk4dw2o 6 หลายเดือนก่อน +3

    😢😢ttuwapare wapi watu kama wewe mweshimiwa waziri??
    Mungu wa mbinguni akulinde usiku na mchana...

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 6 หลายเดือนก่อน +7

    Global shenzi zenu picha ya mpendwa wetu MAGUFULU mmeweka hapo ya nini??fyooooiio

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @khadija5761
      @khadija5761 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FaustinoEvalisti
    @FaustinoEvalisti 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde wazili damu ya yesu kristo ikulinde

  • @user-do5mp8zl1v
    @user-do5mp8zl1v 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli nimekuelewa utendaji wako ssa baba kaatayari kwa yoyote kwa lolote Ata malehem Magufuri alikua zaidi yako lakini walichomfanyia kwenyekitengo hicho anajua mungu Yenyewe hayo na mengine unayohapohapo ulipo yan asema pesa ndiokilakitu Kamavile yataenda nnazo kabulini mpatakuweza atakumuuwa mtu Mungu akutangulie Isha allah

  • @husseinjosephitocho6754
    @husseinjosephitocho6754 6 หลายเดือนก่อน +2

    kibonge uyo ni mwizi mwenye mipango anayejuajua sheria kidogo ndio maana amesimama badala mkurugenzi

  • @user-do5mp8zl1v
    @user-do5mp8zl1v 2 หลายเดือนก่อน

    Wazili kweli comment imechelewa lakini Wazili angalia hayo ndiomauwaji wazurumati wa haki zawatu Angalia baba na muombe mungu wako nasisi walimwenngu tunaependa haki tunakuombea uwepo milele n amungu akulinde Isha allah tun atafuta ambao wenye maamuzi kumbe mmmefichwa kuzim na mahasim Hongera saaaaana Slaa hongera Mama ulikuahaujamuona kiumbe huyu mtenda haki na muelewa wa sheria

  • @user-qt7jd5on4z
    @user-qt7jd5on4z 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ishu hii naona kuna watu wamekula rushwa sas na wao wachukuliwe hatua mazee

  • @husseintwaha1737
    @husseintwaha1737 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hili taifa tatizo lake ni mifumo yake imejaa rushwa kila kona

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hisia za Magufuli bado zipo. Haki kwa watu wote. Asante Jerry Slaa. Umeonyesha uadilifu wa dhati Katika serikali ya Mama

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 6 หลายเดือนก่อน

    Waziri Mungu akulinde hii vita ni ngumu maana unapambana na wenye fedha walio kusudia kuvunja sheria na umezungukwa na watendaji wengi wenye njaa

  • @brightonwaltermushi2570
    @brightonwaltermushi2570 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mh Jerry ni kijana mwenzangu lkn hii ni show na siyo taratibu za kufanya unataka kumfurahisha nani!??? Kwani hiyo kazi lazima ifanyike mbele ya kamera hakuna taratibu za kiofisi!?? Utajikuta umetengeneza mgororo na watendaji wako utakwama kwenye hiyo wizara

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye kituo cha mafuta alitembeza talanta kisawa Sawa hili swala kwa wanaadamu ni ngumu lakini kwa Mungu ni ♥ Rahisi saana na woote wanajua mioyoni mwao wamefanya nini haya kila la kheri

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 6 หลายเดือนก่อน +1

      Alianza na Mwenyekiti 😂😂😂😂😂 Hatari Sana

  • @ShedrackNtezimis-dy5oe
    @ShedrackNtezimis-dy5oe 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera waziri unatufaa watanzania hakika we we ni raid ajaye

  • @leonardjackson269
    @leonardjackson269 6 หลายเดือนก่อน +10

    Hii ngoma ni ngumu.

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu Waziri mpaka hapa amefeli tena 💯. Na asipoangalia atatumbuliwa si muda mrefu. Anataka Kiongoza anavyojua na si mazingira ya Kitanzania.

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima 6 หลายเดือนก่อน

      Acha upumbavu ww

  • @adampunguti2974
    @adampunguti2974 6 หลายเดือนก่อน +1

    omari.unatririka.safi

  • @OllerDesononline6333
    @OllerDesononline6333 4 หลายเดือนก่อน

    Broud if this Men. Love u bro. Mh. Waziri

    • @jumaashukia663
      @jumaashukia663 3 หลายเดือนก่อน

      Una kiingereza kizuri mkuu...😅

  • @user-yj7uf3zq7b
    @user-yj7uf3zq7b 6 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali waziri njoo Mwanagati viwanja vya umma vimeuzwa

    • @saidm.kharika8464
      @saidm.kharika8464 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mwambie aje jimboni😅😅😅 aje aone na mahandaki barabarani

  • @user-yh2yx7sw2g
    @user-yh2yx7sw2g 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka kituo cha mafuta kinafikia hata hiyo Bila Shaka ana vibali vyote au isiwe Kwa vile kimezungukwa na vigogo hao wote niarafiki zake acheni siasa nchi isonge mbele ni vituo vingi Tu vinajengwa na vinafanana na hicho nchini

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nyinyi wakati mnauza bandari hamkushilikisha wananchi sheli imejengwa mnataka wananchi wahusishwe kwa sababu sheli hana mana kwenu ila bandari mlipiga pesa nyinyi mawaziri howcome

    • @manethmwiyanja2452
      @manethmwiyanja2452 6 หลายเดือนก่อน

      sasa wewe unasema nini huelewi nini

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 6 หลายเดือนก่อน +1

    Slaa jerry mtu na nusu.hili ni swala dogo sana kwake.

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo kijana mwenye t-shirt nyeusi ni mpumbavu sana na ana sura ya kilevi

  • @user-su6yd2lt5f
    @user-su6yd2lt5f 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo mlifanya araka kwa nguvu ya pesa,

  • @emaelia1055
    @emaelia1055 6 หลายเดือนก่อน

    Waziri uko sawa hao wataalm Wana mazarau kwa wanchi

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahiyo waziri sio serekali kweli wasomi mjaa TZ kwa mtazamo wangu fitina hapo ni nyingi sana hawo wazee ni wasomi ni wastaafu na hayo yote wao ndio wametuachia huo mfumo sio wakamilifu mioyo yao inachembex2 za unafiki . 27:43

    • @adamlubawa1281
      @adamlubawa1281 6 หลายเดือนก่อน +1

      Saaana sio uongo Tibaijuka ni mnafiki sana huyo mama pamoja na wenzie
      Na ukiangalia wooote ni kutoka huko huko BUKOBA

    • @fredrickipembe8188
      @fredrickipembe8188 6 หลายเดือนก่อน

      Ni kweri ndugu yangu

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @AnordPantaleo
      @AnordPantaleo 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mh waziri kwa maelezo ya watumishi wote wanayo yatoa unaona thahiri wameisha kura rushwa Toka kwa tajiri anaejenga kituo Cha mafuta.uwachukulie hatuna Kila mtu kwa nafasi yake.

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h หลายเดือนก่อน

    Duh! Mheshimiwa Silaa. Natamani ungekuwepo tangia kitambo! Yote kwa uote, safari mpya imeanza........

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 2 หลายเดือนก่อน

    Mh.nakuombea silaa

  • @hassaniulende-sp6io
    @hassaniulende-sp6io หลายเดือนก่อน

    Hao ndio wafanyakazi hewa aliowaondoa mzee wet in j p m , inasikitisha mama kawarudisha daa inaumiza sana ,

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 2 หลายเดือนก่อน

    Mh silaa yupo makini

  • @DevisDeogratus
    @DevisDeogratus หลายเดือนก่อน

    Safiiii

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mtazamo wangu slaa anatetea sheli flani sababu ya biashara hapa AIRPORT KUNA SHELI3 TENA YA 3 imejengwa juzi ni LAKE OIL MBONA HUJAIPIGA STOP???

    • @flova7022
      @flova7022 6 หลายเดือนก่อน

      Kikteee heheheeere

  • @user-jz6ox1wq8u
    @user-jz6ox1wq8u 4 หลายเดือนก่อน

    Shukran nyingi na pongezi kwa wazili Silaa.mimi nimyarwanda niko Kigali. Namfwata wazili 100 kwa 100 .kazi kwenda mbere.ndiyo viyongozi africa inaitaji.

  • @frankTemba-hu6zl
    @frankTemba-hu6zl 6 หลายเดือนก่อน

    Waziri slaa wangalie sana hao wamepewa pesa kama wewe mwenyewe umeletewa milioni 300 wao wamepewa pesa wakamatwe wote na mwenyekiti afukuzwe kazi haraka siyo mwungwana

  • @kamilgadoking2304
    @kamilgadoking2304 2 หลายเดือนก่อน

    That's not fair

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 6 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmh watanzania buana,
    Bado kuna watu hamjamuelewa waziri,
    Mbona yupo kutetea raia:

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yani mgwkuwa hivi toka zamani, bandali zetu zisinge uzwa.

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 6 หลายเดือนก่อน +3

    Inakuja kipindi jamii imeanza kuamini usomi ni wizi mm na kilinikweli Kuna wakt wanaongea kujichanganya tu

  • @brayanjames9953
    @brayanjames9953 4 หลายเดือนก่อน

    Bigi ana jua kuji elezea sana. Na kwa utulivu wa ali ya juuuu

  • @Lodrickmwambene
    @Lodrickmwambene 3 หลายเดือนก่อน

    Magari yanapita hayapiti maendeleo Tanzania ni shida roho za Kwanini ni nyingi

  • @eddyrich.3312
    @eddyrich.3312 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ingekuwa mtu asie na kitu aidha kaporwa ardhi au chochote usingewaona hao na ma vx yao hapo

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h หลายเดือนก่อน

    Raia tuwe tunafund8shwa hizo terms zinazotumika ili tuelewe vizuri kwa kuwa sisi ndiyo Wananchi!

  • @tumahai157
    @tumahai157 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu bwana ni mwanasheria ambaye arienda shule kisha shule akaondoka nayo kisha anaitumia na ana talent ya uongozi

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 6 หลายเดือนก่อน +1

    Janja janja tu, aondoke tu hatuhitaji kituo hapo

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @kmarashy9042
    @kmarashy9042 6 หลายเดือนก่อน

    Mmh hata waziri lukuvi alisema kapewa 2 bil. Bila ushahidi kumbe Akitaka sifa tuu. Sio mnasema tu bila ushahidi.

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 4 หลายเดือนก่อน

    Mh!hawa watu muwachunguze si kiutendaji tu,angalieni akaunti zao na mali zao na watoe maelezo ya namna walivyopata..Wizara inahitqji mabadiliko seriously.

  • @AhmednasirMohamed-le3ht
    @AhmednasirMohamed-le3ht 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kama kunatatizo kuna MAHAKAMA YA ARDHI WAZIRI SIO JUDGE

    • @emaelia1055
      @emaelia1055 6 หลายเดือนก่อน

      We umefeli cy kitu mahakaman au una maslahi huko

  • @flova7022
    @flova7022 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hili mheshimiwa fulani..mimi nalichukiaaaa to the extent so soryy Tanzania

  • @DoriceSawaki-vg4sb
    @DoriceSawaki-vg4sb 6 หลายเดือนก่อน +4

    Nmemkubali afsa utumishi anaelewa anachokifnya,

  • @amalykibondei1644
    @amalykibondei1644 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wazir aache nashauri aache kuumbuana na staff wake akae vikao vya ndani achunguze na mavikao vyao vya ndani wasemane wacharurane kisha watoke na maazimio sasa hapo kinachofanyika sielewi kinachofanyika ni nini

    • @nicodemashaggite8429
      @nicodemashaggite8429 4 หลายเดือนก่อน

      Ili ufiche Nini, wananchi tuna haki ya kujua yanayofanyika yawezekana ww ni kama hao.
      Weka wazi madudu yote

    • @nicodemashaggite8429
      @nicodemashaggite8429 4 หลายเดือนก่อน

      Big up waziri

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 หลายเดือนก่อน

      BIG UP WAZIR UKIMALIZA A NA HAO WA KITU CHA MAFUTA MENGINE YAKO UKU KWENYE COMMENT YABANANISHE NA TCRA YAKANYEE NDOO ASANTE

  • @binseif2216
    @binseif2216 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kunachuki binafsi vituo vingapi vimejengwa kinyume na sheria lkn hakuna malalamiko

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 6 หลายเดือนก่อน

      Coz nyie hamuend kulalamika Wenzenu wanajua haki zao na wanapambana

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 6 หลายเดือนก่อน +4

    Slaa ni kama nakuelewa vile....
    Piga kazi kaka...

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 6 หลายเดือนก่อน +2

    Afroil amejenga kwenye geti la kuingia stend ya msamvu nahapo ni green belt.aende akatunishe msuli ndo tutaamini anatenda haki.

    • @user-kt9qg1mo6l
      @user-kt9qg1mo6l 6 หลายเดือนก่อน

      😮😮😮 wee jamaa ni noma

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-kt9qg1mo6l muhimbili mbele ya geti amejenga super star.aende na hapo.

    • @peterkipuyo4008
      @peterkipuyo4008 6 หลายเดือนก่อน

      Zipo nyingi sana mbona, mtaani kabisa na wananchi hatukushirikishwa?rushwa ipo hapo uchunguzi ufanyike haraka sana

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 6 หลายเดือนก่อน

      @@peterkipuyo4008 na mbele ya geti la muhimbili kituo cha super star imejengwa.hpo atusaidie

    • @michaelmalile4575
      @michaelmalile4575 6 หลายเดือนก่อน

      Nadhani hadi watu walalamike hivi hivi hakuna wakugusa maslahi ya mtu kawekeza

  • @user-qd1fc4mq6o
    @user-qd1fc4mq6o 4 หลายเดือนก่อน

    Mh. Waziri hao ni wapigaji wanakuzungusha ndio maana mkurugenzi kakimbia Hana hudhuru Wala nini. Hana hogopa kubananishwa. Maswali

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 6 หลายเดือนก่อน

    Kwan hiki kituo kua hapo kinamatatizo gani mbona mm sijaelewa

  • @annaabraham6999
    @annaabraham6999 6 หลายเดือนก่อน

    Sante huko wanakaa wakinamama Tibaijuka huko kwingine Mungu yupo atajibu tu ni swala la mda

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 6 หลายเดือนก่อน

    Matajiri wana dharau sana yaan wanadhani pesa zao zinawafanya wawe juu ya sheria na kukanyaga haki za wengine

  • @furahamwaseba7910
    @furahamwaseba7910 6 หลายเดือนก่อน

    Wazir wa ardhi awe makonda au chalamila nikuteua tu awe mbunge kuwa nasifa za kuwa wazir

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 4 หลายเดือนก่อน

    FiIDA HUSSEIN NI MWIZI WA MAJUMBA YA WANYONGE

  • @SalimAbdallah-tg1yo
    @SalimAbdallah-tg1yo 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi swali langu serekali ilkuwa wapi tangu muekezaji ananza msingi mpaka anafika juu au huyo mama tibaijuka alkuwa wapi siku zote hadi leo ndo atafute wazee wenzake waseme kituo hakina haki za kuwa hapo mtu kama huyo barel Ni muekezaji mkubwa sana na analipa Kodi serekalin (hapa kuna kitu chin ya kapet Ila Mungu yupo haki itasimama )

  • @user-nz7jo1nc8f
    @user-nz7jo1nc8f 6 หลายเดือนก่อน

    Hzo sku wanazosema magu ameshakufa😢😢😢😢😢

  • @bharwanimohsin
    @bharwanimohsin 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo Urasimu inaturudisha nyuma. Tumejenga utamaduni wa Rushwa ndio tunefika hapa ukienda kwa haki kaa miaka 50 hakuna kitacho fanyika, utawekewa vikwazo kibao. Nchi tunafanya mazingira ya kufanya biashara kuwa ngumu sana.

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 6 หลายเดือนก่อน +1

    Afisa utumishi uko vizuri

  • @cleversalbaba-em4jf
    @cleversalbaba-em4jf 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa waziri atoe waraka mtaalam amuambie huu waraka sio kweli ataachwa salama?
    Hata waziri leo atoe waraka mtumishi aupinge au atoe comment popote una mapungufu huyo mtumishi ataachwa salama kweli?

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika silaa wewe mtt ninoma sana wape kaba ngoz hao mataper wanajifanya waswahili swahili sana,wasikuchulie poa hao viongozi wanatamaa yavisent sent ndo ccm uchwara ngurwe izo vijana pigen kaz hamna wakuwasumbua .ccm ina waungwana wachache ndo silaa,makonda,na chalamila tupen ndan viongoz wanaoitukanisha ccm paka hao

  • @DamaIbra
    @DamaIbra 4 หลายเดือนก่อน

    Yaan waziri slaa wewe Mungu wa pili umekuja Tena Fanya kazi watu wanaonewa sana

    • @saidnoumani7244
      @saidnoumani7244 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli anafanya kazi nzuri...ila usimfananishe na Mungu...tupongeze na tusikufuru

  • @professorwangwande1752
    @professorwangwande1752 6 หลายเดือนก่อน

    Silaha acha ubabaishaji ondoka utatapika mihela yatibaijukwa mama ondoa huyo hatoshi silaha analipa fadhila Kwa timaijukwa mama wazamboga

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyo mama anaeita 10m hela ya mboga ndie anaetetemesha hivi?,. Waziri si ukague vituo vingi hapa dar uone maajanu

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 6 หลายเดือนก่อน

    Kwani sheli hii inauza sumu mbona issue inakuwa michongo michongo mala milion 300 mnanichanganya hapo.

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 6 หลายเดือนก่อน

    Wote hao wamekula rushwa woooote hao

  • @binseif2216
    @binseif2216 6 หลายเดือนก่อน

    Nashauri hicho kituo kiachwe sabb mpka kafkia hapo serikali mlikuwa wapi?

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 4 หลายเดือนก่อน

    FIDA HUSSEIN NI MNYYAMA ANADHULUMU WANYONGE HAKI ZAO.

  • @user-yf4zo1sm5l
    @user-yf4zo1sm5l 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa mawaziri wazarendo wapo. Kumbe

  • @AhmednasirMohamed-le3ht
    @AhmednasirMohamed-le3ht 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona hawataki maendeleo ya kampuni za ndani? Na sioni tatizo la kituo hicho NARUDIA HAKUNA KITUO MIJINI AMBACHO HAKIKO KARIBU NA MAKAZI

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 6 หลายเดือนก่อน

      Subiri mpaka mtu akujengee Gesti au club karibu na nyumba yako ndo utajua kuna umuhimu WA mipango miji.

  • @Pharadge
    @Pharadge 6 หลายเดือนก่อน

    Aje kitambaa cheupe aone sheli mpyaaa

  • @AhmednasirMohamed-le3ht
    @AhmednasirMohamed-le3ht 6 หลายเดือนก่อน

    WARIBA FAMILY WATAKA ENEO

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 6 หลายเดือนก่อน

    Na wote wanaojiingiza kusema uongo WaATAUMBUKA TUU

  • @bwerumaster6691
    @bwerumaster6691 6 หลายเดือนก่อน

    dadeki

  • @paulchando7158
    @paulchando7158 6 หลายเดือนก่อน

    WOTE WAMEKULA RUSHWA PAMOJA NA BOSS WAO MBWA KABISA HAPO WANAJIFANYA NA MADOCUMENT YAO YA KUTENGENEZA

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 หลายเดือนก่อน

    Shida ni kuweka nyaraka kuwa ni siri weka mtandaoni itaondoa rushwa

  • @yusuphmpenja3288
    @yusuphmpenja3288 4 หลายเดือนก่อน

    Vita ya matajiri

  • @damianmwalyego7870
    @damianmwalyego7870 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo shida ni mifumo ya uongozi haijakaa sawa
    . Kila mtu anafanya mamb anavotaka

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 6 หลายเดือนก่อน

      The system is bleed over Curruption

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h หลายเดือนก่อน

    Wanaleta file..... barua nyingine zimenyofolewa? Kwa nini waseme barua nyingine zimesahaulika? Kituo cha mafuta kina haraka gani? Vituo viko kibao!

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 6 หลายเดือนก่อน

    Matajiri wamewaweka watendaji mfukoni inasikitisha sana. Hivi vituo vinajengwa kila mahali ninacho jiuliza watu wa usalama imekaaje? Hivi watu wetu wa usalama huwa wanaangia vita vinavyo endelea kwenye nchi nyingine? Ikitokea vita hivi vituo vinavyo jengwa kila mahali vikilipuliwa nani atapona?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 หลายเดือนก่อน

    Hao walihongwa mamilioni😢

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 6 หลายเดือนก่อน

    Tunataka tuelewe uwepo wa hiyo Petrol Station katika hilo eneo lina tatiza kitu gani hasa kwa wakazi wa hilo eneo!? Tuache roho mbaya na biashara za watu.

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kama huelewi vitu, kaa kimya

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 6 หลายเดือนก่อน

    Hataukisema ukalime nako tumbili wanakula mahindi mchana fika

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 4 หลายเดือนก่อน

    Wakamatwe wanaonea wanyonge na mali zao

  • @nurunewz103
    @nurunewz103 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Slaa sijuhi hatakwanini alipewa uwaziri.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 6 หลายเดือนก่อน

    Kila mahali wanachi hata kama wanakosea basi wanajiona wao ndo wenye hakki tuuuu

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 6 หลายเดือนก่อน

      Ni sawa mtu Kujenga Gesti pembeni ya nyumba yako

  • @user-zx4zr3hc7y
    @user-zx4zr3hc7y 6 หลายเดือนก่อน

    Mh huyo mwenyekiti wa mtaa haujamwambia kuhusu Kutoka 23:8