Lissu atowa hotuba ya mwaka Zanzibar, asema CHADEMA inamuunga mkono Maalim Seif

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2020
  • Mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amehutubia wakaazi wa Mjini Unguja akizungumzia masuala muhimu sana kuhusu ushirikiano wa vyama na hadhi ya Zanzibar kwenye Muungano wa Tanzania. Msikilize hapa.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 858

  • @azavelilwaitama1975
    @azavelilwaitama1975 3 ปีที่แล้ว +14

    Ujasiri wa harli ya juu na kuwa mkweli bila woga wala upedeleo kwa kwango cha juu sana kuyasemahaya mbele ya hadhara iliyosheni wanachama wa CHADEMA Zanzibar. Huyu ni mwanasiasa mwaadilifu kwelikweli . Ubarikiwe sana mwanangu Tundu Lissu

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว

      Wenzake wamemdharau wanamwacha aropoke atachoka

    • @geofbeka1669
      @geofbeka1669 3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe pia Dr Lwaitama

  • @eliatoshamapande6720
    @eliatoshamapande6720 3 ปีที่แล้ว +57

    Kamandaaa Lissu anamkubali mnooo Maalim Seif Sharif Hammad

  • @shabanadam4476
    @shabanadam4476 3 ปีที่แล้ว +53

    Tundu wewe genius

  • @buildtekconsultants9687
    @buildtekconsultants9687 3 ปีที่แล้ว +44

    Martin Luther King, Bob Marley, Rev. Alsharpton, Patrice Lumumba, Nelson Mandella, Louis Farrakhan, Tundu Antipas Lissu, Steve Biko, Dedan Kimathi, Marcus Garvey. My Top ten

    • @deusdedithkitaly8337
      @deusdedithkitaly8337 3 ปีที่แล้ว

      Jesus Christ,izack Newton,Galileo galilai,Albert esteen, Muhammad, Aristotle,St Augustine,..,......... Genius person's

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว +3

      Please do not insult the people you mentioned here. Tundu Lissu is a traitor you can not compare this traitor with people like Mandela and others .

    • @fahadfaraj1822
      @fahadfaraj1822 3 ปีที่แล้ว

      Dah u have very little knowledge on the names u mentioned comparing to lissu

    • @wilfredmlaki822
      @wilfredmlaki822 3 ปีที่แล้ว

      Mhuni tu huyo

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

  • @abdullahalkindi9374
    @abdullahalkindi9374 3 ปีที่แล้ว +71

    Mashaallah amazing leader , May Allah protect you
    Lissu you deserve to be the president of Republican of Tanzania

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว +57

    Nimekimbia yumbani zanzibar toka 2000.mpakasasa naishi kamamkibizi wa kisiasa lissu good jobs speaking up

    • @abdallahhassani6377
      @abdallahhassani6377 3 ปีที่แล้ว +3

      Innshallah bi inzni laaa marahii utarud nyumban kaka,

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว +1

      @@abdallahhassani6377 👍

    • @mamafaiza2651
      @mamafaiza2651 3 ปีที่แล้ว +4

      Duh kwakweli ndugu zetu wengi wamekuwa watumwa nchin mwa watu
      Inshallah mwaka huu mtarudi nyumban

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว +6

      @@mamafaiza2651 nimefurahi.sana nduguzagu wa zanzibar msimamo wetu dio uleule mungu atusaidie nautu.wetu wa zanzibar salam zagu kutoka USA marekani front for freedom everyone be safe

    • @chescomolla5557
      @chescomolla5557 3 ปีที่แล้ว +1

      Kaka pole Sana nyumba kumenoga mkombozi amepatika muombee kwa Mungu siku so nyingi nawe yutarejea nyuma. Haki huinua taifa.

  • @ninikudankan7871
    @ninikudankan7871 3 ปีที่แล้ว +50

    Kila la kheri Tundu Lissu Mungu yu pamoja nawe

    • @jasminegabriel4247
      @jasminegabriel4247 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani mimi naomba tume elewe lissu hivi kweli tuna shidwa kubadili mboga miaka yote maharagetu jamani tutamani hata kula nyama 2020 iko juu yetu

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 3 ปีที่แล้ว

      Zanzibar wenyewe wabara hatujielewi tu, ukiingia kwenye koo utakuta wengi twatokea huko , na tushaoana tushaa zaa alimradi baaaaa , jamaa yatoshaa Tenaaaa . Mchezo ni mchafu huo. Kama huongopi jeshi Nda pekeoooo usitaketluulisha kamakushapigwa weye risasi tukachezee na siye hatwebu Babu Nda pekeo.

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      @@mamyomar1241 wacha akili finyu hiyo . Km kashapogwa risasi maanake nini? Sasa km umeoa umezaa ndio tuwaachite watufanye mkoa? Unawalakin naona sio bure

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

    • @rodgersmmary2263
      @rodgersmmary2263 3 ปีที่แล้ว

      Jembeeee

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 ปีที่แล้ว +50

    Hongera baba lisu

    • @faustinepeter3139
      @faustinepeter3139 3 ปีที่แล้ว +4

      Umemuelewa jamaa alivyo mkweli kabisa Zanzibar inataealiwa na Tanganyika

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 3 ปีที่แล้ว +4

      @@faustinepeter3139 Hakika

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

  • @ewaldmbuya7718
    @ewaldmbuya7718 3 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyezi Mungu azidi kukubariki Tundu lissu

  • @jamilalodhi9329
    @jamilalodhi9329 3 ปีที่แล้ว +13

    Mungu akubariki, afya njema na uwezo wa kuleta haki

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 3 ปีที่แล้ว +61

    Mungu akupe uzima lisu nchi nzima wanakuombea

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 3 ปีที่แล้ว +48

    Katika miaka 100 mtu Kama LISU huwa ANAZALIWA mmj tu🙌

  • @maikosaga3632
    @maikosaga3632 3 ปีที่แล้ว +87

    Kama kuna kiongozi wa siasa ninaye mkubali kutoka Tanganyika basi ni wewe lissu

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa

    • @antonkomba4025
      @antonkomba4025 3 ปีที่แล้ว

      Fact

    • @kobelochamanga9757
      @kobelochamanga9757 3 ปีที่แล้ว

      Na marehemu mtikila

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

    • @tecnotecno5078
      @tecnotecno5078 3 ปีที่แล้ว +1

      hakuna kitu amepandwa na mabbru kuja kuvuruga aman hapa hatukubalian nayo. nyie wajinga mtakoma wakati yakiwafika makuu. hakuwepo wakat wasisi wanafanya makubaliano muongo huyo

  • @shawnmichaels1893
    @shawnmichaels1893 3 ปีที่แล้ว +35

    Huyu jamaa kweli mpango wa Mungu

  • @ommyyoutube6117
    @ommyyoutube6117 3 ปีที่แล้ว +46

    LISSU LISSU LISSU LISSU LISSU LISSU LISSU CHUMA LISSU CHUMA LISSU CHUMA LISSU CHUMA

  • @heldercelestino6621
    @heldercelestino6621 3 ปีที่แล้ว +49

    We umebarikiwa tupe baraka zako

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว

      Baraka za mabeberu was ulaya waliomtuma atashindwa pesa za mabeberu utazirudishaje

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/dGIWWMhfo7St8SnyPtXf9Q.html

    • @floraluaga1795
      @floraluaga1795 3 ปีที่แล้ว

      @@estermpagama9664 zitachangw na watanzania waliomchangia kwenye matibabu!! Mlipokataa kumtibu mlidhani atakufa? Mungu siyo mshamba kama mnavyodhan mlidhan atakuf!! Mungu atabaki kuwa Mungu na ataendelea kuish mpak Sir God atapoamua maana Mungu aliwaaibish wapumbavu waliomuwazia vibay Lissu Mungu alimuwazia mema!! Ndo maan yuko hai kwa nguvu za Sir God upo

  • @imamuahmadi3252
    @imamuahmadi3252 3 ปีที่แล้ว +33

    Na spika mbov za wana kijiji ila fundi wao anakuja soon kutoka ubelgiji ,, kama mmemuona fundi like

  • @punguzauzitofurahiamaisha
    @punguzauzitofurahiamaisha 3 ปีที่แล้ว +28

    Hotuba Imesimama Vizuri Inaeleweka. Hongera Sana Mh. Lissu. Nimepata Ufahamu Wa Kutosha Kuhusu Muungano

    • @asharamadan3254
      @asharamadan3254 3 ปีที่แล้ว +1

      Kujitawala inategemeya Zanzibar kuna unguja na upemba OK tukajitawala itakuja ukabila lisu hayajuwi yote mfano Sudan kusini kabla ya kujitawala walikuwa wamoja baada ya kujitawala wakaanza kugombaniya madaraka na ukabila juu ambapo Zanzibar upo upemba na uunguja leo sudani kusin nchi ipo tafrani hilo linajulikana kama miye babu yangu muunguja anasema mkiowa mcije mkanileteya mpemba kwa hiyo msishabikie vitu ambavyo baadaye tutajuta

    • @asharamadan3254
      @asharamadan3254 3 ปีที่แล้ว +1

      Kuna wakati mwalimu Nyerere alisema wanajiita wazanzibar kwa sababu ya muungano nje ya muungano kuna upemba na uunguja

    • @asharamadan3254
      @asharamadan3254 3 ปีที่แล้ว

      Huyu lisu katumwa kuja kuivuruga nchi kwa uwezo WA mungu hatafanikiwa shetani mkubwa

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 3 ปีที่แล้ว +1

      Asha Ramadan kwani tatizo liko wapi?

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 3 ปีที่แล้ว

      Asha Ramadan shetani mumeo

  • @fikirigesen1655
    @fikirigesen1655 3 ปีที่แล้ว +39

    This man is genius

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

  • @jasminegabriel4247
    @jasminegabriel4247 3 ปีที่แล้ว +9

    Duh bondela point hingera lissu mungu aku bariki sana

  • @browneusebius76
    @browneusebius76 3 ปีที่แล้ว +26

    Tundu Antipasi Lissu Genius

  • @payekakibou7016
    @payekakibou7016 3 ปีที่แล้ว +15

    Speach bora kabisa!!!

  • @salahkassim9729
    @salahkassim9729 3 ปีที่แล้ว +17

    Hayo yooote uliyaongea kuhusiana na znz hakika ni kweli hakuna pingamizi juu ya wazanzibari wenyewe kuumia ni wazanzibari halisi na sio wazanzibari wakaazi... wazanzibari nadhan ni fursa yao kwa sasa kufanya maamuzi kwa manufaa ya znz..

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 3 ปีที่แล้ว +46

    Hata seif anaogopa kusema haya
    Huyu ndio mwana siasa

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว

      Akisema sef nishida

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanatafuta Sababu ili wakamatwe wapate cha kusema ila October 28 2020 tutajua mbivu na mbichi

  • @elishadamas2247
    @elishadamas2247 3 ปีที่แล้ว +19

    Tundu Lissu ndiye raisi wetu 2020-2025-2030 kwa namna yeyote ile. Chadema juuuuuuu sanaaaaa!

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa

    • @simonmagaigwa6634
      @simonmagaigwa6634 3 ปีที่แล้ว

      Nchi ipi?

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว +1

      Tz

    • @elishadamas2247
      @elishadamas2247 3 ปีที่แล้ว +1

      @@simonmagaigwa6634 jamuhuri ya muungano wa Tanzania macho yako na masikio yako yatalidhibitisha hilo October.

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 3 ปีที่แล้ว

      @@elishadamas2247 tuweke ahadi ili tusijue kuanza kusema mimi nilikuwa muunga mkono fulani kumbe sio tar 20-10-2020 John Joseph pombe magufuri ndie atakae shinda uchaguzi akianza na kura yangu

  • @derickthobias6393
    @derickthobias6393 3 ปีที่แล้ว +24

    #Niyeye lissu 2020

  • @justiceshelukindo
    @justiceshelukindo 3 ปีที่แล้ว +39

    Hotuba bora

  • @halley807
    @halley807 3 ปีที่แล้ว +10

    Exceptional leadership skills. Hongera.

    • @fahadfaraj1822
      @fahadfaraj1822 3 ปีที่แล้ว

      Lack of knowledge n highest level of leluctance would always make Africans muwe washangiliaji wa hoja na kuwapa kila majina bila kutafakari

    • @halley807
      @halley807 3 ปีที่แล้ว

      Leluctance is not an english word. We tafakari hayo😂😂. Funny how you feel like your opinion as an 'african' is the right one. Lol. Everyone is entitled to one. He is exceptional deal with it.

  • @mwalimameir4305
    @mwalimameir4305 3 ปีที่แล้ว +30

    Wenye akili wote watakupa kura wasio na akili kura zao zote watazipoteza.

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa

    • @paulmbegu9812
      @paulmbegu9812 3 ปีที่แล้ว +1

      walio na akili timamu hawawezi kumuunga lisu mkono

    • @paulmbegu9812
      @paulmbegu9812 3 ปีที่แล้ว

      lisu anayafanya hayo hali akijua nini madhara yake lisu ameshaona ameshashindwa kuwa rais bara kwa kuwa hana hadhi ya kushindana na magufuli ko wazanzibar muwe makini sana

    • @africamynation848
      @africamynation848 3 ปีที่แล้ว

      Huyu Lissu sio mwema.....mbona hasemi umuhimu wa muungano??? Hili ni jambo la kihuni sijapata kuona.... udongo ulichanganywa ukawekwa baharini.... huwezi vunja muungano wewe....

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว +1

      Wa zanzibar hatutaki mungano uvunjike tusha owana na tusha zaa ila tuna taka mungano wenye micngi ya kila mmoja kuwa na uwa muz kwakile kiccho cha mungano na vilivo vya mungano vikwe waz

  • @user-qe9ot4kl9u
    @user-qe9ot4kl9u 3 ปีที่แล้ว +32

    "Mimi huwa sipendi sana muziki nikiwa nazungumza tafadhali"

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว +2

      Ana stress kichwani anatoa ya moyoni anaona anachelewa msikilizeni kichwa hicho hakuna kitu mtatambua akishawapoteza muulizeni kijijini kwake wilaya yake mkoa kafanya nini? Polojo kibao

    • @user-qe9ot4kl9u
      @user-qe9ot4kl9u 3 ปีที่แล้ว +1

      @@estermpagama9664 "Mimi sipendi sana muziki nikiwa nazungumza tafadhali" 🤣

    • @jumannekigori2667
      @jumannekigori2667 3 ปีที่แล้ว +1

      @@estermpagama9664 huyu ni mtu wa taifa zima sio nazareti pekee

    • @kingtheswaggerdon
      @kingtheswaggerdon 3 ปีที่แล้ว +1

      @@estermpagama9664 Elimu Elimu Elimu......ndo unachokosa kichwani dada Ester.

    • @nyansoalmas1678
      @nyansoalmas1678 3 ปีที่แล้ว +1

      Ester Mpagama sasa na ww unatwmbia nn

  • @allyathumani1632
    @allyathumani1632 3 ปีที่แล้ว +18

    Hii kweli ni hotuba ya mwaka

    • @bakarihosein8234
      @bakarihosein8234 3 ปีที่แล้ว

      alicho kisema lisu so kigeni muda mrefu sefu alikizungumza

  • @selemanimasoud3333
    @selemanimasoud3333 3 ปีที่แล้ว +12

    Mhe. Lissu ni raisi wa watu wote sio mdini, mkabila wala sio mbaguzi wa rangi

  • @iliasaliogopen6505
    @iliasaliogopen6505 3 ปีที่แล้ว +21

    Mzee tunakuelewa28√

  • @chescomolla5557
    @chescomolla5557 3 ปีที่แล้ว +14

    Aisee mzee Antipas Lisuuuuuu alizaa mwanaume wa shoka na hapa tz ilipofikia tunapaswa kusauhau msamiati wa woga Hawa wehu lazima mwisho wao tuuone. Shenzi taip.

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa

    • @eliamanimollel9009
      @eliamanimollel9009 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanawake wengine huwa wanajifungua ila mama yake Lisu alizaa jamani. Mungu kumponya ana makusudi yake.

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 3 ปีที่แล้ว

      Pipoziiiii

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว +29

    Ndio maana walitaka kukuua wew ni kidume

  • @deusimtewele2301
    @deusimtewele2301 3 ปีที่แล้ว +68

    Kweli huyu Tundulisu anajua kupangilia pointi na Kama ingekuwa Kula zipigwe hapohapo anapita kwa kishindo

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa

    • @shaluaemmanuel3683
      @shaluaemmanuel3683 3 ปีที่แล้ว +2

      Ataonekana anapangila hoja kwa mbumbumbu ila kwa waeleo huyu ni mbumbumbu

    • @shaluaemmanuel3683
      @shaluaemmanuel3683 3 ปีที่แล้ว

      @Salma Sebastian nikujuze tu kitu kimoja kuwa hakuna ukweli thabiti kwenye siasa bali huwa ni kujitahidi kugeuza jambo lolote hata lisilo na tija kwenye siasa ili liweze kukisaidia chama kushika dola.
      Usije ukachukulia siasa kuwa ndiyo ukweli thabiti ndg maana utajikuta unazubaa.

    • @shaluaemmanuel3683
      @shaluaemmanuel3683 3 ปีที่แล้ว

      Pili @Salma Sebastian hakuna ajenda ya msingi hapo ya kukufanya watu wakuchague kwa kuwaambia vitu ambavyo havina maslahi yoyote kwao bali unapaswa kutumia muda wako mwingi kuwaambia kuwa utawapatia nini. Maana hiyo ndy ajenga.
      Tatu, tambua kuwa ww ni mtanzania na moja kati ya sababu kuu ya kutoigawa Tanzania ni pamoja na suala la ulinzi wa nchi hii kwani hakuna kikubwa ambacho bara inakin'wng'ania zaidi ya kuangalia ulinzi wa nchi kqtika eneo ambalo ni hatarishi kwa taifa.
      Ila wasiojua hili ndiyo wanaoshabikia upuuzi wa kuhatarisha usalama wa nchi kwa maslahi wa watu wachache wasiofikiri hata maisha ya watu wengine kwasababu wao wanaweza kupanda ndege na kuishia wajuako kikinuka.
      Poleni sana msioelewa hilo kwa kushabikia msichokijua

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salmasebastian1340 ukweli uko wapi hapo? Sisi ni ndugu mbona anatangaza utengano?

  • @yusuphntegakaje5667
    @yusuphntegakaje5667 3 ปีที่แล้ว +17

    Nimechelewa kuangalia hii clip lakini sijachelewa kusikia nilichokuwa nakiota kila siku,Binafsi naweza nikawa mdogo sana kisiasa ila Napenda Kuwahakikishia wananchi wa Zanzibar na Tanzania kuwa SIKU VYAMA VYA UPINZANI VIKITULIA NA KUAMUA KUWA NA NGUVU MOJA NA KUAMUA KUSIMAMISHA WAGOMBEA WAO kwa umoja wao WALLAH nakuhakikishieni neno CCM litapotea kinywani mwa sisi VIZAZI VIPYA tunaohitaji TANZANIA na ZANZIBAR inatoka katika mikono ya UMILIKI BINAFSI wa CCM🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @johnsinyinza1829
      @johnsinyinza1829 3 ปีที่แล้ว

      Toweni hoja .kwanini Luna vyama vingi tusiwe na chama kimoja. Rais nyerere alikataa vyama vingi. Benki ya dunia ikasitisha mikopo tulifunga mikanda miezi 18 fumbo hilo akatatuwa mwinyi. Vyama vya siasa nishinikizo lakimatifa kuwe na vyama

    • @johnsinyinza1829
      @johnsinyinza1829 3 ปีที่แล้ว

      Mataifa yote ya kiafrika lazima waabudu vyama vingi tubaki na kimoja muone kitakacho tokea muishawishi serikari tubaki

  • @mikaleo7940
    @mikaleo7940 3 ปีที่แล้ว +15

    Ni yeye 2020

  • @faustinepeter3139
    @faustinepeter3139 3 ปีที่แล้ว +50

    Uwa nakukubali kufafanua muungano hata ccm baadhi wanakuelewa

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 ปีที่แล้ว +59

    Lisu nakuombea kwa ALLAH uwe muislamu nitakupatia ndugu yangu bure

    • @gastordominic410
      @gastordominic410 3 ปีที่แล้ว

      Ahahaha

    • @othmanhaji1832
      @othmanhaji1832 3 ปีที่แล้ว +1

      Kuwa Muislamu ni jambo la msingi sana na muhimu

    • @israelhekima6382
      @israelhekima6382 3 ปีที่แล้ว

      @@othmanhaji1832 acha udini

    • @yusuphntegakaje5667
      @yusuphntegakaje5667 3 ปีที่แล้ว +2

      Hakika upande uliopo ni SAHIHI,tunahitaji mtu mkweli,mdadisi,mjuzi na shabab kuelekea ukombozi wetu

    • @andrewtamba6671
      @andrewtamba6671 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimeipenda sana hii✌

  • @samwelmichael3531
    @samwelmichael3531 3 ปีที่แล้ว +6

    Speech nzuri xana by great leader TL

  • @masala8099
    @masala8099 3 ปีที่แล้ว +15

    Raisi wakweli hapendi Sana mziki Yule mwenzake mpaka anacheza daa😃😃

  • @adammkimbo9956
    @adammkimbo9956 3 ปีที่แล้ว +10

    ukiijuwa kweli nawe utakuwa huru kweli kweli tundu lisu anaijuwa kweli nayo kweli imemuweka huru kwahiyo watanzania tuna muombea kwa Mungu ampe ulinzi na ushindi wa kimbunga na sunami

  • @suleimanabdul-karim1212
    @suleimanabdul-karim1212 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks very much muweheshimwa Lissu Tunakushukur sana Wazazibar CCM basi tena tumechoka na mateso yao kama noma naiwe noma Allah atupe wepesi

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 3 ปีที่แล้ว +13

    Tunakuombea kwa Allah akustiri na akuongoze na kila mwenye shari zimrejee mwenyewe. Lissu tunakupenda sana wazanzibari.

  • @faustinepeter3139
    @faustinepeter3139 3 ปีที่แล้ว +39

    Nikweli tena safali hii wazanzibar mmedharauliwa sana mmeletewa mtanganyika ni aibu

    • @ramadhanissa1123
      @ramadhanissa1123 3 ปีที่แล้ว +1

      Nakukubali sana jinsi ulivyokua na msimamo usiokua wakinafki..

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +1

      Si wamemleta kuimaliza Znz. Kuna mambo Shein alikataa kusign ndio kaletwa yete aweke sign lakini mara hiiAli hassan ataisoma number km hawajui waZnzatawajua mara hii

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      Mzalendo chungulia link th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      Mzalendo chungulia link th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว

      Msidanganye watu kwa kauri za uwongo mchana kweupe muwe na aibu mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 3 ปีที่แล้ว +10

    Jamaa anajua kujipanga sana

  • @polepolemgentz5784
    @polepolemgentz5784 3 ปีที่แล้ว +5

    Watu kama hawa huletwa na mungu kujakutetea wanyonge jaman Lisuuuuu mungu akusimamie katika vitahihi mungu atakua pamojanawe utashinda

  • @derickthobias6393
    @derickthobias6393 3 ปีที่แล้ว +12

    #Niyeye tundu lissu 2020

  • @neemamsovu4056
    @neemamsovu4056 3 ปีที่แล้ว +5

    This is GOOD Reader

  • @yasinishekallahakusaidi8766
    @yasinishekallahakusaidi8766 3 ปีที่แล้ว +38

    Point tupu mh lissu ni wewe

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 3 ปีที่แล้ว +36

    Hiyo ni mifano hai kabisa lakini Kuna vibaraka kutoka Tanganyika wamepandikizwa chuki ili waikandamize zanzibar

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa

    • @simonmagaigwa6634
      @simonmagaigwa6634 3 ปีที่แล้ว

      Nani anawakandamiza? Fanyeni kazi acheni mawazo ya kudhani kuwa mnakuwa masikini kwa sababu ya muungano.

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      @@simonmagaigwa6634 wapo wanatukandamiza , Ajira kwa ubaguzi kila kitu mZnz anabaguliwa . Mwaka huu tunataka nchi yetu liwalo na liwe

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      Mzalendo pitia link tafadhali th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 3 ปีที่แล้ว

      @@kiri5807 ukisema ho leo ipo siku utakuja kijutia,wewe ni mfano wa mtu anaekatazwa na walinzi kuingia Mbuga za wanyama wakali anaanza kulalamika nakuwatukana MI nawaona swala na pundamilia ntaliweje,baadae kaingia kwa lazima mwisho wa siku anatokea chui au simba anatolewa mikono na miguu halafu anatolewa akiwa Hana mikona na miguu,Kuna wanasiasa Zanzibar na Bara ni kama wanyama wakali wanasubiri walinzi waje kutumaliza, tuangalie sana

  • @jacobmigera2626
    @jacobmigera2626 3 ปีที่แล้ว +25

    Membe akupishe mapema ili upangwe mpango wa ushindi;

  • @nyokaapasco2428
    @nyokaapasco2428 3 ปีที่แล้ว +7

    Lissu anavoongea ni Kama mwalim nyelele

  • @hamzakiria5322
    @hamzakiria5322 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana upo vizuri kamanda.

  • @masala8099
    @masala8099 3 ปีที่แล้ว +13

    Lissu 2020 uhakika

  • @victormneney8789
    @victormneney8789 3 ปีที่แล้ว +26

    Zanzibar wakijitawala watapata maendeleo makubwa sana kuliko Bara wanaishi kama wafungwa ndani ya nchi yao huru

    • @shomarykhamis9711
      @shomarykhamis9711 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwa kweli tundulisu mungu akulinde sana endlea kupigania haki,

    • @shomarykhamis9711
      @shomarykhamis9711 3 ปีที่แล้ว +1

      @@rashidseif6095 umesema kweli bro,huyu lisu kwa kweli ambae hamuelewi amepungukiwa ubongo,

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว

      @victor ...znz wana nini??

    • @TAASISI
      @TAASISI 3 ปีที่แล้ว

      Zanzibar haiwezi kujitegemea ikijitoa kwenye muungano itavamiwa mapema Sana

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 3 ปีที่แล้ว +40

    kuna watu haya wanajifanya hawayajui wala hawayaoni hawa ccm waliokuepo zanzibar nimaiti kuna vituko vingi tu nayoyote yule hata awe ccm anayetaka kusema habari za muungano basi cha moto anakiona mifano ikowazi yuko wapi JAKU yuko wapi RAZA yuko wapi SAADA MKUYA yukowapi MANSOUR wapo wengi tu sasa maneno ni hayo kazi kwetu wazanzibar

    • @saidisimba7982
      @saidisimba7982 3 ปีที่แล้ว

      Wewe sema utafanya nn sio ulifanywa nn

    • @yussufhussein1954
      @yussufhussein1954 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaa maiti tena mizombi😂

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 3 ปีที่แล้ว

      Mtatukanana Sana kila mmoja atamwita mwenziwe mjinga , lakini mkitizama siasa niungo ulikomaaaaa. Mchezo mchafu.

    • @yussufhussein1954
      @yussufhussein1954 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa

  • @mussamshana3915
    @mussamshana3915 3 ปีที่แล้ว +10

    Genious

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 3 ปีที่แล้ว +47

    Mimi ni mwanaume Ila lisu kidume

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 ปีที่แล้ว +17

    Tatizo wakesha mtangaza hy mgombea wao ndio itakuwa ishatoka hio

  • @omarshamte8506
    @omarshamte8506 3 ปีที่แล้ว +5

    Nyinyi munaodharau maneno ya lissu nichuki binafsi nakutojielewa ila kweli wazanzibari hatuna uhuru nanchi yetu nyinyi ungeni endeleeni kuwaunga mkono hao ccm wale waislamu wenzetu wazidi kuteseka kwaajili yasiasa

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndiye Raila Odinga wa Tanzania🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍🏾👍🏾

  • @everinamsambia5454
    @everinamsambia5454 3 ปีที่แล้ว +7

    Sawa kabisa

  • @zachariahexegesists7892
    @zachariahexegesists7892 3 ปีที่แล้ว +5

    LISSU NAKUPENDA NAKUELEWA SANA

  • @OmarHassan-zy2vk
    @OmarHassan-zy2vk 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali muheshimiwa lisu

  • @kalobetvonline3716
    @kalobetvonline3716 3 ปีที่แล้ว +1

    Lisu ndiye rais wangu ndiye rais wawatanzania 💪💪💪💯✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 3 ปีที่แล้ว +24

    Mimi huwa cpendi muziki nikiwa naongea Tafadhali haaaa haaaaaaaaaaaaaaa

    • @ruxtone
      @ruxtone 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂🔥🔥🔥

    • @kadylucas9378
      @kadylucas9378 3 ปีที่แล้ว +2

      Na mm nmeisoma hiyoo

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      Mzalendo twende th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      Mzalendo twenzetu th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

  • @mariamdumi7629
    @mariamdumi7629 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa sana lisu wetu tunakuombea sana Mungu alie kuponya atakutetea✌✌

  • @jumannekigori8833
    @jumannekigori8833 3 ปีที่แล้ว +6

    Hoja ya zanzibar ni nzito mno mwili wote unatetemeka oktoba 28 naomba iamue sihitaji kuongeza neno nimetekewa!

  • @tawfiqissa6123
    @tawfiqissa6123 3 ปีที่แล้ว +12

    Hakuna kama LISU tz

  • @maikoyisega4388
    @maikoyisega4388 3 ปีที่แล้ว +29

    Lisu unasubiliwa tuu kuapishwa.

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว

      Hahaa nakucheka kwa dharau

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 3 ปีที่แล้ว

      @MAIKO YISEGA ACHA KUJIDANGANYA NA MHEMKO WAKO ALOKWAMBIA NANI KWAMBA LISU ANAKUBALIKA NA KILA MTU?

    • @wekreyreonard2693
      @wekreyreonard2693 3 ปีที่แล้ว

      Atahapishwa na mama yako

  • @bajarali3367
    @bajarali3367 3 ปีที่แล้ว +1

    Honger boss lisu

  • @jacobmigera2626
    @jacobmigera2626 3 ปีที่แล้ว +4

    Upo sahihi 100%

  • @haidarali6839
    @haidarali6839 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyu jamaa ni kiongozi wa watu kweli hana unafik Mungu akulindieni watanzania

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 ปีที่แล้ว +17

    Tumechoka tumechoka

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 3 ปีที่แล้ว +2

    Iko ck wataitema 2 inshaallah

  • @rashidkashumba6858
    @rashidkashumba6858 3 ปีที่แล้ว +4

    Mkuu anapiga sehem muhim tu ambao atujajutia mb zetu tujuane apa

  • @modestmasuba4155
    @modestmasuba4155 3 ปีที่แล้ว +11

    Wasio kuelewa wakapimwe akili

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว

      Mchukueni huko Zanzibar awawashie moto hadi ulaya

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 3 ปีที่แล้ว +19

    Minilikuwa namtafuta nani ataweza kuweka wazi tokeya 1995 tuu huko nyuma wala nilikuwa sisubiri nalijuwa leyo kidoogo umesema maana 1995 nilisimamiya kituoni tume shinda redio SMZ tume shindwa

    • @abdallahhassani6377
      @abdallahhassani6377 3 ปีที่แล้ว +4

      Innshallah mungu atawaziba kauli marahii hao

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 3 ปีที่แล้ว +1

      @@abdallahhassani6377 in shaa allah

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      Mzalendo usiache kufuata link th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

    • @smartboy-cd3qn
      @smartboy-cd3qn 3 ปีที่แล้ว

      Wajinga hawawez kumuelewa Lissu Vita vitaa show show mpk ikulu

  • @zephaniajohn8282
    @zephaniajohn8282 3 ปีที่แล้ว +7

    NI YEYEEEE

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 3 ปีที่แล้ว +11

    Toeni comments zenye uchambuzi na tumieni akili zenu vizuri ili kila asomaye ulichoondika apate faida acha kuandika unavyojisikia Watanzania TUELEVUKE kwa ajiri ya vizazi vijavyo

  • @amalakh1990
    @amalakh1990 3 ปีที่แล้ว +1

    walipiga risasi mwili wakasahau ubongo na moyo .. na roho ikakataa kutoka . ameteuliwa na mungu .

  • @officialseif1085
    @officialseif1085 3 ปีที่แล้ว +1

    Be BLESSED LISSU hiyo ndo maana sasa ya muungano wengine wanasoma tu shulen hawaelewi #PEOPLES'_POWER AND NOT POLICES' POWER Tunataka mapinduzi

  • @abdremaneali7818
    @abdremaneali7818 3 ปีที่แล้ว +1

    Lisu lisu lisu. Umetisha

  • @mbarakaiddi8209
    @mbarakaiddi8209 3 ปีที่แล้ว +3

    Lissu nikikusikiliza hadi tumbo linashtuka maana unaongea makubwa

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo7163 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwamba uzuri wa lisu anasimama kwenye ukweli safi sana

  • @wazirimwakyando8023
    @wazirimwakyando8023 3 ปีที่แล้ว +4

    Pamoja kaka

  • @ramadhankheir4793
    @ramadhankheir4793 3 ปีที่แล้ว +3

    Lisu oyeeeee✌✌✌✌

  • @deemarschambou1115
    @deemarschambou1115 3 ปีที่แล้ว

    Ewe Mungu tuwekee huyu MTU hai na utuondolee magufuli . Ametesa sana familia zetu na maisha yetu. Yeye si Mungu. Ametutapeli sn ss imetosha. Lissu + maal seif 100

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 3 ปีที่แล้ว +1

    Lisu kweli ni mteule

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 3 ปีที่แล้ว +11

    HATA NA MIE NAKUOMBEA UWE MUISLAM KWA ALLAH LISU

    • @vladiminlenin8883
      @vladiminlenin8883 3 ปีที่แล้ว +2

      Ubaguzi wa kidini huo

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 ปีที่แล้ว

      Wew dini sio kitu ilikuwepo kuendeleza ukoloni tu kwani kabla ya uislamu watu wa afrika hawakua na dini? Acha hizo wew unataka kurudisha nyuma jutihada dini yyte haiusiki kwani huyo anayeongea angekua mdini angetamka hayo kwenu kwani yeye ananufaika nini mkiwa huru??? Jitambue wacha ujinga huyo mtu kajitoa hata maalim sefu mwenyewe hajawahi ongea mambo mazito km hayo

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 ปีที่แล้ว

      @@vladiminlenin8883
      Uislam ndio dini ya hali mbele ya Mwenyemungu.
      Na uislam kama uislam unamfunza mtu mazuri na kuzidi kumtia imani duniani na maisha ya kesho

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 ปีที่แล้ว

      @@stanslausmteme8455
      Wewe kafir ndio maana upo mbele.
      Sasa sisi waislam tupo nyuma.
      Mie sijakulingania wewe ulielaanika pamoja na wazee wako na kizazi chako.
      Nakiombea kizazi chako kiwe waislam.
      Sasa kama hutobadilika ufe kefir . Ubakie kuwa kafir sikulazimishi kuwa muislam.
      Makafir kama nyie tunawaaja kama kawaida muende mbele mbele🤣🤣🤣🤣

  • @juliuspaul7933
    @juliuspaul7933 3 ปีที่แล้ว +3

    Tundu lisu anatumia Akili kuanga Mambo yake

  • @abbotazimio3870
    @abbotazimio3870 3 ปีที่แล้ว +3

    Sauti ya Umma kwa Wazanzibari na Watanganyika,"Sema kweli daima fitina kwako ni mwiko"!!!

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 3 ปีที่แล้ว +13

    Kwako Mh.Magufuli
    Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya -
    Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___
    1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea.
    2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani.
    Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ?
    Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani?
    3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ?
    4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ?
    Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi?
    5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .?
    kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi.
    Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao?
    Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu.
    6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi?
    7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini?
    8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ?
    9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu?
    10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ?
    Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi.
    11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.?
    Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani?
    12 Mheshimiwa Laisi. Eti kama tunaitaji kuanzisha Kiwanda Tuanzie na CHELEHANI ngapi ?
    Suali la mwisho Muheshimiwa
    13. Wanasema Ulitembea na shemegi yako. Je ! Ulizaa nae ?
    Au ulikuwa ukipita pita juu juu tu?
    KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO.
    BWANA YESU ASIFIWE !
    CCM OYEEE !!!!___

    • @zephaniajohn8282
      @zephaniajohn8282 3 ปีที่แล้ว

      Huna jipya wew.... Ushamba mtupu

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 3 ปีที่แล้ว

      @Amos mosese cjajua haya huyasemayo kama atakusaidia usipojituma ndugu yangu,kama huamini nikiwekee mfano toka magufuri ameingia madarakani kunasehemu umesikia Kuna njaa? Coz n mkweli kwamba sitatoa chakula komaeni kuli a, fanya kazi utapata hela achana na mbwembwe za wanasiasa wasemao serikali inaleta ndege, barabara, meli, Umeme, nimaendeleo ya vitu kuliko mnaendeleo ya watu halafu wao wanaahidi kujenga masoko ya usiku😂😂😂 MI ni fikiri watakuwa Wana gawa fedha kwa wananchi? Kumbe itatakiwa wafanye kazi? Daa

    • @karllawrence165
      @karllawrence165 3 ปีที่แล้ว

      Majibu yake ni kwamba Pesa tunajengea reli, tunjenga bwa LA umeme wakati gesi tunayo, tunanunua ndege mpande, tunaijenga Dodoma, kwanz, kwahiyo nyie komaeni tu hivyohivyo na hii miaka mitano ndio tunamalizia hiyo miradi, hakuna cha dawa Hosp, hakuna cha kuongeza mishahara, kwanza mnataka muongezewe mishara ya nini? Mnataka munenepeane mupata pressure?, hakuna kuongezewa mishara

    • @karllawrence165
      @karllawrence165 3 ปีที่แล้ว

      Maswali yako magumu banaaa, we unaniulizaje maswli mgumu ivi?, we si unipe tu kura yako? Yaani we unauliza ndege bei yake! Si utafute hela na wewe ukapande uende kwenu pangani kwenu?! Kwani hakuna kiwanja?

    • @shaddyclever2974
      @shaddyclever2974 3 ปีที่แล้ว

      @@karllawrence165 hahahah aseee we Jamaa noma

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 ปีที่แล้ว +15

    Hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera ♥️🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️🙏♥️🙏♥️🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏♥️♥️🙏♥️🙏♥️🙏♥️🙏♥️🙏😁🙏😁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏😁🙏♥️🙏🙏♥️🙏♥️🙏😁♥️🙏♥️🙏♥️🙏♥️🙏😁🙏😁♥️🙏😁♥️🙏♥️🙏♥️🙏♥️🙏♥️🙏♥️🙏♥️🙏♥️🙏😁😁♥️

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      Du, th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html

  • @geitaamb4152
    @geitaamb4152 3 ปีที่แล้ว +3

    Duah!!!magufuli Anajuta hapo alipo kwanini hakukuwa kwa point hizi.

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 ปีที่แล้ว +4

    Ukweli unauma, lakini ndio ukweli, haukimbiliki

  • @hadijamnkumbi6407
    @hadijamnkumbi6407 3 ปีที่แล้ว +3

    Lisu kwa historia hii unawaliza wazanzibar moja kwa moja wanaona wameonewa vya kutosha kwa miaka mingi

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      Hilo tunalijua wazi waZnz na muamsho walielimisha vizuri sana ndio maana wakawaeka ndani hadi leo

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว

      Fateni ushabiki wa wasaka ruzuku uwongo karibu na ukweli

    • @zubeirjuma1856
      @zubeirjuma1856 3 ปีที่แล้ว

      Ester up ndo ukweli unaumia au

  • @r-boymnyange3743
    @r-boymnyange3743 3 ปีที่แล้ว +2

    Karibu Zanzibar yetu

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 3 ปีที่แล้ว

      Mzalendo th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html