🅻🅸🆅🅴 SUGU, MSIGWA WAWEKWA MTU KATI SHUHUDIA MDAHALO HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 272

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 4 หลายเดือนก่อน +21

    Tuache makundi ya hivyo ili tushinde uchaguzi wa serikali za mitaa mwako 2024 na uchaguzi mkuu 2025. God Bless Us - CHADEMA

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hapo mmeonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa, ila kiukwel wote mko vizuri, nimependa sana hii.

  • @shinjemsuka1822
    @shinjemsuka1822 4 หลายเดือนก่อน +13

    Sugu ana hoja za kitoto sana, comedians

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kweli ila nimependa mdahalo huu

    • @Fesary
      @Fesary 4 หลายเดือนก่อน +2

      Na ameshibda; Sugu anaongea simple lakini strong

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 3 หลายเดือนก่อน

      Hoja za Kitoto kama??

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 4 หลายเดือนก่อน +6

    Haya ndiyo mawazo huru ninayoyataka yanajenga yanamuamsha kiongozi asibweteke nipo na Sugu

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nilikuwa najua yale ya wamasai yatamfuata Msigwa pole hili litakuangusha trust me bro check your arrogance

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 หลายเดือนก่อน

      Great prediction @karestephen

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waooooh kaka,we ni mtu na nusu sugu.

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 4 หลายเดือนก่อน +6

    Chama kingine kiige hiv Kama wataweza

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mdahalo huu kwa kweli ni meupenda hongera sana

  • @leocadianjau7410
    @leocadianjau7410 4 หลายเดือนก่อน +6

    Natamani hii midahalo ifanyike kwa viongozi wote wa kanda tutapata watu wazuri sana kuinua utawala bora hadi level ya chini kabisa

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 4 หลายเดือนก่อน +2

    Chama kinakuwa sasa zamani chama wanachaguaana tu sasa ivi mtifuano

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli sugu upo vizuri kaka yangu,me nakuaminia,kumbe sugu uliona huyo Mzee anaenda kuindoka,saafi sana sugu

  • @frankSamwel-rg3lz
    @frankSamwel-rg3lz 4 หลายเดือนก่อน +6

    Midahalo kama hii ina stimuleti thinking. Big up chadema na Act wazalendo kwa kuliona hilo

    • @MichaelKibona-p9m
      @MichaelKibona-p9m 4 หลายเดือนก่อน

      Hii ndiyo demokrasia ya kweli, big up chadema❤❤❤❤❤

  • @respiciusmugezi8645
    @respiciusmugezi8645 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi sijui sana siasa lkn ninachokiona kwa Msigwa ni mtu ambaye anajua kujieleza vizuri na kujitetea ya wezekana hiyo ni kalama yake,ila kwa utendaji sio mzuri

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 4 หลายเดือนก่อน

      Uko vzuri

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 3 หลายเดือนก่อน

      Uko Sahihi Msigwa anakipaji Chakujieleza Vizuri sana

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli ndugu msigwa anajua SN kujieleza kujibu hoja lkn UTENDAJI hajui sn pili huwa anajua yy yupo superior than others tatu hajui miiko na mipaka na yake na viongozi wake alinukuliwa akipingana na makamu mwenyekiti hadharani ni kosa lile

  • @ignasmwamwenda3154
    @ignasmwamwenda3154 4 หลายเดือนก่อน +5

    Msigwa, kwenye ngorongoro mmmmh, ulijikwaa

  • @mcongomakete1664
    @mcongomakete1664 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona anajikanusha miaka 10 sio mzaha kama hakuna sampo ya miaka 10 umeshindwa

  • @WaziriJuma-m2p
    @WaziriJuma-m2p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa mjanja mjanja tu hana jipya atulie tu amuache sugu nae

  • @George-r2u
    @George-r2u 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hii debate ni excellent. Wamefanya vinzuri ĝ

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 4 หลายเดือนก่อน

      Ni mapema mno. Lazima uzijue siasa za Africa ndugu yangu. Tusiige wamagharibi kila kitu.

  • @V24hrs
    @V24hrs 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kumbe waliokimbia walikosea sana

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini mmoja asimuachie mwenzake.... Msigwa tayari umetutumikia... Muachie Sugu ndio uzalendo...

  • @wilfredmdemu611
    @wilfredmdemu611 3 หลายเดือนก่อน +1

    Cm nao wafanye mdahalo kama huu tutaona vioja kwa kweli

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 หลายเดือนก่อน

    indigenous • \in-DIJ-uh-nuss\ • adjective. 1 : having originated in and being produced, growing, living, or occurring naturally in a particular region or environment 2 : innate, inborn.May 12, 2024 Msigwa Hapo au hajui au Kapotosha, Indignous Haina Maana ya Suti au Nyumba Ina Maana (Watu wa Asili wa Mahali, Iwe wana Suti au rubega) Wamasai ni Indiginous wa Maeneo hayo.

  • @noeljacob9644
    @noeljacob9644 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ila maswali ya Odemba yamenyoka sana🙌🙌🙌🙌

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mpeni ushindi sugu sugu ameshinda huu mdahalo

  • @komboarts7110
    @komboarts7110 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sugu swala la kilimo umejibu kwa Utulivu wa maono

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 4 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa umeferi kwenye huu mdahalo

  • @LuganoMwakalinga-p3k
    @LuganoMwakalinga-p3k 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie ni maswaiba nawajua na kiukweli mko vizuri maana tunhitaji hoja kamili kama hizi,wote mko vizuri kimawazo tunawatakia heri ktk uchaguzi.

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 หลายเดือนก่อน

      Bonge la hoja, unajitambua

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 หลายเดือนก่อน

    What happened to his Lips, Kwenye Public Speaking Utashangaa Small things zinawaziba watu wasisikie Kitu Unasema Ukiwapa sababu ya Kubaki wanashangaa na kujiuliza Kuhusu Mwonekano.

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 4 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa mdahalo umekushinda yaan hauleeweki

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chief Odemba ni hbar nyingne kwa wanahabar

  • @YaeLondon-xy7sh
    @YaeLondon-xy7sh 4 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa apishe nainatosha kama amejenga chama na mboye

  • @success-only
    @success-only 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kipepeo msigwa mbona anapanic ?
    Kuna wakati msiwa ataisaliti chadema
    Ulishabikia na kuungana na ccm kuwafukuza wamasai ngorongoro

    • @SteveKuchaka
      @SteveKuchaka 4 หลายเดือนก่อน

      Chill bro msigwa

    • @LuciaAgustino-pt5mg
      @LuciaAgustino-pt5mg 3 หลายเดือนก่อน

      Musikwazane wote moo vizuri kisiasa katika taifa letu

  • @AronsMugisha55
    @AronsMugisha55 4 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema mmekuwa mfano mfano mzr one mnavyofanya mdahalo live ili kumpata kiongozi bila mizengwe aise hii ni demokrasia ya hali ya juu sn. Safi sana vyama vingine viige mchakato huu wa kupata viongozi

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wana ccm tuingie tujifunze Chadema mambo mema si vibaya kuviiga.

  • @PaulRPaul-z1q
    @PaulRPaul-z1q 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mdahalo mzuri sana

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani 4 หลายเดือนก่อน +3

    Chadema bigup sana kwa njia hii inawajengea uwezo zaidi chadema

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 3 หลายเดือนก่อน

    huyujamaa pumbavu nichawa. wasugu, eti anayeondoka mwenyeketi!!!! hapo msigwa umepigwa ni mipangoya mbowe,wachie lichamalao

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 4 หลายเดือนก่อน +8

    Level ya mh. Msigwa ni level ya mh. Lema ; mh. J. Heche lkn mh. Sugu Bado una muda kujifunza na kukomaa ili ifike hapo alipo mh. Msigwa.
    Ombi langu kwa mh. Msigwa endapo Chama kitakupitisha usiwe na kinyongo juu ya kundi la sugu.
    Mh. Sugu ana hasira na na tamaa ya Uongozi nadhani Kuna watu wanachama wanamdanganya kua anaweza kuvaa viatu vya mh. Msigwa Imani yangu km mpenzi wa CHADEMA Bado mh. Sugu anahitaji kujifunza mengi kupitia kwa mh. Msigwa.
    Maswali mengi kwa mh. Msigwa wamekua na hoja dhaifu zinazoweza Jenga mgawanyiko ndani ya taasisi tunayoipenda tuipendayo CHADEMA na kua mh. Sugu alipanga watu kumsaidia ktk mdahalo huo.
    Mm ni miongoni mwa wa-tz na wapenzi wengi wa CHADEMA tunaoamini kua mh . Msigwa Bado ana uwezo ; na anafaa kuendelea kua m/kiti wa Kanda ya NYASA.
    Mh. Sugu endelea kumuomba MUNGU akupe hekima.
    Uongozi hautaki fitina Bali hekima ya MUNGU inahitajika.
    Mh. Sugu na kundi lako ktk mdahalo huo mmetusononesha sn wapenzi wa demokrasia.
    Kuna watu nawaheshimu na wameshiriki ktk mdahalo huo lkn kwa hiki kilichotokea Leo ktk michango Yao ilijipanga km ngome ya mh. Sugu nadhani wengi tumekua na mashaka km kesho wanaweza kufikiliwa kua VIONGOZI wetu !

    • @frankatilio
      @frankatilio 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa Yan mpka nimeshangaa msigwa ana hoja lakin nimeaamin alichosema lissu

    • @QasammaMachibya
      @QasammaMachibya 3 หลายเดือนก่อน

      hapa hakunademocrasia wamepangana kumung,oa kumbukeni.mhemko si utendaji ,dhambi hii haitawawachasalama, msigwatokahuko. hufananinao,

  • @MsifuniMahenge
    @MsifuniMahenge 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tumpe sugu Kwa Sasa nyasa msigwa miaka kumi imetosha

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kanda ya Nyasa mnawatu wazuri sana mimi nawashauri wajumbe wawape wote, maana simwoni wakumwacha.

  • @omegamwasenga9823
    @omegamwasenga9823 4 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa anapaniki, twende na Sugu nyasa.

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 3 หลายเดือนก่อน

    mbna ofisi hazikosehemu nyingisana katka w,namikoani hakuna, mh msigwa mulango upo.wazi ccm njooo,wakikukata,kamakweri kunademocrasia. na nafasi ya uenyeketi taifa ufanyike mdaharo

  • @V24hrs
    @V24hrs 4 หลายเดือนก่อน +4

    Aliwaita nyumbu kwakuwa nyie ni nyumbu kweli. 😂😂

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Katika huu mdahalo nimeamini sasa kuwa sugu ni mwanasiasa mkubwa sugu ameshinda huu mdahalo

  • @nzagiherman1628
    @nzagiherman1628 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mdahalo mzuri sana. Tunapata wasaa wa kuelewa thinking, goals na the end... Nafurahi sana kuwasikiliza mnavyorespond hoja na maswali.

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 3 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi mmoja kubaki madarakani muda mrefu hakuui demokrasia.Akikubalika hata milele

  • @johnmakundi9877
    @johnmakundi9877 4 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema mko vzur hongera kwa mabadiliko

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 3 หลายเดือนก่อน +1

    ÌNGEKUWA CCM WANAJIGEUZA CHAWA KWA MTU MMOJA HII NDIYO CHADEMA TUNAYOIJUA❤❤❤

  • @kilimbikomzula8482
    @kilimbikomzula8482 4 หลายเดือนก่อน +1

    Usikivu went very poor hamna wataalam wa saui kwenye TV yenu? Jipangeni mko nyuma sana distortion kibao!

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 4 หลายเดือนก่อน +2

    Safii kabisa hiyo ndio democrasia

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 4 หลายเดือนก่อน +5

    Huko ndiyo kushindana kwa hoja,mwisho wa siku mmoja akishinda mnapongezana.
    CHADEMA safi sana.

    • @gaspercharles2244
      @gaspercharles2244 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndg yangu hapa ni kuangushana sio kushindana ndani ya Chama halipaswi hili maana baada ya huu uchaguzi mmoja Kati Yao ataanguka kisiasa sayansi ya siasa haitakiwi Chama kimoja viongozi wawili tena wa ngazi za juu kufanya hayo madhara yake ni makubwa Sana ndani ya Chama kisiasa

  • @AronsMugisha55
    @AronsMugisha55 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mko vzr sana Chadema

  • @boniphace1
    @boniphace1 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii dhana ya kusema maendeleo siyo vitu bali ni watu ni mtego utakao toa good excuse ya kutowajibika. Ni kweli hatuhitaji vitu kama majengo, miundo mbinu n.k?

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 3 หลายเดือนก่อน

    Shida ya huu mdahalo mlileta machawa wa wagombea kuwa wauliza maswali mlitakiwa kuleta watu wasiofungamana na upande wowote .. stupid kabisa

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie 3 หลายเดือนก่อน

    Mdahalo mzuri ila chama changu chadema muoache kutumia mabavu pia tumia maoni ya watu nawakumbusha kwa lowasa pia naona chama kingefumliwa juu

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 4 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema ni chama kikubwa sana kinakuabsiku Hadi siku.

  • @mcongomakete1664
    @mcongomakete1664 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwakufafanua hapo maana mh msigwa anapotosha uma

  • @edomukiluswa2262
    @edomukiluswa2262 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa kuhusu jambo la ngorongoro ni kama ulikuwa CCM,
    Jaribu Tena kujisahihisha kulingana na Imani ya Chama chako,
    Kuhusu lugha jaribu kupunguza kingereza,
    Watanzania walio wengi utawaacha nyuma hivyo ujumbe wako kutowafikia Sawa sawa

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 หลายเดือนก่อน

      Muungwana ni vitendo, hoja nzuri @edomukiruswa

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo ofisi hazina maana,wakitaka kukuona watakukuta wapu sema mchungaji unachemsha

  • @1xbetagent24hrsnicolous3
    @1xbetagent24hrsnicolous3 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa kujipa sifa umekwama acha watu wakupe sifa
    Pili tuhuma simekuchafua
    Pili unajibu kwa hasira ambayo na jaziba usilazimishe mambo wakati umebugi stape
    Nipo nasugu

  • @DicksonAmbilikile
    @DicksonAmbilikile 3 หลายเดือนก่อน

    Chadema mnasema mnasimamia demokrasi mbona mwenyekiti wenu habadilishi madaraka

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa tayari umetumika mwachie sugu aongoze nyasa

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sugu nchi haijengwi kwa connection ni policy

  • @costamasuba1099
    @costamasuba1099 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja siyo mzoefu wa siasa ,ila mfumo wa kifikiri ndio engine ya Kila jambo,wote hao wanamazuri na madhaifu ,ila mchungaji ni mbobevu kwenye leadership,sugu ni hodari wa kumobilize watu,sugu he have to lean more.

  • @raphaelmchilo-kx4tt
    @raphaelmchilo-kx4tt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani msigombane ndani yachama

  • @GeraldNyasembe-q2d
    @GeraldNyasembe-q2d 2 หลายเดือนก่อน

    Mmhh kumbe msigwa alisapoti CCM kufukuzwa kwa masai

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nawaomba viongozi wangu wapongezane wao kwa wao mi nawakubari wako vzr hawawezi kufanana ndo maana ya democrasia atakaeshinda tumeshinda wote chadema kizazi kipya cha kuhoji Mungu ibariki chadema na watu wake

  • @PelleSamky
    @PelleSamky 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana Naiona Nuru Chadema Mungu awabariki sana na wakubali

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hichi Chama Sasa ni kama cha chadema kugonganisha viongozi na kukosoana namna hii mbele ya watu ni kuangushana kisiasa au Kuna agenda? Maana sijabarikiwa na ukosoanaji wa namna hii viongozi wa Chama kimoja maana hadi Sasa kwa mtu mwelewa ameshamwona mmoja hapo kuwa hafai Sasa kesho yake kisiasa ndani ya Chama ni nn?

    • @cyprianboniphace-oz5lw
      @cyprianboniphace-oz5lw 4 หลายเดือนก่อน

      Umesahau wakati wa kura za maoni za ubunge CCM majimboni watu mpaka wanagombana kama sio wa chama kimoja.

  • @DicksonAmbilikile
    @DicksonAmbilikile 3 หลายเดือนก่อน

    Siyo ccm waige ccm wameisha toka huko chadema ndiyo mnaanza

  • @DicksonAmbilikile
    @DicksonAmbilikile 3 หลายเดือนก่อน

    Sugu wewe kiongozi bado ila chama ndicho kinakubeba

  • @NyangiMarwa
    @NyangiMarwa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mdaharo mzuri sana ila siku nyingine boresheni sauti

  • @leocadianjau7410
    @leocadianjau7410 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa hiyo mhe Sugu usipopata kuchaguliwa hautajenga ofisi??

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa atajengaje wakati anayetakiwa kutoa RUHUSA si kipaumbele chake?
      Uwe unafatilia hoja za mdahalo vizuri, Ivi haukusikia mh Mbilinyi akisema alishanunua uwanja for the official akawa akipigiwa mizengwe kuanza kwa ujenzi kwa sababu hakuwa msemaji mkuu?

  • @geraldgedi4657
    @geraldgedi4657 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli kabisa hata wakati wa ukoloni shule zilikuwepo chini ya miembe na watu walipata elimu ndo waliopata elimu wamejenga shule

  • @omaryidd4373
    @omaryidd4373 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wote wazuri wananifrahisha

  • @mcongomakete1664
    @mcongomakete1664 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ataanza ujenzi baa ndani ya siku saba msigwa acha kupotosha eti atakenga ndani ya siku saba.
    Sisi tupo tayari tunahitaji pakukutania sasa nakujadili yetu ya chama.

  • @samsonsanga4368
    @samsonsanga4368 3 หลายเดือนก่อน

    Kweny jibu la nyumbu mch umejib vzr san.

  • @jamessoke4454
    @jamessoke4454 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Sana kwa mdahalo mzuri

  • @AnithaQueen-jc6wt
    @AnithaQueen-jc6wt 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa yuko vizuri sugu akae pembeni kwa heshima ya chama

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 4 หลายเดือนก่อน +1

    Apa nakubali kiongozi sio kuchaguliwa tuu ila kupewa charenge kesho akishindwa wanamwacha!.

  • @finiasmaengela2996
    @finiasmaengela2996 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mjadala mzuri Sana

  • @EmmaculateGembe
    @EmmaculateGembe 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi si chadema lakini nawaunga mkono kwa mjadala mnaofanya hii itasaidia wananchi kuchagua viongozi makini

  • @HaryPoter-zw7vr
    @HaryPoter-zw7vr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tumpe Sugu kura Zetu, Mchungaji msigwa aeleweki,mmetutukana,pili ameunga mkono kufukuzwa Kwa wamasai

    • @WilfredRweyemamu-rp5re
      @WilfredRweyemamu-rp5re 3 หลายเดือนก่อน

      Alishawahi kuunga mkono juhudi za mr prdnt asubuhi alafu jioni akapinga.dable standard.😅

  • @MohamedAli-kq2zc
    @MohamedAli-kq2zc 4 หลายเดือนก่อน

    Tuseme kweli ila njululuu ina nguvu sana.Kusema kweli ktk fikra za wagombea hawa 2 Mchungaji Msigwa alistahili ushindi asubuhi kabisa.Naliona anguko kuu la chama hiki in the near future

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe kijana Abdallah akili yako iko likizo, na MUDA mwingine ili kujitunzia heshima si lazima uropoke kwenye kila jambo au topic hata usiyojua.
      Unakera

  • @shukuruphanuel1729
    @shukuruphanuel1729 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msingwa ni Kiongozi, Wanachama wa CHADEMA waamue vizuri. Wakichagua vibaya watapotea

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 หลายเดือนก่อน

      Acha kuwapangia wajumbe nani achaguliwe, wapigakura watachagua kiongozi wao kutokana na mahitaji yao ikiwepo vipaumbele vyao.
      Isitoshe wote bado wataendelea kufanya kazi za chama hata kama si viongozi, aliyekwambia mtu akidondoka kwenye kura hafanyi kazi za chama?
      Acha akili mgando

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 2 หลายเดือนก่อน

    Msigwa msaliti kala helaza Abduli

  • @PaulRPaul-z1q
    @PaulRPaul-z1q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Well said Mchungaji Peter Msigwa.

  • @finiasmaengela2996
    @finiasmaengela2996 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimegundua msigwa kinachomsumbua ni suala la wamasai 😂

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 4 หลายเดือนก่อน +3

    Good! Hiki ndicho chama cha siasa bhana

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa kamanda, umehoji na kutoa mawazo yako kizalendo... materialistic

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 4 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana CDM

  • @fredymkanza
    @fredymkanza 3 หลายเดือนก่อน

    CCM wajifunze mdahalo kama huu

  • @BenedictAndrea-j7j
    @BenedictAndrea-j7j 4 หลายเดือนก่อน +2

    Angalieni msikipasue chama bado tuwahiji

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 หลายเดือนก่อน

      Wazo ZURI sana, hakika umekomaa kifikra kamanda@user

  • @onesmomasala-rg2wd
    @onesmomasala-rg2wd 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mdaahalo mhim kati msigwa na mbilinyi

  • @richardmbasha1411
    @richardmbasha1411 4 หลายเดือนก่อน +2

    CHADEMA wanaonyesha MFANO.. kuweka mijadala ya hoja namna hii, na ndio nzuri.

    • @amanmohd9435
      @amanmohd9435 4 หลายเดือนก่อน

      Hii midahalo wameanzisha ACT tangu mwaka 2019

    • @victorgogadi55
      @victorgogadi55 4 หลายเดือนก่อน

      The weight of Chadema candidates out weighs ACT debates

    • @victorgogadi55
      @victorgogadi55 4 หลายเดือนก่อน

      Msigwa sio gas ya Lithium ni Helium gas!

    • @RobertCollinskc
      @RobertCollinskc 4 หลายเดือนก่อน

      Nawatakia kila la kherry, wote wawili wawe makini muwe makini kutoigawa chama kandabya nyasa, atakayeshinda na atakayeshindwa wahakikishe mapenzi yenu katika chama yanazidi katika kukiendeleza chama, kukitoa kilipo na kukifikisha mahali ambapo wananchi wataendelea kuwa na imani ya kujiunga nacho.

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 2 หลายเดือนก่อน

    Msingwa alikuwa ccm kimya kimya

  • @kenanmwabamba
    @kenanmwabamba 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hapo ni SUGU tu tunaenda naye.

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 2 หลายเดือนก่อน

    Wotee mnafaa ila mna mihemuko

  • @AlbinMsechu
    @AlbinMsechu 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni nzuri sana....hata atakaeshinda atajua ana kazi ya kufanya na si kujibweteka tu!!

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 4 หลายเดือนก่อน +2

      Sana, walioshinda watimize majukumu yao kwa bidii na ubunifu mkubwa kwa mujibu wa katiba.
      Congratulations for the voted leaders, all are winners

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 4 หลายเดือนก่อน +1

      @illomowerner7690 sure, they have a great job to do!!

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 หลายเดือนก่อน

    Not Impressed by anyone!

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la msigwa huwaga unasapoti ccm ,,sugu anamsimamo ila hoja ni ndogo

    • @dabigregory3221
      @dabigregory3221 4 หลายเดือนก่อน

      Mmmh lini alisapoti ccm,msigwa huyu c alikataa kutolewa jela na ccm na bado alikaa kununuliwa

  • @WilsonMtagwaba-h4d
    @WilsonMtagwaba-h4d 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa hamna kitu,