KAULI YA LISSU NA UZANZIBARI YAZUA BALAA/ KWELI RAIS MZANZIBAR? / KURA YA MAONI IWE SERIKALI 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ค. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 298

  • @AugustinoPeter-rn9bn
    @AugustinoPeter-rn9bn หลายเดือนก่อน +11

    Kaka hapo imechemsha soma katiba ya Mzanzibari

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 หลายเดือนก่อน +12

    MHE TUNDU LISU HAJAKOSEA NINYI NDIYO MNAKOSEA WEWE NI ZANZIBAR HUWEZI KUIELEZA VIZURI KAULI YA ZANZIBAR NA UTANGANYIKA TANGANYIKA ....

    • @twahirshali8014
      @twahirshali8014 หลายเดือนก่อน

      Wazanzibar kawafungua macho

  • @drallan6879
    @drallan6879 หลายเดือนก่อน +15

    ubaguzi Gani kusema ni mzanzibar na ameuza bandari na mbuga zetu na misitu so mama amejenga fikra hizo

    • @mkude
      @mkude หลายเดือนก่อน

      Wewe unabandari wewe

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx หลายเดือนก่อน

      Ufafanuzi umetolewa maana ya ubaguzi hujaelewa? Sikiliza tena

    • @fatmaabdalla1641
      @fatmaabdalla1641 หลายเดือนก่อน

      Mwambien uyooooo

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 หลายเดือนก่อน

      Rais Samia bora ungewapa hao WaArabu au Wazungu, Wachina bure bandari ya Zanzibar wakaifanyia kazi mambo yangekuwa mazuri. 😂😂😂 lakini pia ungeambiwa umefanya ubaguzi umetengeneza kwenu. Lakini usisahau kwenu pia. Magufuli hajasahau kwao .

    • @abdullahalsharji9428
      @abdullahalsharji9428 หลายเดือนก่อน

      Kina wenye ufahamu wa inzi

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha หลายเดือนก่อน +5

    Mtangazaji uwe mkweli au ufanye kazi yako vizuri. Wazanzibari hawajawahi kuwa watanzania. Acheni kupotosha mambo. Pia, huyo unayemhoji afanye utafiti. Huwezi kuwa mzanzibari na mtanzania kwa wakati mmoja hasa ikizingatiwa kuwa Tanzania tayari ina uzanzibari.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 หลายเดือนก่อน

      Vivyo hivyo Mtanganyjka hajawahi kuwa mtanzania, huwezi kuwa Mtanganyjka papi hapo ukawa mtanzania. Hivyo katika Tanzania Kuna watanganyika na wazanzibari. Sawa?

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona mtanganhika hawezi kuwa rais au mbunge zanzibar?

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu Miraji apewe jukwaa la kongamano na Lissu halafu tutajua rangi yake.

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mzee hana anachokijua ni mtu wa kukopi na kupest,mzee jibu maswali usilete maelezo mengi,huna uwezo wa kujibu hayo maswali,hayo maswali ni very critical,

  • @WolterKamera-bv7hq
    @WolterKamera-bv7hq หลายเดือนก่อน +6

    Kama nimunga Kwa mini watanganya hawatawali nzanziba

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mzee mwenyewe ni Mzanzibar bro,unapoteza muda wako hapo. Samia hana zuri aliloifanyia Bara labda Tz kwa mbaali na kwa faida zaidi ya Zanzbar

  • @drallan6879
    @drallan6879 หลายเดือนก่อน +15

    speak in a professional manner;lissu is genius you can't compete with him or challenge him;leave our genius lissu a lone

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim หลายเดือนก่อน +1

      Lissu ni mjinga2 hana uginious wowote

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 หลายเดือนก่อน

      Wasojuwa wanamuona Genius . Makosa Rais Samia kamrejesha Tena Bara huyu Genius mnae msema. Magufuli alimtowa mbio allimfukuza. 😂😂😂

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor หลายเดือนก่อน

      Kwani nyie Watanganyika nani kakwambieni Sie Zanzibar tunataka Muuongano na nyie si Munatulazimisha tu Kwa mitutu ya Bunduki

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 หลายเดือนก่อน +1

    Asante..🤝 mengi tuu yamefanywa na mabaya sanaaa kabla ya Rais Samia.

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 หลายเดือนก่อน +2

    Tundu umeongea points sana

  • @mokiaolenaputu7648
    @mokiaolenaputu7648 หลายเดือนก่อน +2

    Umepwaya sana mzee. Ungejaribu kujibu hoja Kama msomi na sio kwa mihemko ya uzanzibari

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z หลายเดือนก่อน +6

    Tundu amekoti katiba ya Zanzibar

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt หลายเดือนก่อน +5

    Kuuza vitu vyeyu Tanganyika. Ubaguzi mbona yy hauzi bandari za Zanzibar. Wewe hujielewi. Bora unyamaze hatukuelewi.

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim หลายเดือนก่อน

      Jee kuletwa wanajeshi watanganyika na kupiga Wazanzibar hili mbn hamlisemi...

  • @user-me9nr2qc3x
    @user-me9nr2qc3x หลายเดือนก่อน +2

    Kwa nini mnakwepa hoja ya msingi mbona hajawaahamisha Wapemba anahamisha wamasai

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t หลายเดือนก่อน +3

    Kwanza huuu mungano sielewi faida yake Nini Bora tuuuvunje Hauna faida yoyote

  • @abdulsaid1015
    @abdulsaid1015 24 วันที่ผ่านมา

    Bro..miraji uko vizuri sana ...mungu akutae akili.

  • @user-gq6vz6we3m
    @user-gq6vz6we3m หลายเดือนก่อน +1

    Wazanzibari ni wabaguzi sana Tanganyika inawalea hawana hata shukran wanasema paspoti kwa mtanganyika tu wao waje bila. Paspoti ubaguzi mtupu

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 หลายเดือนก่อน +2

    MBONA SIMPLE SANA! TUPIGE KURA YA MAONI YA KUUVUNJA MUUNGANO!

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh หลายเดือนก่อน +5

    Muandishi nimemempenda sana sana big up kwa Kumbana kwa maswali mazuri ila hujapata majibu yenye mashiko

  • @AugustinoPeter-rn9bn
    @AugustinoPeter-rn9bn หลายเดือนก่อน +6

    Usome katiba ya Mzanzibari kisha umukosoe 2:05

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 หลายเดือนก่อน

      Kwa sisi Waislam huko ni kutia udhu huku unajamba. Kwenye Sheria au hata vitabu vitakatifu kuna sifa ya kufutana.

    • @user-rc4db5tg8f
      @user-rc4db5tg8f หลายเดือนก่อน

      Katiba ya Zanzibar iko sawa ina haki kuzungumzia raia wake wazanzibari munatakiwa muelewe ile ni serikali ya mapinduzi zanzibar ni lazima izungumzie watu wake wazanzibari haiwezi kuzungumzia watanzania iko serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania iyo ndio watu wake wazanzibari na watanganyika na ndio inayoongelea watanzania.

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 หลายเดือนก่อน +2

    WAZANZIBARI HATA SIKU MOJA HAWAJIITI WATANZANIA, ILA WATANGANYIKA NDIO WATANZANIA!

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 หลายเดือนก่อน +4

    MMUNGANO FEKI KBIS HUU

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m หลายเดือนก่อน +4

    Nawaomba wanasiasa wawe wakweli 😮 muungano huu haufai tena😮 kwa kizazi chetu cha leo zilipendwa😂urekebishwe au tugawane mbao hilo ndio lll bakia❤

    • @khamisjuma7616
      @khamisjuma7616 หลายเดือนก่อน

      wabara tele wana nafasi za uongozi masheha wengi zbar ni wabara kiufupi huu muungano ni vurugu tupu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@khamisjuma7616Wewe ni mgonjwa wahi hospital,tangu lini shehe au mchungaji akawa kiongozi wa serikani

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 หลายเดือนก่อน +2

    Mr Said Miraji Jibu Swali Kama Jinsi Ambavyo Tundu Lisu Alivyosema Tundu Alivyosema.Katiba Ya Zanzibar Inasemaje???

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z หลายเดือนก่อน +3

    Wewe hujui wazanzibari siyo watanzania.

  • @ShukuruJohnston
    @ShukuruJohnston หลายเดือนก่อน +6

    Katiba ndo inashida, lissu hajakosea

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx หลายเดือนก่อน

      Huna akili ndio maana unaona lisu yuko sawa

    • @user-lq9rf6qq1d
      @user-lq9rf6qq1d หลายเดือนก่อน

      Ww ndio una akili kwasababu unadharau maoni ya mwezako.

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t หลายเดือนก่อน +2

    Uyo miraji ame jikaanga mwenyewe ajibu hoja za lisu huuu mungano hatuutaki

  • @johnmanonijohn5544
    @johnmanonijohn5544 หลายเดือนก่อน +8

    Kwahiyo watanganyika wanabaguliwa Zanzibar?

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      Nani kabaguliwa labda awo makahaba wanao kuja kujiuza live ilo kweli hatulitak

    • @daiqmull7474
      @daiqmull7474 หลายเดือนก่อน

      Ndio tunabaguliwa

    • @omarhababuu3159
      @omarhababuu3159 หลายเดือนก่อน

      ​@@daiqmull7474 munabaguliwa wap wakati hotili zote zanzibar mumejaa. Nyinyi watanganyika nafasi zote munazonyinyi masheha wazanziba karibu yawote niwatanganyika vikosi vyote wakubwa. Niwatanganyika masoko yote yaloko zanziba niwatanganyika

  • @djumakadege659
    @djumakadege659 หลายเดือนก่อน +1

    Matatizo yote haya yameletwa na viongozi wa mwanzo kabisa mwaka 1964. Hawakuwa wakweli katika muungano huu kulikuwa na udanganyifu.
    kama kweli muungano huu ulikuwa wa haki wananchi waonyeshwe hati halali ya muungano na makubaliano yalikuwa vipi. tunamshukuru MwenyeziMungu hivi sasa mtu anaweza kuhoji muungano.zamani thubutu uhoji muungano kama utapona. mheshimiwa Tundu lisu amshukuru sana mama samia kwa kuruhusu uhuru wa kujieleza. ndugu zangu huko tulikotoka kulikuwa jahanam. sasa tuutumie uhuru huo vizuri bila kubaguana. wazee wetu wametuachia mtihani mkubwa.
    MwenyeziMungu tunusuru.

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 หลายเดือนก่อน +4

    kuanzia siku ya kutangazwa serikali tatu,kila mtu atachagua awe mzanzibar au mtanganyika,hilo halina tatizo kabisa

  • @user-cu3cl4yy5s
    @user-cu3cl4yy5s หลายเดือนก่อน +6

    Zanzibar ina katiba yake iweje nchi moja iwe na katiba mbili???? Zanzibar ni ya wazanzibar na Tanganyika ni ya Muungano

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน +1

      Hii ni jamhuri ya muungano kati ya zanzibar na tanganyika, nyie ndio mumeuwa tanganyika yenu ili mpate kuimeza zanzibar, but zanzibar tunajielewa sisi zanzibar ipo hatuja ivunja

    • @user-cu3cl4yy5s
      @user-cu3cl4yy5s หลายเดือนก่อน

      @@MohamedAhmada-ie7ke sawa na sisi tunataka Tanganyika yetu irudi na pili mikataba ya rasilimali zetu Tanganyika zilizowekwa na mzanzibar hatutaki bandari zipo Zanzibar akaweke uko waarabu pili haiwezekani juzi juzi tu wamasai wasumbuliwe uko Zanzibar alafu wasumbuliwe tena Ngorongoro kwenye ardhi yetu ya Tanganyika na mzanzibar huyo huyo

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      @@user-cu3cl4yy5s ukitaka mikataba tuanze kuijadili tuanzie wa kwenye muungano kwanza

    • @user-rc4db5tg8f
      @user-rc4db5tg8f หลายเดือนก่อน

      Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni nchi mbili zilizoungana sio nchi moja kama unavodanganywa na wanasiasa ingekua nchi moja kungekua na raisi mmoja tu lkni zanzibar ina raisi wake ina bunge lake wanasherehekea siku yao ya uhuru wao. Sasa Tanzania sio nchi moja. Kama ni nchi 1 kwanini ukinunua vitu zanzibar ukifika bandari ya Dar unalipishwa ushuru? Ni kwasababu unaingia nchi nyingine.

  • @user-sm7gj4mn5n
    @user-sm7gj4mn5n หลายเดือนก่อน +2

    Hapan cuf walimwita Nyerere dunamozi

  • @rashiditembo1574
    @rashiditembo1574 หลายเดือนก่อน +3

    Mtangazaji,mpatie na katiba ya Zanzibar atusomee,

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      Tatizo hamji elewi siku utakayo kua utaelewa, zanzibar ni nchi kamili, ambayo ime ungana na tanganyika. Ndio ikaja jamhuri ya muungano, Tanzania sio nchi moja Tanzania ni nchi mbili zilizo ungana

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      Ss nyie bara mumeuwa serekali yenu ya tanganyika ili muje kuifanya hii nchi iwe moja mupate kuingiza zanzibar iwe kwenu but zanzibar ilo hatulitak

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 หลายเดือนก่อน +1

    Maswali ya Mtangazaji critical lakini hakuna majibu ya maana

  • @agriphinasaidi5067
    @agriphinasaidi5067 หลายเดือนก่อน +4

    MTANGAZAJI ASANTE SANA HUYO BWANA MIRAJI HAJAKUPA JIBU MKUTANISHE NA TUNDU LISSU

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx หลายเดือนก่อน

      Tundulisu mbaguzi asie jielewa

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx หลายเดือนก่อน

      Lisu msomi hewa

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@emmanuelmlowe-ew7gxumemzidi nini wewe

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 หลายเดือนก่อน

      Kitu ambacho sikijui vip bandari zetu na za Zanzibar zp zimeuzwa?

  • @danielkanso
    @danielkanso หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe lisu yuko correct maana hata huyo professor aningia pale pale

  • @JumanneMagafu
    @JumanneMagafu หลายเดือนก่อน

    ❤ Thanks 👍 for

  • @user-kt8kd5hq1g
    @user-kt8kd5hq1g หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar imekandamizwa miaka mingi sana sasa mama anajitahid kuweka usawa sasa kunawatu wachukia. tatizo hapa ni chuki dhidi ya aina Fulani ya watu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 หลายเดือนก่อน +11

    Kuuza bandari za Tanganyika je

    • @adamlubawa1281
      @adamlubawa1281 หลายเดือนก่อน +3

      Itakuja kufila siku
      Watu wa pwani watasema BANDARI haziwahusu watu wa bara

    • @mkude
      @mkude หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unabandari,inaitwaje bandari yenu,watu wa pwani watamuunga mkono mama asilimia 90

    • @user-rc4db5tg8f
      @user-rc4db5tg8f หลายเดือนก่อน

      Kama Samia kauza bandari za Tanganyika na nyinyi watanganyika munahusika kuuza izo bandari maana maamuzi hayo yalipelekwa bungeni na watanganyika walioko bungeni wakaunga mkono. Acheni ubaguzi.

  • @jitulakaleboymastr6477
    @jitulakaleboymastr6477 2 วันที่ผ่านมา

    Atuon faida ya mikopo tazania au anafanya kwaza zazibar au inaishia kwenye safar 😣😣😣😥😥

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona wabara wanabaguliwa Zanzibar muungano ni wa upande mmoja lakini wa bara ndio wapumbavu.

    • @qassimkc5898
      @qassimkc5898 หลายเดือนก่อน

      Wanabaguliwa vipi? Tueleze

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim หลายเดือนก่อน

      Mbn kila boti zikienda Zanzibar wabara ndo wamejazana wanaenda wapi ikiwa wanabaguliwa...tunalala nao..tunaenjoy nao na tunawazalisha sasa tunawabaguaje wewe pwaguzi jamani

    • @rosekimaro384
      @rosekimaro384 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa broo

  • @jamjys1
    @jamjys1 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibari wote are proud themselves kuwa wao ni waarabu hakuna asielijua hilo

  • @godsson5954
    @godsson5954 หลายเดือนก่อน +2

    Muwe mnawahoj watu wenye akili

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 หลายเดือนก่อน +2

    Soma pia katiba ya sanziba

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo anaisemea zanzibar. Wewe ugombee kwangu, uchague kwangu, umuliki aridhi kwangu, ufanya unavyotaka kwangu, lakini mimi siruhusiwi kufanya asilimia 90 za vitu kwako ?

  • @user-ng4vp2rn4h
    @user-ng4vp2rn4h หลายเดือนก่อน +1

    Akili yangu imepoteza muda kusikiliza pumba mzee mzima lakin halijui kitu

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo miraji anachafua hali ya hewa tafadhari muuondoeni hapo

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 หลายเดือนก่อน

    Tunakaka serikali 3, Zanzibar, Tanganyika na Tanzania.

  • @ManaseAbilu
    @ManaseAbilu หลายเดือนก่อน

    U don't display internet why

  • @user-hi7df6js2m
    @user-hi7df6js2m หลายเดือนก่อน +3

    Raslimali za Tanganyika ni Cha WOTE lakini Raslimali za zanzibar ni za Wazanzibari tu. Unasemaje kuhusu hili ?

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      Wewe uliona wapi dhahabu ikaja zanzibar na madini mengine

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim หลายเดือนก่อน

      Hili liko pow..sana..mbn tulitaka kuleta sukar kutoka Zanzibar mlikataa...samia wanyooshe hao uza kila kitu ni wakati wako huu..wanatuua sana hao kila uchaguzi wanatuua Watanganyika..fanya hima hakikisha unauza Tanganyika yote

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@MohamedAhmada-ie7keWafanyakazi wote waliomo kwenye wizara za muungano wanalipwa na Tanganyika siyo Zanzibar

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@SoudShuraimSukari kutoka wapi wewe, wakati ninyi wenyewe haiwatoshi,mnaleta Sukari ya nje ili iweje

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      @@FridayMwassa kwanza utambue kua pato la zanzibar kwenye mambo ya Muungano yote ynakuja kwenye muungano so unasemaje kama tanganyika ndio inalipa, or hujui ilo

  • @richardmwandanji65
    @richardmwandanji65 หลายเดือนก่อน +2

    Hatuku sahau sisi ni watanganyika au mnataka tuanze kudai tanganyika yetu mbonawa natu tafuta kwani Raisi wetu hajauza bandari zetu amesaini hatatunapo pigakelele Sasa sisi mmetufanya SI sawa mbona mmetubagua kama maoni yetu haya sikilizwi inawezekana wameamua kutumia maneno makali Ili kusikiliza tukisikilizwa hayayote hayatakuwepo

  • @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy
    @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy หลายเดือนก่อน +3

    Hii katiba imebagua tayari kwanini mtanzania bara asimiliki aridhi ya Zanzibar harafu Zanzibar wanamiriki aridhi ya bara?

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim หลายเดือนก่อน +1

      Wacha uwongo me mzanzibar wapo wengi watanganyika wana majumba mazur Zanzibar huku

    • @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy
      @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy หลายเดือนก่อน

      @@SoudShuraim Hilo linawezekana kwa ujanja ujanja unajua jinsi tulivyo watanzania, ila nilichokuwa nasema ni kwamba vikwazo tulivyowekeana pande zote mbili viondolewe, pia walioweka walikuwa watu, sio malaika. Na kwa uhitaji wa pande zote mbili, Kuna haja ya kufanyia kazi marekebisho ya katiba iendane na uhitaji wa pande zote mbili, wasilazimishe, makubariano ya watu ambao hata Leo hatunao, hatujui kama wao iliwafaa kwa wakati wao, na sisi tunaona ni wakati wa kurekebisha, ili itufae kwa wati wetu,

  • @dentomedicalresourceslimit4602
    @dentomedicalresourceslimit4602 หลายเดือนก่อน +8

    Kwani Katiba ya Zanzibar inasemaje kuhusu Uzanzibar?

    • @qassimkc5898
      @qassimkc5898 หลายเดือนก่อน

      Twambie wewe sisi hatujui

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 หลายเดือนก่อน +2

    Mwandishi unahoji vitu vya msingi mno Tanganyika haina mamlaka kamili

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 หลายเดือนก่อน +1

    Miraji uko sahihi kabisa

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 หลายเดือนก่อน +2

    Bw miraji kwa nini mambo hayo ya Zanzibar yapeleke Zanzibar kwenye kati8ba yenu sisi Watanganyika tunasubili katiba Mpya

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x หลายเดือนก่อน

    Lisu upo sahihi mungu ni kweli usichoke kusema ukweli : kweli itakuweka huru

  • @michaelmlawa4814
    @michaelmlawa4814 หลายเดือนก่อน +1

    Hana jipya sisee angejibu hoja za lisu vitu anavyofanya mzazibar bara mbn hayafanyiki zanzibar kama inafaida? Chawa kama machawa wengine

  • @user-zj4ii6uf7t
    @user-zj4ii6uf7t หลายเดือนก่อน +2

    Ivi nyiye watanganyika nawauliza? kuna mtanganyika yeyeyote mwenye aseti zozote Zanzibar?km walivyo na aseti wenyewe huku Tanganyika?km iko hivyo basi hakuna haja ya kuwa na nchi mbili, basi tayari ni wamoja,inatakiwa tuwe na nchi moja,ila km ndo wenyewe wanaaseti nyingi Tanganyika mjue kabisa kuwa hawo siyo wazuri kwetu,ni kuwa makini nao viongozi wetu.maana watakuwa ni wanyonyaji,wanataka kurunyonya watanganyika?

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim หลายเดือนก่อน

      Weee wapo wengi huku njoo nikuonyeshe...au wewe hutembei..njoo Zanzibar utawaona wabongo wanamiliki majumba

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 หลายเดือนก่อน

    Ni kama Isle of Man iko kwenye UK lakini wana mambo yao na serikali yao. SCOTLAND ina mambo yao lakini ni United Kingdom

  • @abdallakajenje6131
    @abdallakajenje6131 หลายเดือนก่อน +3

    Niujinga mtupu,leteni katiba. Ndio suluhisho tunataka Tanganyika yetu.zanzibar iliungana na Tanganyika bloo,ikeja Tanzania ujuwe

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 หลายเดือนก่อน

      Watu dunia nzima wanajuwa usitake kufundisha watu kwenye comments zako Tanganyika ipo mpaka leo lakini nyinyi hamulipendi hilo jina 😂😂😂😂. Jiulize nani kaleta hilo jina la Tanzania

  • @mkude
    @mkude หลายเดือนก่อน

    Miraji umeeleweka vizuri sanaa

  • @user-lq9rf6qq1d
    @user-lq9rf6qq1d หลายเดือนก่อน

    Tindu Lisu ndio mkosaji lkn Mbunge wa Zanzibar ndio ana makosa kusema twende Zanzibar na passport.

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee elimu yake ndogo sana ukimusikiliza hajibu hoja vzr

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 หลายเดือนก่อน

    Watanzania kuwaeleza Eseler’i ni Waziri maana ujinga wao ni mwingi. Watu wansfanya yea sana

  • @HumoudSalim-ct1tz
    @HumoudSalim-ct1tz หลายเดือนก่อน

    Said hongera Sana tulihangaikasana Chini ya cuf Allah awareness vingozi Wetumpka mailim seif alhaj panda shabban mloo naallah atusameh maalim Khabibulin juma hamad massoud wamekupika wewe na abou

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 หลายเดือนก่อน

    MASHOGA MWILI YANAHOJIANA KIUSHOG🤣🤣!

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j หลายเดือนก่อน

    Wanautukuza utanganyika ni wapumbavu si maneno yangu ila ni nukuu za Muasisi wa Tanzania..

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hapo umejipiga risasi mwenyewe. Tundu Lissu amehoji kwa nini kuna wazanzibari wengi BUNGENI Tanganika bara na Hakuna watanganyika kwenye bunge la Zanzibari. Kwa nini watanganyika hawaruhusiwi kununuwa aridhi Zanzibari lakini wan Zanzibari wana węża kununuwa aridhi Tanzania. Kwa nini watanzania hawaajiliwi Kazi serkalini Zanzibar?

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim หลายเดือนก่อน

      Mbn Wazanzibar hatuutaki muungano zaman2 sema Watanganyika ndo wanalazmisha..vunjeni Leo muone tutafrahia sana..kuajiriwa njoo utaona wamejaa Watanganyika maofisini..majeshi ndo usiseme ndo watupu kule pemba saiv..hadi mama ntilie wamejaa kutoka tanga..

  • @user-jd9bx2qv6r
    @user-jd9bx2qv6r หลายเดือนก่อน

    Hakuna ubaguzi juu ya kauli ya lisu Rais samia tazama kwa namna tofauti ili tupate utatuzi wa kweli bila kufichana ukweli katiba yetu imepitwa na wakati na baba wa taifa alisema haya

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Mr. Miraji. Nakubaliana nawe kwa asilimia fulani lakini walioamua kuwa na muundo uliopo hawakuwa na jazba hivyo kuuzungumzia Muungano kwa jazba ni hatari.

  • @fidelisferuzi5503
    @fidelisferuzi5503 หลายเดือนก่อน

    Ukisikiliza vizuri maoni ya Bwana Miraji utaona kuwa katika yote suala la MASLAHI ya Mzanzibari yanapewa kipaumbele.

  • @user-dk2hz4xk8y
    @user-dk2hz4xk8y หลายเดือนก่อน

    Hili zee nalo kubwa jinga kabisaaaa

  • @KimanguShemwaliko-ht2jr
    @KimanguShemwaliko-ht2jr หลายเดือนก่อน

    Lisu bado Hana mpizan katika kujenga huja na hajazaliwa.lisu atabaki kilelni,mpaka sasa lisu ana point 1000

  • @alrabee01suleiman40
    @alrabee01suleiman40 หลายเดือนก่อน

    Shk said hapo unaposema tumekubalia watanganyika watumie mambo yao ndani ya muungano sio kweli.
    Hapo sijui umekimbia nini??

  • @boneventuremweya3673
    @boneventuremweya3673 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa ndo nilipotaka tangu mdogo kwa nini tuna Muungano wa ajabu?suruhisho litapatikana punde.

  • @silaaaron1360
    @silaaaron1360 หลายเดือนก่อน

    Nataka kununua shamba zbar. Naomba ailye nalo aniuzie. Naishi Mwanza.

  • @miltoneobunde5835
    @miltoneobunde5835 26 วันที่ผ่านมา

    Kama haya ndiyo majibu ya Muungano Basi KATIBA inahitaji ukarabati

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 หลายเดือนก่อน

    Kama sisi wa pemba tunapo banguliwa unguja haja kosea lissu

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi หลายเดือนก่อน

    Sasa kama time zoteee hizo zimlishatoa pendekezo la serikali tatu shida inakuwa nini kufanya hivyo?

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter 17 วันที่ผ่านมา

    Kwanza wanzanzibari hawatakiwi kulalamika juu ya muungano maana wanufaika ni wao wako wachache mgao sawa wanatunyonya sana

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u หลายเดือนก่อน

    Watu wote ni sawa mbona kwenye mikopo tunabaguana benki wanabagua wafanyakazi kutoka mikopo benki wanakopesha wafanyakazi wa serikali kwa mashariti nafuu tu sekta binafisi hakuna unafuu

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar wana katiba yao inampa kipaombele Mzanzibar ,na Watanganyika mnapaswa kuwa na katiba yenu inayompa Kipao mbele Mtanganyika halas ila Tatizo lenu Tanganyika mmeipenyeza kwenye Jamuhuri ya Muungano na ndio maana Wazanzibari wakija kwenye Jamuhuri wanakuwa wana haki

  • @LukasNyahega-ok5yc
    @LukasNyahega-ok5yc หลายเดือนก่อน

    Mpeleken mahakaman watanzania kujadili ujinga ndo kazi zao kila mwaka CAG anatwambia mwigulu kaiba hela ambayo ni kodi zetu hatujadili Leo lisu kusema ukweli tunatafuta jinsi yakumtowa asiseme ukwel

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 หลายเดือนก่อน

    Kwanza Tundu Lissu sura mbaya, mimi pia nimemubagua asipigiwendura, vijana hawamtski sura hoi hoi

  • @cosmaswilliam3805
    @cosmaswilliam3805 หลายเดือนก่อน

    TANGANYIKA yetu iko wapi?waongo wote wafungwe mdomo

  • @gellangi9694
    @gellangi9694 หลายเดือนก่อน

    Tufanye kura ya maoni kuhusu uhitaji na aina, muundo tuutakao wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

  • @stevenmarunda4353
    @stevenmarunda4353 หลายเดือนก่อน

    Acheni kutudanganya tuambien upande gan wazanzibar alishawahi kutawaliwa na mtanganyika namtudhibitishie mubara gan anamiliki aridhi zanzibar nitaamin akuna ubaguzi

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 หลายเดือนก่อน

    Yaani umeme za vizuri, lakini Tundu Lissu sumu atachanganya watu akili zao

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh หลายเดือนก่อน

    Mnamchekea sana huyu Tundu sasa ndo mtajua kwanini aliwekwa uhamishoni. Hawa watu sio wakujenga bali huwa wanavuruga watu. Magu aliyaona haya. Haya majitu yameishindwa na maisha huko uhamishoni yamerudi kusumbua watu. Nje hakuna upigaji ndo maana yote yamerudi kupata pesa za bure.

  • @user-mm6fe9vz2p
    @user-mm6fe9vz2p หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna ubaguzi hapo shida katiba hamjui Zanzibar Kuna katiba Yao je sisi watanganyika katiba yetu Iko wapi

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 หลายเดือนก่อน

      kamuulizeni baba yenu wa taifa Nyerere katiba ya Tanganyika iko wapi?
      weka akilini kua hiyo ndio gharama ya kuitawala Zanzibari baba Yenu aliuza katiba ya Tangayika ili aitawale Zanzibari kimataifa sasa acha Wazanzibari wale nchi na wao wafaidi

  • @allyalsubhy6899
    @allyalsubhy6899 หลายเดือนก่อน

    Limeibuka kwasababu Samia ni mzanzibar, Abdu Jumbe ni mtanganyika, mwinyi mtanganyika na wote wmetutawala, takanyika mna ubaguzi wa waziwazi iposiku mtabaguwana wenyewe

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 หลายเดือนก่อน

    Tuachieni nchi yetu kauzeni Zanzibar

  • @josephatcelestinemuhoza2214
    @josephatcelestinemuhoza2214 หลายเดือนก่อน

    Tundu Lissu, ameuliza, Katiba ya Zanzibar kusema, "mzanzibari atahualpa na haki na fursa vya mzanzibari," huo nao ni ubaguzi?

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 หลายเดือนก่อน

    Lisu Hajui siasa Ana Kila mipaka na hwezi kuwa kirongizi Hafai

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 หลายเดือนก่อน

    Kwanza turejesheheni bandari yetu na mbuga zetu kabla ya hizo porojo za siasa

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 หลายเดือนก่อน

    Nikweri hope hamna mgano niuchwaratu

  • @user-vd1vx1dc8p
    @user-vd1vx1dc8p หลายเดือนก่อน

    Kwanza hakuna nchi inaitwa Tanzania bara.