JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 เม.ย. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 315

  • @geey7893
    @geey7893 28 วันที่ผ่านมา +1

    Angalia tunavochafuliwa na Wazanzibar kumamake. Halafu sisi tukizungumza Tunasutwa na watanganyika Wenzetu Mazwazwa wachumia tumbo. Nyerere anasemwa anatukanwa anabezwa na hakuna anayetoka hadharani kukemea. Kumaanina haya mambo yanaudhi. Ukigusa Zanzibar watu wanakujia juu kisenge. Mungu yupo

  • @geey7893
    @geey7893 29 วันที่ผ่านมา +3

    Kwanini Huwa inaonekana ni dhambi Mtanganyika kuuponda Muungano lakin Mzanzibar akiunanga Muungano inaonekana ni Haki???

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 หลายเดือนก่อน +13

    Kunamijitu inaumia sana yenye sura za manyan unapo ongelewa ukweli kama huo..lakn kama yanaumia yakajinyonge na laana ziwashukie..

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 หลายเดือนก่อน +1

      Hayati Jumbe alikuwa na sura kama unayosema lakini alipambania Zanzibar iwe nje ya muungano sasa iwe vp mtu mwenye sura ya mtu Kama wewe kuchonga umbea kupelekea Jambo azimu unalolitaka kushindwa? Labda Kuna mambo yapo nyuma ya pazia mliyonayo nyie wenye sura za watu tofauti ya Zanzibar huru? Ni ya namna gani hiyo ikiwa mwenzene alibutua sahani ya chakula kizuri Cha Wazanzibar

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

      Muhamad hicho ni kisiwa cha watumwa na wewe mwenyewe umezaliwa ndani ya utumwa huna hyjui hata kabila lako zaidi ya kiarabu na kiswahili hujui ba hujasoma na umezaliwa mwaka 2000 nenda zako na ujinga wako umetawaliwa na ubaguzi wa rangi na kabila

    • @hassanbilali1697
      @hassanbilali1697 หลายเดือนก่อน +1

      Nimeona nilijibu kwa kukuonya lugha yako chafu na hata maadili huna wewe umejiumba mwenyewe kwa hiyo wenye sura mbaya wamejivisha vinyago. Angalia lugha yako Hujafa Allah atakupa usilolijua na laana ikarudi kwako. Omba msamaha kwa Allah na usirudir tena.

    • @hemedmselem4889
      @hemedmselem4889 หลายเดือนก่อน

      Wacha ikufe kwa roho zao mbaya
      Imekalia ujambazi tu hiyo

    • @edwinmbelle4207
      @edwinmbelle4207 หลายเดือนก่อน

      Tuwe na upendo suala la kuwaweza Watanganyika ni kama shilingi kuna pande mbili , Akishika Mtanganyika mjiandae kuvumilia tuache kashfa, leo ukicheka jiandae na kilio pia !

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa sijui hizi lawama unampelekea nani wakati anayeshikilia huu muungano kwa sasa ni Mzanzibari mwenzenu Samia

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂wame changa nyikiwa hawa

    • @felisteronesmo3091
      @felisteronesmo3091 26 วันที่ผ่านมา +1

      Wanajua wanachokitaka alafu Kama hawataki vile .. 😂😂😂😂 ... Dah!, kweli mtu anaeongea Sana mara nyingi haitimishi kwa vitendo, ..

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli Jussa tumeishi katika uongo tangu kujifanya kuungana. Mimi nasema tumeishi kwenya unafiki

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn หลายเดือนก่อน +2

    Mambo haya ya Jussa ebu yaungane na yale ya comde Lissu wa CHADEMA. Majuzi kati alipotamka hadharani kwamba kuna madhaifu makubwa katika katiba ya muungano na kwamba katiba inaleta ubaguzi na hivyo kutokuwepo haki kwa pande mbili za muungano, alilaaniwa sana tena kupitia bunge la jamhuri na wanasiasa wa bara ambao hawasomi historia isipokuwa ni wataalamu wa uchawa wakiongozwa na NAPE MNAWIE.

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri หลายเดือนก่อน +3

    Zanzibar has her own constitution,which provide her House of representatives with instruments to enact laws.Why is it that Zanzibar is not free? Secondly,if it is true that Zanzibar has not ratified the Union agreement with Tanganyika why are the Zanzibar people in the Union for 60 years?

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 หลายเดือนก่อน +1

      Academic argument!

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 หลายเดือนก่อน

      Hawa wazanzibari kwa sasa wasitudanganye wao ndio wanufaika wa muungano wangekuwa sio wanufaika huyu mama kwa sababu ni Mzanzibari mwenzao angekuwa ameshauvunja huo muungano

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      ​@@eliajimmy95muungano una utaratibu wake wa kuuvunja.kwanza unataka Rais jasiri na mwenye uwezo na hekima na busara ya hali ya juu sana.Ila huu muungano haufai na hautendi haki kabisa kwa pande zote.

  • @111dudi
    @111dudi หลายเดือนก่อน +3

    Kuunda jeshi hakukuzungumzwa,na ndilo jambo la msingi lililomfanya Karume akubali muungano. Baada ya kuua watu mwaka 1964, badala ya kutengeneza jeshi,walikaa kugawana madaraka, na kuoa waarabu. Tanganyika ikaweka majeshi Znz.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa kuna watawala wa TANU baadaye CCM ni wababe wa kutaka kutumikisha wanainchi. Kwa sababu watawala wengine walikuwa wanataka kutawala wengine tu.

  • @gmarwapanoceanictz
    @gmarwapanoceanictz หลายเดือนก่อน +2

    ASANTE kwa historia nzuli. Lakini kwa sasa tuishi kwa wakati. Hata YESU alivyokuja ndugu zake hawakumuelewa. we should now live on contemporary history not as previously one. should you suggest anyone? Sawa Zanzibar wafanye kurejea maridhiano...poa tuu. haliihitaji somo. kama wana muda poa. waaheni wananchi waamue sio wanasiasa tuu.

  • @rahimahamad1016
    @rahimahamad1016 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi namkubali sana Jussa na nafatilia sana vitabu ila Watanganyika waelewe kama Zabzibar sio huru na Tanganyika sio huru maana wanaogopa hata kujitambulisha kama wanatoka Tanganyika na kuielezea nchi zaliwa yao (Watanganyika ni waoga na wao hawana uhuru amini hivi)

    • @hancymtembo1870
      @hancymtembo1870 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mtanganyika anataka muungano kwa lipi Zanzibar lililopo, Zanzibar hakuna chochote, hakuna mtanganyika anafaidika.

    • @hancymtembo1870
      @hancymtembo1870 หลายเดือนก่อน

      Hamjawahi hata kuandamana manapiga como tu

  • @zuwenasaid9707
    @zuwenasaid9707 หลายเดือนก่อน +2

    Msijali wazanzibari wenzangu iliyopita ni dhulma ila msisahau mfundisho yetu yanasema hatozidisha chochote idhalimu ila hasara ila dhalala hakuna kinachodumu chini ya jua ni suala la muda tu hata kama itapita miaka 100 znz itapata uhuru wake tena mungu huleta mkombozi kutoka katika jamii ya hao wakandamizaji na dalili ipo hivo ndivo Mungu anapoleta nusra yake .

    • @user-ks7bs8yk3p
      @user-ks7bs8yk3p หลายเดือนก่อน

      Nimekupenda bure ila ongeza Elimu ya Alh kulikoni ya hii dunia

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 หลายเดือนก่อน

      Kwani zanzibar ni yenuu au ni mwarabu alipita hapo akaacha machotaraaa kwenye ni Arabuni. Sio zanziba 😂😂

  • @fidelisferuzi5503
    @fidelisferuzi5503 หลายเดือนก่อน +2

    Masuala ya kiutawala ni mapana sana. Mbali na udugu kati ya watu wa Tanganyika na Zanzibar kuna suala la usalama. Kila mmoja anamtegemea mwenzie. Ukiangalia kinachoendelea HAITI sasa hivi utaelewa. Tuwe na shukurani na tupambane kizalendo kuboresha muungano wetu. Haya mengine hayana maslahi kwetu.

    • @ChristopherMgoli
      @ChristopherMgoli หลายเดือนก่อน

      Upo Sahihi Sana Kwa Hilo

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Hiyo sio hoja.suluhu ni serikali 3

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 24 วันที่ผ่านมา

      usalama

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 24 วันที่ผ่านมา

      @@edwardmkwelele ndio maana wanashauri kuwe na serikali tatu.Mfano sijui wa haiti ni hoja mfu isiyo maana yoyote.

    • @nsajisambi3417
      @nsajisambi3417 15 วันที่ผ่านมา

      Mbona sudan waligawinya kusini na kaskazini kama kuna kero kwann kila mtu asishike zake

  • @kingnyamafutv8646
    @kingnyamafutv8646 หลายเดือนก่อน +1

    Nzanzibar nikisiwa sio inchi jamani harufu wasitokee wetu wakavuruga mungano huu nzuri kwa maneno maneno ya uragai wazee watu walikubaliana vizuri

    • @Puppet666Master
      @Puppet666Master หลายเดือนก่อน

      Hebu jifundishe kuandika kwanza kuma la mama ako

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 วันที่ผ่านมา

    Shida km ni family za kizanzibar muwe na makubakiano sacrifice family ziliko Tanganyika ziwe za Tanganyika na Zanzibar ziwe Zanzibar wachache Wanaka kuwa raia wa Tanganyika or Zanzibar wapewe passport ya Tanganyika na wanzanzibari wapwee passport za Zanzibar

  • @saiddigogogo8218
    @saiddigogogo8218 19 วันที่ผ่านมา

    Kwanini wa Zanzibari amuwezi kuanzisha chama au vyama vyenu mpaka mtegemee vyama vya bara

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi chokochoko zitaisha siku tukiwa serious yaani tuichukue Zanzibar moja kwa moja kama Crimea iliyochukuliwa

  • @alindurya2852
    @alindurya2852 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia amewaweza sana watanganyika

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 วันที่ผ่านมา

    Watanganyika ndiyo wanafiki wakubwa ndiyo sababu Watanganyika wanaona dhambi kubwa kukosoa muungano. Kuficha unafiki watu

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 หลายเดือนก่อน +7

    Sasa ikiwa yote hayo ni mipango ya muingereza ivi tutatumia njia gani ya kuipata zanzibar

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 หลายเดือนก่อน

      Hakika umeweka bayana ya audui mkoloni ambaye wengi hatumjui na huenda tunamkwepa kumuhusisha na KERO NA MATOKEO YA MUUNGANO tangu ushindi wa vita ya pili ya dunia Hadi kuja kumpoteza Mjerumani Tanganyika na kupoteza tena Sultan Unguja na Pemba kisha kuunda mifumo yake ambayo leo hii Waandishi maarufu na hodari wa siasa za mapinduzi Afrika hapa bara na visiwani hawaelezi isipokuwa kama wanafurahia upande fulani ikionekana ndio walioshika muhuri wa wakutaabisha mwingine laa hasha huu Ni muendelezo wa ila za mkoloni wa Ulaya ambaye alimtoa Sultan bara Arab ambako biashara chafu ya watu na vingine ilishakomesha kwa misingi ya dini hivyo wao ndio waliyomteua mtu wao kufanya naye biashara huku bara Zenji Kisha mabadiliko ya siasa za dunia walimuondosha kwa mikono yao kisha kukimiliki kisiwa na bara huku kwa namna waipangayo ...

    • @alibaba-mc6cf
      @alibaba-mc6cf หลายเดือนก่อน

      Njia ya kuigomboa Zanzibar ni wazanzibar kuwa wakweli na wasimamie kauli moja tu bila ya kujali itakadi zao za kisiasa au masilahi binafsi nayo ni Zanzibar kwanza .biidhin lahi tutafanikiwa

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

      Maisarir wewe hujui siasa kuwa ni mchezo mchafu wewe unapenda kurudi utumwani usiwe mjinga wenzio hao wanasiasa wanataka vyeo acha kupenda utumwa hapo ulipo hujui hata kabila lako wewe mtumwa tu tulia Hussein Mwinyi aitengeneze Zanzibar njema

    • @user-xz8mm5kt5m
      @user-xz8mm5kt5m หลายเดือนก่อน

      @@margarethpolepole7438 Akili kisoda kabisa! huo ndo ukomo wako wa kujenga hoja au una maslahi binafsi? kwa ulichokiandika hapo wewe ni either mnafiki mwenye maslahi binafsi dhidi ya Wazanzibari au ni mtumwa wa fikra kwa kiwango cha juu kabisa!
      At least unapokosoa jambo kama hili la maslahi makubwa ya watu basi kosoa kwa hoja sio unazi!

    • @Puppet666Master
      @Puppet666Master หลายเดือนก่อน

      @@margarethpolepole7438kuma la Mama ako Mmbwaa wewe Mtoto wa Malaya hatukutakini Zanzibar

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 หลายเดือนก่อน +1

    Muungano uvunjwe tu, ila hawa ccm ndo wana ushikiria, asilinia kubwa ya wazanzibar hawataki huu muungano, hata mimi muungano siutaki abadani hauna maana,
    Huyu mzee anasema kweli kabisa

    • @MackameHassani
      @MackameHassani หลายเดือนก่อน

      Ukiangalia kwa undani Wazanzibar hawautaki huu muungano kbs kbs jmn!! Wengi wetu sisi Watanganyika sisi hatuna makelele wala maneno km hawa wenzetu. Km hawautaki basi wapewe n nchi yao tuu jmn.

  • @user-rh7lj1lo5x
    @user-rh7lj1lo5x หลายเดือนก่อน +12

    Njia ya kuipata Zanzibar ni moja tu kuwa wakweli Wazanzibari na kumuelekea Allah naamini Zanzibar itajitawala tu

    • @lingwamalagila3003
      @lingwamalagila3003 หลายเดือนก่อน

      Unataka ijitawale mara ngapi hiyo zanzibar

    • @lingwamalagila3003
      @lingwamalagila3003 หลายเดือนก่อน

      Kwana hawana Allah ubaguzi mkubwa

    • @edwinmbelle4207
      @edwinmbelle4207 หลายเดือนก่อน

      Uchoyo na ubinafsi na uroho wa madaraka ,

    • @111dudi
      @111dudi หลายเดือนก่อน +1

      Njia ya kwanza ni kujuta kwa waliyoyafanya 1964, na wawe qanaomboleza kila mwaka,badala ya kujivunia, kutoa neno "mapinduzi" ktk kamusi zote, kuvunja sherehe ya mapinduzi,na kusherehekea siku ya uhuru, kutoa vielelezo vyote vya uongo vinavoonesha utumwa wa waarabu, kwa sbb biashara hii hata mabwana zao wazungu na wahindi waliifanya.

    • @edwinmbelle4207
      @edwinmbelle4207 หลายเดือนก่อน

      Ijitawale mara ngapi, na Tanganyika je acheni uroho dose ya mtu mzima hawezi kupewa mtoto

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 วันที่ผ่านมา

    Kwani kufufua makubari kunaubaya gani? Kutokufufua makuburi ni unafiki. Kwa kweli watawala wa Africa udictator ni mwingi sana.

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff 23 วันที่ผ่านมา

    Muungano ulipaswa kuwa wa wa watu na fursa....sasa hapa watu wa nchi mbili wanaogelea fursa za nchi moja...hiyo nchi ingine fursa za ke ni zake....sijui ni muungano wa aina gani..so perplexing 2 my opinion...

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Jusa vunjeni muungano. Sasa kwa nini sasa hivi Samia hataki KATIBA ambayo tunataka Inchi tatu. Ili Zanzibar iendelee kuwa Inchi kamili. Na Tanganyika irudishwe kama wanapenda jina la Tanzania basi wajibatize kuwa "Tanzania " waweze kusema zamani tuitwa Tanganyika na sasa tutaitwa Tanzania. Si wanaipenda? Lakini siyo kulazimisha na kuchukuwa uhuru wake kwa nguvu ati Tanzania ni muungano waksti ni unafiki wa CCM na watawala wake wanapenda sifa za unafiki.

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 หลายเดือนก่อน

    Aminn

    • @nsajisambi3417
      @nsajisambi3417 15 วันที่ผ่านมา

      There are arguments of this called Union of Tanganyika and Zanzibar, First off all there was no referendum from people of both part whether to unite or not it was just the vision of the leader from Tanganyika and other leader was threaten if he decide not to unite, so there are Griaviances from both part of union Mainland and islands

  • @barakabaraka8665
    @barakabaraka8665 หลายเดือนก่อน +1

    Hoja ya Jussa ingekuwa na mantiki zaidi kama Historia ya kutawaliwa Zanzibar ingeanzia tokea mwaka 1832.Jee anatuamimisha kwamba waliokuwa wakitawala kipindi hicho walikuwa ni wazanzibar kindakindaki?!!Ni tafakuri tu!!

  • @AliOmar-le2cy
    @AliOmar-le2cy หลายเดือนก่อน

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 วันที่ผ่านมา

    Hivi kwa nini mtu akisema ukweli mnamuita mbaguzi? Ninyi wanafiki kweli. Kuna Inchi iliyo na waafrika weusi pekee siku hizi? Ninyi ndiyo wabaguzi wakubwa. Hata hapa Tanganyika tunawhindi, warabu namakabila wengine mengi na pia rangi mbali mbali lakini ni watanganyika? Itakuwa Zanzibar? Kwanza warabu walikuwa wengi kuliko hao wasukuma na wanyamwezi kama siyo kuwafukuza kwa uhuni fulani.

  • @user-ud4rk1vw7l
    @user-ud4rk1vw7l หลายเดือนก่อน

    Bwana Jusa unataka mungano wa Zanzibar India . Acha kurembusha macho , hujui hata unalosema unatafuta gia TU ya maisha .

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 หลายเดือนก่อน

    Hapana@
    Mara zingine kuendelea kwa kujitenga ni kuzuri zaidi.
    Ndoa zinakatika sembuse nchi!

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb หลายเดือนก่อน +5

    Mungano Mungano mpk wametuondoshea passport zetu saiv tunatumia Tanzania 😅

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k หลายเดือนก่อน

      Ah tena ndo usiseme apo wametuondoshea mamlaka yote

    • @bindawood978
      @bindawood978 หลายเดือนก่อน

      Kila lenye mwanzo na mwisho wake upo

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 หลายเดือนก่อน

      Hapa ndio kosa letu lilipo kuingiza siasa badala ya ukweli. Wakati tupo kwenye Muungano iwe kwa hiari au lazima HAITAWEZEKANA kuwa na passport, USA ina state 52 zenye mamlaka ya ndani kama ilivyo Zanzibar lakini USA ina Passport 1 tu. Uingereza ina nchi 4 England, Scotland, Wales and Northern Ireland lakini kuna Passport 1. Hivyo tuachane na Muungano tupate Passport. Lakini kuna mambo ya kutafakari pia kabla ya uamuzi huo juu ya hatma ya Wazanzibar waliopo Tanganyika ambapo Wazanzibar wengi wapo Tanganyika na mali nyingi zisizohamishika. Pia kabla ya 1964 hadi 1980's Wazanzibar (Waunguja na Wapemba) kila mmoja alikuwa kwao lakini leo tupo pamoja na hasa Unguja je tutakubali tuishi kwa uwiano visiwani petu? Zanzibar ni ndogo sana sio tatizo kwa Watanganyika waliopo Zanzibar kurudi kwao na Tanganyika haitahisi kwamba wamepokea mzigo hasa kwa vile Watanganyika waliopo Zanzibar hawana mali. Jingine malipo ya Watumishi koplo wa JWTZ analipwa vizuri kuliko Meja general wa vikosi. Kubwa kuliko yote nani atalipa passion yya Wastaafu .

    • @ebonybhoke5321
      @ebonybhoke5321 หลายเดือนก่อน

      Hebu ondoa Tz Port ujue km unajulikana wapi duniani

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 หลายเดือนก่อน

    Kama mzanzibari halisi muungano hatuutaki lo vinganganizi na wauwaji walokuja kutumaliza wanzibari kila wakati wa uchaguzi na kujazana zanzibar

  • @DamtelLegunju
    @DamtelLegunju 14 วันที่ผ่านมา

    watu wote wa zanzibari asiri yao ni bara tena kabira za wanyamwezi na makabira mengine walochukuliwa na waarab kama watumwa😮 wakazaliaana pare ndo maananhakuna kabira

  • @CheupeSaid-ny5ud
    @CheupeSaid-ny5ud หลายเดือนก่อน

    Ifike pahali km hakuna meza yamazungumzo tulazimishane cc ndio raiya wa nchi hii viongozi wao waongoze tu liwalo naliwe papatu kwa papatu tuligawe jahazi la mabao

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jusa Ni mnafiki.kwa Nini afufue makaburi yaliyokwisha zikwa? Maneno haya wangezungumzwa wakati Mzee Karume yupoo. Sasa Zanzibar nzuri,Ina maendeleo.watu wamezaliana,na wengine wapi bars. Mpaka na wajukuu wamezaliwa..hapa tunaangalia umma wa wazanzibar na watanganyika upo salama?Kuna amani? Huo ndio umuhimu wa nchi yamepitwa na wakati..Nakuuliza Jusa Nia na madhu

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 หลายเดือนก่อน

    Oko sawa baba wafunguee macho

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 หลายเดือนก่อน +1

    Jusa unataka madaraka lakini usichokijua ........ Kwani unazani sisi Wabara wakawaida tunashida na nyinyi we kama unaweza pambana ktk boksi upate unachokitaka

  • @ImamuDossa
    @ImamuDossa หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mkenya.Unamwita Jussa kuwa ni Muhindi!!!Ikomboe akili yako.Jussa anakuteteeni.

  • @user-su6xu7ks7m
    @user-su6xu7ks7m หลายเดือนก่อน

    Zanzibar Walizisamisha kwa Serikali ya TANGANYIKA. Kulinda usalama wao Sultan wa Omani asirudi.

    • @user-ks7bs8yk3p
      @user-ks7bs8yk3p หลายเดือนก่อน

      Huo ndio ukweli lakini je serikali hizi mbili je zimeanza leo tunapo fungua macho na je tumeamua kuwa Nguruwe asie tosheka kulikoni Binaadamu na je nchi hizi 2 zimekubali kuingia umwagaji damu wa hadhara na kwanini serikali 2 ila moja haina hatma na ikiwa inakosekana yapili hata uwakilishi wake na askari tena du vitisho vimekuwa sehemu ya maisha ya watu tena sirini sana Shikamoo Tanzania

  • @georgemwaikusa4451
    @georgemwaikusa4451 หลายเดือนก่อน

    Atoke sasa mtu apinge haya kwa hoja ili kwa pamoja tutafakari na badae sote kwa pamoja au kwa uwingi wetu tujirdhishe kama ni kweli au vinginevyo.

  • @bakanga1410
    @bakanga1410 หลายเดือนก่อน

    jusa nae anajua sana ila nataka kumwambia auangalie muungano kwa faida cyo mapungufu ya muundo awe realistic je ni muda sahihi kufikiria kuuvunja muungano kwa sababu ya ulevi wa ubinafsi

  • @user-eo4bl3do8k
    @user-eo4bl3do8k หลายเดือนก่อน

    MH JUSSA UNASTAHIKI KUWA MWENYEKITI WA CHAMA kwasababu una uwezo mkubwa wa UONGOZI,

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 หลายเดือนก่อน +1

    Nyerere alimzidi akiri karume

    • @mohdally7896
      @mohdally7896 หลายเดือนก่อน

      Sio akili
      Alimzidi nguvu

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 หลายเดือนก่อน

      Hakuna ulaghai wala nguvu yoyote wote walikuwa na nia ya dhati, isitoshe Karume alikuwa na mamlaka kamili kama Makamo wa Rais akiwa na mamlaka yote ya Rais ikiwemo kusani miswaada. Tatizo tunaloliona sasa ni kwamba kabla ya Muungano kuna vitu/mambo yalikuwa yakiendeshwa kijumuiya ya Afrika Mashariki kama Elimu ya Juu, Fedha nk hafla baada ya Muungano Jumuiya ilikufa hivyo yale mambo yalibebwa kimuungano kwa sababu zinazoelezeka na zinazoeleweka. Kama sasa hatuna nia ile tuuvunjeni.

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi naona yeye ndiye alizidiwa akiri. Karume alibaki na katiba ya nchi yake, serikali, baraza la wawakilishi, na nchi ikiwa intact. Nyerere aliitelekeza Tanganyika ambayo sasa hivi hata haijulikani ilipo.

  • @khalidhasan4506
    @khalidhasan4506 หลายเดือนก่อน

    Ipo siku inshallah zanzibar itakuwa huru

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibari watu wachache wanataka kuwachanganya maana mnahamasishwa kuvunja muungano ikitokea muungano unavunjika wote mnarudi kwenu mtatoshea kwenye nchi yenu
    Jamani wakati wanasiasa wanawamezesha chuki kwa manufaa yao muwe pia mnachuja mambo kwa kina

  • @abuumadesign8095
    @abuumadesign8095 หลายเดือนก่อน +1

    Haya masalia ya warabu laana ya ubagizi inawatesa yani shida yao sio uzanzibar bali wanataka wapewe zanzibar ili wawanyanyase ngozi nyeusi

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂hawa machotara wanashida sanaaaa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      ​@@awadhally1052zanzibar wana haki ya kujitawala.kuendelea na muungano ambao hautendi haki ni dhuluma na ujinga.

    • @nsajisambi3417
      @nsajisambi3417 15 วันที่ผ่านมา

      Acha ubaguzi wewe kwa hyo anyamaze tu kama hana ubongo au amekatwa kichwa?

  • @barakaanthony159
    @barakaanthony159 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona wewe ni muhindi Africa unafnya nn,,ki asili wewe sio mu Africa unafnya nn Africa,,muuza stationary wewe

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 29 วันที่ผ่านมา

    Kabila haliwezi kushindana na ukoo na ukoo hauwezi kushindana na utawala ......

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 หลายเดือนก่อน

    WEWE JUSA MBONA WEWE SIO MNZANZIBAR..
    SI MWARABU WEWE HAYA ZANZIBAR NA WAARABU VP

    • @ntvtanzania6467
      @ntvtanzania6467 หลายเดือนก่อน

      Kwani zanzibar sio huru?

    • @georgemwaikusa4451
      @georgemwaikusa4451 หลายเดือนก่อน

      Zanzibar uarabu siyo hoja kwa kua kuna wazanzibari warabu kama ilivyo Tanzania, niambie naibu spika wetu ni ......

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Kwani waarabu hawana haki ya kuwa raia wa Zanzibar?

    • @nsajisambi3417
      @nsajisambi3417 15 วันที่ผ่านมา

      Mbona Dewji ni mtanzania bara kwa hyo na yeye arudi india? msiwe wabaguzi kama kuna kero akae tu kimya? Rejea wafalme2 ktk Biblia MUNGU aligawanya taifa la israeli yaani israeli na Yuda sembuse huu muungano wa kiimla?

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar ni kisiwa?
    Sio nchi?
    Kw io na japan sio nchi?
    Na hiyo uingereza naio sio nchi?!!
    Ama kweli,tunesoma sana!!

  • @mremaelisenguo
    @mremaelisenguo หลายเดือนก่อน

    Jitahidini Jussa na wenzio muungano uvunjike hata mwaka huu ili Tanganyika ipone

  • @user-oy3dg3pq2v
    @user-oy3dg3pq2v หลายเดือนก่อน

    Sisi wenyewe WA Tanganyika hatuoni umuhimu wenu 😂 mmejaa tu ilala na magomen

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 หลายเดือนก่อน

      Si wamwambie Samia Mzanzibari mwenzao arekebishe hizo changamoto za muungano?

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 29 วันที่ผ่านมา

    Ujui kitu wewe nyerere alipendekeza mzee jomo kenyatta ndio awe raisi endapo tungeungana na kenya ujui kitu wewe

  • @AbeidMabrouk
    @AbeidMabrouk หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar kutokakwenyemikonoyatanganyika sirahisi kwasababu wazanzibar niwanafiki wahawanadini

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน

      Hawana dini kivipi, wanaonekana ni washika dini

    • @AbeidMabrouk
      @AbeidMabrouk หลายเดือนก่อน

      @@MiriamAbdallah washikajini nasiwashikadin kushikadinisichezo alieshikadini yauisilam kwamalekezo kutoka kwa Allah mtuhuyo kila akivutapunzi anasikiaharufuyapepo wazanzibar akivutapunzi wasikaharufuyamavi

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy หลายเดือนก่อน +1

    Mulipigwa Na Nyerere Vibaya Mno Bila Kujielewa Kana Kwamba Mlirogwa Nyie..... Sasa Ashawatawala Shukuruni Mungu Au Muuvunje Mkataba Kila Mtu Abakie Kwake Hakuna Makubaliano Ya sharuti Hapa Kuwa Nilazima Mubakie Kwenye Muungano Na Atakae Kuuvunja Muungano Awe Ni Adui Hapana Huo Sio Muungano Ila Utakua Ni Uhaini Wa Kifikra Na Maridhiano. #maoniyangutu

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 หลายเดือนก่อน

    SIO watawala wakubali kwa ridhaa yao, bali WALAZIMISHWE KUKUBALI. Kama Wazanzibari hawakubali aina ya Muungano uliopo na Katiba yake, kama ilivyo kwa Watanganyika wasivyo ukubali Muungano na Katiba yake. Ni nani anayeng'ang'ania huu Muungano na Katiba yake?? Kwa manufaa ya NANI??

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 หลายเดือนก่อน

    Baadhi ya watanganyika wanamtuka rais wetu mama samia

  • @geey7893
    @geey7893 28 วันที่ผ่านมา

    Hawa muungano ukifa watakula mavi kumanina😂

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibar sijui kwa nini mnashida gani ya kujitawala na kuendesha mambo yenu? Mimi ningekuwa mzanzibari ningefanya kujitoa muungo huu ambayo haukushisha watu hata zaidi ya wawili. Kwani Wazanzibar mbafungwa na nini kutangaza mamlaka yeu kamili na mnajiunga kwenye shirikusho la Mashariki. Kama na ndiyo sababu ya huo unafiki wanapoteza Inchi ya Tanganyika. Kweli kabisa msikubali umateka huu. Hata CHADEMA msije mkafanya Zanzibar kama ukoloni. Kama hakuna kwa sababu hii nadhani ni dhahili kuvunja muungano ili tubaki na shirikisho la Mashariki.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Tatizo ni viongozi kutoka Tanzania bara na viongozi wasaliti kutoka Zanzibar ndio wanaong'ang'ania huu muungano usio na usawa wala haki.Ingekuwa mimi ndio Rais ningeuvunjilia mbali.

  • @user-nm5cv8it8z
    @user-nm5cv8it8z หลายเดือนก่อน

    Hivi Mh. Jusa wewe ni kabila Gani? Hata sisi tumewachoka mnaongea sana! Haya Samia ni mzanzibar na mwinyi ni mzanzibar waambieni wavunje basi msiongee sanaaaaaaaa!

  • @RUQYAHTIBMUJARRAB
    @RUQYAHTIBMUJARRAB หลายเดือนก่อน

    Unajua kila mzanzibari nimtanzaia lakini si kila mtanzania ni mzanzibari na nikwanini?

  • @alfoncekasanyi6584
    @alfoncekasanyi6584 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwarabu kala maharage ya wapi?Hajui kuwa Yeye si Mzanzibari? Zanzibar siyo ya waarabu.Zanzibar Ni ya Waafrika weusi.Awulize. Waarabu waenzake wa Oman.Sultan wa Oman alifika eneo Hilo kutafuta watumwa akanogewa na uzuri wa eneo Hilo hasa maji baridi na kina Cha bahari akaamuwa kuweka makazi yake pale

  • @telesforisinge4475
    @telesforisinge4475 20 วันที่ผ่านมา

    Kaani kwebu.

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 28 วันที่ผ่านมา

    JUSSA ACHA UWONGO SIRI YA MUUNGANO UTAIJUAJE WAKATI WALIOAMUA KUSAINI HIZO HATI WEWE ULIKUWEPO?? ACHA UZUSHI HATA UFANYE NINI MUUNGANO HAUVUNJIKI

  • @remigiushaule3302
    @remigiushaule3302 18 วันที่ผ่านมา

    Sasa wewe jussa na sisi huku bara tunaitaka Tanganyika yetu,Tanganyika imepotea ivi Zanzbar imeungana na nchi gani?Si mjitoe tu kwenye muungano na sisi tubaki na Tanganyika yetu jamani mnatunisha misuli tuu ya nini jitoeni tu kwenye muungano huu kelele tumechoka.

  • @SoudOmar-lu7we
    @SoudOmar-lu7we หลายเดือนก่อน +2

    Bora ufukie na bahar

  • @user-xv4tl8iv4l
    @user-xv4tl8iv4l หลายเดือนก่อน

    MH

  • @Nicolasmosereta
    @Nicolasmosereta หลายเดือนก่อน

    Iv chanzo cha huu mfukuto ni nini nani katonesha kidonda ushauri tu Watanzania ni watulivu kwa utawala uliopo madarakani shughulikieni kero na changamoto zinazowachefua na kuwakosesha usingizi watanzania kabla hazijaja siku ngumu

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 หลายเดือนก่อน

    Wa zazbar kuweni free kama mnataka kujitenga semani watu tuwaskiye

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 หลายเดือนก่อน

    TANGANYIKA IBAKI NA ZANZIBA IBAKI BAADAE NDO TUUNGANE

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni mchochezi tu,unachotaka ni kuifanya Zanzibar kuwa ni nchi ya kiislam basi.

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 หลายเดือนก่อน +1

      UDINI TU UMEKUJAA TU NA UKIWA MBAGUZI HUWEZI KUFANIKISHA UNACHO WAZA KWANI UNANIA YAKO ILIYOJIFICHA

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 หลายเดือนก่อน

      Haitakuwa mbaya kwani mpaka sasa wengi huko ni waislamu takriban 99%.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Kwani ikiwa ni nchi ya uislam kuna ubaya gani?

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 หลายเดือนก่อน

    Lakini kwa nini wazanzibar wanapouza ardhi ya tz bara lengo lao ni nini

  • @RynoFiree
    @RynoFiree 29 วันที่ผ่านมา

    Hata sionagi faida ya huu muungano

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 หลายเดือนก่อน +6

    Sasa MWINYI na samia wote SI wazanzibar wambieni watangqze kuvunja mungano mbona jambo dogo😂😂😂

    • @straitnews3441
      @straitnews3441 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😊

    • @raymrash
      @raymrash หลายเดือนก่อน

      Wafanye su!

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂huyuu kavimbiwa urojooo yaheeeee

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 หลายเดือนก่อน

    Semeni moja kama unataka kujitenga ndomana Africa tunarudi nyuma sikuzote pahali tuungane tuna bomowa haye twende

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 หลายเดือนก่อน

    Jusa hao Waafrika unaowahubiria hapo wazazi wao walikua raia daraja la tatu, hizo habari za Israel walizijulia wapi labda useme waarabu ndio waliandamana

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 หลายเดือนก่อน

    Tanganyika wabaguz kaeni kwenu

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 หลายเดือนก่อน

    JINA LA TANZANIA NI JANGA KUBWA KWA WAZANZIBARI, NDIO MAANA WATANGANYIKA HAWATAKI NCHI YAO TANGANYIKA!

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli jina lako na maoni yako sawa huna akili na wala hujui historia myumwa wa hedi

    • @natafutamatatizo4382
      @natafutamatatizo4382 หลายเดือนก่อน

      @@margarethpolepole7438 KAA KIMYA WE MSUKULE🤣🤣

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 หลายเดือนก่อน +3

    Km kuna kitu cha kukuombea zaid ya dua bc ningekuombea lkn sina ila nakuombea mungu akupe umri mrefu na afya njema

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 หลายเดือนก่อน

    TAMAAAA YA MALI NDO INAAUMBUWAA.

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 หลายเดือนก่อน

    Watanganyikaa wakae kwao

  • @kingnyamafutv8646
    @kingnyamafutv8646 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee kuna mambo mengi kadanganya sana tena sana

    • @alliyharith3457
      @alliyharith3457 หลายเดือนก่อน

      Hebu yaorodheshe na uyafafanue kwa ushahidi hayo aliyodanganya, ili tupate Elimu ya kweli kutoka kwako.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Mzee anaongea ukweli na haki tupu

  • @wistardmwilenga6551
    @wistardmwilenga6551 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi tuna amani lakini nyie wanasiasa mnatuharibia sana

    • @fahadabdalla8194
      @fahadabdalla8194 หลายเดือนก่อน

      Which one ikifika uchaguzi kuja kuuwa watu ndio Amani au

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน

      Amani!! Hiyo amani iko wapi

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Wanasiasa ndio huweka malengo ya nchi

  • @111dudi
    @111dudi หลายเดือนก่อน +19

    Zanzibar ilijitawala na serikali iliyochaguliwa na wazanzibari ni kuanzia 10Dec 1963 mpaka 12 Jan 1964.ukaja utawala wa kumwaga damu mpaka 26Apr 1964, baada ya hapo ikarudi kutawaliwa.

    • @abdull_hafidh
      @abdull_hafidh หลายเดือนก่อน +2

      Exact Na utashangaa eti kuna wazanzibar wakisikia haya hua wanasapot watanganyika

    • @abdull_hafidh
      @abdull_hafidh หลายเดือนก่อน +1

      Kuna Watanganyika hapa kwasasa wanapewa kibali cha hapa na wameshaanza kumiliki ardh ccm oyeee nipo pale nasubiri hatma ya wazanzibar 2030

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@abdull_hafidh Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar sio kosa akikidhi vigezo ikiwa ni pamoja na kuwa Mkaazi wa Zanzibar kwa kuishi miaka 3. Sote ni Watanzania tofauti ni kwamba Mzanzibar ana HAKI zote Tanganyika siku yoyote akifika huko.

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 หลายเดือนก่อน

      je ni kitu gani ambocho tanganyika inafaidika na hawa wazanzibari kwa nini huu mungano ufiriiye mbali hawa wanzanzibari ni watumwa wa kiarabu

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdull_hafidhHataaa tafadhali sio ajabu ya wale waliotaka Sultan awepo madarakani na kukutaa mapinduzi Kwenye nyoyo zao ambazo zimepigwa muhuri wa
      mapenzi ya minyororo ya Sultan...

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 หลายเดือนก่อน

    SHUGHULIKENI NA HAO MA CCM

  • @user-nm5cv8it8z
    @user-nm5cv8it8z หลายเดือนก่อน +2

    Huyu katumwa na waarabu!

    • @AbbasHussein-zq3yi
      @AbbasHussein-zq3yi หลายเดือนก่อน

      Wewe unayetaka taarifa hizi tujuulishe yafuatayo:-
      I) Kabla ya Mapinduzi wewe ulikuwa Upande wa nani? Karume au Hizbu?
      ii) Wajuulishe hao unaowaita Vijana kabla ya Mapinduzi, Mwafrika alikuwa Daraja la 3 ndani ya Zanzibar.
      III) Wajuulishe hao Vijana Kundi la Waarabu walipata mafunzo Cuba walitaka kuja kumpindua Serikali ya Mapinduzi.Wafahamishe na hilo wajue.

    • @AbbasHussein-zq3yi
      @AbbasHussein-zq3yi หลายเดือนก่อน

      Si uwongo ni kweli kabisa.

    • @AbbasHussein-zq3yi
      @AbbasHussein-zq3yi หลายเดือนก่อน

      Kuna ajenda nyuma ya pazia.Anazunguka tu.Muungano ndiyo uliyompa HADHI Mzanzibari Mwafrika badala ya kuitwa Raia Daraja la 3.Ndiyo chanzo cha Karume kufanya Mapinduzi.

  • @amanam2735
    @amanam2735 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wa kulaumu ni Uingereza? Nenda ubalozi wa Uingereza kamwage povu.

  • @wistardmwilenga6551
    @wistardmwilenga6551 หลายเดือนก่อน +1

    Lengo lako nini

  • @alindurya2852
    @alindurya2852 หลายเดือนก่อน +1

    Baada ya kuuzwa bandari zote za Tanganyika na mapori yake Sasa Zanzibar wanaweza kujitenga na kujitawala bila bughdi yeyote. 😊😊

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Wewe mtumwa wa kiarabu tulia sayyid unalijua kabila lako halisi hawa waasisi wameleta muungano mzuri sanaaaa kama wasingefanya hivyo nyie mbona mmeja bara kisiwa kidogo hicho hao wanataka madaraka usiwe mjinga amuache Hussein Mwinyi aitengeneze Zanzibar huyo Jusa mwenyewe mwarabu msukuma mtumwa tu afunge mdomo wake wa kutaka waarabu warudi wampe cheo pumbavu zake

    • @nsajisambi3417
      @nsajisambi3417 15 วันที่ผ่านมา

      Hapana kulikuwa hamna referendum(opinion polls) kutoka kwa wananchi yalikuwa ni maamuzi ya kuburuzwa tu kwa hyo demokrasia ya wananchi ilikuwa hijacked nchi ni mali ya wananchi na si viongozi pia hata ukirejea ktk Kitabu cha WAFALME 2 MUNGU aligwanya mataifa mawili ya israeli, yaani taifa la israeli makabila10 upande wa kaskazini na Yuda makabila 2 upande wa kusini sasa sembuse huu muungano?

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 หลายเดือนก่อน

    Hatutaki muungano

  • @user-oo5xr9mk8e
    @user-oo5xr9mk8e หลายเดือนก่อน

    Wapinzani hifulana yenu vipi mbona ina kisiwa kimoja tu cha pemba ?

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 หลายเดือนก่อน

    Nani alokwambia znz hawalip umeme mbwaa wee

  • @sureboyofficial6473
    @sureboyofficial6473 29 วันที่ผ่านมา

    FISADI TU HUYU MUARABU KOKO , TUNAJUA BABA ZAKE NDIO TULIWAKIMBIZA WAKATI WA KUDAI UHURU NA SASA ANATAKA TENA KUHARIBU NGUVU ZA AFRIKA SASA TUNAFIKIRI KUUNGANA AFRIKA HUYU NAONA NI MUARABU TU ,

  • @omarabdallah3883
    @omarabdallah3883 หลายเดือนก่อน

    Anaekataa kwao mtumwa,mgeni ni wewe mpumbavu,na hao wakuu wa mikoa mmoja atakua mamayako,wa pili baba yako.

  • @user-bp7nb7yp2o
    @user-bp7nb7yp2o หลายเดือนก่อน

    Jusa tuambie hao wanajeshi wa Tanganyika walikujaje huko Zanzibar? Kama sio makubaliano? Kumbe cc watanganyika ndio tuliofanya mapinduzi ya Zanzibar na kuwafanya nyie muwe huru.na malipo Kwa Watanganyika ilikuwa nini?

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 หลายเดือนก่อน

    Kwanza tafuta muungano wewe kama muhindi na zanzibar ni nani aliekuunganisha na kwa faida ya nani mpaka leo hii ujadili muungano wa waafrica na wewe ukiwa sio muafrica

  • @user-gr7tb7jv2m
    @user-gr7tb7jv2m หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo tufanyeje ili ulidhike na muungano

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni nani anaye nufaika na Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika? na nani wanapata hasara ? Kuna faida au hasara gani tukivunja Muungano ? Nani ataumia zaidi?

    • @MackameHassani
      @MackameHassani หลายเดือนก่อน

      Binafsi mm naona serikali hizi mbili ndo zinazojua haswaaa faida na hasara za huu muungano nasiyo sisi raia wa kawaida tuu. Tusijazane chuki mpk kufikia hatua yakutoelewana, wazanzibar walio wengi wanaona muungano unawabana na hawapati haki zilizo Sawa. Sasa tujiulize sisi watu wa Tanganyika huku nn tunakipata zaidi.....tujiulize hapaa.

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 หลายเดือนก่อน

      ​@@MackameHassaniUko sahihi sana na wanaohangaika na hoja hizo ni wanasiasa ambao lengo lao kubwa ni kupata madaraka yatakayo wanufaisha wao huku wananchi wa kawaida hawana cha kunufaika nacho. Unawashangaa hawataki muungano uvunjike kabisa ila wanataka serikali tatu na sio mbili. Kwani Kwa Nini usivunjwe kabisa au kwa nini usiwe wa serikali Moja? Kuna unafiki fulani Huwa siupendi kwa wanasiasa wetu. Hawako wazi na ingefaa tu watanzania wapige kura za ;
      1. Wale ambao hawataki kabisa Muungano
      2. Wanaotaka serikali moja,
      3. Wanaotaka serikali mbili
      4. Wanaotaka serikali tatu.
      Kwa sababu tunajua Zanzibari imekaliwa na watu Toka makabila na nchi mbalimbali na kimsingi Bado sababu xilizo wafanya waje Zanzibar haxijawatoka akilini na hasa waliotoka nchi za mbali na hao ndio tatizo kubwa kwa sababu bado Wana ndugu na jamaa zao ambao wanaikumbuka Zanzibar na bado wanaitaka na sidhani kama wameridhika na jinsi walivyoondolewa huko Zanzibar.