BASI HUJUI MAJASILI KAMA HUYU NDIO UMEMUONA JASIRI. MIMI NAONA MTU MWENYE HASIRA TU NA AKISHIKA MADARAKA MIAKA 5 YOTE NI KUTIA NDANI WOTE ANAOFIKIRI WALIMPIGA RISASI. HANA HEKIMA YA KUONGOZA NCHI ILA ANAFAA KUENDELEA KUWA MWANAHARAKATI TU MPAKA ACHOKE
@@Enkat hivi ni nani ambaye akipigwa risasi ataendelea kuongea kwa kumdhania ni mtu fulani kanifanyia hivyo na akatamka hadharani kama yy? Na wala haongeia kwa hasira, nadhani umesahau ongea yake hata kabla ya kupigwa risasi. Hajabadilika kitu ktk uongeaji wake
Mungu akulinde, na kweli mwisho wa siku zile riport zote za madini zilikuwa matango pori anaowaita Mabeberu walimnyosha mchana kweupe na hawakulipa hizo trilion 425
Huyo lisu hana hoja zaid ya office zinazo chomwa na lisasi 16 mbona majumbani kwetu tunamatatizo mengi tunashindwa kutatua hata Yesu alisema tajili atakuwepo pia maskini naye atakuwepo lisu ninani kwamungu atakaye maliza shida za watanzania please jamani punguzeni upofu pia uziwi chema lazima kipingwe na waovu
We unasema hapewii, ebu fikiria uongozi mzurii n kujaribu kumuua mtu au n kuongoza taifa? Ata hasiposhinda ila Mungu atalipiza kisasi aliyesababisha lifo chake.
Mwanadamu hawezi kumwaga damu yake mwingine akakombolewa au damu nyingine yeyote ni yesu tu aliyenifia msalabani akanikomboa siyo mwanadamu nooo big noo
500 GTS 😂😂 Ule mkeka wenu mlioweka “ katumwa na mabeberu “ ushaharibika ❌❌ Iyo ya ushoga utakuja tu Mwaka huu wajinga kama nyie ambao ni mitaji ya kura za Ccm mtapata akili tu Mtake msitake akili itakuja
The Genius,Taifa linakuhitaji sana,ulipona ili uje kutukomboa kwenye nchi inayojiita ya Amani kumbe ni nchi yawaoga tunaomuliwa yale amabayo hatujayaamua sisi...NOW IS END!OVER!!!!....✌✌✌
Ww tulia ss hpo kaongea nn had mtu mzima unaropoka kuwa itajamba ? Yaan hyo ng'ombe haina cha kuongea ss kma hyo anagkmbea ubunge kupitia ccm yey inamuuma nn
WEWE MWENYEWE ULIMWITA LOWASSA FISADI KTK LIST OF SHAME PALE MWEMBE YANGA LAKINI UKAWA WA KWANZA KUMTETEA KUGOMBEA URAISI. Mwanasheria gani Anatoa mashtaka asiyokuwA na uhakika nayo??
mmekwisha ccm kama tu lowasa fisadi aliwashusha % mkaambulia 52 je mbeba maono wa Mungu Huyu ambaye akiongea watanzania tunafurahi na kulizika si atawashusha mpaka % 8 kweli ccm kwisha kwisha kwisha kabisaa
Hatuhitaj kuwekewa na ww TUNAJIELEWA WATANZANIA na hiyo HOTUBA ni kweli tumeifuatilia na tunaifahamu# ww mtoto wa shetani utuache maana yy ni baba wa huo UONGO;....!!! Rais mtarajiwa mh. TUNDU LISSU (Mbeba MAONO) ATABAKI KUWA JUU TU,, ANAYEPIGANA NAYE ATAPIGWA NA MUNGU....!!! VIVA LISSU VIVA....!!!
wajumbe mlio elewana ni wewe na mkeo kama unaye lakini watanzani % 73 tunampigia kura tundu lisu nyie wajumbe tuna wachia hizo % 22 wengine wanagawana % 5 iliyo baki
mna tudhulumu saana raia kuto tuwekea hotuba kamili tuna ulazima wa kumskiliza mkimbozi wa taifa fanyeni mikakati ya kueka maudhui kamili tumskilize haya ndio mambo ya msingi na muhimu ndio mustakabali wa maisha ya kesho .kama hamna bando fanyeni hata mchango tutajitolea
Tuna watu wengi wenye uwezo wa kuwa raisi na wasomi wenye kujua sheria sio kuburuzwa kama mzoga wa fisi chukuwa mdaa kutafakari miaka 50 ya uhuru mpaka leo tuko wapi ?
Mbona kila pale risasi risasi mzee watz wanataka uwaambie nn utafanya sasa wewe kwann kila saa unatuletea umbea maana huu hauna tofaut na umbea hakuna mtazania asiejua kuwa ulipitia mtihan huo lakini na pia usiwaongelee watu ambao hawakuongelei wala hawana habar na wewe hata hivyo unaonekana huna cha kuwaambia watz zaidi ya risasi na habar za watu wengine sisi watz tunataka tuskie umetuandalia nn lkn badala yake unatuletea ngonjera yaan wana sias sjui mnakwama wap
Chadema media tatizo lenu nini,?bando wekeni no tuawachangie.mnaeka video fupifupi then event zingine hamuoneshi na huku mkijua hatuna vyanzo vingine vya habari,mfano leo kaenda kula kiapo hamjaonesha,mpaka tutafute vyanzo vingine kwa taaabu why?why?
Tumalizieni alichoongea mbona mnakata kata jamaniii mi naweka bundle kwa ajili ya Lissu tu
Tokea nizaliwe sijawahi ona mtu jasiri kama huyu...Mungu akulinde💕💕💕
BASI HUJUI MAJASILI KAMA HUYU NDIO UMEMUONA JASIRI. MIMI NAONA MTU MWENYE HASIRA TU NA AKISHIKA MADARAKA MIAKA 5 YOTE NI KUTIA NDANI WOTE ANAOFIKIRI WALIMPIGA RISASI. HANA HEKIMA YA KUONGOZA NCHI ILA ANAFAA KUENDELEA KUWA MWANAHARAKATI TU MPAKA ACHOKE
Amen
Ni hasra zake tuu hata ikulu yenyewe yawapi ataingia huyo choko
@@Enkat hivi ni nani ambaye akipigwa risasi ataendelea kuongea kwa kumdhania ni mtu fulani kanifanyia hivyo na akatamka hadharani kama yy? Na wala haongeia kwa hasira, nadhani umesahau ongea yake hata kabla ya kupigwa risasi. Hajabadilika kitu ktk uongeaji wake
Mungu akutangulie baba 2po nyuma yk
Yaani CCM, Kumbe inatudanganya Mwanyika kuwa Mhujumu Uchumi huku Inampa nafasi kugombea Ubunge!? Looo hapiti huyo
Ahsante sana my beloved president #Ni yeye 2020
Mh.TUNDU ANTIPUS LISSU Genius 100% ni yeye 2020.✌✌💪
Ndio,kenya tupo nyuma yenu
Mungu akulinde, na kweli mwisho wa siku zile riport zote za madini zilikuwa matango pori anaowaita Mabeberu walimnyosha mchana kweupe na hawakulipa hizo trilion 425
@chademamedia WEKENI HOTUBA FULL AU KAMA HAMNA BANDO TUTAWACHANGIA CHADEMA MUDA WOTE TUPO ACTIVE,
😁😁😁
Mm kura yangu ni kwa Lisu nshaona upepo unakoelekeaaaa
Lissu anakumbukuma kama computer, tunakuitaji sana, nasiku tutaongozwa na MTU msomi kama huyu tutakuwa huru, for sure we want hoja
Yaan mm namkubali kwa kumbu2
Huyo lisu hana hoja zaid ya office zinazo chomwa na lisasi 16 mbona majumbani kwetu tunamatatizo mengi tunashindwa kutatua hata Yesu alisema tajili atakuwepo pia maskini naye atakuwepo lisu ninani kwamungu atakaye maliza shida za watanzania please jamani punguzeni upofu pia uziwi chema lazima kipingwe na waovu
Mungu akuongoze na akulinde siku zote za maisha yako watesi washindwe vibaya Biblia inasema watashindana nawe lakini hawata kushinda
Namuomba sana Mungu asikie kilio changu, upite kwenye uchaguzi nakuombea sana #ni____yeye2020
Amina
Huyu jamaa ni gineous kwel kweii apite tyuuuuuuuuuu
Hiyo nisawa kuwasha moto katikati ya baharini hawezi kuwa ata akishinda apewi
Hakika atapita
We unasema hapewii, ebu fikiria uongozi mzurii n kujaribu kumuua mtu au n kuongoza taifa? Ata hasiposhinda ila Mungu atalipiza kisasi aliyesababisha lifo chake.
Duuh kumbu2 zake zipo sawa....yaan ww kichwa
Huyo Alisha lishwa sumu na wamalekani kumbuka Libya alafu nambie Kama unaakili timamu tundu lisu Ana ishu ndo maana
Jamani umemwagwa damu kwaajili yetu sisi naiyo ndoishara yetu sisi kukombolewa
Yesu alimwaga damu kwaaji yetu akatukomboa wewe pekee ndio utakombolewa na damu ya lisu.
Mwanadamu hawezi kumwaga damu yake mwingine akakombolewa au damu nyingine yeyote ni yesu tu aliyenifia msalabani akanikomboa siyo mwanadamu nooo big noo
@@geazielemia9512 je yule alieitwa yesu unamuongeleaje
Au sio ,, ndio akili yako ilipo ishia
Huyu jamaa ni kichwa anakumbukumbu sana.
Habahatishi huyo mwamba
Chadema media mnafeli sana kutuwekea hutuba nusu nusu
Hiyo hiyo fupi fupi inatosha ili iwafikie watu wengi watu wengi sasa hawana pesa za bando Hali ngumu
Lisu shikamoo
The man of the people, God is all men. U'r the best of all.
Ni yeye ✌️✌️✌️💪💪💪
Saf xana rais tupo pamoja
Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.
Zaburi 120:7
AMINA....!!!
Wtz tumwombe sana Mungu Lissu ashinde uchaguzi huu
Watanzania gani?
wanaofagilia uzungu na ushoga
500 GTS 😂😂
Ule mkeka wenu mlioweka “ katumwa na mabeberu “ ushaharibika ❌❌
Iyo ya ushoga utakuja tu
Mwaka huu wajinga kama nyie ambao ni mitaji ya kura za Ccm mtapata akili tu
Mtake msitake akili itakuja
Tutolee utopolo apa
Iwe hivyo swaiba
Tunakuamini lisu
Lisu unafaa kutuongoza my president to be
Very true
The Genius,Taifa linakuhitaji sana,ulipona ili uje kutukomboa kwenye nchi inayojiita ya Amani kumbe ni nchi yawaoga tunaomuliwa yale amabayo hatujayaamua sisi...NOW IS END!OVER!!!!....✌✌✌
When you are not failing the war just go ubelgiji my dear mugu mbele the best president in African
Ila Chadema tengenezeni nyimbo nzuri za kuita watu wimbo mzuri hapo ni TUVUSHE na ULE WA CHDEMA PEOPLES POWER
Sera nzuri na hoja timamu ndo Muhim bendi tuwaachie ccm..wananyimbo ..Kama mvua..ingekuwa tunapigia kura nyimbo saivi tushalazwa🤣
Mwaka huu CCM inajamba masizi
Kwa sera gani? Seara ya ushoga haiwezi kuwa na madhara kwa CCM, ikiwa mnasera zenye manufaa kwa watanzania elezea 3 pekeake
yani mafisiem kimba linagonga chupi
Ww tulia ss hpo kaongea nn had mtu mzima unaropoka kuwa itajamba ? Yaan hyo ng'ombe haina cha kuongea ss kma hyo anagkmbea ubunge kupitia ccm yey inamuuma nn
Meddy Mushimaz kasome katiba acha kuropoka na sikiliza anachoongea mtu na kuelewa sio kuropoka tu
nyie mtaj@mb@ moto
Lissu tunakuhitaji unasifa ya kutuongoza wapenda taifa
Labda akuongoze wew hapo
mbn ameshapita huyo, asie mpenda mchawi
Atakuongoza wewe.
Mke wangu amekubali leo kuwa atampigia kura Lisu.... Kakubali mwenyewe sijui kujuta kitu gani... CDM tuko pamoja
Kaka umefanya kazi nzuri na kubwa
Wekeni video ndefu jamanii mnakata kata sana tunatamani kuendelea kusikiliza😓😓😓
Let I kipande change pilialipoishia
Lissu no more turn back
Mmekata hii speech imetumika dar mpya , jenerali online , na ninyi Kama ilivyo
Lissu Mimi na wazazi wangu tuko pamoja na wewe
Ukopamoja naye because aliwambiya asiye fanyakazi na asile ukakuta wazazi wako wazembe mkaamua kumuunga mkono lisu roho zawavivu lazima zimuunge lisu sisi walipa kodi twasema magu mbele
@@katapgelvas9803 tutamuunga mbaka dakaki za mwisho my brother
Tupo pamoja
Magu ni msanii anajitekenya yeye anacheka yeye safarii kaukalia mtarimbooo wa Singida.
Chadema mnaferi wapi kwenye hizi crip?
Yy ndio alihusika na atakwenda jehannam
Aaaaa....ila #jpm nae anatumix 😍,na ndo maana #lissu hawampendi shida ni msema ukweli.
Hatudanganywi vichinjio tunavyo 😃 😃 28/10/2020
Dah pole sana
ni yeye
Mchezo mchezo hatutaki wana chadema
Enjoy
Lissu 🔥🔥🔥🔥🔥
Mh tupo p1 na wewe bega kw bega tupo kw lolote kw ajili yako
pamoja sana kamanda
Best to you.
Mwisho wa ubaya aibu
Walimwaga mboga una mwaga ugali.
Pole nabii lissu
Lisu anafaaa sana usipoteze kura yako kwingine
Mbona amtuonyeshi
Mweshimiwa tumeshaelewa ni Mzee meko na serikali yake ndio watuwasiojulika
Ni mambo ya ajabu sana aisee, lakini Mungu ni mwema sana kwako mzee Lisu_ usiogope kutisha kwao
Duh
Kumbe alienda kupokea pole 😂😂😂
tunakumbuka baba
Namuomba Mungu siku moja tumpate raisi wa namna hii nchi itabadilika
Tundu lisu jembe
Huna sera
Mara hii ccm wataisoma namba wao
Kwanini?
@@mrishoselemani7521 Unaniuliza kwann tena unafikiri mara zote furaha itakuwa upande mmoja tu
Ivi mnaijuwa ccm au mnasikia tuu
@@sistajeremiakalinga5436 Tunaijua sana kama sio police na jeshi hawapati hata kidogo ccm nn bhana ila mara hii kuibiwa dah itakuwa shida
Ni wapuuzi tu wanaoweza kushikiwa akili na Tundulissu
Muwekage video full mb tunazo
That day I cried a lot
✌️✌️✌️🔥✔️
We kichaaa mmoja...... Umuongoze...... Nani.... Wadanganye ao ao wapumbavu wenzio
Niyeye 2020
Magufuli jamani mungu yupo.
Kwa nini anaingia makanisani na kujipendekeza kukusanya sadaka wakati anavunja amri ya Mungu 'usiue' looo!
Belgium tuna kupenda
Huyu jamaa hatali sana kila anapo kwenda ana story mpya tena za ukweli
Zipi
@@mrishoselemani7521 Sela una lisu inachanganya watu
WEWE MWENYEWE ULIMWITA LOWASSA FISADI KTK LIST OF SHAME PALE MWEMBE YANGA LAKINI UKAWA WA KWANZA KUMTETEA KUGOMBEA URAISI. Mwanasheria gani Anatoa mashtaka asiyokuwA na uhakika nayo??
mmekwisha ccm kama tu lowasa fisadi aliwashusha % mkaambulia 52 je mbeba maono wa Mungu Huyu ambaye akiongea watanzania tunafurahi na kulizika si atawashusha mpaka % 8 kweli ccm kwisha kwisha kwisha kabisaa
mwanashelia huo sio docta,,.
Baba unatisha sana ccm awana jpya kabsa
Tumechoshwa baba na hii hari
Haaáaah,
Mbona haijamaliza
Viva
Duh mhuuu
Muh !
Kupigwa kwako risasi kunahusiana nini Na majukwaa,kama unadhani ni Kiki imekula kwako
Tumekuelewa
Kumbe wewe bwana utawarudisha acacia hapa . Pole sana, muda huo umekwisha Africa
Jibu swali Mwanyika aliyekuwa kiongozi wa Accacia hapa nchi Yuko wapi na ndo alikamatwa kwa kuhujumu uchumi
Anza kubadirisha sera
Unajua maana ya sera au umekariri?
@@marksonbeauty6397 najua ushabiki zaidi kuliko sera
kubadilisha sela ya nini watanzania tunapataka hapohapo ndio maana tunatembea kwa miguu kwenda kusikiliza hiyohiyo sela
@@adammkimbo9956 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
WE LOVE CHADEMA in BLOOD
Chadema Media mnazingua sana
Tundu Lissu for President 2020 Keep on Fighting for people tumechoka kuishi kwy utawala wa kimla
Your just dreaming.
huna lolote Kazi uchonganishi tu hufai kabisa
Link ya hiyo hotuba ya magu nmewawekea hapo sio mnadanganywa tu
Hatuhitaj kuwekewa na ww TUNAJIELEWA WATANZANIA na hiyo HOTUBA ni kweli tumeifuatilia na tunaifahamu# ww mtoto wa shetani utuache maana yy ni baba wa huo UONGO;....!!! Rais mtarajiwa mh. TUNDU LISSU (Mbeba MAONO) ATABAKI KUWA JUU TU,, ANAYEPIGANA NAYE ATAPIGWA NA MUNGU....!!! VIVA LISSU VIVA....!!!
Aah kumbe hii Chanel ya chadema hahahah polen mtambulia vumbi tu
Wajumbe kama tulivyoelewana hii mikutano tuendelee kuhudhuru ili tuendeleze ile dhana ya demokrasia safi
Ila December tusifanye makosa
December kuna uchaguzi wa nini?
wajumbe mlio elewana ni wewe na mkeo kama unaye lakini watanzani % 73 tunampigia kura tundu lisu nyie wajumbe tuna wachia hizo % 22 wengine wanagawana % 5 iliyo baki
Wajumbe 2ko tayali kufanya ye2
Mungu atasimama kwenye haki
Kweli watu wa👍 mnamatatizo makubwa, yaan mkikoment ni kutukana tu, hatuhitaji matusi zungumzeni hoja mueleweke matusi hayasaidii kitu
Malizieni hotuba yaan kila post y hotuba y Lissu anaishia njian na mnajua vyombo vya hbr sashv haviko huru mnataka apost nan???? Mnakera sana yaan
Mungu akutie nguvu
Kuna CCM mmoja juzi alinambia .....sisi tulifanya makosa makubwa miaka 5. ...nikamuuliza yepi......akasema kujaribu kumuuuwa tundu
ACHA UONGO HUPATI CHEO WANAUWANA WENYEWE
Ni yeye aliyekuambia sio ccm
Lisu tupo nyuma yako lazima uwe Rais wetu
Umenichekesha itahara na mkaaa🤣🤣🤣🤣
Ulikua msaliti kweli
majukwaa yatumike kwa ajil ya kujenga aman...na sio kuivunja.
mna tudhulumu saana raia kuto tuwekea hotuba kamili tuna ulazima wa kumskiliza mkimbozi wa taifa fanyeni mikakati ya kueka maudhui kamili tumskilize haya ndio mambo ya msingi na muhimu ndio mustakabali wa maisha ya kesho .kama hamna bando fanyeni hata mchango tutajitolea
Tuna watu wengi wenye uwezo wa kuwa raisi na wasomi wenye kujua sheria sio kuburuzwa kama mzoga wa fisi chukuwa mdaa kutafakari miaka 50 ya uhuru mpaka leo tuko wapi ?
Nani huyooooo etii
Mbona kila pale risasi risasi mzee watz wanataka uwaambie nn utafanya sasa wewe kwann kila saa unatuletea umbea maana huu hauna tofaut na umbea hakuna mtazania asiejua kuwa ulipitia mtihan huo lakini na pia usiwaongelee watu ambao hawakuongelei wala hawana habar na wewe hata hivyo unaonekana huna cha kuwaambia watz zaidi ya risasi na habar za watu wengine sisi watz tunataka tuskie umetuandalia nn lkn badala yake unatuletea ngonjera yaan wana sias sjui mnakwama wap
Mbona mnatupia crip fup fupi kiongozi
Hii sio kampen ni kuomba udhamin ndo maana fupi
@@jacobmbogella9027 sawamkuu
Dah mwaka hu tuta juwa mengi mungu aku linde mungu ibariki tanzania
Mmh