MHE TUNDU LISSU AMTAHADHARISHA OCD TUNDUMA BAADA YA KUZUIA WATU KUINGIA KWENYE UWANJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 390

  • @elijahsomebody9164
    @elijahsomebody9164 4 ปีที่แล้ว +60

    Huyu jamaa nampenda Sanaa anajiamini na Hana hofu, Ndo maana Mungu anampigaia Kila hatua. Kaz njema baba Lisu Munhu akusaidie Ushinde kiti Cha Uraisi. Pamoja sanaa

    • @faustinepeter3139
      @faustinepeter3139 4 ปีที่แล้ว +1

      Amina mkuu

    • @jonathankyandojr8345
      @jonathankyandojr8345 4 ปีที่แล้ว +1

      Siku zote kweli humuweka mtu Huru

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kbs ila mungu ndo mtoaji wa vyote 1day yes atakua dereva wa matatizo yetu

  • @simonchambo1230
    @simonchambo1230 4 ปีที่แล้ว +51

    I see the spirit of Martin Luther in this man indeed the history can be changed in this country.

  • @khamissnassor1462
    @khamissnassor1462 4 ปีที่แล้ว +55

    *Hii ndo ile usiempenda kaja*

  • @ndarogamba191
    @ndarogamba191 4 ปีที่แล้ว +30

    Hii ndiyo nguvu ya umma💪💪💪💪✌🙌

  • @adammkimbo9956
    @adammkimbo9956 4 ปีที่แล้ว +43

    Nyumbani tunduma usipime hiyo ndiyo kawaida yetu bila siasa hatuna amani

  • @momomercydeedee5092
    @momomercydeedee5092 4 ปีที่แล้ว +52

    Hii inadhihirisha kama wewe unatufaaa kuwa raisi wetu Tundu lissu

  • @johnisrael1968
    @johnisrael1968 4 ปีที่แล้ว +8

    The chosen one Tundu Lissu. May Almighty God protect u for ever!!!

  • @wasafiwasafi734
    @wasafiwasafi734 4 ปีที่แล้ว +33

    Mungu yuko pamoja na wewe baba utakuwa rais wetu mtarajiwa

    • @ashahamad6021
      @ashahamad6021 4 ปีที่แล้ว

      Hamnashukurani Hamuoni Aliyofanya Magu?

    • @wasafiwasafi734
      @wasafiwasafi734 4 ปีที่แล้ว

      @@ashahamad6021 labla amekufanyia wewe mwenyewe na watu wa kwenu

  • @isayafrancis1037
    @isayafrancis1037 4 ปีที่แล้ว +39

    Mbona kama siamini macho yangu kwa muujiza huu

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt 4 ปีที่แล้ว +5

    All the way from Jamaica,
    Mwaka huu bongo kazi ipo.

  • @Fullsports90tv
    @Fullsports90tv 4 ปีที่แล้ว +37

    Huyo ndo tundu lissu bhn na chadema

  • @elijahsomebody9164
    @elijahsomebody9164 4 ปีที่แล้ว +27

    Sisi waalimu tumengojea ajira miaka mingi, ad leo hatujaajiriwa alafu magu apite Tena? Nooo it enough

    • @nyamshertvonline3831
      @nyamshertvonline3831 4 ปีที่แล้ว +9

      Asantee,,mwanangu tumebak kuwa mawakala tunapigwa jua tu,kod wanakuxanya af hawatuajir

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 4 ปีที่แล้ว +5

      @@nyamshertvonline3831 hata hao waliojiriwa njaa tupu awapandishwi madaraja wala hakuna nyongeza ya mishahara

    • @mr.sangaellies5110
      @mr.sangaellies5110 4 ปีที่แล้ว +3

      Sure mkuu

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahhhh it eneough mazee

    • @christinaryoba5474
      @christinaryoba5474 4 ปีที่แล้ว +2

      Popote unapokanyanga mungu yupo na ww tunazidi kukuombea

  • @killysamky9373
    @killysamky9373 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde 🙏🙏👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @adielymwarabu5474
    @adielymwarabu5474 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante mungu kwa kumpa zawadi hi lisu ya kupendwa na watanzania

  • @kitonikitoni6299
    @kitonikitoni6299 4 ปีที่แล้ว +19

    Nakuombea mzee uwe raisi wetu

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana imeniuma kushiriki ktk hili nikiwa nimekosa kuwepo nyumbani tunduma lkn ntajitahid uchaguz niwepo

  • @michaelminja
    @michaelminja 4 ปีที่แล้ว +10

    Wingi huu kwenye kura uwe ivyo ivyo 🙏

  • @obeidroden2934
    @obeidroden2934 4 ปีที่แล้ว +2

    Yesu asante kwa MUUJIZA huu. Mlinde huyu mtu na kumpa afya njema sana. AAAAAMEN

  • @khamissnassor1462
    @khamissnassor1462 4 ปีที่แล้ว +27

    Mafuriko ya watu na tukumbuke hana msanii aliongozana nae ,, *CCM* kumbukeni hilo yan ukitaka kujua kama Ccm haipendwi njoo mtaani..

    • @Masherpubg
      @Masherpubg 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyo ni kamanda

    • @emmanuelmkama3000
      @emmanuelmkama3000 4 ปีที่แล้ว +2

      Kuna wengi hawajawahi kumuona kwahiyo sio wote ni chadema hapo. Cha muhimu hao mashabiki wake wanatakiwa wasikose kupiga kura. Sasa subiri na wa CCM nao waje kuja hapo Tunduma, watu watajaa kama kawaida, sasa, kazi ni hiyo October tarehe 28. Tunduma hata hivyo ni ngome ya Chadema, chadema wanatakiwa walinde ngome yao. Swali ni je? Magufuli ataweza kupunguza kura za chadema kipindi hiki Tunduma?

    • @chugachugambuli8879
      @chugachugambuli8879 4 ปีที่แล้ว

      ccm ipo hiyo ambayo haipendwi unayo iongelea , sio ya magufuri

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelmkama3000 foolish comment ever seen

    • @chugachugambuli8879
      @chugachugambuli8879 4 ปีที่แล้ว

      sasa hayo n mafuriko ya watu, unachekesha kweli

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +24

    mm n ccm lkn nmeshakuwa na khofu na huyu huyu kıshachukua nchiii huyuuu
    labda ccm watumie
    nguvu au uchawi lkn kwa nyomiiiii hiiiii n hatariiiii!

    • @sistajeremiakalinga5436
      @sistajeremiakalinga5436 4 ปีที่แล้ว +1

      Lowasa alikuwa na nyomi sio hiyo ww unaweweseka tu we ni chadomo

    • @gastordominic410
      @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +1

      Iman yako itakuponya kwa ukwel wako

    • @gastordominic410
      @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +1

      @@sistajeremiakalinga5436 utakuwa umesahu hili nyomi usipimeee

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 4 ปีที่แล้ว +6

      Hahhhhh hata mim Ccm ila kantia mchecheto

    • @rehemaissa6145
      @rehemaissa6145 4 ปีที่แล้ว +2

      @@mathiaszakaria7052 😆😆

  • @geoffreymutalemwa
    @geoffreymutalemwa 4 ปีที่แล้ว +17

    Huu moto si wa kitoto jamani

  • @paulojumbe5316
    @paulojumbe5316 4 ปีที่แล้ว +1

    Natumai Tundu lisu ndiye raisi ajae kwa mwaka 2025 mungu akujalie na akufanyie wepesi

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 ปีที่แล้ว +6

    Tundu Lissu unatufaaa sana,una mvuto babaaa

  • @gemkachar
    @gemkachar 4 ปีที่แล้ว +22

    Uchaguzi wa mwaka huu ni moto wa kuotea mbali.

  • @thespy9909
    @thespy9909 4 ปีที่แล้ว +2

    Tunduma mmetisha sana iringa cha mtoto katika sehemu zote alizo pita tunduma mmeua

  • @solemba595
    @solemba595 4 ปีที่แล้ว +15

    Nyomi ya Nguvu, si mchezo

  • @petersilungwe2164
    @petersilungwe2164 4 ปีที่แล้ว +25

    People's power

    • @rinovarthiliwi1314
      @rinovarthiliwi1314 4 ปีที่แล้ว

      WATANZANIA WENYE KUJITAMBUA TUTAMPIGIA TUNDU LISSU KURA ZA NDIO HATA KAMA WATAIBA MUNGU ATOE MAAMUZI YAKE. CCM MUMEKAA MADARAKANI SANA KWA VISINGIZIO MBALI MBALI. MARA KUTAKUWA NA VITA KUMBE NYIE NDIO WAKOROFI. KAMA MBAI IWE MBWAI. CCM MARA MNUNUE WABUNGE WA CHADEMA KUKIDHOOFISHA. CHADEMA NI CHUO CHA VIJANA KUJIFUNZA UONGOZI TANZANIA. CHAGUO LETU NI TUNDU ANTIPASI LISSU.

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 4 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda sana Tundu lissu

  • @divamrembo8788
    @divamrembo8788 4 ปีที่แล้ว +12

    Dah mtoe Mdude jamani yule kaka ameteswa sana na hawamu ya 5 daaah..

    • @mohamedimbinga225
      @mohamedimbinga225 4 ปีที่แล้ว

      Duuh htr saana,,, Mdude

    • @sifamushi1747
      @sifamushi1747 4 ปีที่แล้ว

      Ivi yuko wapi jaman yule kijana.. mh.. anajua definition ya mateso.
      Ebu Chadema wansaidie na waje KUMTEUA NAFASI NZURI KABISA...
      Yakumfuta machozi jaman.. ikiwezkana ata viti malum ilimradi awe mle mle Bungeni..

    • @divamrembo8788
      @divamrembo8788 4 ปีที่แล้ว

      @@sifamushi1747 amepewa kesi eti anauza dawa za kulevya

  • @kabamedestrong3917
    @kabamedestrong3917 4 ปีที่แล้ว +11

    Tunduma nawakubali sana

  • @halfanikampala517
    @halfanikampala517 4 ปีที่แล้ว +10

    Nakubali sana lisu wachane

  • @Stellaetesha
    @Stellaetesha 4 ปีที่แล้ว

    Huu umati wa wananchi unakumbushia enzi za baba wa taifa. God is truly great

  • @paschaltippe8976
    @paschaltippe8976 4 ปีที่แล้ว +3

    Man of the people good bless you

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน

    Has love by tanzania population this is lmotion from tundundulisu has confidence has capacity creat lmotion

  • @enockniko5834
    @enockniko5834 4 ปีที่แล้ว +14

    Huuuuh hili aniangalie kwenye WhatsApp.

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 4 ปีที่แล้ว +14

    Tunduma oyeeeeee

  • @geitaamb4152
    @geitaamb4152 4 ปีที่แล้ว +4

    Lisu ni mwamba ulio imara hautetereki jasiri mzee usipotinga ikulu tutaandamana nchi nzima mpaka kieleweke.

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 4 ปีที่แล้ว +11

    Wow! Nyomi..

  • @andekyamba204
    @andekyamba204 ปีที่แล้ว

    Amina sana kamanda Tundulisu Rais mtarajiwa wa inchi

  • @faustinepeter3139
    @faustinepeter3139 4 ปีที่แล้ว +3

    Uyo ndo aitwaye tundu lissu simba wa mwituni au jina jingne baba wawili

  • @otomalihaule
    @otomalihaule 4 ปีที่แล้ว +21

    Tunasubir ya makambako

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akutie nguvu

  • @goodnewstoallnations2511
    @goodnewstoallnations2511 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyie wa Tanzania mjifunze kutofautisha siasa na maisha halisi. Huyo tundu lisu katumwa huyo niko ulaya kila mtu anamsifia magufuli nyie ni watu wa ndio. Akipita huyu jamaa mtajuta sana. Narudia kuwa kuna siasa na kuna maisha halisi moja ya sifa ya magufuli anayoogopwa na nchi zote ni kwamba yeye si mwana siasa bali ni mtendaji huyo tundu lisu atawatelekeza njiani hata hamtaamini kabisa natamani kusikia atafanya nini akipewa kiti na sio propaganda

  • @juniorjonathan1906
    @juniorjonathan1906 4 ปีที่แล้ว +11

    Hakika watanzania hawataki tena!!!!!

  • @mwanahawahussein9153
    @mwanahawahussein9153 4 ปีที่แล้ว +1

    My vote its for you my
    hon prezida

  • @peterezrom5194
    @peterezrom5194 4 ปีที่แล้ว +16

    Kiukweli una nyomi baba unatisha.

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndiyo malaika wa makabila yote Tanzania na Huyu ndiye Rais 2020

  • @jumameneja1245
    @jumameneja1245 4 ปีที่แล้ว +8

    Duuuuh Mungu akuongoze ufkie lengo

  • @evodirudo7215
    @evodirudo7215 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde azidi kukupigania,ulipo tupo mpaka kieleweke

  • @yonahizza2999
    @yonahizza2999 4 ปีที่แล้ว

    Tundulisu the only choice 4real and god bless tanzanian news

  • @lucascornery9320
    @lucascornery9320 4 ปีที่แล้ว +10

    Lisu hongera sana mungu akusimamie

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 4 ปีที่แล้ว +13

    Ccm hawapendwi wanalazimisha kupendwa

  • @olivabutoyi434
    @olivabutoyi434 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wewe ni mkuuu na makusudi yako kwa Tz inakwenda kutimia🙌

  • @emmanuelnjelekela6299
    @emmanuelnjelekela6299 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbunge niliemkubar sana wakati wa bunge live viva lissu

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 4 ปีที่แล้ว +2

    Haki huinua taifa dhambi ni aibu ya watu wote hii nimeipenda hatakama sijishugulishi na siyasa

  • @mussamassawe7624
    @mussamassawe7624 4 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante moyo!.....

  • @Jommary
    @Jommary 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jama pengineanaweza akachukuwa urahisi😁😁,mwaka dahaa amakweli tumeisha si kwautitiri wawatu weng hiv wanavyo muunga mkono

    • @erickwanjarajr5707
      @erickwanjarajr5707 4 ปีที่แล้ว

      Kwani kwenda kumsikiliza mgombea ata kama siyo side ile nivibaya,?

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashine iyo ipo kwa uwezo wa mungu

  • @alphoncembasa1775
    @alphoncembasa1775 4 ปีที่แล้ว +8

    Aiseee balaaa hilo

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 4 ปีที่แล้ว

    Safiii sana Rais wetu 2020

  • @maliksuleiman1159
    @maliksuleiman1159 4 ปีที่แล้ว +2

    sasa dah! wa2 wotehawa! kweli kunawaliobak kwaajili ya ccm? wote siwameenda kwalisu!!!

  • @yusuphyunusi6865
    @yusuphyunusi6865 4 ปีที่แล้ว +3

    Watanzania tumechoka sana and we need changes

  • @ludatoke139
    @ludatoke139 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutangulie katika shughuli zako.ww ni kiongozi shupavu unafaa kuwa rais

  • @jhstationery3036
    @jhstationery3036 4 ปีที่แล้ว

    Ndiyo baba yetu Musa na haruni wake slumu mwalimu

  • @shedrackgenesi4750
    @shedrackgenesi4750 ปีที่แล้ว

    Nakukubali mzeee

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama watu wanajaa namna hii bila ya taarifa za tv wala magazeti maana yake uchaguzi wa mwaka huu ni mkubwa zaidi kuliko uliopita

  • @djunction4127
    @djunction4127 4 ปีที่แล้ว +16

    Antipasiiiiiii

  • @fernandocandido8581
    @fernandocandido8581 4 ปีที่แล้ว +9

    Hilo ndilo jembe ktk taifa hili la tz

  • @mbilu348
    @mbilu348 4 ปีที่แล้ว

    no matter what tundu lissu is our president

  • @thabitally9216
    @thabitally9216 4 ปีที่แล้ว +3

    Ahsant baba big up san

  • @issaamirishenkarwa3391
    @issaamirishenkarwa3391 4 ปีที่แล้ว +1

    Aloo katika majimbo yote tunduma wametisha sana sio kwa nyomi iyo

  • @bhelekiabhelekia6031
    @bhelekiabhelekia6031 4 ปีที่แล้ว +7

    Magufuli kwanini usijiuzulu? Unapenda madaraka!

  • @agustinocharles7310
    @agustinocharles7310 4 ปีที่แล้ว

    Yann ww ni mpuuz na sio mzalendo wa nchi hui ungekua mzalendo na unataka maendeleo ya nchi ungeungana na vyama kumsapot magu so hata limande cha Lula yangu hauion🎩
    😁
    👕👍Great!
    👖

  • @mrgardendesignerluta4667
    @mrgardendesignerluta4667 4 ปีที่แล้ว

    Uwiiii Yesu na Maria...kula yangu chukua

  • @amanibusara3121
    @amanibusara3121 4 ปีที่แล้ว +2

    Hivi ndio dikteta Amin Dada aliwadanganya wanajeshi wauganda kuwaongezea mishahara na kuwapa mamilion Leo Uganda uchumi umefeli na hela zao hazina dhamani Tz take care na huyu Jamaa.

  • @davejoe5949
    @davejoe5949 4 ปีที่แล้ว +5

    Mmmmm subiri Magufuli akianza utajua Tanzania ina watu 60 million hawa ni wangapi?

    • @alexmihayo5723
      @alexmihayo5723 4 ปีที่แล้ว

      Skuping upo sawa

    • @happykozy9884
      @happykozy9884 4 ปีที่แล้ว

      Achieni vyombo vya habari!

    • @ngaiwafamily6564
      @ngaiwafamily6564 4 ปีที่แล้ว

      Mnasubiri wasanii wajaze

    • @happykozy9884
      @happykozy9884 4 ปีที่แล้ว

      @@ngaiwafamily6564 nyie mtaji wenu si wasanii! Sie wananchi wanatupenda tu bure bila wasanii wenu

  • @jaffarmguwa5566
    @jaffarmguwa5566 4 ปีที่แล้ว

    Tunduma and mbeya mjini is the stronghold of chadema ... but they will not make this any where again

  • @stephanomarwa3063
    @stephanomarwa3063 4 ปีที่แล้ว

    Tundu Lissu nakukubali Kamanda
    #NiYeye2020

  • @johnsonkai4964
    @johnsonkai4964 4 ปีที่แล้ว

    Wanaosema Lissu ni mbaya na nimchochezi, ole wao na Mungu maana inaonekana Mungu alimtetea kwa kusudi fulani ili awe hai tena na afanye makusudio ya Mungu kwa nchi ya Tanzania. Sasa ni juu ya wananchi waweze kuliona hili na watambue kuwa kuna kusudi la Mungu kwa mtu huyu aliyehifadhiwa uhai wake kwa ajili ya Taifa hili la Tanzania.

  • @aronnasloyaljr7945
    @aronnasloyaljr7945 4 ปีที่แล้ว +4

    I see are spirit and mentality of cheguevara on this man

  • @philipkato6517
    @philipkato6517 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbeba maono

  • @lusianajonas7684
    @lusianajonas7684 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman tume ya uchaguz Tatar Hanna kaz mtangazen tu jamn mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lisu singida mojaaaaaa

    • @lusianajonas7684
      @lusianajonas7684 4 ปีที่แล้ว

      Maana nimuijiza huuu kila kona anapendwa jaman uongo zambiiiiii.mung mpiganie mja wako

    • @mabuladominick148
      @mabuladominick148 4 ปีที่แล้ว

      Kwenda uko wewe usimponde raisi wetu unapiga kelele tu

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 4 ปีที่แล้ว +3

    Tundu lisu kupita uraisi Majabu Mbuzi kumuuma Mbwa Ccm inawatu Wengi mno Hasa wakina mama na wazee huwambii kitu kuhusu Ccm Tena Wao hajali maendeleo wala nini wao wanajua CCM Hasa vijijini, Subiri mziki wa Magufuli na CCM wakina mama na wazee Chadema ya vijana

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 4 ปีที่แล้ว

    Hatutaki shida za CCM tena, Tunaomba na mataifa yote Ulimwenguni yajue kuwa Watanzania Tumeichoka CCM

  • @jeanmubemba1204
    @jeanmubemba1204 4 ปีที่แล้ว

    leo umetoa sera nzuri safi sana

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 4 ปีที่แล้ว

    Hakika hakika Tundu Lissu ni kipenzi cha watanzania hongera na MUNGU akufanikishe ktk safari njm ya URAIS

  • @sadickmponyamilly
    @sadickmponyamilly 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwaka huu 👊

  • @creypaschal334
    @creypaschal334 4 ปีที่แล้ว +2

    Ivi hawa ni watu au nn

  • @emanuelmwepela6962
    @emanuelmwepela6962 4 ปีที่แล้ว +1

    We we unajidanganya na huwo wingi nikuja kku shangaa ulivyo pigwa shaba na sio wapigakura hao usijipe matumaini

    • @stanleymzeza1664
      @stanleymzeza1664 4 ปีที่แล้ว

      Huyu ni jembe una wivu tu umati huu magu akasome

  • @paulnathan58
    @paulnathan58 4 ปีที่แล้ว

    Chadema media kuna tatizo gani huko? Hakuna update mpya, zote za Jana!

  • @abelzablon5977
    @abelzablon5977 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anamakusudi na ww

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh nyomi silakitoto

  • @silasmeshilieki2975
    @silasmeshilieki2975 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh! Umenogesha baba wawili!

  • @rajabumapunda416
    @rajabumapunda416 4 ปีที่แล้ว +2

    Moto umewaka sasa

  • @thejuanaa2459
    @thejuanaa2459 4 ปีที่แล้ว

    Kwenye uhalisia hao ni sawa na %0.00125 ya wakaazi wa hapo....sasa n ngoja Jpm aanze ndo utajua ....time will tell

  • @lowassasaitoti7303
    @lowassasaitoti7303 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah hili jitu lixhamba mbn unamtaja taja mwanaume mwenzio

    • @wilhardaugustine9439
      @wilhardaugustine9439 4 ปีที่แล้ว

      Unafanya nini tena huku lowassa...? Nyumbani si kumeshanoga!!!?

    • @wilhardaugustine9439
      @wilhardaugustine9439 4 ปีที่แล้ว +1

      Unafanya nini tena huku lowassa...? Nyumbani si kumeshanoga!!!?

  • @modestamwampashi8949
    @modestamwampashi8949 4 ปีที่แล้ว

    Punguza matusi badilika toa sela za maana ueleweke,hayo matangazo ya risasi zilipendwa.

  • @agustinocharles7310
    @agustinocharles7310 4 ปีที่แล้ว

    Yann umenifany nihame chadema sasa niko CCM unaousema ni uongo nilikua nakufatili toka ulipopigwa lisais chama chako kilikataa uctbwe

  • @yothamgwanika9530
    @yothamgwanika9530 4 ปีที่แล้ว +1

    Unachojua n kejeli kwa serikalii, siasa za uchinganishi ndo anachokijua. Hakuna serikali isiyo tumia dora

    • @wilhardaugustine9439
      @wilhardaugustine9439 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo husikilizi kama ulivyokuwa umsikilizi mwalimu wako ukiwa la pili ona sasa umekua na tabia hiyo hiyo duuuu

    • @yothamgwanika9530
      @yothamgwanika9530 4 ปีที่แล้ว

      @@wilhardaugustine9439 how?

    • @bonnymakuke7758
      @bonnymakuke7758 4 ปีที่แล้ว +1

      Ata anaeongoza pia anasiasa izoizo za uchonganishi kwa vyama vingine Mara wanataka kuleta vita Mara yatakua kama ya Libya Mara mmemchagua bwege bac mi siwezi kuwasaidia mwambieni uyouyo bwege tutafka wapi wakti alituaminisha maendeleo ayana chama!! Mi niliama ccm baada2 ya kuona na kusikia iyo kauli iliniuma sana

    • @wilhardaugustine9439
      @wilhardaugustine9439 4 ปีที่แล้ว

      @@yothamgwanika9530 learn to listen first, before you criticize bro...or else you'll end up hating everybody

  • @deogratiasmassawe4543
    @deogratiasmassawe4543 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali