MTOTO KUMTELEKEZA MZAZI WAKE KWELI NI SAWA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 8

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 24 วันที่ผ่านมา

    Sii sawa wallah mungu atupe ufaham tuwalee wazee wetuy mie mungu asinijalie roho hii yakuacha mzazi wangu

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 27 วันที่ผ่านมา +3

    Tuwalee Wazee Wetuu kama Walivyotulea sio vyema Kuwazarau

  • @user-zl3we4si9q
    @user-zl3we4si9q 24 วันที่ผ่านมา

    Lakini tunawapenda sawa wazee watu kama tunavyoamini katika Amani zetu

  • @user-zl3we4si9q
    @user-zl3we4si9q 24 วันที่ผ่านมา +1

    Inategemea na mzee alivyokuweka kuna wazee wetu ni mitihani kwa kweli ila Allah Atustiri wengine tunajitahidi sana ila baadhi ya wazazi ni mitihani mtupu kila unachomfanyia haoni wala haeleweki ba anafanya vitendo haeleweki hata Allah wenyewe hafurahii kabisa

  • @MawaddaKhamis-zh3kc
    @MawaddaKhamis-zh3kc 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mtihani wallahi 😢

  • @user-yo8np7ce8n
    @user-yo8np7ce8n 26 วันที่ผ่านมา

    Huyu mama wa kwanza alochukuliwa mtt wake akiwa na miaka 10 fanyeni msaada kwenye kipondi kinachotafuta watt na wazazi walio potezana mama ana kiu kubwa ya kumuona mwanae na mtt pengine ndio Ivo na yy alikuwa mdogo kwa ss amashakuwa

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 24 วันที่ผ่านมา

    Sie tunawakumbuka mbon wazazi wetuy kam mim nipo inje ya NCHI LAKIN MAM ANGU NAMNUNULIA NGUO KABLA YA WATT WANGU SIYO WOTE HAWAKUMBUKI WAZAZI NI BAADHI YAO

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 17 วันที่ผ่านมา

      Nguo tena sio chakula?!..