BILA MAMBO HAYA MANNE MWANAMKE HAINGII PEPONI (HUBBUL HALAL)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 7

  • @binndevu
    @binndevu 7 หลายเดือนก่อน

    MaashAllah Maneno Sahihi kabisa na hili la wanawake kuwatwii waume zao ni Mtihan Mkubwa sana japo kuwa pia baadhi ya Waume ni Waovu.

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah ukhti anajitahidi na hasa ktk mavazi lakin pia ana elimu ya dini ,kipindi kimekuwa kizuri sana sana sanaaa ,sikosoi ila cha kungwi mtoto kilikuwa kinatukwaza sana hasa ktk mavazi na mapambo ilikuwa mtihani sana wallahi

  • @user-je1zi7zb3h
    @user-je1zi7zb3h 8 หลายเดือนก่อน +3

    Maashaallah , shukrani kwa ukumbusho Allah awalipeni kheyr

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman weeee Ukhty wetu Uko vizur Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Jazakallah kher

  • @user-yx2fj8hj4q
    @user-yx2fj8hj4q 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ukhti mungu akupe umri mrefu hakika tumelifurahia sana hilo somo hakika nimefarajika sana

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤