UKIONA DALILI HIZI, ANAKUSALITI (HUBBUL HALAL)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 24

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman.huyu Dada Aaah Jaman Nampenda Mim Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah
    Allah akujaze kher Dada layla Alfattah Allah akujazen kher🤲

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r หลายเดือนก่อน +3

    Hahah jamani iyo kauli ya kiarabu imenishtua maana mi kwangu kila wakat mke mdogo 😂 ni kweli au ila tuishi tuishivyo tusijaribu kupinga amri za Allah, mashallah kipindi kizuri sana ,madam Leila na ustadh Allah akulipeni kheri.

  • @user-wu8yy4mw5p
    @user-wu8yy4mw5p 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu awefedheheshe hapaduniani na kesho akhera wasaliti wote walowasalit waumezao,na wke zao Ammin

  • @mohamededdi7527
    @mohamededdi7527 หลายเดือนก่อน +4

    Wamekwisha wazinifu, hawana pa kujificha. Kwa dalili hizo wamekwisha..

  • @user-sv6ej5mv9q
    @user-sv6ej5mv9q 9 วันที่ผ่านมา

    1.Dharau.(Hii sana ipo kwa mwanamke)
    2.Migogoro
    3.Kupenda kujadili kuhusu mtu fulani.(hali inayotokana na kuamiliana sana na mtu huyo)
    4.Uongo
    5.Ratiba za ghafla.
    6.Rafiki wa ghafla ambao hukuwajua mwanzoni.
    7.Kuishi kikapera licha ya kuwa katik ndoa.
    8.Kuzidi kwa matumizi ya fedha.
    9.Maradhi ya ghafla hasa kwa wanawake.
    10.Hasira.Hasa kwa mwanamke.

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 หลายเดือนก่อน +3

    Naam unaaga tuu Mie niliaga kabisa siwezi USALITI UNAUMA SANA

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke vijisafiri safar vinakuwa vingiii

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 หลายเดือนก่อน

    Madini. 🎉🎉🎉❤

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 หลายเดือนก่อน +3

    USALITI UNAUMA HASA IKIWA WEWE UMEKAA KWA NIĄ MOJA LOOOH HATARI

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman hapa pa ALLAH kkuonyesha kwamba mumeo ana anakusaliti mm nlionyeshwa mara kadhaa lkn ckua na dhana wala kufatilia,nlifikiria n ndoto to mume wangu kuchepuka na jirani yangu tena huyo mwanamke alikua mke wa mtu.nlikua naoteshwa wakifanya machafu tena kwenye nyumba yangu..Baadae yakawa wazi hadi leo ndio ndio wako pamaoja na wamezaa waishi pamoja..

    • @aliy3303
      @aliy3303 หลายเดือนก่อน +2

      Pole Allah naamini amekupa ama atakupa mume bora

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 หลายเดือนก่อน +1

      @@aliy3303 Shukran..Allahumah Amiin.

    • @youtuberheart1648
      @youtuberheart1648 หลายเดือนก่อน +1

      Uliumiaje maskini km nakuona😢pole sana

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 หลายเดือนก่อน +1

      @@youtuberheart1648 Alhamdulillah nlimskuru ALLAH kwa kila kitu na nakamuomba anizidishie subra..

    • @youtuberheart1648
      @youtuberheart1648 หลายเดือนก่อน +2

      Usijali hupo peke ako ata na mm yamenifika ayo ayo allah atupe subrah in shaa allah

  • @pilykingo
    @pilykingo หลายเดือนก่อน

    Kwa honey khani umetisha

  • @user-qh9jj5xz3p
    @user-qh9jj5xz3p หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa utani dada yani mtu anakutusi hadi mamako ukiuliza waambiwa n utani

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 หลายเดือนก่อน

    Kuna wengine hawapokei simu au anablock namba kwa muda anaojiskia,,hii hua ni dalili za nini