AL FATAH TV ONLINE
AL FATAH TV ONLINE
  • 1 778
  • 11 398 670
MAKAMU WA KWANZA WA RAIS AMALIZA UTATA WA KURA YA SIKU MBILI ZANZIBAR | 24 DEC 2024
Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​
มุมมอง: 11 311

วีดีโอ

MALEZI YA ZANZIBAR YA KALE YALITUVUSHA NA MENGI | DEC 23/2024 (UTAMADUNI WETU)
มุมมอง 4122 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
MWANAMKE ALIYERUKA MAKACHU UCHI AIBUA OFISI YA MUFTI MKUU ZANZIBAR
มุมมอง 15K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MWANAMKE ALIYERUKA MAKACHU UCHI AIBUA OFISI YA MUFTI MKUU ZANZIBAR
MAKAMU WA KWANZA WA RAIS AANIKA YASIYOJULIKANA KUHUSU ZANZIBAR | DEC 23/2024
มุมมอง 11K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
SHAIRI: DEKA BABY NIDEKEE |DEC 21/2024 (RAHA YA TUNGO ZETU)
มุมมอง 6354 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
RAIS MWINYI AAHID MAKUBWA AMBAYO HAYAJAWAHI KUTOKEA ZANZIBAR
มุมมอง 3.3K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RAIS MWINYI AAHID MAKUBWA AMBAYO HAYAJAWAHI KUTOKEA ZANZIBAR
FAHAMU WANAUME HATARI KABLA HUJAINGIA KWENYE NDOA - EPISODE 02 | DEC 20/2024 (HUBBUL HALAL)
มุมมอง 1.5K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
RAIS MWINYI AZIDI KUTISHA ZANZIBAR
มุมมอง 3.9K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
HAYA NDIO MAISHA YA PROFESSOR ISSA ZIDDY KUTOKA VISIWANI ZANZIBAR-EPISODE 01 | DEC 18/ 2024
มุมมอง 1.2K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
FAHAMU WANAUME HATARI KABLA HUJAINGIA KWENYE NDOA - EPISODE 01 | DEC 17/2024 (HUBBUL HALAL)
มุมมอง 2.2K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
ZAMA ZA UJIRANI MWEMA ZANZIBAR ZIKO WAPI?
มุมมอง 1.3K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
SHAIRI: SAMAHANI NIMEKOMA | DEC 15/2024 (RAHA YA TUNGO ZETU)
มุมมอง 67521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
JE, MKE WA KUCHAGUA NA WA KUCHAGULIWA YUPI UNAENJOY? | DEC 13/2024 (HUBBUL HALAL)
มุมมอง 1.6Kวันที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
UISILAMU UNAZUNGUMZIAJE KUHUSU TAMADUNI HIZI? | DEC 13/2024 (UISILAMU KWA HOJA)
มุมมอง 848วันที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
ALIYEKUA KAMISHNA WA POLISI ATOA MKONO WA KWAHERI ZANZIBAR
มุมมอง 10Kวันที่ผ่านมา
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
HIVI NDIVYO ITAKAVYOKUA TANZANIA MWAKA 2050
มุมมอง 3.2Kวันที่ผ่านมา
HIVI NDIVYO ITAKAVYOKUA TANZANIA MWAKA 2050
FAHAMU SIFA ZA WANAWAKE HAWA KABLA YA KUHARIBIKIWA KATIKA NDOA-EPISODE 2 | DEC 10 2024(HUBBUL HALAL)
มุมมอง 1.7K14 วันที่ผ่านมา
FAHAMU SIFA ZA WANAWAKE HAWA KABLA YA KUHARIBIKIWA KATIKA NDOA-EPISODE 2 | DEC 10 2024(HUBBUL HALAL)
JE, UNAIFAHAMU SALAM YA WATU WA MWAMBAO WA PWANI? | DEC 9, 2024 (UTAMADUNI WETU)
มุมมอง 31814 วันที่ผ่านมา
JE, UNAIFAHAMU SALAM YA WATU WA MWAMBAO WA PWANI? | DEC 9, 2024 (UTAMADUNI WETU)
HATMA YA ZANZIBAR JUU YA MAFUTA NA GESI
มุมมอง 10K14 วันที่ผ่านมา
HATMA YA ZANZIBAR JUU YA MAFUTA NA GESI
SHAIRI: UTAMADUNI WA LEO UTATUFIKISHA WAPI? | DEC 7, 2024 (RAHA ZA TUNGO ZETU)
มุมมอง 55414 วันที่ผ่านมา
SHAIRI: UTAMADUNI WA LEO UTATUFIKISHA WAPI? | DEC 7, 2024 (RAHA ZA TUNGO ZETU)
FAHAMU SIFA ZA WANAWAKE HAWA KABLA YA KUHARIBIKIWA KATIKA NDOA-EPISODE 1 | DEC 6, 2024(HUBBUL HALAL)
มุมมอง 1.5K14 วันที่ผ่านมา
FAHAMU SIFA ZA WANAWAKE HAWA KABLA YA KUHARIBIKIWA KATIKA NDOA-EPISODE 1 | DEC 6, 2024(HUBBUL HALAL)
FAHAMU UBINAFSI UNAVYOIDIDIMIZA DUNIA NA WALIOMO. | DEC 6, 2024 (UISILAMU KWA HOJA)
มุมมอง 94214 วันที่ผ่านมา
FAHAMU UBINAFSI UNAVYOIDIDIMIZA DUNIA NA WALIOMO. | DEC 6, 2024 (UISILAMU KWA HOJA)
SEREKALI YALIA NA WAFANYA BIASHARA ZANZIBAR
มุมมอง 1K14 วันที่ผ่านมา
SEREKALI YALIA NA WAFANYA BIASHARA ZANZIBAR
SEREKALI YAJADILI MMOMONYOKO WA MAADILI NA VIONGOZI WA MAKANISA ZANZIBAR
มุมมอง 81414 วันที่ผ่านมา
SEREKALI YAJADILI MMOMONYOKO WA MAADILI NA VIONGOZI WA MAKANISA ZANZIBAR
WAFAHAMU WATU WALIOFICHWA KATIKA UHURU WA TANGANYIKA -EPISODE 02 | MOHAMED SAID (SEMA NASI)
มุมมอง 1.3K14 วันที่ผ่านมา
WAFAHAMU WATU WALIOFICHWA KATIKA UHURU WA TANGANYIKA -EPISODE 02 | MOHAMED SAID (SEMA NASI)
SEREKALI KUZIFUNGUA UNGUJA NA PEMBA KIBIASHARA
มุมมอง 2.2K14 วันที่ผ่านมา
SEREKALI KUZIFUNGUA UNGUJA NA PEMBA KIBIASHARA
WAFAHAMU WANAUME WANAOUMIZA WANAWAKE WAKIWA NA UJAUZITO
มุมมอง 1.4K21 วันที่ผ่านมา
WAFAHAMU WANAUME WANAOUMIZA WANAWAKE WAKIWA NA UJAUZITO
HAYA NDIO MAAMKIZI YA UTAMADUNI YA WATU WA ZANZIBAR (UTAMADUNI WETU)
มุมมอง 1.2K21 วันที่ผ่านมา
HAYA NDIO MAAMKIZI YA UTAMADUNI YA WATU WA ZANZIBAR (UTAMADUNI WETU)
DAKTARI WA MWANAMKE NI MUMEWE. (HUBBUL HALAL)
มุมมอง 2.7K21 วันที่ผ่านมา
DAKTARI WA MWANAMKE NI MUMEWE. (HUBBUL HALAL)
MFAHAMU MCHAWI KWA SIFA HIZI | SHEIKH MSABAHA (UISILAMU KWA HOJA)
มุมมอง 11K21 วันที่ผ่านมา
MFAHAMU MCHAWI KWA SIFA HIZI | SHEIKH MSABAHA (UISILAMU KWA HOJA)

ความคิดเห็น

  • @MohamedJuma-x5y
    @MohamedJuma-x5y ชั่วโมงที่ผ่านมา

    YA ALLAH TUNAKUOMBA UTUBADILISHIE NYOYO UTUPE KIONGOZI ALIE MWEMA

  • @musazain6183
    @musazain6183 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kuna majibu mengine anajibu kwa kuogopa lakini sio uhalisia kama ilivyo aseme tu muungano ndo tatizo kubwa kwa zanzibar kupoteza hadhi yake na uchumi wake pia kuiendelea kuwa na maisha magumu kilakukicha kwa wananchi kwa sababu serekali ya mapinzduzi ni chombo kinacho tumiwa na tanzania bara kuimaliza zanzibar

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maalim seif allah akurehem na akupe firdaus kwa kutuachia huyu omo tutamtunza inshallah

  • @kamndemwakitosha1439
    @kamndemwakitosha1439 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shekhe aliangalia Makachu?

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Taasisi ya uamsho iliposimama kwa kazi ya kuamrisha mema na kukataza mabaya, ilipigwa vita na makafiri mpaka wakawatengenezea kesi za uongo wakawaweka ndani na nyie ofisi ya mufti mpo hamkusema lolote WANAFIKI WAKUBWA NYIE , Tokeni hapa msituletee upuuzi wenu , hivyo vitendo viovu vinavyofanywa forodhani vishalaaniwa na Allaahu na mtume wake tokea zamani havihitaji tena kulaaniwa na ofisi ya mufti, Nyinyi mnachotakiwa mchukue hatua za kuondosha, ikiwa mnasema kweli.

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona hilo kundi la kuamrisha mema na kukataza mabaya katika ofisi ya Mufti halipo, Mumejitengenezea vitengo vya kutafuta pesa za MAPEMBE tu.

  • @abdulatifismail4747
    @abdulatifismail4747 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah safi kiongozi

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na ikifika zama kwamba mnahukumiana kwa twaghuti bas mmekula hasara sana hukumieni kwa Quran na sunnah

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    This guy is the most president ever happen in history.. 👏👏👏👏👏

  • @abrahmanhmd2557
    @abrahmanhmd2557 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MASHALLAH. KAONGEA LUGHA LAINI SANA POLITE LANGUAGE. NA NI MPOLE SANA NA MAONGEZI YENYE HEKMA

  • @YahayaMakame-om1bt
    @YahayaMakame-om1bt 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sw

  • @vandassobrownizo4770
    @vandassobrownizo4770 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah atufanyia wepesi tutawashindwa mazalimi sikumoja nakubali omo

  • @yunus-or3ny
    @yunus-or3ny 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mashehe mamjui mnachokitenda mwambieni Raisi na serikaliyake wahukumu kwasheria ya Allah.

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kha kwan n dola ya kiislam hii

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ataweza wapi na wakati yeye yupo ki maslahi tu?

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baraka llah Mr Omo tunataka viongozi wengine wawe kama Omo hapo Zanzibar hakuna sababu itapiga hatua zaidi za kimaendeleo

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Semen na babaya ya mabar mitaan mitaa imejaa mabar

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yule sio mwanamke wa kwanza tatizozo mmekaa kimnya hamjasemea iblisi kakumbuweni sindomnasena ajira

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    2025

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkuu kwa uhalisia uliopo kisiwa cha Zanzibar kinakabiziwa kwa watanganyika humu mahotelini kwa sababu masheha wanagawa vitambulisho vya wazanzibar kwa watanganyika huja kwa kuwabembeleza wachukue hizi kadi ili wapige kura kwa ccm Tunaomba lifanyiwe kazi pia liongee hili wajue hatutaki uzembe wao utakao tukosesha nchi yetu kama vp tuingie tu msituni tukitoka tutoke na jibu moja Tukutane 202t

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    OMO nakukuubalii

  • @Hajiwahaji
    @Hajiwahaji 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida ilokuwepo mnachunga ugari wenu hamko kwelini

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah akuhifazi othman wetu

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uvunjaji wa maadili na wameruhusiwa kutembea utupu

  • @w4058
    @w4058 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa sawa Sheikh SaidShkeli

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Weee matakooo sanaa kaaa kimyaa kichogoooo hayaon nn ss ndo watu wa mwanzo kuekaa taa za barabaran kuliko dubai kenge weww😅😅😅

  • @bindawood978
    @bindawood978 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miaka hiyo ya 1800 tanganyika ilikuwa haipo?

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    tumefurahi sana. othman mungu akulinde ishaalla

  • @MariamChidi
    @MariamChidi 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @moussamoussa6166
    @moussamoussa6166 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naona Amani Mkoa watu wanatembea Uchi au hamjaona? Nyinyi acheni unafiq Wallahi mtaenda kuchomwa moto na ALLAH. Duuuu Amani mkoa watu wanalewa uchi, watu wanajiuza uchi, kila mtu anajuwa katika nchi hii hakuna aloseam, ila la Forodhani ndio mmeliona. Wallahi njaa zitaenda kuwachoma watu, Allah hawezi kukuacheni na unafiq wenu. Zanzibar Zanzibar Zanzibar nchi ndogo ina mambo makubwa

  • @haydarabdallah7914
    @haydarabdallah7914 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah majibu 💯💯

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yah yani hata akili zetu zimefikiri zimehuzunika zimekumbuka zimezidi kufunguka kwakweli maneno makubwa sana km hujaenda shule,basi hata kiswahili hatujuwi,tuamkeni wazanzibari

  • @SaidAbdala-f7p
    @SaidAbdala-f7p 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maonyesho ya roho za waislam walioliwA na nyerere. Hii nchi kama ukweli haujaongewa basi moto unatusubiri

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    natamani. angeniuliza. mm.

    • @abrahmanhmd2557
      @abrahmanhmd2557 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umjibu Kwa ukali😅😅😅

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    othman semakweli. bungeni. hamkuwa na mdomo.

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    je wewe huoni watoto wetu wanavo siziya ovo mitaani unga umekuwa kama maji. yakumwa

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    othman. hebu sema mojakwa moja. serekali ni bovu. ushezi mtupu uliopo kwanini paspot iondolewe.

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    othman. hebu sema mojakwa moja. serekali ni bovu. ushezi mtupu uliopo kwanini paspot iondolewe.

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sijui kwa kwanini zanzibar hawawapi urais mtu kama huyu nwenye akili iliyotulia

  • @SaidAlawi-sv1op
    @SaidAlawi-sv1op 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimemsikiliza hadi mwisho huyu mzee. Kwa lugha fupi kabisa ni mtu hasa. Na ukimuangalia usoni unaona kabisa kwamba anachokisema anamaanisha. Allah amhifadhi. Na awape ibra viongozi wenye maamuzi ya Zanzibar ya kuiweka Zanzibar mbele kwanza. Allah amhifadhi.

  • @Useri-bn6ye
    @Useri-bn6ye 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ss kaa na boss wako peke yenu muongee serious ili mutasaidie cc wananchi

  • @laisamaujud1157
    @laisamaujud1157 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haya ni madini ya uranium mashaallah mashaallah Allah amuweeke shk wetu

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Maana hii uloitowa leo ni darsa umetudarsisha

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiufupi maridhiano hamna kwahio na uchaguzi wa haki hamna kwasababu Zanzibar ni mlango wao wa duka

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alhamdulillah kwa kulikemea hili.

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwakweli serikali iliangalie hili viongozi mnadhimma jitahidini allah atunusiru na mabalaa na awaongoe vizazi vyetu amiin

  • @laisamaujud1157
    @laisamaujud1157 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hafidhahu llah Othman masoud Othman mungu akuhifazi na akujalie uwe ni Rais wetu 2025 Amiin amiin inshaallah

  • @SuleimanYusuph-r5x
    @SuleimanYusuph-r5x 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa apewe uraisi tu marahii mwinyi akubali tu

  • @abdallahsuwed65
    @abdallahsuwed65 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo kwenye maadili wananchi musitutie.hatuhusiki.lipo kwenye mamlaka ya nchi

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na ww pia unahusika kumlea mtoto wako ktk maadili meme

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nawapongeza snna ofic y mft lkn Hat mauaj pia mnapaswa kuyakemea na n mkubw zaid kuliko ilo sio muwe mnaona makosa ya raia tu na mkaacha makosa n maovu yanayofnywa na dola.

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasifike kabisa hapo forodhani wasituletee balaa

  • @YussufJuma-z5u
    @YussufJuma-z5u 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dah huyu mtu ila kuna watu madlahi mbele

  • @ahmedhemed3983
    @ahmedhemed3983 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hi