Waw!Ninafurahia kusikia tena injili ya Baba yetu aliyepigwa chapa halisi ya Yesu Kristo siku zote za utumishi wake mpaka mauti ilipomkuta, japo tumemmisi kimwiili lakini moyoni bado tuko nae na tutaendelea kuisikia sauti yake. Amen.
@@jakelema6325 nabii Hebron si nabii wa kweli alidanganya kuwa alienda kuzimu kumfanyia toba Michael Jacson jambo ambalo haliwezekani kibiblia mtu aongozwe sala ya toba kuzimu.
Nilidhani utasema alifanya dhambi,kumbe kuhama tu, hakuna dhambi ya kuhama hata wewe ukifuatilia utakuta ni mhamiaji kutoka mahali fulani hata Ibrahimu aliambiwa atoke katika nchi yake ya asili, Yusufu alihamishiwa Misri ili awaletee watu wa MUNGU wokovu. TAG wametoka Lutheran, nao walitoka Kadholiki.Tuache udini hautusaidii chochote
Sababu yakutoka T.A.G.Askofu wake alimkataza asitimize agizo la Mungu alilopewa juu yakuwahubiria watu ambao walimkataa Askofu huyo yeye akaambiwa aende kuwahubiria habari njema.Alipomuaga Askofu wake,Askofu wake akasema hakuna kwenda kwasabau watu hao unaataka kwenda kuwahubiria walinifukuza mimi,hivyo nawewe ukienda kuwahudumia nitakufukuza nakukunyang'anya nafasi yauongozi uliyo nayo.Moses akaona nivena amkosee mwanadamu kuliko kumkosea Mungu.Hapo ndosababu yakuondoka T.A.G.Nakuanzisha kanisa la E.A.G.T.Akiwa na mchungaji Mwaisabila.Ambae kwasasa ndiye Askofu Mkuu wa E.A.G.T.Hiyo nikwaufupi.
Amebarikiwa mtu anayetumika kwa kuitwa na Mungu mwenyewe si kwa kujiita ili update masilahi, Ubarikiwa mzee wetu,
Waw!Ninafurahia kusikia tena injili ya Baba yetu aliyepigwa chapa halisi ya Yesu Kristo siku zote za utumishi wake mpaka mauti ilipomkuta, japo tumemmisi kimwiili lakini moyoni bado tuko nae na tutaendelea kuisikia sauti yake. Amen.
M’oses Kulola. ! Moses Kulola Unabi wa Kueli Amen Amen Amen Shalom
Asante Mungu kwa utumishi wa Mch Moses Kulola
Amen Amen 🙏 🙌 👏 ❤️
Mungu akupumzishe kwa amani, kazi zako zifwatane nawe, pokea tuzo la imani yako...
Amen hakika baba huyu anaimani
Asante Yesu unatupenda sana tutakase. Kwa damu yake
Rest in peace man of God your teachings are still helping me...
Najua umepumzka baada ya kazi ngumu,,amen
Mahubiri mazuri! Nadhani mngeweka picha ya still ya mtumishi ingekuwa, vizuri. Au picha still zaidi ya moja zinapita nk.
Tunakukumbuka mteule wa mungu basi yesu atuwezeshe nasi
Amina Mungu hakika alijidhihirisha kwa mtumishi wake kwa injili ya kweli kabisa
Rest in peace mtumishi wa Mungu
Ahhh Moses Kulola Moses Kulola Ah Yesu Muami ? Umu pokee Mutumichi Wako Uyu ni Unabi wa Kueli Rip Alafu mi na kulia Muzee Wetu M’oses ! Amen
wahubili wa leo Tanzania hwasemi historian ya maisha yao ya inji
Tutakukumbuka mzee wetu
Baba Wa Imani Tanzania Moses Kulola Amen
Imani umeilinda Sasa kazi imebaki kwetu tulio hai
Amen Mtumishi wa MUNGU nimebarikiwa Sana
Thank u JESUS
Aminaaaa
Ameni
To God be the groly
....great..person..never..die..🙏🙏🙏
Mungu ni mkuu sanaa, i wish
🙏
Haleluya MUNGU ni wa ajabu
Ameen
Uongozi wa dhehebu hilo wawe. Wanatoa hivyohivyo sauti. Zamafundisho yake mtapata. Wakristo wengi pasipo kuonekana kwa mwili wahuyo mchungaji
Mungu amukumbukemutumish
Imani umeilinda kwa uaminifu baba na mwendo umemaliza enjoy taji ya ushindi inakuhusu tena ni haki yako. Baada yadhiki ni faraja
Amen
God is good all the time
Anaponda raha sana bado sisi sylas mbise tujiandae
AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏
Mbona masemi haiambatani n'a muhuburi Ya mzee moses kulola
Ila suati mi yake kweli
Namkumbuka mzee was injili hai
Baba yetu
God bls you Bishop, siulete crusend Kenya upeane hiyo msg pls
He has since gone to be with the Lord. What we have here is a testimony of his works
Imana yacu niyokwizera.nawe niwizera urabona kugiraneza kw'lmana
lugha gani hiyo
@@tsg1136 kinyarwanda
R I p
Pata pumzikko la amani
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🏁🏁
Barbi
Mtoto wake wa kiroho ni nabii anaitwa Hebron
Unamaanisha mtoto Wa mosses
@@apollobupolo9884 ndio wa kiroho
@@jakelema6325 nabii Hebron si nabii wa kweli alidanganya kuwa alienda kuzimu kumfanyia toba Michael Jacson jambo ambalo haliwezekani kibiblia mtu aongozwe sala ya toba kuzimu.
@@ngwanafabian4612 Neema zake MUNGU anazijua MUNGU peke yake
Jamani mnasema mtoto wa kiroho wa huyu mtumishi ni nani vile ? Khaaa kwa herini .
KWA NINI ALIHAMA TAG NA KUHAMIA EAGT???
Nilidhani utasema alifanya dhambi,kumbe kuhama tu, hakuna dhambi ya kuhama hata wewe ukifuatilia utakuta ni mhamiaji kutoka mahali fulani hata Ibrahimu aliambiwa atoke katika nchi yake ya asili, Yusufu alihamishiwa Misri ili awaletee watu wa MUNGU wokovu. TAG wametoka Lutheran, nao walitoka Kadholiki.Tuache udini hautusaidii chochote
Sikiliza injili ya kristo iliyo hai
Illogical question
Sababu yakutoka T.A.G.Askofu wake alimkataza asitimize agizo la Mungu alilopewa juu yakuwahubiria watu ambao walimkataa Askofu huyo yeye akaambiwa aende kuwahubiria habari njema.Alipomuaga Askofu wake,Askofu wake akasema hakuna kwenda kwasabau watu hao unaataka kwenda kuwahubiria walinifukuza mimi,hivyo nawewe ukienda kuwahudumia nitakufukuza nakukunyang'anya nafasi yauongozi uliyo nayo.Moses akaona nivena amkosee mwanadamu kuliko kumkosea Mungu.Hapo ndosababu yakuondoka T.A.G.Nakuanzisha kanisa la E.A.G.T.Akiwa na mchungaji Mwaisabila.Ambae kwasasa ndiye Askofu Mkuu wa E.A.G.T.Hiyo nikwaufupi.
@@saimonijonas1471 na Brown Mwakipesile ni nani EAGT?