Mungu wangu uliyeumba Mbingu na nchi nakushukuru kwajili ya maisha ya Moses kulola, sijafanikiwa kumuona akiwa hai ila mafundisho yake nayaona, natamani kusudi la Mungu aliloniitia nilitimie kabla sijafa
Nimefatilia tangu mlipoanza na kumbe Mchungaji Moses Kulola aliacha mtoto wake wa kiroho ambaye anafundisha na kuonya sawasawa na Neno la Mungu... Mchungaji Abiud Misholi
Huu ni Ushuhuda unaonyesha ukuu wa Bwana nautii wake Mtumishi wa Mungu ame stahimili magumu aliyo apitia ili roho za watu ziokolewe...I salute him...God give us this courage to bring others to you...Amen
Hata Mimi kwetu tulikua waislam but huyo mzee alimuombea my sister uwanja wa reli Arusha nilikua mdogo but my sister aliponywa na sisi sote tukawa wakristo mimi niko Kenya kwa Injlili yake nimesimama
Daaaaaaaaah Kwa kweli huyu ni shujaa WA Imani.... Ingawa nilikuwa mdogo saaaanaa but nilikuwa namkubali saanaaa..... Alifariki nikiwa na miaka kumi.... All in all niseme Mungu asante Kwa zawad ya uhai wake
Nimefatilia shuhuda hizi, huyu mzee alikuwa na Roho wa MUNGU, Kazi aliyoifanya hadi naogopa. Mungu atukuzwe kwa ajili yake mana aliyatoa maisha yake kwa Kristo
Amen,,naona roho wa Mungu ndani yako mtumishi anaye ongea kwa niaba ya babako,,,hakika yuko Mungu mwenye uwezo,,Jina la bwana Yesu litukuzwe...ningelipenda Mungu nimtumikie Mungu jinsi hii
Jamani watumishi wa Mungu mbarikiwe sana kwa ushuhuda mzuri sana samahani watumishi wa Mungu naomba kuuliza garama ya kwenda Israel kwa hela ya kitanzania ni shilingi ngapi
KUFANYA NINI WEWE SHIKA INJILI ITANGAZE SANA INATOSHA ,TUNAABUDU MUNGU WA WAISRAEL SIO ARDHI YA ISRAEL ,TUNAMPENDA MZEE KULOLA SIO FAMILIA YA KULOLA AU NYUMBA YAKE
BWANA asifiwe kweli moses kolola alikuwa na ubiri katika roho na ukweli kwasababu tanzani wanabii wa uongo ni wengi siku izi za mwisho kweli BWANA atusaidiye katika yote
Kwa kweli na mimi nilikuwa mkatoliki mafundisho yake yamenifanya niokoke na baada ya kuokoka nimeponywa magojwa bila kuombewa ila nikuacha dhambiii nakuwa mlokole kitu ambacho ilikuwa ngumuu kuhama katoliki
Nashukuru sana kwa ushuhuda wa mt.wa Mungu Baba yetu,aliyekwisha tangulia Mbinguni.Hata na Mimi ni mmoja wa wakristo tuliookolewa kutokana na mafundisho yake,mnamo mwaka 1972 nikiwa shule ya Mwanza secondary kidato cha 2.Mnamo 1975 tulikutana Dar eneo la Msasani, Drive in,napo alizidi kunipatia dose ya Neno la Mungu.Mungu anihurumie kwa kushidwa kwenda KWA Mama yetu au hata kumpigia simu.
Mimi nilikuwa na jipu katika sikio lisilopona miaka na miaka mpaka wazazi wakahambiwa huyu ili alone apelekwe India lakini Bishop Moses kulola aliniombea alukuja Mbeya akiwa na mkutano soweto kwa Mchungaji mwaisabila nikapona tangu hapo kidonda kilipotea na kukauka mpaka leo limebaki kovu tu..
Unajaribu kupinga kuwa mzee hakuwa na pesa, unaongelea tsh500 milioni mzee mwenyewe alikuwa hana hata nguo huyo alimpenda mungu kuliko chochote kama unajua toa mchanguo wote wa tsh500/: usirukeruke ndg mara frora alichukua tsh100/: endelea waongo mnatafutwa kuungwa mkono Acha kupotosha hujui kitu pumzika
Mungu wangu uliyeumba Mbingu na nchi nakushukuru kwajili ya maisha ya Moses kulola, sijafanikiwa kumuona akiwa hai ila mafundisho yake nayaona, natamani kusudi la Mungu aliloniitia nilitimie kabla sijafa
Wewe Mungu mwenye kuogopwa katika sifa naomba lile kusudi la mimi kuwepo ulimwenguni litimie maadamu ni mchana.
Nimefatilia tangu mlipoanza na kumbe Mchungaji Moses Kulola aliacha mtoto wake wa kiroho ambaye anafundisha na kuonya sawasawa na Neno la Mungu... Mchungaji Abiud Misholi
Huu ni Ushuhuda unaonyesha ukuu wa Bwana nautii wake Mtumishi wa Mungu ame stahimili magumu aliyo apitia ili roho za watu ziokolewe...I salute him...God give us this courage to bring others to you...Amen
Hata Mimi kwetu tulikua waislam but huyo mzee alimuombea my sister uwanja wa reli Arusha nilikua mdogo but my sister aliponywa na sisi sote tukawa wakristo mimi niko Kenya kwa Injlili yake nimesimama
Amen
Ameni,,Glory be to God
Heri yako ndgu
Hongera wewe na familia Yako kuchagua njia sahihi
Jina la Bwana lihimidiwe
Shalom watumishi wa Mungu ningependeza kabla ya kuanza ushuhuda muwe mnaanza kwa maombi ingependeza zaidi Ahsante
Moses Kulola alikuwa mhubiri nguli na maarufu sana namkumbuka alikuwa anakuja kanisa la TAG KITETE TABORA Watu walikuwa wanajaa sana sanaaaa
Daaaaaaaaah
Kwa kweli huyu ni shujaa WA Imani....
Ingawa nilikuwa mdogo saaaanaa but nilikuwa namkubali saanaaa.....
Alifariki nikiwa na miaka kumi....
All in all niseme Mungu asante Kwa zawad ya uhai wake
Nimefatilia shuhuda hizi, huyu mzee alikuwa na Roho wa MUNGU, Kazi aliyoifanya hadi naogopa. Mungu atukuzwe kwa ajili yake mana aliyatoa maisha yake kwa Kristo
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa kutuletea ushuhuda wa Mzee wetu mpendwa sana M. KULOLA!
Amen
Namba za simu ziko wapi jamani
Kweli moses kolola alikiwa mtumishi wa MUNGU katika roho na ukweli ndungu yangu usikate tamaha Kuwa kama baba alivyo Kuwa katika kazi yake amen kweli
Mungu atusaidie ahasante Kwa ushuhuda wa Mzee wetu
Amen,,naona roho wa Mungu ndani yako mtumishi anaye ongea kwa niaba ya babako,,,hakika yuko Mungu mwenye uwezo,,Jina la bwana Yesu litukuzwe...ningelipenda Mungu nimtumikie Mungu jinsi hii
Mtumishi wa Mungu aliwekeza peponi
Jamani watumishi wa Mungu mbarikiwe sana kwa ushuhuda mzuri sana samahani watumishi wa Mungu naomba kuuliza garama ya kwenda Israel kwa hela ya kitanzania ni shilingi ngapi
KUFANYA NINI WEWE SHIKA INJILI ITANGAZE SANA INATOSHA ,TUNAABUDU MUNGU WA WAISRAEL SIO ARDHI YA ISRAEL ,TUNAMPENDA MZEE KULOLA SIO FAMILIA YA KULOLA AU NYUMBA YAKE
Huelewi alichouliza pole@@frankngajilo7137
Amina naendeleya kufyatiliya ni ushuhuda mzuri sana
Ameeen Ameeen mtumishi ubarikiwe sana kwa ushuhuda.
Hakika ktk shuhuda hii kunamengi ya kujifunza pamoja na kutiwa moyo kwa Kila asikiaye na kuamua kujifunza ktk hii 🙏🙏🙏
Hata Mimi hakuna mtumishi ninayemkubali Kama yeye tijifunze kwake, ebrania 13:7 .by pastor Patrick nyaonge❤
Hakika MUNGU ni mwema. Ee BWANA YESU KRISTO namimi nitumie Kwa viwango vingine nimechoka na dunia hii.amina
Amina ubarikiwe
Amina Kweli Moses Kulola Alikuwa Mtumishi Wa Mungu.
Kwa kazi ya Mzee kulola kumtii Mungu tulio wengi tumeokoka.Naomba BWANA YESU unisaidie na kuniwezesha kuingia mbinguni nikakutane na Mzee kulola tena
Kabisa,uko sahih
❤❤❤❤❤ Mubarikiwe mnooo
Wakwanza kuskia amen
Emen Emen mbarikiwe sana sana ,
Amen and Amen asante kwa huu ushuhuda umenijenga kwa kweli. Amen
Ameni ameni mbarikiwe watumishi wa Mungu
Tuhudumie watumishi wa Mungu kwakwel nmejifunza sana
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya mchungaji Moses kulola nasikiliza mahubiri yake nabarikiwa sana niko kenya
Mbarikiwe sana
Nice
YESU atukuzwe kweriiii
Tunaomba namba ya Pasta willy ili kwa sadaka iwe rahisi
Mtumishi naomba namba yasadaka
His testimony and all he went through kinda reminds me of Brother Moses Mairah.
Oo baba yetu huyu alikuja njombe.nasi tumeokolewa kupitia injili.yake
Mtumishi naomba namba ya kutuma sadaka
Hakika Mungu humpenda anyenyekeaye Mika 6:8
Yoooooo! Mnapenda Niseme? Hakika Namimi Naomba MUNGU anisaidie Nimalize vizuri Na MUNGU Nije Nimuone Tena Bishop Moses Kulola.
Nikirudi lazima nkatembelee huo mtaa
BWANA asifiwe kweli moses kolola alikuwa na ubiri katika roho na ukweli kwasababu tanzani wanabii wa uongo ni wengi siku izi za mwisho kweli BWANA atusaidiye katika yote
Kwa kweli na mimi nilikuwa mkatoliki mafundisho yake yamenifanya niokoke na baada ya kuokoka nimeponywa magojwa bila kuombewa ila nikuacha dhambiii nakuwa mlokole kitu ambacho ilikuwa ngumuu kuhama katoliki
Ubarikiwe sote tulikuwa huko ila sasa tumeokolewa na dam ya Yesu
Nashukuru sana kwa ushuhuda wa mt.wa Mungu Baba yetu,aliyekwisha tangulia Mbinguni.Hata na Mimi ni mmoja wa wakristo tuliookolewa kutokana na mafundisho yake,mnamo mwaka 1972 nikiwa shule ya Mwanza secondary kidato cha 2.Mnamo 1975 tulikutana Dar eneo la Msasani, Drive in,napo alizidi kunipatia dose ya Neno la Mungu.Mungu anihurumie kwa kushidwa kwenda KWA Mama yetu au hata kumpigia simu.
Mtumishi tunaomba mtuwekee kwenye yutube sehemu ya mahubiri ya mwisho mwishoni ya maisha yr Dr Kulola,ya miaka ya 2010-2013
Ameeeeeen
Naomba nichangie ujenzi huyo tafadhali..
Moses kulola alikuwa mtumishi haswa
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu.
Andikeni kitabu kitusidie
Amen
Amina Amina
Mimi nilikuwa na jipu katika sikio lisilopona miaka na miaka mpaka wazazi wakahambiwa huyu ili alone apelekwe India lakini Bishop Moses kulola aliniombea alukuja Mbeya akiwa na mkutano soweto kwa Mchungaji mwaisabila nikapona tangu hapo kidonda kilipotea na kukauka mpaka leo limebaki kovu tu..
Ushuhuda huu ni falaja
Naomba kujua namna ya kuchangia hilo jengo
Kama hakuna namba pasi mtuelekeze ni chanika wapi mwenye hata kidogo achangie
Mambo ya Mungu fumbo kuna mitihani mingi mno.Je binafsi utapita yote? Tafuta wanaoshika neno hata wakiwa wachache
ACHENI UONGO AMEKUFA NA MILLION 500 BENK NAILIGAWANYWA MILASI MAMA FROLA AKACHUKUA M100 NDIO NK
Unajaribu kupinga kuwa mzee hakuwa na pesa, unaongelea tsh500 milioni mzee mwenyewe alikuwa hana hata nguo huyo alimpenda mungu kuliko chochote kama unajua toa mchanguo wote wa tsh500/: usirukeruke ndg mara frora alichukua tsh100/: endelea waongo mnatafutwa kuungwa mkono Acha kupotosha hujui kitu pumzika
Ukiambiwa thibitishaTsh500/: benk gani na akaunt gani lini ilitolewa hela hyo mnetegemea mbio mitandaoni humu Acha uongo dogo
Amen