USHUHUDA WA KELVIN STEWART WA ENGLAND ALIYEKUWA FREEMASON"Injili za mafanikio ni mkakati wa shetani"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 45

  • @user-dq5yj9ts4h
    @user-dq5yj9ts4h 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wetu pamoja na mwanae Yesu kristo atuongoze kwa hii safari

  • @jamilarasmussen1977
    @jamilarasmussen1977 ปีที่แล้ว +6

    Ahsante sana mtumishi Jacktan kwa ushuhuda huu nimezidi kujengeka kiimani na kuwa na karibu zaidi na Bwana wetu Yesu Kristo Mungu wetu aliye hai ubarikiwe sana.

  • @asminetaba253
    @asminetaba253 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana jacktan kwa huu ushuhuda mungu atupingainie sisi wote ubarikiwe sana

  • @giffttymlemwa4523
    @giffttymlemwa4523 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atukwe milele

  • @catherineangaufoo2530
    @catherineangaufoo2530 ปีที่แล้ว +4

    Amen.. nashukuru kwa ushuhuda mzuri sana. Mwenye masikio na asikie neno Roho ayaambia kanisa.🙏

    • @SamwelSoya
      @SamwelSoya 4 หลายเดือนก่อน

      Tujihadhari sana ktk safari hii ya kwenda mbinguni promover mnatubariki mno

  • @frankjohachim5405
    @frankjohachim5405 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiws sana kama kijana Bwana Yesu tusaidie kuvuka mbinu na mitego hii ya mwovu ibilisi shetani amen🙏

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 ปีที่แล้ว +3

    Yesu niongoze kwa kazi yako... Bila ww Bwana siwezi

  • @brightonpesambili204
    @brightonpesambili204 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza kitu kutoka kwa huyu bwana, hakika tumng'ang'anie yesu

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 8 หลายเดือนก่อน +1

    Watu WAMUNGU ALIYE HAI JUU ZAIDI MBINGUNI YESU CHRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI JUU ZAIDI MBINGUNI
    Tupende Sana Roho Mtakatifu Kuliko THEOLOGIA YESU CHRISTO PEKE NDIYE NURU YA KWELI
    PENDA SANA ROHO MTAKATIFU NAKATA SANA THEOLOGIA NAIPINGA SANA
    NAPENDA ROHO MTAKATIFU SANA🥰🥰🥰

  • @user-fu6fx8if6w
    @user-fu6fx8if6w 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu abariki promover,alot of souls are being saved through this channel.❤

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 ปีที่แล้ว +3

    Amen
    Asante sana promover Tv hakika kupitia hii channel tumejifunza mengi muzidi kubarikiwa

  • @gerardineakima1766
    @gerardineakima1766 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tufunulie watumishi wako wakweli Mungu kwaju nasikiya nihatari sana

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 ปีที่แล้ว +3

    Yesu anaendelea kuwafungua macho na kuwaokoa.... Mbarikiwe sana wana PT❤

  • @ombenimaiko7882
    @ombenimaiko7882 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว

    Ameen, God bless you jacktan,ni Damu tu ya Mwana kondoo Yeshua Masih,ndiye atakaye tuokoa.❤🎉

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 ปีที่แล้ว +3

    Ukristo sio rahisi wapendwa..tuzidi kumwomba MUNGU atusaifia

    • @elizathomas7442
      @elizathomas7442 ปีที่แล้ว +1

      Tulifundishwa kiulahisi na tukaishi hivyo kumbe sivyo ukirsto ni mgumu mno ndo nacho ona sasa MUNGU atutie nguvu

    • @ommylax7231
      @ommylax7231 ปีที่แล้ว

      Ukristo bila uwokovu ni sawa na unga bila maji huwezi ukawa ugali

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@ommylax7231hakikaaa kabixa

  • @helenazabron-fd9vv
    @helenazabron-fd9vv ปีที่แล้ว +2

    Utukufu kwa Bwana Yesu Kristo

  • @dadafrida9202
    @dadafrida9202 ปีที่แล้ว +1

    Amen'Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe sana

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 ปีที่แล้ว +2

    Yesu utuhurumie sisi wanadamu

  • @zablonfesto5216
    @zablonfesto5216 ปีที่แล้ว +1

    Eee Yesu tusamehee sie ni watoto wako pia mtumishi wa Mungu mwendelezo plz

  • @tabithajeremiah4589
    @tabithajeremiah4589 ปีที่แล้ว +2

    Asante Kwa ujumbe mzuri

  • @user-nj3jt5tp9u
    @user-nj3jt5tp9u 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika ushuhuda huuu umenijenga sana

  • @amandaangie4806
    @amandaangie4806 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏 MBARIKIWE

  • @collinsblessingtv7938
    @collinsblessingtv7938 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mtumishi jackton

  • @flomaje1J
    @flomaje1J ปีที่แล้ว +2

    Nafurahia ushuhuda Mungu awabariki ila naomba msiweke background music inanipunguzia usikivu kwa kiasi kikubwa sana

  • @espoirmlondani-ue2fm
    @espoirmlondani-ue2fm ปีที่แล้ว +2

    Prommover mbarikiwe sana ila ushuuda huu kama Kuna nyingine tunaitaji kwa hamu kubwa

  • @edwinedward6404
    @edwinedward6404 ปีที่แล้ว +2

    Roha mtakatifu nifundishe niweze kuifikia mbingu

  • @WakilongoHassan
    @WakilongoHassan 8 หลายเดือนก่อน

    kiyama ni karibu,ole wenu wanachama wa shetani

  • @amisakiza1538
    @amisakiza1538 ปีที่แล้ว +2

    Utukufu urudi kwa Mungu wetu aliye mbinguni Amina

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen 🙏 🙌

  • @jojosky337
    @jojosky337 ปีที่แล้ว +1

    Amen🙏🏾

  • @horimberepeace7376
    @horimberepeace7376 ปีที่แล้ว

    YESU CHRISTO ATUSAIDIYE SAAANAAA!!!!! TUWEZE KUSOMA VIZURI SAAAANAAAA!!! NENO LA MUNGU BIBLIA TENE TUOMBE NAKU ULIZA ROHOMUTAKATIFU!!! ATUSAIDIYE KUTAMBUWA NENO LOTE TULISOMA NDANI LA NENO LA MUNGU, TUSIFUWATE MANENO YA WATU APANA!!!! TUFUWATE NENO LA MUNGU NATUOMBE SAAANAAA!!!!!

  • @gerardineakima1766
    @gerardineakima1766 ปีที่แล้ว +2

    Mungu naomba mwicho mwema tu

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +1

    Aende makanisa yoote aliyoharibu akaombe Msamaha

    • @davidndilanha4940
      @davidndilanha4940 ปีที่แล้ว +3

      Akisha msamehe MUNGU imetosha makanisa yenyewe yana takiwa kuimalika kiroho. Anaweza akawaomba msamaha lakini freemasons wapo wengi atakuja mwengine haribu tena,

    • @SARAHHALIFA-wm2kg
      @SARAHHALIFA-wm2kg ปีที่แล้ว

      Wewe unataka akamuombe nani msamaha?

    • @jacksonsendwa3139
      @jacksonsendwa3139 9 หลายเดือนก่อน

      Sio KWAMBA aliambiwa afanye Ivyo huyu alikuwa anaongozwa na MUNGU