Iyo ushuhuda ya Layisi Nkurunziza na askofu Moses Kulola ni ya kweri,alitabiri 2003 yakwamba Layisi wa Burundi atakuwa anatoka milimani ju ya town Ya Bujumbura alisema kama atakuwa mulokore.Askof Moses alikuwa baraka kwa inci ya Burundi.Na shukuru sana kutukumbusha Iyo mze wetu.Mungu akubariki sana,
@@dorahmushi-we6ts Mimi Najionea Ninayo pitiable na ndio kwanzaa safari tupo mapambano acheni Ila Mungu wetyu attaching tuendelee kumuamini na kuvumilia kutoa uoga tuvae silaha za MUNGU tupate kushindana SI KU YA UOVU ,shetan tumshinde nakumkanyaga tusonge mbele
Hakuna mtumishi alietumika Kwa maazingila magumu nakuji shusha kama kulola ulikua ukimuita kwahuduma anataka kulala pale unapolala wewe hakupenda kupelekwa gest nawakat anaona unahali ngumu leohii hakuna mungu atusaidie kuwa na macho ya rohon
Ukiwa wa Mungu utatenda mambo makuu kuliko kawaida ,Mungu hamtupi mtumishi wake, hakika Mungu ni mwema, namkumbuka sana Moses Kulola toka miaka ya 1980
Jamani nashukuru mungu Kwa mutumishi wa mungu askf Moses niri kutana naye Kwa kurusedi ya Burundi niri mupena naniri mushika kama mufano wangu Kwa mwito
Asante mtumishi wa Mungu, kwa kunisaidia ila nataka kujua zaidi inasemekana alikuwa mchungaji wa kanisa hilo AIC Makongoro Mwanza, baada ya kujazwa Roho Mtakatifu (1)AIC walimfukuza?, (2)TAG walimfuata? (3)au aliamua kuondoka mwenyewe? na ilikuwa mwaka gani akiwa na umri gani?
Mungu ni mwema maishani Mwangu Amina, Mungu ailaze roho ya Marehemu Babu Moses kulola Amina
Iyo ushuhuda ya Layisi Nkurunziza na askofu Moses Kulola ni ya kweri,alitabiri 2003 yakwamba Layisi wa Burundi atakuwa anatoka milimani ju ya town Ya Bujumbura alisema kama atakuwa mulokore.Askof Moses alikuwa baraka kwa inci ya Burundi.Na shukuru sana kutukumbusha Iyo mze wetu.Mungu akubariki sana,
Kulola!! Alikuwa baba yeti wa Imani!!
😭😭mbona watumishi wa Mungu hupitia mambo mazito sana mno jameni, Baba tusaidie tuzijue siku zetu na tumalize mwendo salama 🙏🏼🙏🏼
Hakika
Unapokua mtmsh wa kweli wa Mungu, umetangaza vita na shetani.
@@dorahmushi-we6ts Mimi Najionea Ninayo pitiable na ndio kwanzaa safari tupo mapambano acheni Ila Mungu wetyu attaching tuendelee kumuamini na kuvumilia kutoa uoga tuvae silaha za MUNGU tupate kushindana SI KU YA UOVU ,shetan tumshinde nakumkanyaga tusonge mbele
Mungu nisaidie nikutumikie kwa uaminifu
MUNGU ni mwema sana, siku zangu zote nilikuwa ninatamani kujua jinsi huyu Mtumishi hodari wa Mungu, alivyo ishi hapa duniani maana ni mfano wa kuigwa
Yoooo!
Unapenda niseme!!
Ameni Asanteni kwa Historia nzuri
Hakuna mtumishi alietumika Kwa maazingila magumu nakuji shusha kama kulola ulikua ukimuita kwahuduma anataka kulala pale unapolala wewe hakupenda kupelekwa gest nawakat anaona unahali ngumu leohii hakuna mungu atusaidie kuwa na macho ya rohon
Kiandikwe kitabu cha kumbukumbu za baba,mzee Moses Kulola kwa ajili ya vizazi vinavyokuja
Uyo ndiye mungu biblia inasema vyote vilivyo ndani ya dunia nawote wanao kaha hamo yote nimali ya bwana ❤❤❤❤
Najifunza mengi sana
Nasubir sehemu inayofuata
Amen
Yesu utukufu ni wako kwa ajili ya mtumishi wako.
Nilikuwa nasubiri sana huu mwendelezo mbarikiwe sana
Amina baba imani uliilinda mwendo ukaumaliza 2:50
Mzee KULOLA hakika ulimtumikia Mungu hukujilimbikizia mali
Ushuhuda mzuri sana,tuliokuwa tunauhitaji kusikia
Mungu ni mwema, mchungaji KOLOLA NI BABA YETU, na sisi
KUNA NCHI ZIBAHESHIMU SANA WATU WA MUNGU . SISI WATANZANIA HATUNAGA NIZAMU KABISA . SISI WENYEWE TUNAZANI NDO MAENDELEA .
Ukiwa wa Mungu utatenda mambo makuu kuliko kawaida ,Mungu hamtupi mtumishi wake, hakika Mungu ni mwema, namkumbuka sana Moses Kulola toka miaka ya 1980
Hallelujah jamani MUNGU afananishwi ! Sifa na utukufu kwa BWANA WA MABWANA
Vita ya Injili ni mbaya Sana nimeiona kwa macho yangu
Ujumbe mzuri wa kumbukumbu za mzee wetu ila kuna sehemu duuu inataka utumie akili sana kusikiliza na kuelewa
Ushuhuda mzur Sana jmn.... naendelea kusbria mwendelezo
Mzee Kulola alikuwa na Huduma ya Aina yake. Lakini pia alikuwa na unyeenyekevu wa ajabu.
Mungu nisaidie imani yangu ikue
Asante sana kwa ushuda mzuri
Amen Mungu atusaidie ipo siku tutaonana katika ufarume mungu
Ameen
Mi roho inaniuma kweli,ivi watu wa Mungu anafikia mpaka mnataka kumuuwa mtumishi wa Mungu!!!!!Mbingu ni ngumu saanaaaa
Tena mtu wa Mungu ana maadui wengi hata usishangae ila tumaini letu ni YESU ndiye anayetuokoa
Unashangaa nini ? Huo ni mpango wa mpinga Kristo. Wote waliofuata injili ya kweli wamepitia mateso makubwa na kuuawa.
Mungu nimwema siku zote
Barikiwa sana. Part 5 nasubiri
Sifa nashukran na utukufu tunamregesheya MUNGU wambinguni hallelujah
Mungu nimweme sana siku zote🙏🙏🙏
Mungu naomba rehema yako nisikose ufalme wako
Basi Mungu wetu akuzwe
Asante sana mungu akubariki😢
Utisho huu wa Mungu uko wapi sasa Kwa kabisa la leo,wachungaji wenyewe wamejiwekea walinzi hadi kanisani
Jamani nashukuru mungu Kwa mutumishi wa mungu askf Moses niri kutana naye Kwa kurusedi ya Burundi niri mupena naniri mushika kama mufano wangu Kwa mwito
Amen
Amina amina
Ushuhuda mzuri sana wanikumbusha kitu nlicho kiona ndotoni Malika alishtuka nakuniambia nmekuja kukuchukua nlibaki kimya sikua najibu
Asante sana kwaho2ba ya baba moses kulola
Huyu kweli alikuwa mtumishi wa Mungu
Mbarikiwe mnoo
Moses Ni mtumishi wa Mungu kweli
❤❤❤ Aminaaaa
Emen Emeni
Aminaaaa yesu atukunzwe
Amem Amen Amen.
Nikweli
Wahoo Nkurunzinza alkuwa mfano wa kuigwa
Amen🙏🙏
Moses Kuloka alikuwa mtakatifu lzm Mungu asimame mwenyewe.
Babu yangu alikuwa na upako wa hali ya juu
TAG hii kitu ya kolola mpaka leo inawatafuna
Huyu Mzee alikuwa amebeba nguvu za Mungu nyingi
Mimi Mossesni baba yangu wa kroho,niliokoka kwenye mkutano wake
Amina
Barikiwa Sana ,,,mshike Sana YESU
Yesu ni kila kitu
Naombeni itolewe historia yake kwene flash ili ushuhuda huu uendelelee kutuinua imani
Bwana nakupenda na ahasante kwaajili ya mtumishi wako😢
Kipawa chake kilibaki na mchungaji Abiud Misholi
Amina
Ameee
Hakika Mungu ni mkuu
Nataka kujua moses alitokaje aic na kuwa tag naomba kujua mtumishi wa Mungu?
Ni baadà ya kujazwa roho Mtakatifu na kuwa na Injili ya uamsho ambayo haikuendana na mapokeo ya AIC
Asante mtumishi wa Mungu, kwa kunisaidia ila nataka kujua zaidi inasemekana alikuwa mchungaji wa kanisa hilo AIC Makongoro Mwanza, baada ya kujazwa Roho Mtakatifu (1)AIC walimfukuza?, (2)TAG walimfuata? (3)au aliamua kuondoka mwenyewe? na ilikuwa mwaka gani akiwa na umri gani?
@@peterdeus1990kuna kitabu chake kitafute utapata full detail historia yake.nzito ya moses
Amen tunapmba namba ya simu ya kutuma mchango
Kolola kapumzika nyumbn kwa Yesu
Daaah wako wapi wa chungaji kama moses
Mmmmmm
Anaongeza chumvi. Alikaa kwenye kiti cha rais haiingii akilini
Sio tatizo lako
Vita ilitoka kuzimu ikatumia Sura ya kanisa
Zaburi nijapopota blonde la mauti sitaogopa maana Yuko na mimi Psalms 23
Kulola alikuwa baba yetu wa imani!!
Hakuna Kama Muñgu milele
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮😭😭😭😭😭
Pumbafu zenu media ukweli comment mnafuta ujinga wenu comment kedekede
MUNGU ninaomba umlete Moses Kulola mwingine Afrika
Mbona yupo abiudimishol ndo
Kweli kabisa abiud misholi ni mtumishi wa Mungu aliye hai @@fredykiluka6606
😂😂
MUENDELEZO TAFADHALI...NAKUMBUKA MCHUNGAJI MOSES KULOLA ALIKUJA SANA KUHUBIRI MBEYA...NI BABA WA IMANI ALIYEWAACHIA KIJITI WATUMISHI KM MWL.MWAKASEGE
Mwakasege ni mkkt alijifunza mambo ya pentecost lakini alikuwa na misimamo ya KKKT
Ico yentu mpakarehooo ntunariya
Moses kulola bado yuko hai ??
Mtumish alishatangulia mbele za haki
Alishatangulia mbele za haki
Amen
Amen
Ameen
Amina
Amen
Amen
Amen kweli
Amen